Swahili Worship Songs 30 Minutes of Prayers and Worship

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 янв 2025

Комментарии • 440

  • @emjohtrader
    @emjohtrader Месяц назад +36

    My prayer for any random person reading this is that the LORD Jesus will turn your weeping into dancing. He will give you a reason to not just smile, but to laugh again. May the LORD Jesus deliver you through and out of that difficult situation and bring you comfort again, in His Precious Name!

  • @JeylahunMakena-jb3mg
    @JeylahunMakena-jb3mg Месяц назад +59

    Wooi mwenye aamini mungu nasema amwamini aliponya mtoto wangu mangonjwa yenye niliona awezi survive,alikuwa na shimo lwa roho,shinda ya kichwa,spinal cord,miguu angeweza kusimama wala kutembea,na masikio bado ikawa na shinda watu wakasema nilizaa kiwete ooo huyo awezi survive .hahaha my friend three yrs and half strong boy walking strong he his my everything i am here to testify my God is able .haikuwa rahisi but jehova did it

  • @CylviahNzembi
    @CylviahNzembi 2 месяца назад +183

    Kutoka mwaka Jana nilipompoteza mwanangu nimekuwa Kwa majaribu mengi mpaka Sasa,,,, ila siku zote nitazidi kumpa huyu Mungu sifa maana amenambia kuwa alinijua hata kabla sijaingia tumboni mwa mamangu kwahiyo ata ninayo yapitia Leo anajua,,,, all the grace are unto you Lord

    • @GetrudaAndrea-ny4ku
      @GetrudaAndrea-ny4ku 2 месяца назад +9

      Polee sana😢mungu anakutia nguvu usichoke kumuomba🙏🙏

    • @jacklinekanini1213
      @jacklinekanini1213 2 месяца назад +2

      Amen

    • @norymnceri3877
      @norymnceri3877 2 месяца назад +5

      Amani yake Yesu ukunyeshee kama mvua na akupe nguvu🙏

    • @MagretShisia
      @MagretShisia 2 месяца назад +4

      Pole sanaa take it easy God has a reason for it

    • @JosephMchomvu
      @JosephMchomvu 2 месяца назад +5

      Mungu akupe faraja katika mapito yako akupe heri na tumaini kila leo..

  • @KELVINPAULNKHATA
    @KELVINPAULNKHATA Месяц назад +25

    E'hh Mungu gusa mioyo yakila mwenye kusikia nyimbo hizi, kunawale ambao ni wagonjwa kwa muda murefu sasa, wengine ni matasa, viwete yatima, wajane ambao hakizao hazisaminiki. Pindi wasikiapo hizi nyimbo badilisha status ya maisha yao.

  • @babaloisethan7010
    @babaloisethan7010 2 месяца назад +45

    Kama Kuna Mazingira Magumu Umewahi Kuyapitia Katika Maisha yako na Unaamini Asingekua Mungu kuingilia kati,Basi ungekua haupo hai Leo,Sema Asante Yesu
    Na Kama Bado upo kwenye wakati mgumu,umepoteza furaha,umepoteza Tumaini,Mwambie Yesu Sitatoka Hapa Kama Usipoingilia kati.Na Mungu akutoe hapo uliopo kwa Jina la Yesu🙏🙏

  • @jacintapius948
    @jacintapius948 2 месяца назад +22

    Baba sema NAMI kuhusu tatizo LA huyu mtoto wangu.and she will be healed in Jesus Mighty Name, Amen

  • @obedimunguachiza8434
    @obedimunguachiza8434 2 месяца назад +50

    Who's here on this October 21 let us praise the Almighty God be blessed man of God.

    • @Evelyn-i4r
      @Evelyn-i4r 2 месяца назад +3

      Here i am at this hour...new dawn

    • @obedimunguachiza8434
      @obedimunguachiza8434 2 месяца назад +3

      @@Evelyn-i4r hallelujah praise God amen.

    • @carolynekioko222
      @carolynekioko222 2 месяца назад +3

      Am here. May everyone who has prayed this prayer today receive healing breakthrough and restoration in the name of Christ Jesus

    • @AsiphiwePhilemon
      @AsiphiwePhilemon 2 месяца назад +1

      Here 25 October

    • @obedimunguachiza8434
      @obedimunguachiza8434 2 месяца назад +1

      @@AsiphiwePhilemon hallelujah praise the Almighty God, be blessed dear.

