Maombi Juu ya Mashambulizi ya Ndotoni by Innocent Morris

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 320

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv Год назад +3

    Ndoto Zangu Zote Nzuri Zifanyike Katika Jina La Yesu Kristo.NaZile Mbaya Zikafie Kuzimu Katika Jina La Yesu Kristo.

  • @GeorgiaUrio-bk4bb
    @GeorgiaUrio-bk4bb 8 месяцев назад +3

    Ninakataa kila roho ya mashambulizi kwenye maisha yangu kupitia ndoto kwa Jina la YESU KRISTO wa Nadhareth Alie Hai na ninafunga malango yote ya Ndoto mbaya juu ya Maisha yangu Ameen

  • @hamisichande8417
    @hamisichande8417 10 месяцев назад +8

    Navunja kila maagano yanayonisumbuwa kupitia ndoto nayachoma kwanguvu za mungu,,

    • @BonareriDoreen-p8b
      @BonareriDoreen-p8b 4 месяца назад

      Mapepo ya spiritual husband's and wives yahame kwangu in Jesus name

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 3 месяца назад +2

    Toka kwa damu ya yesu kristo ondoka pepo wa ndotoni kwa jina la yesu Amen 🙏

  • @diazndomba6043
    @diazndomba6043 Год назад +6

    Kwa jina la Yesu kuanzia sasa ndoto zote zenye kuleta uharibifu na kunirudisha nyuma katika maisha yangu nasema basi

  • @minzaharuni2820
    @minzaharuni2820 4 месяца назад +1

    Ninavunja Kwa damu ya yesu Kila mashambulizi ya ndiyo juu yangu na juu ya wanangu yafe Kwa jina la yesu

  • @angemureba4087
    @angemureba4087 2 месяца назад

    Nabomoa na vunja kila maroho zote zinazo nishambulia kwa jina la Yesu chrstu navunja nakemeya na haribu zishindwe na ziregee Amen

  • @florianmgata2858
    @florianmgata2858 2 года назад +2

    Ndoto zangu ziwe za kukuona wewe.Asanteh BWANA YESU

    • @annalivini3940
      @annalivini3940 2 года назад

      Naamini kwakupitia maombi haya kwa damu ya Yesu napokea uponyaji ,ndoto za mashambuliz zimevunjika kwa jina la Yesu nipo huru,kwa jina la Yesu kristo wa nazareti aliye hai amina.

  • @glorychuwa96
    @glorychuwa96 4 месяца назад

    Kwa jina la Yesu maombi haya yakaniepushe na mashambulizi yote ndotoni Amina

  • @vivianlyimo670
    @vivianlyimo670 3 года назад +16

    NinaFunga kila Mlango wa Ndoto mbaya kwa jina La Yesu kristo

  • @smilewithafrica
    @smilewithafrica Год назад +3

    Amen. Kila roho inayo shambulia maisha yangu kupitia ndoto imeshindwa. Ndoto za manyoka zimeshindwa kwa jina la Yesu ,ndoto za kurudishwa nyuma zimeshindwa kwa jina la yesu .

  • @gladnessnkya1169
    @gladnessnkya1169 2 года назад +1

    Mjukuu wangu amefunguliw na ndoto za ajalii Kaye den mushi 🙏

  • @MarkayaMarkaya-p5p
    @MarkayaMarkaya-p5p 8 дней назад

    Nimevunja ndoto mbaya katika Kila eneo LA maisha yangu in Jesus maght name amen

  • @simonliwawa864
    @simonliwawa864 Год назад +12

    Nakomandi mashambulizi yote katika Kuna la Yesu naharibu mifumo yote ya maangamizi juu ya familia yangu katika jina

  • @elimialevocatus3274
    @elimialevocatus3274 2 года назад +2

    Ahsante Mungu kwa maombi haya kila kifungo kimeniachia nipo huru kabisa.🙏👏🏾👏🏾👏🏾🤲🏾🙌🙌🙌

  • @giselemauwa4477
    @giselemauwa4477 4 месяца назад

    Nina funga kilamlango wandoto mbaya katika jina la Yesu Christo Amen 🙏 na kwafamiliya yangu yote ninafunga milango yote katika jina la Yesu Amen

