2. MAOMBI YA KUVUNJA NDOA YA KIROHO | Spiritual Husband | Spiritual Wife | MWL. ISAAC JAVAN

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 янв 2025

Комментарии • 299

  • @MARIAMSEPHU-b4c
    @MARIAMSEPHU-b4c Год назад +8

    Mungu ninaomba toba na reheme njia zote ambazo nilifanya mapenzi na jini mahaba kupitia mdomo ninaomba toba, ninaomba toba na reheme
    Kila maagano yaliyotumika kwenye via vyangu vya uzazi vya kiume ninaomba toba na rehema
    MUNGU wangu nirehemu ninaomba rehema,
    Ee mungu uliyeziumba mbingu na nchi naomba rehema, JINI mahaba uliyeweka ugonjwa wa UTI sugu, nimekugundua kupitia mtumishi wa MUNGU ISAAC JAVAAN naijungamanisha ewe UTI unayesumbua familia yangu navyunja maagano naye kwa wingi wa rehema za MUNGU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Damu ya YESU ikufungue na kukuweka huru.

    • @marie-rosendagire5324
      @marie-rosendagire5324 2 месяца назад

      Ohhhh hata mimi naomba rehema Mungu wangu kwajina ya Yesu kristo

  • @zabrongermanus-co1jj
    @zabrongermanus-co1jj 11 месяцев назад +3

    Asante sana mtumishi najifunza mengi kupitia ww Mungu akuweke vyema

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 месяцев назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @samsonisaidi3484
    @samsonisaidi3484 11 месяцев назад +3

    Ubarikiwe mtumishi Bwana, umenifungua macho yng kwa mafundisho hy,

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 месяцев назад

      Amen zidi kubarikiwa sana pia kwa baraka za milele yote

  • @PatriciaNyaga-y2h
    @PatriciaNyaga-y2h 15 дней назад

    Naomba Toba narehema katika jina la YESU na damu ya YESU nirifungua milango mingi sikujua nakaribisha waribifu Kwa nafsi na mwili wangu ubarikiwe mtumishi wa mungu

  • @irenemwenda6374
    @irenemwenda6374 4 месяца назад +1

    Aki mtumishi ubarikiwe kwa kutufundisha haya mambo maana wengi tumefungwa katika gereza la huyo muovu jine mahaba ubarikiwe sana mtumishi

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад +1

    Sijawahi pata mafutisho Kama hayo mahubiri mutumishi wa Mungu barikiwa sanaaaana babaku wa kiroho God bless you

  • @emmymatigula4870
    @emmymatigula4870 7 месяцев назад +1

    Asante sana mtumishi wa MUNGU ALIYEHAI
    Kwa somo na maombi
    Tunapona wengi kwa Jina la YESU ALIYEHAI
    MUNGU MWENYEZI ALIYEHAI akutunze sana 🙏 🙏

  • @rosadaproches9014
    @rosadaproches9014 2 года назад +4

    Mafundo yako yanafundisha na kujenga sana yamenifungua sana Glory to God

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu jina la BWANA YESU libarikiwe sana. Zidi kubarikiwa na BWANA YESU milele

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 2 года назад +2

    Amen! Nimejiungamanisha na madhabahu hii na maombi haya Kwa kumaanisha, kwenye kipengele cha vile tulivyolishwa nikaomba Kwa kumaanisha nimetapia Sana, mtumishi wa Mungu , Mungu akubariki Sana na azidi kuinua huduma yako amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @bosslilyg4390
    @bosslilyg4390 2 года назад +5

    Uwiiiii Bwana Yesu nirehemu mimi mkosaji 😭😭 nilifanya kwa kutokujua nikidhani ni moja ya njia za halali za tendo la ndoa, ooooh Yesu nihurumie mimi, Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu umetuponya wengi, wengi wanafanya kwa kutokujua, nahitaji kutuma sadaka yangu jamani maana Mungu amenionekania katika hili jambo, naomba jinsi ya kutuma sadaka tafadhali mtumishi 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu. YESU anakupenda. YESU anaweza yote. Zidi kubarikiwa na YESU akushindie katika yote.

