Amen nimebarikiwa sana na maubili yako Mchungaji Mungu wa mbinguni na akubariki sana . Nimefunguliwa kuanzia leo mambo yangu yote yamefunguka kwa Damu ya Yesu Amen
Namshukuru Mungu nilienda nimlifungua malango na nimepata kaz 😥jmn Mungu yupo huyu Baba kama alitumwa kuja kusema na mm mwanzo mwisho nilitamani nimfuate nimwbie Asante baba
Daah Mungu akubariki somo linabariki sana nilichelewa wapi! Daaaah Huyu mwalm toka nikiwa mdogo anafundisha redio free Afrika namsikiliza kwa kweli Mungu akutunze mwalimu nakupenda na nayapenda mafundisho yenye ufunuo
Asante bwana yesu kwa iyi njili. Imenifunguwa macho. Mungu apewe sifa kwa yale ametenda mahishani mwangu. Niehangalia iyi video nikiwa amarika kwa cumba, nirikuwa nimefungwa kwa minyororo ya shetani, arakini saa hiyi nasikiya ushindi wa yesu ndani yangu. Balikiwa mutumishi wa Mingu.
Najiunganisha na hii madhabau ya huyu mtume wako bwana kila madhabau nilizounganishwa nazo kwakujua au kwakutokujua ikavunjwe na hii madhabau ya mtumishi wako AMEN
Mafunzo ya msingi sana haya ila bila ya masikio ya roho hutaelewa hata mstari mmoja. Asante mwl Christopher. Mwaka huu umekuwa na mafunzo ya msisitizo sana.
BWANA YESU amuponye maana hakuna Jambo linalo shindika mbele zake tazama tumepewa mamulaka yakukanyaga Inge na nyoka YESU amuponye maana hakuna Jambo linalo shindika mbele zake
Eee bwana yesu najiunganisha na maombii haya malango yote yang yaliyofungwaa naifungua kwa damu ya yesu nijifungue salama kama wanawake wa kiebrania this week amen
Ee mungu naomba utuonekanie kwnenye malango yako ya biashara familia ya neema mshani na ukatubariki na kutuongoza kukujua ww na ukatuepushe na hila zote za maadui na unibariki mm charles solo. Natokea chunya mjini na ukanifungulie malango yangu yote yalio fungwa na nguvu za giza amina
Asante mwalimu kwa mafundisho. Bwana anapendezewa na wewe. Maana tunazidi kumjua na kumwamini kupitia mafundisho hayo. Jina la Bwana liendelee kutukuzwa
Hakika nimemuona Mungu akinipatia majibu,kaniletea mafundisho haya majira ya saa tisa usiku,Mungu akututunze Mwl Mwakasege wewe ni tunu,unstuonesha njia ya mbinguni lkn pia njia za kushinda na kupata amani ktk maisha haya ya utumishi.
Mungu uliyeniumba naomba utaangulie mbele yangu leo nipate baraka za isaka petro na yakobo ziwe juu yangu kwa sifa na utukufu wa Mungu aliyetuumba siku ya leo
Mungu akuongoze ktk njia zako mtumishi wa Mungu na akuongezee miaka ili uendelee kutuubiria injili barikiwa sana mtumishi wa Mungu Emmanuel from Kenta.
Ee Mungu najua napitia changamoto nying katika masomo yangu pia na kazi ila 2024 lazima malango yafunguke ..Naamin Mungu wangu utawashangaza wengi 🙏🙏
🎉😊
you yyy y6
Ameen 🙏🏿
Jesus Christ 🙌🏽 🙏🏿 nakuomba 😇🙏🏿
A year later, nimesikiliza hii video and prayed na Mungu amafungua malango yangu. Mungu ni mwema sana🙏.
Amen nimebarikiwa sana na maubili yako Mchungaji Mungu wa mbinguni na akubariki sana . Nimefunguliwa kuanzia leo mambo yangu yote yamefunguka kwa Damu ya Yesu Amen
Ninafungua malango yangu ya fulsa kupitia neno hili la mwl MWAKASEGE!ubarikiwe sawa MTUMISHI WA MUNGU
Namshukuru Mungu nilienda nimlifungua malango na nimepata kaz 😥jmn Mungu yupo huyu Baba kama alitumwa kuja kusema na mm mwanzo mwisho nilitamani nimfuate nimwbie Asante baba
Mwamini Mungu anaemwamini Mwl. Mwakasege
Hongera endelea kumuombea
Endelea kumwamini Kristo!!!!!
Honger
Naomb nichek
Daah Mungu akubariki somo linabariki sana nilichelewa wapi! Daaaah
Huyu mwalm toka nikiwa mdogo anafundisha redio free Afrika namsikiliza kwa kweli Mungu akutunze mwalimu nakupenda na nayapenda mafundisho yenye ufunuo
Mungu akupe miaka mingi mwlm Christopher mwakasege uendelee kutulisha neno lako
AMEN
Asante Mungu kwaajili ya maisha ya mtumishi wako, mwl. Christopher Mwakasege.