  • @redemptamue3736
    @redemptamue3736 Месяц назад +21

    Nimetukanwa na kutharauliwa kwa sababu mm ni Yatima... Hila Kimbilio langu ni Mungu Pekee... Yy ni Baba Wa Mayatima
    Kindly pray for me

    • @vivianshalua2383
      @vivianshalua2383 Месяц назад

      Usiogope Mungu ni Baba yako wa ukweli. Anakupenda na kukujali kuliko mtu mwingine yoyote, endelea kumshukuru kwa kila jambo Yeye faraja yako. Pole sana

    • @reubensituma1854
      @reubensituma1854 Месяц назад

      Pole. Nakuombea MUNGU akubariki sana na akupe utulivu katika Jina Tukufu la Mwana kondoo. Endelea kumtegemea MUNGU peke yake. Amen

    • @holywordministry
      @holywordministry Месяц назад

      Just trust Him,He doesn't dissapoint ooh

  • @auroratitus4073
    @auroratitus4073 6 дней назад +4

    Nimetukanwa,,,nikathalilishwa mbele ya watu God ,,u my father mimi toto yatima always guide me

    • @Gospeleverywhere
      @Gospeleverywhere  6 дней назад +2

      @@auroratitus4073 Mungu Baba atafungua njia zako mwaka huu in Jesus Name

  • @florentniwenkinzo926
    @florentniwenkinzo926 Месяц назад +9

    Shalom ,Bwana Yesu asifiwe .Mungu wetu awabaliki wote muna hasikiliza Nyimbo hizii , nimepata testemony kwamba sinawasaidia watu wengi , so Mungu azidi kuwatendea mema na kuwabaliki. Glory to Jehovah amen

  • @larisabaranga914
    @larisabaranga914 22 дня назад +4

    🥹🥹pokea sifa eeeh Jehovah najua utaamsha mamangu mangojwa sio ndoto Yake ninapo omba na huu wimbo nenda ukamguze mamangu nijisifu na jina lako ujawai niacha tangu nikujue tenda jambo sasa 😭😭🙏🙏🙌🙌🙏🙏

  • @carolkiki5379
    @carolkiki5379 12 дней назад +2

    27/12/2024 i woke up feeling a urge to listen to worship songs and the holy spirit directed me here. Lord i pray that you show me mercy

  • @christinemurungi2327
    @christinemurungi2327 27 дней назад +3

    Pokea sifa. Anyone from Uganda? This worship is amazing 12/12/2024

  • @RozmanMagelanga
    @RozmanMagelanga Месяц назад +3

    Katika ulimwengu wa mwilini niko peke yangu baba ila naamini katika roho niko na wewe baba Asante yesu

  • @carenjerono3908
    @carenjerono3908 Месяц назад +6

    13 Nov 2024 pokea sifa mwaokozi uliko nitoa siwezi hata kusema , ninapo keti kuhesabu baraka zako juu yangu siwezi hata kuyahesabu maana ni mengi kuliko nyota angani🙌😍

  • @fridahwaithira2783
    @fridahwaithira2783 9 дней назад +2

    Mi nimepitia shida ,,shida juu ya mashuda,lakini mungu bado ako na mimi..

  • @rennahatieno5997
    @rennahatieno5997 Месяц назад +4

    There is God in heaven who hears our prayers and answers them.

  • @neemajeremiah8669
    @neemajeremiah8669 2 месяца назад +8

    Hata usipojibu maombi yangu utabaki kuwa Mungu kwangu 🧎‍♀️🙏

  • @theresiasteven3198
    @theresiasteven3198 2 месяца назад +6

    Wewe peke yako unatosha katika maisha yangu Yesu. Naomba uwalinde watoto wangu dhidi ya hila za yule mwovu shetani. Wewe ndio kimbilio langu na ombi langu kila siku ni kwamba wewe ndio tegemeo langu Amina

  • @JosephMchomvu
    @JosephMchomvu 2 месяца назад +4

    Asante Yesu kwa kila hali ninayopitia, asante Yesu kwa maisha uliyonipa, asante Yesu kwa kila hatua ya maisha yangu...

