TAFADHALI FUATA MAELEKEZO BWANA YESU asifiwe. Haya maombi ni maalum kwa mwanamke aliyeolewa. Haya maombi si kwa ajili ya wachumba. Haya si maombi kwa ajili ya watu wanaoishi pamoja lakini hawajafunga ndoa. Haya ni maombi ya wanawake ambao wamefunga ndoa mbele ya madhabahu ya BWANA. Lengo la kuweka maombi haya ni kuwasaidia wanawake wanaopitia changamoto kwenye ndoa zao waweze kuomba na kumuona Mungu akiwatendea jambo. Tunashauri, jenga tabia ya kusimama wewe kama wewe kumuombea mume wako. Usijidharau. Amini ukiomba Mungu anasikia. Maono ya Channel hii ni kuwasaidia watu wafike mahali ambapo wanaweza wakajiombea wao wenyewe, na ndiyo maana tunaweka muongozo wa namna ya kuomba. Tamani kujua kuomba. Tamani kusimama wewe kama wewe mbele za BWANA kwa ajili ya ndoa yako. Tamani kuwa muombaji, kwa sababu inawezekana. Ng'ang'ana na YESU na atakujibu mwanangu.
Aya ma ombi niya wana wake pekeyake Ila mimi natumiya nafasi iyi kwa ajili ya muke wangu kipenzi guilaine Tom's popote alipo damu ya yesu imufinike ilete Amani kila Léo kwenyi ndowa yetu na watoto wetu Isaac Tony Ibrahim Tony pamoja na Tatiana Tony watoto wangu wote hawa wazidi ku ishi ki MUNGU katika jina la YESU CHRISTU Amen Amen Amen nawa ombeya wana wake wote waliyo kuwa na ndowa Amani idumu kwenyi ndowa zawo na omba vile vile kwama binti wote ambawo hawaja olewa MUNGU Awa epusha natama za uli mwengu na awape ndowa zenyi kudumu hadi uze narudiya tena MUNGU akubariki ndowa zenyi kudumu Amen Amen Amen 🙏 bila kumu sa Abu ndugu yangu prunelle popote alipo MUNGU amu epushe naki buri natama kwa jina la YESU CHRISTU amu epushe nakila hasira kali namaneno makali kwa jina la YESU CHRISTU Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏 mtu mishi wa MUNGU Isaac Java MUNGU akubariki sana popote ulipo baba
AMINA,NIMEANZA na wewe nimemaliza na wewe Asante Yesu akutetee,mme wangu amenikimbia na anaishi na mwanamk aliepewa taraka,asikii Wala aoni ataki kuniona Ila kwa maombi haya amerudi kwangu,
Leo trh 28/10/2023. Nimesikiliza na kuomba pamoja na wewe Mtumishi..... Kuanzia sasa Nina amini Mumewangu amefunguliwa, sitalia tena. Mumewangu Emma ametoka ktk kifungo..... Asante yesu kwa kumkomboa Mumewangu.... ... Kwa Jina La Yesu ninaenda kuuanza mwezi 11 kwa Amani na vicheko ktk Ndoa yangu...... Kwakuwa Mungu Umekwisha Ijenga upya Ndoa yangu. Nami nakuhaidi SITOKUACHA SIKUZOTE ZA MAISHA YANGU... NITAKUSHUKURU NA KUSHUHUDIA UKUU WAKO KUPITIA NDOA YANGU.........nami pia ninawaombea wanawake wenzengu wote wakafunguliwe leo kwa jina la YESU KRISTO AMEEEEN
Eeee mungu wangu narudia tena kwenye haya maombi nina imani yana nguvu sana....Eeee mungu baba asante kwa neema yako...Eeee baba narudia tena mbele zako ninamfukuza mke mwenza alie leta majonzi,machozi na vurugu kwenye ndoa yangu namfukuza naweka ukutu kati yake na mume wangu....Eee Bwana ninakuomba huu mwaka uwe wa mwisho nakataaa uke wenza kwenye ndoa yangu ameeeen
Amen Amen YESU akushindie na aiponye ndoa yako kwa utukufu wa jina lake. Damu ya YESU isimame upande wako na kufanya ukombozi wa nafsi kati yako na mume wako. Amani na upendo wa kwanza urudi na YESU awalinde na kuwatunza.