  • @anociathajeustinius
    @anociathajeustinius Год назад

    Amen ninavunja Kila mashambuliz ya Kila aina kwenye ndoto Kwa Damu ya Yesu na Kwa jina la YESU kristo

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 Год назад +2

    Nvunja roho zote za ndoto juu yaa umauti ya watoto wangu mume wangu inayoonyesha mauti kuwa wamekufa nakemea klwa damu ya yesu zikapatw kushindwwa ktk jina yelsu kristo navunja hayo madhabahu hazina mamlaka ktk jina la yesu kristo Rika bosi nakemea zikapatw kushindwwa ktk jina la yesu roho za Kila aina nakemeaa roho zinazoszhambulia Kwa ndoto ziklaashindwa Kwa jina yesu Rika betene nazivunnja Kwa damu ya yesu

  • @damarismwadime7705
    @damarismwadime7705 3 года назад +3

    Amen mapepo yashindwe kwa jina LA yesu Niko huru kwa damu ya yesu na kwa jina LA yesu

  • @johariramadhani4226
    @johariramadhani4226 3 года назад +15

    I’m free from all demonic dreams in the Mighty name of our Jesus Christ🙏🏽Amen

  • @IreneNanjala-w9c
    @IreneNanjala-w9c 2 месяца назад

    Navunja,Kila,maagano,yanayo,nishambulia,kupitia,njia ya,ndontoni,Kwa,jina la yesu, amen 🙏

  • @annatemu4488
    @annatemu4488 Год назад +1

    Amen Amen, nakemea kila nguvu za giza zinazonishambulia kwenye ndoto zishondwe kwa jina la Yesu,zisirudi tena maishani mwangu

  • @ivanfaustin9717
    @ivanfaustin9717 7 месяцев назад

    Aminaa nimewekwa huru kutoka kwenye mashambuliz ya ndoton
    nakupenda Yesu
    Mtumishi barikiwa na Bwana🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @gladnessnkya1169
    @gladnessnkya1169 2 года назад

    Asante Yesu mmefunguliwa kupitia Maombi haya Asante Mungu

  • @chinatanzaniabusiness1262
    @chinatanzaniabusiness1262 8 месяцев назад

    Asante Yesu kristo kwa kunifungua kutoka katika vifungo vya majini mahaba. Amen

  • @JoyceOdera-x7l
    @JoyceOdera-x7l 5 месяцев назад

    Mungu akujaze ninafunguliwa kupitia kwa maombi

  • @siamwase1938
    @siamwase1938 2 года назад +1

    Nimepokea uponyaji wa kushambuliwa katika ndoto na roho waovu...kwa jina la Yesu Kristo. Ameeeen

  • @magrtamasomagratamaso
    @magrtamasomagratamaso 11 месяцев назад

    Kila Nguvu zilizo kinyume na mpango wako Mungu ninaharibu kwa Damu ya Yesu Krsto I command our blood of Jesus haleluya

  • @SoosanOman
    @SoosanOman 4 месяца назад

    Nakataa kil roho za kurudishwanyuma, za Magonjwa za umauti, kwa Jina La yesu Kristo Amen Na kila pando lisilo pandw na Baba Angu wa mbingun litang'olelwa

  • @gracemoshi5565
    @gracemoshi5565 3 года назад +1

    Kila roho ovu za mashambulizi juu ya maisha yangu toka na uachie vyakwangu kwa jina la Yesu na kwa Damu ya Yesu...ninaaminiMungu aliye hai umetenda zaidi ya niombavyo.Amen.

    • @marthabenedict6084
      @marthabenedict6084 3 года назад

      Ameen

    • @deborahjuma6869
      @deborahjuma6869 3 года назад +1

      Asante BWANA yesu kwa kunifungua,asant kwa ajili ya familia yangu, Asante kwa ajili ya mtumishi wako endelea kumtumia Kama chombo chako,,zidi kumpa maono , amen

    • @emanuelibrahimu2046
      @emanuelibrahimu2046 2 года назад

      Bwana apewe sifa

  • @magenikata2828
    @magenikata2828 Год назад

    Asante mungu kwamaombi kila vifungo Kwa mama yangu vimeto weka mtumishi Mungu ni mwema

  • @AgnesMasika-kj9ct
    @AgnesMasika-kj9ct 7 месяцев назад

    Mashambulz ya ndoton yashindwe kwa jina la Yesu kristo

  • @EsterbernardoVumo-kn2xv
    @EsterbernardoVumo-kn2xv Год назад

    Mungu Nisaidie Ndoto Za Kuzimu Niziotazo Zishimdwe Katika Jina La Yesu Kristo.Amina.