  • @GloryKemunto-g7r
    @GloryKemunto-g7r Месяц назад +4

    Mungu ni zaidi ya tunavyofikiria kama wanadamu.....Ninaposahau unikumbushe.. ee Mungu.Nashukuru kwa yote Ebenezer ❤

  • @charlesmrema1741
    @charlesmrema1741 2 месяца назад +9

    Peke yako Yesu unatosha..ladha ya mbinguni tunaianza kabla ya kufikaaa... mmbarikiwe sana wana wa Mungu..Shalom........

  • @njokiwanjohi757
    @njokiwanjohi757 19 дней назад +3

    Beautiful praise songs

  • @IrakozeClaudine-z9c
    @IrakozeClaudine-z9c 26 дней назад +4

    Pokea sifa Dear God❤❤

  • @jacklinemakhungu9731
    @jacklinemakhungu9731 Месяц назад +3

    Thank you Lord for everything
    This far you've been my Ebenezer.I love you Jesus.

  • @mwashtz9540
    @mwashtz9540 3 дня назад

    Utukufu una wewe Mungu utupaye kushinda kule kuushindako ulimwengu 🙏

  • @hannahtembo8280
    @hannahtembo8280 Месяц назад +2

    Bwana pokea sifa na utukufu! Nimeuona mkono wako wa uponyaji🙏🙏🙏

  • @moiselutegha9331
    @moiselutegha9331 Месяц назад +3

    Mungu badilisha mwenendo yangu, ni tembeye pamoja na wewe mungu🧎🙏

  • @mariekarish7950
    @mariekarish7950 Месяц назад +3

    First day of Dec 2024 am alive Wacha nikuabudu baba yesu umekuwa mwaminifu asante Kwa yote like nacho hitaji Nina Amani utanipa

  • @carolinendasala935
    @carolinendasala935 2 месяца назад +10

    Baba sema na moyo wangu asubuhi ya leo🤲🤲🧎‍♀️

  • @SharonJebet-zm2lu
    @SharonJebet-zm2lu 2 месяца назад +8

    Sema Na Moyo Wangu asubuhi ya Leo Baba Kwa maana nataka kusikia Sauti yako pekee sema Na Mimi 🙏🙏😢😢

  • @AliceMakonjio-yp8mj
    @AliceMakonjio-yp8mj 22 дня назад +2

    Naja Mbele zako,we ndio msaada WA Pekee,ni ombi Langu ukanitembelee pamoja na familia yangu,sema nasi,sema meno moja

  • @AnneNekesa-g5q
    @AnneNekesa-g5q 2 месяца назад +3

    Sema na moyo wangu,, wewe ndiye unayejua kile napitia bwana. Please God remember me 😭😭😭😭 it's hard for me I leave it in your hands

    • @Gospeleverywhere
      @Gospeleverywhere  2 месяца назад +2

      @@AnneNekesa-g5q May God hear you na ajibu maombi yako in Jesus name

  • @NancyNanga-gy6el
    @NancyNanga-gy6el Месяц назад +2

    Amen and Amen 🙏🙏🙏🙏

  • @fridahwaithira2783
    @fridahwaithira2783 9 дней назад +1

    Kudharauliwa,,,matusi,aina zote za mateso..

  • @salomemrembo7482
    @salomemrembo7482 2 месяца назад +7

    Hasanti yesu..wewe ndiyo rafiki wa kweli..na dhati hunastahili sifa na hutukufu siku Zote za maisha yangu 🤲🙏🙏🙏

  • @michaelgikunda-f4o
    @michaelgikunda-f4o 28 дней назад +3

    hakika ni mungu asafiwe daima

  • @FaithKanja-k6u
    @FaithKanja-k6u 2 месяца назад +6

    😢😢😢😢 ooooh God heal my parents and heal them completely, I rebuke the spirit of sickness in my family, Oooh God take control of every situation. I put my trust in you and you alone because I know you have power over everything 🙏🙏🙏😢😢😢

    • @ElizabethNjatha
      @ElizabethNjatha 2 месяца назад +1

      May he hear your prayers in Jesus names Amen

  • @CatherineNjoroge-bf8fe
    @CatherineNjoroge-bf8fe Месяц назад +2

    Thank-you lord for healing my daughter and giving her chance to walk again.