Mchungaji Mungu akutumie zaidi nimefanya maombi haya mida ya saa 4 maana mwanaume alikua ameNizimia cm hataki kabisa kuongea na anataka tuachane gafla tu bila Sababu ilikua jpl nikaona Hali inazidi kua mbaya ndo gafla leo RUclips ndo naona maombi hayo nikaomba baada ya maombi sauti ikaniambia kimbia haraka katoe sadaka na sikua na hela nilikua na. Ela. Ya kula tu lakin ilibidi nitimue mbio kwenda kutuma. Saa hizi kapiga sm kwa upole na. Unyenyekevu .Nakushukuru Sana Mungu anaewatumia watu wake
Amen jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa milele. YESU azidi kuwatetea na kulinda ndoa yenu. Amani ya YESU itawale na upendo wa kwanza urudi. Katika jina la YESU
Msamaha ni uponyaji hakika nimemwona Mungu kwa ndoa yangu jina la Bwana Yesu libarikiwe hao maadui wameshindwa kupitia maombi haya be blessed servant of God 🙏🙏
Amen. Amen. Amen. Mungu wetu ni mwaminifu. Alitenda, ametenda, anatenda na atatenda. Yeye ni yule yule jana, leo na hata milele. Shetani anaenda kuaibishwa kwa Jina la Yesu. Naamini Mungu amejibu maombi kwa jina la Yesu Kristo. Amen.
Amina baba mume wangu anaroho ya uzizi sana yani wanawake wa nje kila kona had inakatisha tamaa yani hata mipango haitimii hela zote anawagawia michepuko mungu anisaidie mim asikilize kilio chang
Amen nakomboa doa yangu Kwa damu ya yesu uadui ulioko kati yangu na mume wangu u kaondoke Kwa damu ya yesu madawa aliyo lishwa ya kiuchawi ukaondoke Kwa tumbo lake katika damu ya yesu na upendo ukarije Kwa damu ya yesu
Amen Mungu kwa nguvi za Mungu kwa damu ya Yesu na Moto wa Yesu namfungua Mume wangu kwenye vifungo vyote alivyokuwa amefungwa na anarejea sasa na ukuta wa damu ya YESUitatulinda mumi Yeye na mwanetu Katika jina la YESU Kristo lipitalo majina amen
Amen Amen mwanangu. Zidi kubarikiwa na BWANA YESU. Mungu akutane na haja za moyo wako na akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana. Amen.
Ameeen kubwa mtumishi wa mungu alishaanikimbia na kukata mawasiliano kwa maombi haya naamini mungu amesikia na atarudi kwa jina na kwa damu ya yesu ameeen ubarikiwe Sana mtumishi
Amen my daughter, to JESUS be the praise and honor. May God meet you at the point of your need for His name's sake. God bless you and keep on praying till you receive it. Amen
Mchungaji mungu akubaliki sana. Aenderee kukutunza Kila wakati naamini mume wangu na Mimi ndoa yetu imerudi katika jina layesu kirstu baba yetu arie hai amen.❤❤
Mungu 😭😭😭mukoboe mume wangu Kwa mikono ya familia yake mama na baba yake wasionipenda.uchawi kula uchawi WA chakula,kinywaji mungu naomba umkoboee yesu🙏🙏🙏
Amen amen mtumishi mim ninamaumiv makubwa mno mwanaume nimedumu naye kwenye mahusiano takilinab miaka 4 mwezi Kumi na mbili ndo alipaka aende nyumbn kufahamika kosa dogo tu kaniacha Yani kaniacha jamn nashindwa hata kulala mungu anisaidie kweli pekeangu sitaweza
Naamini kupitia mahombi haya mume wangu amefunguliwa tayari kupitia damu ya bwana wetu yesu christo Naamini nitarudi tena apa kutowa ushuuda na kumshukuru mungu wangu kwa makuu na mahajabu yenye atanitendea kupitia mahombi haya Mungu akubariki sana mtumishi wa bwana na akuhongezeye siku za kuishi wewe na familia yako yote kwa ujumla Bwana yesu asifiwe sana
Amen mwanangu, YESU ni mwaminifu, nami ninaamini anaenda kukutendea makuu kwa utukufu wa jina lake. Mungu akubariki na akutane na haa ya moyo wako mwanangu. Amen
Ubarikiwe sana mchungaji kwa maombi haya ninaqmini nitapokea majibu kutoka kwa bwana juu ya mume wangu na siraha zote naamini zimevunjika kwa jina la yesu atalejea nyumban .
