Amen, you're preaching the truth man of God b blessed coz hata mm najiona nmepungukiwa juu nmekosa kusoma neno kwa wiki mbili na ndoto zenye naota nizakupungukiwa nguvu Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri
Leo nmesikiliza neno lako nmebarikiwa sana mm ni mvivu kusoma biblia lkn ntajitahidi sanaa mtumishi mimi naitwa Anna Leo nmempokea bwana kuwa mwokozi wangu nlikuwa naomba kwenye maombi yako uwe unaniombea niendelee kulijua neno la mungu na mimi pia nweze kuwahubiria wengine waokoke warudi kwa yesu kristo
Mtumishi, umesema Kuna vitu viwili vinavyochochea ukuaji wa kiroho, cha kwanza umesema ni kusoma neno la Mungu, cha pili ni nini? Maana mpaka kipindi kimeisha hujasema hicho cha pili 😢😢

Ahsante sana mtumishi wa mungu🙏🙏
Asante mungu kwa kunikutanisha na huyu mutumishi nasikia kubarikiwa sana na mafundisho yake mungu akubariki mtumishi wa mungu unanibariki sana
Bwana yesu asifiwe tunafarijika na masomo yako mwl tunaomba no zako ili tukutafute in box wengi tunahitaji ukuuwaji kiroho.
Mtumishi mungu akubariki na akutie nguvu uendelee kutufundisha neno lake
Ameen ameeen
Amen ubarikiwe kufundisha kukua kiroho
Kwanini msitutengenezee group la whstsap la holy spirit connect mana kiukweli hii chanel imefanyika baraka kwa kila anayejiunga kuisikilizq
Kweli kabisa
Nimebarikiwa Kwa kpitia mafundisho yako
Amen, you're preaching the truth man of God b blessed coz hata mm najiona nmepungukiwa juu nmekosa kusoma neno kwa wiki mbili na ndoto zenye naota nizakupungukiwa nguvu Asante mtumishi kwa mafundisho mazuri
Amen, barikiwa pasta nimepokea🙏🙏
Mungu akuinue zaidi Kwa mafundisho mazuri Asante sn
Mungu wangu nisaidie
Emeni barikiwa sana mtomishi wamungu
Roho mtakatifu akupe nguvu mtumishi
Leo nmesikiliza neno lako nmebarikiwa sana mm ni mvivu kusoma biblia lkn ntajitahidi sanaa mtumishi mimi naitwa Anna Leo nmempokea bwana kuwa mwokozi wangu nlikuwa naomba kwenye maombi yako uwe unaniombea niendelee kulijua neno la mungu na mimi pia nweze kuwahubiria wengine waokoke warudi kwa yesu kristo
Ameen. Tutakuombea
AMINA.
Ukweli roho yangu idumaa siku hizi kuamka saa sita usiku n saa tasa ume kua ngumu sana nisaidie nikue pst
Amen ubarikiwe
Ubalikiwe mutumishi wamungu uendelee kutufundisha tangunianze kukufwatiliya nimebalikiwa sana asante
Mungu akubariki mtumishi nabarikiwa nikiwa Saudi Arabia
Roho Mtakatifu nisaidie niwezeshe somo hili liingie kwenye roho yangu nilitendee kazi nikue kiroho
Ubarikiwe sana 🙏🙏
Ubarikiwe sana Mwalimu najifunza mengi kutoka kwako😢....MUNGU aendelee kukutunza mtumishi 🙏🙏
Ameen
Amen 🙏, asante kwa kulisha nafsi yangu chakula Cha kiroho mchungaji wangu. Mungu wa binguni akubariki sana
Ameen ameeen
Ubarikiwe pia
AMEEN
Asante Mtumshi wa Mungu kwa mafundisho yako mazuri🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina mtumishi tupo pamoja na yesu , ubarikiwe sana
MUNGU WA MBINGUNI AKUBARIKI
MUNGU akuinue Mwalimu najifunza mengi kutoka kwako 😥🙏🙏🙏
Ameen ameeen
Akuinue pia
Baba nabalikiwa sana nakuwa kiroho ubalikiwe sana
Jina la yesu linatukuzya kupitiya wewe .naomba mungu akulinde kelasiku nakuku yepucha namambo yaduniya.
