Hakika Mungu anasema na sisi muda wote, kuanzia jana Roho inashuhudia nisikilize mahubiri ya Mwakasege leo nimeamka nikaweka bando Kumbe Mungu alitaka nifunguliwe kupitia semina hii aisee nikiwa peke yangu ndani nimemuona Mungu kwa namna ya ajabu sana nimetapika kupitia hayo maombi kuna sauti naisikia inaniambia nitamke moyo wa paka niliolishwa niutapike leo nikaanza kukemea aisee Mungu ni mkubwa sana akiamua hakuna wa kuzuia maana niliota miaka mingi sana bibi yangu ananilisha linyama lipo kama moyo tena ukiwa unahema na damu nyingi mkononi. Miaka 20 iliyopita leo hii ni mama wa watoto 4 Mungu amenipa jawabu juu ya ile ndoto. Sifa na utukufu namrudishia Mungu aliyeniumba hakika yeye Alfa na Omega
Yesu ulie hai nakuja kwako kwa Toba utusafishe kabisa kwa Damu yako ya thamani ,Mungu wa Mbinguni msaidie mzaliwa wangu wa 1 Kama lango afunguliwe Malango yake yote Yesu Sikia kuomba kwangu
Mwalimu Leo Nimeota Ndoto Kwamba Wewe Kuna Mahali Ulikuwa Haiafu Pembeni Kuna Mwanamke Anaumwa Uchungu Wakujifungua Wakati Unaomba Kuna Mama Alikuwa Pembeni Ukamwambia Amsaidie Hakuweza Nikatokea Nikaita Damu ya Yusu Nikampokea Mtoto Sielewi Maana Yandoto Hii
Mungu awabariki Sana Mwalimu Christopher Mwakasege Kwa Somo zuri Sana nimejifunza sanaaaaa nilikua sijui ivi vitu.
Hakika Mungu anasema na sisi muda wote, kuanzia jana Roho inashuhudia nisikilize mahubiri ya Mwakasege leo nimeamka nikaweka bando Kumbe Mungu alitaka nifunguliwe kupitia semina hii aisee nikiwa peke yangu ndani nimemuona Mungu kwa namna ya ajabu sana nimetapika kupitia hayo maombi kuna sauti naisikia inaniambia nitamke moyo wa paka niliolishwa niutapike leo nikaanza kukemea aisee Mungu ni mkubwa sana akiamua hakuna wa kuzuia maana niliota miaka mingi sana bibi yangu ananilisha linyama lipo kama moyo tena ukiwa unahema na damu nyingi mkononi. Miaka 20 iliyopita leo hii ni mama wa watoto 4 Mungu amenipa jawabu juu ya ile ndoto. Sifa na utukufu namrudishia Mungu aliyeniumba hakika yeye Alfa na Omega
Jina la Bwana lihimidiwe
nimebarikiwa na ushuhuda mzuri .....
Amern
Emen emen
Ubarikiwe sana mwalimu kwa somo hili binafsi nimepokea kwa kupitia mtandao ,Mungu akutunze sana uwe na maisha marefu uendelee kutumika ktk bwana❤
Mungu akuba riki mtumishi wa mungu ni papy kutoka inchini Congo Kinshasa Amina
Nabalikiwa sana kutoka dar Mungu azidi kufungua zaidi malango yangu
Ameen napokea na naelewa Jina la Mungu litukuzwe juu mbinguni
Bwana mungu naomba unifundishe kuomba malango naona malango yangu yamefungwa
Ee,Mungu unirehem mimi mtumishi wako kwa kufanya uzembe juu fursa ulionipa
Kutoka Kenya, nimebarikiwa sana..... Mungu akupanue zaidi ili nijifunze zaidi, barikiwa mtumishi wa mungu.
Yesss Mungu fungua malango yangu yote kwanzia sasa ivi yale yaliyokua ymaefungwa naomba uyafungue na nikayaone katika ulimwengu wa mwili emen
Ee Mungu wa Mbinguni kupitia Jina la Yesu awafungue watoto wangu Malango yao yafunguliwe siku ya Leo kupitia somo hili Amen
We mungu naomba unifumbue mawazo juu ya kazi zangu naona haziendi kama ninvyokua nimepanga
Mungu azidi kukubariki baba
Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu najifunza mengi sana na imani mungu atafungua malango yangu
Mungu mwema Leo nimefunguliwa macho ya rohoni na mawazo yangu in Jesus name amen
Mungu nimwema kila wakati
Ameeen Halleluyah Nabarikiwa Sanaa....Mwl Barikiwa Sanaa
Asante MUNGU
Ninabarikiwa sana namafudisho yako kwazia jana nakusikiza tu najua ni mungu amenileta katika hapa
THANK YOU GOD
UBARIKIWE mwalimu Mungu azidi kukutumia jinsi apendavyo...
Aminaa kubwaaa
Ameni
Amina.
I wish my brothers and sisters who do not speak Swahili will hear this powerful and timely teaching!
Amen
Ameni
AMEEN
Amina nabarikiwa kutoka Italia
Asante Yesu,ubarikiwe Mwl.C.Mwakasege.
Nena namm ee Yesu ww ni ngome ya MAISHANI mwangu
Thanks Mwal Mwakasege., God Bless You Mtumishi
Yesu ulie hai nakuja kwako kwa Toba utusafishe kabisa kwa Damu yako ya thamani ,Mungu wa Mbinguni msaidie mzaliwa wangu wa 1 Kama lango afunguliwe Malango yake yote Yesu Sikia kuomba kwangu
Naomb uniombee maisha yangu kiujumla ciyaelewi afya Yang mimi ni lango la kwanz ila cioni nikisonga mbele
Omba Mungu kwa kutumia neno lake atakupa aja ya moyo wako
Amina mtumishi mungu azidi kukutia nguvu
Ameen MUNGU fungua malango ya fursa zangu
Amina mtumishi❤
Nabarikiwa sana Baba, mungu azidi kukubarki sana
AMEEEN
He MUNGU NIFUNGULIE MALANGO YANGU MIMI EMILIANA PHILIMONI
Amen thanks
Bwana nomba unifundishe kuomba
Amina baba
Amen
Amina
Ameen Baba
Mwalimu Leo Nimeota Ndoto Kwamba Wewe Kuna Mahali Ulikuwa Haiafu Pembeni Kuna Mwanamke Anaumwa Uchungu Wakujifungua Wakati Unaomba Kuna Mama Alikuwa Pembeni Ukamwambia Amsaidie Hakuweza Nikatokea Nikaita Damu ya Yusu Nikampokea Mtoto Sielewi Maana Yandoto Hii
Mtumishi Mimi niliota kwamba tumesimama wawili lakini nikawa nimefunikwa na utando wa buibui usoni na yule mwenzangu alikuwa anautando kidogo usoni
Amen 🙏
Emen
Davistamata
Stera ngoneta
Stera ngonera
Naomb uniombee maisha yangu kiujumla ciyaelewi afya Yang mimi ni lango la kwanz ila cioni nikisonga mbele
Nimebarikiwa na somo,Mungu akubriki Mwalimu
Aminaaa
Amen 🙏
Amen
Amen
Amen
Amen