Amina my Spiritual Father, natangaza Ndoa yangu, Elimu, biashara, Kaz, uzao wangu, ubadae wa wangu, ufahamu wao, Elimu yao, imekombolew na ndugu zangu kwa Damu ya Yesu.
Natangaz uponyaji na ushindi kwenye maisha yangu yote na future yangu kwanzia Sasa na hata milele hakuna kushindwa mim nimebalikiwa na Yesu Kristo Alie hai kwakua mim ni wa efatha nipo sehemu salama na sahihi kwetu hakuna kushindwa🙏
Nakataa pesa yangu si ya kulipa madeni, nimekombolewa, pesa yangu imekombolewa, watoto wangu wamekombolewa, hakuna bad luck kwa maisha yangu. Imbilisi hunipati enda kuzimu kwa jina la Yesu, Amen
Natangaza ushindi kwa jina la YESU aliyekufa akafufuka i ndoa yangu imekomborewa akili yangu imekomborewa familia yangu imekomborewa mafanikio yangu wamekombolewa kwa jina la YESU 🙏
Mungu asante kwa usiku huhu mungu natangaza ushindi katika biashara yangu katika ufundi wangu mungu nitakase kwa damu yako ya thamani mungu asante kwa ukombozi wako mungu naomba nikiwa nahamini mungu tenda juuu ya maisha yangu mungu naomba uniamshe salama na biashara zangu ndugu zangu wazazi wangu nao uwafanikishe katika kila njia mungu
Mimi ni mshindi mara dufu kwa damu ya yesu pesa yangu pamoja na watoto yatima wajane na pamoja na kazi ya Mungu by zakayo mwashilindi from TDM songwe ujumbe yesu kristo ni mshindi kwetu❤❤❤❤
Uchumi wangu utakuwa kwa ajili ya kujenga Ufalme wa Bwana na kinachoniangukia kwa ajili ya mahitaj na wale ambao Mungu amekusudia niwasaidie, pesa nitaikamat Kama sumaku haitaponyok kwangu
Natangaza ushindi ktk maisha yangu natangaza watoto wangu watakua vichwa, na Veronica atafaulu ktk mitihani yake, ktk jina la Yesu Kristo aliye hai, natangaza mafanikio yangu ktk viwango vya juu sana ktk jina la Yesu Kristo aliye hai, natangaza maisha marefu mimi na uzao wangu wote, ktk jina la Yesu Kristo, damu ya Yesu imetuzunguka.mimi. na Uzao wangu wote, tunaomba ulinzi wako Mungu ucku na mchana Uwe nasi daima,,🙏🙏
Pesa yangu haitatumika kutibu magonjwa, pesa yangu ni kwaajili ya kuhubiri injili na maendeleo Pesa yangu imekombolewa,ndoa yangu imekombolewa, watoto wangu wamekombolewa
Natangaza usindi. Pesa Yangu Ni ya maendeleo sio kutibu magonjwa. Sio ya kutibu matatizo. Eee Mungu iponye ndoa Yangu. Komboa kizazi changu ktk damu ya yesu kirsto nateketeza Kila aina ya ualibifu wa kualibu biashar Yangu ndoa kizazi changu. AMEN
Natagaza ushindi na kufunguliwa Kila nguvu za kichawi ndani ya familia ya Amon Isaya, pia Kila ninachokifanya kitafanikiwa kwa jina la Yesu Kristo. Hakutakuwepo na misiba wala machozi, wala kuwa masikini, amen amen amen
Nimekombolewa mimi nakizazi cangu watakuwa juu watatembeya mataifa namataifa watakuwa wa levo ya juu .hakuna magonjwa hakuna ajali hakuna njaa kwa jina la Yesi Kristo Amen amen
Natanga ushindi katika maisha yangu na ya watoto wangu Catherine na David watoto wangu niwashindi watakuwa vichwa nawala si mikia wataongoza kila sehemu kwenye masomo Yao watendee Baba yangu ameen 🙏
Natangaza uponyaji na ushindi ktk kila eneo la maisha yetu kwenye ndoa, uchumi, uhusiano wetu na MUNGU kwenye masomo kwenye kazi za mikono yetu, hatua zetu, kwenye afya zetu, kazini kwenye mashamba, mifugo
Amen nabii napokea mwaka huu nitamwona MUNGU katika Jina la yesu amen
Ameeeen, nimebarkiwa,nimepona, imeinuliwa, hakuna kushindwa kwangu tena kwa JINA LA YESUUUUU
Amina my Spiritual Father, natangaza Ndoa yangu, Elimu, biashara, Kaz, uzao wangu, ubadae wa wangu, ufahamu wao, Elimu yao, imekombolew na ndugu zangu kwa Damu ya Yesu.