Asante yesu kwa ajili ya mtumishi wako nilkiuwa nimemchukia sana mume wangu kupitia haya maombi naona furaha ba upendo vinarejea hatutaachana kwa jina la Yesu
Amina mtumishi barikiwa sana naamini kupitia haya maombi mungu atatenda atamfungua mume wangu huu ni mwaka wa nne amenikimbia hataki mawasiliano na mimi hata kuniona hataki
Nina kila sababu ya kuku shukulu mtumish kwan umenipanujaaili wa kuikomboa nafai ya mume wangu nimefukah sana kushuliki haya naomba naomba mwenyez Mungu asinipungukie kwa kila nilichoo kiomba Ktk jina lake yesu kristu Aimen
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe milele yote. Nashukuru sana kwa yote ambayo Mungu amekufanyia. YESU azidi kukutetea na kukupigania daima. Ubarikiwe sana
Amen Amen Mungu akubariki sana kwa kufuatilia mafundisho tunayoweka kupitia Channel hii. Mungu akutane na haja za moyo wako na BWANA akupiganie na kukushindia katika mambo yako yote
Amen YESU akuonekanie na kukushindia kwenye ndoa yako. Amani na upendo wa kwanza urudi kwenye ndoa yako. Damu ya YESU ikushindie. Ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Asante mtumishi nisaidie maana ndoa imezama nimedhulumiwa haki yangu tulifungua mirad akaweka msichana mdogo wa kusimamia kwakuwa nimbali kamuweka ndani Kama mke msaada mtumishi.
Pole mwanangu kwa yote unayopitia kwenye ndoa yako. Nakuombea ushindi. Endelea kufanya maombi haya na YESU atakufungua na kukupa amani kwenye ndoa yako. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
Naamini mme wangu amesha fungunguliwa ametekwa na kahaba mwezi sasa naamini atardi sasa naanza mwezi wa 11 kwa furaha maana ali nitelekeza na ujauzito na wtt atardi sasa Ameen
Asifiwe yesu bishop naoba ushauri kutoka kwako kwa sababu mm nime changaniykiwa mume wangu amenisaliti na mwanamke mwengine nilivo juwa nika muliza akakubali makosa yake anasema nimsamee hata rudia tena lakini mm inaniuma sana sija mkosea bona anisaliti mm aliaza kunidarau aliacha kunijali kube alikuwa na mwanamke mwengine aki na huyo mwanamke pia amenioba msamaa aka sema atamacha mume wangu 😭😭
Pole mwanangu kwa yote unayopitia kwenye ndoa yako. Ninaelewa umeumizwa na moyo wako umevunjika kutokana na yote yaliyotokea kwenye ndoa yako. Lakini, huu si mwisho wa ndoa yako, bado Mungu anakuwazia mema. Nakushauri, umsamehe mume wako kwa sababu ameshatubia makosa yake. Muombe Mungu akutie nguvu ya kusimama tena na kusahau yaliyopita ili muweze kusonga mbele. Lakini anza kutumia maombi kama silaha yako kuu kwa ajili ya ulinzi na ustawi wa ndoa yako. YESU anakupenda. Usiogope.
TAFADHALI FUATA MAELEKEZO
BWANA YESU asifiwe. Haya maombi ni maalum kwa mwanamke aliyeolewa. Haya maombi si kwa ajili ya wachumba. Haya si maombi kwa ajili ya watu wanaoishi pamoja lakini hawajafunga ndoa. Haya ni maombi ya wanawake ambao wamefunga ndoa mbele ya madhabahu ya BWANA.
Lengo la kuweka maombi haya ni kuwasaidia wanawake wanaopitia changamoto kwenye ndoa zao waweze kuomba na kumuona Mungu akiwatendea jambo. Tunashauri, jenga tabia ya kusimama wewe kama wewe kumuombea mume wako. Usijidharau. Amini ukiomba Mungu anasikia.
Maono ya Channel hii ni kuwasaidia watu wafike mahali ambapo wanaweza wakajiombea wao wenyewe, na ndiyo maana tunaweka muongozo wa namna ya kuomba. Tamani kujua kuomba. Tamani kusimama wewe kama wewe mbele za BWANA kwa ajili ya ndoa yako. Tamani kuwa muombaji, kwa sababu inawezekana. Ng'ang'ana na YESU na atakujibu mwanangu.
Na wale ambao.wameachana na mume akaoa tena.
Kama unamchumba Ako ila kashikiliwa uko je haupasw kuyaomba
Kama ni mchumba angu ila Kuna mwanamke kamshikilia kichaw je spaswi kuomba
@@magdalenesyombua8085 Unaweza kuomba mwanangu
@@festodivule6555 haya maombi ni kwa ajili ya wanandoa mwanangu.
