MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 170

  • @felitab3914
    @felitab3914 23 дня назад +1

    Bwana na yesu siku yaleo ikakuwe ya furaa

  • @Oliverwilliam-um7vx
    @Oliverwilliam-um7vx 28 дней назад +4

    Asante MUNGU kwa siku nyingne tena naomba siku yangu ikawe siku yenye baraka nakafanye yale yote yanayokupendeza 🙏🙏

  • @marthakimati8913
    @marthakimati8913 Месяц назад +4

    Bwana Yesu nakùkabithi kazi zangu zote na Familia yangu nasafari zote za Leo na Hospitali naenda ikawe naBaraka nimpate Dactari sahihi Bwana ukatawale siku yangu ikawe siku ya fur aha kwangu. Ambayo BWANA YESU KRISTO

  • @NyoniGroly-cw8il
    @NyoniGroly-cw8il 7 дней назад

    Ninskushukuru MUNGU Kwa siku ya leo naomba uwepo wako ukawe na Mimi BWANA🙏🙏

  • @happyngwale8930
    @happyngwale8930 12 часов назад

    Asante bwanayesu kwakua umeftuamsha asubuhi mimi nafamilia yangu ukaifaye iwe yenye baraka naneema tele

  • @VickyMapembe
    @VickyMapembe 11 дней назад

    Asante Mungu kwa asubuh iliyonjema nakukabidh siku hii mikonon mwako unisimamie na kuniongoza katk kaz zang na afya yangu pia amen

  • @eddamukandara3851
    @eddamukandara3851 5 дней назад

    Mungu wangu wa Mbinguni naachilia kila ratiba iliyoko akilini mwangu ukanionekanie.
    Mkono wako uwe kwangu
    Siku yangu ikawe yabaraka
    Amen

  • @JanethMbiki
    @JanethMbiki 12 дней назад

    Bwana yesu ninashukulu kwa kuniamsha siku ya Leo ninasema Asante Mimi pamoja na familia yangu siku ya Leo ikawi ya baraka

  • @mamamhagama7889
    @mamamhagama7889 14 дней назад

    Mungu wangu nakuomba asubuhi ya Leo ukawe NAMI siku nzima pamoja na family yangu nakabidhi baraka zangu zote ulizopanga kunipa siku ya Leo zikatimie adui asipate nafasi ya kuninyang'anya

  • @frankevaristo
    @frankevaristo 23 дня назад

    Bwana wangu Yesu naomba unisamehe makosa yangu nakuomba unitangulie katika siku hii ya Leo.

  • @ALESIACHIJOKA
    @ALESIACHIJOKA 2 месяца назад +8

    Bwana yesu nakukanidhi siku yangu ya leo unitangulie kila hatua ninayo pitia naomba nifanyie wepesi pale penye ugumu katika kazi yangu. ❤❤

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 23 дня назад

    Niongonse bwana kwa kila Jambo nipe neema na ushindi in Jesus name 🙏🙏🙏

  • @Lydia-v4e
    @Lydia-v4e 4 дня назад

    Asante Mungu kwa siku nyingine Mungu nayakabidhi kila mpango nilipanga kufanya siku Hii ya leo

  • @SleepyArmadillo-jp7hr
    @SleepyArmadillo-jp7hr 6 дней назад

    Mungu nkukabidhi Leo nikaone wema wako kwa jina la Yesu krusto🎉 ajali mauti habar mbayy

  • @Christianchazinho
    @Christianchazinho 4 месяца назад +2

    Nakukabidhi mipango yangu yote nikaone mkono wa bwana siku ya leo katika jina la yesu kristo Amen 🙏

  • @passionatequeenofhrt5252
    @passionatequeenofhrt5252 17 дней назад

    Ee bwana yesu kwanza nashukuru Mimi na familia yangu tumeamka salama kwa namlaka Yako Bado nakutegemea naomba baraka zako Mimi na watoto wangu na vijukuu vyangu Amina

  • @RinahMichael
    @RinahMichael 19 дней назад

    Bwana yesu nakukabidh maisha yangu na mume wangu,wazazi wangu ,na kaka zangu sikuhi yaleo na kazi zetu katika jina la yes kristo wa nadhareti alie hai amina

