Naambatanisha jina langu na wasichana wote kwenye ukoo wa masawe tutapokea ndoa takatifu kama zilivyo nyumba nyingine. Tunapokea ndoa zetu kwa jina La Yesu ni zamu yetu sasa
Ee Roho mtakatifu kwa jina la Yesu naomba unipe Neema ya kuwa na mume wa kusudi lako, nyoosha mkono wako wa Rehema na msamaha iwe juu yangu na uzao wangu, uzao wa tumbo la mama yangu Laurencia Joseph Mavika tangu mzaliwa wa kwanza na wa sita . Eeh Yesu nami naweka majina yetu katika madhabahu yako takatifu kupitia mtumishi wako . Neema , Esther , Elia , Telesia, Isaac, Anthony, Koreshi , Konrad , na wajukuu wote kizazi chote kipate Neema hii ya Ndoa ya mke mmoja na mume mmoja kwa jina la Yesu .Amen
Mungu namna ndoa ipendezavyo machoni pako Neema yako ipitayo mambo yote ikawe kwenye ndoa yangu machozi yangu yafutwe na nifurahie baraka ya kuona furaha kwenye ndoa yangu tena kwa jina la Yesu kristo Amen🙏
Mwl. Mungu akubariki sana Kwa mafundisho haya ambayo Yesu ameyaachilia kwako Kwa kusudi la eneo la Agano la ndoa ambalo shetani aliweka vifungo Ili wanadamu tuwe na muelekeo mbaya. Asante Mungu uliyetukuka sana kuliko miungu yote duniani.
eeeeh Mungu naomba pia kazazi chetu ukipe kibali machoni pako reema zako pia neema zako ee Mungu nikue kati ya kizazi chetu upendo na furaa daima katika family yetu na pia naweka kizazi changu mbele yako ukipe kipaji chako cha kukuimbia gospel na wengine wa tangaze jina lako katika dunia hii pia funika jamii yangu yote na damu ya Yesu in Jesus name Amen
Mungu kwa neema yako ulisema ndoa na iheshimiwe na watu wote... naomba neema ya Ndoa mwaka huu jitukuze kwenye eneo la ndoa ili sifa na utukufu urudi kwako Yesu... naitwa Telesia E. Joseph
Mungu naomba mapenz yako yakatimie Sina Aman kbx na mahusiano yangu Mungu ajdhihirixhe kwngu Kama n wangu Mungu nipe Aman na furah Kama so wngu mapenz yako yatimie
Eee Mungu naomba neeema na kibari cha ndoa mwaka huu najiunganisha na maombi ya Mtumishi wako pia Mungu baba naomba kibari cha ndoa juu ya ndugu zangu pia nawaunganisha ktk maombi ya mtumishi wako amen🙏
Namshukuru Mungu kwa ujumbe huu ametupa kupitia wewe baba, tumekula tena mezani pake. Naliambatanisha jina langu pia katika madhabahu hii na maombi ya mwaka mzima, Esther Solomon Msokwa 🤲
Eeeeh Mungu naleta mpango wa ndoa yetu mimi Allan Saidi na Machozi Juma mbele yako tunakualika katika ndoa yetu utubariki na utupe neema yako ya kukujua katika ndoa yetu pia ujalie amani na furaa na upendo wa milele katika ndoa yetu
Naomba jina la Salma Rajab hasani mazongela na asha hamadi mfaume yaingie kwenye Hilo kapu na mungu akawaone mahali walipo warudi nyumbani kwarehema naneema za kristo yesu.naamii katika mlima wa bwana atapatikana amen
Ee mungu baba mwenyezi ,naomba unipe kibali Cha kuwa na Mtu sahihi wa maisha yangu ulimuumba kwa ajili ya mm niwe ubavu wake pia unipe kibali Cha kuitwa mama naomba hitaji langu la moyo litimie kwako pia naomba unipe wepesi wa maisha yangu ,Ee mungu usikie kuombwa kwangu, naitwa paskalina gabrieli paulo
