MAOMBI YA KUVUNJA VIZUIZI by Innocent Morris

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 730

  • @AdmiringBeachHammock-qv3nk
    @AdmiringBeachHammock-qv3nk 16 дней назад +1

    Mungu wangu naomba kila vizuri vilivyokaa mbele yangu,watoto wangu,mume wangu,kila eneo la maisha yetu kiondoke nakifurusha kikaangu kwenye shimo kisichotoka na kushindwa na kuisha nguvu Kwa jina la yesu Kristo Mwana wa Mungu ulie ulie hai Amina

  • @monicahwayua9112
    @monicahwayua9112 5 месяцев назад +3

    Kila kizuizi kilichowekwa kinyume na maisha yangu nisipaate ndao nakivunja kwa damu ya Yesu kivunjike kivunjike kwa jina la Yesu kila mlango wote uliofungwa kwa maisha yangu nauvunja kwa jina La Yesu.😊

  • @GinkiLuRo
    @GinkiLuRo Год назад +5

    Vizuizi juu ya watoto wangu, ndoa yangu, kazi yangu na afya yangu navivunja vyote leo kwa jina la Yesu... Vunjikaaa Yeremia 1:10

  • @blandinaabdul7232
    @blandinaabdul7232 11 месяцев назад +2

    Asante yes Kristo kwakunifungua 🙏 😢naamini hii wiki nitabarikiwa ameni 🙏 yesu nakupenda ❤️

  • @AthaJohn-i5v
    @AthaJohn-i5v Год назад +3

    Ee bwana yesu nakuomba ukaondoshe vizuizi vyote vilivyo katika ndoa yangu,maisha yangu,familia yangu,na maisha yangu bwana nakuomba ukavivunje vyote bwana mana hakuna mungu kama wewe bwana. Ee mwokozi wangu nakuomba ukanijibu maombi yangu kumi na mbili. Kama ulivyo mjibu sara na Anna kama ulivyo mjibu yusufu na danieli nami unijibu leo bwana kwa damu ya mwanao yesu krsto

  • @jacquelinelukambuzi5085
    @jacquelinelukambuzi5085 Год назад +2

    Kila kizuizi kwenye maisha yangu kibomoke kwa jina la Yesu Kristo

  • @MupenziClovis
    @MupenziClovis 9 месяцев назад +1

    Yesu kristo unitangulienajiandaa kwa jili ya ndoa naomba uniondolee kila kizuizi ndani ya safari hiyo na pia naomba bwana yesu umsaidie mpenzi wangu awez kugutegemea kwa kila kitu Anacho kifanya bwana yesu tunaomba ututumie loho mtakatifu azidi kutuongoza na kutushauli cha kufasha siku zote za maisha yetu katika jina la yeweza yesu kristo naomba nikushukulu ameeeen

  • @marykariuki9842
    @marykariuki9842 8 месяцев назад +3

    I declare and decree that no barrier will come on my way in jesus mighty name 🙏

  • @neatnessmwanga8653
    @neatnessmwanga8653 7 месяцев назад +1

    Mungu wangu! Yesu wangu! Nisaidie kuvuja vizuizi vyote vilivosimama juu yangu, juu ya maisha yangu na uzao wangu; kwa jina na kwa damu yaYesu kristo!

  • @DevothaModestus
    @DevothaModestus 8 месяцев назад +3

    Kiukweli haya maombi nimesikiliza nimemaliza kusikiliza mpaka sasa hivi sina nguvu naandika huku mikono inatetemeka nimefunguliwa asante mungu kwa maombi haya from Malaysia 🇲🇾 🇲🇾🙏

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj Месяц назад +1

    roho zamauti kwenye familiar yangu kamata moto motooooo wadamu yayesu

  • @esterjuma827
    @esterjuma827 8 месяцев назад +1

    Asante yesu kwa kunifungua katika kila vizuizi kwenye kila eneo kwenye maisha yangu 🙏

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 6 месяцев назад +1

    Kila kizuio kilicho katika njia yangu au kifungu chochote kile yesu ukifungua week hii yesu tuweze kulipa madeni haya yesu nakupenda sana nakutegemea