  • @Lawrence-k2p
    @Lawrence-k2p Месяц назад +2

    1st dec 2024 am alive because of Gods mercy,recall during covid era! but how I survived,how I walked out of that ward 5 bed 2 n Mungu tu.Thankyou LORD

  • @mankalema2721
    @mankalema2721 2 месяца назад +4

    Asante Yesu kwa zawadi ya Uzima 🙏🏻Ninakuomba uzidi kutuongoza na kuibariki familia yangu nakuomba umbariki Mume Wangu mkinge na hatari zote za Rohoni na mwilini .Amen🙏🏻

  • @careenleon2516
    @careenleon2516 Месяц назад +3

    Asante Mungu Wangu, Asante Yesu kwa, Asante Baba yangu kwa uhai, Afya njema, Afya nzuri kwa familia yangu, Afya ya Mwanangu na kila ulichonibariki kupata, Naomba ulinzi Mungu wangu niongoze kwenye njia uzipendazo Dunia isiniteke nikakusahau Muumba wangu.

  • @JC-kb6ce
    @JC-kb6ce 2 месяца назад +3

    Asante yesu Amen. ..... ni asante kwa yote ulionitendea maishani mwangu. Uongezeke ndani yangu nami nipingue yesu....i worship you now and always ❤
    The songs are uplifting to His place of glory.....

  • @SarahAkinyi-u8z
    @SarahAkinyi-u8z Месяц назад +2

    Our God is a God who does exceedingly abundantly above all 🙏🙏🙏🙏 He's the mighty man of war🙌🙌🙌

  • @EurekaMsena
    @EurekaMsena Месяц назад +2

    May your name be Glorified Father who created Heavens and Earth the God who fights our battles and protect us from evil let your name be lifted high forever and ever Amen🙏

  • @kevshicks
    @kevshicks 2 месяца назад +4

    SEMA NA Roho yangu Asubuhi Hii Bwana,,,Naingojea Sauti yako.

  • @akinyimbeche596
    @akinyimbeche596 2 месяца назад +3

    Asante baba, wewe ndio kimbilio langu Jehova. Naomba baraka zako Jehova, ewe Ebenezar. Bariki wapendwa wangu Baba. Nakupenda Mungu wangu

  • @lucyshow7
    @lucyshow7 2 месяца назад +3

    Our father in heaven I give you glory and honor for the gift of life, those who are sick may God heal you may the holly ghost fire all your pain in Jesus name ❤️🥰🥰

  • @paulathuo6381
    @paulathuo6381 2 месяца назад +21

    November 3rd 2024,all I ask for is restoration God 🧎‍♀️

    • @andersonkalanja464
      @andersonkalanja464 2 месяца назад +1

      May God restore that which you are in search for Amen 🙏

  • @theresiariwa2421
    @theresiariwa2421 2 месяца назад +3

    Nishike mkono BWANA nitembee na wewe katika safari yangu.

  • @mwikalidamaris
    @mwikalidamaris 2 месяца назад +6

    ❤such a blessing song! Asante yesu wewe ndio kimbilia langu

  • @rosefit2545
    @rosefit2545 Месяц назад +2

    Asante Yesu 🙏🙏🙏Amen
    Sijui cha kulilipa my Lord.

  • @AngelWihale-f9c
    @AngelWihale-f9c 2 месяца назад +2

    Asante yesu umenitowa mbali sana nihakika maisha yangu bila wewe ilikuwa ni historia nyingine ila neema yako yanitosha Amen

  • @FausterLawrence
    @FausterLawrence Месяц назад +1

    Baba nitie nguvu safarini mwangu tena ninaamini nitauona wema wa Bwana katika nchi ya walio hai Amen!

