I prayed for a husband.....husband, furnished house, car n moving to another country, all came as one blessing. He does exceedingly abundanlly more than we think or even ask. The God of Israel is my God.
Nilikuwa nalia saa hii tu juu ya vile maisha yangu ni magumu😭naingia youtube napatana na huu wimbo na kweli naona nilipo leo ni tofauti na nilipokuwa jana😭😭hee..may God see me through jameni I'm losing heart
Here is the translation from swahili Ananiongezea baraka He is adding blessings to me Naiona tofauti ya leo na jana I see the difference between today and yesterday Ananiongezea baraka He is adding blessings to me Ni Mungu ni Mungu, ni Mungu wa baraka It is God, it is God, the God of blessings Amenijibu zaidi ya vile nilivyomwomba He has answered me more than I asked for Nimemwomba kazi amenipa na ndoa I asked for a job, He gave me a job and also marriage Nimemwomba watoto amenipa na gari I asked for children, He gave me children and a car Huyu Yesu amejibu zaidi ya vile nilivyomwomba Jesus has answered me more than I asked for Yeye aliea nzisha safari ataimaliza yeye mwenyewe He who started the journey will finish it Himself Anajua kupenda, anajua kujali He knows how to love, He knows how to care Anaitwa mwokozi Yesu - Eze Ebube He is called the Savior, Jesus - King of Glory Kanibariki mjini - amenifanyia amani He has blessed me in the city - He has given me peace Kanibariki shambani - amenifanyia amani He has blessed me in the fields - He has given me peace Amenipa na watoto - amenifanyia amani He has given me children - He has given me peace Amenipa familia nzuri - amenifanyia amani He has given me a beautiful family - He has given me peace Nikienda kushoto - yupo When I go to the left - He is there Nikienda kulia - yupo When I go to the right - He is there Nikienda mbele nyuma - kanizingira pande zote When I go forward or backward - He surrounds me on all sides
Ananiongezea baraka Naiona tofauti ya leo na jana Ananiongezea baraka Ni mingu ni mungu ni mungu wa baraka Yeye aliye anzisha safari Ataimaliza yeye mwenyewe Anajua kupenda anajua kujali Anaitwa mwokozi yesu
Sebene originated from Congo🇨🇩 Kenya🇰🇪 we have Andrew Ngelelo All in allTanzania's🇹🇿 Victor Maestro is taking it worldwide🌎 🙌🙌 Kenya 🇰🇪 tueke likes tukisonga🙌💪
I am in America, I do not know the language, but I love the energy, and the singers are 🔥 You all have to get an English version for us! Let's go Jesus 💃🏾💃🏾💃🏾🙌🏿🙌🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Basically "Amenifania Amani,Naiona Tofauti ya leo na jana...Kanibariki mjini...." He has given me peace, I can see the difference between yesterday and today. He has blessed me....."
I am from Zambia, kasama and serenje area and I can pick up a few words here and there ❤. I love how we can praise the King Of Kings , Mighty God , -Lord of All!
Acha Kujidanganya Wewe! Katika Suala La Mitandao Na Kutrend Tanzania ipo Juu Sana! Angalia Social Media Za Watu Wa TZ, Unakuta Mtu Wa Kawaida Ana Followers 1M+ Kwahiyo Acha Kujipa Moyo!
Uwiiiiii....🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️...iv kwann kitambaa cheupe 😭😭😭... JMN MSIENDE TENA HUKO NJOEN HUKU KWA YESU KUNA RAHA...NA BARAKA .... YOOOOOH 🙆🏽♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ILA MAESTRO ,I SALUTE 🙌🏽 the work of God through you...tuwe ndugu bas jmn🥺
I love this😭😭❤❤❤yaani wapiga vyombo jamani na omba Mungu mfikike mbinguni mweze kumchezea hivi vyombo ❤❤. To the praise team you are amazing and did great work❤. Paul and Victor perfect performance for the Most High God. He deserves it.