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 6 месяцев назад +2

    Ee Mungu niondlee kizuizi cha kutokupata miradi kwenye shirika langu

  • @zainatyzaza5811
    @zainatyzaza5811 Год назад +3

    Amen Amen ninafurahi milango yangu imefunguka Asante munguwangu kwakuni funguwa milango yangu imefunguka aleluyaaaaa💃💃💃💃💍👰‍♂️🗣

  • @hildampanda
    @hildampanda Год назад +1

    Nimepokea Kwa jina la yesu ñimevunja mabaya yote kwangu Kwa jina la yesu wanaonifutilia washindwe na kuvunjwavunjwa Kwa jina la yesu bwana yesu nitangulie

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 4 года назад +44

    Damu ya yesu initetee, kila mlango uliofungwa juu yangu, nafungua kwa damu ya yesu

  • @Rm2024-x3d
    @Rm2024-x3d 10 дней назад

    Mungu wangu leo navunja kila aina ya kizuizi kinachonizuia kutoka hatua moja kwenda hatua nyingine ninakivunja leo na kuvisambaratisha kwa damu ya Yesu havina nafasi katika maisha yangu. Amen

  • @evasambila8529
    @evasambila8529 10 месяцев назад +2

    Naomba Mungu aendelee kuniletea Kwa kuvunja vizuizi, malango ya vizuizi vinavyofanya magonjwa kusakama mwili wangu,Yesu wewe ndio mkombizi wa maisha yangu nami nasema nimepona Kwa Damu ya Yesu kristo.Ameen

  • @TeblaMuyava
    @TeblaMuyava 16 часов назад

    Damu ya Yesu inizingire pamoja na uzao wangu katika jina safi la bwana wetu yesu kristo 🙏

  • @barakayamo6996
    @barakayamo6996 День назад

    Baraka najiunganisha na maombi haya yakuvunja vizuizi vinavozuia maisha yangu kusonga mbele kiroho,uchumi,kimwili na elimu kwa watoto wangu amen

  • @BeatriceNgeleza
    @BeatriceNgeleza 5 месяцев назад +1

    Ninavunja kila aina ya vizuizi katika maisha yangu watoto wangu kazi zangu ndugu zangu kwa damu ya yesu aliye hai

  • @selemanathuman1791
    @selemanathuman1791 9 месяцев назад +2

    Ee bwana yesu ondoa kila ainaya kizuizi kinacho zuia katika familia yangu naimanutatenda kadri ya uwezo wako

  • @MaglutoKime
    @MaglutoKime 7 месяцев назад +3

    Kila kizuizi kichopangwa kwenye maisha yangu, kazi yangu, familia yangu ninakitangua katika jina la yesu kristo. Ninafungua milango ya baraka na mafanikio yangu kwa jina la yesu.

  • @EmmyLoy-mj3dt
    @EmmyLoy-mj3dt 6 месяцев назад +1

    Baba Kwa Jina la Yesu Naomba unitete Mimi na watoto wangu na Uvunje vizuizi vinavyozuia baraka kwenye uzao wa Tumbo langu. Fungus Mlango huyu ng'ombe Apate mteja atakakaemchukua Kwa bei nzuri Kwa Damu ya Yesu na Kwa Jina la Yesu Kristo

  • @AliceJuma-v4g
    @AliceJuma-v4g 7 месяцев назад +1

    Kila zuizi lililofungwa katka maisha yangu katka biashara yangu nafuta kwa damu ya yesu amen

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 6 месяцев назад +2

    Bwana Yesu uniondelee vizuizi vyote vinavyozuia mipango yangu ya miradi SIHA na nyumba yangu kuuzika

  • @Neema-h2t
    @Neema-h2t Год назад +2

    Ee mwenyezi MUNGU vunja vizuizi vyoye vinavozuia nisifanikiwe katika maisha maisha yangu

  • @estherwanjalanyongesa
    @estherwanjalanyongesa 3 месяца назад

    Vizuizi juu ya maisha yangu, ndoa yangu na kwa biashara yangu navunja vyote leo katika jina la yesu.