  • @melaniquemakoma
    @melaniquemakoma Месяц назад +1

    Asante yesu kwa neema zako.wewe ndiyo kimbilio language la kila siku Bwana.sifa na utukufu ni zako bwana

  • @Esthermweka
    @Esthermweka 2 месяца назад +2

    Kimbilio langu ni wewe tu bwana asante kwa uhai ambao unanipa

  • @Maggie-wc6kq
    @Maggie-wc6kq 2 месяца назад +5

    Who is here on November 4 . Lets give Glory to God... Delos Micheal.. Be blessed❤❤❤

  • @estherwanjuki8844
    @estherwanjuki8844 Месяц назад +1

    My only hope is you mungu wangu,a faithful God God who fulfill s His promises, father have mercy upon us,some of us are in desperate situations, father hear our prayers,we have no other hope except you,will remain trusting you to eternity,thank you Jesus praise you Jesus

  • @EverlynKinyangi
    @EverlynKinyangi 2 месяца назад +9

    Asante yesu maana hakuna mwingine kama wewe umbali huu imegharimu mkono wako 7/11/2024 asante kwa kutembea nami katika safari yangu

  • @joycemakokha9648
    @joycemakokha9648 2 месяца назад +2

    Asante Mungu wangu Kwa ulinzi wako nakutegemea tu Wewe Jehovah Sina mwingine saidi yako wewe ni kilakitu changu. I will worship you all the days of my life amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @judithbomani1805
    @judithbomani1805 Месяц назад +1

    Mungu ni mwema katika maisha yangu siku zote , hunipatia kila nimuombacho kwa wakti anao ona huu ni sahihi kwa binti yangu SITOACHA KUMUOMBA NA KUMTUKUZA KILA HII TWAPO LEO 🙏

  • @estherotwane40
    @estherotwane40 Месяц назад +1

    Thank you God I know you will fight for me, am going through alot

  • @JudithTEO-k2b
    @JudithTEO-k2b Месяц назад +2

    Asante Yesu kwa kila hali niliyonayo.nakupa utukufu

  • @leahjoym1087
    @leahjoym1087 Месяц назад +1

    Asante Baba kwa neema inayonitosha Kila siku! Asante kwa kunifanyia njia kulikokuwa hakuna. Nawaombea wote wanaokupenda! Naliombea kanisa! Tubariki zote kwa jina takatifu la mwanao...Amen

    • @quinokoth
      @quinokoth Месяц назад

      🙏🙏🙏🙏

  • @GedeonNdacayisaba-k5g
    @GedeonNdacayisaba-k5g Месяц назад +2

    Nguvu za Mungu hazitaisha kamwe tena tumuite mungu apendae atawale moyoni mwenu myaka na milele/asante bwana Mungu asante tena

  • @shalommoi1422
    @shalommoi1422 2 месяца назад +4

    I am here. I was a total wreck when he picked me up. He has done so much for me. I never knew how to praise him now I do... even though I don't know how to pray, I can only offer my Praise as a form of worshipping Him.

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 Месяц назад +1

    Hakuna mwingine wakulingsnishwa na wewe Mungu mwenye nguvu

  • @veronicanzisasila6344
    @veronicanzisasila6344 2 месяца назад +2

    Kimbilio langu na ombi langu ni wewe Bwana.
    Tawala katika maisha yangu

  • @AMANIFIDELE-m7f
    @AMANIFIDELE-m7f 18 дней назад +1

    Mungu nimwema siku zote

  • @darlingqueendee3822
    @darlingqueendee3822 Месяц назад +2

    Asante yesu.. aki everyday I have to listen to this mix . Am blessed. God bless you too.

  • @heathermbotela2499
    @heathermbotela2499 2 месяца назад +2

    Wewe pekee MUNGU wangu, ndiyo kimbilio langu, sina wa kumtegemea, ila ni wewe tuu.

  • @DeborahritanyiMollel
    @DeborahritanyiMollel 20 дней назад

    Pokea sifa Baba yangu 🙏🙏

  • @gladysruno6358
    @gladysruno6358 2 месяца назад +3

    Woow what a way to start my Thursday morning, thanks to holy spirit of God

  • @sijemoct1216
    @sijemoct1216 20 дней назад +1

    niko nasaidiwa sana kupitiya maombi haya, na mungu akubariki na uendelea kutusaida kupititia iyi njia ya kumsifu bwana

  • @aldegondesebirayi9912
    @aldegondesebirayi9912 Месяц назад +1

    Asante Yesu wangu.
    Bila wewe mimi sikitu

  • @janekulwa3269
    @janekulwa3269 2 месяца назад +3

    Bwana usehemu yangu ,natembea na wewe

  • @lynnedanielschao2557
    @lynnedanielschao2557 Месяц назад +2

    Thank you lord for this far..this November my daughter is sitting f kcse exams..didn't expect her to reach that far ,but by your mercies God,she is already there..we passed thru hell but you God,you came thru,thank you God 🙏🏼🙏🏼

  • @LazarusBaraza
    @LazarusBaraza 2 месяца назад +2

    Glory to Jesus our Lord and blessed savour.