  • @magenikata2828
    @magenikata2828 Год назад

    🙏🙏🙏 ubarikiwe Kwa maombi mtumishi wa mungu

  • @salomemtwale5370
    @salomemtwale5370 Год назад

    Yesu asante Kwa kuniweka huru.ndoto zangu zikawe za kukuona ww na kuona utukufu wako

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 4 месяца назад +2

    Navunja maagano ya giza ngome zao katika familia yangu kutoweka kwa pesa zangu na mwanangu Rafael nakataa hayo maagano yao katika jina la yesu kristo Amen 🙏

  • @elizabethmwendwa7357
    @elizabethmwendwa7357 Год назад +1

    I decree and declare that no weapon formed against me shall prevail through dreams.amen

  • @onyanchajudy2842
    @onyanchajudy2842 Год назад

    Mapepo yote ya usiku yashindwe katika jina la yesu

  • @jennifernduku-bz8ot
    @jennifernduku-bz8ot Год назад +1

    Ninkushukuru katika jina la yesu kristo kwa kunifungua mimi na Ukoo yangu.

  • @pintusmashauri8460
    @pintusmashauri8460 Год назад

    Asante kwa maombi Yako kwa ujumla yananifanya niwe mfuas wako

  • @Bahati-ho3zv
    @Bahati-ho3zv 5 месяцев назад

    Nakataa roho ya mashambuliz kW Maisha yang yakang'oke katika Jina la YESU Kristo.

  • @marykyamba9042
    @marykyamba9042 Год назад

    Amen! Asante Yesu Kristo kwa ukombozi.
    Barikiwa mtumishi wa Mungu.

  • @beatricechepkurui9161
    @beatricechepkurui9161 Год назад +3

    Amen this message is ready to me please pray for me and my family for me at night

  • @agnesshonga7570
    @agnesshonga7570 Год назад +1

    Jamani mungu ni mwema nimefunguliwa

  • @taboochendi8474
    @taboochendi8474 Год назад

    Kuingiliwa kimwili imenitesa Sana katika mahusiano Sina Amani naomba Mungu aharibu kila mipango yamwovu ibili katika Maisha yangu

    • @holyspiritconnect
      @holyspiritconnect  Год назад +1

      Bwana Yesu akuweke huru kabisa katika jina la Yesu Kristo

    • @taboochendi8474
      @taboochendi8474 Год назад

      @@holyspiritconnect amen 🙏 in Jesus name amen 🙏

  • @JosephineKengaa
    @JosephineKengaa 10 месяцев назад

    Ameen kila mashambulizi yaishe kwajina yesu christo

  • @puritynkirote5097
    @puritynkirote5097 Год назад

    Asante yesu kwa kunifungua kwa minyororo ya shetani

  • @petronillamnyambi7607
    @petronillamnyambi7607 9 месяцев назад

    Ulinitumia hii sala ya kwenye ndoto ila bado zinanitoke sijaelewa❤ unaweza kunitumia sala zingine pia pia ninakufuatilia jwenye maombi ya siku saba bado naota wakinitoea

  • @eunicemsuyaa4473
    @eunicemsuyaa4473 6 месяцев назад

    Ahasante bana yesu kwa kuniweka huru

  • @aminambegu1472
    @aminambegu1472 3 года назад +6

    Asante Yesu kwa kunifungua! I can feel changes in my body! Halellujah!

  • @gladyskerubo6075
    @gladyskerubo6075 11 месяцев назад

    Asante Mungu ushatenda🙌🙌🙌

  • @joanithasimon6183
    @joanithasimon6183 6 месяцев назад

    Kuanzia sasa nonafunga mashambulz ya ndoto zenye uharibifu katka maisha yangu kila ndoto mbaya

  • @LilianaBenad
    @LilianaBenad 5 месяцев назад

    Asante mungu hakubaliki umenisaida sana😢😢

  • @nafigasper2814
    @nafigasper2814 2 месяца назад

    Navunja maagano yote yanayo sababisha nisumbuliwe katika ndoto katika jin la Yesu..

