MJAMZITO. MAOMBI YA KUOMBEA MIMBA / MTOTO TUMBONI, OMBEA SIKU YA KUJIFUNGUA. MAOMBI NI DAWA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 20 дек 2024

Комментарии • 336

  • @RadhiaOmary-v5n
    @RadhiaOmary-v5n 9 месяцев назад +6

    Asante yesu nina uakika nitajifungua salama amen

  • @HalimaDiana-rr5wi
    @HalimaDiana-rr5wi 10 месяцев назад +2

    Ubarikiwe saana mtumishi wa Mungu naomba nawe tokea South Africa naimani na Maombi yako na Mungu atatenda amen

    • @LatifaMtika
      @LatifaMtika 8 месяцев назад

      Nimepokea uponyaji nitajifungua salama kwa jina lenye nguvu

    • @AnitaIseli
      @AnitaIseli Месяц назад

      Amen ,...ubalikiwe sanaa Mtumishi wa Mungu

  • @EmanuelVitalo
    @EmanuelVitalo 3 месяца назад +2

    Amen naiman mungu anajibu watot wote watakua hai nakila mjamzito atajifungua salam ubarikiwe mchungaji

  • @OliviaEdwin-l1o
    @OliviaEdwin-l1o 10 месяцев назад +1

    Asantee na naiman ntavuka salama kwa maombi haya

  • @SimoneKimaro
    @SimoneKimaro 14 дней назад

    Na amini kwa maombi yako mungu atanisaidia kujifungua salama na nina amini nitajifungua mapacha wa.kike na wakiume amina asanty sana mtumishi mungu akupe maisha maletu

  • @JacklinePhilbert-fk4vg
    @JacklinePhilbert-fk4vg 17 дней назад

    Barikiwa sana mtu wa mungu ninaamini kuwa kwa maombi haya na kwa imani nilionayo kwa mungu wangu nitajifungua salama na nitanyonyesha na kumlea mtoto wangu in Jesus name

  • @JudithpeterMpako-hd2nl
    @JudithpeterMpako-hd2nl Год назад +2

    Amen naomb mungu anitendee siku ya Leo na nipokee miujiza

  • @agnescostantine9896
    @agnescostantine9896 12 дней назад

    Asante Baba Mungu akubariki napokea ktk jina la yesu kristoe

  • @calistercamilus2223
    @calistercamilus2223 Месяц назад

    Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu. Napokea majibu ya maombi yako kwa jina la Yesu na Damu ya Yesu kwa Mariam na wote. AsanteMungu kunisikia.

  • @rizikinibale6748
    @rizikinibale6748 Месяц назад

    AMEN AMEN MUNGU akubariki mtumishi na azidi kukupandisha kwenye viwago vyajuu zaidi

  • @SalahMangai
    @SalahMangai 4 дня назад

    Amina ntajifungua salama kwa uwezo wa mungu ❤Asante

  • @ShalifuMwangomile
    @ShalifuMwangomile 5 месяцев назад +1

    Amen napokea maombi haya kwa jina la yesu kristo na Mungu akubariki san mtumishi 🙏🙏🙏

  • @marthamsemwa4018
    @marthamsemwa4018 Месяц назад

    Ubarikiwe mtumishi wa Mungu maombi yako yamekuwa baraka sana kwangu nayapokea kwa jina la Yesu na nina imani nitajifungua salama na nitapata mtoto wa kike kama nilivyoomba na ikawe hivyo katika jina la mwanao Yesu kristo AMEN

  • @mariamwita7719
    @mariamwita7719 9 дней назад

    Amen nashukuru kwamaombi yako Mungu azidi kukubariki

  • @VickyMassawe-x6r
    @VickyMassawe-x6r Месяц назад

    Asante mtumishi,, nimepokea na naamini kupitia maombi haya,, mungu akubariki

  • @imbombokamage542
    @imbombokamage542 22 дня назад

    Nakuahkuru sana mtumishi wa mungu kupitia maombi yako nimejifungua salama kabisaa tena kilahisi mnooo mungu akubaliki mnooo

