the first time I listened to this song I was at my lowest moment seeing my daughter on oxygen but this song taught me to thank God in every situation.after listening to this song on repeat for a week my girl was removed from oxygen and we were discharged from the hospital after spending a month and 2 weeks .for sure wacha Mungu apokee sifa za mioyo zetu
I was homeless, got into drugs, went into prisons, then i got to know Jesus, He changed my life... Now i have a home, a wife, a lovely daughter and a new identity... A child of God.. Hallelujah.❤❤🙏🙏🙏
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Usifiwe milele na milele twakupa sifa Ooooh ooooh oooh oooh Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako Umetutendea ukarimu mwingi Umetukumbuka wakati wa dhiki Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako Umetutendea ukarimu mwingi Umetukumbuka wakati wa dhiki Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Bwana pokea sifa za mioyo yetu Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili Ooooh ooooh oooh oooh
This is so me..🙏🙏🙏Wapi likes za wakenya kwa amani tuliyo nayo...Tuna sababu ya kumshukuru hasa wakati huu tulikua tunasubiri kuapishwa kwa rais wa nchi....Peace..Peace..Peace 🙏🙏🙏
Manibariki sana nyie watu wa Mungu aiseee wacha nisufu tu💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽Au nije kuimba kabisaaa….mnanifanya nazidi kumpenda Mungu …mbarikiwe mnoo kwa kunibariki na huu wimbo🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤝🤝
God help me not to rush my preparation and maturity season and when I go the marketplace help me be valuable fruitful, nutritious and most importantly glorify your name
Wow... Kila Kitu Hapa Ni World Class Standard. Huchoki Kungalia, Kusikiliza Na Kupata Burudani Ya Aina Huku Ukitafakari Ukuu Wa Mungu. Production Team Imetupaisha Kwa Viwango Vingine. Ni Sehemu Chache Unaweza Kupata Live Performance Ya Aina Hii. BARIKIWENI Sana. Camera Setting, Lighting Ana Above All Sound I Love Every Bit. Huu Ndio Uzuri Wa Kuwekeza Na Kugawana Vipaji Kwenye Team. Heshima Kwenu Nyote Hii Kwangu Imelipa
I'll sponsor this song the whole of Dec insta na FB 🔥🔥🔥 we all need to realize and appreciate what Gods been doing for us wether we asked or not but he still did us good why not praise him and remind others to ... We doing the on Dec 2022 ❤️
the first time I listened to this song I was at my lowest moment seeing my daughter on oxygen but this song taught me to thank God in every situation.after listening to this song on repeat for a week my girl was removed from oxygen and we were discharged from the hospital after spending a month and 2 weeks .for sure wacha Mungu apokee sifa za mioyo zetu
Ooh Hallelujah, this God is real🙏🏻🙏🏻
Mathew 19:26
Ameen Glory to God!
o99kj9o,
God is good all the time
Amina
Yeremia 33:3
Kama uko hapa tena tukiingia 2025 na sifa moyoni let me see your ❤❤❤❤
❤❤❤❤
Nipo🎉
Kama umebarikiwa na utumishi wa Hawa ndugu gonga likes za kutosha mpka shetani akondee
🔥🔥💪💪💪🤝
Fvnhrgn
I was homeless, got into drugs, went into prisons, then i got to know Jesus, He changed my life... Now i have a home, a wife, a lovely daughter and a new identity... A child of God.. Hallelujah.❤❤🙏🙏🙏
God is beautiful and good like that!
God is always faithful 🙏
Napenda hu wimbo jincy wanovyo huimba Asanteni san❤
Amen
Nimekuja kisikiliza hu wimbo usiku huu ndipo nilale. Ganga like za kutosha kama unaipenda neema gospel 💕💕💕💕💕
Mbona ndo Nimeuskia huu wimbo 2024😢. Great song composition and singing unto our Lord.
