Neema Gospel Choir - Jina Yesu Ft. Paul Clement (Official Live Music)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 27 янв 2025

Комментарии • 997

  • @jamesmbolesila7600
    @jamesmbolesila7600 Год назад +10

    Lina msaada jina Yesu...ohoo my God am so blessed by brother Paul clement...May God expand this choir but remember "Ukiliamini Lina msaada" Amen

  • @MaryKweka-c9x
    @MaryKweka-c9x 10 месяцев назад +7

    Pokeeni mauwa yenu nyimbo zenu zinaubariki sanaaaa moyo,💐💐💐💐💐💐💐

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  10 месяцев назад

      Amen tunapokea katika jina la Yesu 🙏🙏

  • @GeraldLukucha
    @GeraldLukucha 11 месяцев назад +8

    Huwa najisikia faraja sana ninaposikiliza huu wimbo nafarijika sana

  • @marionmuhanji1211
    @marionmuhanji1211 10 месяцев назад +8

    My grand daughter 3years ald sing for me this song very well and we love the song very much God bless you singer's ❤

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  10 месяцев назад

      Wow Glory to God❤️❤️🙌🙌🙌🙌

  • @brendachibura6040
    @brendachibura6040 2 года назад +311

    Hivi wenzangu mshawahi kuwaza mbinguni hizo sauti na vyombo vitakuaje kama duniani tunaimba na hivi? Nyie tukaze mwendo tukaimbe na Baba yetu💃💃💃

  • @alexyohana4708
    @alexyohana4708 2 года назад +78

    Kama unaipenda neema gospel gonga like za kutosha

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @flaviajoseph8771
      @flaviajoseph8771 2 года назад +1

      Mungu azidi kuwatumia katika viwango vya juu zaidi barikiwa sana 🙌🙌🙏

    • @AnithaPaul-w4m
      @AnithaPaul-w4m 4 месяца назад

      Amen BWANA atutie nguvu tuifanye kazi take kwa roho na kweli

  • @hellenrichard187
    @hellenrichard187 2 года назад +10

    Ukilitaja jina la Yesu ni kweli lina msaada mimi nimeona ametenda kwangu mahali ambapo sikuona mwanga kabisa mahali nilipokataliwa nimelitaja jina la Yesu na ameninipa heshima na amani na furaha niamini mimi ila bila Yesu nisingekuwepo leo nakupenda Yesu

  • @lowasameliyo4027
    @lowasameliyo4027 Год назад +4

    Kuna baadhi ya sifa na upigaji wa vyomb inatipa picha ya mbinguni kwa umbaaaaaaaaali hongeren sanaaa wapenz wetuuuu

  • @mariamsanga8151
    @mariamsanga8151 2 года назад +3

    Paul Clement nakupenda Sana unaimba kwa hisia Kali ,kazi hii ni nzur ,yaan nimewaza je huko mbinguni itakuwaje sauti na vyombo nikajikuta natabasamu huku nikisema yesu unastahili kusifiwa

  • @johnmkombozi3106
    @johnmkombozi3106 2 года назад +2

    Duuuh Nyimbo nzuri San barkiwa mwimbaji

  • @zephaniamanyasi9110
    @zephaniamanyasi9110 2 года назад +3

    Mtumishi wa mungu nakukubal sana barikiwa sana

  • @wivinemuderwa1874
    @wivinemuderwa1874 2 года назад +13

    Nikuomba tu mungu atupe mwisho muzuri sisi waimbaji dunia nzima,kuishi katika utakaso pia kusamehe wanao tukosea ,kutazama mbingu,mungu awa tie nguvu💪🇨🇩

  • @zenicemtui3978
    @zenicemtui3978 2 года назад +13

    Paul paul paul nimekuta mara tatu hunampinzani rafiki yangu MUNGU azidi kukuweka miaka 10000 uone kizazi cha kwanza had cha 4 huwa unaponya wengi kupitia nyimbo zako barikiwa sanaaaa

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 года назад

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙏

  • @pendomangi8400
    @pendomangi8400 7 месяцев назад +9

    Jamani Paul anaimba vizuri sana nina Imani Mungu atanipa kibali niimbe na yeye siku moja, much love from Kenya 🇰🇪