    • @bosslilyg4390
      @bosslilyg4390 2 года назад +1

      @@IsaacJavan Amen baba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      @@bosslilyg4390 Amen mwanangu

  • @carolinemwugusi8945
    @carolinemwugusi8945 2 года назад +4

    Am much blessed by this teachings Mungu azidi kukufunulia ZAIDI mtumishi wa Mungu akulinde akufunike na damu shetani asije akakunyang'anya kilichoko ndani yako🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @DorcasakinyiMunyekenye
    @DorcasakinyiMunyekenye Год назад +2

    Amen amen
    Nimefunguliwa kwa jina la yesu..l feel blessed..thank you Lord..be blessed mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 месяцев назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад +1

    Ni kweli kabiza mutumishi wa Mungu uyo ni Mungu amekufunuliya hayo God bless you

  • @NelsonChilongola
    @NelsonChilongola 3 месяца назад +1

    Mungu akubariki Mtumishi Mungu,Mungu aturehemu Nakushukuru mapema Amini

  • @lubingomasilyadeward5726
    @lubingomasilyadeward5726 4 месяца назад +1

    ubarikiwe sana mutumishi wa Mungu kwa iyi somo nilikuwa nilisha fungwa kweli ila kwa iyi soma naamini naenda ku funguliwa

  • @maryleonard9549
    @maryleonard9549 2 года назад +2

    MUNGU akubariki saaana kweli hivi vitu wengi tunapitia lakini ashukuriwe MUNGU anayekutumia katika haya ubarikiwe sana mtumishi wa BWANA

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu, uzidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote

  • @asminetaba253
    @asminetaba253 Год назад +2

    Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu ninabarikiwa kwa some hili na maombi, kuhusu majini mahaba,mungu azidi kukufunulia mengi ili tupate kutoka kwa hawa majini mahaba

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @fgggvh6090
    @fgggvh6090 2 года назад +3

    Amina Asante Mwalimu kwa kunielimisha MUNGU akubariki 🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @MARIAMSEPHU-b4c
    @MARIAMSEPHU-b4c Год назад +2

    Ninaomba toba na rehema kwa mwili wangu ambao umekuwa najisi kwa sababu ya jini mahaba , akaharibu maisha yangu damu ya yesu nakuita uingie kwenye mwili wangu, ninazama kwenye kijito cha utakaso

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Mungu akutane na mahitaji yako, akufungue na kukuweka huru kwa utukufu wa jina lake takatifu

  • @marianamichael5406
    @marianamichael5406 11 месяцев назад +2

    Naomba toba na rehema kwa damu ya uesu Amen ubarikiwe milele Amina

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 месяцев назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @odettenzeyimana6278
    @odettenzeyimana6278 Год назад +2

    Asante sana mtumishi wamungu odette kutoka bujumbura umenisaidia sana kwa maombi ya toba narehema kutoka kati kavifungu ya ndoa ya kiroho .

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад +1

      Amen mwanangu Odette, nafurahi kupata salamu kutoka Bujumbura. YESU akubariki na kukupa ushindi katika yote.

    • @odettenzeyimana6278
      @odettenzeyimana6278 Год назад

      Amen Amen

  • @elizabethsaimoni4264
    @elizabethsaimoni4264 Год назад +1

    Namshukuru MUNGU kwa mafundisho haya mana nimeuona mwanga wa kushinda vita hiiii , mana nimeteseka sana na hii roho , imenipiga kwenye elimu , mahusiano na kiafya mpka leo miaka mingi mpk kumzalia.asante YESU mna umenigusa asante kwa uponyaji wako.Ameen🙏🙌

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад +1

    Mungu nirehemu Mimi mwenye dhambi nilikuhuzunisha Sana Kwa dhambi za zinaa nirehemu Mimi mwenye dhambi

  • @justinajacobombay8980
    @justinajacobombay8980 Год назад +2

    Asante mtumishi. Nimeomba kwa kumaanisha nimetapika Sana. Mungu akuinue mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen mwanangu YESU atukuzwe na kusifiwa sana. Ushindi wa damu ya YESU uwe juu yako na ndani yako

  • @consolatamedard6593
    @consolatamedard6593 Год назад +2

    Mungu akubarki sana Mtumish umenisaidia sana Mimi Nimeshangaa Najiona Bint kumbe watu wananiona nipo kwenye ndoa na nimezaa wakati sijazaa hata mtoto mmoja na mala nying nilikuwa nikiota kuwa nimezaa mtoto au nimebeba ujauzito alafu alienipa simfahamu Mala nyngi nilikuwa naota kunamtu ananiingilia nilikuwa sielew ila Leo nimepona kupitia wew Mtumish ubarkiwe sana 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen mwanangu, jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa milele yote. Nashukuru Mungu kwa maarifa na ufunuo ambao amekupa. Nami najua ushindi wako na ukombozi wako umefika. YESU akuponye na kukuweka huru kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote. Amen Amen