  • @RogathAbdiel
    @RogathAbdiel 24 дня назад

    Yesu naikabidhi sikuyangu mikononi mwako tawala hatua zangu assnte kwauhai na omba ulizi kla roho za visasa na mashambulizi na ziseta mbali ktk jina kuu la jina lako damu ya yesu fuika njia zangu afya yangu watt wetu ambatana n nao wote nanao liitia jina lako juu kazi zao ambatana naoyesu kila mitego iliyo pangwajuu yangu naitegua kwa jina layesu da mu ya yesu ifunika familia yngu naomba neem naomba rehem nipe kibali yaku yafanya mapenzi yako amn

  • @happyngwale8930
    @happyngwale8930 12 часов назад

    Asante mungu kwakua umwema ukaifungue milango yakifedha siku yaleo

  • @happyngwale8930
    @happyngwale8930 12 часов назад

    Mungu nitangulie mimi nafamilia yangu

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 Месяц назад

    Nakukabith yesu kila Jambo kila jombo langu 🙏🙏🙏

  • @RogathAbdiel
    @RogathAbdiel 24 дня назад

    Asante yesu kwa nafasinyingine ya uhai nakushukuru kwa kunipa afya uzima mpya na uhai tena yesu nakuomba unipe rehem keakila kitu naombaa toba jehova nakukabidhikila ki tu nitakacho kifanya kila jambo naweka mbele zako ee Yesu simam kinyume na wote ambao wapo kinyume chako wa kutane na mkono waka tawala hatua zangu mambo yote tawala ukanipe furaha na amani haijalishi napitia yapi yesu jehova siku yote ikawe njema juuuya familia yangu kwa jina la yesu

  • @MagrethOmmary
    @MagrethOmmary 25 дней назад

    Bwana yesu nakushukulu kwazawadi yauhai nasema asante baba nakukabizi siku yaleo uniongoze kwakila jambo nifanyalo uwe mbele yangu niepushe na kila shali nikinge na mabaya ee yesu nakukabizi bwana yesu kila nikanyagapo nanigusapo nakukabizi baba utawale🙏

  • @passionatequeenofhrt5252
    @passionatequeenofhrt5252 17 дней назад

    Asante bwana yesu kwa uzima Mimi na familia yangu Bado nakutegemea wewe katika maisha yangu na familia yangu Amina

  • @passionatequeenofhrt5252
    @passionatequeenofhrt5252 17 дней назад

    Ee bwana yesu najikabidhi Mimi na watoto na wajukuu wangu kwako kwa ulinzi wako na katika Kila jambo langu Amina

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 23 дня назад

    Baba nilinde popote niendapo linda watoto wangu katika jina la yesu yesu 🙏🙏🙏🙏 amen and amen 🙏

  • @CyprianNyakundi-m8d
    @CyprianNyakundi-m8d Месяц назад

    Eh Mungu naomba utawale maisha yangu nimejikabithi mkononi mwako, nimekabithi familia yangu mikononi mwako mipango yangu yote nimeikabithi mbele zako unikumbuke Yesu ynitimizie ndoto zangu maana naamini wewe n Mungu usiyeshindwa Amen

  • @aminanikwuzwe7864
    @aminanikwuzwe7864 Месяц назад

    Ee mungu wangu naomba nilinde in Jesus name 🙏🙏

  • @julianalex9537
    @julianalex9537 20 дней назад

    Bwana yesu bariki siku yangu ya leo amina

  • @JoyeeShanzy
    @JoyeeShanzy Месяц назад

    Asante mungu kwa kulala na kuamka yesu acha bwana hii siku yaleo ikawe siku ya baraka zako leo mungu nakukabth kila kazi ya leo mungu anglia kazi zetu yesu🙏🙏

  • @MarthaKiondocha
    @MarthaKiondocha Месяц назад

    Bwana Yesu naikabidhi siku ya Leo kwa ukawe nasi, uwe na watoto wangu popote walipo tawala na bark bkazi zao, fungua milango ya baraka kwa familia hii, ukatukinge na hatari zote za roho na mwili. Nakataa mabaya yote kwa siku laeo. Napokea baraka na uponyaji kwa Jina la YESU KRISTU. AMINA

