yani sina lakuongea ila napenda kushukuru mungu maana mm ni kama ester sikustahili kwa jambo lolote mungu anaweza fanya mambo magumu nashukuru sana mungu kwa mambo ambayo anatenda katika maisha yetu mungu akubariki pastor unanibariki sana
Amen,Nimebarikiwa Na maneno matamu,Mtumishi wa Mungu bwana hakubariki Na hakusitii kutia nguvu unaboeneza injili yake yesu Christo kwa Kuwa hizi Ni nyakati za mwisho
Shukrani Mungu sna ambaye ama nipa mda kuli fata somo hili, kutoka kinywani mwa mchungaji mteule wa Kristo aliye hai. Nikiwa UAE najifunza kupambana kupita maongozi yake Kristo. Barikiwa na muumba ee Mchungaji David.
Mchungaji nimesikiliza ibada ya Leo imenigusa sana Mimi wazazi wangu wamehamaa Sengerema kisa maneno ya ndugu Kwa maana tulikuwa tunaishi karibu na hivyo Kwa kuogopa maneno tukahamia Geita hivyo mchungaji naomba utuombee tuweze kurudi Sengerema maana ni hila na fitna zilizosababisha tuhame mchungaji naomba unisaidie kuomba tuweze kurudi Sengerema Amina
Mchungaji amani kwenu,kweli naomba msaada wa maombi,mume amenifukuza na wa toto na kuoa mke mwengine, naomba mume wangu arudi ,mnisaidiye nashindwa chakufanya, maumivu ni makali.naitaji msaada wenu
Yani mchungaji ni km some liliandaliwa kwa skill yangu napitia magumu xana kwenye familia yani hata nifanye jema hakuna aneona ndio hua naambulia lawama

God bless you pastor 🙏
Barikiwa sana
Amina nabarikiwa kila siku na mahubiri yako ...mungu azidi kukutumia
Asante sana plaster Kwa fundizo nzuri
thank you so much my mentor long live pastor Mbaga
Aisee !!nabarikiwa na mafundisho yako,Nakukaribisha sana kwenye Makambi huku Isibania....
mungu azd kukutunza pr.
kiukweli unazd kutusogeza msalaban
Astisanapasteriweto
Asante Pastor..Mungu amekutumia kutuliza Moyo wangu
Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu,
Hakika kuishi rohoni kunahitaji kujivika ujasiri
Ubarikiwe mtumishi wa MUNGU
Mungu Abariki neno Lake na Akubariki sana kwa mafundisho yenye baraka
je vous suis chaque fois depuis CONGO DRC mon pasteur que Dieu vous bénisse
Ndiyo pasta Sasa aksante kwa mahubiri .Sasa pasta niko APA ku Congo Sasa mahaya nipo kuko wasi wasi Ya vita .maombi
Mungu ana makusudi na maisha yetu, sema nasi tupone.
Amen and Amen 🙏🙏
Masomo yako uwa yananifariji sana na yananisogeza sana kwa Mungu
Ubarikiwe sana Mtumishi hongera sana kwa Mafunzo bora sana ..
Ubarikiwe mchungaji Kwa mahubiri nimesikia nimepata nguvu ya Imani naomba niombee uponyaji kutoka Kenya
Mchungaji nimesikiliza ibada ya Leo imenigusa sana Mimi wazazi wangu wamehamaa Sengerema kisa maneno ya ndugu Kwa maana tulikuwa tunaishi karibu na hivyo Kwa kuogopa maneno tukahamia Geita hivyo mchungaji naomba utuombee tuweze kurudi Sengerema maana ni hila na fitna zilizosababisha tuhame mchungaji naomba unisaidie kuomba tuweze kurudi Sengerema Amina
Mchungaji tuombeeee tuweze kuhama Geita turudi Sengerema Pia Amani na mahusiano mazr kwenye familia yangu Mchungaji
Nikweli Mtumishi unatoa sehemu ngumu sana ni pagumu sana napita Ila bado namtazama Yesu.
So educative and blessing to the heart. Barikiwa mchungaji for the job well done, AMEN 🙏 👏 🙌.
Masomo mazuri sana ubarikiwe sana mchungaji
Amen 🙌 barikiwa mtumishi wa Mungu
Mungu ujibu maombi tangu unifundise njia ya kuongea na mungu
Thanks God bless you
Amen thank you am blessed
Mchungaji amani kwenu,kweli naomba msaada wa maombi,mume amenifukuza na wa toto na kuoa mke mwengine, naomba mume wangu arudi ,mnisaidiye nashindwa chakufanya, maumivu ni makali.naitaji msaada wenu
Mungu atakutendea mpendwa
Ameen ubarikiwe sana mtumishi wa MUNGU kwa somo zuri
AMINA×7
Barikiwa saaana pastor
Amen 🙏🙏🙏🙏
Thanks pastor kwa fundisho nzuri
Mchungaji you have real mentored me
Asante nashukuru kunisogeza karibu namsalama ninavitakubwakazini nandugu sasa nimepona asante kwasomo 1:02:29
Barikiwa pastor
Nimebarikiwa mnooo!!
Am blessed so much
Mungu atukuzwe Kwa hubiri zuri lenye kutia nguvu
Napenda sana mahubiri yko
Mungu atukuzwe.
Mahubiri mazuri sana
Amini
Nafarijika sana
Ameeen 🙏 🙏🙏
Ameeem
Asnte sana nimeuona mkoni wa Bwana kupitia wwe
Amen
Asante
Yani mchungaji ni km some liliandaliwa kwa skill yangu napitia magumu xana kwenye familia yani hata nifanye jema hakuna aneona ndio hua naambulia lawama
Amina
Ndiyo pasta Sasa aksante kwa mahubiri .Sasa pasta niko APA ku Congo Sasa mahaya nipo kuko wasi wasi Ya vita .maombi
Barikiwa sana
Barikiwa pastor
Amen🙏🙏🙏
Amina
Amen
Ndiyo pasta Sasa aksante kwa mahubiri .Sasa pasta niko APA ku Congo Sasa mahaya nipo kuko wasi wasi Ya vita .maombi
Amen 🙏

Polen. Tuna waombea
Amen
Amen
Amen