PAUL CLEMENT - SHUKRANI (OFFICIAL LIVE RECORDING VIDEO) SKIZA - 9860830
HTML-код
- Опубликовано: 20 янв 2025
- STREAMS
SPOTIFY:open.spotify.c...
ITUNES: / shukrani-single
APPLE MUSIC: / shukrani-single
Contanct/booking info
instagram: ...
facebook: / ministerpaulclement
BOOKING. email:paulclementmog@gmail.co
Music Director : Joel Alfred
Arranged by : Elisha Julius & Emmanuel Gripa
MUSICIANS:
Main Keys : Joel Alfred
Synths Stabs/Leads : Elisha Julius
Pads : Jonathan Shemsanga
Lead Guitar : Hagai Makuzo
Bass Guitar : Samuel Modest
Drummer : Andrew Chitete
BGVs :
Soprano:
Nice Marandu
Melanie Antony
Alto:
Christine Marco
Ruth Mkemwa
Tenor:
Joshua Cleopa
Amos Mbise
Calvin John
This song Mixed and Mastered by Samuel Mboya (Chosen Records)
Sound Engineer : Jeddy Audio (JaP)
Lights : David Sengati (Nyakalo Lights)
Video Diector : Sylvester Daniel (Syberpic)
Venue: HIGHLAND 255
Raiser : S&M
Backlines:
Keybords: Nelly Music
Drums,Mics etc. : Sound Solution
Dressed by Mkude Fashion
Happy new year 2025🎉Neno moja nililonalo ni ASANTE YESU.1st January 2025🎉nani yupo hapa leo?
Ulionitendea ni Mengi siwezi kuhesabu ila nasema ASANTE YESU. God Bless you Minister Paul Clement Tumebalikiwa San Tanzania kuwa na Wewe Mtumishi wa MUNGU Mungu akutunze sana
Amina
Amina kakaangu Sifa na utukufu ni kwa Yesu...nafurahia sana huduma yako pia
Aminaaaruclips.net/video/00v8q9lwGAU/видео.html
Ulinitendea ni mengi siwezi kuhesabu asante
Tumebarikiwa sana TZ kuwa na ninyi nyote watumishi
Your Ministry is a great blessin🙌🙌
we love you too masika.
Expecting for collable song!!
Amen sister...glory be to God
mfanye wimbo bas
ruclips.net/video/00v8q9lwGAU/видео.html
Who watching this 2024?❤😊
Me🎉🎉🎉🎉
Who watching 2025❤
Oooh BABA nimerudi kusema ASANTEEE
Amen Dada wimb wako wa chanzo umenigusa
I'm leaving this comment here So that I can come back to thank God when He blesses me with a job at UN 🙏 Kama Bwana aishivyo.....nitarudi!
Shukrani zangu ni kwako eh Bwana Yesu kwa mengi ume ni tendea. Ubarikiwe kaka Paul kwa wimbo huu
Amina kaka ubarikiwe sana sana
Amina
Aminaa ruclips.net/video/00v8q9lwGAU/видео.html
Aminaa ruclips.net/video/00v8q9lwGAU/видео.html
Tunakushukuru sana kwa karama yako na kea utumishi huu wako uliotukuka kwetu napenda sana kumwimbia Mungu Kama wewe au zaidi apendavyo Mungu mapenzi yake yatimizwe.
Ulionitendea ni makubwa Bwana siwez kueleza nimekuomba kaz umenipa tena kaz nzur nimekuomba ndoa umenipa mume mzur japo tumeishi mbali kikaz nimekuomba na tumefanikiwa uhamisho na sasa tuko karibu sina namna nzur ya kukushukuru Asante YESU😭😭🙏
31.12.2024 few hrs to 2025 THANK YOU GOD❤
Whoever reading this, may God give you good health, and bless you financially
Amen 😇
Amen🙏
Amen
Amen
amen
Barikiwa sana bro kwa huduma njemaa
Kama na wew unaipenda sana hii nyimbo like hapa
This is 2024 and am still here, kaka PAUL hudumu tu tunaponyeka,Bwana azidi kukuweka chombo chake
Wakenya hatuchelewi, glory to the Most High.