  • @happynessmalisa6258
    @happynessmalisa6258 28 дней назад

    Ahsante bwana yesu kwa ulinzi wako usiku kucha,bwana yesu ukatawale siku hii ya leo kazini kwangu na familia yangu eeh mungu mipango yangu naikabidhi kwako eeh yesu

  • @clementinecibalonza1324
    @clementinecibalonza1324 Месяц назад

    Asante MUNGU nakuomba siku yaleo unintended maki na makati

  • @EmmaKache
    @EmmaKache 15 дней назад

    Bwana nakukabidhi siku hii Yale baba na kazi hii ya mikono yangu

  • @ElinaMdimi
    @ElinaMdimi 25 дней назад

    Asante mungu wangu kwa siku hi ya Leo ambae bwana umtuamsha tukiwa wazima umetupendelea kwani Kuna walopanga mipango Yao lalikini hawajaifikia Mimi ni nani umenipa neema hii sifa na utukufu ni wako bwana najikabidhi Mimi na familia yangu na biashara yangu uchumi wangu nakabidhi kwako vyote hivi ni Mali yako bila wewe nisingekua hivi Leo kaweke ulinzi kwenye uchumi wangu eneo langu la kazi Chocho nachoenda kugusa ukakibariki wewe na kuniongoza kwa Kila hatua wema wako juu ya Naomi akapone ukafute hii isitoria mbaya kwangu ilyodum kwa miaka xaxa nsafari Yao yakwenda hosipitali ikawe siku nzuri yenye kicheko na furaha kwake na familia yake yote ukampe amani Nomi ukampe uponyaji wa kudum usiyettreka mabaya yote yanaisha Leo nakata mabaya siku ya Leo nakata magonjwa kwajina la yesu nisiku ya baraka nitausiklia wema wako kwa matendo yako makur ulonifanyia Leo Linda biashara yangu chchte kikawe na ulinzi wako ukafunike kwa dam yayesu ikafuni uchumba wangu duka landu wangu eneo langu la kazi duka langu mtaji wangu uchumi wangu familia yoote nafutaa mipango ya adui alioipanga juu yangu siku ya Leo nipe neema yako ikawe juu ya watoto wangu ikawe juu ya mume wangu nipe neema ya kutenda sawaswa na neno lako nipe ameeeni

  • @TinaNombo
    @TinaNombo Месяц назад

    Amina ,, Bwana nakabidhi shughuli zangu mikononi mwako na naomba ukanipe kibari cha kuweza kutimiza malengo yangu ee Bwana hakika wew ni mwema sana kasema pamoja nami Asubuhi ya leo ukanionekanie katika mipango yangu

  • @ImeldaTimothy-r7k
    @ImeldaTimothy-r7k Месяц назад

    Ee Bwana Yesu naomba ukailinde familia yangu, ndoa yangu, na Kila eneo la maisha yangu, Bwana Yesu ukatawale siku ya leo

  • @WitnessMichael-u1v
    @WitnessMichael-u1v 2 дня назад

    E mungu naomba utawalemaisha yngu afya yangu

  • @CarolinaAbduli
    @CarolinaAbduli 7 дней назад

    eee mungu nawakabidhi wanangu mikononi mwako haswa nusraya anae sumbuliwa na maswala ya ada mfungue afunguke apate ada kiraisi kwa jna l yesu

  • @NaomiRamadhani-r8b
    @NaomiRamadhani-r8b 2 месяца назад +1

    Bwana Yesu nakukabidhi wanaofanya mitihani ya form 4

  • @winnieangelo4985
    @winnieangelo4985 Месяц назад

    Nakukabidhi bihashara yangu,amanii yangi,familia yangu,mausiano yangu ameni

  • @DianaBwire-s7g
    @DianaBwire-s7g 5 месяцев назад +3

    Ameen sasa nafunguliwa kuomba asubuh ni jambo ambalo nlikuwa usiwez kabisa ! Kwasasa naomba asubuh usku Nashukuru kwa maombi yako

  • @SteraChristopher
    @SteraChristopher Месяц назад

    Amen mtumishi nakukabizi siku ya leo ya jumamoss ,onekana bwana yesu unayetupenda