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 Год назад

    Yesu nione yesu niguse nifanikishe kujenga yangu kwa mikono yangu 👏👏👏 i

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 4 года назад +10

    Kwajina la Yesu navunja kila vizuiz vyote vilivyoko mbele yangu kweny biashara zangu navunja navunja kwa kuna La YESUkristo wanazalet Mungu alie hai Mweza ya yote mmliki wa kila kitu! Pumzi yangu , uhai wangu watoto wangu wazaz wangu kila kitu kiko mikononimwako🙏🙏 navunja leo miamba yotee naaungusha chini kwajina la Yesu🙏🙏🙏

  • @MarkayaMarkaya-p5p
    @MarkayaMarkaya-p5p 6 дней назад

    Ee bwana yesu unitangulie kwa Kila vizuwizi katika Kila eneo LA maisha yangu na Familia yangu na kwa watoto wangu katika masomo Yao na maisha yao

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +2

    Amen Natangaza katika ulimwengu wa Roho na mwili kwa kunifungua kwa Damu ya Yesu

    • @kisurajohn-ws5pz
      @kisurajohn-ws5pz Год назад +1

      Natangaza ktkt dam yayesu nimefunguliwa ktk vizuizi

  • @JoyceOdera-x7l
    @JoyceOdera-x7l 5 месяцев назад

    Amen amen ameeeni mungu akutie nguvu mutumishi Morris na akujaze nguvu za roho mtakatifu kwa jina la baba mwana na roho mtakatifu amen

  • @FannylaNiFa
    @FannylaNiFa Год назад +3

    Ameeena, ninajisikia na ninaamini yakwamba mirango mibaya yote Papa God amefunga na akafunguwa mirango mipya halleeluiaaa ninakushukuru Baba na tunabariki pia mchungaji umutendee wema......Mungu tunakushkuru milele Amen🙏🏽😭

  • @barakayamo6996
    @barakayamo6996 День назад

    Baraka najiunganisha na maombi haya yakuvunja vizuizi vinavozuia maisha yangu kusonga mbele kiroho,uchumi,kimwili na elimu kwa watoto wangu

  • @nextlevel3464
    @nextlevel3464 3 года назад +1

    Yesu tufungulie milango na pia vizuzi zinazo fanya tusiendele mbele.tunaomba hao kwa njia bwana Yesukristo Amina

  • @bettycherop9405
    @bettycherop9405 Месяц назад

    Amen 🙏 Amen 🙏 Ee mungu naomba ukaniondelee vizuizi katika jina lako kiristo Amen

  • @ResparGirbert
    @ResparGirbert 9 месяцев назад

    Amen Amen ninaita Damu ya YESU kwa kila mlango uliofungwa juu yangu

  • @pasquinalupango3239
    @pasquinalupango3239 3 года назад +2

    Vizuizi ni vingi mbele yangu ee yesu naomba unitangulie navunja milango yote iliyosimama mbele yangu nabomoa katika jina la yesu Ameee👏

    • @joycekaili3743
      @joycekaili3743 2 года назад

      I connect my self i brake all covenant made against me uchawi mahasidi wote

  • @Jitta-h3s
    @Jitta-h3s 2 месяца назад

    Asanteeee baba Leo nimefunguliwaaa 🙏🙏🙏🙏🙏Nakupenda Yesu❤️niliteseka sana 😭Yesu Ahsanteee🙏❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @carolyneliona9866
    @carolyneliona9866 2 года назад +1

    Najiunganisha na haya mathabau kubomoa kunguvu za kiza na vizuizi vyote vilivyomo ktk Familia yetu na maisha Yangu ktk jina la yesu kristo 🙏🙏 amen,ubarikiwe mutumishi Kwa uchumbe huu wa kujenga kiroho.

