MAOMBI YA KUKOMESHA MATATIZO YANAYO JIRUDIA | MWL EZEKIEL MALANDO | 07 Septemba, 2023

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 438

  • @JacklineSewando
    @JacklineSewando 2 месяца назад +2

    Nakomesha ndoto za kujirudiarudia nipo shulen nachelewa kumaliza kazi Kwa wakat na nyingine nipo kijijini kwetu nakomesha Kwa jina LA yesu mungu naomba uniponye

  • @HawaMalima-v1g
    @HawaMalima-v1g 4 месяца назад +4

    Nakomesha hofu n waiwasi moyoni mwangu kwa jina la yesu kristo🙏

  • @Dianamunga
    @Dianamunga 4 месяца назад +4

    Nimekomesha makosano yanayo jirudia katika ndoa yangu nimekomesha kwa jina la yesu naomba uniombee

  • @IreneYohana-o5q
    @IreneYohana-o5q 28 дней назад

    nakomesha matatizo na madeni yanayojirudia kwenye family yangu kwa jina la Yesu

  • @HellenNyaboke-z4z
    @HellenNyaboke-z4z 3 месяца назад +2

    Naamini Kwa jina la yesu magojwa na laana zote na ndoto mbaya za kunirudisha nyuma si shundwe Kwa damu ya yesu Kristo amina

  • @JuliusLealmusia
    @JuliusLealmusia 10 месяцев назад +4

    Amen Nakomesha Magojwa katika familia yangu madungu sangu Na madada yangu kuotaa Ndoto mbaya Nafunja yote katika jina la yesu mungu wagu Niondolea hayo yote Nirundishie Maisha mypa Nyota yangu ingare katika maisha yangu yote Amina God bless you my man of God🙏🙏🙏🙏🙏

  • @esthermoindi7097
    @esthermoindi7097 4 месяца назад +2

    Nakomesha ndoto za majini kimapenzi zinazo jirudia mara Kwa mara kisirani roho ya kukataliwa ipigwe na moto wa yesu🔥🔥🔥🔥🔥🔥

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 4 дня назад

    Mungu niponye mwili wangu kupitia hii maombi in Jesus name 🙏🙏🙏 amen

  • @VailethBulaitoni
    @VailethBulaitoni Месяц назад +1

    Mimi vaireth naomba mungu unilinde katika usiku ihuu was Leo pamoja na watoto wangu na wazazi wangu katika jina la yesu kwa dam ya yesu na ndugu za mahali popo the walipo ameeeni🙏🙏🙏🙏

  • @Alice-t9g
    @Alice-t9g 2 месяца назад

    Ameni nimepokea uponyaji kwa Jina layesu ameni🙏🙏🙏🙏❤️

  • @dicksonmasukuma4519
    @dicksonmasukuma4519 21 день назад

    Amen presha mwilini mwangu itoke sasa kwa jina la yesu

  • @JoyceHaule-o7b
    @JoyceHaule-o7b 3 месяца назад

    Nakomesha magonjwa katika jina la Yesu

  • @edinahmoraa-z5x
    @edinahmoraa-z5x 4 месяца назад +5

    Nakomesha visirani kazini in Jesus name 🙏 wanipatie amani

  • @monicadittu2554
    @monicadittu2554 3 месяца назад +2

    Nimepokea uponyaji kupitia maombi haya ubarikiwe mtumishi kwa maombi

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 4 дня назад

    Mungu niondolee matatiso sangu sate in Jesus name amen 🙏🙏

  • @NyemoBernadeta
    @NyemoBernadeta 3 месяца назад

    Nakukomesha plesha inayo jirudia kwa jina la yesu na kw ADAMU ya YESU

  • @JoyceMachaku
    @JoyceMachaku 8 месяцев назад +17

    Nakomesha ndoto zinazojirudia nipo shule au simalizi mitihani yangu na kufeli mitihani yangu nakomesha kwa jina la yesu kristo naomba uniombee sana

    • @allthingdranabeauty
      @allthingdranabeauty 8 месяцев назад +3

      Ameni Nakushauli karibu na mtiani ingia RUclips type prayer for exams

    • @AlexEvance-tl3dd
      @AlexEvance-tl3dd 8 месяцев назад +2

      Yan kama mimi hv hv kila siku naota nipo shuleni

    • @deechannel1675
      @deechannel1675 7 месяцев назад +1

      Prayer for examinations.