*napenda pale poul unapo mtambua Yesu kila uiambapo yesu anajulikana kuna wengine unaweza sikiliza wimbo jina Yeau unalitafuta kwa tochi mfano waziri hawez sema jaambo ama mradi bila kumtaji samia AMEN AMEN*
“Basi kwa yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu yasiyopimika kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya uweza wake ule utendao kazi ndani yetu,” Waefeso 3:20 NEN🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Mithali 10:22 “ Baraka ya Bwana Hutajirisha, Wala hachanganyi huzuni nayo “
Aiweweeeeeeeeeeeee
Mungu akubariki Paul❤❤
Ameen ni amina na kweli kabisa
sure and true,be blessed minister clement,watching from kenya
Amen Amen
wala hachanganyi huzuni nayo 🥰🥰🙌🙌
Who's here in 1st January 2025🎉🎉
May His blessings and peace locate you this year🙏🙏
😊
I prayed for a husband.....husband, furnished house, car n moving to another country, all came as one blessing. He does exceedingly abundanlly more than we think or even ask. The God of Israel is my God.
I tap on this Grace in Jesus Name Amen
I tap the grace too
I tap this grace
I tap on this grace
I tap in this grace
Nilikuwa nalia saa hii tu juu ya vile maisha yangu ni magumu😭naingia youtube napatana na huu wimbo na kweli naona nilipo leo ni tofauti na nilipokuwa jana😭😭hee..may God see me through jameni I'm losing heart
Same here. I was crying. But one thing for sure, the Lord will not forsake me
God bless you
God bless you🎉
MUNGU ni mwema mama usife moyo❤️
Amen
Wenye tumetoka TikTok to look for this song here kiss my comment
❤❤
❤
❤
❤
Here is the translation from swahili
Ananiongezea baraka
He is adding blessings to me
Naiona tofauti ya leo na jana
I see the difference between today and yesterday
Ananiongezea baraka
He is adding blessings to me
Ni Mungu ni Mungu, ni Mungu wa baraka
It is God, it is God, the God of blessings
Amenijibu zaidi ya vile nilivyomwomba
He has answered me more than I asked for
Nimemwomba kazi amenipa na ndoa
I asked for a job, He gave me a job and also marriage
Nimemwomba watoto amenipa na gari
I asked for children, He gave me children and a car
Huyu Yesu amejibu zaidi ya vile nilivyomwomba
Jesus has answered me more than I asked for
Yeye aliea nzisha safari ataimaliza yeye mwenyewe
He who started the journey will finish it Himself
Anajua kupenda, anajua kujali
He knows how to love, He knows how to care
Anaitwa mwokozi Yesu - Eze Ebube
He is called the Savior, Jesus - King of Glory
Kanibariki mjini - amenifanyia amani
He has blessed me in the city - He has given me peace
Kanibariki shambani - amenifanyia amani
He has blessed me in the fields - He has given me peace
Amenipa na watoto - amenifanyia amani
He has given me children - He has given me peace
Amenipa familia nzuri - amenifanyia amani
He has given me a beautiful family - He has given me peace
Nikienda kushoto - yupo
When I go to the left - He is there
Nikienda kulia - yupo
When I go to the right - He is there
Nikienda mbele nyuma - kanizingira pande zote
When I go forward or backward - He surrounds me on all sides
Thank you🎉
Thank you so much
Thank you so much for the lyrics what a timeless song!
God bless you brother! My friends here have failed me in translation 😂😂😂
Thank you 🙏
Wapiga vyombo wapewe maua yao 🔥🙌
Haswaaa,,,tuwapambe kabisa.Wamefanya kazi nzuri naomba MUNGU awaongezee zaidi NEEMA NA KIBALI
Amina🙏 @@CatherineNzeki
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤️
Wametendea haki kwa kweli 🎉🎉
Apo iko sawa
Wakenya🇰🇪 wenzangu,wapi likes za Minister Paul Clement and the team? Huu wimbo ni mzuri sana❤❤ 🇹🇿 🙏🙏🙏
Very tribal
Very murima
Very mūngîkî.