  • @serinaserina9639
    @serinaserina9639 2 года назад +2

    Ameen baba barkiwa kwa somo na maombi nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu Mungu azidi kukufunulia yalio yasirin tuzid kupona 🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @MARIAMSEPHU-b4c
    @MARIAMSEPHU-b4c Год назад +2

    Mungu ninaomba toba narehema kwa chakula nilicholishwa na jini mahaba, naomba rehema

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Mungu akutendee makuu sawasawa na uaminifu wake

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤ameeeeeeeeeeeeeeeeeen barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu

  • @stellahmnema9279
    @stellahmnema9279 10 месяцев назад +1

    Amen ....ahsante kwa SoMo hili baba... Naomba kupata no yako . Ninahitaji kuongea nawe kwa kina.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  10 месяцев назад

      Amen Mungu akubariki sana na YESU akupe ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake

    • @stellahmnema9279
      @stellahmnema9279 10 месяцев назад

      @@IsaacJavan Amen baba🙏
      Naomba kupapt no yako baba

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +4

    Amen Nimefunguliwa Katika ulimwengu Roho Mimi na Mume Wangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu sifa kwa BWANA YESU. Zidi kutembea kwenye ushindi daima. Ubarikiwe sana

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +3

    Amen natangaza Katika ulimwengu wa Roho na mwili nimefunguliwa Mimi na Mume Wangu kwa Damu ya YESU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen Amen hallelujah! YESU akubariki na kukushindia daima.

  • @JoyceKivuyo
    @JoyceKivuyo 5 месяцев назад +1

    Yesu nisaidie nitoke kwenye hii kifungo kibaya sana

  • @maureenmgeni
    @maureenmgeni 4 месяца назад

    Amina kubwa, namshukuru Mungu baba kwa kunifungua.

  • @millyandiva1657
    @millyandiva1657 Год назад +6

    Praise God Milly from Kenya thank you 🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +3

    Amen nimefunguliwa Mimi na Mume Wangu Asante YESu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @haikafoya1198
    @haikafoya1198 Год назад +11

    Utukufu kwa Yesu Kristo mimi nasemaa watumishi siindiyo hawa!! Ubarikiwe sana kwani ni wengi wanateswa na hii kitu

    • @lydiamakenge5613
      @lydiamakenge5613 Год назад +1

      Najiunga

    • @lydiamakenge5613
      @lydiamakenge5613 Год назад +1

      Mungu anisamehe nakunirehemu damu yayesu inifungue

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen jina la YESU litukuzwe sana. Ubarikiwe milele

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @julmuwanje5281
    @julmuwanje5281 7 месяцев назад

    This is the day that the lord has made kwamba mimi niweze kufunguliwa,,,dalili mingi zinanilenga mimi🤧🤧🤧🤧,,nafunguliwa kwa jina la Yesu

  • @pauloadamu9492
    @pauloadamu9492 8 месяцев назад

    hakika mtumishi Asante kwa maombi MUNGU akutunze

  • @ElvinaDadu-hp2ib
    @ElvinaDadu-hp2ib Год назад +1

    Amen mtumishi wa Mungu nmevunguliwa katika jina la yesu,

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @nabangijane2331
    @nabangijane2331 8 дней назад

    MUNGU ahsante kwa kutuma mtumishi wako anifungue macho maana nalikiwa kipofu sasa naona niponye MUNGU kwa kuwa yote umesema kwa kinywa cha mtumishi wako ni ya kwangu nimekuwa nikiyaishi kama kopofu MUNGU ni samehee maana nimekutenda dhambi na kulichafua jina lako MUNGU muumba mbingu

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад +1

    Mutumishi wa Mungu niombee Sana kwa sababu Mimi sitaki wanaume kabiza nakaa miakamitano,sita hata saba na Niko dawa kabiza

  • @peaceirene8183
    @peaceirene8183 10 месяцев назад

    Nashukuru Mungu Kwa kuniunganisha na mafundisho yako maana yananijenga na kunisimamisha Mahalia panapofaa. Mungu akubariki na apanue mipaka yako Kwa Jina LA YESU CRISTO

