I leave upon this Alter my sons Kenzo and Leon.. naomba rehema kwa Ajili yao.. neeema yako Yesu isiwapungukie, Ulinzi wako Yesu usiwapungukie, Ile Hekima yako ikawe juu yao., kokote walipo kibali kiambatane nao katikaaaaa jinaaa La Yesu na kwa damau yako ya thamani.
Nimekosa Bwana Yesu ninaomba Toba Na msamaha nihurumie Roho mtakatifu nioshe nitakase Kwa damu yako nikapate kuiona Nuru yako Ahsante Yesu Kwa kuwa unanipenda🙏
Nimemupokea mwana yes katika maicha yangu eee mungu namimi kabadiliche maicha yangu kwaka unaokuja 🤲🤲
Mtumishi nimempokea Bwana Yesu 🙏🙏
Mtumishi nimempokea bwana yesu kweny maisha yng
Ee mungu unirehem unisameh dhambi zote katika jina la yesu
Niko hapa YESU ni rehemu nioshe dhambi zangu kwa Damu ya YESU
Mtumishi ubarikiwe nimempokea bwana Yesu amekuwa mwema
Asante Yesuu kwa maombii hayaa naaminii kuna Jamboo Mungu atafanyaaa
Namimi mungu nikumbuke naomba uniombee maan roho ya uzinzi inaniandama sana
Utumishi nimempokea YESU leo,Asante kwa kuniongoza sala hiii ya TOBA
Ameen ameeen
Nimempokea bwana yesu Leo Kwa damu ya yesu Christo,Amen
Mtumish nimempokea bwana yesu
As ante mtimishi wa mungu mungu akutienguvu tuedelee kufunguliwa
Nimepokea bwana yesu leo🙏🥺
Ameen ameeen
Mungu akubariki sana sana
Naomba Toba kwa ajili ya mke wangu Irene
Amen kaka , Barikiwa wewe na mke wakoo Mungu awatunzee
Barikiwa mtumishi w mungu nimepokea bwana yesu leo 🎉🎉
Amen Amen. Bwana Yesu tunaomba Toba kwa ajili ya kazi yangu. Bwana Yesu nisamehe... Nisamehe Yesu.
Amen 🙏 🙏 🙏
Niko Apa yesu nisamehe mm na watoto wangu kwa damu ya Yesu🙏🙏
Asnt yesu
Barikiwa mtumishi w mungu nimepokea bwana yesu leo
Bwana asifiwe namshukuru Bwna Yesu nime pata kibari cha kutubu siku ya leo Mungu akubariki Sara ya toba 🙏
Mtumishi nimempokea bwana Yesu Leo,Mungu akubariki
Ameen ameeen
Ubarikiwe sana sana
Nimempokea Bwana Yesu leo, Ameen.
Amen amen nimempokea Bwana yesu kwa moyo wangu na maisha be blessed pst mungu ni mwema.
Naomba unisamehe bwana yesu kWa kujua na kwa kutokujua nisamehe bwana yesu
Mungu nakuja mbele zako unisamehe unioshe na damu yako
Asante yesu kwa kila jambo. 🙏
Ameen
Nimempokea bwana yesu siku ya Leo
Ameen nimewasamehe wote ktk jina la Yeau
Ameen
Barikiwa sana mtumishi wa mungu
Nime pokea bwana Yesu kama mwokozi wangu siku zote
Amen barikiwa mtumishi
asante mtumishi nimempokea bwana yesu bwana wa maisha yangu
Asante bwana Yesu nakushukuru
Nimempokea Bwana yesu leo mtumishi zidi kuniweka kwa maombi🙏
Eeee MUNGU wangu unirehemu mimi mwenye dhambi naomba toba kwa ajili ya familia yangu na rafiki zangu wote
Asante kwa kuniogoza maombi ya toba ubarikiwe asana Amina
Ameen
Mtumishi nimepokea yesu leo
Ameen nimekosa baba naomba toba narehem katk jin la yesu
Bwana yesu Leo naomba nisamehe pale nilipo anguka na unitakase kwa damu yako ya thamani
Nime pokeya bwana yesu leo
Nimempokea bwana yesu Leo amen
Ameen ameeen
Ninataka nimpokee Bwana Yesu sasa!
Barikiwa mtumichi tupo rirongwe tunafatiria maombi barikiwa sana
Nimempokea bwana Yesu leo🙏🙏
Nimempokea bwana yesu,, najiunganisha na madhabahu hii nioate toba ya kweli
Barikiwa nimempokea bwana kuwa mwokozi wa maisha yangu siku zote
Haleruyaa asante Bwana Yesu kwa kunisamehe. Najuwasamehe wengine
Ubarikiwe mt
Nmempokea Yesu leo..Amen
Nami pia 🙏
Nimepokea bwana yesu Leo. Kupitia maombi Yako ya Toba.