@Carol-Shukii Is that you?
kabisaa
😂😂😂😂😂😂@@Carol-Shukii
@@tabbywanjiru9651 yeah that's me..
Wacuka from Mûrîma
If you'll ever see this song in 2079, please remember victor maestro was the king of seben in my time.
TRUE
Very kweli 🇰🇪
Yeye pamoja na wanaagape gospel band✨
Sure thing
Agreed 💯
Kama uependa hii nyimbo emu piga like yako apa
Aiiiiiiiii wangapi wameona kwa mara ya kwanza kaka Paul clement kacheza
Aiiiii😇
Wapi vigelegele
😂
Yup karibu na uwaridi kunukia lazimaaa! Balaa la Victor lina julikana
Ubarikiwe
Ananiongezea baraka
Naiona tofauti ya leo na jana
Ananiongezea baraka
Ni mingu ni mungu ni mungu wa baraka
Yeye aliye anzisha safari
Ataimaliza yeye mwenyewe
Anajua kupenda anajua kujali
Anaitwa mwokozi yesu
Thanks for this
Thank you ❤
Thank you
Thank you very much. The song went to my soul before I Can get your lyrics and translation to understand it.
Sebene originated from Congo🇨🇩
Kenya🇰🇪 we have Andrew Ngelelo
All in allTanzania's🇹🇿 Victor Maestro is taking it worldwide🌎
🙌🙌
Kenya 🇰🇪 tueke likes tukisonga🙌💪
Unasifa bro ila sawa wote waafrika🎉❤😂
Maestro ni Mkongo ... Ngelelo pia but..... of importance is praaise
Wote hawa wanacopy kwa bakenda
I am in America, I do not know the language, but I love the energy, and the singers are 🔥 You all have to get an English version for us! Let's go Jesus 💃🏾💃🏾💃🏾🙌🏿🙌🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿
Baraka means blessings. And the song says God keeps on adding me blessings upon blessings and He is a God of blessings ❤❤❤
And that I can see a difference between today and yesterday
Yes. The song is sung in both Kiswahili and Lingala. Sister @annepeter has just translated the main message in the song.
Basically "Amenifania Amani,Naiona Tofauti ya leo na jana...Kanibariki mjini...."
He has given me peace, I can see the difference between yesterday and today. He has blessed me....."
I am from Zambia, kasama and serenje area and I can pick up a few words here and there ❤. I love how we can praise the King Of Kings , Mighty God , -Lord of All!
The Bass player will go to heaven direct and he has a special room.
He has a very big mansion in heaven 😂😂🎉🎉🎉
Yeeer very very direct😅
😂😂😂😂😂😂😂
Full of honey and milk 😅
😂😂😂😂
Mimi ni kinaraaa kinaraa mimi ni kinaraaa eeh 7:17 kwa anayenielewa a like
kuna mfanano
Tuko wengi tena Ile ya 4:37 ni wazee 24🤣🤣🤣🤣aaaaaasiiiiiii
Tupo kenya hapa kwa furaha.. Maana Bwana Yesu ametufanyia Amani🇰🇪🇰🇪🇰🇪💃💃💃
This song is blessing my soul.. Wapi likes
leo hawa wataimba kwenye hii simu hadi sauti ziwakauke.
Wajameni 🤤🤤 wimbo mtamu sana ❤😊
😂😂😂kali sana hii
Wewe upo kama Mimi nikiupenda wimboo aaaa ni 24/7 😅😅
😂😂😂😂😂
Mm ni kla cku uko kwa replay mode
Hahaha watakoma Sana 😂😂😂😂😂😂
Those who come from Facebook gather here
I love this dance 💃 😍 ❤️ ♥️ I don't understand but I feel the vibe
We dey here oh
Am there❤
See me o sister. I know hear shishi but I'm quite sure God in heaven is being exalted here.