Aya ma ombi niya wana wake pekeyake Ila mimi natumiya nafasi iyi kwa ajili ya muke wangu kipenzi guilaine Tom's popote alipo damu ya yesu imufinike ilete Amani kila Léo kwenyi ndowa yetu na watoto wetu Isaac Tony Ibrahim Tony pamoja na Tatiana Tony watoto wangu wote hawa wazidi ku ishi ki MUNGU katika jina la YESU CHRISTU Amen Amen Amen nawa ombeya wana wake wote waliyo kuwa na ndowa Amani idumu kwenyi ndowa zawo na omba vile vile kwama binti wote ambawo hawaja olewa MUNGU Awa epusha natama za uli mwengu na awape ndowa zenyi kudumu hadi uze narudiya tena MUNGU akubariki ndowa zenyi kudumu Amen Amen Amen 🙏 bila kumu sa Abu ndugu yangu prunelle popote alipo MUNGU amu epushe naki buri natama kwa jina la YESU CHRISTU amu epushe nakila hasira kali namaneno makali kwa jina la YESU CHRISTU Amen Amen Amen 🙏🙏🙏🙏 mtu mishi wa MUNGU Isaac Java MUNGU akubariki sana popote ulipo baba
Amen Mungu akubariki na akupe haja za moyo wako. Pokea sawasawa na imani yako
AMINA,NIMEANZA na wewe nimemaliza na wewe Asante Yesu akutetee,mme wangu amenikimbia na anaishi na mwanamk aliepewa taraka,asikii Wala aoni ataki kuniona Ila kwa maombi haya amerudi kwangu,
Amen YESU akutendee makuu na akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake takatifu
@@IsaacJavanhabari baba
Leo trh 28/10/2023. Nimesikiliza na kuomba pamoja na wewe Mtumishi..... Kuanzia sasa Nina amini Mumewangu amefunguliwa, sitalia tena. Mumewangu Emma ametoka ktk kifungo..... Asante yesu kwa kumkomboa Mumewangu.... ... Kwa Jina La Yesu ninaenda kuuanza mwezi 11 kwa Amani na vicheko ktk Ndoa yangu...... Kwakuwa Mungu Umekwisha Ijenga upya Ndoa yangu. Nami nakuhaidi SITOKUACHA SIKUZOTE ZA MAISHA YANGU... NITAKUSHUKURU NA KUSHUHUDIA UKUU WAKO KUPITIA NDOA YANGU.........nami pia ninawaombea wanawake wenzengu wote wakafunguliwe leo kwa jina la YESU KRISTO AMEEEEN
Amen mwanangu YESU akupe amani na akutetee na kukulinda daima. Damu ya YESU inene maneno mazuri kwa ajili yako. Amen
Eeee mungu wangu narudia tena kwenye haya maombi nina imani yana nguvu sana....Eeee mungu baba asante kwa neema yako...Eeee baba narudia tena mbele zako ninamfukuza mke mwenza alie leta majonzi,machozi na vurugu kwenye ndoa yangu namfukuza naweka ukutu kati yake na mume wangu....Eee Bwana ninakuomba huu mwaka uwe wa mwisho nakataaa uke wenza kwenye ndoa yangu ameeeen
Amen Amen YESU akushindie na aiponye ndoa yako kwa utukufu wa jina lake. Damu ya YESU isimame upande wako na kufanya ukombozi wa nafsi kati yako na mume wako. Amani na upendo wa kwanza urudi na YESU awalinde na kuwatunza.
Ameni kipenzi.
@@IsaacJavan
Same to me Pastor
🙏🙏
Amen yaani nimepata nguvu ya ajabu wakati naomba maombi nashukuru sana sasa nasubiri matokeo kwa damau ya yesu
Mchungaji Mungu akutumie zaidi nimefanya maombi haya mida ya saa 4 maana mwanaume alikua ameNizimia cm hataki kabisa kuongea na anataka tuachane gafla tu bila Sababu ilikua jpl nikaona Hali inazidi kua mbaya ndo gafla leo RUclips ndo naona maombi hayo nikaomba baada ya maombi sauti ikaniambia kimbia haraka katoe sadaka na sikua na hela nilikua na. Ela. Ya kula tu lakin ilibidi nitimue mbio kwenda kutuma. Saa hizi kapiga sm kwa upole na. Unyenyekevu .Nakushukuru Sana Mungu anaewatumia watu wake
Amen
Amen jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa milele. YESU azidi kuwatetea na kulinda ndoa yenu. Amani ya YESU itawale na upendo wa kwanza urudi. Katika jina la YESU
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Nasisi ambao tuko kwenye mahusiano natunafuatilia Haya maombi hatutasaidika ju hatujaoana
❤❤ Aminaaa
Asante kwa maono maana tunapitia changamoto juu ya waume mungu wa mbinguni azidi kukutumia juu ya watu wake ubalikiwe kwa huduma hii.
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako na kukushindia daima 🙏
Ameen Baba namuombea mme wangu aache kunywa pombe na aache kuchelewa kurudi nyumbani.kila siraha iteketee kwa jina la yesu ameeni.