  • @waleedbahar5275
    @waleedbahar5275 5 месяцев назад +1

    Amen ubarikiwe Sana mtumishi

  • @Danystrazanny
    @Danystrazanny Месяц назад

    Bwana Yesu ukatawale kazini kwangu naikabizi family yangu katikati jina la Yesu Kristo 🙏

  • @marthakimati8913
    @marthakimati8913 Месяц назад

    Bwana Yesu siku ya leo Bwana Yesu tunajikabithi kwako AFYA YANGU NAOMBA UPONYAJI WA AFYA YANGU

  • @EmmanuelKasambale
    @EmmanuelKasambale 4 месяца назад +1

    Amina mtumishi ubarikiwe sana kwa maombi mazuri

  • @WitnessMichael-u1v
    @WitnessMichael-u1v 2 дня назад

    Loho ya hofu itoweke kwa jina la yesu

  • @marthakimati8913
    @marthakimati8913 Месяц назад

    Bwana Yesu tunajikabidhi kwako familia nzima ukatutamalaki.

  • @janeawinja9809
    @janeawinja9809 10 дней назад

    Ninakutanguliza kwa kila jambo siku ya leo naanza na wewe.

  • @KamangoIkia
    @KamangoIkia Месяц назад

    Asante bwana yesu kwa maombi ya asubui ya Leo Nina amini na uhakika ya kwamba utatenda.

  • @MapendoBora-w5o
    @MapendoBora-w5o Месяц назад

    Amen Amen Amen🙏🙏🙏 merci beaucoup papa

  • @gloriavisongo2432
    @gloriavisongo2432 Месяц назад

    Asante Mungu wangu kwa yote

  • @EnnieMbatiani
    @EnnieMbatiani 7 дней назад

    Asante bwana yesu

  • @Willeysh
    @Willeysh Месяц назад

    Asante sana yesu na shukuru kwa maombi ya asubui

  • @PapaNoah-e8m
    @PapaNoah-e8m 4 месяца назад

    Mungu akuongezeye mafuta pia akuongezeye siku zakuishi mtumishi

  • @BenetlidaFidelis
    @BenetlidaFidelis Месяц назад

    Ebwana na kabidhi familia yangu mikononi mwako asubuhi ya Leo Kila hatua tunayo piga ukatusimamie ee bwana

  • @AngelinaDauson
    @AngelinaDauson Месяц назад

    Nakukabuzi maisha yangu siku ya Leo bwana ukafungue milango yaliziki kwangu

  • @elickaMatonya-n5i
    @elickaMatonya-n5i Месяц назад

    Amina mtumishi kwa maombi mazuli mungu akubaliki sana

  • @Felly-xn3ng
    @Felly-xn3ng 2 месяца назад

    Yesu kristo nakukabizi siku yanguya leo ukanitangulie kila hatua

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 23 дня назад

    Amen in Jesus name amen 🖐️

  • @marykyamba9042
    @marykyamba9042 2 месяца назад

    Amen. Mungu akubariki mtumishi wa Mungu 🙏

  • @HappyAstrolabe-pd2zv7
    @HappyAstrolabe-pd2zv7 2 месяца назад

    Ee mungu wangu chochote kilicho nenewa kilicho kibaya kwa watoto wangu au mifugo yangu au chochote ulichonipa nakataa kwa damu ya yesu naisweka kuzimu baba wa mbinguni nakushukuru amina

  • @DorcusSaul-wv9rd
    @DorcusSaul-wv9rd 2 месяца назад

    Amen Amen 🙏🙏🙏,,, asante Yesu kwa wema wako

  • @emilyemily8047
    @emilyemily8047 Месяц назад

    Amen mtumishi wa mungu ubarikiwe sana kwa maombi hii ya asubui naamini tutabarikiwa kwa jina la yesu🙏🙌

  • @ossyhaule5128
    @ossyhaule5128 2 месяца назад

    Bwana Yesu nakukabidhi wewe mahusiano yangu

  • @DicksonMasukuma
    @DicksonMasukuma Месяц назад

    Amen napokea maombi haya kwa jina la yesu kristo

  • @SifaelNoah
    @SifaelNoah Месяц назад

    Ebwana yesu tangulia kwenye biashara zangu na linda afya yangu na familia yangu

  • @NaumiStephano
    @NaumiStephano 17 дней назад

    Ameeeeeen,in Jesus name.