Sifa na utukufu ni vya kwako maana unastahili.
❤❤❤❤
Hapana sifa na utukufu ni kwa Mungu aliyempa hekima na huduma ya ualimu
Asante bwana yesu kwa iyi njili.
Imenifunguwa macho. Mungu apewe sifa kwa yale ametenda mahishani mwangu.
Niehangalia iyi video nikiwa amarika kwa cumba, nirikuwa nimefungwa kwa minyororo ya shetani, arakini saa hiyi nasikiya ushindi wa yesu ndani yangu. Balikiwa mutumishi wa Mingu.
Najiunganisha na hii madhabau ya huyu mtume wako bwana kila madhabau nilizounganishwa nazo kwakujua au kwakutokujua ikavunjwe na hii madhabau ya mtumishi wako AMEN
Amen mungu atufungue vifungo vyote tulivyofungwa mimi nafamilia yangu kwa jina la yesu
Ameen 🙏🏿
Mafunzo mazito sana haya. Utukufu kwa Mungu aliye hai. Ubarikiwe sana Mwl Mwakasege.
Mungu nakushukuru kunibadirisha kiimani naomba unisaidie nikushike mungu wangu nifungue mapito ninayo yapitia
Ubarikiwe mtumishi wa Mungu aliye hai
@@dullawax8799GG
Mafunzo ya msingi sana haya ila bila ya masikio ya roho hutaelewa hata mstari mmoja. Asante mwl Christopher. Mwaka huu umekuwa na mafunzo ya msisitizo sana.
Mungu nifungue maisha yangu..niondoe katika madhabahu ya familia... Ubarikiweee sana mtumishi wa Mungu.. Amina
Mungu anipe Hekima kwenye kila kitu ninachokifanya na anitimizie makusudi yake Amina.
Ahsante MUNGU kwa Neno hili, maana umenitendea mambo makuu sana katika maisha yangu
Asante kwa mahubiri yako mtumishi naomba uniombee nipate kazi na amani katika ndoa yangu pia mume wangu akombolewe kutoka kwa giza
😂asante kwa mahubiri yako mtumishi niombee nitoke gizani
Mungu akubariki Sana mtumishi, pia ninaomba mungu aniponyee mdogo wangu afunguliwe anaumwa tumbo kwa mda mrefu,ee mwenyezi mungu ninaomba unisikie.
Pole Mungu atamponya
BWANA YESU amuponye maana hakuna Jambo linalo shindika mbele zake tazama tumepewa mamulaka yakukanyaga Inge na nyoka YESU amuponye maana hakuna Jambo linalo shindika mbele zake
Juu ya mwamba huu familia yangu ikakusifu Mungu sikuzote na kujengwe juu ya mwamba na kutuweke huru
Laban chivole from Kenya nimefatilia mafundisho yako toka 2002&has helped me a lot God bless you man of God 🙏
Mwalimu unafundisha Mungu azidi kutufungua masikio ya kiroho tupate kumjua zaidi na zaidi Ubarikiwe sahna🙏
Asante sana Mwalimu Christopher Mwakasege.., kunakitu nimepata leo.
Mwenyenzi Mungu Azidi Kuibariki Huduma yako ya Mana!!!!!!!
Haya ni maneno ya Roho wa Mungu aliye ndani yako Mwal Mwakasege, Barikiwa sana wewe na familia yako kwa ajili ya utukufu wa Mungu
Amen
Emungungoyeye
Eee Baba mwenyezi muumba wa mbingu na aridhi naleta kwako ombi langu pepo wa chafu hawana mamlaka mbele Yako nisaidie bwana 🙏🙏
Nimebarikiwa kwa kweli kuna cha kujifunza katika maandiko haya na maneno yatokayo kwako mwalimu
Unatumiwa na mungu kwa viwango vya juu sana mwakasege mungu akibariki mteule
Najikabidhi Kwa Mungu wangu Mimi na familia yangu atuondolee roho zakuandamwa vifungu vya kukosa kazi
Eee bwana yesu najiunganisha na maombii haya malango yote yang yaliyofungwaa naifungua kwa damu ya yesu nijifungue salama kama wanawake wa kiebrania this week amen
Asante mungu kwa neno lako hakika malango yamefunguka kwa jina la yesu🙏
Grace,Mtumishi wa mungu naomba ombea Mama yangu ili mwenyenzi mungu anene uhai kwa maisha yake apate kutembea tena Katika jina la yesu kristo Amen
Baba naomba mungu akubariki sana naomba uniombee kwa sababu ya ndoa yangu shetani anaiaji kuivuluga sina tumaini isipokua ni yeye yesu , amina
MUNGU wangu naomba utuponye mimi na familia yangu watoto wangu wakawe kichwa Amina
Neno la Mungu ni jipya kila siku asante sana Mtumishi
Ahsante Sana Mungu wetu uliye mwema. Ahsante kwa jinsi unavyomtumia Mtumishi wako kwa ajili yetu. Nunakuomba uzidi kumpa neema na kibali
Ninamkomboa mwanangu Elibariki ktk kila sehemu aliyofungwa na adui. Amen
Vitu vingumu sana hivi bila ufahamu wa Mungu hautaelewa,,,Baba Mungu azidi kukutunza
😮
Nimebarikiwa sana na mafundisho haya 🙏🏽💯%
Ee mungu naomba utuonekanie kwnenye malango yako ya biashara familia ya neema mshani na ukatubariki na kutuongoza kukujua ww na ukatuepushe na hila zote za maadui na unibariki mm charles solo. Natokea chunya mjini na ukanifungulie malango yangu yote yalio fungwa na nguvu za giza amina
Amen, ubarikiwe San mtumishi wa MUNGU, Nina Imani nimepata kaz Kwa maombi yako.
