BOAZ DANKEN - UONGEZEKE YESU ( Official Video) John

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 сен 2021
  • #BoazDanken #GodisReal
    Uongezeke YESU means Increase oh JESUS is a Worship song which will lead you to Pray for Humbleness please May you Join to worship. I believe through this song your intimacy with Your GOD will increase.
    MUNGU awabaliki Sana Watu wote waliosimama kwa Sadaka zao kufanikisha Maandalizi ya Ibada Hii Kila sehemu Mungu akiwahudumia watu kupitia Wimbo Huu Baraka nyingi ziwafikie wote waliomuandalia Bwana kwa Sadaka ya Mda, Fedha na Maombi.
    Karibu Sana Kumtukuza MUNGU Pamoja nasi
    Music Directed:Apostle Sephone Sospeter
    Vocal Arranged by Sir Jimmy Kimtuo
    First Keys: Sephone Sospeter
    Auxillary: Augustino Kindole
    Third Keys: John Ntete
    Forth Keys: Samweli Sospeter
    Drums: Baraka Ngowi
    Percussion: Pastor David Sulwimba
    Bass Guitar: Emmanuel Mtika
    Sollo Guitar: Hagai
    Second Sollo Guitar: Erick Chitungo
    Saxophonist: Dickson Maige
    Back Vacals From BMCC PRAISE TEAM
    Translated to English by Mr&Mrs Pst.James Kalekwa
    *Audio Captured and Mastered: Choose Record #SamMboya
    *Video Captured and Mastered by Sylvester #Syber
    Lights By Nyakolo Stage and Lighting Com. #DavidSengati
    Sound By #SoundSolution Moses Edard
    #BoazDanken .
    more of Boaz Danken
    • Boaz Danken at Rhema F...
    • SIFA ZIVUME -Boaz Dank...
    • Boaz Danken-JEHOVAH MW...
    • SIJAONA MWINGINE- Boaz...
    • Boaz Danken-JEHOVAH MW...
    • Boaz Danken-UJULIKANE ...
    • MUNGU KAMA WEWE HAYUPO...
    • JE WEWE MUNGU USHINDWE...
    • YESU NI BWANA- Boaz Da...
    • Boaz Danken-Sifa Kwa M...
    • Boaz Danken_ WAKUFANANA
    • MFANYIENI BWANA SHANGW...
    • Boaz Danken_ROHO MTAKA...
    • BWANA WEWE NI MWEMA- B...
    • YOUR WILL BE DONE- Boa...
    • JEMEDARI WA VITA- Boaz...
    • BOAZ DANKEN-MWANGALIE ...
    • Boaz Danken - Wanadamu...
    • UNAWEZA MFINYANZI Boaz...
    • Boaz & Pastor Iman Dan...
    • Amen Amen -Boaz Danken...
    • BOAZ DANKEN - UONGEZEK...
  • ВидеоклипыВидеоклипы

Комментарии • 2,2 тыс.

  • @carolinewangari4940
    @carolinewangari4940 4 месяца назад +149

    I used to worship to this song in 2022 early morning, as i peeled potatoes with no prospects of a better job, come 2023 God gave me a visa, i’m now working abroad, All Glory to God. Mimi nipungue , wewe uongezeke

  • @paschalkiniofficial123
    @paschalkiniofficial123 2 года назад +1384

    Kama umekuwa wa kwanza kumwambia YESU KRISTO aongezeke pita na like Moja tu pamoja na kutazama pia wimbo huu MUNGU atasema nawe jambo hapo

  • @irenekubai8975
    @irenekubai8975 9 месяцев назад +155

    My 7yrs boy taught me this worship 😢😢😢😢 ,he could sing and cry 😢😭 mimi ni pungue wewe uongezeke ... bless my son ooh lord