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  10 месяцев назад

      Amen Mungu akubariki sana pia. Asante kwa kunitamkia baraka. YESU akutunze milele yote

  • @Kanyijane2004
    @Kanyijane2004 2 года назад +1

    Amen Amen Amen 🙏🙌. Ubarikiwe sana pastor. Nimefunguliwa kwa jina la YESU KRISTO. AMEEEN

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele. Zidi kutembea kwenye ushindi daima

  • @LydiaNasimiyu-h1n
    @LydiaNasimiyu-h1n 5 месяцев назад

    Asante sana Babaku God bless you

  • @witnesselkana
    @witnesselkana 5 месяцев назад

    Nachukia sana😮 Jini mahaba

  • @AzizalucasMbiduka
    @AzizalucasMbiduka 6 месяцев назад

    Mt barikiwe sana

  • @Esther-Bri
    @Esther-Bri 2 года назад +1

    Asante Sana mtumishi Wa MUNGU kwa masomo haya mazuri naendelea kujifunza Barikiwa Sana 🙏

    • @magretikikwete3140
      @magretikikwete3140 2 года назад +1

      Thank you Jesus for my answered prayer. Asante sana mtumishi🙏🙏barikiwa sana baba yetu🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu zidi kubarikiwa milele

  • @davidnj
    @davidnj Год назад +1

    Ahsante Sana umeponya ndoa yngu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @reybeka-rg9ne
    @reybeka-rg9ne Год назад +1

    amina nimekombolewa kwajina ya Yesu kristo alie hai

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @marybukuku1494
    @marybukuku1494 2 года назад +1

    Nimepokea ktk jina la YESU nimetema mate mengi sana nashukuru sana Mungu nimefunguliwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu, YESU akushindie na akubariki sana

  • @imeldakawawa
    @imeldakawawa 9 месяцев назад +1

    Ameen Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  9 месяцев назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @RitaLameck
    @RitaLameck Год назад +1

    Asante Bwana Yesu tumepokea uponyaji

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe sana na uzidi kutembea kwenye ushindi

  • @lizzybahati3739
    @lizzybahati3739 2 года назад +2

    Amen babaangu endelea kutuletea ili tufunguliwe

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @MiriamMlele-j8p
    @MiriamMlele-j8p 4 месяца назад

    Mungu tusaidie

  • @norahabuyeka9617
    @norahabuyeka9617 Год назад +1

    Hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah nimeomba ahsante Sana mtume was Bwana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 10 месяцев назад

    Amen Amen Amen Mtumishi Wa Mungu Nimekuelewa Mtumishi

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  10 месяцев назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU

  • @gracios1324
    @gracios1324 2 года назад +2

    Ameen Asante Sana kwa mafundisho na maombi🙏🏼

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv 10 месяцев назад

    Amem Amen Amem Mtumishi.Nimefunguliwa Tumefungiliwa.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  10 месяцев назад

      Amen jina la BWANA YESU libarikiwe na kutukuzwa

  • @rossil3991
    @rossil3991 2 года назад +2

    Najiunganisha Nafsi yangu Juu ya Maombi ya kuvunja ndoa za kiroho navunja maagano na mapatano ya kiroho juu ya Nafsi yangu kwa Damu ya yesu kristo🙏....

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen Amen YESU akuonekanie na akushindie kwa utukufu wa jina lake. Ubarikiwe sana

  • @joycedaniel1199
    @joycedaniel1199 2 года назад +2

    Yesu akuongezee neema zaid sana

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @leonardkitta2143
    @leonardkitta2143 7 месяцев назад

    Mungu wambinguli akubaliki sana mtumishi

  • @creativepublishers7746
    @creativepublishers7746 2 года назад +1

    Mungu akubariki sana baba. Nimepona sana siku ya leo. Tunakuombea maisha marefu 🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @MARIAMSEPHU-b4c
    @MARIAMSEPHU-b4c Год назад +1

    Mungu ninazama kwenye kijito cha utakaso, ninazama kwenye kijito cha utakaso nazamisha via vyangu vya uzazi kwa jinala yese

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen damu ya YESU ikufungue na kukuweka huru

  • @mishikazungu8028
    @mishikazungu8028 2 года назад +1

    Amen 🙏 mtumishi mungu akubariki wee meshawahi kuyapitia haya mungu aomba unitengenishe na Roho wa kimahaba nashetani🙏🙏🙏🙏😭😭😭