    • @esthernchimbi593
      @esthernchimbi593 7 месяцев назад

      Amen

    • @JoyceHaule-o7b
      @JoyceHaule-o7b 6 месяцев назад

      Yeye anaota ndoto yupo kwenye mtihani ni ndoto​@@allthingdranabeauty

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 4 месяца назад

    ❤❤❤❤Amina Muñgu akubariki Mtumishi ubarikiwe sana Nina Imani nimepona ❤❤❤

  • @HawaKibale
    @HawaKibale 2 месяца назад

    Kupitia maombi haya nakomesha roho ya kuachika kwenye ndoa na pia kuota ndoto nafanya mtihani alafu nashindwa kumaliza mtihani nakomesha pia nakomesha matatizo ya nguvu za giz kunifatilia yaondoke katika jina la yesu na mungu anifanikishe katika kila ninalofanya lisikwame in Jesus name amen

  • @BarakamasondoleBarka
    @BarakamasondoleBarka Месяц назад

    Naomba Mungu nguvu zako ww ndio Mungu wa rehema uniepushe na ndoto zinazojirudia za mama yng alitangulia mbele za haki zifute ziondoke kabisa

  • @LilianPeter-qt1vc
    @LilianPeter-qt1vc 5 месяцев назад +2

    Nakomesha ugonjwa wangu usio Julikana unaojirudia rudia kupitia jina la yesu kristo Mnazareti aliye hai 🙏🏻🙏🏻🙏🏻

  • @BihusiMagogo-ci7vr
    @BihusiMagogo-ci7vr 10 месяцев назад +2

    Ñataka nipone tatizo la ndoto za kujirudia kwenye maisha yangu na watoto wangu leo litoke kwa damu ya yesu ñataka CHEDI apewe jibu ashinde mtihan leo

  • @ElinaishaMosha
    @ElinaishaMosha 2 месяца назад

    Kweli Mungu nimkuu sana nimemuona akipita kwangu kwanamna yaajabu Asante YESU

  • @ambrosekaseka9346
    @ambrosekaseka9346 3 месяца назад

    nakomesha ndoto mbaya zinazojirudia zinazoashilia kukwama kucheleweshwa kurudi kuachwa ni magonjwa kwa damu ya yesu Amen

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 4 дня назад

    Asante yesu 🙏🙏

  • @mabonga6348
    @mabonga6348 2 месяца назад

    Nashukuru Mungu Kwa maombi hayo ya ukombozi

  • @sophiaAmhimedi
    @sophiaAmhimedi 7 месяцев назад

    ubarikiwe mtumish. Mungu amenionekania amen

  • @esthersissamo1120
    @esthersissamo1120 5 месяцев назад

    Mungu unipiganie sana kwa hili asante Yesu amina

  • @NellyKombe
    @NellyKombe 3 месяца назад

    Amen MUNGU akubariki sana mtumishi

  • @MilghaneNyari
    @MilghaneNyari Месяц назад

    Nakomesha,mikosi lahana ufilisi jini mahaba na roho ya umaut navitekeza kwadamu yesu

  • @zainabukiponza
    @zainabukiponza 2 месяца назад

    Nakomesha hofu , wasi wasi na sauti zinajirudia kichwani kwangu katika Jina la Yesu Amen

  • @pasyanmwaikimba5616
    @pasyanmwaikimba5616 5 месяцев назад +1

    Nakomesha ndoto za kuludi Kijijin kiroho kwa jina la Yesu ndoto za kuludi shule kwa jina la Yesu nakomesha roho za kucheleweshwa kwa jina la Yesu🙏

  • @Theoristerbulamu
    @Theoristerbulamu 3 месяца назад

    Ameen napokea uponyaji wangu leo,kibali,nyota yangu, biashara iliyokufa irudi. roho yakukataliwa naikomesha, roho ya mafarakano naikomesha kwa jina la Yesu Ameen asante baba kwa Maombi mazuri ameen

  • @hffh7717
    @hffh7717 4 месяца назад

    Amen Amen amen pastor wacha mungu akutie nguvu

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 11 месяцев назад

    AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN AMEN BABA NAPOKEA KWA JINA LA YESU christo amen

  • @GraceYohana-n4s
    @GraceYohana-n4s 2 месяца назад

    Amina, Mungu anisaidie.

