Apostle & Prophet Josephat E. Mwingira | ZIJUE NJIA 21 ZA KUSHINDA SILAHA ZA GIZA - Sehemu ya I

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 44

  • @PriscaMvalasani
    @PriscaMvalasani 23 дня назад

    Yesu mzur mungu akulinde baba

  • @Bahatimasoga-y3g
    @Bahatimasoga-y3g Год назад +5

    Nimejifunza hapa

  • @judithkasese7380
    @judithkasese7380 3 месяца назад

    Yesu niokoe😭🙌

  • @christinayusto6553
    @christinayusto6553 2 месяца назад

    Amina baba Asante

  • @esterdaud4241
    @esterdaud4241 6 месяцев назад

    Ameen Baba Neema ya Mungu inisaidie

  • @AtuWilliam
    @AtuWilliam 7 месяцев назад

    Niondoleee huzuni kwa jina la yesu

  • @EvalineT60
    @EvalineT60 2 года назад +3

    1. Hasira
    2.Laana ya maneno (wazazi,watumishi) ulimi
    3. Korinto 1, 16:19 (kushinda kwa ufahamu)
    Wapo wapingao (rehema za Mungu kushinda).
    4.zaburi 27:3 (ukiwa unakaribia kufanikiwa jeshi linakuja kinyume na wewe)
    Jeshi linaenda sehem yenye mjongeo (kileleni)
    5.waovu (adui na watesi)
    Ukianza kushine ndo wanakuja. (Zaburi 27:4)
    Kuwaza vibaya-unakosa usingizi
    Kisukari,presha, magonjwa ukose amani +furaha
    6. Zabur 106:39
    Waabuduo sanamu,wanatoa watoto zao
    nk….
    (Nimepewa mamlaka ya ardhi na anga)
    Waabuduo sanamu ukiwaachilia wanachafua ardhi yako
    Ukiwaachilia wachafue unakuwa chini ya laana.!
    Waabuduo sanamu natakiwa kuharibu kazi zao, kuwatiisha chini ya msalaba, na kuwaaribu, wasibaki kuishi.
    7. Zaburi 116:3
    Huzuni sio nzuri unakuwa dhaifu
    Kiroho +kimwili
    Huzuni ya kifo . Kutokuruhusu kabisa
    Huzuni ni maradhi ya hatari
    Huzuni ikikaa mda mrefu unapata bumbuwazi (despression) uponyaji ni upendo sio maombi!
    8.shida kutoka kuzimu
    Kuna nguvu ya kuishinda kutoka kwa Mungu
    Mara zote inakuonyesha kama unakufa
    Ibada za sanamu >huzuni ya kifo
    Zaburi 116 ni pendo tu ndo litaweza kunifanya niondoke kwenye shida ya kuzimu

    • @annemalesi576
      @annemalesi576 2 года назад

      Thanks mtumishi , u've really simplified for me to take notes..ur genius.

    • @annemalesi576
      @annemalesi576 2 года назад

      Thanks mtumishi , u've really simplified for me to take notes..ur genius.

    • @oscanyakunga
      @oscanyakunga Год назад

      Amen

  • @bensonmerooficial
    @bensonmerooficial Год назад

    AMINA🙏🙏🙏

  • @PhideliciousAlphonce
    @PhideliciousAlphonce Год назад

    Thanks you Daddy ILOVE YOU DADDY

  • @Getrudebyela
    @Getrudebyela Год назад

    Asante sana kwa kuweka Hizi Video. Nilikuwa natafuta sana😭 Ubarikiwe.

  • @PAULKAPALA-r7b
    @PAULKAPALA-r7b Год назад

    Amina.

  • @lifeinmiddleeast8179
    @lifeinmiddleeast8179 Год назад

    😢 asante Kwa somo zuri

  • @joycegeorge4712
    @joycegeorge4712 2 года назад

    Ameeeeeeen dady love u

  • @sarahkingunza1516
    @sarahkingunza1516 Год назад

    Asante dady

  • @lukhubeni8726
    @lukhubeni8726 2 года назад

    Asante Baba

  • @zawadingonyani1958
    @zawadingonyani1958 2 года назад

    Amen dady

  • @lukhubeni8726
    @lukhubeni8726 2 года назад

    Ameen Daddy

  • @jafaryjey
    @jafaryjey 2 года назад

    Amen

  • @nicksonmichael8478
    @nicksonmichael8478 2 года назад +4

    Amen God help me to move in this area

  • @OmanOman-gv8qb
    @OmanOman-gv8qb 2 года назад

    Ameen baba

  • @elishajailosy8346
    @elishajailosy8346 2 года назад

    Kutoka Ni lazma na kuachiriliwa Ni lazma maana tumeachuliwa.Acha MUNGU akupe Miaka ming Appostle

  • @bintuamuli3992
    @bintuamuli3992 Год назад

    Kweli Mwenyezi MUNGU akuongezeye maarifa pia naitaji numba yako binafsi. Bintu kutoka Goma DRC.

  • @zawadingonyani1958
    @zawadingonyani1958 2 года назад

    Mwaka huu lazima tutoke

  • @Benson-g9c
    @Benson-g9c 3 месяца назад

    Amina baba

  • @bensonmerooficial
    @bensonmerooficial Год назад

    Amina.🙏🙏🙏

  • @yohanapaul4974
    @yohanapaul4974 Год назад

    Nimejifunza hapa

  • @suzanamwamwaja-zl7gi
    @suzanamwamwaja-zl7gi Год назад

    Amen

  • @maglindaanyango
    @maglindaanyango Год назад

    Amen amen

  • @deliphinadeus8989
    @deliphinadeus8989 Год назад

    Amina

  • @deliphinadeus8989
    @deliphinadeus8989 Год назад

    Amina

  • @stanleymutisya1816
    @stanleymutisya1816 Год назад

    Amen