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад +1

      Mungu akubariki mwanangu na YESU akufungue na kukupa ushindi mkuu kwa utukufu wa jina lake takatifu

    • @mishikazungu8028
      @mishikazungu8028 2 года назад +2

      @@IsaacJavan Amen 🙏🙌

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад +1

      @@mishikazungu8028 Amen mwanangu

    • @bululangassa9975
      @bululangassa9975 Год назад

      @@mishikazungu8028 u

  • @edwinchisala4954
    @edwinchisala4954 11 месяцев назад +1

    Nimehangaika kutafuta mafundisho ya neno la Mungu mitandaoni lakini,nabarikiwa sana na kukua kiroho ninaposikiliza mafundisho yako...

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 месяцев назад

      Amen jina la YESU litukuzwe na kusifiwa sana. Mungu akubariki na azidi kukushindia na kukutana na haja za moyo wako unapoendelea kushiriki maombi haya

  • @IvanKennedy-ie7tr
    @IvanKennedy-ie7tr Год назад +1

    Asante ninapokea ktk Jina la Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @davidnj
    @davidnj Год назад +1

    Ahsante Yesu nipo huru

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen mwanangu ubarikiwe sana na BWANA YESU milele. YESU azidi kukuonekania na kukushindia katika yote

  • @zaridilan4733
    @zaridilan4733 2 года назад +2

    Amen ubarikiwe sana mtumishi wa mungu🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +2

    Amen Jesus name napokea nafunguliwe Mimi na Mume Wangu I love you JESUS

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen Amen mwanangu, zidi kubarikiwa na BWANA YESU milele yote

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +1

    Amen nimefunguliwa Mimi na Mume Wangu ubarikiwe Mtumishi wa Mungu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu zidi kubarikiwa na BWANA YESU

  • @helansakeyan5307
    @helansakeyan5307 Год назад +1

    AMEN MTUMISHII NAOMBA NO ZAKO KUNA KITI NATAKANIKUAMBYE

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU. Wasiliana nasi kwa simu namba +255 745 76 45 72

  • @WinnieMagoma
    @WinnieMagoma 10 месяцев назад +1

    May God bless u so much🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  10 месяцев назад

      God bless you too, with everlasting blessings 🙏

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +1

    Asante YESU kwa kunifungua Mimi na Mume Wangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @rossil3991
    @rossil3991 2 года назад +3

    Nimefunguliwa kwa Damu ya yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen hallelujah! Sifa kwa YESU

  • @marybukuku1494
    @marybukuku1494 2 года назад +1

    Ameen Mungu akubariki sana 🙏🙏🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @katemwende357
    @katemwende357 2 года назад +3

    Amen... God have mercy

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @edinagelase796
    @edinagelase796 2 года назад

    Barikiwa mno Mtumishi wa Mungu Alie hai nimefunguliwa na. Kupokea kwa jina la Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

    • @esthermtubwa
      @esthermtubwa Год назад

      Amen God bless you

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 2 года назад +1

    MN jmn.ndo nimeanza kufuatilia hili somo tangu party one.sikuwai kujua ningefahamishwa haya, mtumish wa Mungu ubarikiwe sana sana. Masomo Yako ni hatari,tunatembea na Giza bila kujua jmn.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu uzidi kubarikiwa na kutembea katika ushindi siku zote. YESU akupe amani na ushindi katika mambo yote

  • @nabangijane2331
    @nabangijane2331 8 дней назад

    In truth, there is much we have done that has offended God. God, I ask for repentance and mercy.

  • @sofiakazinja2239
    @sofiakazinja2239 2 года назад +5

    Nazidi kumuona Mungu kupitia maombi na mafundisho haya,Mungu akubariki.