    • @edrinahalukwe3049
      @edrinahalukwe3049 7 месяцев назад +2

      Awesome 👍

    • @abrahama9803
      @abrahama9803 7 месяцев назад +2

      Glory to God

    • @maureenjagona8138
      @maureenjagona8138 3 месяца назад +2

      Your boy is filled with the Holy Spirit

    • @rachelmwakajila145
      @rachelmwakajila145 3 месяца назад +1

      OOOhhh cant hold my tears God bless your SON

    • @irenekubai8975
      @irenekubai8975 3 месяца назад +1

      And since then I love the song we worship together in the morning morning before he goes to school. May the Lord bless you as he bless me and my son

  • @NuruBeth-hu1ym
    @NuruBeth-hu1ym Месяц назад +12

    Ongezeka kweny afya yangu ongezeka kweny maisha yangu ongezeka kweny kaz yangu ongezek kweny uzao wangu ongezeka kwenye familia yangu ongezeka hata kwa tanzania nzima bwana

  • @worshiplibrary7157
    @worshiplibrary7157 Год назад +550

    I'm a muslim, I'm always amazed by how my christian friends worshipping God by singing this song. Now literally crying while watching this video. It's so pure and heartwarming. May peace be upon you❤..

    • @antonykomba6631
      @antonykomba6631 Год назад +27

      It's not through your self conscious that prompted you to comment in that fashion. But it's the holy spirit that guided you to do so, and quite frankly I've a Muslim friend and co worker and God whom you call Allah used her in multiple ways so that I can learn to pray three times a day and even more times if possible, and it's possible. May God bless you

    • @carolinemugambi4923
      @carolinemugambi4923 Год назад +24

      Hallelujah,do not let religion blind you please follow the voice of the most high God,we are living in the end of days,where it's not about any religion but the true worshippers who will accept Jesus the Messiah,the Bible says Rom 10:13 whoever calls on the name of the lord shall be saved!

    • @rozynjiru969
      @rozynjiru969 Год назад +7

      God loves you

    • @sylviaisutsa9732
      @sylviaisutsa9732 Год назад +8

      @worship library,it's all about God! He is calling on you to accept Him as your Saviour and friend! If you believe with your HEART and confess with your MOUTH that Jesus CHRIST is Lord,you are saved!

    • @estherkyalo4259
      @estherkyalo4259 Год назад +4

      Amen

  • @sarimmjengwa7461
    @sarimmjengwa7461 10 месяцев назад +79

    Ongezeka kwenye maisha yangu yesu, ongezeka kwenye Tumbo langu la uzazi, Ongezeka kwenye biashara zangu, ongezeka kwenye kazi zangu, Ongezeka kwenye ndoa yangu yesu, Ongezeka kwenye kila hitaji la moyo wangu Mungu wangu 😭

  • @RobinsonMukanzi
    @RobinsonMukanzi 3 месяца назад +7

    Ondoa kiburi ndani yangu

  • @user-nj5hy5jo1p
    @user-nj5hy5jo1p 9 месяцев назад +4

    Kweli Mimi nipugue Yesu aogezeke na kuinuliwa juu sana

  • @mercychepkemoi-do2cy
    @mercychepkemoi-do2cy 3 месяца назад +5

    God take the lead,, Ongezeka yesu kwa maisha yangu ❤️🙏😓

  • @Aisha-cn8vi
    @Aisha-cn8vi Год назад +6

    Mimi nipungue bwana wewe huongezeke 🙏 bwana ninyenyekeshe bwana uongezeke kila eneo la maisha yangu yesu uongezeke nyumbani kwangu ondoa kiburi ndani yangu eeeh mungu wangu mimi nipungue wewe uinuliwe bwana 🙏

  • @marthanjeri9472
    @marthanjeri9472 9 месяцев назад +2

    🙌🙌 WEWE UONGEZEKE SANA.