  • @JessyBeauty-h6u
    @JessyBeauty-h6u 9 месяцев назад

    Bwana yesu shusha damu yako ikomeshe matatizo ya watoto wangu na familia yangu katika jina la yesu,....

  • @AAoo-c8f
    @AAoo-c8f 4 месяца назад

    In the name of Jesus Christ 🙏 walai this prayer is powerful if you have faith mm nmekua naumwa na tumbo but finally nmepokea uponyaji 🙏❤️ mungu apewe sifa milele 🙏🙏 najua ata ashabadilisha ndoto yangu 🙏

  • @JosephineErupe-x4l
    @JosephineErupe-x4l 9 месяцев назад

    Jehova naomba ukomeshe nagonjwa yanayo jirudia kwa watoto wangu na pia roho ta kukosa pesa kwa familia yangu..yaaninaomba kazi permanent kw mume wangu ili tusiteseke tena kwa jina la yesu

  • @marywaweru6089
    @marywaweru6089 Год назад +1

    Hili teso halitarudi tena katika Jina LA Yesu amen

    • @ruthtito4699
      @ruthtito4699 11 месяцев назад

      Mimi tatizo lakuto fanikiwa kiuchumi haliishi linajirudia sifanikiwi

    • @ruthtito4699
      @ruthtito4699 11 месяцев назад

      Niombee mtumishi

    • @rehemamatano3164
      @rehemamatano3164 10 месяцев назад

      Niombie mtumishi wa mungu umasikini madeni kudharauliwa magojwa ndio vimetutawala naomba Amani na uzima

  • @TeclaLyimo
    @TeclaLyimo 9 месяцев назад

    Nakomesha magonjwa ya kujirudia kwenye mwili wangu kwa jina la yesu kristo🙏🙏

  • @IanLuval
    @IanLuval 3 месяца назад +1

    Mungu nisamehe makosa yangu nakaata rohoza kunyonga kupitia kwajinalayesu hizoroho ziniondokee kupitia kwajinalababa nalamqana nalaroho mutakatifu

  • @LevinaSlivanus
    @LevinaSlivanus 10 месяцев назад

    Naomba nipone izi ndoto zinazokaa zinajirudia, naomba kuondolewa izi shida zinazokaa zinajirudia kwangu, naomba niondolewe changamoto zinazokaa zinajirudia namateso kwangu, amina🙏🙏

  • @MaryKichogo
    @MaryKichogo 15 дней назад

    Nakomesha kupata magonjwa ktk kipindi cha ujauzito na maisha yangu yafunguliwe

  • @EvaavE-h4b
    @EvaavE-h4b 2 месяца назад

    Amina nfukuza matatizo yakuliludia mungu l insaidie yaishe

  • @MarkoMboje
    @MarkoMboje 9 месяцев назад

    Nakomesha mateso ya kifua Cha mke wangu afunguliwe kiafiya apone kifua namafua Amina kwaimani

  • @GekoBueb
    @GekoBueb 6 месяцев назад

    Mungu akubariki sana pastor

  • @Caroline-iz1se
    @Caroline-iz1se 6 месяцев назад

    Asante mungu Kwa maombi ila nakomesha magonjwa yanayojirudia Kwa watoto watu yakome kabisa kuanzia leo in Jesus name 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @AderinaKachenesa-tg9qj
    @AderinaKachenesa-tg9qj 10 месяцев назад +1

    Amina baba nasikia kufunguliwa katk jina la yesu

  • @EvodearMwilafi
    @EvodearMwilafi 11 дней назад

    Nakomesha mwanamke anaeifany ndoa yangu isiwe na aman ee mungu nakushtakia wew mkomesh huyo mwanamke nipate aman ya ndoa yangu amiinaa

  • @dearyzebedayo5827
    @dearyzebedayo5827 4 месяца назад

    Eee Yesu nikumbuke Baba unapodhuru wengine namimi usinipite

  • @BrigitteFuraha-t9q
    @BrigitteFuraha-t9q 2 месяца назад

    Nachukuru. Mungu kwayote. Ninapitiya. Ndani. Naroo yakuvumiliya.bipindi. Yote. Nimepitiya. Ikonanitiyanguvu naatiye wagojwa nguvu. Wawe naimani yakucunga. Mapenzi. Yake. Amee