Me
kumbe kuna wengine😊and I'm glad because it's a beautiful song
Huyu Victor Maestro kwa Nyimbo za Sebene ni Next level kabisa Mwenyezi Mungu akuongezee Baraka kwenye huduma Yako ya Uimbaji.💯
Sana na anawezea
🇨🇩 ni damu
Kweli Mungu n Wa Baraka Kwa Maisha yangu
Kila siku Mungu anazidi kuogezea Baraka siku Na siku
2025 song,I claim every prophetic word in this song,amen 🙏
Someone translate for me I’m from Zimbabwe 🇿🇼
Nilipomuona Victor Maestro, nikakimbia kunyakua earphones. Nilijua hapa kutawaka moto!!! Barikiweni Sana
Earphone mapema lazima zihusike hayakufel kwenye Sebene hizi ni master
Yaaan ni balaaaa
🔥🔥🔥
Nakwambia nyumba inawaka
@@rodgerssirengo3911acha moto wa MUNGU UTAMBE
Adding this to my car playlist 🥹😌 manifesting a car
Yes oo
❤❤❤ a new anthem Kenyans lets gather here
Kenyans wow!!
Form fours tumemaliza,kweli ni baraka zake bwana, tumshukuruni kwa mioyo yetu yote.
Paul clement kwa seben for the first time😍😍😍
Nomareee
Kwakweli😂😂😂
@@AbigaelMisigo-id5cm he was really struggling with the dance moves hawa maninja walikua wanampeleka mbio sana😂😂
@@bravinsonanami4581 haki tena 😂😂nimemzoea na slow moves
Musicians jamaniii ❤️❤️Pokeeni maua yenu🎉🎉 guitars zimekunwa 🤔🙆 chaii 🎸🎸
🎉🎉Victor Maestro huyu jamaaa kashindikana kwa Sebene🙌🙌
Huyu Victor Maestro ni Next level aisee kwa Sebene Mwenyezi Mungu aendelee kumpigania kwenye huduma hii
When I get to heaven, I’m finding the Tanzanians, Kenyans and Congolese…and praise God with them! 🙌🏾 🇹🇹🇺🇸
Me Too😂😂🎉🎉🎉🎉
Praise party🎉🎉
I will join you and bring in some Congolese moves!
Tunaoamini kuongezewa baraka tupia like apa h
Ya lo eres
Who else is here from tiktok💃this song is blessing my soul❤
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇰🇪🇰🇪
🇰🇪
🇰🇪
Neema Tene Bw Paul Clement✨✨✨✨
Namashaka na mpiga solo gita si Dhani kama ni binadamu wa kawaida, anajua mpaka anakera.
Huyu ndugu anajua hatari, amepiga vizuri kila wakati namsikiliza kwa umakini
Huyu mwamba ni noma aisee
Hata kama unapitia magumu ila ukisikiliza huu wimbo ayiiiii Moyoni munajaa furaha 🥰🥰Yesu mzuri nyieee🙏🙏🙏🙏
From Harare, Zimbabwe, enjoying this wonderful music. January 2025
Bassist una dunia yako
Tanzania toeni nyimbo nzuri kama hizi...views Kenyans tutawapea..huwa hatubagui..we appreciate good music-wherever it finds us from.
Acha Kujidanganya Wewe! Katika Suala La Mitandao Na Kutrend Tanzania ipo Juu Sana! Angalia Social Media Za Watu Wa TZ, Unakuta Mtu Wa Kawaida Ana Followers 1M+ Kwahiyo Acha Kujipa Moyo!