Amen YESU akutane na haja za moyo wako na akupe ushindi
Msamaha ni uponyaji hakika nimemwona Mungu kwa ndoa yangu jina la Bwana Yesu libarikiwe hao maadui wameshindwa kupitia maombi haya be blessed servant of God 🙏🙏
Amen Amen mwanangu. YESU azidi kukuonekania katika mambo yote. Ubarikiwe sana
Amen Natii Haya Maombi. Mapenzi yako Mungu na Yatimie Amen
Mungu akubariki sana na kukupa ushindi kwa utukufu wa jina lake takatifu
Amen. Amen. Amen. Mungu wetu ni mwaminifu. Alitenda, ametenda, anatenda na atatenda. Yeye ni yule yule jana, leo na hata milele. Shetani anaenda kuaibishwa kwa Jina la Yesu. Naamini Mungu amejibu maombi kwa jina la Yesu Kristo. Amen.
Amen mwanangu YESU anaweza yote. YESU anakupenda. YESU akutane na haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana kwa baraka za milele yote
Ninami kwajina la yesu na kwa damu ya yesu nimeikomboa ndoa yangu kwakupitia maombi haya yanayo ubariki moya wangu, 🙏
Amina baba mume wangu anaroho ya uzizi sana yani wanawake wa nje kila kona had inakatisha tamaa yani hata mipango haitimii hela zote anawagawia michepuko mungu anisaidie mim asikilize kilio chang
Amen nakomboa doa yangu Kwa damu ya yesu uadui ulioko kati yangu na mume wangu u kaondoke Kwa damu ya yesu madawa aliyo lishwa ya kiuchawi ukaondoke Kwa tumbo lake katika damu ya yesu na upendo ukarije Kwa damu ya yesu
Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
Nimebarikiwa na hayo maombi sana najua Kuna jambo mungu anaenda kutenda amen
Amen mwanangu. YESU akutendee kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe
Amen Mungu kwa nguvi za Mungu kwa damu ya Yesu na Moto wa Yesu namfungua Mume wangu kwenye vifungo vyote alivyokuwa amefungwa na anarejea sasa na ukuta wa damu ya YESUitatulinda mumi Yeye na mwanetu Katika jina la YESU Kristo lipitalo majina amen
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Amina MUNGU ni mwema atakua sawa mume wangu chuki na mimi itaisha kwa jina la yesu
Libarikiwe jina la Bwana Yesu...Ahsante kwa maombi haya.Nimeomba na nitaendelea.Ninaamini Mungu atatutendea soon kwa jina la Yesu.
Amen Amen mwanangu. Zidi kubarikiwa na BWANA YESU. Mungu akutane na haja za moyo wako na akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana. Amen.
Amen ubarikiwe naamni mume wangu atarudi kwa maombi hay miaka miwili sasa
Mungu atukumbuke miaka miwili mie miezi 5 naona kama miaka
YESU akupe ushindi kwa utukufu wa jina lake
Mungu akupe ushindi
Thanks for the good prayer, I will come soon with the testimony in Jesus mighty name Amen 🙏🙏
Amen my daughter may the power of the Holy Spirit minister to you and grant you victory in Jesus name. God bless you forever
@@IsaacJavan amem
Amen
Ameeen kubwa mtumishi wa mungu alishaanikimbia na kukata mawasiliano kwa maombi haya naamini mungu amesikia na atarudi kwa jina na kwa damu ya yesu ameeen ubarikiwe Sana mtumishi
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Asante Sana muchungaji naamini kupitia maombi Aya tutafanikiwa Sana na kufanya Mambo makubwa kwa jina la YESU,
Amen , Amen this was really powerful. I prayed and felt something in the spirit. God is faithful
Mungu wa mbinguni akutende mema mtumishi wa Mungu
Amen my daughter, to JESUS be the praise and honor. May God meet you at the point of your need for His name's sake. God bless you and keep on praying till you receive it. Amen
Amen mwanangu ubarikiwe pia na BWANA YESU milele yote. Amen Amen
Mchungaji mungu akubaliki sana. Aenderee kukutunza Kila wakati naamini mume wangu na Mimi ndoa yetu imerudi katika jina layesu kirstu baba yetu arie hai amen.❤❤
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe na kubarikiwa milele yote. YESU akupe amani yake na ushindi daima
Amen natii haya maombi . Mapenzi yako yatimie juu yetu amen
Amen YESU akutane na haja ya moyo wako kwa utukufu wa jina lake
Amina asante sana mtumishi wa Bwana Yesu. Hakika ni maombi yenye uvuvio wa Roho Mungu akubariki sana
Amen zidi kubarikiwa sana na BWANA YESU milele
Asante mtumishi wamungu amen 🙏
Amen namkomboa mume wangu aliyeniwekea chuki kwa kusikiliza maneno ya watu
Amen YESU akupe ushindi
Amen 🙏.. Asante kwà maombi Mazur ubarikiwe na tumebarukiwa Sana
Kupitia maombi haya ninaamin mume wangu atrurudi kwangu na atanipenda na atanijal mimi pamoja na mtoto amen
Mungu 😭😭😭mukoboe mume wangu Kwa mikono ya familia yake mama na baba yake wasionipenda.uchawi kula uchawi WA chakula,kinywaji mungu naomba umkoboee yesu🙏🙏🙏
Amen amen mtumishi mim ninamaumiv makubwa mno mwanaume nimedumu naye kwenye mahusiano takilinab miaka 4 mwezi Kumi na mbili ndo alipaka aende nyumbn kufahamika kosa dogo tu kaniacha Yani kaniacha jamn nashindwa hata kulala mungu anisaidie kweli pekeangu sitaweza
YESU akutetee mwanangu na kukutia nguvu. Usiogope, Mungu anakuwazia mema na anayo mipango mizuri na maisha yako.