Wow Glory to God 🔥
Gonga like kama unaipenda neema gospel
Nimeipenda hyo ladha,,
So beautiful ❤️
Xmas
So nice
Naipenda. Moto kama ironbox
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema sisi tunakupa sifa
Utendayo ni mema sisi tunakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Bwana Yesu we ni mwema Sisi tunakupa sifa
Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Heshima na adhama ni zako Utukufu na nguvu zina wewe Bwana
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Usifiwe milele na milele twakupa sifa
Ooooh ooooh oooh oooh
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Umetutendea ukarimu mwingi
Umetukumbuka wakati wa dhiki
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana sisi twapenda kulisifu jina lako
Bwana tuna sababu ya kuimba sifa zako
Umetutendea ukarimu mwingi
Umetukumbuka wakati wa dhiki
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Bwana pokea sifa za mioyo yetu
Bwana niwewe tu, niwewe tu wastahili
Ooooh ooooh oooh oooh
After struggling with infertility, God has blessed me with a beautiful, bouncy, healthy baby boy. Thank you God. Your love is amazing. ❤
👏
j
❤
Praise him!!!🎉
God is good
Sasa ndugu zangu #NeemaGospelChoir mnapiga mziki mzuri hivi Huku Duniani🙆🏾♂️ Sasa huko mbinguni itakuaje??? Kwa Yesu raha sana🙌🏻🙌🏻🙌🏻
yani sipatii picha kwa kwelii ni RAHA ndani ya Yesuu.... sisi twapenda kulisifu jina lako .... utukufu ni kwa Bwana@ Mcsmile events Ubarikiwe
Asikwambie mtu kwa YESU RAHA NYIE.......
Hata Mimi najiuliza kama wewe aisee hawawatu tuwaache tuu
raha uende mbinguni yan nkupriase tu paka JEHOVA anakusamee sins zote
😂😂😂😂😂
Oooh nice nice jina la bwana litukuzwe milele
Nawa penda sana toka Bunia D.r congo Bunia.
Mungu azidi kuwainua sana Salaam kutoka AIC Central Choir Igunga Tabora
Mnajua kupanga mziki, mungu awabariki sana🙌🙏
Amen utukufu kwa Mungu 🙏🙏
aisee hapo kweli kabisa..yaani mtiririko tu
Nawpenda Sna Kutokaa 🇴🇲 Mungu wa Mbinguni Awabaliki kila It wapo leo
Mmenibariki sana nanyimbo zenu mungu aendelee kuwatunza kwaajili yakumwimbia mungu maana mungu hupendezwa na sifa
My Tanzania kuna vipaji jaman asante Mungu.
Asante Yesu kwa kunifikisha 2023 naomba ukajibu ombi langu nafuta kila kizuizi kinachozuia.Bwana Yesu wewe ni mwema
Jehova take all the glory!!
Very powerful song, everything on point Yesu awainue zaidi.
Amen
God bless you Rehema Simfukwe. You are a blessing to this generation and beyond
Alipo sema "come on lemme see you dance" nikakukumbuka kwenye NDIO 🤣 but glory to God
wujjkjkiii
@@fredzuma2722 hm; good you biking;;;
#neemagospelchoir mnanifanyaga nione Tanzania ndoile nchi ya ahadii ...🇹🇿🙏
Najivunia kuwa mtanzania ......you guy's God bles you more and more 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kiukwweli unajua kumtumikia MUNGU na barikiwa nanyi
kweliiii Mungu umestahili umetutendea ukalimu mwingi
Nasubir ifike million 1
Hongereni kwa kazi nzur iliyo njema
Ametutendea ukarim mwing mnooo mnoooo
Noma Sana🔥🔥🔥
I can't get enough of this song wow God bless you more love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Na amini uta barikiwa Na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you more!🙏🙏
Ad nakosa cha kucomment ..Mungu awabariki sana watumish ...nmebarikiwa sana pia
Drum Drummer Drummest... Big up man.. Kazi safi..
Eeh mungu tusaidie
Jaman jaman nilikuwa na nanjaa lakini nimesikia hii nyimbo nikashiba kabisa
KWA KWELI WANAVYOIMBA UNAJUA KABISA HAWA WATU WANA MUNGU WAPIGA VYOMBO NAO WAMENIBARIKI SANA.
the musicians are superb i love the music
hongera kwenu neema gospel choir ubora wa kazi unajieleza
Tanzania you are Blessed... Truly pokea sifa za mioyo zetu
Amen
This is so me..🙏🙏🙏Wapi likes za wakenya kwa amani tuliyo nayo...Tuna sababu ya kumshukuru hasa wakati huu tulikua tunasubiri kuapishwa kwa rais wa nchi....Peace..Peace..Peace 🙏🙏🙏
I like this song ,Glory to Lord
From goma drc
Sikujua kama ndo nyinyi mliimba wimbo huu. Leo nimejua na mmepanda viwango vya Juu. Kazi nzuri, inabariki, inagusa na inaamsha amsha.....!
f
I am happy for you.....!
