Jeremy Jeradi - Nimekutana Nawewe ( Official Live Recording Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 янв 2025

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @ministerjeremyjeradi254
    @ministerjeremyjeradi254  5 месяцев назад +448

    MAY YOU SEE GOD IN YOUR TOUGHEST MOMENT. Thank You For Watching . FOR BOOKINGS // PRAYERS // SUPPORT WATSAPP +254705955599
    Email : jeremiejeradi5@gmail.com

    • @ngalukomcharo9841
      @ngalukomcharo9841 5 месяцев назад +13

      You are one of my favorite gospel minister brother, keep the anointing you have, you will be uplifted to the world most anointed gospel singer.That's my prayers always about your ministration.

    • @ministerjeremyjeradi254
      @ministerjeremyjeradi254  5 месяцев назад +3

      @@ngalukomcharo9841 amen amen !

    • @cyrusmumo5454
      @cyrusmumo5454 5 месяцев назад +3

      I listen to your song very wonderful and touching more grace and blessings brother

    • @samwelimwashumbe9123
      @samwelimwashumbe9123 5 месяцев назад

      11aaaa❤à9😊😮😊A

    • @ministerHappyAllan
      @ministerHappyAllan 5 месяцев назад +2

      Very powerful
      YESU azidi kuinuliwa

  • @ishmaelnyongesa1678
    @ishmaelnyongesa1678 5 месяцев назад +551

    Nawacha hapa hii comment ndio kila mara mtu anapoi like nitarudi kuangalia wimbo huu tena! Song of the year!❤

  • @mrocharo
    @mrocharo 26 дней назад +45

    Kama umefika 2025 weka tik 🙏🙏🙏🙏mwanzo ni neema ya Mungu glory to God

  • @FaithOndara
    @FaithOndara 6 дней назад +3

    Ak Mungu Azidi kutumia watu wake kwa nyimbo tuzidi kubarikiwa.Hapa kwa yesu stoki kabisaaa anastahili sifa zote Yesu❤❤pokea Baba jinsi tulivyo pokea tu Rabiii, Adonai, Elohim Yote n yako

  • @GraceKivolwe
    @GraceKivolwe 2 месяца назад +85

    Walio rudia huu wimbo zaidi ya ma kumi kiss ma comment ameen

  • @michaelongara7825
    @michaelongara7825 4 месяца назад +147

    I just landed a permanent job after tarmacking for 7 good years and am here to testify that nimeona Elohim akitenda.Nimekutana nae

  • @sisterblessed-my9jd
    @sisterblessed-my9jd 2 месяца назад +41

    Km wimbo huu umekuhudumia kwa mguso wa ajabu tumwinue Mungu mkuu kwa likes za kutosha!!❤❤

  • @dianawanjiku6761
    @dianawanjiku6761 Месяц назад +33

    Someone like this comment... let's worship our creator only

  • @EstherBoyani-f1m
    @EstherBoyani-f1m 19 дней назад +6

    Namekutana na wewe Bwana YESU 2025 please lets gather here

  • @wandierodavis1607
    @wandierodavis1607 5 месяцев назад +108

    Everytime i listen to this song tears role dwn my Chicks 😭😭😭....God has been faithful to me since my childhood 😭....i was epileptic one year after i was born i suffered for 2 good years 😢....my parents trusted in God the day i received my healing nobody can tel what happened indeed nothing is impossible to God I'll never be ashamed of the gospel 😭

  • @extrovert5829
    @extrovert5829 27 дней назад +10

    31/12/2024 , just opened the RUclips and this was the first song in my feed. 2024 we saw the hand of God. May 2025 also be good to us.

  • @Nina-PJoy
    @Nina-PJoy 5 дней назад +3

    Can't wait to sing this song on my graduation day😢🙏Nmekutana nawewe Yesu, Nimekuona Elohim ukitenda🙏🙏🙏🤲Soooo powerful. Gloooooooooooory🙌

  • @Godsgirl01
    @Godsgirl01 Месяц назад +44

    Who is watching now now from Dr Sarah k Tuesday moment of worship,my God open a new chapter in you life , Amen 🙏🏻

  • @agathamartine
    @agathamartine 4 месяца назад +46

    Yesu naomba ukutane namimi nikwambie yalio moyoni mwangu unikumbatie nilie kwa furaha 😢😢❤