Natangaz uponyaji na ushindi kwenye maisha yangu yote na future yangu kwanzia Sasa na hata milele hakuna kushindwa mim nimebalikiwa na Yesu Kristo Alie hai kwakua mim ni wa efatha nipo sehemu salama na sahihi kwetu hakuna kushindwa🙏
Nakataa pesa yangu si ya kulipa madeni, nimekombolewa, pesa yangu imekombolewa, watoto wangu wamekombolewa, hakuna bad luck kwa maisha yangu. Imbilisi hunipati enda kuzimu kwa jina la Yesu, Amen
Natangaza uponyaji katika kila eneo la maisha yangu mimi ni mshindi nimeshida kwa jina la YESU
Natangaaza ushindi katika maisha yangu kuanzia Leo nainuka nakuangaza Kwa jina la yesu 🙏🙏🙏🙏
Nakataa madeni kuanzia sasa,nakataa roho yoyote mbaya maishani mwangu....Ameeen
Natangaza ushindi kwa jina la YESU aliyekufa akafufuka i ndoa yangu imekomborewa akili yangu imekomborewa familia yangu imekomborewa mafanikio yangu wamekombolewa kwa jina la YESU 🙏
Natangaza ushindi Kwa jna la Yesu, sitoshindwa katka jambo lolote, afya, ndoa, uchumi, kiroho nainuka na kuangazaa
Muovu ushindwe KWA namna yoyote vyote vilivyo vyangu vikombolewaaaa amina ❤
Hallelujah napokea baraka nafaida zangu ktk jina la yesu wa nathareti aliye hai ❤
Mungu asante kwa usiku huhu mungu natangaza ushindi katika biashara yangu katika ufundi wangu mungu nitakase kwa damu yako ya thamani mungu asante kwa ukombozi wako mungu naomba nikiwa nahamini mungu tenda juuu ya maisha yangu mungu naomba uniamshe salama na biashara zangu ndugu zangu wazazi wangu nao uwafanikishe katika kila njia mungu
kupitia maombi haya nimefunguliwa bmwili wangu na uzao wangu naufunika katika jina la yesu katika jina la yesu amen
Mimi ni mshindi mara dufu kwa damu ya yesu pesa yangu pamoja na watoto yatima wajane na pamoja na kazi ya Mungu by zakayo mwashilindi from TDM songwe ujumbe yesu kristo ni mshindi kwetu❤❤❤❤
Amen nakataa kila vifafa na magonjwa ya kulisi kwenye familia yangu
❤❤❤❤❤❤❤ alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu Glory be to God
Amen, Amen natangaza kuinuliwa, Kufanikiwa ,kubarikiwa na Bwana maana my mi ni uzao mteule
natangaza uponyaji kwa watoto wangu na familia yangu katika jina la yesu amena
Alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu sifa na utukufu simurudiye Mungu
Amen Pastor .
Appostle Mwingira ni Mmoja tu. To God be all the Glory
Amen amen baba yet wa kiroho
Mungu naomba neema zako baba yangu nyakati zote
Natangaza ushindi katika Maisha yangu kwajina la Yesu.nitaanzisha biashara nahaitakufa Kwa jina la Yesu
@@RebeccaMwenyeheri amen amen
Natangaza ushindi 💪💪💪
Katika jina la Yesu ,Amen
Ameeeeennnn ndivyo itavyokuwa
Uchumi wangu utakuwa kwa ajili ya kujenga Ufalme wa Bwana na kinachoniangukia kwa ajili ya mahitaj na wale ambao Mungu amekusudia niwasaidie, pesa nitaikamat Kama sumaku haitaponyok kwangu
Amin,Mimi ni mshindi zaidi ya washindi
I'm anointed, I'm equipped, I'm talented in Jesus Christ name, AMENI.
