Najiskia kubarikiwa kupitia somo hili naaamini Mungu anaenda kufungua njia naam naenda kupata ajira serikalini kwa jina la Yesu kristo navunja maagano ya kichawi niliofanya na niliofanyiwa na wazazi wangu kwa waganga wa kienyeji roho ya kukataliwa naikataa katika jina LA yesu kuanzia sasa Mimi ni kiumbe kipya!
Wow pr. Mbaga unanibariki sana, najitahidi kuyaishi mafundisho Yako, 1 ya faida niliyoipata, nilikuwa na vidonda vya tumbo kwisha, maumivu ya uti wa mgongo kwisha, kwa kufyeka tu mazingira ya kanisa na kuyasafisha Kila j. Pili. Barikiwa sana
AMEN AMEN AMEN. GOD SHOW ME MERCY. SPEAK INTO MY SITUATION. BY THE POWER THAT RAISED JESUS FROM THE DEAD, I COMMAND EVERY AREA OF MY LIFE TO RECEIVE LIFE!!!
Mungu alinde vyombo vyenu iki tuendeley kusikiriza Habari njema ,,mim niko burundi nanijifunza mengi kilakukicha kupitia mahubiri TV, ila natamani siku moja nikutane na pr David Mbaga. Happy sabbath
Nafurahia kuona kwamba kuna mtu wa nyumbani tunakutania hapa kwenye hii meza kupata maneno ya MUNGU hakika tuzidi kubarikiwa haya maneno akawe na nguvu katika maisha yetu hivyo ile siku itakapo fika tuwe miongoni mwa wale watakae mpokea YESU KRISTO kwa shangwe na furaha tele
Nakushukuru pastor kwa mafundisho yako. Fundisho hili limenigusa sana linahusu maisha yangu na family yangu naomba uniombee nitoke kwenye roho za mizimu mungu akubariki sana
Hili SoMo , pastor umeyagusa maisha yangu, Yani ile mtu unachukiwa ukiwa unasoma duhu, mpaka lecture Yuko radhi akuharibie wewe ambae ndo upo chuo mpaka wizarani hili usichomoze maishani, unaweza chukiwa na kila unae kutana nae , tuombee mungu atupe roho ya kibali kukataliwa imetosha, make Vita ni nzito imetutesa miaka pastor,
Barikiwa sana pastor Wacha Mungu akucha na rohoo mtakatifu haendelee kukuongoza NAMI nataka usaidiz wakijua tofauti tofauti za roho alafu ukiolewa bila harusi utabarikiwa na Mungu au utaeza ama kwa iyo ndoa ,kwa sababu mazungumzo ya moyo ya kisiri yamenisumbua sana ingine inaniambia ndio hapana mpaka nashidwa
Niombe Pastor nimefika mwisho naitwa Elizabeth,umekua ukiniombea nashukuru.Mimi ni mkenya. Niombee neema ya Bwana inifunike na Yesu anionekani kwa rehema zake katika ndoa yangu,Watoto wangu na Mume wangu,yaani familia yangu,Atufungue,atuondolee mambo ya giza na kwenye mateka ya shetani. Asante
Nimebarikiwa sana kwa somo hili. Sifa na Utukufu ni kwa Mungu Baba Mwenyezi mwenye Upendo usio kifani kwani hutusamehe makosa yetu na kututakasa dhambi zetu kwa Damu Ya Yesu KRISTO BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU. AMINA.
Kwa mara ya kwanza nimepata live Hapa kutoka Australia. Nabarikiwa sana , Mungu aendelee kukuinua ktk viwango vya juu zaidi. Ubarikiwe na Bwana mtumishi
🙏🙏🙏❤❤❤❤ Asitokee wakupinga ĥli somo linalohusu maagano hii ni hakika Mtumishi Mungu atusaidie 😂😂😂😂 nimecheka sn maana nina ushuhuda katika hili Ila tujue jambo 1 Mungu huangalia agano lake ili apate kulitimiza napia tusisahau kuwa adui naye huangalia kukuangusha ili agano la Mungu lisitimie hivyo Tuombe sn Neema ya Mungu toba na Rehema zake ili turithi pamoja na Kristo Amina
Bwana Yesu Kristo asifiwe, ubarikiwe saana kwa somo zuri lenye baraka. Pastor Mmbaga Nina swali naomba kujibiwa: Ungesema Ayubu alimsingizia Mungu kwa kusema "Mungu ametoa na Mungu ametwaa". Je!? Sio sahihi kutumia kauli hii. Maana Huwa inatumika saana msibani hasa hasa kwa sisi wasabato.