  • @pendothomas7258
    @pendothomas7258 10 месяцев назад +2

    Niko hapa 2024🎉🎉🎉

  • @JohnLwaga-yj8br
    @JohnLwaga-yj8br Год назад +1

    Aseeh mungu mwemaaa sana jaman 🤚🤚👆👆❤

  • @agapegospelband
    @agapegospelband 2 года назад +7

    🔥 #UKILIITAJA LINA MSAADA🙌🏽

  • @sallyhanc7955
    @sallyhanc7955 2 года назад +3

    Ahaaam kiukweli Kuna nguvu za MUNGU zinapita ndani yangu kiukweli mnajua pamoja na kaka angu Paul unajua sanaaa MUNGU awabariki siku moja nami ntafika hukoo

  • @neemalemah7690
    @neemalemah7690 2 года назад +18

    Nyimbo nzuri inabariki sana kwan hakuna jina kama Yesu,,, na hakuna aliyemtegemea akaaibika. Mwenyeenz Mungu awabarikiii na awainue viwango vya juu zaid na zaidi. Amen🙏🙏

  • @valentinamwamburi5849
    @valentinamwamburi5849 10 месяцев назад +14

    2024..here we are,no other name but the name of our LORD JESUS ❤❤❤ 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @freddybuthelezi7566
    @freddybuthelezi7566 10 месяцев назад +5

    Glory to the Almighty
    Praise the Name of the Lord
    I love your music I'm from South Africa
    Glory to God forward with Jesus Christ our Lord and Savior
    We praise him with different languages but he understands everything
    God bless you my brothers in Christ we are one ❤️❤️👐👐🙏🙏🇿🇦

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  10 месяцев назад

      Wow Glory to God, thank you for watching us we love you south Africa 🇿🇦 ❤️ ❤️

  • @NeemaJohn-ub3ob
    @NeemaJohn-ub3ob Год назад

    Yaan hadi raha kwa kweli Jina la Yesu lina nguvu sana ukiliamini.

  • @warrenhenrick5565
    @warrenhenrick5565 2 года назад +7

    For the first time niliwafahamu kupitia wimbo wenu wa ponya kanisa lako Baba....hadi leo I'm ur biggest fan viwango viwango Mungu azidi kuwatumia nawapenda sana

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @haniphahanipha4814
    @haniphahanipha4814 Год назад +4

    Mwanangu anapenda nyimbo zadini jamn yan akisikia nyimbo zadin zinaimba atakama amelala anaamka😘🙏

  • @jobuchitunda346
    @jobuchitunda346 2 года назад +4

    Hongereni viongozi nliokaa na kutafakari kitu kma hiki tumezoea kuona Joyous celebration, lakn leo hii inafanyika Tanzania 🇹🇿 clement God bless

  • @CatherineIsrael-g3z
    @CatherineIsrael-g3z Год назад +1

    Ni raha Kwa YESU

  • @jofunzalika6145
    @jofunzalika6145 2 года назад +2

    Asante yesu wewe ni zaidi ya msaada

  • @josephatmaunya8124
    @josephatmaunya8124 2 года назад +1

    I'm blessed natamani kuwa kama kaka Paul clement

  • @gospelextravibes
    @gospelextravibes 2 года назад +65

    Huyuu mwamba anayepiga gitaa la soloo anasehemu yakee spesho Mbinguni aiseee......ameupa radha saana mziki wa gospel🔥🔥🔥

    • @consolatamedard6593
      @consolatamedard6593 2 года назад +1

      😃😃 Hakika anasehem yake Maalmu Kabsa

    • @joseygaudence4922
      @joseygaudence4922 2 года назад

      Hakika

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 года назад

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini!
      👉ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html
      👉ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html

    • @gracejosephy2242
      @gracejosephy2242 2 года назад

      Kabisaa

    • @penzilakaisi
      @penzilakaisi 2 года назад

      Hakika.. Na Mungu aendelee kumpandisha viwango

  • @wivinemuderwa1874
    @wivinemuderwa1874 2 года назад +4

    Maombi ni kwamba bwana aumbe moyo wako kukesha

  • @EstherMado-mn4ip
    @EstherMado-mn4ip Год назад +1

    mimi sina maneno mengi kaka awaga unani bariki saaaana Mungu akuba riki imaniyangu iposiku nitaimba na ww ubarikie sana