  • @jacklinejuma-bo7zj
    @jacklinejuma-bo7zj 6 месяцев назад

    Ameen nakomesha Figo Inn utumbo kushindwa kupumua kwajina layesu😢

  • @marthagombela
    @marthagombela 9 месяцев назад

    Nakomesha maganjwa ya tumbo la uzazi maumivu ayataludi tena ameen

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 4 месяца назад

    Nakomesha ndoto madhabau za giza sinazojirudia nikiwa shule nafanya mitihani nafuga njiwa naota napaa navunja hayo madhabau katika jina la yesu Amen

  • @siwemachilongola
    @siwemachilongola 10 месяцев назад

    Navunja madhabahu zote za kuzimu zilizonenwa kwa ajili ya maisha yangu na familia yangu, changamoto zinazonikabili zishindwe kwa jina la YESU

  • @chaohappy6328
    @chaohappy6328 5 месяцев назад

    Napokea kwa damu ya yesu

  • @agnesspaul1866
    @agnesspaul1866 Месяц назад

    ❤❤ Ameeeni ubarikiwe

  • @Morinefonga
    @Morinefonga 4 месяца назад

    Amina napokea🙏

  • @AluaFrank
    @AluaFrank 6 месяцев назад

    Ameeni nakomesha magonjwa kwa mama angu naamini atapona🙏

  • @GalileAmani
    @GalileAmani 3 месяца назад

    Ubarikiwe mchungaji

  • @AshuraSalumu-k7h
    @AshuraSalumu-k7h 5 месяцев назад

    Nakomesha ndoto zinazo jirudia kwa jina la yesu

  • @RoseMboya-u8d
    @RoseMboya-u8d 4 месяца назад

    Nakomesha magonjwa kwenye familia zetu,ajali,ulevi na wizi kwa jina la YESU. Mtumishi maombi yako sana

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 Месяц назад

    Nakumesha ndoto zinazo jirudia rudia za kijijini kwetu nazifuta nazing'oa nazifuta kwajina la yesu alie hali nafuta kila fkra mbaya kwenye mawazo yangu baba niko mbele zako nahitaji ufunuo wangu nioneshe njia sahihi ya kupita nipo ndoa baba nipe ushuhuda wangu baba

  • @evethabarnaba77
    @evethabarnaba77 6 месяцев назад

    Amina nakomesha hali ya presha na mateso katika uzaz wangu Mungu akatende miujiza yake safari hii niweze kupata mtoto salama kwa jina la Yesu🙏

  • @eliamlay7384
    @eliamlay7384 6 месяцев назад

    Moto kwa damu ya Yesu

  • @RadiyaHassan-m7g
    @RadiyaHassan-m7g 11 месяцев назад

    Amen napokea kufunguliwa roho ya kucheleweshwa na kukataliwa

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 4 дня назад

    Thank you Jesus 🙏🙏🙏🙏

  • @fridashani6562
    @fridashani6562 5 месяцев назад

    Napokea kwa jina yesu kristo mwana wa Mungu aliye Hai 🙏🙏

  • @neemasalvatory3185
    @neemasalvatory3185 9 месяцев назад

    Nakomesha matatizo yote yanayojilidia kwenye familia yangu ameen🙏

  • @ChanellePfukamusenge
    @ChanellePfukamusenge 7 месяцев назад

    Ubarikiw sana papa

  • @KiliyaniMahanganile-xv5mi
    @KiliyaniMahanganile-xv5mi 7 месяцев назад

    Nakomesha mahonjwa katika jilayesu Amen

  • @somboi422
    @somboi422 Год назад +1

    Bwana Yesu nakushukuru kwa kukomesha vyote vilivyo kuwa vinanitesa.Nakurudishia utukufu mateso hayatanirudia tena. Nah 1:9 ktk JINA LA YESU KRISTO AMEN AMEN AMEN

  • @merinamkocha3818
    @merinamkocha3818 5 месяцев назад

    Mungu ukakomeshe ajali za kujirudirudia za kuteleza na kuvunjika Kwa Damu ya Yesu iniponye. Ameen