Nakuuliza mutumishi wa Mungu kweli kabiza Yesu akirudi kujukuwa kaniza Dunia muzima wakitumbu inawekana watu woooote kupata uzima wa milele yaaani kuhenda mbinguni?????? Plz naomba jibu lako mutumishi wa Mungu ❤❤❤❤ napenda Sana mafundisho mazuri barikiwa sanaaaana
Ubarikiwe mchungaji. Nilikutana na mhadhiri ambaye hats sauti yangu alikuwa hataki kuisikia. Uifanya mawasilisho ya kazi ukisoma sentensi mbili anakuambia stop mpe mwingine .Marks zake Sasa Dio usiseme.Nashukuru kwa kufunuliwa hili.Mungu nipiganie
Pr huwa nakukubali sana shuhuda zako huwa zinanipa moto wa imani lakini changamoto yangu kubwa ni magonjwa kwangu na mume wangu na upandewa watoto wangu
Najiskia kubarikiwa kupitia somo hili naaamini Mungu anaenda kufungua njia naam naenda kupata ajira serikalini kwa jina la Yesu kristo navunja maagano ya kichawi niliofanya na niliofanyiwa na wazazi wangu kwa waganga wa kienyeji roho ya kukataliwa naikataa katika jina LA yesu kuanzia sasa Mimi ni kiumbe kipya!
Wow pr. Mbaga unanibariki sana, najitahidi kuyaishi mafundisho Yako, 1 ya faida niliyoipata, nilikuwa na vidonda vya tumbo kwisha, maumivu ya uti wa mgongo kwisha, kwa kufyeka tu mazingira ya kanisa na kuyasafisha Kila j. Pili. Barikiwa sana
Kwa namna gani vidonda vya tumbo zilipona ndugu? . Nielimishe natamani kupata nafuu pia
AMEN AMEN AMEN. GOD SHOW ME MERCY. SPEAK INTO MY SITUATION. BY THE POWER THAT RAISED JESUS FROM THE DEAD, I COMMAND EVERY AREA OF MY LIFE TO RECEIVE LIFE!!!
Mungu akubariki San mafundisho mazuri nimebarikiwa sana Amen 🙏🙏🙏😚😚
Mungu alinde vyombo vyenu iki tuendeley kusikiriza Habari njema ,,mim niko burundi nanijifunza mengi kilakukicha kupitia mahubiri TV, ila natamani siku moja nikutane na pr David Mbaga.
Happy sabbath
Nafurahia kuona kwamba kuna mtu wa nyumbani tunakutania hapa kwenye hii meza kupata maneno ya MUNGU hakika tuzidi kubarikiwa haya maneno akawe na nguvu katika maisha yetu hivyo ile siku itakapo fika tuwe miongoni mwa wale watakae mpokea YESU KRISTO kwa shangwe na furaha tele
Asante Mchungaji
Ubarikiwe .Nasituombe kwa baba yetu kupitia kwa Yesu kristo
Nakushukuru pastor kwa mafundisho yako. Fundisho hili limenigusa sana linahusu maisha yangu na family yangu naomba uniombee nitoke kwenye roho za mizimu mungu akubariki sana
Pastor ubarikiwe zaid Kwa ujumbe huu mzuri wenye kutia nguvu,, naimani kupitia neno hili nimewekwa huru. AMINA
I have been blessed so much l am listening from Kenya Nakuru county
Ubarikiwe pasta nakupenda sana Mungu akuzidishe mara Elfu Elfu
Mtumishi wa Mungu Nimeenda kukufwatilia sana hivi hivi karibuni, nimejiona kabisa unasema na maisha yangu kabisa Mungu akuongezee upako.