  • @DottoFikiri
    @DottoFikiri 19 дней назад

    Asante mung nina iman nita jifunguwa salama amen

  • @ElizabethYohana-ev4lf
    @ElizabethYohana-ev4lf 2 месяца назад +1

    Ameen Mungu nisaidie nijifungue niwe salama mimi na mtoto wangu Ameen🙏 Mungu akubariki sana Mtumishi na Mungu akutetee katika huduma yako Ameen🙏

  • @Rebekamwinuka-kh5tz
    @Rebekamwinuka-kh5tz 5 месяцев назад +4

    Nashukuru mtumishi" mungu kafanya kitu kwangu kupikia maombi yako na Imani niliyoipokea kuwa kwa mungu hakuna linalo shindikana, nimejifingua salama pamoja na mtoto wangu tuko vizuri ameen

    • @HassanMussa-j3j
      @HassanMussa-j3j 3 месяца назад

      Naomba uniombee namimi naitw Sophia nakalibia kujifungua naotandoto mbaya mtumishi

  • @RosemaryPeter-m8q
    @RosemaryPeter-m8q 5 месяцев назад +1

    Amen mtumishi wa Mungu nimepokea maombi kwa jina la yesu naimani nitajifungua salam bila changamoto yeyote mimi na mtoto wangu Ubarikiwe sana

  • @OriverBahebe
    @OriverBahebe 24 дня назад

    Nashukulu baba kwamaombi hakika nimepokea uponyaji na Mungu atakuwa nami aendelee kunipiganiya Amina mtumishi wa Mungu ubalikiwe sanaa

  • @ZubedaOmary-b2o
    @ZubedaOmary-b2o Месяц назад +1

    Ameen napokea nitajifungua salama kwajina la Allah

  • @AnethJosephMukuyu
    @AnethJosephMukuyu Месяц назад

    Amina sana Mtumishi wa Mungu naamini Mungu atafanya kitu kupitia maombi haya , Asante Mungu azidi kukupigania

  • @SalagandaKija
    @SalagandaKija Месяц назад

    Amina pastor ninaamin kwa maombi haya nitaji fungua salama na tutakuwa salama mi na mtoto ktk jina la yesu hakuna linaloshindikana

  • @deedee5467
    @deedee5467 4 месяца назад +1

    Shalom,ni Vicky kutoka Kenya Amina Amina Amina Asante mtumishi wa Mungu.Mungubqkubqriki kwa maombi naamini mwanangu atajifungua salama kwa jina la Yesu Kristo wa Nazarethi

  • @Magrethabel-u3x
    @Magrethabel-u3x 18 дней назад

    Amina mtumishi barikiwa sana kwa maombi mazuri

  • @ERICAMTULO
    @ERICAMTULO 2 месяца назад

    Amina mtumiahi wa mungu tunapokea kwa uweza wa roho mtakatifu ,Amina👏

  • @BeatriceCharles-wo8hr
    @BeatriceCharles-wo8hr 2 месяца назад

    Amina ubarikiwe Mtumishi wa Mungu Nina Imani nitajifungua salama

  • @BhokeMwikwabe
    @BhokeMwikwabe 4 месяца назад +1

    Amen mungu akubariki mtumishi wa mungu nimepokea

  • @deodatusadam4491
    @deodatusadam4491 2 месяца назад

    Asante Sana mtumishi Mungu akubaliki

  • @NasrahTwaarut
    @NasrahTwaarut Месяц назад

    Ameeeen Mungu akuenue zaid mtumishi

  • @OlivaMahay
    @OlivaMahay 2 месяца назад

    Amina mtumishi wa mungu nashukuru kwa maombi Yako

  • @dorkassichalwe8722
    @dorkassichalwe8722 6 месяцев назад

    Amina ubarikiwe sana kwa maono haya ya kuombea wajawazito Mungu azidi kukupandisha viwango na viwango

  • @IreneMsuya-e4d
    @IreneMsuya-e4d Месяц назад

    Amina mtumishi nitaendelee kumsihi mungu anifanyie wepesi nijifungue salama ndani mwezi huu,pia niwe salam na mwanangu .

