Asante YESU kwa kunipenda na kuchukuwa dhambi zangu pale Msalabani na kunifia ....Nakuoenda uzidi kutukuka na uimidiwe sasa na Milele naomba na kuamini....AMEN !!!
Asante sana Pastor kwa mafundisho mazuri namna hii. Last year niliota mara 3 mfululizo kuwa nimekufa. Niliamka nikiwa nimefadhaika mno mara zone. Niliomba sana na bado naomba kubatilisha hiyo nguvu ya kifo. Lakini nimenusurika na hicho kifo matukio ya kifo mara 2. Mojawapo niliugua turbo ghafla nikafunga choo siku 4 Niliambiwa lazima operation ya dharura ifanyike. Nilipoingia chumba cha upasuaji nikalazwa kwa katanga cha op. madaktari wakaduwaa tu na kuniambia nitapasuliwa siku. inayofuata. Ndani yangu sikuona nitatokaje me nikiwa hai.. Maumivu yalikoma sikupasuliwa tena maana nilitumia maji kidogo niksema nayo kuwa ni damu ya Yesu initio kwenye hiyo nguvu..
Nashukuru Mungu sana kwa hii madhabahu, wengi wetu tuko nchi za waarabu ambayo kanisa hakuna lakini Mungu kwa reema zake ametufungulia online church through pastor George, Mungu wetu ananena hata ukiwa Gerezani🙏.
Ameen🙏🙏 natamani ma mimi nipate upako niwe natafakari Neno la MUNGU kama Pastor George 🙏 I like the way anavolitafsiri neno ktk context ya maisha yetu kwa kweli Huwa nabarikiwa Sana Sana🙏🙏
Amina Amina mchungaji MUNGU akubariki kwa mafundisho haya yaani mafundisho haya yalikua yangu kwa situation ipo lkn MUNGU ashukuriwe maana nimekombolewa kwa Yesu Kristo ❤❤❤❤Amina Amina
Shalom. Nabarikiwa sana na mafundisho yako mara kwa mara kutoka Ngara- Kagera. Mwenyezi Mungu azidi kuinua/ kukuza/ kupanua karama na huduma yako, Amina.
Amen mutumishi maneno unayofundisha yananibariki sana ninawona wewesimutumishi wakawayida wewenimalaika mungu anakutumia utuyibiye siri zambinguni mungu akubariki akupemaisha marefu
Asant sana mtumish kwamafundisho yamalifa yaki mungu Mungu akubaliki pia akulinde agupe maisha malefu Mana gupitia mafundish yako nimepata kujua mengi zaid
Mungu aliye kupa neno iyi abarikiwe kweli nimejifunza mengi na kujuwa ukweli wa neno wa maombi wabaraka tangu nilianza fata mafundisho yako nimekuwa bali na kufundisha wengine
Asante YESU kwa kunipenda na kuchukuwa dhambi zangu pale Msalabani na kunifia ....Nakuoenda uzidi kutukuka na uimidiwe sasa na Milele naomba na kuamini....AMEN !!!
Asante sana Pastor kwa mafundisho mazuri namna hii.
Last year niliota mara 3 mfululizo kuwa nimekufa. Niliamka nikiwa nimefadhaika mno mara zone.
Niliomba sana na bado naomba kubatilisha hiyo nguvu ya kifo.
Lakini nimenusurika na hicho kifo matukio ya kifo mara 2.
Mojawapo niliugua turbo ghafla nikafunga choo siku 4
Niliambiwa lazima operation ya dharura ifanyike.
Nilipoingia chumba cha upasuaji nikalazwa kwa katanga cha op. madaktari wakaduwaa tu na kuniambia nitapasuliwa siku. inayofuata. Ndani yangu sikuona nitatokaje me nikiwa hai..
Maumivu yalikoma sikupasuliwa tena maana nilitumia maji kidogo niksema nayo kuwa ni damu ya Yesu initio kwenye hiyo nguvu..
Nashukuru Mungu sana kwa hii madhabahu, wengi wetu tuko nchi za waarabu ambayo kanisa hakuna lakini Mungu kwa reema zake ametufungulia online church through pastor George, Mungu wetu ananena hata ukiwa Gerezani🙏.