natangaza ushindi katika maisha yangu amen💕💕💕🌹🌹
Amen baba imekua
Natangaza ushindi kwa kila kitu changu kwenye maisha yangu 🙏🙏 magonjwa hayana nafasi kwenye mwili wangu na familia yangu
Ameeen apostor
Mimi ni mshindi kati ya washindi ❤❤❤
I'm a conqueror in might Jesus name🔥🔥🔥🙏
Amina naomba ulizi wako bwana yesu
Napokea uponyaji kwa jina la Yesu
Amen ,upweke ,uhitJi ,umaskini mwisho
Napokea uponyaji katika Jina LA Yesu amen
mmi wa efatha sitaludi nyuma kiuchumi amiiinaa baba
Natangaza uponyanji kwenye maisha yangu amennn
Mm sio wakushndwa mm n mshindi zaid ya washindi sina cha kupoteza🙏💪
Natangaza Kaz yangu sio ya utumwa na pesa sio ya kutatua matatizo watoto wang wamekombolea Kwa damu ya yesu amen🙏🙏
Natangaza uponyaji juu yangu na kanisa la Bwana ktk maeneo yote Amina
Amen amen amen amen amen 🙌🙌🙏🙏🙏
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤❤❤
Ndio Bwana ndiyo Bwana
Napokea kwa jina la yesu
Amina mimi nimshindi
Natangaza ushindi kwenye maisha yangu
Natangaza ushindi kwa jina la Yesu
Amen, amen in Jesus name
Nakataa kwa jina la Yesu pesa yangu aitaishia hosp bali itawasaidia wajane na maskini,nimesisimka sana kwa ibada hii,
Natangaza ushindi ktk maisha yangu natangaza watoto wangu watakua vichwa, na Veronica atafaulu ktk mitihani yake, ktk jina la Yesu Kristo aliye hai, natangaza mafanikio yangu ktk viwango vya juu sana ktk jina la Yesu Kristo aliye hai, natangaza maisha marefu mimi na uzao wangu wote, ktk jina la Yesu Kristo, damu ya Yesu imetuzunguka.mimi. na Uzao wangu wote, tunaomba ulinzi wako Mungu ucku na mchana Uwe nasi daima,,🙏🙏
Mimi ni mshindiiiii
Kwenda kushindwa kwenda kuchelewaaaa, mimi sijachelewaa
Pesa yangu haitatumika kutibu magonjwa, pesa yangu ni kwaajili ya kuhubiri injili na maendeleo
Pesa yangu imekombolewa,ndoa yangu imekombolewa, watoto wangu wamekombolewa
Natangaza usindi. Pesa Yangu Ni ya maendeleo sio kutibu magonjwa. Sio ya kutibu matatizo. Eee Mungu iponye ndoa Yangu. Komboa kizazi changu ktk damu ya yesu kirsto nateketeza Kila aina ya ualibifu wa kualibu biashar Yangu ndoa kizazi changu. AMEN
Ameen baba napokea. Kwadamu yayesu
Natangaza ushindi Katika maisha yangu yote natangaza kwa jina la yesu
Mtumishi ubarikiwe kwa maombi ma
Natangaza uponyaji ktk maisha yangu na wanangu mm ni mshindi kwa jina la yesu
Asante baba yangu nakunda
Natangaza uzima ktk afya yangu na watoto wangu
Natagaza ushindi na kufunguliwa Kila nguvu za kichawi ndani ya familia ya Amon Isaya, pia Kila ninachokifanya kitafanikiwa kwa jina la Yesu Kristo. Hakutakuwepo na misiba wala machozi, wala kuwa masikini, amen amen amen
Me ni mshundi Kwa Kila jambo amen nimekombolewa
Amen dady
Natangza ndoa yangu ifunguliwe kwa jina la yesu
Ameeen 🙌
Nimekombolewa mimi nakizazi cangu watakuwa juu watatembeya mataifa namataifa watakuwa wa levo ya juu .hakuna magonjwa hakuna ajali hakuna njaa kwa jina la Yesi Kristo Amen amen
Natanga ushindi katika maisha yangu na ya watoto wangu Catherine na David watoto wangu niwashindi watakuwa vichwa nawala si mikia wataongoza kila sehemu kwenye masomo Yao watendee Baba yangu ameen 🙏
Amina
Amen
mtaji wangu unatoka kwa mungu
Natangaza ushindi kwamwanangu naamin atapona amina
Amen 🙏
Natangaza uponyaji kwenye kizazi changu na familia yangu.Mungu wa Efatha akamguse mama aliyeko kitandan muda huu
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ❤❤❤❤
We roho wakushindwa kwenda kwenda kwenda kwajian la YESU
Natangaza uponyaji na ushindi ktk kila eneo la maisha yetu kwenye ndoa, uchumi, uhusiano wetu na MUNGU kwenye masomo kwenye kazi za mikono yetu, hatua zetu, kwenye afya zetu, kazini kwenye mashamba, mifugo
Amina baba
Natangaza uponyaji kwe ye maisha yangu
Amen babaa
Yeye abadilishae, amenibadilisha
Natangaza ushnd kweny maisha yangu,maisha yangu yamekombolewa kila kilichochangu kikarejee mikonon mwangu
Ameen daddy🙏🏾🙏🏾
Natangaz kuponya Kaz yangu
Amen baba
Nitangaza ushindi katika jina la yesu
Aminaa🙏🙏🙏
Mimi sio wakushindwa mtajiwangu hautoki kwako mungu ndie mtajiwangu
Natangaza ushindi wa kumtumikia mungu
Natangaza uponyaji kwenye mwili wangu na ushindi kwenye ndoa yangu na kazini kwangu
amen. baba
Njiungsmanishs baba yangu
Josephat Mwingira kumfuza
Natangaza ushidi juu ya watot wangu
❤❤❤❤❤❤❤
Katika jina la Yesu natangaza uzima katika Kila Eneo
Natangaza kuinuliwa kwenye maeneo yote kwa baraka za Rohoni na zamwilini kwa jina la Yesu
Damu ya yesu ikañizunguke naomba ulinzi wako usiku na mchana unitangurie amee