Bonyeza link kutazama video hii ruclips.net/video/u8IG9gW4N3I/видео.html
Na huyo naye mnamchukua Wakenya nyie noma
@@teddydickson4004 😂😂
Mimi nakupenda sana
Who else can't get enough of this song....my my its powerful
It brought me to tears
Me
meeeee
Thank u this is biblical zaidi mtumish
My husband and I got into an accident this morning and God saved our lives😭😭😭…. Am just singing this song with thanksgiving.
Glory be to God for his mercy and grace
God is good ❤
Faraja ndani y roho””””gud bi blecng
From Kenya Pia tunakupenda Kaka 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪Kwa Yale yote ametutendea tunasemaj Asante yesu
Aisee. wimbo mzuri sana,unakamata moyo
Can't wait Bro Paul Clement Shukran ni Motooo🙊🙊🙊🙊 Shukran challenge
Very nice song be blessed...I see my friend Amos mbise😊😊😊
Nlikua kila mara naskiliza tu kwa phone angu nlitaman siku kama ya Leo itimie itoke live jamn am so happy
Webale Yesu Asante baba Yesu thankyou Jesus Christ Danke Jesus amen
Never seen a powerful song like this!!!! sichoki kutazama hii kitu ina upako aisee... NINA NENO MOJA TU KWAKO MUNGU WANGU "ASANTE"
Ubaeikiwe sana Kaka kwapamoja tunamwambia MUNGU asant kwa uzima aliotupa
"Ulionitendea ni mengi, siwezi kuhesabu, ila nina neno moja asante"
You are a blessing to this generation brother.
That's a good song.
Ubarikiwee zaidi na zaidi brother unajua🙏✍
Biblical songs you will never go wrong with them ,being blessed all the way in UAE big fan to Clement. Barikiwa sana rep 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
🇸🇦
Yale umenitendea siwezi hesabu Mungu wangu,pokea shukrani zangu🙏🙏🙏🙏🙏
Brother Yesu azidi kukuinia.... great song....
Big love from Kenya bro🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
God bless you
AsanteYesu kwa yote umenitendea. Thanks Min. Paul Clement, your songs are very inspiring ❤❤❤❤subscribed😅
Mlioniwahi🙌🏾🙌🏾...Barikiwa sana Kaka yangu Paul Clement May God shower his Choicest blessings On You.. Ujumbe huu ni burudiko la Moyo forsure
hongera kwa utumishi huu bro paul'
Neno ni "AHSANTE" 💯✋
Kenya nairobi full respresentation
Afu endeleeni kunisema sana. Muwe mnakunywa na soda na makuku
Wanao mpenda Paul clement.like zenu apa❤️
Mungu ni mkuu Asante, barikiwa kaka 👏👏
Kaka Paul Mwakanyamale unaimba sana we jamaa 🙌
Ninachojuaga ua unaongezaga zaiidii...Barikiwa xana Mtumishi
1 Thessalonians 5:18 - Give thanks in all circumstances for this is God's will for you in Christ Jesus.
Nina neno moja tu: ASANTE🙏😌
It a blessed song🙏🙏
It a blessed song🙏
Nina neno moja Tu: ASANTE 🙏🙏🙏🌹💫💫
Ubarikiwe sana kaka huduma yako ni kubwa mnoo
A song i can't get enough of!makes my spirit joyous...putting smile on my face whenever i listen to it.
Fedha haitoshi kukushukuru...........
Great song there
Shukurani imebebwa kwenye neno moja Asante Yesu kwa kunitendea makuu kwa maisha yangu.
Barikiwa san mtumish wa Mungu nice song 🔥🔥
big up brother hakika umekuwa baraka kwa dunia nzima
The guitarist is soooo smoooth😮💨♥️🔥🔥
and the bassist too💪🏼👌🏼🔥
This is the choir you needed for your new song"Anaskia maombi"They know what they are doing.Kudos to this back up choir
Barikiw mtumish
Paulo 🔥🔥🔥 Mungu akubariki huu wimbo ni mzuri sana
Mwaaaaaaaa Paul unawez San mung hakubrki
I remember in june 2019 I could sing Mwaminifu from morning to morning crying to God when my baby was undergoing operation on his 5th day of birth. This song mwaminifu gave me hope n truth be told our God is faithful. Now this one am singing saying thankyou to God for everything n for sure namshukuru mola. Ur ministry is a blessing to my life . Shukurani🎶🎶 Mola
Thank God for you
@@thelifeofcee4967 Amen....he's God above all
amen na sasa ametenda
Bro, Mungu aendeleze kukutumia zaidi na zaidi...
