Ushahidi Askofu Mwingira Siku 4 Akihojiwa Polisi, Waliotaka Kumua ikiwa baada ya Kauli zake alizotoa

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 30 дек 2021

Комментарии • 56

  • @jesusiscomingback4896
    @jesusiscomingback4896 2 года назад +11

    Nakuelewa sana mwingira Moja ya manabii WA ukwel waliobaki Tanzania..naomba Bwana Yesu akutetee..tunakuombea

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 2 года назад +14

    Serikali yangu ya Tanzania nawaomba sana sana sana kiongozi yeyote atakae soma msg hii awe mjumbe wa tarifa kuifikisha juu, tufanyieni yooooote ila msiwaguse guse viongozi wa Dini nihatari sana kwa Taifa nawaomba sana sana asanteni

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 года назад +8

    Huyu ndio mtumish wa Mungu. Hapend kupepesa macho

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 года назад +11

    Mwingira anayo macho ya kuona mambo ya mbele sana. Jitu la mbinguni.

  • @shaddybmc8342
    @shaddybmc8342 2 года назад +9

    Mwingira anao msimamo , nakumbuka hata kipind cha kikao cha viongoz wa din alisema, maswala ya haki

  • @kubwaichebestfriend8673
    @kubwaichebestfriend8673 2 года назад +10

    Muziki wa nini sana wakati watu wanataka kusikiliza maelezo, hopeless

  • @catherineezekiel3292
    @catherineezekiel3292 Год назад +1

    Mungu akutunze baba yangu Mwingira, Nakupenda sana

  • @paschalpaul3862
    @paschalpaul3862 2 года назад +3

    Zaburi 14:2 toka mbinguni Bwana aliwachungulia wanadamu aone Kama Yuko mtu mwenye akili,Amtafutaye Mungu

  • @neemashayo-mg7mv
    @neemashayo-mg7mv Год назад +1

    Huyu ni mtumishi was mungu jaman ni mungu amemchagua

  • @emmanuelmichael3012
    @emmanuelmichael3012 2 года назад +1

    Kwa kweli MUNGU akubariki sana umetukumbusha kuwajibika kwenye nafasi Zetu

  • @barakanestory3521
    @barakanestory3521 2 года назад +1

    Jamani,viongozi wadini ni hatari,hawaguswi jamani,Mimi naogopa sana,Wako na Mwenyezi mungu Tena Kwa ukaribu sana.Tuche jamani,watu mishi wa mungu wowote wale,wadini yoyote Ile,nihatari mno,sawa.

  • @faustinammilla757
    @faustinammilla757 Год назад +1

    Baba we love you forever nakupenda daddy

  • @mchungajihekimafungo8072
    @mchungajihekimafungo8072 2 года назад +4

    Mbona aliongea vizuri tuuu!!!!

  • @Ezekiel_abel
    @Ezekiel_abel 2 года назад +3

    Askofu we pray for you,GOD IS THE WINNER!

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 2 года назад

    Mungu amesha muinua na sisi wanadamu wa Dunia nzima tutamuinua. Samia Suluhu Hassan.

  • @amazi6796
    @amazi6796 2 года назад +5

    Hii channel Ni ya Kihuni, press ya mwaka juzi kabisa 2020 akiwa kibaha. Channel hii imetumwa na wahuni

  • @calimahad9274
    @calimahad9274 2 года назад +2

    Usipotoshe , tuhuma zake hazijaleta ukakasi kwa wananchi , wananchi tulifurahi kumsikia akitoa maoni yake.

  • @youngsonsiwale5404
    @youngsonsiwale5404 2 года назад +1

    God blesses

  • @godlovemunuo4167
    @godlovemunuo4167 2 года назад +1

    Wewe mwandishi ni pumbafu kabisa... kwanini unahadaa watuu..Mungu akakukemee mwenyewe

  • @user-ee1sz4eg6n
    @user-ee1sz4eg6n 3 месяца назад

    mungu akubalik

  • @barrynzeyimana6270
    @barrynzeyimana6270 2 года назад

    Haya mambo ya mungu kaniambia au kanipatia kibali siyapendi. Kwakua Hawa watu ni wanasiasa ambao wamejificha nyuma ya pazia. Hivi mungu kwanini akutume kwangu wakati na mimi nipo? Huo sio umbea?
    Mungu Hana taifa. Mataifa yamegawanywa na watu. Mwingereza, Germany, Marekani, ufransa, sio mungu kugawa africa,

  • @amiwitu1445
    @amiwitu1445 2 года назад +1

    Eti kuna uhuru!!!uhuru gani???
    Maneno tu, uhuru wa watu fulani tu!!
    Ni neema ya Mungu tu inayoibeba Tanzania.

  • @danielshimora5315
    @danielshimora5315 2 года назад +1

    Askofu ondoa shaka tuko kwenye mikono Salama ya Rais Samia Suluhu Hassan.

  • @mathewjohn8740
    @mathewjohn8740 2 года назад +4

    Sijaelewa Mtanzania mwenzangu kwa clip hii ni kibaya alichoongea Askofu Mwingira mpaka akaitwa kuhojiwa na jeshi la polisi?au haikurushwa yote?

  • @konshazikonsha6180
    @konshazikonsha6180 2 года назад +1

    Kumbe unajua kiswahili vizuri hivi🤔🤔!!!!!!