  • @evancetefurukwa6191
    @evancetefurukwa6191 2 года назад +5

    Nani anabarikiwa na nyimbo hii 2023/kama nnavyobarikiwa mimi

  • @frankoduor1733
    @frankoduor1733 2 года назад +2

    Kweli Kuna jina ambalo limepita majina yote amen

  • @thehouseofprayerministry359
    @thehouseofprayerministry359 11 месяцев назад +13

    Nawapenda mno awa waimbaji Mungu awa bariki

  • @peterrichard7480
    @peterrichard7480 2 года назад +1

    Furaha sanaa Kwa Jina hilii

  • @beatricesilas5083
    @beatricesilas5083 2 года назад +6

    Wimbo mzur sana mtamu una ujumbe mzr MUNGU awabariki sana watumishi wa MUNGU

  • @paulwatetu5882
    @paulwatetu5882 Месяц назад +1

    Kweli jina la yesu Lina msaada limeniokoa atukuzwe yesu sana ndani ya maisha yetu Amina.

  • @bettycasyo4807
    @bettycasyo4807 2 года назад +6

    Ukilitaja lina msaada...#JINAYESU

  • @printerservicessupport7725
    @printerservicessupport7725 Год назад +1

    your the best no one like you 😘😘😘😘😘😘😘

  • @abelpetermedia2698
    @abelpetermedia2698 2 года назад +5

    Hakika mwenye macho kaona mbarikiwe sana neema gospel choir niko pamoja na ninyi Amen🙏🙏

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @SaraKasiga-h9q
    @SaraKasiga-h9q Месяц назад +1

    I'm watching from Dubai Emarate. Mbarikiwe mno Tanzania yangu. YESU aongezeke mnoooo sie tupungue.

  • @rainajulius7939
    @rainajulius7939 2 года назад +5

    Mungu awabariki. Nimekua blessed alot na ih wimbo. 🙏

  • @beatricesheyo3466
    @beatricesheyo3466 2 года назад +1

    Hakuna Kama ww Yesu umetamalaki mbinguni na dunia ni ww tu unasitahili kuabudiwa,wimbo mzuri Mungu awabariki watumishi wa Mungu.

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @evancetefurukwa6191
    @evancetefurukwa6191 2 года назад +4

    Neema gospel Mungu awabariki sana kwa ujumbe mzuri

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @dianaminja3175
    @dianaminja3175 Год назад +1

    Yenye sifa nyingi Ila jina la Yesu yapita majina yote

  • @joshualumbasi9264
    @joshualumbasi9264 2 года назад +4

    Upako na uwepo tupuuu....Halleluyah!!! 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪👏👏👏

  • @DamaryShitobelo
    @DamaryShitobelo 7 дней назад

    Mko juu Mungu azidi kuwatambulisha mkapungue Mungu awe juu Mungu awabariki Sana tunafunguliwa kupitia nyumbo zenu hongera ni

  • @basiehlahla6539
    @basiehlahla6539 Год назад +17

    Watching from Mowbray in Cape Town in South Africa...I am blessed Neema Gospel Choir in Tanzania. I am South African, ot understanding Swahili but trust me the song blesses me😇🥰

  • @CatherineIsrael-g3z
    @CatherineIsrael-g3z Год назад +1

    ❤❤❤❤❤❤ nawapenda sana

  • @claudiamzava7640
    @claudiamzava7640 2 года назад +4

    Ukiliamini Lina msaada Jina la Yesu be blessed

  • @djefsam573
    @djefsam573 2 года назад +1

    Barikiwa sana Paul

  • @mwabuponde3152
    @mwabuponde3152 2 года назад +4

    Yapo majina mengi yenye sifa nyingi ila jina la yesu
    Limepita majina yote

  • @clarachrispin4822
    @clarachrispin4822 7 месяцев назад +2

    Wapendwa , kuimba na kusifu ni raha , haswa ndani ya Yesu. Huu wimbo umekidhi vyote kwa pamoja, 🎉❤ , Mungu aendelee kuwapa umoja huu Neema gospel na kaka yetu, waendelee kumtukuza Mungu kwa moyo wote.🎉🎉

