Asante Mungu naamini utatenda na mimi nitaolewa na kuwa na furaha na Amani nyota yangu iliyofungwa itarejeshwa na kung’aa Mara Dufu mahusiano yangu hayatovunjika Tena na biashara yangu itakuwa kubwa na yenye faida niepushe na madeni 🙏🏽
Mungu ONDOA UCHUNGU KATIKA MOYO WANGU. Kwa jina la Yesu kristo Aliyekufa msalabani kwaajili yangu Huyo mwanamke aliyesimama katikati ya uchumba wangu AAIBIKE VIBAYA nia yake mbaya ijulikane wazi Na Amuache mchumba wangu Amenitesa sana Naamini mungu UMESHAFANYA🙏
Amina naamini mungu ameshanifungua na manamke aliyesimama na mume wangu mpaka anasahau familia yake kiasi hicho apigwe na kuteketea kabisa kwa damu ya yesu iliyomwagika pale msalabani naamin mungu ameshatenda
Amen 🙏 hkika mungu ni mwema maombi yako yamenitoa chasho Kwa mwili Nina Imani nimefunguliwa . pastor uparikiwe nimefungiwa akuna maendeleo naesa fanya lkn Kwa Imani mungu atafanya yaliyo yke
Qsante Mungu ninaona muujiza, adui zangu wanapigana mbele yangu wao wenyewe!! Baba Mungu ninashukuru yametimia, umenisafisha pa kubwa ee Bwana, nina imani na Kristo amen.

Amen napingana na kila vizuizi juu ya biashara yangu katika jina la yesu kristo
Mungu ONDOA UCHUNGU KATIKA MOYO WANGU. Kwa jina la Yesu kristo Aliyekufa msalabani kwaajili yangu Huyo mwanamke aliyesimama katikati ya uchumba wangu AAIBIKE VIBAYA nia yake mbaya ijulikane wazi Na Amuache mchumba wangu Amenitesa sana Naamini mungu UMESHAFANYA🙏
Amina mungu ametenda in Jesus name.🎉🎉🎉🎉
Amina naamini mungu ameshanifungua na manamke aliyesimama na mume wangu mpaka anasahau familia yake kiasi hicho apigwe na kuteketea kabisa kwa damu ya yesu iliyomwagika pale msalabani naamin mungu ameshatenda
Ahsante kwa Neema na Rehema zako..!
Wewe ni mwingi wa Neema na Rehema
Hakika nimeuona Mkono wako Bwana 💯🙏
Mungu akubariki mtumish 🙏
Ameen Pastor, Mungu azidi kukupaka mafuta mabichi akulinde wewe na familia yako.🙏
Amen 🙏 hkika mungu ni mwema maombi yako yamenitoa chasho Kwa mwili Nina Imani nimefunguliwa . pastor uparikiwe nimefungiwa akuna maendeleo naesa fanya lkn Kwa Imani mungu atafanya yaliyo yke
Amen 🙌 mutumishi ww ni muombezi wa kwely wa mungu kwely nimeona mtesi wangu kwa ulimwengu wa ndoto na nimefunguliwa sana mutumishi mungu akiweke🙏🙏
Amen Amen, mungu akupariki mujungaji 🙏🙏🙏
Napokea kwa jina la yesu vyote vilivyozuiliww na amini virudishww kwa jina la yesu🙏
Amina .nmefunguliwa kwajina la YESU.ÀDUI ZANGU WAMESHINDWA KTK JINA LA YESU..NIMEPATA AMANI YA MOYO HOFU IMESHINDWA KWA JINA LA YESU.
Mungu niodolee vitu vinavotembeE mwilini mwangu nimunda mùrefunimelia vagutosha naimani mungu hutaniacha kwahii mandhabahu yanabiiwako nitapona kilamuchawe anaye niroga ama family yangu papananaye usikuu akosaamani naaona modowako mungu
Amina amina naamin mungu anaenda kuntendea hitaji nililo muomba 🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Qsante Mungu ninaona muujiza, adui zangu wanapigana mbele yangu wao wenyewe!! Baba Mungu ninashukuru yametimia, umenisafisha pa kubwa ee Bwana, nina imani na Kristo amen.