  • @jacklinekarimi8692
    @jacklinekarimi8692 2 месяца назад +7

    Bwana usehemu yangu naomba nitembee nawewe yesu sikuzote zamaisha yangu❤

  • @niyonkurueric542
    @niyonkurueric542 2 месяца назад +2

    Sema na mimi bwana ❤❤❤

  • @nicksonshoo429
    @nicksonshoo429 Месяц назад +2

    Pole sana mtu wa Mungu.
    Mungu ni mkuu sana usiogope.

  • @WycliffeMuniu
    @WycliffeMuniu 2 месяца назад +4

    🎉🎉🎉waaaau imenibariki sana niko kenya nakuru town naiskiza kila simu asubuhi

  • @DottoDodai
    @DottoDodai 2 месяца назад +2

    Mungu yupo kwa ajiri yetu yupo tayari kutusikiliza mda wote tusichoke kumuomba

  • @ngosachibesa2131
    @ngosachibesa2131 2 месяца назад +2

    This has been part of my morning prayer. It is not only praise and worship but also healing and soothing 🕊️

  • @ClementinaGregory-p7m
    @ClementinaGregory-p7m Месяц назад +2

    November 10 Lord all i am asking for is restoration, Restore my job baba

  • @James-nq6fz
    @James-nq6fz 2 месяца назад +3

    Good morning I'm leaning song from Nairobi Huruma Matare God bless your oll

  • @SoosanOman
    @SoosanOman Месяц назад +1

    Amen kimbilio langu ni ww Baba.

  • @julianajuliet9003
    @julianajuliet9003 2 месяца назад +3

    Asate yesu ingawa napitia magumu najua uko pamoja nami hakuna lisilowezekana kwako baba wewe nikimbilio langu yesu sema na moyo wangu yesu naomba jibu

  • @nicksonshoo429
    @nicksonshoo429 Месяц назад +2

    Safari yangu simuachi Yesu!!

  • @bakunduwukizebenithe7888
    @bakunduwukizebenithe7888 2 месяца назад +2

    Asant Yesu wangu kwa siku nyingin tena🙏🙏🙏

  • @sabinaleonce8243
    @sabinaleonce8243 Месяц назад +1

    Baba pokea sifa na shukrani zangu zitokazo chini ya kilindi cha moyo wangu,wewe ndiwe kimbilio langu ni pekee mchana na usiku ,nitakutegemea wewe pekee yako

  • @tabithawanjiku704
    @tabithawanjiku704 2 месяца назад +2

    Pokea sifa Bwana,ni wewe peke Yako🙌🙌

  • @sharonmwikali6575
    @sharonmwikali6575 2 месяца назад +2

    Usiku Wa Leo Mungu Wangu naomba nikumbuke ninguse Tena Messiah

  • @prophetmlokozi4633
    @prophetmlokozi4633 2 месяца назад +2

    Utukufu kwa Bwana 😢😢😢😢😢 20:05

  • @PastorFrancis001
    @PastorFrancis001 Месяц назад +1

    I don't know how this worship come on my download as I was playing on my download I heard it and for real it's a move to worship drawing me more to God. I don't get tired listening to in the morning before going to work and evening after work. Thank you Lord pamoja na wewe bwana hii safari nitaweza

  • @hilarynjuguna1823
    @hilarynjuguna1823 26 дней назад +1

    May Almighty God, everlasting and Holy one of Israel bless you and your generation now and forever. Asante kwa kazi nzuri unafanya.

  • @BahatiKafulila
    @BahatiKafulila 2 месяца назад +3

    Ameen sema nam Baba usku waleo

  • @ZenaiceMsacky
    @ZenaiceMsacky Месяц назад +1

    I thank the Almighty God who listens to the needs of our hearts

  • @NyotaNatacha
    @NyotaNatacha Месяц назад +1

    Glory to Almight God tunakusifu milele na milele

  • @shantisam-wo8wj
    @shantisam-wo8wj 2 месяца назад +2

    When the time is right I the lord will make it happen ❤