  • @naeema8155
    @naeema8155 6 месяцев назад +1

    Kila kizuizi kilichopo kwenye maisha yangu na familia yangu watoto wangu ndugu zangu nakwenda kukivunja kwa damu ya Yesu kristo aliye hai

  • @AAoo-c8f
    @AAoo-c8f 6 месяцев назад

    Ooooh yes lord nitangulie bwana ninatamani kufika 🙏🙏 maana bila ww siwez 🙏🙏 kutana na hitaji la moyo wangu 🙏 🙏🙏

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 2 года назад +1

    Asante sana mtumish kwa kuniongoza maombi haya mazuri,naamini dam ya Yesu inaenda kunena jambo jipya kwangu kupitia haya maombi,Amen🙏🙏

  • @NellyRandu
    @NellyRandu 6 месяцев назад

    Amen mtumishi wa mungu uzidishwe kwa Jina la yesu🎉🎉🎉

  • @elizabethsembuyagi9981
    @elizabethsembuyagi9981 2 года назад

    Bwana Yesu nitangulie ukasawazishe mahali penye vizuizi vinavyonizuia nisisonge mbele ktk jina la Yesu

  • @lovenessjoseph5718
    @lovenessjoseph5718 2 года назад

    Asante Sana Mwwnyezi Mungu kwaajili ya haya maombi ,,,Yesu nasema Asante kwakuniweka huru ,,, NAKUPENDA YESU WANGU

  • @clarainesse6850
    @clarainesse6850 3 года назад +1

    Amen🙏🙏🙏 Asante bwana yesu kwaku niponya majera yangu yote namakovu asante kwa uchumi wangi asante kwaki zazi changu nina kuchukur wewe nakuku abudu wewe bwana bwana wamaicha yangu asante kwaku ni weka huru siku ya leo ninakusifu nakuli abudu jina lako AMEN🙏🙏🙏🙏

  • @ElizawadPaulo
    @ElizawadPaulo Месяц назад

    navunja roho za vizui juu yangu kwa jina la Yesu 🙏🙏

  • @rainnafula7262
    @rainnafula7262 26 дней назад

    I love you Jesus so much asante kwa kunifungua mimi Judyth kwa vifungo vyote vya shetani na kunieka huru

  • @SarahYonah-w4c
    @SarahYonah-w4c Год назад

    Mungu naomba kila kizuizi kilichowekwa katika utafutaji wangu mahusiano yangu kiondoke katika jina la yesu amen

  • @maryokoth3743
    @maryokoth3743 Год назад +1

    Ni mm hapa Niko na mlima chakutofaulu kimaisha , financial breakthrough,,damu ya yesu osha yote amen 🙏

  • @peninabensonpen870
    @peninabensonpen870 2 года назад

    Amen kwa jina la yesu kristo kizuizi kilicho simama katika ndoa yangu kivunjike katika jina la yesu

  • @hillarimtambo482
    @hillarimtambo482 Год назад

    Kila kizuizi kilichosimama katika maisha yangu nakivunja katika jina la Yesu 👏👏👏👏

  • @chunaedison7450
    @chunaedison7450 Год назад

    Amen , kila kizuizi chochte kwenye maisha yagu kitoweke kw jina la yesu , ndoa ,kazi ,maisha yagu yafunguliwe leo kw jina la yesu😢😢

  • @CandySohia-mm9od
    @CandySohia-mm9od 2 месяца назад

    Asante kwanifungua kwajina la yesu christo Ameeeeeen 🙏🙏🙏🙏

  • @tasha9116-e1i
    @tasha9116-e1i 2 года назад

    Naomba iyo mlima uliko bere yangu ishushwe navuja mipango yote ya shetani juu yangu na watoto wangu najiosha katika damu ya yesu amen

  • @glorytarimo6354
    @glorytarimo6354 Год назад

    Amen mtumishi wa mungu maombi haya yamenigusa wakati naomba Kuna kitu kama kichomi nikikisikia katika ya kifua changu,na nikatapika naamini mungu ameniponya na kupitia maombi haya naamini vizuizi vyangu vinaenda kufunguliwa

  • @bettydzidza5921
    @bettydzidza5921 7 месяцев назад

    Damu ya yesu initetee kila mlango uliofungwa juu yangu naifungua kwa damu ya yesu😭😭😭

  • @joanbenezeth8677
    @joanbenezeth8677 Год назад

    Navunja kila kizuizi kilichopo ktk maisha yangu, kizuizi Cha kutopata Pesa navunja kizuizi Cha Aina yoyote ktk Jina la Yesu. Amen

  • @mercylinedennis8813
    @mercylinedennis8813 8 месяцев назад +3

    Kila kizuizi ambacho kimefunga mm nisiendelea kimaisha, ndoa yangu isiwe na Amani na familia yangu isiendelee, naingoa katika jina la yesu kristo.