BWANA YESU Asifiwe Baba! Hongera Sanaa kwa huduma hii ,Mungu akuinue Sanaa Nami naomba jina langu lisisahaulike, naomba Mungu anipe Mume sahihi mwenye hatima itokayo kwa Mungu, Naitwa Dorothea Laurent Lukeha, barikiwa sana❤❤❤
Imeandikwa kuwa utaabatana na mmeo na utawaacha wazazi wake,Emungu nami nipatie fungu langu kama ulivo kusudia ww naitwa Florentina na jina langu liwekwe kwenye kikapu cha maombi amen
Amen Amen Bwana ,usinipite mwokozi wangu unapozulu wengine Bwana usinipite mimi na familia yangu, ukawe jibu la maisha yangu Bwana na mwakozi wangu wanijua maisha yangu nisaidie Mungu wangu
Eeh Mungu kupitia mafundisho hayaa naomba huyu niliyenae nioneshee kama ni mtu sahihi kwangu kabla hatujaingiaa kwenye ndoa kamw sie niondolee kwenye maisha yangu🙏
Clever Frank,Glorian Frank,James Daudi,Hallen Daudi Naomba Mungu waandalie wake na waume wenye hofu ya Mungu hawa watoto wangu naomba Neema ya ndoa ianze kutengenezwa mapema wakati huu Mungu kumbuka wanangu
Baba naacha jina la Irene Na Irving katika maombi haya.. kila majina hayo yatakapokua yanaombewa na haya niliyoandika hapa baba yaunganishwe na maombi hayo katika ulimwengu wa roho. kusudi lako likatimie juu ya wawili hawa kwa jina la Yesu Kristo.Amen
Naambatanisha jina langu na wasichana wote kwenye ukoo wa masawe tutapokea ndoa takatifu kama zilivyo nyumba nyingine. Tunapokea ndoa zetu kwa jina La Yesu ni zamu yetu sasa
Ee Mungu naomba Neema ya ndoa mwaka huu nipate mume alie sahihi na atokee kwako Mungu wangu
Naomba Jina langu liwekwe kwenye kapu la maombi ya ndoa naitwa TUSE MWANGUNGULU
Ee Roho mtakatifu kwa jina la Yesu naomba unipe Neema ya kuwa na mume wa kusudi lako, nyoosha mkono wako wa Rehema na msamaha iwe juu yangu na uzao wangu, uzao wa tumbo la mama yangu Laurencia Joseph Mavika tangu mzaliwa wa kwanza na wa sita . Eeh Yesu nami naweka majina yetu katika madhabahu yako takatifu kupitia mtumishi wako . Neema , Esther , Elia , Telesia, Isaac, Anthony, Koreshi , Konrad , na wajukuu wote kizazi chote kipate Neema hii ya Ndoa ya mke mmoja na mume mmoja kwa jina la Yesu .Amen
L
L
Kupitia Ibada hii nayosikiliza naomba Mungu anipe mume mwema,kila roho zinazozuia nisiolewe zivunjike kuanzia sasa
Mungu naomba familia za kwetu tuishi na waume zetu kwa amani Asante mungu maana utatenda
Ahsante Mungu kwa kunipa Neema ya kusikia ujumbe huu. Haitakua bure kwa jina la Yesu. Unikumbuke kwa habari ya ndoa, iwe sawasawa na Mapenz yako🙏Ameen
mungu naomba unipe mtu sahihi nioneshe hata kwa ndoto au nitakaempata unipe amani ya moyo
Baba katika Jina la Yesu naunganisha jina langu Happiness Munishi katika kapu la maombi ya mwaka mzima kwaajili ya ndoa yangu .Amen
1:11:55 Maureen Mlula naomba Mungu kupitia madhabahu hii kupata mwenza wa maisha yangu
Upendo ukitangulia unaweza kuua kitu cha kiroho(Dak 48:54...) this is very deep Sir,
Frida gidion nanaandika mbele ya madhabahu hii huu mwaka uwe mwaka wangu wa ndoa mwaka wa ushuhuda MUNGU anipe mume amina🙏🏻