Amen barikwa sana nimejifunza kitu muhimu kwenye maisha yamwamini Neno laMungu
GLORY GLORY TO OUR MOST HIGH GOD, PST BLESSINGS UPON YOU FOR KEEPING GIVING US VERY POWERFUL ENCOURAGING SERMONS
Ameen ameeen
Be blessed too
Ameni 🙏 ubarikiwe san Mutumishi
MUNGU akupe maisha malefu mtumishi wa bwana nabalikiwa na mahubili yako Mungu akutangulie sk Zote za maisha yako
MUNGU azidi kukubariki mtumishi wa BWANA
Amen.ubarikiwe sana Pastor.napokea in Jesus name.
Asate Mungu kutumbea hekima ya rohoni barikiwa mutumish wa Mungu asate Kwa neno Zur 🙏🙏🙏
Ameen
Ubarikiwe pia
Ubarikiwe sana!!!Mtu wa Mungu❤❤❤
Mungu akubariki sana pastor
Amen 🙏 mtumishi God bless you 🙏
Amen Mtumishi 🎉🎉
Muñgu Awe Pamoja Nawe 🙏🙏🙏
Ameen
Hallelujah hallelujah Glory to God 😢😢😢Ubarikiwe sana
Ameen ameeen
Ubarikiwe pia
Amen Mungu akubariki sana Mtumishi nasikia kuongezeka zaidi💪🙏
Ameen ameeen
Ubarikiwe pia
Amen .umekuwa baraka kwangu
You're a real servant of Jesus Christ Emmanuel. Be blessed pastor mashauri
Amen. I am not mashauri, I am INNOCENT MORRIS
You mean Morris and Mashauri are two different people?
Who's Mashauri?
@holyspiritconnectthis three names were given to me in the dream
Mungu akubariki mtumishi
Amen amen amen I am blessed
Ameen ameeen
Asante mtumishi tunabalikiwa sana
Ameen
AMEEN AMEEN AMEEN
🙏🙏🙏
Barikiwa Mwalimu
Mtumishi, umesema Kuna vitu viwili vinavyochochea ukuaji wa kiroho, cha kwanza umesema ni kusoma neno la Mungu, cha pili ni nini? Maana mpaka kipindi kimeisha hujasema hicho cha pili 😢😢
Angalia sehemu ya pili ya somo link hii hapa ruclips.net/video/VLBp5ipsScA/видео.html
Ameni Mungu akubarki
Asantee ubarikiwe 💯🙏
Ubarikiwe sana 😢nipo Omani muscat ❤️nampenda YESU WANGU. Na najifunza neno la MUNGU ahsante sana😢
Ameen ameeen
Ubarikiwe pia
Yesu akutunze uko ukuwe zaidi kiroho❤
Yani uyu mtumishi ananibariki sijui yupo mheneo gani
Mwanza @@Judy-dy4zt
MUNGU akubariki sana
Amen thank you
🙏🙏🙏
Amen Pastor
🙏🙏🙏
Ameni🙏🙏 barikiwe 🙏
Ameen
Ubarikiwe pia
Amen 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
🙏🙏🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
🙏🙏🙏
Amen Amen
🙏🙏🙏
God bless you,🙏💝
Amen
🙏🙏🙏
Thank you
🙏🙏🙏
Ameeeeen amen
Najifunza na kubarikiwa sana na somo hili..🙏
Kanisa lenu liko wapi?
Emen
Ameeeeen
Tunakuomba tuandikie vitabu ivi unavyotufindisha uvitunze kwenye makaratas
Ila hili la group la whartsap lingetusaidia zaid pastor Inocent
+255652796450 (WhatsApp)
Niliudhuria maombi ya mashabulishi ndotoni mwili umeishanguvu pia kusikia kutapika niombee
Ni Roho Mtakatifu alikuwa anafanya operation kwenye mwili wako. Ukipata muda tena rudia kuyaomba tena
Leo nmesikiliza neno lako nmebarikiwa sana mm ni mvivu kusoma biblia lkn ntajitahidi sanaa mtumishi mimi naitwa Anna Leo nmempokea bwana kuwa mwokozi wangu nlikuwa naomba kwenye maombi yako uwe unaniombea niendelee kulijua neno la mungu na mimi pia nweze kuwahubiria wengine waokoke warudi kwa yesu kristo
Ameen. Tutakuombea
AME AMEN, 🙏🙏
🙏🙏🙏
Amen 🙌
Amen 🙏
🙏🙏🙏
Amen
🙏🙏🙏
Amina
Amen
Amina
Amen
🙏🙏🙏