I'm blessed by this song ❤
Manibariki sana nyie watu wa Mungu aiseee wacha nisufu tu💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽💃🏻🙏🏽Au nije kuimba kabisaaa….mnanifanya nazidi kumpenda Mungu …mbarikiwe mnoo kwa kunibariki na huu wimbo🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🤝🤝
Amen 🙏🙏
Kila nikisikiliza wimbo huu naona naingia malango ya mbinguni mungu awabariki sana sana sana
TANZANIA My homeland nakupenda nalikutukuza kina la bwana kwa sababu yako Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mubariwe Wana Mungu kwa uduma nzuri sana nimefunguliwa kupitiya nyimbo hii ya Sifa , Sifa zote ni zake
Amen
YANI MUNGU WANGU WAMBINGUNI AWABARIKI KAZI NINZURI MNOO KUANZIA MZIKI,WIMBO,MUIMBAJI NAWAIMBAJI!
Amee🥁🥁🥁🥁 samweli
Ghai watazania muko juu bana that chemistry of instruments is legit🤭🤭👌perfecto listening from Kenya
Na amini utabarikiwa na huu wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html God bless you🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Bwana!!! Tunasababu ya kuimba sifa zako!!! Eeeiiishhh
❤❤❤🎉🎉 like ndo pia nirudi kuona upyaa 😅
Hivi viwango ni vya kimataifa, mnaimba vizuri sana mbarikiwe
Wangapi tunatamani wimbo ufunge mwaka ukiwa na viewers two million ???
Hio composition is on another level...TZ mko mbele kwa hii maneno...jirani KE
Kama Mungu amekukumbuka wakati wa shida gonna like hapa
Woooooooohooooo this is amazing 😍🤩❤ lovely 😍🌹 toooooo.
Nimependa sana vile wamepeana muda kwa band na wao wakacheza viombo kwa ustadi,.such a beautiful and well arranged song
Amen
Kabisaaa👏
Nchi yenye amani watu huishi kwa raha,MUNGU awabariki,karibuni mwisho wa reli
Sa Mbinguni itakuwaje kama duniani ndo hivi...Yesu nakupenda
I have always asked myself this question??? I cannot even begin to imagine!!!!
God help me not to rush my preparation and maturity season and when I go the marketplace help me be valuable fruitful, nutritious and most importantly glorify your name
Amen
Ohhhh❤❤❤❤❤❤😃
Nmepita tena saiz nabarikiwa mno asanten nmechok na kaz nmeona nijibarik
Huyo dada mwenye kikomwe kidogo (sorry) hapo mbele kabisa ana nafasi yake mbinguni,anajua kucheza.Mungu awabariki mnatuweka uweponi
It's just makes me feel better now ❤
Kila nikiingia RUclips lazima niusikilize huu wimbo Mungu awabariki it's my favorite song
basist killing o , mr on grums waaaah u guys are talented
Yan ad wasauz wenyew hawaon ndan,,
Hii ni kali haijawah kutokea bongo,,,,,,
i'm in love with this song, it communicates to my spirit❤
special love from Zimbabwe
Amen 🇿🇼 we love you❤️
I can't get enough of this song! It's on replay mode, Yesu asifiwe. receive all the love from Kenya 🇰🇪🇰🇪
Amen... Thanks for the love ❤️
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏
same here
umetukumbuka nyakati za dhiki asante Bwana mtoshelevu,mbarikiewe waimbaji
I am so blessed by this choir. Tz nyinyi mumebarikiwa kuimba nyimbo za ibaada zenye upako.
Tha instrumentalist are drunk with tha Holy Spirit❤
Tanzania is blessed ... Mungu endelea kutumia watu wako 🇹🇿🇹🇿
🥰🤗
Fantastic 🤗 🤗 🥰🥰🍒🍒🍒🍓
Indeed
I’m proud of TZ
♥️♥️♥️♥️♥️
This is my favorite song and I've been searching for it for one year😭😭😭when i listen to it tears always roll down my cheeks
Gospel ya Tanzania iko level 1,000 out of 10 ...much love from 🇩🇰
Mungu awainue ili muweze kumtumikia
Hawa wanaopiga vyombo ni hatari
What a lovely little singer 💞🤩❤ but I just like it's not bad 😭😭😭😭😭 its made me feel like I love this tooooooo much more 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢❤🎉.