  • @rebeccamghoi4262
    @rebeccamghoi4262 5 месяцев назад +76

    Wangapi tumetoka TikTok ❤❤aki this song was meant to be mine 😭😭😭😭😭

  • @SharonCheruto-nn3wc
    @SharonCheruto-nn3wc 3 месяца назад +34

    Wenye tungalia io wimbo leo wp likes

  • @gloriacherotich227
    @gloriacherotich227 Месяц назад +10

    I met God this November,he did it for me, he's real ,he never fails, I don't know how to thank him 😭😭all glory goes to him

  • @Jassy-kx3ww
    @Jassy-kx3ww 5 месяцев назад +66

    Jaman hii nyimbo iko very powerful mwanzo wangu wa maombi hadi mwisho lazima niweke hii nyimbo Mungu akubariki sana na azidi kukuinua asante kwa wimbo wa matumaini hata kwa nyakati ngumu bado naona YESU atatenda yeeeeees atatenda

    • @ministerjeremyjeradi254
      @ministerjeremyjeradi254  5 месяцев назад +4

      Amen amen ! Ubarikiwe Na Mungu .
      God bless You So Much
      For prayers , Bookings , Supports : jeremiejeradi5@gmail.com
      +254705955599

    • @erastohussein5024
      @erastohussein5024 5 месяцев назад +1

      ​@@ministerjeremyjeradi254Mungu akutunze sana bro karibu Tz maana tunakupenda sana umeimba Roho wa Mungu kashuka kabisa be blessed bro

    • @malaikahansen
      @malaikahansen 4 месяца назад

      WIMBO ni umoja ( singular) NYIMBO ni wingi ( plural)

    • @lydiasungu
      @lydiasungu 3 месяца назад

      Me too this song it is so powerfull
      To any friend good night
      ​@@erastohussein5024

    • @EnockKalalu-t8s
      @EnockKalalu-t8s 16 дней назад

      Unaroho ndaniyake usinilize ndaniya wimbo niwapi

  • @julietmunyendo8038
    @julietmunyendo8038 15 дней назад +2

    Oh Yesu nimekutana nawe mara mingi Sana nikiwa chini na nikiwa juu.Thank you My king you will always be My God.

  • @TheWuodFibiMusic
    @TheWuodFibiMusic 28 дней назад +3

    I am very very proud of you.....seeing what you have become and how God is using you. Keep it up

  • @jtobit
    @jtobit 16 дней назад +1

    Wachaa nikutane na wewe Jesus tena 2025 teach me to pray

  • @mosenancy9859
    @mosenancy9859 Месяц назад +4

    Naomba nikutane na wewe mungu wangu mwezi huu wa december 2024

    • @Muteti_K
      @Muteti_K 27 дней назад

      Hello, I believe that God has met you this month.
      I too hope that this song will manifest in your life 100% and it shall be your testimony the whole of 2025.
      SHALOM.

  • @kalamahafricanah3958
    @kalamahafricanah3958 7 дней назад

    Kama umeletwa na Pst. Robert Burale gonga like!

  • @christophermulei8301
    @christophermulei8301 Месяц назад +16

    From worship moments with Sarah k to here thank you Lord

  • @henritachacha5154
    @henritachacha5154 8 дней назад

    Maombi yangu mwaka huu Yesu nikutane na wewe zaidi,nikuone ukitenda si kwangu Tu Bali kwa ndugu zangu na marafiki pia 😭😭

  • @racheloyatoh667
    @racheloyatoh667 5 месяцев назад +55

    Wale wameletwa hapa na TikTok,
    Aah, I have tasted of your goodness my father

  • @pillarsonmunene5660
    @pillarsonmunene5660 5 дней назад +1

    Hello Jesus. Please visit me in a mighty way....Thankyou for your doings

  • @justinasyokau2020
    @justinasyokau2020 3 месяца назад +2

    😢😢😢😢 nimekutana nawewe yesuuu nimekuona ukiteda

  • @kazosicharlotte
    @kazosicharlotte 6 дней назад +1

    Nimekuona ukitenda kwa my sister's and friends .ni na Imani nitakuona kwa maisha yetu