  • @jemimamichael5426
    @jemimamichael5426 Год назад +5

    Mimi nipungue ,, ww uongezeke
    Uongezeke YESU

  • @Kelvinhazard
    @Kelvinhazard 3 месяца назад +6

    ongezeka kwa life yangu Mungu mm nipungue ww uinuliwe sana

  • @maryMunyithya-xh4dc
    @maryMunyithya-xh4dc 3 месяца назад +12

    Mimi na watoto wangu tupungue wewe uogezeke Yesu🙏🙏🙏uogezeke sana katika masha yetu Bwana...

  • @awardenock7173
    @awardenock7173 Год назад +6

    Mimi nipunguee ondoa kiburi ndani yangu ondoaa asira ondoa majivuno uinuriwe sana yesu🙏🙏

  • @elisha63
    @elisha63 Год назад +6

    Huu wimbo hujirudia kichwan kwang usku na mchana

  • @purposeinChrist
    @purposeinChrist 2 года назад +126

    John 3;30- "He must increase, I must decrease."

  • @MagrethLucas-zl4ls
    @MagrethLucas-zl4ls 9 месяцев назад +5

    Barikiwa mtumishi...Mimi nipungue YESU wewe uwongezeke YESU

  • @thevacwar
    @thevacwar 4 месяца назад +16

    UONGEZEKE YESU MIMI NIPUNGUE 😭😭🙌🙌ntarudi ni kushudie UKUU WAKO MUNGU

  • @eunicembatia6804
    @eunicembatia6804 2 месяца назад +6

    Mimi nipungue, yesu uongezeke sana katika ndoa yangu ongezeka katika familia yangu ongezeka katika kazi yangu, ongezeka nyumbani kwangu yesu

  • @catherinegatheru1978
    @catherinegatheru1978 4 месяца назад +4

    Hallelujah!!! Yes, Lord...may I decrease and you increase in my life.

  • @margietopiko
    @margietopiko 8 месяцев назад +3

    Aigh kila dakika nipungue yesu uongezeke kabisa Dunia yote ijue Jina lako

  • @luciamwakisambwe4039
    @luciamwakisambwe4039 Год назад +3

    Hakika Mungu aongezeke kwangu

  • @yusuphotieno9837
    @yusuphotieno9837 2 года назад +504

    What a powerful song, how many of you have been blessed by this song. Tujuane kwa Kweli.

  • @bahatisanga9053
    @bahatisanga9053 2 года назад +71

    Ondoa kiburi nipe kunyenyekea Yesu, such a blessed song🙌

  • @MICHAELODUOR-li4bi
    @MICHAELODUOR-li4bi 3 месяца назад +2

    Wacha nipungue yesu, wewe uongezeke na kuinuliwa🎉

  • @elizabethwamwea1249
    @elizabethwamwea1249 2 года назад +3

    Mimi ni Pungue wewe Uongezeke...
    Because without you Lord we are nothing

  • @winmoi2019
    @winmoi2019 2 года назад +398

    My God and My King 😭
    This two words has changed my life forever
    mimi nipungue, Wewe uongezeke Yesu
    My key word Uongezeke SANA😢😭😭 🙌How many are in repeat mode??

  • @esther9892
    @esther9892 2 года назад +146

    Si nyimbo ya kawaida, ila ni maombi, ubarikiwe saaana mutumishi wa Mungu. Ombi langu siku moja, tuonane Mbinguni !❤️

  • @user-fk2tm4to9f
    @user-fk2tm4to9f 3 месяца назад +2

    Uongezeke kwenye inchi yetu, uzima wangu, maishani mwangu❤

  • @user-ij1pn6ol2t
    @user-ij1pn6ol2t 2 месяца назад +2

    Uongezeke Yesu, mimi nipungue katika ndoa yangu na kila kitu wewe uinuliwe sana.🙏🙏🙏🙏

  • @yovinliam6323
    @yovinliam6323 Год назад +77

    I heard this song yesterday for the first ..it got me into a moment of thinking about my relationship with God and for the first time in this year am going to church..God bless you

    • @gracenaswa
      @gracenaswa 9 месяцев назад +1

      God bless you and never look back again!