  • @StarwaYesu
    @StarwaYesu 5 месяцев назад

    Mungu baba wambinguni katika jina la yesu kristo niondolee vizuizi katika baraka za baba yangu wambinguni

  • @AthaJohn-i5v
    @AthaJohn-i5v Год назад

    Amina mchungaji kwa kweli sijawahi omba nikajibiwa papo hapo kama leo ubarikiwe sana mtumishi wa mungu,nami bwana akanibariki amen

  • @marykissila1373
    @marykissila1373 3 года назад

    Kupitia maombi haya naamini Mungu ataviondoa vizuizi vyote ktk maisha yangu pamoja na familia yangu Mungu awashangaze Yesu Ahsante

  • @matridaemmanuel659
    @matridaemmanuel659 2 года назад

    Ahsanteee mtumish naamin milango imefunguliwa na naanza kufanikiwa katika ndoa yangu katika uzaz katika kupata Kaz kwa jina la yesu kristo wa nazalet aliye hai

  • @janemagutusinda8092
    @janemagutusinda8092 2 года назад

    Mwenyez mungu kavunja vizuizi vyote vibaya ktk jina la yesu 🙏🙏

  • @StanMuller-t3k
    @StanMuller-t3k Год назад

    Mungu nakuomba mwamba uliofungwa juu yangu ufunguke ktk jina layesu aliehai amen

  • @minzaharuni2820
    @minzaharuni2820 8 месяцев назад

    Eee mwenyezi mungu Kila kizuizi kilichozuia amani kwenye ndoa yangu life Kwa jina la yesu

  • @SALOMEMJATO
    @SALOMEMJATO 7 месяцев назад

    Yesu nasema asante kwa mume hu yesunasema asante nakupenda asante yesu

  • @AnnaShahidi
    @AnnaShahidi 9 месяцев назад

    Mungu kupitia maombi haya navunja kila kizuwizi kilchozuia uponyaji huu ya mwili wangu kishindwe kwajina la Yesu

  • @BlandinaPeter
    @BlandinaPeter 6 месяцев назад +1

    Kila kizuizi kilicho kuwepo kwenye familia yangu vifunguliwe Kwa jina la yesu

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj Месяц назад +1

    damu yayesu naomba umuokoe dadayangu kwenye mateso yawachawi na roho zamauti

  • @shabengawanda799
    @shabengawanda799 3 года назад

    Yesu wangu naomba unitangulie ktk kila eneo ninatamani kufika

  • @MarthaMghoi-m6v
    @MarthaMghoi-m6v 10 месяцев назад

    Naomba mungu a kuvunja kila vizuizi katika maisha yangu na family yangu vivunjeke kwa jina la yesu kwa damu ya yesu kila vizuizi katatika ndoa naomba mungu kavichome kwa jina la yesu naamini mungu amendenda barikiwa mtumishi wa mungu

  • @happinessnashokigwa4973
    @happinessnashokigwa4973 3 года назад +3

    Amen amen amen, nimabarikiwa Sana na nimewekwa huru vizuizi vyote na milima yote imesawazishwa natembea Kama mtoto wa kifamle

  • @nkwimbaemanuel
    @nkwimbaemanuel 12 дней назад

    Kila kizuizi kilichopandwa kwenye familia yangu ,maisha yangu, watoto wangu mme wangu naving'oa kwa damu ya yesu kristo

  • @ResparGirbert
    @ResparGirbert 9 месяцев назад

    YESU kristo mwana Mungu uliye hai unitangulie katika hatua zangu,katika safari hii ya Mbinguni 🙏🙏

  • @KamiyattiNamusisi
    @KamiyattiNamusisi 2 месяца назад

    Kila kizuizi kilichowekwa kinyuma namipango yangu nakivunja kwajina layesu nafungua milango yangu ya riziki kwa dam yayesu kristu ameen

  • @agness8971
    @agness8971 5 месяцев назад

    Ee mungu nakuomba ukaniondolee vizuizi vyakunirudisha nyuma kw maisha yngu, pitia ujumbe huu naomb ukajb hoja ya moyo wangu Amina🙏🙏🙏

