Ibada live
Ibada live
  • Видео 27
  • Просмотров 79 298

Видео

MAOMBI YA DAMU YA YESU (With Music) - Innocent Morris
Просмотров 4995 месяцев назад
MAOMBI YA DAMU YA YESU (With Music) - Innocent Morris
MAOMBI YA REHEMA (with Music) - Innocent Morris
Просмотров 1855 месяцев назад
MAOMBI YA REHEMA (with Music) - Innocent Morris
MAOMBI YA DAMU YA YESU - Innocent Morris
Просмотров 2955 месяцев назад
MAOMBI YA DAMU YA YESU - Innocent Morris
MAOMBI YA REHEMA - Innocent Morris
Просмотров 1475 месяцев назад
MAOMBI YA REHEMA - Innocent Morris
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO - Innocent Morris
Просмотров 4,6 тыс.5 месяцев назад
MAOMBI YA KUVUNJA VIFUNGO - Innocent Morris
MAOMBI YA KUONG'OA MAPANDO YA ADUI - Innocent Morris
Просмотров 6 тыс.5 месяцев назад
MAOMBI YA KUONG'OA MAPANDO YA ADUI - Innocent Morris
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA - Innocent Morris
Просмотров 16 тыс.5 месяцев назад
MAOMBI YA KUVUNJA NGUVU ZA GIZA - Innocent Morris
MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA - Innocent Morris
Просмотров 8005 месяцев назад
MAOMBI YA USIKU KABLA YA KULALA - Innocent Morris
MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris
Просмотров 40 тыс.5 месяцев назад
MAOMBI YA ASUBUHI - Innocent Morris

Комментарии

  • @GraceAmlike
    @GraceAmlike 29 минут назад

    Asante Mungu kwa kunilinda usiku kucha na kuanza siku ya leo ikawe yenye baraka na mafanikio amen

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g Час назад

    Baba Kwa neno lako mifupa mikavu ulipata uhai tena..Kwa nguvu ya neno lako mifupa ya madeni ,no promotion,no cratuity, ,magonjwa yote yanapata nguvu na inachipuka tena.Amen

  • @Stella-z9p
    @Stella-z9p 2 часа назад

    Ameen barikiwa mtumishi nikiwa saudia

  • @FabiolaSimba-o6e
    @FabiolaSimba-o6e 4 часа назад

    Mungu naomba uondo Kila pando lilipandwa ndani yangu na adui lilipandwa ndani yangu kuziba riziki kwa namna yoyote kupitia waganga au kwa neno la laana yoyote navunja kwa damu ya yesu katika jina la yesu kritro nyota yangu igare kama jua🎉

  • @ElizabethMussa-j5p
    @ElizabethMussa-j5p 9 часов назад

    Asante yesu🙏🏻

  • @kepherkunasa8073
    @kepherkunasa8073 12 часов назад

    Mtumishi unarudiarudia sana sentensi nenda moja Kwa Moja kwenye pointi.

  • @MaryKaburia
    @MaryKaburia День назад

    Yes the devil is defeated we will be through in our life the dark life is out in the name of Jesus l will not cry again Amen and Amen

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g День назад

    Asante yesu Kwa kuniwezeaha nikashiriki maombi haya.Nuru yako iniangazie katika Kila pahali niendapo.Inifungulie malango yaliyo funguwa na Giza la kishetani.Amen

  • @LightnessMrema-qv4uy
    @LightnessMrema-qv4uy День назад

    Mungu nitangulie siku hii ya leo

  • @SaraSareta-c8z
    @SaraSareta-c8z День назад

    Ee bwana tenda jambo jipya ktk maisha yangu🔥🔥

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g 2 дня назад

    Nitendee jambo jipya Kwa siku hii.Amen

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 2 дня назад

    Amen 🙏

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g 2 дня назад

    Jehova nakuhitaji Kwa ulinzi WA familia yangu

  • @LinnaDaffi
    @LinnaDaffi 2 дня назад

    Amen amen

  • @LinnaDaffi
    @LinnaDaffi 2 дня назад

    Amen,Mungu nakukabidhi uzao wangu

  • @faunambwilo143
    @faunambwilo143 2 дня назад

    Ameeen

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 2 дня назад

    Asante bwana Yesu kwa maombi haya kutoka kwa mtumishi wako na Mungu akubariki sana Mtumishi wa Mungu