Nnakushukuru mchungaji kwa Maombi haya Mungu wa Mbinguni akubariki nnaamini mume wangu amekombolewa kwa Damu ya Yesu
Naamini kupitia mahombi haya mume wangu amefunguliwa tayari kupitia damu ya bwana wetu yesu christo
Naamini nitarudi tena apa kutowa ushuuda na kumshukuru mungu wangu kwa makuu na mahajabu yenye atanitendea kupitia mahombi haya
Mungu akubariki sana mtumishi wa bwana na akuhongezeye siku za kuishi wewe na familia yako yote kwa ujumla
Bwana yesu asifiwe sana
Amen mwanangu, YESU ni mwaminifu, nami ninaamini anaenda kukutendea makuu kwa utukufu wa jina lake. Mungu akubariki na akutane na haa ya moyo wako mwanangu. Amen
@@IsaacJavan Amen
Naamini kupitia maombi haya mume wangu amefunguliwa kutoka kwa makahaba na kurudi nyumbani kuleta amani na familia yetu! Amina!
Ubarikiwe sana mchungaji kwa maombi haya ninaqmini nitapokea majibu kutoka kwa bwana juu ya mume wangu na siraha zote naamini zimevunjika kwa jina la yesu atalejea nyumban .
Amen Mungu akubariki na akushindie katika yote
Kupitia maombi hy naamini mume wangu atarud nyumbani na tutapendana Kama zamani....Amen
Asante yesu kwa ajili ya mtumishi wako nilkiuwa nimemchukia sana mume wangu kupitia haya maombi naona furaha ba upendo vinarejea hatutaachana kwa jina la Yesu
Amen MUNGU akubariki sana mtumishi Kwa maombi
Amina mtumishi barikiwa sana naamini kupitia haya maombi mungu atatenda atamfungua mume wangu huu ni mwaka wa nne amenikimbia hataki mawasiliano na mimi hata kuniona hataki
Kwajina la yesu namfungua Mmewangu Ili niweze kupata kibari kwake nitendee
Amen Amen YESU anaweza yote na anaenda kukushindia kwa utukufu wa jina lake takatifu. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Amen YESU akutane na haja ya moyo wako na akutendee sawasawa na uaminifu wake. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
Kwa jina la yesu damu ya yesu inanena mema Ameen kwajina la yesu nmefunguliwa mung n mwema naiman yeye n muweza sana
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU na uzidi kutembea kwenye ushindi
Bwana yesu asifie mungu naomba umufungulie mme wangu mungu nisaidie
Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
Asante Yesu naona Sasa nimekuwa mwepesi ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele
Nimeanza kufanya haya maombi usiku jana, naimani Mungu amefanya kitu kwenye ulimwengu wa roho.... ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Amen Amen.So powerful and believing that it will change my husband
Amen my daughter, may Jesus change your husband and heal your marriage for His name's sake. God bless you
Bwana Yesu asifiwe Asante naamini nimemfungua mme wangu Kwa jina la Yesu
Ameen barikiwa mtumishi kupitia haya maombi Mungu anaenda kinishangaza
Nina kila sababu ya kuku shukulu mtumish kwan umenipanujaaili wa kuikomboa nafai ya mume wangu nimefukah sana kushuliki haya naomba naomba mwenyez Mungu asinipungukie kwa kila nilichoo kiomba Ktk jina lake yesu kristu Aimen
Amen jina la BWANA YESU litukuzwe milele yote. Nashukuru sana kwa yote ambayo Mungu amekufanyia. YESU azidi kukutetea na kukupigania daima. Ubarikiwe sana
Namkomboa mume wangu kwa damu ya yesu nashukuru sana mtumishi wa mungu Nina Imani ndoa inarnda kuwa na amani
Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU. Mungu akupe haja za moyo wako
Amina baba
UBARIKIWE SANA MTUMISHI WA MUNGU NAAMINI KUPITIA MAOMBI HAYA NDOA NYINGI ZITAFUNGUKA AMEN
Amen mwanangu jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Mungu akubariki, endelea kufuatilia mafundisho na maombi tunayoweka kwenye channel hii
Nina la bwana libarkiwe
Mchungaji huwa unanibariki sana sana na mafundisho yako. Nakufatiliaga mguu kwa mguu. Mungu akubariki sana baba.