Mungu namna ndoa ipendezavyo machoni pako Neema yako ipitayo mambo yote ikawe kwenye ndoa yangu machozi yangu yafutwe na nifurahie baraka ya kuona furaha kwenye ndoa yangu tena kwa jina la Yesu kristo Amen🙏
Mungu naomba itengeneza ndoa yangu upya na Mungu ijulikane ndani ya ndoa yangu Amen
Naambatanisha pamoja na ndugu zangu wazazi wangu na kizazi changu mungu tusaidie tukumbuke
O
Naambatanisha jina langu naitwa SOPHIA D. CHRIFORD ombi langu nami Mungu anikumbuke mwaka huu usiishe niwe nimeingia kwenye ndoa ya baraka 🙏🏻
Amen baba nami naamini nimepona maana nilitolewa mahari na kuvishwa Pete tangu 2019 tulivoachana hadi sasa baba sijaolewa
Baba naomba nijalie mume mwema na watoto wema daima kwa jina lako yesu kristu
Mwl. Mungu akubariki sana Kwa mafundisho haya ambayo Yesu ameyaachilia kwako Kwa kusudi la eneo la Agano la ndoa ambalo shetani aliweka vifungo Ili wanadamu tuwe na muelekeo mbaya. Asante Mungu uliyetukuka sana kuliko miungu yote duniani.
Ee Mungu wangu Mimi Alinda S Marco naunganisha Jina langu katika Kapu la maombi ya mwaka mzima 2024 anipe Mme sahihi
Mungu mbariki mtumishi wako huyu mpe ulinzi wa Damu ya Yesu mpe malaika wako wamwongoze Ameen
eeeeh Mungu naomba pia kazazi chetu ukipe kibali machoni pako reema zako pia neema zako ee Mungu nikue kati ya kizazi chetu upendo na furaa daima katika family yetu na pia naweka kizazi changu mbele yako ukipe kipaji chako cha kukuimbia gospel na wengine wa tangaze jina lako katika dunia hii pia funika jamii yangu yote na damu ya Yesu in Jesus name Amen
Mapenzi yako baba yatimie Katika ndoa yetu maana mawazo unayotuwazia sisi ni mawazo ya Amani kutupa tumaini siku zijazo
Mungu naomba unikutaniche na mke wangu unipe ww mwenyewe mm nimesindwa naomba unisaindie ju ww ndie baba yangu sina mungine ila ni ww baba
Mungu kwa neema yako ulisema ndoa na iheshimiwe na watu wote... naomba neema ya Ndoa mwaka huu jitukuze kwenye eneo la ndoa ili sifa na utukufu urudi kwako Yesu...
naitwa Telesia E. Joseph
Asante sana mchungaji ubarikiwe naombajina langu pamoja na familia yangu tuwekwe ktk meza ya maombo mungu awabariki
Mungu naomba mapenz yako yakatimie Sina Aman kbx na mahusiano yangu Mungu ajdhihirixhe kwngu Kama n wangu Mungu nipe Aman na furah Kama so wngu mapenz yako yatimie
Eee Mungu naomba neeema na kibari cha ndoa mwaka huu najiunganisha na maombi ya Mtumishi wako pia Mungu baba naomba kibari cha ndoa juu ya ndugu zangu pia nawaunganisha ktk maombi ya mtumishi wako amen🙏
Naitwa debora Masebo najiaambatanisha na sadaka, mungu anikumbuke anipe mume sahihi wa maisha yangu
Namshukuru Mungu kwa ujumbe huu ametupa kupitia wewe baba, tumekula tena mezani pake. Naliambatanisha jina langu pia katika madhabahu hii na maombi ya mwaka mzima, Esther Solomon Msokwa 🤲
Naitwa catherine najiambatanisha na mbaombi mungu nisaidie nipate mume sahihi wa maisha yako naamini hakuna gumu kwako mungu mbinguni na duniani
Amen chochote kile ambacho kipo mbele yangu kama kizuizi kiondoke kwa jina la Yesu.