  • @lilianalara8007
    @lilianalara8007 2 года назад +5

    I receive grace from God in the name of jesus

  • @AAa-d3v5s
    @AAa-d3v5s 11 месяцев назад

    Amen Amen Amen barikiwa sana kwa maombi

  • @estheresther3757
    @estheresther3757 2 года назад +1

    Naomba maombi kwa wazazi wangu nk n ndoto baya kwa mama yangu naomba maombi naota mama yangu amekufa npenda mama yangu pia n family yetu

  • @daudmariyam2350
    @daudmariyam2350 2 года назад +1

    Asante yesu hakika yesu ni mzuri sifa za utukufu vikufiki bwana

  • @magrethndabigeze5610
    @magrethndabigeze5610 Год назад

    Ninasambaratisha kila roho za giza, roho za maangamizi, roho za kukataliwa kwa Damu ya Yesu Kristo.

  • @elizabethyohana9808
    @elizabethyohana9808 3 года назад +1

    Mungu ni mwema kupitia maombi haya nimefunguliwa🙏🙏

  • @adamchima3859
    @adamchima3859 2 года назад

    Amen mtumishi naomba nifunguliwe Kwa jina la yesu.

  • @SiaShirima-q4q
    @SiaShirima-q4q Год назад +1

    Ubarikiwe mtumishi wa mung hay maombi yamenipony mung akubariki

  • @lennyfrank
    @lennyfrank 2 года назад +1

    Ninakemea kila mashambulizi ya ndoto mbaya katika Jina la Yesu

  • @mariamgedi2694
    @mariamgedi2694 3 месяца назад

    Naharibu ndoto zote kwa damu ya Yesu kristo

  • @weveeernest9911
    @weveeernest9911 3 года назад +1

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu.

  • @gonsalvalupindu5565
    @gonsalvalupindu5565 2 года назад +2

    Asante Yesu hakika wewe ndo msaada wetu! Tumefunguliwa mimi na family yangu yote 🙏🏻

  • @Gladnesserick-up8oz
    @Gladnesserick-up8oz Год назад +1

    Nmefunguliwa , Amina mtumishi

  • @VenicMatongo-pc7ox
    @VenicMatongo-pc7ox Год назад

    Amen 🙏🙏 hayo maroho ya ndoto yashindwa

  • @maggymagarita4039
    @maggymagarita4039 2 года назад

    Na amini nimefunguliwa kupitia maombi haya asante Yesu kwa kunifungua🙏🙏🙏🙏

  • @estershimwela5139
    @estershimwela5139 5 месяцев назад

    Asante sana Bwana Yesu

  • @anishiemgala8203
    @anishiemgala8203 2 года назад

    Asante Bwana Yesu kwa Kuniweka huru,katika Lango la Ndoto

  • @angelithashioo
    @angelithashioo Год назад

    Ninafunga kila mashambulizi kwenye ndoto kwa jina la Yesu

  • @maurarespich9245
    @maurarespich9245 2 года назад

    Maagano yote yaliyofanyika katika ndoto kwa kujua/ kutokujua nayavunja sasa kwa jina la Yesu.

  • @kadunawewe7248
    @kadunawewe7248 3 года назад +2

    Asante yesu kwa kunipa mafanikio katika maisha yangu

    • @anishiemgala8203
      @anishiemgala8203 2 года назад

      Asante Bwana Yesu kwa Kuniweka huru🙏🙏🙏

  • @felisterndeule-oc3yv
    @felisterndeule-oc3yv Год назад

    Asante maombi ya mashambulizi ya ndotoni nilivyo maliza kuombaa nikalala nimeota Bibi kaja na mfuko wa dawa za kienyeji zaunga na mizizi nikamuuliza ulikua unafanya nn hapa hajibu anabami mmmmnikachikua dawa zake nikamrushia usoni akakimbia