  • @OliverFrank-u1r
    @OliverFrank-u1r 5 месяцев назад

    Amen mtumishi ubarikiwe sana napokea uchungu wa mwanamke wa kiebrania katika Jina la Yesu Kristo👏👏👏

  • @AminaAllyWegero
    @AminaAllyWegero 3 месяца назад

    Ameen pastor ubarikiwe sana naamini nitajifungua salama

  • @vumiliasimon1789
    @vumiliasimon1789 2 месяца назад

    Amen mtumishi wa mungu naamini mtoto atalindwa mpka siku ya kujifungua na ntajifungua salama

  • @SurprisedBlueMackerel-rg5tp
    @SurprisedBlueMackerel-rg5tp День назад

    Amina mtumish naiman ntajifungua salama na mtoto ang atakuwa na afya njema

  • @RoseOnsombi
    @RoseOnsombi 3 месяца назад

    Amen mungu akubariki. Mtumishi naamini nitajifingua salama

  • @MargretMwaka-rt4bh
    @MargretMwaka-rt4bh 24 дня назад

    Amen mtumishi mungu akubariki

  • @NyemoMussa-q3v
    @NyemoMussa-q3v 5 дней назад

    Ahsante kwa Maombi haya nimepokea kwa jina la Yesu

  • @juxkebelo341
    @juxkebelo341 4 месяца назад

    Asante nimesikia wepesi mara baada ya maombi yako ,mungu akubariki pia

  • @AyubuJulius-l1o
    @AyubuJulius-l1o Месяц назад

    Amen amen napokea uchungu wa kiebrania amen

  • @FaidaJeannedArc
    @FaidaJeannedArc 11 месяцев назад

    tunashukuru namaombi mutumishi,naishi Congo mungu akubariki sana

  • @SarahJoseph-mi4qg
    @SarahJoseph-mi4qg 2 месяца назад

    Amen,. Mungu akubariki mno

  • @FrolaMsemwa
    @FrolaMsemwa 4 месяца назад

    amina mtumish kwamaombi yako ninaiman nitajifunguwa salama ubarikiwe sn mtumish

  • @fransiscarwillaasin8927
    @fransiscarwillaasin8927 5 месяцев назад

    Mungu wa mbinguni akubariki Sana nabarikiwa Sana na maombi yako ,napokea uzao wa mwanamke wa ki ebrania Kwa jina la Yesu Kristo aliye hai🙏🏾

  • @janetMwandu
    @janetMwandu Месяц назад

    Asante sana mtumishi naamini nitajifungua salama🙏🙏 6:57

  • @KissaKapogo-e2f
    @KissaKapogo-e2f 26 дней назад

    Barikiwa Sanaa mtumishi wa Mungu

  • @LodrigueIrakoze
    @LodrigueIrakoze Месяц назад

    Ameeeeeeen Mungu akubariki mchungaji😊

  • @BenardNdosi
    @BenardNdosi 3 месяца назад

    🙏 amen kwa imani naamin mwanangu atakuw salm na ntjfngua salm barikiwa san mtumish wa Mungu