Mee toooooo 😢❤🎉 now how it fills.
😢😢😢
Nyimbo inautukufu miziki Imelia aisee Hakika utukufu kwa Mungu aliwawezeshaa kufanyaa hii kitu❤❤
Amen
Hiyo imekaa vzr sana yaani inaimbwa kwa roho "bwana pokea sifa za mioyo yetu"
Wow...
Kila Kitu Hapa Ni World Class Standard. Huchoki Kungalia, Kusikiliza Na Kupata Burudani Ya Aina Huku Ukitafakari Ukuu Wa Mungu. Production Team Imetupaisha Kwa Viwango Vingine. Ni Sehemu Chache Unaweza Kupata Live Performance Ya Aina Hii. BARIKIWENI Sana. Camera Setting, Lighting Ana Above All Sound I Love Every Bit. Huu Ndio Uzuri Wa Kuwekeza Na Kugawana Vipaji Kwenye Team. Heshima Kwenu Nyote Hii Kwangu Imelipa
🎉 mkesha wa mwakampya itabidi uwe nivwa mwendo huu 2024-2025😊
JAMANI WAPIGA VYOMBO!!!!!! MBARIKIWE
uyumung aki yupooooooooo
im from malaysia...eventhough i dont understand the language...but i can feel my soul and spirit dancing in joy!!!!
Amen 🙏🏻
wow
Bwana pokea sifa za moyo wangu
Siishiwi hamu yakusikiliza. Na kinanda kimekolea haswa. Hakika Bwana pokea sifa. Love yu Jesus❤
God bless you ❤️🙏💖🙏❤️🙏💖🙏❤️🙏👼😇❣️🎉 and happy new year 🎊🎉❤.!
Mziki imeenda shule..i love the way they play instruments..vocals on top Mungu awainue kabizaa nawapenda 🇰🇪🇰🇪🇰🇪
WOW!Nimeupenda sana wimbo huu na wacheza viombo MUNGU AWABARIKI C KWA SALSA YA YESU IYOOO.NIMEBARIKIWA MNOOO.MUNGU AWAINUE ZAIDI
Me nawakubali sana jana kwamkapa mkutanoni mlitubaliki sana❤
Utukufu kwa Mungu
The Drummer🔥🔥🔥
It's my first time, and I had to replay th,e
. song twice
GHOTHAA GHOTHAAAA TENAAA Am from kenyaa but the song si so sweet
Umetutendea ukarimu mwingii
Umetukumbuka wakati wa dhikii
Bwana ni wewe tuu wastahili
🥺🥺🥺how glorious is this??? Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿 is blessed!! Glory to God
haleluyaaaaa
❤tende wot jina lakusta,hili,kuinuli
This song is worthy to have 10 Million PLUS viewers, As Christians, we have to support our gospel Artists. I ♥♥♥ This song
Amen
I'll sponsor this song the whole of Dec insta na FB 🔥🔥🔥 we all need to realize and appreciate what Gods been doing for us wether we asked or not but he still did us good why not praise him and remind others to ... We doing the on Dec 2022 ❤️
Wow. Glory to our good God. Can you please contact us via whatsapp number +255 766 777 288
Thank you and God bless you!
I like your song but the most is drummer and the base guitar 😃😃😃😃😃😃🖐
I love Neema gospel,Ninabarikiwa sana na nyimbo zenu,Mungu awatunze
What an awesome song. God bless you Neema gospel choir ...
Amen
Wow i like this choir and i vote them as the best choir in East Africa iam in Nairobi Kenya
Nawapendaa xana Mungu awalindee🙏🙏🙏
Kazi yenu njema mungu awakumbuke mimebwrikiwa kupitia wimbo huuu mbarikiweee Sanaa tena sanaaa
Amen... Ahsante sana.. na Ubarikiwe pia
Amina na amini uta barikiwa na hui wimbo pia 👉🏻ruclips.net/video/9uJYAtHEXR8/видео.html 🙏🙏🙏
Bwana pokea sifa za mioyo yetuuu bwana tunamshukuru