Akiii paul umejuakunifurahisha kwa mara yakwanza umechez😂😂😂
How am ending my 2024 in style my God is still doing Wonder s 😊 am praying to him now to give me a husband in 2025
same siiiis,,Amen to us
Same here
bassist na solo wanyang'anywe guitar🔥🔥🔥🔥🔥
Kapsaaaa eeeeeeish 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙆🙆
@@jaquilinewangari2250 nitafute twende tuchukue😂
Huyu wa solo guitar linaimba haswa ni balaa kubwa
Uwiiiiii....🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️🙆🏽♀️...iv kwann kitambaa cheupe 😭😭😭...
JMN MSIENDE TENA HUKO NJOEN HUKU KWA YESU KUNA RAHA...NA BARAKA .... YOOOOOH 🙆🏽♀️🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
ILA MAESTRO ,I SALUTE 🙌🏽 the work of God through you...tuwe ndugu bas jmn🥺
Victor maestro ni balaa E.A🔥🔥anatufanya tuEnjoy Mno sebene Ndani kristo MUNGU Ambariki Huyu Kijana Popote alipo🙏🏽
Those who comes from TikTok gather here
Appreciation sio dhambi😂 minister @PaulClement una mafuta mkuu
AMENIONGEZEA BARAKA😂😂🙌
MD naye🔥🔥🔥
Saaana tena yanatiririka
Yoooh those instrumentalists🙌🙌⚡
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽Huu ni umeme wa Mbinguni kabisa yan
Wueeh Karibu nivunje mifupaa 🔥
Yaan nikiicheza kama nipo Mbinguni vile na ninasahau shida zote na ninapata Amani sanaaaaaaaaa,nahisi Roho matakatifu yupo hapa nilipo💃💃💃💃🙌🙌🙌🙌🙌
He’s everywhere ❤
😂😂😂😂😂 its me at this time 2322hrs aiiiii❤❤❤
Huyu Mungu ni WA baraka kweli
BROTHER PAUL HII KALIII UMEUAAAAAA YANI UTUKUFU KWA MUNGU 🙌🙌🔥🔥📌📌
Wezangu wa january 2025 😂😂 Mungu ametufanyia Amani❤❤
Aiiiiiiiiii😍kwani nyie mnachezaga wapiiii😂
Yaaaaniiiiii🔥🔥🔥🔥
@@issackmkufya1541 🔥🔥🔥🔥
Ananiongezea baraka. Nilimuomba internship, akanipa na kazi😭🤲🤲❤
Ananiongezea baraka 🥰 ninaiona tofauti ya Leo na Jana.... MUNGU awabariki sana watumishi wa MUNGU... Wimbo ni 🔥🔥🔥💯
Very nice song
kenyans najua mko huku
Sebene ya YESU hakika haifananishwi nakityu chchte❤
Shalom,waaa hio seben ni kaly😅..Barikiweni sana utukufu kwa Mungu
Andrew u are the best on drums ever in East Africa
*correction*.. He is one of the best in East Africa
@@dannienimrod8713TRUE
Amefanya vizuri sana
A mi lo que más me gusta de la canción son ellas el coro , hacen muy bonita la canción.
The bassists na drumists mpaste ni waeke ka kitu banaa sijai furahia hivi
Pale Victor Maestro yupo ku🕺🕺🕺ni lazima....Mungu azidi kuwabariki watumishi
My Kenya people this one is a blessing ❤❤❤
Baraka zinafurika kwangu
Kweli mungu ni mwema
Good song right here
Dancing dancing
Tokea Congo DRC nyosha mkono
I love this😭😭❤❤❤yaani wapiga vyombo jamani na omba Mungu mfikike mbinguni mweze kumchezea hivi vyombo ❤❤. To the praise team you are amazing and did great work❤. Paul and Victor perfect performance for the Most High God. He deserves it.
Any Zambian 🇿🇲 here ✌️💖🦋💕
Tuli kuno boi !!!