  • @mamfrola2507
    @mamfrola2507 2 месяца назад

    Amen Amen Mungu qkanifanyie njia kwa siku chache zilizobaki

  • @MariamNassoro-un4fu
    @MariamNassoro-un4fu 4 месяца назад

    Amina mutumishi wamungu Namini nitajifungua salama kupitia maombi yako

  • @DottoFikiri
    @DottoFikiri 19 дней назад

    Asante mung nina iman nita jifunguwa salama

  • @BeatriceCharles-wo8hr
    @BeatriceCharles-wo8hr 2 месяца назад

    Amina Mtumishi wa Mungu nabarikiwa kwa maombi yako

  • @AnnaAdoniasi
    @AnnaAdoniasi 3 месяца назад

    Asante mtumishi wa mungu naamini maombi yako

  • @Rebekamwinuka-kh5tz
    @Rebekamwinuka-kh5tz 5 месяцев назад

    Amina mtumishi nimepokea maombi kwa jina la yesu naimani ntajifungua salama bila changamoto yeyote Mimi pamoja na mwanangu.

  • @RachuonyoMercy
    @RachuonyoMercy 5 месяцев назад

    Amina pastor naamini Mungu atanitendea makuu

  • @ManotimkendaMkenda
    @ManotimkendaMkenda 9 месяцев назад

    Asante sana mtumshi nimesikiliza maombi yako yana nguvu sana

  • @ShifaaMohamedi
    @ShifaaMohamedi 21 день назад

    Asante yesu nina uhakika nitajifungua salama Amen 🙏

  • @jullyleonardelias5184
    @jullyleonardelias5184 5 месяцев назад

    Amen mtumishi wa Mungu ninaamini nitajifungua salama mimi na mtoto wangu tutakua salama kwa Jina la Yesu Kristo

  • @HappyMvungi
    @HappyMvungi Год назад

    Amen Bab mungu akulinde 🙏nashukulu San kwa maomb yk

  • @gentillembozi8433
    @gentillembozi8433 2 месяца назад

    Shukran sana docter ubarikiwe

  • @stellakazungu-gn7nk
    @stellakazungu-gn7nk Год назад

    Amina nashukuru kwa maombi nipoke uponji saizi tumbo lilikuwa linaniuma baada ya maombi limekaa sawa

  • @AvelinaGeorge
    @AvelinaGeorge 3 дня назад

    MUNGU akubariki mtumishi wa MUNGU mimi ninaujauzit wa wek 34 mtoto ajageuk kupotia maombi aya naamini Anageuka na nitajifugua salama kwa Jina La YESU

  • @SlivesterMachela
    @SlivesterMachela Месяц назад

    Amnin nmebalikiwa namaombezi yko pastor naamin kwanguvu ymungu ntjifungua salm

  • @EsterChengula
    @EsterChengula 3 месяца назад

    Asante kwa imani ntajifungua salama

  • @FaustinaHassan
    @FaustinaHassan 3 дня назад

    Asante baba mungu akubariki pia

  • @hadijaAlly-q8e
    @hadijaAlly-q8e 3 месяца назад

    Asante mtumishi mungu akubaliki sana🙏

  • @MupaMwabeja
    @MupaMwabeja 4 месяца назад

    Asante sna pasta kwa maombi yko mungu akubark

  • @ElizabethJoseph-iq4uj
    @ElizabethJoseph-iq4uj 2 месяца назад

    Amina napokea uchungu wa kiebrania kwa jina la YESU KRISTO

  • @procecharles7428
    @procecharles7428 Год назад

    Amen pastor na Mungu akubariki sana

  • @LeahPeter-wq6te
    @LeahPeter-wq6te 4 месяца назад

    Amen....naamini nimepokea Kwa jina la yesu🙏

  • @IreneMsuya-e4d
    @IreneMsuya-e4d Месяц назад

    Nashukur kwa maombi mtumishi ninahifu lakini kupitia maombi nimepokea mungu akubariki

  • @AlickMwakitalima-oy4no
    @AlickMwakitalima-oy4no 6 месяцев назад

    bwana yesu asifiwe mtumishi tunabarikiwa sana na maombi yako mungu akubariki sana