MUNGU akubariki sana PASTOR GEORGE nabarikiwa mno na huduma hii nimebarikiwa sana Ahsante mtumishi 🙏🙏🙏🙏
Ameen🙏🙏 natamani ma mimi nipate upako niwe natafakari Neno la MUNGU kama Pastor George 🙏 I like the way anavolitafsiri neno ktk context ya maisha yetu kwa kweli Huwa nabarikiwa Sana Sana🙏🙏
Yessssssss of course!❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤Asante Baba Mtakatifu Muuumba Mbingu na inchi na Kuhani na Kuhani na Kuhani
Amen pastor somo hili limegusa maisha yangu,kuanzia leo nimeshinda katika damu ya YESU, MUNGU wa mbinguni akubariki Sana.
Mungu Leo nimejifuzaakitu apa mungu atusaidie Sana 🙏🥰
Amina,Mungu akubaliki sana maana umekuwa ukiniimalisha kila Leo naimamali kiroho
Amina Amina mchungaji MUNGU akubariki kwa mafundisho haya yaani mafundisho haya yalikua yangu kwa situation ipo lkn MUNGU ashukuriwe maana nimekombolewa kwa Yesu Kristo ❤❤❤❤Amina Amina
Shalom. Nabarikiwa sana na mafundisho yako mara kwa mara kutoka Ngara- Kagera. Mwenyezi Mungu azidi kuinua/ kukuza/ kupanua karama na huduma yako, Amina.
Ubarikiwe mtumishi wa mungu alie hai 19:34
Asante sana mtumishi wa mungu huishi nyingi.
Amen! Mwenyezi Mungu akubariki sana mchungaji
Asante Wewe umenibadilisha maisha yangu ,kupitia mafunzo ya neno la Mungu.ubarikiwe 🙏🙏
Amen amen powerful teachings we are learning more
Asante Yesu kristo Juu ya Mtumishi wako uyu Amen kubwa 🙏🙏🙏
Sauti iko chini. Naomba ongeza sauti ya video tafadhali . Amina🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Amen mutumishi maneno unayofundisha yananibariki sana ninawona wewesimutumishi wakawayida wewenimalaika mungu anakutumia utuyibiye siri zambinguni mungu akubariki akupemaisha marefu
Amen pastor George mungu akubariki mnoo neno LA mungu ndani yake
Amina past barikiwa sanaaaa
Amen pst . Mafundisho haya yamenijenga mno. Mungu akubariki
Mungu akufutie ahibu tena mungu atawazibu matapeli
Amen mchungaji ubarikiwe sana kwa kutulisha chakula nzuri Mungu akupe maisha marefu
Mtumishi wa Mungu umekuwa wa BARAKA sana katika Utumishi Wako.. Mungu Akupe Haja ya Moyo Wako
Amen. Nimebarikiwa. Asante Pastor. Yesu amekutumia kubadilisha maisha yangu.
Mungu akutumze zaidi wewe ni mtu baraka sana kwngu unanijenga sana maisha yangu libarikiwe tumbo lilirokuzaa
❤❤ Amen Amen Amen 💕 nmepokeaaaa kwa jina la Yesu 🙏😊
Asant sana mtumish kwamafundisho yamalifa yaki mungu
Mungu akubaliki pia akulinde agupe maisha malefu
Mana gupitia mafundish yako nimepata kujua mengi zaid
Ameeen Mungu azid kukutunza Pastor
Mafundisho yako yamenivusha Sana Kwa kiwango cha juu Sana Asante mungu akukumbuke
Pastor Mungu akubariki mafundisho Yako yananijenga sana sana
Na mshukuru MUNGU Kwa mafundisho yako
Nabarikiwa sana na mafundisho yako Pastor
Amen,barikiwa sana mtumishi kwa mafundisho yako napata uponyaji🙏🙏🙏🙏 Judith from taveta Kenya
Mafudhisho yako yamenibariki saaana baba ubarikiwe
Nabarikiwa sana ujumbe wako Pastor Mungu azidi kukuinua. Ukikuja nyumbani kakamega naomba kukusalamia. Be blessed man of God
Asanta Mungu nakushukuru kwa mafundisho na maombi naamini yamenivusha kunipeleka kiwango kingine
Asante, nimejua sasa Yale, na vile ya kuombea.
Amina sana baba🎉🎉🎉
Asante Sana mchungaji, mungu akubariki naomba mungu anisaidie katika jina kuu la yesu.