  • @francisefrahimu
    @francisefrahimu 16 дней назад +3

    Utukufu na heshima ni kwako Yesu wetu mzuri 😭🙏🏼🙏🏼🙌🙌

  • @EmilieNyaga-qm6ug
    @EmilieNyaga-qm6ug 3 дня назад +1

    Mungu wacha nikutane na wewe, kwa sababu napitia wakati mgumu

  • @doriskinyadoriskinya9878
    @doriskinyadoriskinya9878 18 дней назад +3

    Kila ninaposikiza hizi nyimbo najawa na uwepo wa mungu 🙏

  • @NuratyYusuf
    @NuratyYusuf 6 дней назад +1

    Naupenda huu Wimbo ,unafichua ya rohoni,hallelujah usifiwe!

  • @esnusokisa6137
    @esnusokisa6137 3 месяца назад +5

    God has been mercyful to me.... I had an accident this year on agust... I almost lost my life buh gave me a second chance to live....... Thanks u Lord for doing for me.... I saw u buh u said my journey has not ended.. I give u thanks🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 26 дней назад +1

    2025 ni mwaka wa kukutana na Mungu wa Bwana wetu Yesu Kristo ana kwa ana kwa kila hatua

  • @gorretyachiengomondi1643
    @gorretyachiengomondi1643 3 месяца назад +5

    Yesu naomba nikutaane na wewe kwajili ya hizi mambo mawili , my daughter mwenye anakalia mtiani yake ya form4 next month na mm unijalie ndoa na God fearingman🙏.Huu nyimbo imenibariki kutoka Jana ndio niliona am blessed ❤

  • @zakayoghuliku3706
    @zakayoghuliku3706 7 дней назад

    Mungu akampe kitu anachohitaji huyu alieimba hii nyimbo kwakwer amezingatia maerekezo jins nyimbo hii ilivyokusudiwa kuimbwa katika Roho

  • @bestcakes7098
    @bestcakes7098 20 дней назад +3

    Nimekutana na wewe Yesu nimekuona ukitenda makuu 2025🙌🏻🙏

  • @paulngigi4321
    @paulngigi4321 Месяц назад +2

    When the devil thought he had me, Jesus reminded him that my redemption was paid for.

  • @victoropiro7157
    @victoropiro7157 4 месяца назад +20

    Its been three years of wilderness in my spiritual life .I serve in church but my spiritual life has really been compromised ,its like the Lord has somehow distanced Himself😢.I really yearn for the time I had the breakthrough in worship and in communion with fellow brethren. I pray for for a meet up with the lord and for a complete turn around

    • @silvianasimiyu3971
      @silvianasimiyu3971 4 месяца назад

      Amen🙏. God says, 'seek me and you will find me'. Continue seeking Him. He never leaves us, he is always waiting on us to come back to Him after sin has separated us. Those who yearn for Him will surely find Him. Don't give up, don't tire beloved. He is faithful in His promises

    • @LeahMaloi
      @LeahMaloi 4 месяца назад

      😭😭😭😭🙌🙌🙌have seen you lord in different ways I can testify 😭😭🙏🙏🙏,am humble lord

    • @Karenkerubo5261
      @Karenkerubo5261 4 месяца назад

      I was like you. I came across this Koinonia global channel under Apostle Joshua Selman on RUclips. I started listening on his teachings on various seasons on Christian life. I tell you! I'm a changed believer and spiritually revive led. It is good that you have that conviction in you. May the Holy spirit help you

    • @WinnieOgwambo7825
      @WinnieOgwambo7825 4 месяца назад

      God never forsakes his own, oh yes...remember the prodigal son? He condemned himself soo much yet the father couldn't wait for his return, the reason you lack breakthrough is not because God has distanced himself from you, it is actually the guilt that has put a barrier between you and God, my simple advice to you is that you go back to the Altar, repent if you need to and then renew your salvation covenant, your spiritual life will be instantly revived! All the best.

    • @alfredyoung3968
      @alfredyoung3968 3 месяца назад +1

      The enemy will lie to you that God has left you brother, but He never leaves us, return to the place you first had an encounter with God. Repent and don't dwell in guilt/condemnation.

  • @adhiambootiang6710
    @adhiambootiang6710 Месяц назад

    Nimekutana na wewe Yesu, nimekuona ukitenda Yesu umenitoa mbali Asante Yesu 🙏🙏

  • @teresiamumbi5488
    @teresiamumbi5488 2 месяца назад +6

    Naomba kukutana na wewe mwezi huu wa December 2024

  • @I.m.mMwaka
    @I.m.mMwaka 6 дней назад +1

    ❤❤❤❤❤ Hakika MUNGU ni mwema sana❤❤❤❤❤

  • @amosken3281
    @amosken3281 5 месяцев назад +20

    Sunday nimeitisha hii song kila mtu akaanza nduru sasa hii song imebeba mafuta

  • @zakayoghuliku3706
    @zakayoghuliku3706 7 дней назад

    Kwakwer sina lakusema katika hii nyimbo nibaba abaki. Kua baba aisee ukitaka kukutana na bwana yesu imba huu wimbo nauingie kwa kuomba

  • @gracematete2065
    @gracematete2065 4 месяца назад +24

    YESU naomba nikutane na wewe uniponye saratani ya matumbo

    • @josephkanyoro-gb6jf
      @josephkanyoro-gb6jf 3 месяца назад

      Amen and Amen

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 3 месяца назад

      Pokea Kwa jina la Yesu

    • @adanmotorsgarage
      @adanmotorsgarage 3 месяца назад

      Na shetani anaendama maisha yako kwa saratani Leo hii na siku zijazo akaibike katika jina lad yesu

    • @floramuthoka2895
      @floramuthoka2895 3 месяца назад

      Healing is your portion in Jesus name 🙏

    • @Gtwitch
      @Gtwitch 3 месяца назад

      Receive healing in mighty name of Jesus 🙏🙏

  • @danstonemakacha8067
    @danstonemakacha8067 Месяц назад +2

    Thank you Lord there's a generation of worshipers that is arising in this season 😢😢😢

  • @norah0moke
    @norah0moke Месяц назад +4

    From Sarah k worship moments to here…you really blessed my soul..May God open new chapter in my life i Jesus name Amen 🙏

  • @SamuelAshitva
    @SamuelAshitva Месяц назад

    Yesu Kristo aliyehai kutana nami katika maisha yangu mwaka wa 2025 unapoanza na ukakutana na maitaji yetu May GOD bless and He bless you also🎉🎉

  • @amosken3281
    @amosken3281 5 месяцев назад +20

    Praise the Lord watu Mungu tufanyie hii song ile kitu ifike 10milioni please ifikie Watanzania rwanda congo uganga ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @lightnessmakenekbnml8386
    @lightnessmakenekbnml8386 4 месяца назад +26

    Yesu naomba nikutane nawe on this month of September 2024

    • @ministerjeremyjeradi254
      @ministerjeremyjeradi254  4 месяца назад

      Amen amen !

    • @johnsonmushi4537
      @johnsonmushi4537 4 месяца назад +1

      He can !!!trust him to the highest level

    • @Karenkerubo5261
      @Karenkerubo5261 4 месяца назад +2

      This God is faithful. If He did for me, He will do it to you dear. I was so desperate defeated on what to do. But I kept trusting and praying petitioned scripturely His promises over me. He has come in a big way. Just trust Him fully. Pray with the understanding of Who He Is to you. He will change your story like Jabez dear. Amen

    • @brendyjosephs7219
      @brendyjosephs7219 2 месяца назад

      Lord, it's not too late to say this is my year.Lord how I pray your blessings and healing upon my dad.
      Amen 🙏

  • @leahnyagudi
    @leahnyagudi 5 месяцев назад +12

    This live recording is full of Holy spirit anointing,so impacting,real worship. More grace minister Jeremy Jeradi

  • @fridahmwende284
    @fridahmwende284 День назад

    Leo nimekuona ukitenda babaa😢😢

  • @samanthawairimu6859
    @samanthawairimu6859 5 месяцев назад +15

    Nimekutana na wewe Yesu😇
    Nimekuona Elohim ukitenda🥹🙏🏽
    Hallelujah hallelujah 🙌🏽🙌🏽

    • @ministerjeremyjeradi254
      @ministerjeremyjeradi254  5 месяцев назад +1

      Amen amen ! Ubarikiwe Na Mungu .
      God bless You So Much
      For prayers , Bookings , Supports : jeremiejeradi5@gmail.com
      +254705955599

  • @dwellingsmangoli5746
    @dwellingsmangoli5746 Месяц назад

    As we enter 2025 let us see him in his mighty ways🔥💪💪😊

  • @MwajabuMhagala
    @MwajabuMhagala 5 месяцев назад +3

    Ameen🙏🙏 nilikua nasumbuliwa na tumbo kwenye maombi yangu nilikua naweka huu wimbo now ni mzm kabisa kwel nimekutana na yesu na nimeona akutenda

  • @lydiakweyu1104
    @lydiakweyu1104 19 дней назад

    God brings me a lot of happiness I've never got in this world 😢. This God is more than enough to me 🙏

  • @kananuwinfred1578
    @kananuwinfred1578 2 месяца назад +5

    After ministering in our church today I had to confirm your powerful ministration here. Indeed you are blessed

  • @sarahnalika
    @sarahnalika 5 дней назад +1

    😭🙌🙌🤲 I've experienced your love God and I know its good

  • @annwachira4046
    @annwachira4046 3 месяца назад +3

    I will remember these words." You will never cry again. Your season has come". I listened to this song a whole night and it healed my soul.

  • @gloriamuthami
    @gloriamuthami Месяц назад

    Nimekutana na wewe Yesu , nimekuona ukitenda Elohim …. Of all people to meet and see you choose me !!! Ni Asante may it be known God did it for me .

  • @AnjellaKatuti
    @AnjellaKatuti 5 месяцев назад +5

    🔥what a sound khaiii ,,,,,nation will hear you ,,,kings shall come to your light 🥳Jesus ,,,,more grace Jeremy ai may nations submit to this sound ,,ah may it be till you see Jesus exalted in the nation 🎉😭words can't put it all ,,,,sure to you words You've seen him lift ,,may it be so to you🎉🎉🎉Khai more grace

  • @RoseMwangi-y1h
    @RoseMwangi-y1h 29 дней назад +1

    This is how I am ending the year. Elohim has been faithful.🙏🙏🙏🙏🙏

  • @philicianamwandanda5070
    @philicianamwandanda5070 5 месяцев назад +11

    Nimekutana na wewe yesu from 2022 when l decided to go out of my country for better life now am going home health and happiness. Nimekuona yesu katika hii safari kweli wewe ni mungu mwaminifu

    • @ministerjeremyjeradi254
      @ministerjeremyjeradi254  5 месяцев назад +2

      @@philicianamwandanda5070 Amen amen ! Glory To Jesus Christ

    • @malaikahansen
      @malaikahansen 4 месяца назад +1

      Ubarikiwe kwa kutoa ushuhuda ( Angalizo tu Mungu na Yesu wanaandikwa kwa herufi kubwa ndio kanuni za majina katika kuandika. Na ukizingatia ukuu wao unaweza kuandika kwa herufi kubwa hata jina lote- BARIKIWA ZAIDI )

    • @philicianamwandanda5070
      @philicianamwandanda5070 4 месяца назад

      @@malaikahansen asantii kwa kunielimisha

    • @GodfreyMwamaso
      @GodfreyMwamaso 4 месяца назад

      Amen Amen Mungu wa Mbinguni awabariki

    • @MuthoniElizabeth
      @MuthoniElizabeth 2 месяца назад

      Merciful God and loving father 🙏

  • @gladnessoisso3893
    @gladnessoisso3893 Месяц назад

    Nmekutana na wewe Yesu 2022 nilipookoka Pia 2023 ukanipa kazi nzuri Sana nina imani 2025 nitakutana na wewe tena Yesu na nikuone ukitenda kwenye kiu na haja ya Moyo wangu🙏

  • @margaretwanyonyi
    @margaretwanyonyi Месяц назад +3

    My favorite songs ...I was so happy to hear you yesterday in Sarah k worship yesterday ..I was so blessed may God guide you forever

  • @JacksonLokusi
    @JacksonLokusi Месяц назад +2

    Mungu wangu nmekutana nawe,tangu utotoni,you have watched over my steps,true definition of grace, making unqualified to be qualified,thank you my papa,thank you Rabi❤,I love you Abba

  • @johnsonmushi4537
    @johnsonmushi4537 4 месяца назад +3

    Ni kweli mimi nimekutana na Yesu!!! Nimemuona akitenda na ametenda kwangu, atatenda tena zaidi na atatenda na kwako, amenitoa mavumbini na kuniketisha na wakuu, hatukustahili na huruma zako tu Bwana Yesu❤❤❤

  • @lucybrilliant9927
    @lucybrilliant9927 Месяц назад +1

    Just this year Sep, mom fell sick got admitted, 1 full week,hali chochote,haongei, hafungui macho,couldn't recognise anyone of us,only her heart was left beating😭😭😭That was the toughest moments have ever had in life,couldn't even Pray,i could try to pray but find myself in tears,but blessed be GOD that he came through healed My mom now she is strong,doing her works, happy and we all peaceful
    Can't get enough of this Song

  • @muuo254
    @muuo254 3 месяца назад +7

    Sijawahi ona anayenielewa kama Yesu❤🙌

  • @eunickwangare4932
    @eunickwangare4932 4 месяца назад +1

    Yes naomba nikutane na wewe on this month of September oooooooh Lord do something 😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙏🙏🙏

  • @pili-be4kn
    @pili-be4kn 5 месяцев назад +5

    natamani nikutumikie Mungu na kila kitu changu pasipo kuzimia roho😭😭😭😭😭😭😭😭🤲🤲🤲

  • @ibragichukiofficial2035
    @ibragichukiofficial2035 2 месяца назад

    I have seen Jesus in many ways,first He gave me permanent job after suffering for 6 good years,He gave me family even if it seemed impossible,again he gave me my own children,Again he has preserved me for 9 good years even if I didn't imagined I would make it upto date ❤❤.
    Thanks Jesus for this

  • @hillarytheworshipper
    @hillarytheworshipper 5 месяцев назад +8

    This is a TRANS-GENERATIONAL sound.
    I celebrate you my brother.

  • @DanielManu-v1y
    @DanielManu-v1y Месяц назад

    Bwana tunakuomba chini ya neema yako utupe kibali tuone utukufu wako hata tuone nyao ya Yesu mwokozi ndani yake tutembee kuelekea safari ya uzima wa milele.

  • @brayenochokabeeoo4588
    @brayenochokabeeoo4588 5 месяцев назад +3

    Hallelujah. Been singing the audio over and over last week. Powerful. God bless you.

  • @dorothymarete7579
    @dorothymarete7579 2 месяца назад +1

    Nimekutana naye huu mwaka nilipojoin shule ,,,ni Elohim ,,forever grateful Papa for what you have done in my life ,,,more than studies ,,more than everything,,,,nim🎉kuona

  • @ishmaelnyongesa1678
    @ishmaelnyongesa1678 5 месяцев назад +8

    Katikati ya mambo mengi ambayo yazunguka our family, God has always been faithful and He has provided us with what we needed in the required time! Na kufika leo,i can say nimemuona akitenda! Barikiwa saba Bro Jeremy Jeradi, more anointing man of God!

  • @RodaNjagi
    @RodaNjagi 2 месяца назад +1

    Nimekuona Elohim ukitenda,nimekutana na wewe Yesu.Kijana yangu kupona na kutoka kwa ajali mbaya kama hajaumia wewe ni Mungu mkuu na haulinganishwi na chochote.Pokea utukufu heshima na mamlaka YESU❤❤

  • @austineokimba6716
    @austineokimba6716 4 месяца назад +4

    This makes my prayer has some annointing,it makes me cry when remembering what Lord has done to my life.🙏😭

  • @RuthMorira
    @RuthMorira 13 дней назад +1

    From TikTok am here to listen a sweet song glorifying God

  • @mercywatuka
    @mercywatuka 5 месяцев назад +8

    How I like this song 😢
    It touches my soul
    More grace Jeradi

  • @Gloria-i8p8e
    @Gloria-i8p8e 3 месяца назад +1

    Naomba nikutane na wewe yesu wangu kwa maisha yangu🎉🎉🎉🙏🙏🙏

  • @MariamAlly-c4f
    @MariamAlly-c4f 5 месяцев назад +7

    Hii nyimbo huwa nackiliza mpk nahic uwepo wa mungu ndani ya moyo ubarikiwe mtumishi wa mungu♥️♥️♥️

  • @yehoshuaodindo6775
    @yehoshuaodindo6775 3 месяца назад

    In my deepest valley ever!
    I know HE is seeing me and when I meet HIM, HE will deal favourably with me😢😢😢