Amen amen nimebarikiwa sana mtumish mungu aendelee kukupa nguvu 🙏🙏🙏
Hili SoMo , pastor umeyagusa maisha yangu, Yani ile mtu unachukiwa ukiwa unasoma duhu, mpaka lecture Yuko radhi akuharibie wewe ambae ndo upo chuo mpaka wizarani hili usichomoze maishani, unaweza chukiwa na kila unae kutana nae , tuombee mungu atupe roho ya kibali kukataliwa imetosha, make Vita ni nzito imetutesa miaka pastor,
Barikiwa sana pastor Wacha Mungu akucha na rohoo mtakatifu haendelee kukuongoza NAMI nataka usaidiz wakijua tofauti tofauti za roho alafu ukiolewa bila harusi utabarikiwa na Mungu au utaeza ama kwa iyo ndoa ,kwa sababu mazungumzo ya moyo ya kisiri yamenisumbua sana ingine inaniambia ndio hapana mpaka nashidwa
Umenibarik sana pastor 🙏
Niombe Pastor nimefika mwisho naitwa Elizabeth,umekua ukiniombea nashukuru.Mimi ni mkenya.
Niombee neema ya Bwana inifunike na Yesu anionekani kwa rehema zake katika ndoa yangu,Watoto wangu na Mume wangu,yaani familia yangu,Atufungue,atuondolee mambo ya giza na kwenye mateka ya shetani.
Asante
Natumaini unaendelea vizuri mtu wa Mungu
Balikiwa
Amina amina Mungu azidi kukutia nguvu Mtumishi wa Mungu na barikiwa sana nkiwa Lebanon
Somo nzuri pastor barikiwa,naamini Mungu atafungua njia nami nipate ajira❤
Nimebarikiwa sana kwa somo hili. Sifa na Utukufu ni kwa Mungu Baba Mwenyezi mwenye Upendo usio kifani kwani hutusamehe makosa yetu na kututakasa dhambi zetu kwa Damu Ya Yesu KRISTO BWANA NA MWOKOZI WA MAISHA YETU. AMINA.
Asante kaka pasta Mungu awe pamoja nawe,
Toa sadaka Sasa dadaa tuma hata M pesa
@@joshuaolomi3762 kwani somo likikubariki nilazima utoe sadaka
Hili nalo ni la kwangu , for sure God is working through you Mchungaji. I have really struggled to finish my education but still in vain ,
Namshukuru mungu kwa kuwa yeye ni mwema siku zote🎉.
Hili somo ni la kwangu kabxa.Barikiwa sana pastor wangu.
Nimebarikiwa sana mtumishi wa Mungu 🙏
Nikumbuke kwamaombi pia pastor 🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Nabarikiwa Sana na mafundisho yako wewe ni Mwalimu,Mungu akubariki
Mungu akubariki sana pastor umekuwa mbaraka sana kwa watu wengi
Asante mtumishi wa mungu akubariki na akulinde mafundisho yako safi
Amen PST ubarikiwe
Grorry to God
Ubarikiwe saana pastor
Kwa mara ya kwanza nimepata live
Hapa kutoka Australia.
Nabarikiwa sana , Mungu aendelee kukuinua ktk viwango vya juu zaidi.
Ubarikiwe na Bwana mtumishi
Amina
Shukrani sana kwa mafundiksho hii,inaongezea nguvu
Imani katika Yesu Kristu
Asanteni Pasteur umenibariki kwa somo hili
To God be the glory
Amina sana mtumishi🎉
🙏🙏🙏❤❤❤❤ Asitokee wakupinga ĥli somo linalohusu maagano hii ni hakika Mtumishi Mungu atusaidie 😂😂😂😂 nimecheka sn maana nina ushuhuda katika hili Ila tujue jambo 1 Mungu huangalia agano lake ili apate kulitimiza napia tusisahau kuwa adui naye huangalia kukuangusha ili agano la Mungu lisitimie hivyo Tuombe sn Neema ya Mungu toba na Rehema zake ili turithi pamoja na Kristo Amina
Amen! God is great ❤❤❤❤❤❤❤
Bwana Yesu Kristo asifiwe, ubarikiwe saana kwa somo zuri lenye baraka. Pastor Mmbaga Nina swali naomba kujibiwa: Ungesema Ayubu alimsingizia Mungu kwa kusema "Mungu ametoa na Mungu ametwaa". Je!? Sio sahihi kutumia kauli hii. Maana Huwa inatumika saana msibani hasa hasa kwa sisi wasabato.
Kwa kweli umenifundisha mambo mengi Hadi imebadili maisha yangu Barikiwa na bwana
Ahsante kwa mafundisho mazuri na ufafanuzi wa maandiko.
Mungu akubariki sana
This is powerful! Following from Nairobi.