Eeeeh Mungu naleta mpango wa ndoa yetu mimi Allan Saidi na Machozi Juma mbele yako tunakualika katika ndoa yetu utubariki na utupe neema yako ya kukujua katika ndoa yetu pia ujalie amani na furaa na upendo wa milele katika ndoa yetu
Mungu akusaidie, hilo jina ebu shughulika nalo kwanza "Machozi"
Naomba jina la Salma Rajab hasani mazongela na asha hamadi mfaume yaingie kwenye Hilo kapu na mungu akawaone mahali walipo warudi nyumbani kwarehema naneema za kristo yesu.naamii katika mlima wa bwana atapatikana amen
Ee mungu baba mwenyezi ,naomba unipe kibali Cha kuwa na Mtu sahihi wa maisha yangu ulimuumba kwa ajili ya mm niwe ubavu wake pia unipe kibali Cha kuitwa mama naomba hitaji langu la moyo litimie kwako pia naomba unipe wepesi wa maisha yangu ,Ee mungu usikie kuombwa kwangu, naitwa paskalina gabrieli paulo
Amen baba yetu mm anikumbuke na Mimi NIOLEWE na MUME sahihi wa baraka❤
Asante kwa mafundisho mazuri mtumishi wa Mungu aliye hai, ubarikiwe sana, Mungu wa mbinguni akupe maisha marefu
Mungu ninakuomb wakutanishe watoto wangu na wenzi sahii
Najiunganisha madhabahu na maombi haya katika Jina la Yesu Kristo AMEN. Asante Mungu kwa neema hii na Kwa kutenda🙏🏽
Baba naomba na mimi jina langu liombewe naitwa jeneroza manyasi pia mungu akubriki sana baba etu
BWANA YESU Asifiwe Baba!
Hongera Sanaa kwa huduma hii ,Mungu akuinue Sanaa
Nami naomba jina langu lisisahaulike, naomba Mungu anipe Mume sahihi mwenye hatima itokayo kwa Mungu, Naitwa Dorothea Laurent Lukeha, barikiwa sana❤❤❤
Asante Mungu kwa neno lauzima, kupitia mtumishi wako nimepokea neema na furaha ya milele.
Usinipite Bwana wangu niko hapa!!ukawe jbu la maisha yangu nimepita katkat ya bonde la machozi mengi
Imeandikwa kuwa utaabatana na mmeo na utawaacha wazazi wake,Emungu nami nipatie fungu langu kama ulivo kusudia ww naitwa Florentina na jina langu liwekwe kwenye kikapu cha maombi amen
Eee Mungu wangu ,naunganisha jina langu Rose Timothy katika kapu LA maombi ya mwaka mzm.amen🙏🙏
Naambatanisha Jina langu Beatrice Patrick Richard.. Mungu anikumbuke na kunipa Mume wa kusudi lake.
Amen Amen
Bwana ,usinipite mwokozi wangu unapozulu wengine Bwana usinipite mimi na familia yangu, ukawe jibu la maisha yangu Bwana na mwakozi wangu wanijua maisha yangu nisaidie Mungu wangu
Mungu naomba naomba Kwa kupitiq madhabau ya mtumish wako nipate mtu sahihi
Mungu nipe na me ubavu wangu niolewe
Eeh Mungu kupitia mafundisho hayaa naomba huyu niliyenae nioneshee kama ni mtu sahihi kwangu kabla hatujaingiaa kwenye ndoa kamw sie niondolee kwenye maisha yangu🙏
Naipokea baraka na Neem hii mwaka huu kwa jina la Yesu 🙌
Upendo wa Mungu wa kiimani uunganishe ndoa yangu ikae vizuri Amen
Neema Yako isinipite Bwana 🙌
Mungu Baba naomba unikumbuke na mimi na ndugu zangu na kusudi lako litimie kwangu
Asante Bwana Yesu kwa imani nimepokea NA nimepata tumaini jipya ndani yangu. Niko huru kwajina la Yesu Amen
Asante sana mtumish wa mung na mungu akubarikiiii Sanaa
Amin sana mtumishi wa MUNGU akubariki sana mtumishi
Amen Mungu wa Mbinguni na awatunze Kwa ajili ya watu wengi kuwavusha
Mungu anisaidie kwakweli
Utukufu kwa BWANA YESU
Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU
Mungu ni halisi 🙏🏾
Ubarikiwe mtumishi
Baba na mimi naomba jina langu liambatanishwe kwenye maombi ya mwaka mzima FREDAH FRANCIS KISHENYI
Bwana Yesu asifiwe mwalimu niaomba uniombee nipate mme msahii pia niombe na changamoto nzito😢😢 Naitwa Neema Daudi pia na mdogo angu Jackline
Amen baba kwa mafundisho🙏🏼
Ee mungu naomba kibali Cha kuwa na Mtu sahihi wa maisha yangu ulimuumba Mimi niwe ubavuni mwake, naomba pia unipe weoesi wa maisha yangu Amen.