  • @JACKCHILAS
    @JACKCHILAS Месяц назад

    Emeni emeni emeni😊

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 Месяц назад

    Asante yesu

  • @florapolino3702
    @florapolino3702 2 месяца назад

    Bwana Yesu nakukabidhi Kila kitu changu

  • @tegemeakyangenyenka6111
    @tegemeakyangenyenka6111 Месяц назад

    Siku hii ya leo ikawe furaha Yangu,Yesu usinipite na familia yangu

  • @RachealAdhe
    @RachealAdhe Месяц назад

    Nitangulie bwana yesu kwa kila jambo

  • @RememaSamwel
    @RememaSamwel 2 месяца назад

    Asante mungu kwa uzima

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 2 месяца назад

    Nakukabidhi bwana yesu siku nzima hii ya Leo kila mpango nilio panga siku hii ya leo nakukabidhi biashara yangu nakukabidhi mahusiano yangu nakukabidhi mahusiano yangu na kukabidhi family yangu Leo bwana yesu siku hii ya Leo ikawe siku ya furaha kwangu siku hii ta Leo ikawe ya kicheko kwangu 🙏🙏

  • @Sarahchristian-p2p
    @Sarahchristian-p2p 3 месяца назад

    amen naamin mungu atafanya kila kitu 🙏🙏

  • @DOUBLEGJOHN
    @DOUBLEGJOHN 23 дня назад

    Barikiwaaa

  • @emmabanda6175
    @emmabanda6175 5 месяцев назад +1

    Ameeeen,much blessings

  • @dorcaswekesa3300
    @dorcaswekesa3300 Месяц назад

    In Jesus name amen 🙏

  • @AgnessMtembelea-x6y
    @AgnessMtembelea-x6y Месяц назад

    Nakubidhi siku yaleo nasiku zote

  • @ABDALLAHSHEHOZA
    @ABDALLAHSHEHOZA Месяц назад

    Asante yesu maana ww ndie uzima wangu

  • @KwizeraTagawa
    @KwizeraTagawa Месяц назад

    asante baba kwa wema wako🥰🥰

  • @MonicaThadeus
    @MonicaThadeus Месяц назад +1

    Bwana Yesu nikauone wema wako.

  • @agneslunge5538
    @agneslunge5538 Месяц назад

    It's okay 👍 I love it❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dorcasobanya
    @dorcasobanya Месяц назад

    amina

  • @NiceNemmy
    @NiceNemmy 19 дней назад

    AsanteYesi

  • @Japhetsimba-w9u
    @Japhetsimba-w9u Месяц назад

    Amin

  • @christinemoranga7598
    @christinemoranga7598 2 месяца назад

    Amen and Amen more blessings

  • @LucyPeter-d2m
    @LucyPeter-d2m 2 месяца назад

    Ninamkabidhi mtoto wangu kwa Kila kitu

  • @christinemoranga7598
    @christinemoranga7598 2 месяца назад

    Amen and and more blessings

  • @AdelaJoel-s6p
    @AdelaJoel-s6p 6 дней назад

    Mtumishi niombee napitia wakati mgumu

  • @PierreclaverGitutsi
    @PierreclaverGitutsi 3 месяца назад

    Ameni ameni Asante.

  • @chikuamedeus8700
    @chikuamedeus8700 2 месяца назад

    Nakukabidhi biashara yangu yangu ya duka siku hii ya Leo

  • @rehemasilasi2985
    @rehemasilasi2985 Месяц назад

    Ninaowadai wote ukawaguse bwana wanilipe

  • @RoseOkumu-k8c
    @RoseOkumu-k8c Месяц назад

    Amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙌

  • @oman798
    @oman798 5 месяцев назад +1

    AMINA

  • @stephanosospeter1709
    @stephanosospeter1709 Месяц назад

    Ameen ❤

  • @ScholarBwire
    @ScholarBwire 5 месяцев назад

    Aimen 🙏🙏🙏

  • @mamamhagama7889
    @mamamhagama7889 14 дней назад

    Leo ni siku ya baraka kwangu asubuhi mchana na hata jioni