  • @delverosedastan5730
    @delverosedastan5730 2 года назад +3

    Mbinguni itakuwa shangwe hatari, Mungu tusaidie tuweze kufika huko

  • @danielworshiper6002
    @danielworshiper6002 2 года назад +2

    Jina la kuaminiwa ni jina la Yesu

  • @clairekamau943
    @clairekamau943 2 года назад +6

    Ukiamini jina la Yesu lina msaada🔥🔥🔥
    I love you Jesus❤🔥🔥

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 года назад

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini!
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html

  • @aronsamu299
    @aronsamu299 2 года назад +2

    jina hili ni ngao na nguzo ya mataifa JINA YESU

  • @Naomizzx
    @Naomizzx Год назад +6

    Straight from the Throneroom of the Most High🙌🏾🙌🏾 💜💜 from 🇰🇪more grace to 🇹🇿

  • @faithmwende4079
    @faithmwende4079 5 месяцев назад

    Ukiliiita Lina msaada nimeshudia Mara kadha nikiliita na likawa na msaada..to God be the glory..be blessed Mr Paul Clement

  • @isaacphenihace7548
    @isaacphenihace7548 2 года назад +6

    Hakika Jina la Yesu lina nguvu na ni msaada wao waaminio,hongereni sana kwa ujumbe mzuri

  • @PD-dk6ny
    @PD-dk6ny 3 месяца назад

    Daaaahh brother hongeraaa sana Mungu azidi kukutumia endelea kuchuchumilia taji usije ukageuka nyuma,usiwe nguzo ya chumvi

  • @haikaellyngajilo7768
    @haikaellyngajilo7768 2 года назад +7

    Neema gospel 👏👏👏🔥🔥Ni ndoto kwangu ninyi .Mungu awatunze

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 года назад

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini! Wimbo mpya
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html

    • @catherineerastus1682
      @catherineerastus1682 2 года назад

      nawapenda mno

  • @elrachum3866
    @elrachum3866 2 года назад +2

    Yaani wimbo ukinigusa nitokaga machozi kama mtoto ... thank you

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 года назад

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙏

  • @dr.vicnelvictorianelima6477
    @dr.vicnelvictorianelima6477 2 года назад +5

    Jina la Yesu lapita majina yote. Much love from Kenya.

  • @RahabJames-w3r
    @RahabJames-w3r Год назад +1

    Yani mm cpati picha kutakuaje natamani niwepo cku hiyo ❤

  • @phidramalaika8232
    @phidramalaika8232 2 года назад +6

    Nimeipenda Nimeipenda Nimeipenda Nimeipenda Nimeipenda Nimeipenda thanks you lifted my faith The name of Jesus is above all 🙏🙌❤

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 года назад

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙏

  • @PurityDida
    @PurityDida 4 месяца назад

    Ameeeeeeen,nikumoto huku wallah mungu tupe mwisho mwema ameeeeeee❤❤❤❤

  • @masalugusessa3702
    @masalugusessa3702 2 года назад +104

    To anyone reading this in 2050
    Just know this choir is legendary........... they gave everything to worship and praise God 🙏

    • @agapegospelband
      @agapegospelband 2 года назад +1

      #Fact

    • @msakamaboga5712
      @msakamaboga5712 2 года назад +1

      Exactly

    • @tabitherrichard4531
      @tabitherrichard4531 2 года назад +1

      True

    • @NeemaGospelChoir
      @NeemaGospelChoir  2 года назад +6

      Woow.. this is very encouraging ❤️

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 года назад

      👉Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini!
      👉ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html
      👉ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html

  • @JenipherVenanc-el2jv
    @JenipherVenanc-el2jv 5 месяцев назад

    Jamani Paul Clement anaimba vizuri sana .... Nam naomb mungu anisaidie niwez imba Kam yeye.....nafarijika sana napo sikiliza nyimbo zake

  • @julianashuma6326
    @julianashuma6326 2 года назад +5

    Yapo majina mengi yenye sifa nyingi ingi ila lipo Jina la Yesu limepita majina yote ❤️❤️❤️❤️❤️

  • @SaimonMussa-n2f
    @SaimonMussa-n2f Месяц назад

    Paul clement nakupenda sana Mungu akubariki sana❤❤❤ by Jonas neson

  • @rtlusungu
    @rtlusungu 2 года назад +31

    This is it, Neema Gospel choir, kwanza you guys are my favorite, pili Paul Clement is the most consistent singer who does his things low key but very anointed...
    The song yenyewe ni Kuhusu Jina la Yesu, beautifully written and sang, beautiful voices from the choir, and the dance sasa hapo Ndo mnanogeshaga Sana.. Hongeren Sana NGC, and my brother Paul Clement. Y'all are our treasure for the gospel and the kingdom of God.