Eeeh Mtakatifu wa Israel 🙏nakushukru MUNGU wangu
Naambatanisha jina langu na maombi haya kwa jina la Yesu LISA PIUS🙏
gift alex naunganisha jina langu katika kapu la maomb la mwaka Amen
Swala la ndoa ni Gumu sana Mungu atusaidie maana 😢😭😭
Amen asante Yesu
Hata Mimi Ningetamanii sana Jina LANGU Liombewe Baba
Ee Mungu wangu naomba na mimi unibariki mume sahihi yule uliyenikusudia
Asante sana Mtumishi kwa ujumbe mzuri umenigusa naomba msaada wa maombi na somo kwa walioolewa na kuoa na watu watu wasio sahihi
Naweka nadhiri yangu kwa Mungu akinipa mume mwaka huu nitamtolea sadaka
Where are you?
Ashukriwe mungu kwa kutupa mwalimu mwema
Bwana Yesu asifiwe mwalimu mm naitwa Jackline James naomba mwaka huu na mm nifunge ndoa
Amen mungu nani nipokee upafu wangu katika jina la yesu
Naomba kupata mwanaume mwema kupitia madhabahu hii amen
Amina somo linabaraka
Napokea mme mwema kwa jina la Yesu
Ee Mungu najiungamanisha Mimi Aneth Masawe kwenye kapu la maombi mwaka mzima amen
Huu mwaka Mungu atanikumbuka,...haiwezekani haupiti
Mwl mungu akubariki naomba jina langu litajwe kwny majina yatakayokombolewa huu mwaka mzma naitwa Rachel masaju nipate kuolewa
Najiungamanisha na maombi haya kwa Imani napokea mwaka huu kwa imani
Ameen Baba nimefunguliwa
Aminaa ubarikiwe sana Baba
Mungu akubariki sana baba
Baba ubarikiwe na Yesu
Mungu akubariki baba yetu
Nawaombea watoto wangu wapate wenza wao kutoka kwako watembee katika amani yako
Glory to God
Ubarikiwe mtumishi Mungu azidi kukutumia kuponya roho za watu
Asante Yesu
Ninaitwa Shukuru Elias .ninaomba nipate ndoa takatifu itokayo kwa Bwana mwak huu usinipite Bwana.
Clever Frank,Glorian Frank,James Daudi,Hallen Daudi
Naomba Mungu waandalie wake na waume wenye hofu ya Mungu hawa watoto wangu naomba Neema ya ndoa ianze kutengenezwa mapema wakati huu Mungu kumbuka wanangu
Shalom, naomba jina langu baba liandike kwenye kapu la maombi VICTORIA SALVTORY MUNISI
Tembea na jina langu baba kwenye maombi ya mwaka mzima. Grace Mosha
Eeee Mungu usinipite na mimi
Nimeguswa na upako❤
Baba naacha jina la Irene Na Irving katika maombi haya.. kila majina hayo yatakapokua yanaombewa na haya niliyoandika hapa baba yaunganishwe na maombi hayo katika ulimwengu wa roho. kusudi lako likatimie juu ya wawili hawa kwa jina la Yesu Kristo.Amen
mungu nipe ndoa safi