  • @rehematesha9799
    @rehematesha9799 2 года назад

    Asante mwenyezi mungu kwa kujifungulia vizuizi vyote amen

  • @RukiaKipenzi-k9f
    @RukiaKipenzi-k9f Год назад +1

    Ee bwana yusu nakuomba ukaondoshe kila vizuizi vyote kwenye ndoa ya ngua na maisha yangu pamoja na family yangu

  • @AshuraSalumu-k7h
    @AshuraSalumu-k7h 5 месяцев назад

    Kwa dam ya yesu, navunja kira milima iliyopo mbele yangu inayo nifanya kuludi nyuma kwa jina la yesu

  • @marywafula2858
    @marywafula2858 Год назад

    Napomoa vizuizi katika Jina la Yesu Kristo 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @estherpeterandalu6595
    @estherpeterandalu6595 3 месяца назад

    Maombi ya nuru ya Kristo itawale maishani mwangu

  • @dosianasimon312
    @dosianasimon312 3 года назад +1

    yesu nihurumie kila vizuizi vilivyokaa ndani ya familia yangu navivunja kwa jina la.yesu

  • @heriethsteven8854
    @heriethsteven8854 3 года назад

    Naamuru Damu ya Yesu ikaondoe kila kizuiz kilichowekwa mbele yangu kinachonifanya nisisogee mbele kwa jina la Yesu kitoke,kama ni mwamba ukashuke,kama ni mlima ukasogee nipite kwa jina la Yesu!Amina.

  • @JusDreemurr
    @JusDreemurr 8 месяцев назад

    Kila vizuizi vivunjike! Kwa jina la Yesu!

  • @Matilda-vw5gf
    @Matilda-vw5gf 7 месяцев назад

    Bwana yesu nitangulie Amen 🙏🙏

  • @sophiaclinton1232
    @sophiaclinton1232 Год назад +1

    Nafungua kila kizuizi kilioko juu ya maisha ngumu kwa jina la mwenyezi mungu Ameeeeeeeeeeeeeeen

  • @SALOMEMJATO
    @SALOMEMJATO 7 месяцев назад

    Asante kwakuniona nasema Asankwakuniweka huru asante Yesu nkukuza

  • @BettyWangui-ms1wm
    @BettyWangui-ms1wm 11 месяцев назад

    Yesu christo uliye hai nitangulie kwa kila njia yangu ongoza kila hatua ya miguu yangu vunja vizuizi vyote ambavyo vinazuia baraka yangu na mafanikio yangu

  • @RachelWahito
    @RachelWahito Год назад

    Kwa jina la yesu napomoa mulango yote imefungwa ju yangu

  • @uwizeyeghyslaine5468
    @uwizeyeghyslaine5468 Год назад

    Amen bwana yesu nitangulie mbele yangu na vunja vizuizi Kwa maisha yangu na familia yangu

  • @paskalinanesphory3425
    @paskalinanesphory3425 2 года назад

    Bwana yesu niondolee milima katika maisha yangu ondoa kila kizuizi mwilini mwangu au katika eneo langu

  • @injetesheillah3563
    @injetesheillah3563 9 месяцев назад

    Mungu anitangulie and unianianalie mbele na milango zangu zilzizo funga zifunguliwe katika jina la yesu

  • @johnsonmushi4537
    @johnsonmushi4537 3 года назад

    Bwana YESU ninaomba unitangulie ninatamani kufika baba

  • @ShaniRashid-s8v
    @ShaniRashid-s8v 6 месяцев назад +1

    Ninangoa kila miziz iliowekwa kuzuia mafanikio yangu kwa damu ya yesu

  • @judithnaliaka972
    @judithnaliaka972 10 месяцев назад

    Amen atanitakulia kwa kila njia aina zote za vizuizi vitashindwa kwa damu ya yesu kristo

  • @CietySlim
    @CietySlim Год назад

    MUNGU wa mbinguni kila kizuizi kinacho zuia maendeleo yangu na mume wangu, wasambalatike kwa damu ya YESU KRISTO 🙏🙏 watu wote walio kinyume wakafichuke kwa damu ya YESU