Amen ubarikiwe sana
Mungu naomba kibali chako..ekima na maarifa mahali apa.naomba kazi mungu wangu
Mungu wangu nakupenda
God bless you Kenyan wait you heri uje uwe mwalimu wa wawachungaji bcz of your level tutawapa wengine kama wewe George God plan you
❤❤❤ Amen kubwa
Be blessed pastor 🙌
Amen🙏🙏 indeed am blessed with this teachings 🙏🙏
Neno la leo umegusa pasta MUNGU akubariki sana🙏MUNGU amesema na maisha yangu kupitia neno la leo
asant pastor kwa mafundsho mazur mungu akubarki sana,
🙏🏼🙏🏼😭😭😭🤲🤲🤲Oh my god have mercy on us for really, we are humble before you God, forgiveness our sins deliver us lord Jesus Christ stay with us, send
Amina barikiwa
Mungu akubariki saana nauona ujinga wakutomjua Mungu unanitoka ,nataman saana mafundisho Yako yamekua chakula furaha yangu na Mungu
Asante sana pastor kwa ujumbe huu
Asante pastor kwa haya mafundisho.Barikiwa sana
Ameen ameeen❤❤❤❤❤❤❤
Am very much blessed.
Barikiwa sana mchungaji, Tangu nimeanza kukufuatiliya nimefunzwa zaidi sana jinsi ya kuomba jina la Yesu libarikiwe .
Great lesson! God bless you Pastor
Mungu akubariki na azid kukutumia ili tuvuke ñakufuatilia kutoka Bukoba
Bwana Yesu asifiwe, naomba no ya huyu mch.
Kwenye Roho ya makwazo hapo Mungu atusaidie
Amen pastor nakufatilia
Mungu akuongezee siku mtumishi Mana umenitoa mahali
Mwalimu mzuri sana huyu barikiwa
Amennnnnnnnnnnn. Ubarikiwe sana
Amina amina
Amen baba kweli hata Mimi cjui namna ya kuomba
Amen, nimebarikiwa
Amen pst umefanya maisha yangu yàmebadiluka ukikuja kakamega niambie nko na zawadi yako kupitia jina la yesu kristo
Hata mimi uniambie akija
Yanayowezekana leo usingoje kesho why kesho ni ya MUNGU
😮😮😮😮😮
Nimebarikiwa sana nimebarika sana niko south Afica nashukuru Mungu sana kwa hii chanel
Barikiwa sana Mutumishi wa Bna,umenibariki sana from US 🇺🇸
HALELUYA!
Pastor unanibariki sana
Naweza baba kupata kitabu. Cha maombi mimi octavia
Amina sana mtumishi nimepata code
Nakushukuru Mungu kupitia mchungaji huyu nimejifunza mambo mengi
Ee mungu nakuomba uniongozee nisiweze kusariti ndoa yangu hat mara moja
Asante mtumishi WA MUNGU hii imenijenga mno ubarikiwe Sana🙏❤️✝️
MUNGU ASANTE KWAAJILI YA MTUMISHI WAKO, NAFUNGULIWA SANA
Mungu akupe maisha malefu pastor
Ameni najifunza baba kutoka njombe
Eee mungu uniepushe na nguvu za giza
Bwanayesu tunakushukuru kwa zawadi ya uzima
Amen 🙏🙏🙏 have been blessed through your teaching's pastor
Mungu aliye kupa neno iyi abarikiwe kweli nimejifunza mengi na kujuwa ukweli wa neno wa maombi wabaraka tangu nilianza fata mafundisho yako nimekuwa bali na kufundisha wengine
MUNGU Wetu Aendelee kutuwezesha kushikana Naye peke yake Hle
Asante sana kwa somo hili and Amen 🙏🏽🥰
Sauti mtumishi hatusikiii
Amen Amen 🙏🙏🙏
Nimebarikiwa na mahubiri yako kimwili na kiroho wewe ni mtumishi shambani mwana Bwana akutunze
Amen man God
Barikiwa
Tunapenda mafundisho ila sauti inskuaga chini saana .
Media should try to change this volume please
Amen sana
Pastor nakuwomba sisi ambawo tunakufata kwamutatandao uwe unapokeya simuzetu
Ameen ameeen
Amen ubarikiwe sana mchungaji
Amen amen
Amen
Sauti hamna
Sauti haiskiki