  • @rehemadaudi742
    @rehemadaudi742 2 года назад

    Mmm huyu mtumishi ana utiisho na mamlaka isiyo ya kawaida, ombeni macho ya rohoni mumuone hakika kila mtu atahofu na kutetemeka, namuona Yesu ndan ya mtu huyu

  • @octavianmushi9916
    @octavianmushi9916 Месяц назад

    watangazaji na waandishi wetu wajaribu kuwa makini zaidi kwani Apostle Mwingira siyo askofu...

  • @user-hp1xe4tf4p
    @user-hp1xe4tf4p Год назад

    Ameen Baba 🙏🙏🙏

  • @wilsonmatunda4937
    @wilsonmatunda4937 2 года назад

    Background music inaharibu ujumbe kutoka kwa Askofu.

  • @maishaedward3628
    @maishaedward3628 2 года назад +1

    Ukakasi kwa jambo la kweli, ni wapi au wananchi wangapi umewahoji na kuwauliza na kusema ni ukakasi?? Na hii press conference ni ya zamani Sana kipindi Cha corona miezi kama Tisa iliyopita, acheni uongo NYIE kwa jamii mnayoisema, si ya wiki iliyopita

  • @happynuspilula8670
    @happynuspilula8670 2 года назад +1

    Hii video ya Mtume na Nabii Mwingira, ni ya miaka miwili iliyopita, kipindi kile tumepata wimbi la kwanza la UVIKO-19. HAIHUSIANI NA YANAYOENDELEA KATI YAKE NA JESHI LA POLISI

  • @sangasanga6290
    @sangasanga6290 2 года назад

    Ya

  • @jumakalukule5312
    @jumakalukule5312 2 года назад

    Kweli hiiyazamani nimekumbuka aisee

  • @EngJosh
    @EngJosh 2 года назад +1

    Hii Ni wakat Magu akiwa hai

  • @user-le1pv5on3y
    @user-le1pv5on3y 3 месяца назад

    Wenga mwngila nikuona uronda kurotakujela

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 2 года назад

    Nafanya kwa kibali cha Bwana 😭😭😭

  • @saidipara4134
    @saidipara4134 2 года назад

    Tunajua sasahiv lile genge la mama na mwemnzake wa msoga.watakuwekea chuki sana mpa wanaweza kuuwa.magufuri alikupenda na wewe ulimpenda pia wewe ndio ulikuwa rafiki wa kweli wa mjomba.

  • @lucaelibosco2232
    @lucaelibosco2232 2 года назад

    Mmh mnafel hii press ni ya mwaka jana au mwaka juzi acha uongo

  • @sikapendinakapenda4170
    @sikapendinakapenda4170 2 года назад

    Yupo nje kabisa ya topic iliyokusudiwa, au kaingia upepo?

  • @wilbertsanze285
    @wilbertsanze285 2 года назад

    Tatizo hili taifa sijuwi kwanini babu akuweka katiba yenye usawa

  • @yakwetutv8525
    @yakwetutv8525 2 года назад

    Ma ling ton yani kwenye vitu muhimu kama hivi

  • @luhindakanige2987
    @luhindakanige2987 2 года назад

    Tatizo mnachanganya din na siasa

  • @zainabsaid9264
    @zainabsaid9264 2 года назад

    Mtume itakuwa mg on I?watakuja manabii wa uongo wakinena kwa jina langu

  • @yussufpandu1320
    @yussufpandu1320 2 года назад

    Tafadhali musipige muxiki sisi tunataka taarifa sio muziki

  • @bashemelajohn
    @bashemelajohn 2 года назад

    Sikuhizi maasikari nao ni ccm 😂 yani inachosha tatizo wanapenda matumboyao lazima wanyoke safari hii

  • @protaskindauji985
    @protaskindauji985 2 года назад

    Waandishi wa habari mkikosa ueledi na mkazidi kuwa waongo umaskini hauwezi kuwaisha. Hii clip ni ya mda mrefu uliopita.

  • @musaandrew604
    @musaandrew604 2 года назад +1

    Unsubstantiated mnatafuta view kumbe CLP ya mwaja juzi mna ileta Leo ?

  • @williammajani2152
    @williammajani2152 2 года назад

    Clip ya Mwaka 2020 inaoletwa kama ya Leo. Waziri mkuu uingereza alilazwa Jana? Rais kama Baba. Maneno hayo yanaonesha ilikuwa wakati wa Magu. Nashauri tu Ukiendelea hivi utapoteza watazamaji acha uhuni

  • @johnaloycemushi3371
    @johnaloycemushi3371 2 года назад

    Sio clip hii ina tatizo ile aliongea akiwa kanisani

  • @happinessmwenda2773
    @happinessmwenda2773 2 года назад

    NYIE VIONGOZI WA DINI ISHINI KTK KWELI NA HOFU YA MUNGU.FATENI MFANO WA AKINA MUSA.

  • @mchungajihekimafungo8072
    @mchungajihekimafungo8072 2 года назад

    Mhuuu

    • @salomemchewa5187
      @salomemchewa5187 2 года назад

      Wachungaji ndo mnaharibu mwelekeo w nchi hamjui mkae wapi,, kwenye dini au kwenue siasa, kwanini mwuwe mnahubilia watu vitu ambavyo havihusiki.. Kazi ya mchungaji nikuhubili bibli, mengine yote ya nini,. Sasa kanisani. Ulileta habari ya tundulisu ua nini, kama siyo siasa.. Mnatuchanya bwana

    • @edmundmato669
      @edmundmato669 7 месяцев назад +1

      We endeleaa kuchanganyikiwaa wenye akili tunamuelewaaa

  • @zainabsaid9264
    @zainabsaid9264 2 года назад

    Unajikosha huna lolote