  • @Samweliminja
    @Samweliminja 2 дня назад

    Asante mungu naimani nakuamini nimefungulia na siku yangu imebarikiwa kwa jina la yesu napokea kibali na baraka kwenye kazi yangh

  • @rosekiwale8302
    @rosekiwale8302 2 дня назад

    Damu ya Yesu yatosha

  • @MaryKaburia
    @MaryKaburia 2 дня назад

    Glory be to God Amen 🙏🙏🙏

  • @happyngwale8930
    @happyngwale8930 3 дня назад

    Mungu nitangulie mimi nafamilia yangu

  • @happyngwale8930
    @happyngwale8930 3 дня назад

    Asante mungu kwakua umwema ukaifungue milango yakifedha siku yaleo

  • @happyngwale8930
    @happyngwale8930 3 дня назад

    Asante bwanayesu kwakua umeftuamsha asubuhi mimi nafamilia yangu ukaifaye iwe yenye baraka naneema tele

  • @sudiadiane
    @sudiadiane 3 дня назад

    Amen 🙏🏻

  • @HappyYustoShelekwa-ix4mp
    @HappyYustoShelekwa-ix4mp 3 дня назад

    Amen 🙏🙏

  • @edithrwechungura2768
    @edithrwechungura2768 3 дня назад

    Amen

  • @ShimaKelinda
    @ShimaKelinda 3 дня назад

    Ameeeeeeen

  • @irenenanjala3242
    @irenenanjala3242 3 дня назад

    Amen 🙏🙏🙌🙏

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g 3 дня назад

    Amen Amen Amen 🙏🙏 mungu yu mwema hallelujah hallelujah hallelujah

  • @MariamuLuponelo
    @MariamuLuponelo 3 дня назад

    Ameen

  • @SaraM-m1d
    @SaraM-m1d 3 дня назад

    Amen

  • @DayanaMarthin
    @DayanaMarthin 3 дня назад

    Haleluya Mungu wangu na bab yangu naomba uendelee kunitia nguvu bila wewe siwezi,,

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 3 дня назад

    Asante sana Mtumishi wa Mungu

  • @suzanne9517
    @suzanne9517 3 дня назад

    Amen Amen

  • @lydiamakenge5613
    @lydiamakenge5613 4 дня назад

    Amina

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g 4 дня назад

    Amen uzuri wako eeh bwana iwe juu yangu Wana wangu,mume wangu ,marafiki zangu,na kazi yamikono yetu uidhibitishe na tuifurahiye kazi ya mikono yetu muda WA siku nyingi

  • @JanetChana
    @JanetChana 4 дня назад

    Amen 🙏🙏🙏

  • @MaryMshai-n1g
    @MaryMshai-n1g 4 дня назад

    AMEN

  • @gracekache1068
    @gracekache1068 4 дня назад

    Nimetamani Bwana Yesu anitoe katika madeni kwa biashara yangu, ndoa yangu iwe sawa, msichana wangu afunguke na apate kazi, kijana wangu awache ulevi na saidie familia yake.

  • @dionicyndelwa663
    @dionicyndelwa663 4 дня назад

    Amina

  • @WitnessMichael-u1v
    @WitnessMichael-u1v 5 дней назад

    Loho ya hofu itoweke kwa jina la yesu

  • @WitnessMichael-u1v
    @WitnessMichael-u1v 5 дней назад

    E mungu naomba utawalemaisha yngu afya yangu

  • @hellenwafula-j2g
    @hellenwafula-j2g 5 дней назад

    Asanty ubarikiwe pastor Kwa maombi haya.Nimebarikiwa sana