Ameeen mtumishi ....naamini mungu ameniondolea vikwazo na vizuizi vyote kwa jina la Yesu Kristu, Amina
Ameni roho ya kufa kufa imeshindwa kwa jina la yesu
Asante mungu naamin kila kitu kitakuwa sawa ndani ua siku kadhaa kwa jila la yesu kristo aliye hai🙏🙏
Amina ,amina mtumishi wa mungu mungu akuzidishie karna yako
Amen amen mungu nibonye marazi yote ninayotembeyanayo kwamuda muref amen
Mungu nitunziye vifugo vyangu Amen,🎉🎉🎉🎉🎉
Baba uliye umba mbingu na dunia baba tazama kwenye maisha yangu popote penye kizuiz baba naomba nifungie mungu wangu
Amina mtumishi nàamini nimefunguliwa vifungo vyangu vyote
Hakika mungu ni muweza nmeona vizuizi vikitoka in Jesus name 🙏🙏🙏
Amen amen naamini Mungu ameniponya kuogopa roo ya umaut imenitoka
Asante kwa kufungua n'a kunifutia kiuchumi. Na familia yangu
Mungu niondolee vikwazo vinavyozuia majibu ya maombi yangu
Asante sana Babaku barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu
Amen maombi yako mtumishi umenisaidia sana Mungu akubariki🙏🙏🙏
Amen naomba maombihaya Mungu ukaniponye ugonjwa unaonisumbua miaka mi4 sasa
Nina imani nimefunguliwa kwa jina la Yesu amen
Mungu ni mwema naamin kwanzia sasa maisha yangu yameenda kubarikiwq ameni
Naomba mungu simamia ha jayamoyo wangu ninamimba yamiezi minne natamani kupata mapacha bila nguvu zagiza niombee nitimize haha yamoyo wangu Amina
Mungu naomba fungua vizuwizi vyote vilivyofungwa Kwa jina la yesu
Amenii kila kitu changu kinarud kwa jina l yesuu
Amen mungu aniondokee vikwazo mateso magonjwa kwa jina la yesu
Naamin nimefunguliwa kwa jina la yesu kristo ameni
Mungu nitende namim nifunguliwe kiuchumi kiafya
Mungu azid kukubaliki mchungqji 🙏
Mungu wangu nakuomba uniongoze katika maombi haya na unibariki katika maisha yangu
Amen napokea kwa jina la yesu
Yes 😢😢😢ondoa yesu kila kizuizi😢😢
Kwa kweli mungu akuzidishiye nguvu na mamlaka ya kutuombeya
Mungu akubariki mtumishi hakika mwenyezi Mungu
Barikiwa mtumishi wa mungu
Ahsante Mungu mwenye Nguvu
Ninakushukuru Baba
❤❤❤❤❤❤❤ Kwa jina la Yesu
Mungu wangu nakuomba unipe hitaji la moyo wangu
Mungu naomba upigane na kila wanaozuia ndoa yangu wanamzuia mchmumba wangu asinitolee mahali bwana pigana nao
Mungu niondolèeee vizuizi vote vinavyo zuia baraka zangu
Ameeen mtumishi wa Mungu ubarikiwe sana
❤❤❤❤❤❤ aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa barikiwa sana mutumishi wa Mungu
Ameni naamin mungu ananifunguwa maan ukiomba nimenyanyuwa mkono juu ukawa unawaka moto kabisa
Ee mungu naomba uniondolee magonjwa na vizuiz kwenye hatima ya ya maisha yangu na afya yang na familia yangu
Amen amen ubarikiwe mchungaji
MUNGU niondolee vizuizi katika jina la Yesu
Mungu ninaamini, vikwazo na vizuizi vitaondoka
Amena pastor godwen ubarikiwe
🙏🙏 asante mtumish
Napokea kwa jina la yesu kristo
Amina ubarikiwe mchungaji
Amen mungu akubariki papa mtumishi asante Sana
Amina Amina funguavizuiz katoka maisha yangu
Amen nimeona mungu Niko yako Kenya
Roho ya kukataliwa initoke kwa jina la yesuu
Amina mungu amenifungua kwa iman
Asante Kwa maombi pastor
Mungu aondowe ndani yangu anipe amani
Mungu akubariki mtumishi
Mungu ondoa viziuzi kwa maisha
Thanks you god 🙏 🙌
Amen mtumishi barikiwa sana
Naondoa vizuizi kwa jina la Yesu
Amen kwa jina la yesu
Amina pastor naomb ni dawa
Ahsante Bwana Yesu
Amen mungu akubariki mchungaji 🙏🏽🙏🏽🙏🏽
Amina ubarikiwe
Amina baba napokeaa
Mungu nikubukenami
Amen servant of God 🙏
Mungu nibariki
Amina mungu akubariki
Mungu akubiriki mchungaji
Asante Kwa maombi
Mungu uniponye magonjwa yoteee
amen.sana❤❤❤🎉🎉🎉
Nakataa roho ya vikwazo na vizuizi ktk jina la yesuuuh
Asante sana
Uchawi upigwe kwa jina la Yesu
Ameeen 🙏🙏 Aminaa 🙏🙏
Tenda yesu
Amen Amen Amen 🙏🙏
Ninaamini maombi ni dawa asante pastor kwa maombi
ubarikiwe pasta
Amen baba
Ee baba niondolee vizuiz magonjwa na vikwazo kwangu na KWA watoto wangu na familia yangu
Amina, Amina
Amen oh lord
Eeh mungu naomba niondolee Kila kikwazo Kila magumu😢
Amina.sana
Amina