Epo ndi
Tilipo Che
Ndi pano 💚💚
Perfect definition of 'tumekafunga' what an amazing song,iko na upako
Nimetoka fb kutafuta hii song kweli ameniongezea baraka nimeona tofauti ya leo na jana amin
I'm coming to Tanzania to get my husband and this song song will be on our wedding 🎉🎉🎉🎉
Karibu 😂
Ayaaaaaayaaaàaayaaaaaah🎉🎉NI MUNGU WA BARAKA TUU🎉🎉🎉 ce son j'arrive pas à me retinir😂🤗ayaaaaaaayaaaaayeeeeh BURUNDI🇧🇮 tunawapenda😍 sana
Mzee wa wapi vigelegeleee..Ameamua kumpigisha Paul seben🎉
Namuona hagai akipiga Solo hongera sana hagai makuzo
Tofauti ya leo na jana ni kubwa sana 🔥🔥🔥
Victor maestro fire
Wimbo mkubwa sana huu hakika ni neema ya ajabu kua na nyie hapa Tanzania
Niko Bujumbura ,Lero nielota ivo nikainjiya ku you tube njo nikakuta nyimbo hiyi ,amefariji moyo wangu ,Mungu akubaliki Kaka.
Aaaaaiiiiiiiiiiih, 2090 people I was here in 2024 celebrating and enjoying the Goodness of God The Baraka is over Flowing 🥰 .
Kusema ukweli solo na bass ni moto 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
*napenda pale poul unapo mtambua Yesu kila uiambapo yesu anajulikana kuna wengine unaweza sikiliza wimbo jina Yeau unalitafuta kwa tochi mfano waziri hawez sema jaambo ama mradi bila kumtaji samia AMEN AMEN*
Ni Mungu ni Mungu wa Baraka!
Hii song ni mara ya 10 kuiisikizaa banaaee😂😂waaah the soloist guitar and the bassist guitar wako juu sanaaa...God bless you...for this nice song🙏🙏
Makofi ya Bass Guitarist jamani! 👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿👏🏿 Those groves are soothing!! 🔥 🔥 🔥 🔥
Ni kweli kuna tofauti jana na leo.KumwamininYesu, Uhai na Afya njema ni BARAKA KUU KWANGU.Asante Yesu
Yes Bwana apewe sifa. Leo ni tofauti na jana
Minister paul, kidogo akae zake chin😂 Sema mmetisha sana. Mungu azid kuwabariki saanaa❤
Nimekuja kuangalia sbb ya maestro
Mbarikiwe watumishi
Yani sichoki kabisa kuangalia hii nyimbo kali sana yani 🎉🎉
Gloria a señor Jesús, me gozo mucho. Dios les bendiga grandemente hermanos africanos ❤
When you ft. V. maestro you become the fitured 😅😅😅😅 He takes over. Paul is learning here 😅😅😅 More Grace to them All. Moto !!
MAESTRO KAMCHEZESHA PAUL SEBENE HAHAHA SAFI SANAAAAAAAA
Mara ya kwanza kumona sam akipiga mwendo😂😂😂😂🙆♂️
Enyewe tunafaa kusikiliza hizi nyimbo uwezi boeka
Nyieeeeeee Paul Clement kacheza 🙌🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
“Basi kwa yeye awezaye kutenda mambo ya ajabu yasiyopimika kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya uweza wake ule utendao kazi ndani yetu,”
Waefeso 3:20 NEN🙌🙌🙌🇰🇪🇰🇪🇰🇪
This Song encourages people like you and me ❤❤❤❤❤❤❤❤😊😊😊😊😊😊😊😊😊❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Rupia from mbeya
❤❤ hakika nawapenda brothers
wimb huu ni baraka na unabariki
Unachezeanga waaapi 🎉🎉
I knew Paul clement at last he will pull a big one for the lord.if u read this in 2050 praise the lord
Victor kakoma kakosaje hapo kwenye hiyo sebene that boy is on fireee😂😂🔥🔥
yan kafilimbi kangeingia apo 😂😂
@rodaniatangira3613😂😂😂
Makosa kumwacha nje😂
Wapi vigelegeleeeeee🎉🎉🎉🎉🎉