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @ruthnyairabu8244
      @ruthnyairabu8244 2 года назад

      all the way from stwerward TV nme fika RUclips the song is ministering to me in a special way despite what am going through am here calling that name

  • @GUYreallife26
    @GUYreallife26 7 месяцев назад +1

    Much love am blessed 🙏🙏🙏 penda sana wimbo huu

  • @EveWema-be4re
    @EveWema-be4re Год назад +8

    Im blessed with this song much love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @evamwambezi507
    @evamwambezi507 2 года назад +2

    🔥🔥🔥oooh yes ila jina la yesu limepita majina yote,baraka tele kutoka Kenya🙌

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 года назад

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini. Barikiwa sana
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html

  • @eliassolomon1149
    @eliassolomon1149 2 года назад +60

    The most dynamic and relevant choir in Tanzania 🇹🇿.. nawapenda ndugu zangu

    • @eliassoingei2046
      @eliassoingei2046 2 года назад +2

      Penda sana jina Elias

    • @joblucasson816
      @joblucasson816 2 года назад +1

      Hakika

    • @abelg2488
      @abelg2488 2 года назад

      Nakubali mzee

    • @Jimmie88
      @Jimmie88 2 года назад

      As a Kenyan, I will say more like the best in East Africa. Am blessed.

    • @faithmsafiri6534
      @faithmsafiri6534 2 года назад

      Unaweza pata no ya kiongozi wa kwaya hii

  • @salomegeorge3810
    @salomegeorge3810 2 года назад +2

    Natamani sana siku Moja niwe miongoni mwa Wana kikundi Hawa, kumsifu Mungu pamoja, napenda na ninaweza👌❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @eliufoosimonchuri4160
    @eliufoosimonchuri4160 2 года назад +5

    The name of Jesus- Jina la Yesu, my 2 years boy favorite song. Mbarikiwe sana Neema Gospel na Paul Clement

  • @loishookilaizer8686
    @loishookilaizer8686 2 года назад +1

    Wazee wa masauti na instrumental ni 🔥🔥🔥🔥

  • @sundayelisha4716
    @sundayelisha4716 2 года назад +3

    Nimebarikiwa na huu wimbo umetulia na vyombo vimepigwa kitaalamu, Mungu wa mbinguni awabariki

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 года назад

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙏

    • @charlesmalingumu
      @charlesmalingumu 2 года назад

      asifiwe yesu kristo tena awabariki sana Amina,,,❤️❤️❤️

    • @charlesmalingumu
      @charlesmalingumu 2 года назад

      asifiwe yesu kristo tena awabariki sana Amina,,,❤️❤️❤️

    • @charlesmalingumu
      @charlesmalingumu 2 года назад

      asifiwe yesu kristo tena awabariki sana Amina,,,❤️❤️❤️

    • @charlesmalingumu
      @charlesmalingumu 2 года назад

      asifiwe yesu kristo tena awabariki sana Amina,,,❤️❤️❤️

  • @MagrethJackson-t1n
    @MagrethJackson-t1n 11 месяцев назад +1

    endrew anajua kinoma

  • @stellahlubembe2931
    @stellahlubembe2931 2 года назад +43

    I dont know why these song hasn't hit 1M views.the lyrics,sound,voices,instrumentalists,the background just perfect. I love these song walla💕💕💕

  • @beatricekagali1048
    @beatricekagali1048 Год назад +1

    Amina

  • @shukurumossi1870
    @shukurumossi1870 2 года назад +3

    Jina lako YESU limetukuka,Jina lako YESU linaokoa,linaponya ,limetutenga mbali na dhambi !