  • @mtindoelias8888
    @mtindoelias8888 2 года назад +79

    Ainuliwe zaidi YESU
    Kaka Boaz Danken Mungu amekuamini na kukutambulisha.
    Ubarikiwe sana brother 🙏🙏🙏🇹🇿

  • @Deborah-ex9fv
    @Deborah-ex9fv 3 месяца назад +2

    Mungu ongezeka katika maisha yangu 😭😭😭😭😭😭😭😭🙏🙏🙏

  • @peternjuguna3475
    @peternjuguna3475 Год назад +21

    I was going thro divorce proceedings,last year#22,,
    Hii wimbo iliponya moyo wangu

  • @winifridalaswai1921
    @winifridalaswai1921 2 года назад +6

    HALELUUUUUUUUYA nitokomee kabisaaaaa 😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭YESU ONEKANA KILA MAHALI 🙏😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😪

    • @johnndimbo5897
      @johnndimbo5897 2 года назад

      To be humble is my prayer too so that Jesus will be exalted.

  • @gospotv
    @gospotv 2 года назад +9

    Barikiwa mtumishi wa Mungu

    • @kevinthomas7782
      @kevinthomas7782 2 года назад

      🙌🙌🙌🙌🙌🙌🙌🔥🔥🔥

  • @user-jn9bb7eq4g
    @user-jn9bb7eq4g 11 месяцев назад +3

    Nakiri Mungu wewe ni mkuu,nitapungua,ninyenyekee,niogope ili wewe UONGEZEKE

  • @faymso9749
    @faymso9749 Год назад +4

    Very powerful song Mimi ni pungue yesu uongezeke

  • @allanchris4771
    @allanchris4771 3 месяца назад +3

    Uongezeke Yesu katika familia yangu🙏🏽

  • @user-iz2fk5bw3z
    @user-iz2fk5bw3z 10 месяцев назад +6

    Huwa nabarikiwa sana na wimbo huu... Mungu akulinde brother Boaz.

  • @Princess_636
    @Princess_636 13 дней назад +1

    Mimi nipungue ,wewe uongezeke😭😭🙏🙏Lord please ongezeka katika nyumba yangu ,ndoa yangu,kazini pangu,kwa watoto wangu ,ongezeka kwa mapato yangu, kwa familia yangu ,kwa amani yangu,😭🙏🙏🙏

  • @user-fk2tm4to9f
    @user-fk2tm4to9f 3 месяца назад +2

    Mimi nipungue wewe uongezeke kwenye uduma yangu, familial yangu, uzao yangu, biashara yangu

  • @emanuelavaleriani8646
    @emanuelavaleriani8646 3 месяца назад +3

    Yesu nipungue wewe ongezeke katika maisha yangu.

  • @gloryvictor7013
    @gloryvictor7013 6 месяцев назад +6

    Mimi nipungue wewe Uongezeee kwenye maisha yangu yesu🙏🙏🙏🙏

  • @user-mp1ep1en5q
    @user-mp1ep1en5q 2 месяца назад +4

    Nakumbuka baba yangu wa kiroh wa dodom mch chares zakayo alikua anaupend❤❤ Kama ukiusikiliza unaongezeka kiroho kama mimi tuzidi kumwamini yey ktk maisha yetu🙏🙏🙏.

  • @AudiStephanie
    @AudiStephanie Год назад +202

    After Rhema Feast I kept singing this song. It's so powerful!

  • @faithmbolu2891
    @faithmbolu2891 11 месяцев назад +38

    7/7/23 first time hearing this song.
    God may you increase as I decrease. Uongezeke sana yesu.
    God take the lead.

  • @annetsaleh3000
    @annetsaleh3000 Год назад +4

    Uongezeke kwa maisha yangu mimi nipungue Yesu maana wewe ni kila kitu kwa Maisha yangu

  • @HARIETEAKINYI-dw5if
    @HARIETEAKINYI-dw5if 3 месяца назад +2

    Uongezeke maishani mwangu ,isiwe ni mimi naonekana ila weee tu Yesu.