Amen Amen Mungu akubariki sana kwa kufuatilia mafundisho tunayoweka kupitia Channel hii. Mungu akutane na haja za moyo wako na BWANA akupiganie na kukushindia katika mambo yako yote
Mungu naomba umfungue mume wangu apate kazi na riziki za kutosha uwafungue mabosi zake wote waweze kumpatia kazi
Amen YESU akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake
Asante kwa maombi haya mungu akubariki Sana amen
Amen, nimepokea kwa jina la yesu kristo,❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Amen Amen ubarikiwe sana
Amina! Asante Yesu Mungu umetenda
Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote
AMEN UBARIKIWA BABA YANGU MTUMISHI ISAAC.MUNGU AMESIKIYA MAOMBI YETU 👏🤝🤝🤝✊✊✊♥️♥️♥️
Amen Amen mwanangu, Mungu akubariki kwa baraka za milele
Asante sana kwa maombi mazri
Amina amina amina amina umbarikiwe mtumi shiwangu
Asante sana Mtumishi wa Mungu nahisi nilikuwa na mzigo mzito sana lakini nimeutua
Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
Amen 🙏,nakomboa ndoa yangu kwa damu ya yesu 🙏
Amen Mungu akubariki kwa baraka za milele
Namsamehe mume wangu Mara Saba sabini na shetana Hana mamlaka na ndoa yangu in Jesus name
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
@@IsaacJavan Amen
Damu ya yesu ikanene mema ndoa yangu ikawe kama mwanzo
@@christinayohana585 Amen mwanangu, YESU akushindie
Amen God do miracles I trust in you
kupitia maombi hay naomba ndoa yangu ikawe nafurah kuanzia leo amin
Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu
Amina mume wangu maombi haya yakufungue wewe ni hekalu la bwana 1 kor 3:16
Amen YESU akuonekanie na kukushindia kwenye ndoa yako. Amani na upendo wa kwanza urudi kwenye ndoa yako. Damu ya YESU ikushindie. Ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Nimeingia Leo na nimefanya maombi haya naamini mungu atatenda na atarejesha Tena
Amen, YESU akutendendee makuu kwa utukufu wa jina lake
Napokea kwa jina la yesu
Amen mtumishi tumebarikiwa🙏
Asante mtumishi nisaidie maana ndoa imezama nimedhulumiwa haki yangu tulifungua mirad akaweka msichana mdogo wa kusimamia kwakuwa nimbali kamuweka ndani Kama mke msaada mtumishi.
Mwanangu hakuna ambo la kumshinda Mungu. Endelea kuomba na BWANA YESU atakushindia, usiogope!