Bwana asifiwe baba yangu Mimi nana omba nema ya kuomba sana
Ameen
Nimempikee bwana yesu
Asante Yesu bkwa maombi haya ya Toba
Amen. Asante mtumishi kwa somo zuri. Mungu atusamehe na atupe neema ya kuishi kwenye utakatifu
Nmempokea bwana yesu
Ameeeeen kubwaaa ubarikiwe sanaaaaa mtumishi wa Mungu kwa somo nzuri sanaaaaaa
Nimempokea bwana Yesu leo ameeen
Mzigo wangu nimemwachia Bwana,nimepokea yesu ❤
Nimempokea bwana yesu leo
Ubarikiwe mt. Asante yesu kwa kunisamehe nami nimewasamehe walionikosea
Ameen pastor MUNGU akubariki
Amen, asante mtumishi kwa somo zuri
Asante Yesu kwa neema ya kusamehe na kuachilia
nimempokea bwana leo mchungaji niombee kwa ugogwa mguu wangu wa kushoto umegonjeka miaka sote kinonda sugu amina👏👏👏👏
BAlikiwa baba wetu amen
AMEN AHSANTE BWANA YESU KWA KUNISAMEHE NA KUACHILIA NEEMA YA MSAMAHA JUU YANGU❤❤❤
Ameen
Bwana yesu ni ponye
Nimembokea yesu god bless you
Ameen ameeen
Haleluya ! 👏 👏👏
Hongera sana
Nimempokea Bwana YESU leo
Ameen ameeen
❤ AMEN nmepokea Bwana yesu
Mungu nakupenda wewe ni mwema wastahili heshima zote na kuabudiwa
Nimempokea yesu leo mtumishi
Nimempokea Bwana YESU LEO
Amina... Nashukuru mnoo umenifungua pa kubwa mnoo
I leave upon this Alter my sons Kenzo and Leon.. naomba rehema kwa Ajili yao.. neeema yako Yesu isiwapungukie, Ulinzi wako Yesu usiwapungukie, Ile Hekima yako ikawe juu yao., kokote walipo kibali kiambatane nao katikaaaaa jinaaa La Yesu na kwa damau yako ya thamani.
Bwana yase asante kwa kunisamehe
Asante nimempokea bwana yesu leo
Mtushi unapo maombi naomba uni ombee kchwa kinani sumbua san
Amen... Barikiwa sana Mtumishi was Mungu.
niguse na familia yangu bwana Yesu
Naomba niwe na moyo wakusamehe na kuachilia
Naomba neema juu ya maisha yangu pray for me debts
Nimempokea bwana yesu Leo nisaidie please
Nakushuru Bwana Yesu kwa Maombi haya🙏
Nisamehe yesu🙏🙏
Bwana yesu asntee
Ameen
Nimekosa Bwana Yesu ninaomba Toba Na msamaha nihurumie Roho mtakatifu nioshe nitakase Kwa damu yako nikapate kuiona Nuru yako Ahsante Yesu Kwa kuwa unanipenda🙏
Amen,mtumishi kwa somo, Mungu naomba neema ya kuishi katika maisha ya msamaha na kuishi katika neno lako
Nimempokea bwana YESU leo
Ameen
Nimempokea Bwana Yesu mwokozi aweza yote
Nimempokea bwana yesu reo
God i connect myself with this player, na madhabahu hii🙏 naomba toba ya kweli Jehova🙏
Najiunganisha kwenye madhabahu hii katika jina la Yesu Amen 🙏
Asante Yesu
Nimetua mzigo mzito sana ,Eeeh Mwenyezi Mungy nakushukuru 🙏
Nimempokea Bwana Yesu leo
Nipo tayari mtumishi
Ameen!! Asanhte Bwana Yesu!??
Ameen
Eeeh! Mungu unirehemu sawasawa na fadhiri zako...
Amen pastor ninabarikiwa Na nimempokea yesu kama Kristo WA Maisha yangu
Nimempokea bwana mtumishi naomb muongoz wakuishi ndan ya kristo sijaon no
Amen Amen nimempokea bwana yesu kristo
nimempokea Bwana Yesu
Tusamehe yesu kristo kwa kila jambo
Ameen
Amen mungu utusamehe makosa yetu na uturehemu mwana yesu
Ahsante Yesu
Asante mtumishi kwa somo zuri sana