The arrangement of the song plus his voice are🔥🔥🔥
Mungu wetu aenderee kututuza sote Kaz nzur sana
I love your Courage in the ministry 🥰 Cause more artists and ministers are sleeping, they take more than a year without a New song, may God bless you,
Wonderful Work 🔥
Mungu akubariki kwa nyimbo zuru San.
Neno moja ...ASANTE❤️🇰🇪
The back up team is🔥🔥🔥🔥 let's appreciate them for the amaizing job. May God bless you.
Kweli kabisa kuna watu wameDISLIKE huu wimbo??? Acha tumshukuru Mungu kwa ajili yao pia.😎
Everything is on place... What an excellent work, Paul. May God reward you. Lights ✅, Sound ✅, Music ✅, Crowd Vibe ✅... Meen and special thanks to Drummers and Groove man!!!
Yap
@@danielchongolo9480😂!)
😢😢😢Uliyo nitendea ni mengi
ASANTE YESU, AMEN.
HALELUYA, AMEN.🙌
Hongera sana ndugu Mwakanyamale na timu yote ya huduma. Natamka neema zaidi juu yenu.
Ameen Ameen such a blessing Song, Ila mimi nimekuja kusema Asante.
The Production!!!🌟🌟🌟🙌🏾
Asante Mungu wangu kwa kila kitu.
Daah🙌🏽
My favorite song,, God bless you man of GOD
Uliyo nitendea ni mengi siwezi kuhesabu, nenomoja naweza sema ni asante 🙏🙏 God bless you kaka.
Powerful song of the year
God bless you so much anointing
Mungu aendelee kukubariki Mtumishi wa Mungu. Ujumbe Mkuu Huu....
Am indebted to you Christ Jesus for all you have done to me am thankful for everything I am that I am ,the Ancient of days,the beginning and the end,the bright morning star ,Alpha and Omege,The great I am , thank you for you're kindness
Mungu baba mwenyezi nasema asanteeee babangu
Wooow God bless you so much Brother Paul Clement this is Powerful Massage Brother
Nimefanikiwa sana kaka Paul clement
Uliyonitendea Ni mengi, siwezi kuhesabu🙌. Ila Nina neno moja ASANTE🙏☺️.
Be blessed bro..
Glory to God, me i am praising i don't the other 9
Ameen, listening to this song at the right time, Im crying..thinking of the battles GOD has fought for me...Thank u paul clement for this powerful song..n the voice..wooow! THANK U JESUS.. May God elevate ur ministry.
Bonge la wimbo Mungu azidi kukutumia
Kwakweli brother paul unanibariki sanaa Mungu akubariki
You are blessed my brother this is a bang "SHUKURANI" " 🎶🎶🎶🎶🎶🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🎤🎤🎤🎤🎤🎤
Mungu bariki saaaana na akutumiye tena
I listened to this for the first time and i was overcome with Holy ghost laughter, and am here to say God thank you for this ministry
Ubarikiwe kaka, huduma yako ni njema sana.
God is happy when his children are Grateful always approach God with a Grateful heart with all that is Going In the world even listening to a beautiful song like this it is by his Grace be Grateful ❤
Ulionitendea ni Mengi Bwana❤️
Heard this song in a wedding,, had to find it for myself. This is a complete blessing.
Amen
Unayo nitendea ni mengi ila nina neno moja asante🙏
Amen. We say thank you Lord!!! #Shukrani
So powerful sina neno yakusema Asante kwa yale amenitedea
Am just smiling smiling ooh Jesus you are so beautiful.
Paul my brother you are blessed born a singer a composer a writer a minister
Blessed more bro
Ubarikiwe bro Clement! Pokea upendo kwa wingi kutoka +254 🇰🇪
Imoge dei it was my miracle day,,, I can't forget this day because it was 🔥🔥🔥
Brother mungu anakutumia sana
Neno n moja tu ASANTEEE MUNGU
Your Songs are something else 🙌I'm always blessed with your songs.....
Nakama hamtaki nisiwaone kwenye maono wote marafiki zake au wazazi wake
and then sam bass never disappoints on creating groove
shukrani imebebwa kwenye neno moja asante 🙏🏻🙏🏻
huku nikiamini shukurani ni sauti ya Imani 🙏🏻🙌🏼
I have had this one in my playlist for months now, but today it has ministered differently.
Shukrani nimebeba kwenye neno moja asnte