Asante mtumishi 🙏🏼
Roho unavyo wafunguwa wengine nami pia unigusi napokea kufunguliwa kwa jina la Yesu Amen 🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU
Amen 🙏 hii Niko na chakamoto napitia mangumu sana juu ya mumw qangu
Pole mwanangu kwa yote unayopitia kwenye ndoa yako. Nakuombea ushindi. Endelea kufanya maombi haya na YESU atakufungua na kukupa amani kwenye ndoa yako. Ubarikiwe sana na BWANA YESU
@@IsaacJavan Amen najua nitakuwa mshidi
@@serahnthamba2097 Amen Amen hallelujah
Mungu akubariki mtumishi kwa maombi haya
Amina mtumishi hakika bwana anajibu maombi ubarikiwe mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
Amen Amen jina la YESU lisifiwe na kutukuzwa sana. Ubarikiwe mwanangu
Naamini mme wangu amesha fungunguliwa ametekwa na kahaba mwezi sasa naamini atardi sasa naanza mwezi wa 11 kwa furaha maana ali nitelekeza na ujauzito na wtt atardi sasa Ameen
Naamini Mungu atatenda muujiza juu ya Mahusiano yangu yalio kufa yanaenda kulejeshwa sasa na kuwa ndoa Takatifu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Ameeeeeeen asantee mtumishi wa mungu
Asifiwe yesu bishop naoba ushauri kutoka kwako kwa sababu mm nime changaniykiwa mume wangu amenisaliti na mwanamke mwengine nilivo juwa nika muliza akakubali makosa yake anasema nimsamee hata rudia tena lakini mm inaniuma sana sija mkosea bona anisaliti mm aliaza kunidarau aliacha kunijali kube alikuwa na mwanamke mwengine aki na huyo mwanamke pia amenioba msamaa aka sema atamacha mume wangu 😭😭
Pole mwanangu kwa yote unayopitia kwenye ndoa yako. Ninaelewa umeumizwa na moyo wako umevunjika kutokana na yote yaliyotokea kwenye ndoa yako. Lakini, huu si mwisho wa ndoa yako, bado Mungu anakuwazia mema. Nakushauri, umsamehe mume wako kwa sababu ameshatubia makosa yake. Muombe Mungu akutie nguvu ya kusimama tena na kusahau yaliyopita ili muweze kusonga mbele. Lakini anza kutumia maombi kama silaha yako kuu kwa ajili ya ulinzi na ustawi wa ndoa yako. YESU anakupenda. Usiogope.
Amen haya maombi yamenisaidia sana tena sana Mungu awaongezee akili na hekima zaidi
Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na YESU azidi kutenda makuu kwenye maisha yako kwa utukufu wa jina la YESU. Amen Amen
Amina, Amina. Asante sana Mtumishi.
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
Naomb mungu umlind na kumfungua mume wang kifungon na malengo tutimize bila kipingamiz na amini imekua asante mungu
Thanks pastor
God bless you
Ubarikiwe Sanna kwamaombi yako yenyengu nakunipa ujasili naamin yesu atajib amina
Amen Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU
Amee ubalikiwe kpitia maombi yako kuanzia sasa mme wangu atafunguliwa mngu akubaliki sana amee🙏
Amen mwanangu, YESU akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake
Ameeeeeen ameeeeeen pstr barikiwa sanaaaana niombee sana
Amen YESU akushindie kwa utukufu wa jina lake takatifu
Mtumishi Mungu akubariki kwa maombi yako najua mine wangu atafunguliw
Amen Amen Damu ya YESU ikupambanie na kukupa ushindi
Mungu akubariki mno mtumishi wake kupitia maombi haya na uona mkono wa mungu🙏🙏🙏
Amen ubarikiwe na BWANA YESU
Amina🙏🙏🙏
@@angelymahenge9276 Amen mwanangu
Amina mtumishi ubarikiwe mno Asante kwa maombi haya🙏🙏🙏
Amen mwanangu, ubarikiwe na BWANA YESU milele
Mtumishi ubzrikiwa sana kwa maombi haya naombanukupigie
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Amen mtumishi
Amena. Ubarikiwe mtumishi wa mungu
Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele
Ameen Mtu wa Mungu nami napokea leo ushindi huu
Amen Amen YESU akutendee makuu kwa utukufu wa jina lake
Amen...Ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Amen ubarikiwe pia na BWANA YESU milele yote
Asifiwe yesu dady asante kwa maombi haya mungu akubariki sana🙏🙏🙏🙏🙏
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU akutendee makuu
Amen pastor naamini maombi haya yatafungua ndoa yangu irudi kama zamani
Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele yote
@@IsaacJavan Amen
Ubarikiwe mtumishi wamunga napokea na Mume wanga naamini amefungukaAmen.
Amen mwanangu, YESU akuonekanie na akupe ushindi na amani kwenye ndoa yako
Ameeni nakomboa ndoa yangu Kwa damu ya yesu
Amen Amen damu ya YESU ikushindie
Navunjangome zinazonifalakanisha na mume wangu nilazihalibu kwa jina la Yesu Amen
Amen YESU akupe ushindi mkuu
Mungu akutunze baba na kukuinua kwa viwango vingine
Amina amina amina amina ❤
Ameeen barikiwa mungu akutunze
Nimepokea ushindi kwa jina la yesu🙏🙏🙏🙏
Najiungamanisha kwenye maombi haya mungu anisaidie
Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele. YESU akupe ushindi
Asante yesu kwa ukomboz wa ndoa yangu
Amen YESU akupe ushindi mkuu
Amina namwomba Mungu mume wangu aache kunywa pombe
Amen YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake
Amen Glory to God 🙏🙏😭😭😭😭🙏🙌🙌
Wow, Mume wangu, na mtumishi wa MUNGU.. endelea kuwa baraka kwa wengi.. nakuombea baba..
Amen mama ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote