Umenipendelea - Henrick Mruma ft. Eliya Mwantondo (Official Live Video)

Поделиться
HTML-код

Комментарии • 569

  • @MiriamSamuelke
    @MiriamSamuelke 19 дней назад +330

    Mungu kutuweka mjini January to December ni upendeleo..ameniponya saratani ya Figo huu ni upendeleo🎉🎉🎉🎉🎉

    • @mulei2024
      @mulei2024 19 дней назад +14

      Halleluujah, glory to God🙏.... live long to tell the world about His amazing lovr and goodness 🙏

    • @calvinrwimukajohn7874
      @calvinrwimukajohn7874 19 дней назад +6

      Amen utukufu kwake Yeye anayestahili 🙇🏾‍♂️🙇🏾‍♂️🙌🙌

    • @munyimtoto
      @munyimtoto 19 дней назад +5

      GOD IS ALWAYS GREAT, LONG LIVING TO YOU, USHUHUDIE MAKUU ZAIDI.💪❤

    • @eliyamwantondoofficial
      @eliyamwantondoofficial 19 дней назад +3

      😭😭😭🤲🏾

    • @jasirimjasirimedia7940
      @jasirimjasirimedia7940 19 дней назад +3

      Hallelujah to our almighty God

  • @bethwanji1420
    @bethwanji1420 16 дней назад +117

    Any kenyan here, you've got to give it to Tanzanians when it comes to live worship music, feeling blessed by this song,as i come to the end of this year,it can only be you God,umenipendelea Yesu.Heavy on gratitude

    • @Wyki105
      @Wyki105 15 дней назад +6

      I'm here with you 😻

    • @carolmakutwa6236
      @carolmakutwa6236 14 дней назад +4

      Here here ,we love Tanzanians and God continue uplifting their music,this music is on my repeat mode,kwa simu,kwa TV

    • @ineedtheeateveryhour
      @ineedtheeateveryhour 13 дней назад +2

      Made me cry,oh Lord ....

    • @faithmwikali9028
      @faithmwikali9028 9 дней назад +2

      I've shed tears,, umenipendelea Yesu 🙏🙏

  • @janethlema6773
    @janethlema6773 12 дней назад +90

    Who is here 31 Dec 2024 Tumependelewa kuingia 2025 kwa Neema

  • @mutuawilson9348
    @mutuawilson9348 13 дней назад +64

    Graduated last year now reporting to my job January 😢 hakika umenipendelea

  • @boazdanken
    @boazdanken 13 дней назад +48

    Umenipendelea Bwana

    • @davidmalila9221
      @davidmalila9221 5 дней назад +2

      Umenipendelea YESU hata kuwa hai mpaka sasa

  • @masikawekesa
    @masikawekesa 18 дней назад +65

    Huu ni upendeleo halisi. Pure favour...mwaka mzima hapa mjini bila kufungiwa nyumba, bila kulala njaa, bila kulazwa hospitalini...kazi ni kibarua lakini Yeye amehakikisha nimehifadhiwa...hata katika maisha ya utovu na dhambi ila nimependelewa mimi. Nimependelewa....oooh nimependelewa

    • @sigudaud2301
      @sigudaud2301 14 дней назад +2

      Aisee hii kweli kabisa God bless you

  • @CharityBuheri-ss6gy
    @CharityBuheri-ss6gy 7 дней назад +23

    who is here on 5th jan the first sunday of 2025 kwa hakika Mungu ametupendelea can't take it for granted

  • @judithmuyonga9268
    @judithmuyonga9268 4 дня назад +7

    I never take it for granted being alive today,... thank you for the successful 9 surgeries and it pleased you to preserve my life... Thank you Jesus Kwa kunipendelea 😢😢

  • @mercykings1684
    @mercykings1684 15 дней назад +18

    KENYANS KENYANS, THIS IS WHERE THE LORD WILL TAKE US IN LIVE MUSIC RECORDS, OOH THIS IS PURE WORSHIP, THANK YOU LORD FOR FAVOURING ME

  • @oscarshilliebo9853
    @oscarshilliebo9853 11 дней назад +17

    Huu wimbo kweli unauleta Utukufu wa Bwana. Umenibariki sana kwa sababu na yaona maisha yangu kwenye wimbo huu. Atukuzwe Yesu Kristo.

  • @johnsangida5158
    @johnsangida5158 16 дней назад +15

    What a blessing song tujuane tulio maliza masomo yetu kwa upendeleo wake😭🥹🙌🙌🙌🙌🤲🧎‍♂️🙏

  • @gloryhyacintharichard7253
    @gloryhyacintharichard7253 12 дней назад +16

    Afya aliyonipa baada ya kufanyiwa surgery ya kwenye utumbo na surgery ya Kansa ya ziwa Hakika amenipendelea mno 2024 amenipendelea mno

  • @druscillaolubuyi5209
    @druscillaolubuyi5209 10 дней назад +9

    What a song!! Instrumentalists thumbs up.
    Kufika mwaka huu wa 2025 Mungu umenipendelea.

  • @Life-rmk
    @Life-rmk 14 дней назад +23

    Kuna tone inalalamika kuanzia 15:40 mpaka mwisho🎸 aisee sijui Mbinguni itakuwaje🎶, Wapiga vyombo Mungu Abariki Mikono yenu🙌🙏

  • @juliawangari3732
    @juliawangari3732 16 дней назад +13

    25.12.2024..will remain to be my miracle day after my family got involve in a road accident that destroyed the vehicle but nobody got injured..umetupendelea Bwana sijivuni kwa chochote

  • @leakeyngeti1617
    @leakeyngeti1617 12 дней назад +9

    Mwaka mpya huu wa 2025 huu ndio wimbo wangu....😊Mungu atanipendelea katika maisha yangu 🙏🏽

  • @eliyamwantondoofficial
    @eliyamwantondoofficial 19 дней назад +43

    This is the Anthem.! Ahsante MUNGU kwa kutupa Mtumishi wako Henric katika kizazi hiki.
    NIMEPENDELEWA sana kuwa karibu yako Sir

  • @nyawiramuriuki8086
    @nyawiramuriuki8086 7 дней назад +3

    It's just amazing how holy spirit turns the song from praise,and people even doing videos in between to total worship and everyone soaked with the holy spirit to a point of continuity...one can tell it was such a struggle to end the worship....To God be the glad

  • @JecoliahGitonga
    @JecoliahGitonga День назад +3

    Who is watching date 11 Jan 2025 akh mungu amenipendelea Kwa kuniponya. Yeast infection

  • @daktarikiganjani4031
    @daktarikiganjani4031 10 дней назад +15

    Hakika kutoka vilindi vya moyo wangu, Mungu ametupendelea sana... Kama una kubali kuwa hujarudisha kwake kitu ila amekupendelea, weka like j yako hapa.............>

  • @NicksonNandwa
    @NicksonNandwa 9 дней назад +9

    What a powerful song just receiving my healing while in the hospital

    • @RoseMumo-yo5ih
      @RoseMumo-yo5ih День назад +1

      Healing is your portion in Jesus name 🙏

  • @legrandrenson2063
    @legrandrenson2063 5 дней назад +2

    Mbona hajafika 20 M views?? Be serious ..this is the song of 2025 and beyond...thank you jesus

  • @eliuddesdery1350
    @eliuddesdery1350 11 дней назад +3

    Tanzania 🇹🇿 tumependelewa kwakweli....Kitendo cha kuhudumu kwa kiwango iki ....Tanzania tumependelewa....🎉🎉🎉Sijui nisemeje ila ni maombi yangu Mungu awape neema ya kutumika zaidi na zaidi.

  • @MkukiLissu-tl6hb
    @MkukiLissu-tl6hb 19 дней назад +28

    Haihitaji mambo mengi sanaaa AFYA YANGU inatosha kusema AHSANTE YESU kwa upendeleo huu😢😢😢

  • @maureenjelagat3945
    @maureenjelagat3945 11 дней назад +13

    2:26 hakika umenipendelea kuona 2025 na naamini utaendelea kunipendelea 1/1/2025 🎉 kindly like my comment so that I can always come back and listen to this amazing and blessed song❤

  • @joycemwendo8960
    @joycemwendo8960 12 дней назад +7

    On my wedding I shall enter with this song

  • @savio_the_greatmanh
    @savio_the_greatmanh 19 дней назад +11

    The David of Gen Z @HenrickMruma🙌✨. Thank You, Lord, for raising mighty men like Henrick Mruma and Eliya Mwantondo, who carry Your anointing and inspire us to stand firm in faith. May Your name be glorified through their lives always! 🔥🙏👑

  • @josiahlwakatare3701
    @josiahlwakatare3701 16 дней назад +6

    Dah Nashindwa nisemenini kwa kazi Mungu kwenye maisha yangu. Dah, Mungu huyu amefanya sana ... I am Speechless

  • @GILBERTNDABILA
    @GILBERTNDABILA 15 дней назад +14

    Mungu amenipendelea ata katika mitihani yangu from division 0 mpaka division 2 kweli mungu umenipendelea

  • @stephenkelvin4352
    @stephenkelvin4352 11 дней назад +14

    Kuona mwaka huu mpya 2025. 🎉🎉🎉 UMENIPENDELEA😢😢😢😢

  • @gracemunyambu1238
    @gracemunyambu1238 5 дней назад +2

    I'm listening to this song on 8th January 2025 indeed you have done it Jehovah...umenipendelea🙏🙏🙏

  • @emmanuelmala-wr9gd
    @emmanuelmala-wr9gd 12 часов назад

    Mwaka wa 2024. Nliweza kuhitimu . Hakika neema yake . Mambo ambayo tumepitia Kenya . Mungu alinipendelea. ❤❤. 2025 ninaimani atazidikupendelea ata kupata ajira❤❤❤ .Mungu yupo jameni.

  • @masebomusic
    @masebomusic 19 дней назад +12

    This is so powerful Song Mzee and Prophetic one🫡🙌. Hongera sana kwako na team Nzima ya Seed of faith 🥰 Mungu awabariki sana.
    Halafu Hii Audio mixing ni ngeni masikioni mwangu 🙌. Say Hi! to the Mixing Engineer. Tukutane 2025❤ UMENIPENDELEA

  • @PollyShop-pv5nn
    @PollyShop-pv5nn 2 дня назад +2

    Umenipendelea mimi jamani mungu wangu ❤❤❤❤❤❤🎉

  • @AngelBenardWorship
    @AngelBenardWorship 5 дней назад +2

    Halleluyaahhh 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼

  • @AnithaBanza-od6zc
    @AnithaBanza-od6zc 19 дней назад +11

    Hata kufika December hii Yesu umenipendelea🙏🙌🥰🥰

  • @AbsonNgande
    @AbsonNgande 10 дней назад +3

    Asante bwana kunipendelea kuupata mwaka mpya tena Tanzania hallo tupo like nyingi

  • @PaemalaKanyiri
    @PaemalaKanyiri 10 дней назад +11

    Lord i have got a new job and your favour in the site of men imella pap

  • @THEWAJESUSFAMILY
    @THEWAJESUSFAMILY 17 дней назад +5

    Asante Yesu umetupendelea 🙏🏾🙏🏾

  • @ChristopherMachonchory
    @ChristopherMachonchory День назад

    Mungu aibariki kazi yenu hii Kwa jina la Yesu Kristo, muongezwe katika maarifa ya kumsifu Mungu na Kwa njia hii acha tumuabudu Mungu wetu katika Roho na Kweli.

  • @AfricanBan2
    @AfricanBan2 7 дней назад +1

    Kila kitu nilicho nacho, uhai, afya, familia, kazi, marafiki, akili timamu wokovu, unyenyekevu, dojo ya utu na uvumilivu- kweli Mungu amenipendelea ( God has favored me.

  • @RoyfordMugambi-s2p
    @RoyfordMugambi-s2p 16 дней назад +8

    I love what God is doing in Young men and women of faith. From Kenya we love you.
    😃😃

  • @HappyGershon
    @HappyGershon 15 дней назад +3

    😭😭😭😭😭 Ee Mungu wangu Umenipelendea Hakikaa mimi nafamilia yangu, Tumefanya Nini kizuri Mungu wangu Mpka Tuwepo leo, tuwe na Afya 😢😢 Mungu Wew Umetupendelea Hakika 😢😢😢😢😢😢

  • @LeahManka-e7b
    @LeahManka-e7b Час назад

    😭😭😭Yesu wangu umenipendelea, nimeamka unaimba kichwani mwangu nimachozi tu yanatililika oooh God🙏

  • @gloriamushi95
    @gloriamushi95 2 дня назад +2

    Yesu huyu amenipendelea mno 🙌🙌🙌🙌🙌

  • @eunicetheuri4206
    @eunicetheuri4206 18 дней назад +27

    who have come from ticktock.... like my comment

  • @nathanielsm.3646
    @nathanielsm.3646 5 дней назад +2

    Huu wimbo jamani ni mzuri kwa kuinua roho yangu❤❤❤
    Mungu asifiwe tu amenipendelea kwa kweli.🙏🙏🙏🙏

  • @amenipasanga9865
    @amenipasanga9865 3 дня назад +1

    Bila upendeleo wako Mungu nisingekua mimi huyu.🙏🙏🙏

  • @farajayoashi7204
    @farajayoashi7204 19 дней назад +6

    Imekuwa upendeleo wa BWANA maishani ❤🎉

  • @Luccccy187
    @Luccccy187 10 дней назад +4

    Sijivuni kwa chochote nilichokifanya ila umenipendelea😭😭😭😭😭😭😭🙌🙌🙌🙌🙌🙌❤️❤️❤️❤️❤️

  • @ShajeffN
    @ShajeffN 19 дней назад +12

    This is a sound of a broken vessel 💯🙌🏾
    God bless you MoG ❤️

  • @ruthiethuku.3166
    @ruthiethuku.3166 19 дней назад +8

    Asante Mfalme kwa kunipendelea❤❤🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @nyanjilaneke4931
    @nyanjilaneke4931 15 дней назад +2

    Umenipendelea Mungu....wimbo umefanya niwaze 2024 kwa namna ya ajabu sana Yesu umenipendelea

  • @shillagahigi7961
    @shillagahigi7961 12 дней назад +2

    Asante Yesu mimi na familia yangu umetupendelea kuona mwaka 2025 Asante Mungu sifa na utukufu tunakurudishia Amen Amen Amen❤❤❤

  • @glorywambui2433
    @glorywambui2433 19 дней назад +4

    Finally they've put this song up...much love from Kenya 🇰🇪

  • @BeathaSwai
    @BeathaSwai 14 дней назад +2

    Hakika Mungu ni Mkuuu sana namshukuru pamoja na wamiya yangu tuko wazim tunaomb tuvuke Salam hakika ni upendeleo wa juuu Sanaaumenipendelea kasimam na watoto wetu waliyok vyuon na mashulen

  • @duncanwasaka
    @duncanwasaka 11 дней назад +3

    Yesu amenipendelea 2025 ni mwaka wangu wa baraka tele Amina 🇰🇪

  • @SarahJames-x8q
    @SarahJames-x8q 13 дней назад +2

    Hakika Mungu anaupendeleo wa hali ya juu sana wengine hatukujua kama leo tutafika hapa tulipo ni kwa neema yake tu. Thank you Jesus for everything

  • @AthamanRamadhani
    @AthamanRamadhani 19 дней назад +5

    This song is more than a song,it's a worship anthem.Kaka Henrick Mruma Mungu azidi kuinua huduma yako amen

  • @emmanuelwesly7115
    @emmanuelwesly7115 19 дней назад +10

    Hallelujah hallelujah 🙌🏽 the lord has been good this year despite all we have been through. Kwa kweli Ametupendelea.🙏 God bless you Henrik Mruma and Eliya Mwantondo.❤🙏

  • @ruthmasika1943
    @ruthmasika1943 15 дней назад +5

    This song has translated my tears of thanksgiving to words 😭 😭😭😭😭 much love from🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @malkiamwema7753
    @malkiamwema7753 День назад

    Kipendeleo cha Mungu ni zawadi ya ajabu. Mungu anapokupenda na kukuchagua, anakufunulia baraka ambazo huwezi kupata kwa nguvu zako mwenyewe.

  • @CarolineM-g9z
    @CarolineM-g9z 15 дней назад +4

    Umetupelea mungu wa israeli ❤❤❤👏🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇨🇦🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇨🇦🇰🇪

  • @danielmodibamodibe134
    @danielmodibamodibe134 5 дней назад +1

    You favored me Jesus all the way from South Africa 🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭😭

  • @navyoagrey7523
    @navyoagrey7523 17 дней назад +4

    Hakika ni upendeleo mm ni nani baba yangu nakushukuru 😭😭😭😭🙏🙏🙌🏾🙌🏾🙌🏾

  • @FactopiaWord
    @FactopiaWord 12 дней назад +3

    Hadi kufika siku ya leo tarehe 31 December 2024
    Nakushukuru Mwenyezi Mungu maana Umenipendelea
    Ubarikie Mtumishi wa Mungu na nyote mnaosikiliza mpate kuona mwaka mpya na kutimiza matamanio yenu .

  • @Winter_Wills
    @Winter_Wills 2 дня назад

    Wengine wetu sisi hakuna maelezo yaliyonyooka yanayoweza kuelezea Maisha yetu zaidi ya Neema ya Bwana na Upendeleo wa KiMbingu. AHHHH HUYU MUNGU HUYU JAMANI AMENIPENDELEA BURE KABISA

  • @YESHUA967
    @YESHUA967 9 дней назад +3

    HILI NI BONGE LA WIMBO you can feel the power of the LORD in it eish!!🔥🔥🔥🔥🔥

  • @lisamwelu8579
    @lisamwelu8579 2 дня назад +1

    You have restored health to my child and sister.
    Hakika umenioendelea Bwana🙏

  • @belindahluyo2094
    @belindahluyo2094 3 дня назад

    I have all I have just because of your favour Lord. I have nothing to boast about but to just give you all the glory😭😭. Thank you Jesus🙌🙌🙏

  • @puritynthenya7909
    @puritynthenya7909 5 дней назад +1

    Indeed this far it's been the favor of God. Kwa kweli Baba amenipendelea.❤

  • @zakariaphilemon8275
    @zakariaphilemon8275 19 дней назад +14

    Hapa hata irudiwe mara mia Moja elfu ila umenipendelea ikisikika tu ni fire

  • @beatricejoseph2784
    @beatricejoseph2784 14 часов назад

    Vyote nilivyonanvyo bwana umenipendelea nashukuru tu mwaka wa kukushukuru tu 🙏

  • @davismwakio
    @davismwakio 18 дней назад +5

    At this late night,this song speaks life to me,
    Seeing the end of 2024 is just by God's grace 😢😢

  • @CalvinceOdiwuor-nz3io
    @CalvinceOdiwuor-nz3io 16 дней назад +4

    Mwaka huu huduma hiI Umenipendelea
    From January to Disemba. Umenipendelea

  • @maingi_ian
    @maingi_ian 19 дней назад +3

    Bwana Amenipendelea❤
    Japo mwaka wa 2024 umekuwa na changamoto chungu nzima, Bwana ameniweka hai kuona ushindi wake maishani pale 2025.
    Asante sana kwa baraka hii @Mruma na @Mwantondoo
    #UMENIPENDELEA❤

  • @ThomasMmary-r7w
    @ThomasMmary-r7w 11 дней назад +2

    Wimbo huu umefanyika baraka 🎉sana

  • @vytahchummie4909
    @vytahchummie4909 19 дней назад +8

    Bila neema yako hakika nisingekuwa hapa nilipo
    Hakika umenipendelea 🙏🙏😢
    Asante sana Mungu wangu kwa huu upendo ❤
    This song 🙌🙌

  • @ineedtheeateveryhour
    @ineedtheeateveryhour 13 дней назад +2

    The song made me cry,may the Lord break my heart to offer him such Worship.Pure Worship

  • @emmanuellikuyi403
    @emmanuellikuyi403 17 дней назад +2

    Kwa kweli mwenyezi Mungu amenipendelea. Sijivuni kwa lolote maana sikustahili hata kuwa hai leo hii lakini ni neema yake 🙏

  • @mangiimangii6837
    @mangiimangii6837 2 дня назад

    Umenipendelea mimi na familia yangu Asante Yesu

  • @johnstony4938
    @johnstony4938 14 дней назад +4

    Hakika bwana Yesu kanipendelea Sina Cha kujivunia zaidi ya wema wa Mungu kanipendelea. Nasema kanipendelea.🙏

  • @FarajaMwile
    @FarajaMwile 18 дней назад +2

    Wimbo huu unagusa kila mmoja hata kwa yule asiyekuwa na Imani, Jina la Bwana limihimidiwe

  • @KarolMulinge
    @KarolMulinge 13 дней назад +2

    The fact that we've made this far, it means God ain't done with us yet. Amen?

  • @carol1_kimani
    @carol1_kimani 12 дней назад +2

    Glory to GOD THE FATHER JESUS CHRIST AND HOLY SPIRIT.
    Ni neema umenipendelea 🇰🇪🇰🇪.

  • @nzilanikimani7139
    @nzilanikimani7139 2 дня назад

    Sijivuni kwa chochote umenipendelea Yesu!

  • @nelsonmituki1326
    @nelsonmituki1326 19 дней назад +2

    WOW wow wow wow wow wow...
    Kwa hakika Mungu amenipendelea..
    Great song and East Africa song of the year...❤❤

  • @paulmussa1232
    @paulmussa1232 2 дня назад

    Such a blessings 2024 mwishoni ulikuwa na scratch lkn nikauona 2025 kwa neema nyuma ya pazia ilikuwa ngumu ni #Ushuhuda

  • @Samueldg2005
    @Samueldg2005 11 дней назад +1

    Thank you Lord for loving me unconditionally. Kweli umenipendelea Bwana. Asanteh

  • @paulomollel6942
    @paulomollel6942 19 дней назад +5

    Mungu awabarikii, from Tz Arusha nipo live

  • @nancydenis.9231
    @nancydenis.9231 16 дней назад +2

    Very powerful ❤❤Glory to God...kwakwel ni upendeleo...Sikustahili,Yeye amenipendelea tu.

  • @goal906
    @goal906 15 дней назад +2

    Anthem of praise to Him who brought me out of darkness to his wonderful light 🙏🙏

  • @nicodemlujeko1633
    @nicodemlujeko1633 10 дней назад +1

    Sio kwa sababu ninafaa sana-Umenipendelea Yesu.
    thank you Jesus

  • @HILARYRICHARD-p8x
    @HILARYRICHARD-p8x 18 дней назад +2

    Umenipendelea kutoka January Hadi Sasa neema tyu hatunabudi kumshukuru MUNGU tyu🔥🔥🔥🙏🙏🙏🙏❤️❤️❤️🎊🎊🎊👍👍👍

  • @DebbyKoech-to4kw
    @DebbyKoech-to4kw 6 часов назад

    Umenipendelea bwana😭nashukuru kwa upendo wako usiokoma

  • @DavidAnthony-bk1lm
    @DavidAnthony-bk1lm 16 дней назад +1

    Umenipendelea kuwa Tanzania yenye amani yakutosha Asante yesu ❤

  • @mlawazso
    @mlawazso 11 дней назад +1

    Umenipendelea kuuona mwaka 2025.. Ahsante Yesu

  • @DicksonMsele
    @DicksonMsele 7 дней назад +1

    mlipendeza sanaaaaa.......glory glory to God

  • @josephwachiramwangi7971
    @josephwachiramwangi7971 19 дней назад +3

    Kwa kweli Mungu Amenipendelea na nimepata kibali mbele zake kwa kuwa hai na afya na pia baraka ameninyeshea tangu Januari mpaka Disemba 😭🙏🙇. Asante Yesu Christo

  • @ruzimirabihembo9549
    @ruzimirabihembo9549 17 дней назад +2

    miongoni mwawatu Mungu amependelea namimi nipo ndani asante JEHOVA