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 года назад

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini. Barikiwa sana
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html

  • @GreshaEdson
    @GreshaEdson 5 месяцев назад +1

    Mambo na mzik wa gospel sio Africa kusin tena mambo ni tanzania

  • @justinetranter9222
    @justinetranter9222 2 года назад +5

    Nyimbo yangu pendwa mwaka huu🔥🔥🔥❤🙏

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 года назад

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini! Wimbo mpya
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html

  • @phenyapiyo3682
    @phenyapiyo3682 2 года назад +2

    Jina la Yesu all the way🥰...May God bless everyone reading this comment...Jina la Yesu ni kuu...Mbarikiwe sana❤️

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻

  • @innocentkimisha
    @innocentkimisha 2 года назад +88

    In love with those two little girls. They meant everything they sang and their dances are extraordinary too👏👏

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 2 года назад +1

    Neema gospel choir nawapenda Sana na Mungu azidi kuwainua lakini hao wakaka wanaocheza mbele wana nafasi yao mbinguni kwasababu wanachezaga vizuri sana na ndo wanafanya choir izidi kuwa 🔥🔥🔥 🥰🥰🥰🇹🇿🇹🇿

  • @gatugacheru2470
    @gatugacheru2470 2 года назад +59

    Great work Kenyans muko wapi muskiee hii🇰🇪🇰🇪🇰🇪more Grace to this choir and the team that worked behind scene 🎺🎻🎻🎸🎷🎸🎻🎤🎧🥁🙏🎙️📸

    • @danielmdm9339
      @danielmdm9339 2 года назад

      Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙏

    • @millicentmutisya943
      @millicentmutisya943 Год назад

      Tuko 😊 clapping for our brothers n sisters in TZ 🎉

  • @ishallazachary2099
    @ishallazachary2099 2 года назад +2

    Neema Gospel Choir wako kiwango kingine,alafu sasa wakamjumisha Paul Clement...kali sana

  • @justineenock3316
    @justineenock3316 2 года назад +4

    Nyimbo nimeisubiri Sanaa❤️❤️❤️❤️❤️❤️

  • @alexyohana4708
    @alexyohana4708 2 года назад +2

    Nimewapenda Hao watoto

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад +1

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻

  • @3waroyrow2022
    @3waroyrow2022 2 года назад +3

    🇰🇪 in 🇦🇪 am in love with this song. Sure the Majestic Name of Jesus Christ is beneficial n all godly ways to His children and those who cl upon this Name must be saved. God bless you and the next generation I see there with you

    • @benmparanyiofficiel9988
      @benmparanyiofficiel9988 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻

  • @Bosman-TV
    @Bosman-TV 2 года назад +1

    Mungu nakuomba niwezeshe kufika kiwango hiki Cha kukusifu😢🙏🙏🙏

  • @FrestersRecords
    @FrestersRecords 2 года назад +31

    Thank You for working with Frester's Records..!!
    God Bless Neema Gospel Choir 👏👏👏

    • @TheWorshipIntimacy_Joshua.O.R.
      @TheWorshipIntimacy_Joshua.O.R. 2 года назад +1

      Kaka.
      Hongera sana sana sana ..
      BWANA YESU AWABARIKI SANA

    • @petertimothy3939
      @petertimothy3939 2 года назад

      Keep up a good work bro

    • @rtlusungu
      @rtlusungu 2 года назад

      Masanja Masanja, Nakukubali Kaka, Mungu akutunze

    • @sifamwakaniemba443
      @sifamwakaniemba443 2 года назад

      Mpendwa naomba support yako kwa KUSUBSCRIBE,KUCOMMENT channel yangu kwa link hii hapa chini. Barikiwa sana
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html
      =ruclips.net/video/VO8rNQrLwL4/видео.html

  • @ahuriladaniel9849
    @ahuriladaniel9849 2 года назад +1

    Paul napenda upole wako katika kristo may God take you to next level

    • @birhanenwafuraha3577
      @birhanenwafuraha3577 2 года назад

      Amen na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you for your supports🙌🏻🙌🏻

  • @felixobare8135
    @felixobare8135 Год назад +3

    yaniiiii...
    the vocal
    the dance
    the music
    the vibe
    the cords..paul clement did it so well brother
    the instrumentalist you kill it

  • @mpajigodwin33
    @mpajigodwin33 10 месяцев назад +1

    Nyimbo zako zina baraka sana

  • @lisamimbi9543
    @lisamimbi9543 2 года назад +5

    Jina la YESU limepita majina yote!! Beautiful song!!