  • @joycenajala
    @joycenajala 4 месяца назад +6

    Nimekuona Yesu wangu ukitenda Na najua utatenda tena Na tena

    • @komberose9199
      @komberose9199 4 месяца назад

      Hallelluyah jina lako Yesu lihimidiwe, nimekuona ukinitendea makuu sana, matendo yako yanishangaza sana,nakupenda Yesu asante

    • @ministerjeremyjeradi254
      @ministerjeremyjeradi254  4 месяца назад +1

      Amen amen

  • @mariong5478
    @mariong5478 Месяц назад

    May God open a new chapter in my life. The God of the 11th hour visit me before the year 2024 ends.😢

  • @mercychelimo2771
    @mercychelimo2771 4 месяца назад +3

    Ni yesu umeniokoa kila mara asante na shukuru Elohim. Nimekutana naee kila mara kila wakati ukitenda meni kwa jamaa yangu

  • @KipngetichMaritim-xr5fq
    @KipngetichMaritim-xr5fq 13 дней назад

    Lord our God our refuge the true healings comes from you my redeemer i pray healings to those who are suffering from cancer lord

  • @ministerderrickwanjiru2989
    @ministerderrickwanjiru2989 5 месяцев назад +4

    Hallelujah kwa Mungu 🙌🔥🔥🙏🙏
    Nashukuru Mungu sana kwa Kibali na Neema aliyokupa, Kaka👏👏🙏🙏
    Na azidi kukutumia na kujidhihirisha kupitia kwako, maisha yako na huduma aliyokupa ❤️‍🔥🙌🙏🙏
    Akutane pia na haja ya moyo wako🙇🙏🙏

  • @MuthoniElizabeth
    @MuthoniElizabeth 2 месяца назад

    I will intruct and teach you in the way you should go.i will counsel you with my loving eye on you...yes lord u done it yesterday,today and you will keep pouring you blessings over us..🙏🙏🙏🙏

  • @Louez24
    @Louez24 5 месяцев назад +5

    Tunambariki kwa kuendelea kuwainua vijana kwa Utumishi wake katika Kizazi hii.
    Vraiment, Tous Puissant!

  • @mourinemwende9
    @mourinemwende9 Месяц назад +1

    Am here after praise atmosphere 2024
    Truly God will is raising a generation that's worshipping Him in truth and in spirit ❤

  • @wanjirugakiria3542
    @wanjirugakiria3542 5 месяцев назад +2

    Yes Lord!
    I have Seen You Lord
    I have tasted of your Goodness Lord
    I have experienced your Grace.
    Nimekuona Elohim ✝️

  • @melabusahani
    @melabusahani Месяц назад

    Kwangu umekuwa wimbo wa kipekee nazidi kumwadhimisha Mungu Kwa namna ya kipekee Kwa mengi aliyotenda maishani mwangu.❤🙏🙏

  • @JVCHOUSEOFBLESSINGBUSIATV
    @JVCHOUSEOFBLESSINGBUSIATV 4 месяца назад +3

    Asante yesu nikulipe nn umeniepusha na kifo , umeiponya nafsi yangu pokea sifa eee bwana

  • @priscillamucheru2621
    @priscillamucheru2621 3 месяца назад

    Lord wipe away my tears i have been single for many urs God .nitembelee elohim let my destiny connect with me.kumbatia mimi Yesu 😢😢😢😢😢.i need ❤❤❤

  • @angelmwilongo4806
    @angelmwilongo4806 4 месяца назад +3

    MUNGU wa Mbinguni azidi kuwainua kwa viwango vya juu watumishi wimbo umenibariki sana🔥🔥🔥

  • @EuniceNyangasi
    @EuniceNyangasi 4 месяца назад +1

    Asante yesu nikulipe nn umeniepusha na kifo , umeiponya nafsi yangu pokea sifa eee bwana 🙌🙌🙌

  • @emmanuelkioko5346
    @emmanuelkioko5346 5 месяцев назад +4

    Nimekutana na wewe Yesu,,nimekuona Elohim ukitenda,nimeshuhudia Jire ukifanya,nimepata wokovu my Father, I'm forever grateful for everything youve done for me,from being buried alive to testifying you God,😢😢😢😢Forever grateful my daddy ,your son will forever proclaim you ,
    Man of God how can i join this great team