Ameen nibarikiwa
Ameni mtumishi wa mungu naomba mungu akamponye mtoto wangu tumbo linamsumbua
Sana naamini atafunguliwa kwa jina la Yesu
Ameeen napokea roho ya maombi kwa Jina la YESU🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Ameen na pokea kufunguliwa kwa malango kwa jina la yesu Ameen
Nguvu za Giza zimesabaratishwa na,neno lolote linaloinuka kinyume na maisha yetu kuteketea.
Nguvu za Giza zimesabaratishwa na,neno lolote linaloinuka kinyume na maisha yetu kuteketea.
Ameen 🙏🏿
amina mwalimu Mungu akupe maisha marefu
Ubarikiwe sana nimepata kitu Cha tofauti MUNGU andelee kukupa nguvu ktk huduma hii
Mungu akutenzecMwalim na mama mlitumikie shauri la Bwana
We mungu niondolee roho ya hasira na maamuzi ya haraka nipe kufikiria kwanza
NIMEBARIKIWA SANA NA SOMO HILI,,,,,BWANA YESU ASANTE KWA UTETEZI WAKO JUU YANGU NA UZAO WANGU.... AMEEEEN TENA AMEEEEN
Ameen Mtumishi wa Mungu naomba uniombee Mungu anipe Mume ninaamin Kwa Mungu anapatikana 🤲🤲🙏
Asante mwalimu kwa mafundisho. Bwana anapendezewa na wewe. Maana tunazidi kumjua na kumwamini kupitia mafundisho hayo. Jina la Bwana liendelee kutukuzwa
Amen na kwamini Mungu utafanya zaidi ya mawazo yangu maan wewe Mungu ulinijua toka sija zaliwa ivyo hatima yangu iko kwako Mungu.
Mungu naomba uniondolee roho ya kiburi cha uzima. Nipe kuutafuta uso wako na mengine Nita ongezewa toka kwako
Miamba ya Yesu Kristo mmbarikiwe sana napenda sana mahubiri yako na mpakwa mafuta Katunzi .
Asante baba kwa mafundisho matamu kweli kweli mbarikiwe sana. Ammmmeeeen
Ameen
Mungu aendelee kukutumia Mr mishi wa Mungu jimejifunza kitukipya
Baba naomba unifungulie mlango wa kazi na ubariki familia yangu🙏🙏🙏
Mungu azid kukutumia kwa viwango vikubwa baba
Mungu azidi kukulinda babayetu wakiroho
Amina naomba mungu akafungue milango yang ya baraka na kwenye mitihani yang ya necta nifaulu kwa damu ya yesu 🔥
Namwomba Mungu anisaidie niweze kuomba kila siku bila kuchoka..naomba Damu ya Yesu inifungie kila kifungo
Ameen 🙏🏿
Asante yesu Kwan kumuanda mtoto wako kwaajili yawatanzania na inchi nyingine,
Mungu akutunze mwalimu mwakasege, kweli wewe ni baraka katikati yetu.
Huyu ndugu ni BARAKA KWA TAIFA
Eeeehh mwenyezi mungu najikabizisha mbele zako na hii ibada takatifu
Naomba mungu mm na familia yangu.ayafungue Maisha yetu ameen
Amen mungu ukabariki malango ya familia yang,watoto wangu na kila nigusalo likabarikiwe
Amina Hakika nimebarikiwa na Naamini nimefunguliwa kila kifungo kilichokuwa kimenifunga katika Jina la YESU KRISTO AMEN 🙏🙏🙏🙏
HALEYUYA
Stell we need your presence dad
EEEH UNAJUA NINAYOYAPITIA KWA SASA NAOMBA UNIKUMBUKE AMEN 🙏
Naomba uwasaidie watoto wetu kutengeneza mahusiano MAZURI na Mungu.