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

    • @Neemakilimba
      @Neemakilimba 2 года назад +1

      Naomba namba za mchungaji jamani

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      @@Neemakilimba Wasiliana nasi kwa simu namba +255 745 76 45 72 Mungu akubariki

  • @zabibukopakopa336
    @zabibukopakopa336 Год назад +1

    Mimi najiunganisha Leo iih usiku uuh na Kila siku juu ya maombi kuvunja ndoa ya kiroho ndoto chafu na mambo yote navunja maagano juu ya nafsi yangu kwa damu ya yesu 🙏

    • @zabibukopakopa336
      @zabibukopakopa336 Год назад +1

      Mungu nisaidie 😭😭🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 месяцев назад

      Amen Amen YESU akupe ushindi mkuu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 месяцев назад

      Mungu akubariki na kukupigania na kukupa ushindi na kukulinda

  • @francismathias850
    @francismathias850 Год назад +1

    Mtumishi nimefunguliwa

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @Verah-p7d
    @Verah-p7d Год назад

    Pastor ubarikiwe sana,na Mungu azidi kukuinua,Iam watching from kenya

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe sana na BWANA YESU milele yote

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +1

    Asante kunifungua Mimi na Mume Wangu Man of God

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Sifa kwa BWANA YESU. Ubarikiwe sana mwanangu

    • @angelambondelo2836
      @angelambondelo2836 Год назад

      Amin najiunganisha na.maombia haya mim na mume wangu nini mahaba hana nafasi kwa jina la yesu

  • @aminaisuja6081
    @aminaisuja6081 11 месяцев назад

    Huyu sasa ndo mtumishi yani hakuna hata chembe ya uongo mungu akupe umri mrefu 🙏🙏🤝

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  11 месяцев назад

      YESU asifiwe sana na kutukuzwa milele yote. Mungu akubariki sana na kukupa ushindi. Damu ya YESU inene mema kwa ajili yako

  • @ggfghh6220
    @ggfghh6220 6 месяцев назад

    Amina amina

  • @pascalinaandrew5854
    @pascalinaandrew5854 2 года назад +1

    Asante Yesu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад +1

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @axad6672
    @axad6672 2 года назад +6

    I just came across your channel today and I'm already blessed and delivered too in Jesus Name

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen Amen may JESUS meet you at the point of your needs. God bless you and welcome to this channel.

  • @aj-gw1rl
    @aj-gw1rl 2 года назад +1

    Amen. Asante Mungu wangu🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango 2 года назад +1

    Barikiwa sana amen amen

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @MerryMussa-p5n
    @MerryMussa-p5n 4 месяца назад

    Mtumishi mm nimeshuk kiuchum naomb maombii nikipata ela haikai matatizo Aya ishii naomba msaada

  • @estherjohn2637
    @estherjohn2637 Год назад +1

    Yesu naomba unifungue kifungo hiki

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen YESU akushindie katika yote

  • @AliceMasaka-p2d
    @AliceMasaka-p2d 3 месяца назад

    Ee Mungu wa mbinguni naomba rehema, natubu kwako Mungu, naomba rehema, navunja maagano yote yaliyotengenezwa kwangu kwa njia ya jini mahaba, nakataa kabisa,barikiwa mtumishi, zidi kutuombes.

  • @peninahmakandi1426
    @peninahmakandi1426 Год назад

    Nimepatana na mafundisho Yako Leo na nimejifundisha mengi na nimefunguliwa katika jina la Jesu kristo

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Amen ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @happynessgodfrey7413
    @happynessgodfrey7413 2 года назад +1

    Ee Mungu tuponye🙏

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu, YESU ni mwaminifu na anafanya njia. Ubarikiwe na BWANA YESU milele yote

  • @angelMawole3689
    @angelMawole3689 5 месяцев назад

    🙏🏻🙏🏻

  • @julianapenza1223
    @julianapenza1223 2 года назад +1

    Amen Jesus name kunifungua Mimi na Mume Wangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU

  • @everlynenanjala8986
    @everlynenanjala8986 Год назад +1

    Asanti kwa mafunzo mazuri sana, mtumishi nimeaja yale nilifanya kwakutojua nakosea mungu unirehemu?

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 2 года назад +1

    Amiiina Mungu tawala maisha yangu

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  2 года назад

      Amen mwanangu ubarikiwe na BWANA YESU milele

  • @Jeska-ec4jy
    @Jeska-ec4jy Год назад +1

    Mtumishi mimi uwanapenda kufikiria mabaya kwangu nanikiwa kwenyeiyo hali lazima nijigonge mguu kwauchungu sana Au kama nimefikilia nikiwa naosha vyombo lazima kikombe kivunjike😢😢

    • @IsaacJavan
      @IsaacJavan  Год назад

      Pole mwanangu kwa hayo yote. Anza kutafakari yaliyo mema, huku ukifunika mawazo na fikra zako kwa damu ya YESU kila siku asubuhi unapoamka. Mungu akubariki sana na kukulinda na mabaya yote