  • @RaymondMahundi
    @RaymondMahundi 7 месяцев назад

    Mungu baba yangu naomba ukomeshe mateso yangu amen

  • @AdiaChidy
    @AdiaChidy 3 месяца назад

    Mungu naomba nipone magojwa yote yanayo ludiya ludiya

  • @elishamafulu106
    @elishamafulu106 11 месяцев назад

    Shetan utukome Kwa jina la YESU christo amen

  • @AshuraSalumu-k7h
    @AshuraSalumu-k7h 5 месяцев назад

    Nakomesha kabisa mateso yanayo jirudia kwa jina la yesu

  • @anicetharukanuga
    @anicetharukanuga 8 месяцев назад

    Naomba mungu akomeshe magonjwa ya nyama za puani kwa watoto wangu

  • @eliamlay7384
    @eliamlay7384 6 месяцев назад

    Mungu ukawakomeshe watesi wangu ktk eneo langu la kazi naifunika kazi yangu kwa damu ya Yesu

  • @ElilishaMeshack
    @ElilishaMeshack Месяц назад

    Ubarikiwe sana kwama ombi mazuri

  • @shukurusimba9866
    @shukurusimba9866 5 месяцев назад

    Nashukuru sana kwa maombi hayo

  • @tfashy_hub9156
    @tfashy_hub9156 7 месяцев назад +1

    Kwa jina la Yesu nakomesha roho za magonjwa juu ya familia yangu, hasa mwanangu na mama yangu. Magonjwa yaondoke na yasirudi Tena. Ni katika jina la Yesu Kristo Naomba. Amen 🙏

  • @OliverMwaky
    @OliverMwaky 9 месяцев назад

    Naomba mumwombee mume wangu anatumiwa na maadui kutukana jirani pia kukosesha amani ya familia yakome yasijirudie tena kwa jina la yesu

  • @RuhashaYvette
    @RuhashaYvette 5 месяцев назад

    Mungu Ani tosheye roho yaku rudiya nyuma na rohombaya

  • @eliamlay7384
    @eliamlay7384 6 месяцев назад

    Usiku huu naomba nikapokee muujiza wa kifedha nikamalizie nyumba yangu kwa jina la Yesu imekuwa

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 5 месяцев назад

    Asante yesu tunabalikiwa kuptia mtumishi wako Amina Amina

  • @EffaYanga
    @EffaYanga 3 месяца назад

    Nakomesha roho za magonjwa katika Maisha yangu na kwa watoto wangu na mume wangu

  • @DemuyuMuyumba-ky5re
    @DemuyuMuyumba-ky5re 6 месяцев назад

    amén piya n'a miye iyi magojwa isinirundiliye tena n'a katala ka bisa mungu uniponye papa unisaidiye kwa île lego

  • @MussaWanna
    @MussaWanna 8 месяцев назад

    Asante yesu kwa ajili ya maombi ya uponyaji naamini nimepona ktk jina lako amini

  • @edwinpaul9258
    @edwinpaul9258 7 месяцев назад

    Nakomesha pepo la kutopendwa katika jina la yesu ameni

  • @JanethUrasa-qs5ot
    @JanethUrasa-qs5ot 10 месяцев назад

    Ameen nakomesha magonjwa kwenye maisha yangu na watoto wangu kwa jina la Yesu

  • @SantaKatana-te9db
    @SantaKatana-te9db 5 месяцев назад

    Amen so Asante dede 🧎🧎🙏🙏

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 11 месяцев назад +1

    Navunja Magonjwa yote ktk familia yangu na ndugu zangu wote kwa Jina la Yesu kristo Amen

  • @emilyamani2016
    @emilyamani2016 11 месяцев назад

    Roho ya umasikini na madeni inanitesa Sana na mungu nionekanie Leo kwa jina la yesu

  • @JescaHarrison
    @JescaHarrison 8 месяцев назад

    Nakomesha maradhi ya kijirudia rudia naamin kuanzia leo napona kwa jina la yesu amen

  • @Judy-dy4zt
    @Judy-dy4zt 5 месяцев назад

    Asante mtumishi

  • @DenisNchimbi-oi8wt
    @DenisNchimbi-oi8wt 9 месяцев назад

    Ee Mungu niponye Afya yangu na Afya ya mama angu mzaz kwa jina la Yesu Ameeen.

  • @NaumiBaya
    @NaumiBaya 11 месяцев назад

    Amen naomba uniombee mtumishi wa mungu mimi na shida inanirudia rudia

  • @Mwx-zd4ov
    @Mwx-zd4ov 5 месяцев назад

    Mungu naomba ukatuondolee kila matatizo ya kujirudiarudia