Amina🙏
Uyu baba jamn Mungu uendelee. Kumpa miaka mingi
Mungu naomba UNIPE funguo. zote katika maisha yangu ili niweze kuyatimiza mapenzi yako🩸🩸
Hakika nimemuona Mungu akinipatia majibu,kaniletea mafundisho haya majira ya saa tisa usiku,Mungu akututunze Mwl Mwakasege wewe ni tunu,unstuonesha njia ya mbinguni lkn pia njia za kushinda na kupata amani ktk maisha haya ya utumishi.
Amen uwe na uhakika hata kama Goliathi amelitukana Jina la majeshi ipo chapio ya Daudi oooh Haleluya...
Mungu Asante kwa kuwa unatupenda sana
Ubarikiwe mtumishi.....Mungu wa mbinguni azidi kufanya kitu ndani yako......
Thanks lord.
Ameen Ameen Ameen 🙏🏿 Asante Yesu Kristo Mwana Wa Daudi 😭 nimepokea kwa Imani 😇 Mimi Meshack Stephano Petro Kuingia nchi ya ahadi kanani😇🙏🏿
Nakupenda sana baba unaongozwa na roho wa Mungu mwenyewe
Nime barikiwa katika jina la Yesu na kumfunga Mumewangu Asitamani Mwanamke mwengine katika jina La Yesu
Hahaahaha
Unamfunga asitamani mwanamke unajuwa unamfunga na ufahamu wake kazi Mipango kila kiti😅
Mungu akubariki sana mtumishi Mwakasege🇹🇿
Mungu akubariki mtumishi.
Mungu aendelee kukutumia kwa viwango vya juu.Amen.
Amen Mungu akulinde akupe maisha marefu na wajukuu zetu wapate mafundisho ya Kristo kupitia wewe
Ubarikiwe na. Mwenyezi Mingu,kwa mafundisho haya.Sema tupone!!!!
Najiunganisha na Madhabahu hii mimi na familia tufunguliwe kila vifungo viliyowekwa maishani mwetu vifunguke kwa Jina la Yesu. AMEEEN
Nimebarikiwa kwa Neno Mtumishi
Mungu wa mbinguni azidi kukutunza mwalim
Ameeeen barikiwa Mtumishi wa Mungu
Utukufu na heshima vimrudi bwana wa majeshi AMEN AMEN 🙏
Mungu uliyeniumba naomba utaangulie mbele yangu leo nipate baraka za isaka petro na yakobo ziwe juu yangu kwa sifa na utukufu wa Mungu aliyetuumba siku ya leo
Ameen 🙏🏿
Malango ya familia yangu yafunguliwe Leo katika jina la YESU 🙏
Ameen
Mungu akuongoze ktk njia zako mtumishi wa Mungu na akuongezee miaka ili uendelee kutuubiria injili barikiwa sana mtumishi wa Mungu Emmanuel from Kenta.
Mungu akubariki mtumishi nina imani kwa mafundisho yako na maombi yako leo nina imani naenda kufuliwa malango niliyofungwa ya kukosa kaz
Mungu nakuomba uniondolee roho ya hasira na kufikiri
Amen 🙏 🙏 🙏 mtumishi wa mungu aki wanielimisha sana kiroho mungu akuzidishie kwa neno zuri
Ubarikiwe mtumishi wa mungu asante kwa ujumbe huu
Amen. Mwalimu mnyenyekevu na mwenye hofu ya Mungu na mtulivu. Ninamshukuru Mungu nafaidika sana kwa mafundisho yake.
Mungu AKUPE AFYA njema Mwl. Mwakasege🙏🙏
najiungamanisha na naombi haya malango yangu yakapate kufunguka niponywe mimi na familia yangu amen
Mwakasege kwa sasa sijapata mwalimu kama wewe unafundisha unafundisha tunafundishika halelujah
Mungu asante kwa silaha hii umefanya mikononi mwako kuondoa giza nene machini pangu barikiwa sana mtumishi
Barikiwa sana Mwalimu nakuelewa sana🎉🎉🎉🎉🎉
Amina kwa neno lako na amini nitafu nguliwa mungu mbariki mtumishi wako
Amina mtumishi ubarikiwe sana
Asante Yesu kwa ajili ya mtumishi wako
Asante MUNGU ulietupatia huyu Baba mwenye utayari mkubwa wa kuokoa roho zetu, tupate wapi tena mtu kama huyu
Asante Yesu Kwa urejesho wako barikiwa sana watumishi wa Mungu
YESU aendelee kukutunza baba watt wangu na kazi yangu MUNGU akaonekane🙏🙏
Leo mungu amenifunulia kitu kikubwa sana .barikiwa mtumishi wa bwana