  • @PatrickKiwia-v6w
    @PatrickKiwia-v6w 4 месяца назад

    Navunja roo za kuzimu na mifumo yote ya kuzimu. Leo we release power

  • @marcelastephen4247
    @marcelastephen4247 2 года назад +1

    Ninamshukuru Mungu wangu kuniponya

  • @lilianberitha9915
    @lilianberitha9915 Год назад

    Nanipinga kila roho za kiume kwa Jina LA Yesuuuuuu

  • @tumpemahali
    @tumpemahali 4 месяца назад

    Ninafunga kila milango wa ndoto mbaya katika Jina la Yesu

  • @drostaflorian7970
    @drostaflorian7970 3 года назад +3

    Nimefunguliwa katika jina la Yesu

  • @AndjelaniIlombe
    @AndjelaniIlombe Год назад

    Jina la Yesu, jina la Yesu ,jina la yesu

  • @vierabrand8972
    @vierabrand8972 2 года назад

    Asante Mungu kwa kunifungua na kuniokoa toka kwenye ndoto mbaya na mashambulizi ya rohoni Amen.

  • @zaitunkassim9564
    @zaitunkassim9564 2 года назад

    Asante Bwana Yesu kwa kuniweka huru katika jina la Yesu Kristo Ameen 🙏

  • @vivianlyimo670
    @vivianlyimo670 3 года назад +5

    Nina kemea kila roho inayoleta ndoto mbaya
    Kwa Jina la Yesu Kristo 🙏

  • @lidyanapegwa8154
    @lidyanapegwa8154 Год назад +1

    Katika jina la Yesu Kristo nakemea kila mashambulizi yoyote kwenye ndoto kwa damu ya Yesu nafunga kila mashambulizi yoyote katika ndoto

  • @emanuelibrahimu2046
    @emanuelibrahimu2046 2 года назад

    Nakemea Kila pepo katika jina la yesu Kristo aliye hai

  • @dorcasshelufumo5274
    @dorcasshelufumo5274 3 года назад

    Asante BWANA YESU kwa kuniweka huru

  • @jaychagagaltv659
    @jaychagagaltv659 2 года назад

    Damu ya Yesu Kristo aliye hai imeniweka huru
    Amen 🙏

  • @estherpeterandalu6595
    @estherpeterandalu6595 2 года назад

    Mungu akubariki mtumishi wa mungu Kwa maombi mazuri amen,amen,amen

  • @mariasaidi8266
    @mariasaidi8266 3 года назад

    Amen Mungu akaharibu roho zote za Paka zinazo nishambulia ndotoni kwa kunifukuza

  • @miriammukuba-c3w
    @miriammukuba-c3w Месяц назад

    Ndoto mbaya ooooot in JESUS Mighty NAME

  • @gloriahassani6854
    @gloriahassani6854 2 года назад +3

    Wakati naendelea kusalii mda huu mtu amekuja na chungwa kunilisha nime mlisha mwenyewe kakimbia

  • @BerthaPhilipoShigi-pg4kv
    @BerthaPhilipoShigi-pg4kv 7 месяцев назад

    Nakataa ndoto mbaya naota mtoto wangu amekufa nafuta kwandam ya yesu

  • @AlidaSijia
    @AlidaSijia 2 месяца назад

    Ubarikiwe Mtumishi❤❤❤

  • @gracerishandumilema278
    @gracerishandumilema278 Год назад +1

    Kwa kupitia maombi ya mtumishi wa mungu ninaenda kukaa kinyume na mashambuliz ya kwenye ndoto juu yang na juu ya familia yangu,mama,baba,dada,kaka na familia zetu nakaa nazo kinyume tokea hii siku

  • @reytn2494
    @reytn2494 2 года назад

    ASANTE Bwana Yesu kwa kunikomboa. Amen

  • @elishaathumanathuman16
    @elishaathumanathuman16 Год назад +1

    Naomba maombezi ya ndoto narudi Kijiji

  • @janethboniface1679
    @janethboniface1679 3 года назад

    Asante bwana yesu kwa kunifunhua🙇🙇

  • @BarakaMwakihaba
    @BarakaMwakihaba Год назад

    mungu atende miujiza kwangu kupitia ndoto make ikifika uck nakosa amani

  • @sophiahalfani1870
    @sophiahalfani1870 Год назад

    Ndoto za majin mahaba toweka kwa jina la yesu