  • @sophiatesha6572
    @sophiatesha6572 Месяц назад

    Amen nimepokea kwa damu ya yesu

  • @ElizabethKisinga-k4v
    @ElizabethKisinga-k4v Месяц назад

    Amina mtumishi wa MUNGU napoke kwa jina la YESU

    • @oscarambani4715
      @oscarambani4715 Месяц назад

      Amen mtumish niko Kenya na niko karibu kujifungu na mungu akanitende saw na wa awake wa kiebrani amen

  • @NuruZebedayombise-ie5zb
    @NuruZebedayombise-ie5zb Месяц назад

    Mungu akubariki sana mtumishi wa Mungu

  • @KristinaPatrick-x8g
    @KristinaPatrick-x8g 4 месяца назад

    Amen mtumishi wa mungu akubalik ntajifungu salama🙏

  • @marygregory7566
    @marygregory7566 Месяц назад

    Amen asante pastor

  • @SULEIMANJUMA-q2v
    @SULEIMANJUMA-q2v 2 месяца назад

    Napokea mtumishi wa mungu,ninaamin initajifungua salama na nitapokea mapacha wangu kwa uwezo wake mungu bila pingamizi lolotè

  • @edwinWillbard
    @edwinWillbard 6 месяцев назад

    Amina mtumishi wa mungu ubarikiwe sana

  • @NuruShaban-p9z
    @NuruShaban-p9z 2 месяца назад

    Amen naomba mungu nikapokee siku yaleo nikajifunguwe salama

  • @JanyBenja-lr2fr
    @JanyBenja-lr2fr 6 месяцев назад

    Amen nimepokea pastor

  • @iameliakatabazi4496
    @iameliakatabazi4496 21 день назад

    Amina mtumshi wa mung ubalikiwe

  • @BieshaAbdalha
    @BieshaAbdalha 3 месяца назад

    Amina baba mchungaji nimeyapokea maombi haya❤

  • @PaulinaSimtengu
    @PaulinaSimtengu 3 месяца назад

    Asante mchungaji mungu akulinde na akupe maisha malefu

  • @elnasanga8607
    @elnasanga8607 6 месяцев назад

    Ubalikiwe sana mtumishi nime jifungua salama nilikua na sikiliza maombi Yako mungu akubalik sana

  • @ROSINAJACKOBO
    @ROSINAJACKOBO 4 месяца назад

    Amina sana mtumishi naamini mungu atatenda

  • @MussaBendera-x1h
    @MussaBendera-x1h Год назад

    Amen Asante mtumishi wa Mungu

  • @annambilinyi1419
    @annambilinyi1419 Месяц назад

    Amina namini naamini ntajifungua salama tukakua salama mimi pamoja na mwanangu🙏🏻

  • @FatumaIsiyaka
    @FatumaIsiyaka 5 месяцев назад

    Amen tajifungua salama kwajina layesu

  • @GloryKaray
    @GloryKaray 6 месяцев назад

    Asante kwa maombi nimefunguliwa Katka jina kuu la yesu

  • @FrenkJuma-oz9te
    @FrenkJuma-oz9te 2 месяца назад +1

    Asante yesu nina huakika nitajifungua salama

  • @AngelDavid-b4c
    @AngelDavid-b4c 6 месяцев назад

    Amen barikiwa mtumishi WA mungu

  • @queensenya
    @queensenya 2 месяца назад

    Amina nmepokea baba angu🥰🥰

  • @MeryPeter-u5n
    @MeryPeter-u5n 5 месяцев назад

    Amina barikowa mtu mishi

  • @SalhaRaphaelNyika
    @SalhaRaphaelNyika 2 месяца назад

    Amina amina nimepokea mimi na watoto wangu na uzao wangu

  • @esirkehogo2198
    @esirkehogo2198 4 месяца назад

    Amen na imani nitajifungua salama

  • @AdonisIgnas
    @AdonisIgnas 2 месяца назад

    Ubalikiwe mtumishi wa Mungu