Asante kwa mafundisho
Nakuuliza mutumishi wa Mungu kweli kabiza Yesu akirudi kujukuwa kaniza Dunia muzima wakitumbu inawekana watu woooote kupata uzima wa milele yaaani kuhenda mbinguni??????
Plz naomba jibu lako mutumishi wa Mungu ❤❤❤❤ napenda Sana mafundisho mazuri barikiwa sanaaaana
1 Timotheo 2:3 -4 Hili ni zuri, nalo lakubalika mbele za Mungu Mwokozi wetu; 4 ambaye hutaka watu wote waokolewe, na kupata kujua yaliyo kweli.
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏
Yaaani kwakweli wewe utumishi Mungu anakutumia sana kusimamisha imani yangu masomo yako yanaeleweka hakika Mungu amekupa neema yakufundisha
Asante kwa mafundisho ya kujenga batu kimbiliya
Amina sana..nimebarikiwa na mahubiri
Nimebarikiwa sana pastor niombee
Stay blessed pr David Mmbaga
Asante yesu naomba unijalie uponyaji katika koo langu nisiwe na mashaka ili nikutumikie
MUNGU akubariki sana mtumishi.
Nimebarikiwa na somo hili BWANA Akubariki sana.
Mungu awabarik nyote
Hii story yko inani furahiaanga sana mungu akubariki
Ubarikiwe mchungaji.
Nilikutana na mhadhiri ambaye hats sauti yangu alikuwa hataki kuisikia.
Uifanya mawasilisho ya kazi ukisoma sentensi mbili anakuambia stop mpe mwingine .Marks zake Sasa Dio usiseme.Nashukuru kwa kufunuliwa hili.Mungu nipiganie
Asante Yesu Amen Amen Amen 🙌🤲
Mambo mazito Sana.
Asante Kwa hili neno
Amennn❤❤❤
Unanibariki sana mtumishi wa Mungu, Mungu akuzidishe
Pastor Mimi huwanikiomba naongea dimi nsaidia
Nashukuru Mungu kwa ajiri Yako mcun 1:09:21 1:09:22
thank you lord
Mungu naamini utafuguwa maisha yangu
Mungo na habariki mtumishi wake,hii ibada ni Zuri hallelujah kwa masihi aliyemtuma
Mungu akubariki sana mtu wa mungu
Pastor mungu akubariki kwa mafundisho mazuri sana
God bless you 👏
❤ MUNGU atafungua elimu yangu
Kila siku hutuletea mambo mapya sasa niombee sana barikiwa❤
Amen 🙏
Pr huwa nakukubali sana shuhuda zako huwa zinanipa moto wa imani lakini changamoto yangu kubwa ni magonjwa kwangu na mume wangu na upandewa watoto wangu
Nimebakiw sana😊🙏
Ameen Ameen
mungu habarikiwe😂 hakubariki nawewe pia hanibariki namimi kwanzia leo Mimi nimushindi wazambi kwanzia sasa Hadi mirere
Mungu akuKumbuke maana wewe wanena yaliyo sahii
Amen ubarikiwe sana PR
Blessings pastor
Amina pastor
Hata Mimi natamani Mungu wako awe Mungu wangu
Ninaisubiri kwa hamu🙏🙏🙏🙏
AMEN
Nashuhudia kuwa Mungu anaendelea taratibu kuingilia mambo yangu
Preacher naomba utusaidie kujua nguvu ya msalaba maana 2na struggling katk kujua nguvu ya mungu barikiwa sanaa
Nimebarikiwa sana nimepata kitu hapa
Umenisaidia sana mchungaji
Hero Wangu ni Jeremiah,the man who was not Afraid.
Mungu tu aku bariki pasta
niko kazini lakini nafuatilia mafundishisho yako nabarikiwa sana mungu atubariki sote
Amina
Nime furai san kweli 🎉😂😂😂❤
😂😂
Ameen
Shalom mchungaji huko ni mbali sasa tutapata je hiyo kitabu mchungaji?
Amen
MUNGU ATUBARI ZOTE WAAAAA🎉
MUNGU akubariki sana
Nimebakiwa na mafundisho Yako sana.
Pastor, kwahiyo mpaka wanafunzi wake wote walikimbia 😅
Samweli
MUNGU AKUBARIKI BABA UMEGUSA MAISHA YANGU
Yohana