  • @amonkaranja2695
    @amonkaranja2695 Год назад +4

    😭🙌2023 sisi tupungue Yesu uongezeke sana, mapenzi yako yatimie duniani kama vile mbinguni, amina 🙏🙏

  • @actsmale3404
    @actsmale3404 2 года назад +73

    This song made me get born again

  • @dayanapaul8678
    @dayanapaul8678 2 года назад +5

    Amen 🙏🙏🙏 mungu akubariki Sana mtumishi wangu

  • @FAVOR_HIM
    @FAVOR_HIM Месяц назад +2

    2024 I don't understand the language but I picked YESU🇺🇬🇺🇬🙌🙌🙌🧎🧎

  • @geraldndibinze6837
    @geraldndibinze6837 14 дней назад +1

    Hisia zile zile kila ninaposikia huu wimbo nyakati tofauti tofauti na mahali tofauti tofauti, hakika mm nipungue wewe uinuliwe. Barikiwa nyote mnao muamini bwana yesu 🙏

  • @waceranjoki6217
    @waceranjoki6217 11 месяцев назад +7


    Mimi ni pungue, wewe uongozeke
    Mimi ni pungue, wewe uongozeke
    Uongozeke Yesu, uongozeke sana
    Mimi ni pungue, wewe uongozeke
    Uongozeke Yesu, uongozeke sana
    Mimi ni pungue, wewe uongozeke
    Mimi ni pungue, wewe uongozeke
    Uongozeke Yesu, uongozeke sana
    Mimi ni pungue, wewe uongozeke
    Uongozeke Yesu, uongozeke sana
    Mimi nipungue, wewe uongezeke
    Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
    Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
    Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana
    Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
    Uinuliwe Yesu, uinuliwe sana
    Mimi ni pungue, wewe uinuliwe
    Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
    Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
    Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
    Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
    Uabudiwe Yesu, uabudiwe sana
    Mimi ni pungue, wewe uabudiwe
    Uongozeke Yesu, uongozeke sana
    Mimi ni pungue, wewe uongozeke
    Uongozeke Yesu, uongozeke sana
    Mimi ni pungue, wewe uongozeke

  • @user-qr2hk8sb6u
    @user-qr2hk8sb6u Месяц назад +3

    Asante Mungu wangu kwa zawadi ya uhai uliyonipatia mpaka sasa hivi, nakushuru kwa mambo makubwa na mengi uliyonitendea katika maisha yangu. Nakuja mbele zako eee Mungu wangu nakuomba mimi nipungue katika kazi yangu, afya yangu na maisha yangu kwa ujumla wewe uongezekee eee Mungu wangu mwaka huu 2024 ukapate kuwa mwaka wa shuhuda nije niwashuhudie watu wengi katika page hii jinsi ulivyoongezeka katika maisha yangu 🥰🥳🙏🙌

  • @irenejames3459
    @irenejames3459 Год назад +35

    Uongezeke yesu mwaka huu 2023 katika maisha yangu 🙌 nipungue Mimi wewe uongezeke yesu

  • @preciousm2449
    @preciousm2449 4 месяца назад +2

    I woke up with this song in mind as part of my prayer during my fast and It's my desire that he, Ebenezer, indeed increases in my life as everything else submits to his authority.

  • @user-hc3fw1dt7i
    @user-hc3fw1dt7i 4 месяца назад +1

    Mimi nipungue wewe Uongezeke, nani amekuja Tena 2024❤❤

  • @kenkayange
    @kenkayange 2 года назад +120

    This song will pick early next year and no church service will be complete without singing this song. Give it a test of time Man of God. You will remember my prophesy today.

    • @paulinemwangi8305
      @paulinemwangi8305 2 года назад +6

      I can attest to that, just heard in our cross over service, great worship song Glory to Jesus

    • @maryk6797
      @maryk6797 2 года назад +1

      Am here and I had this song on 1st Jan and since then I've been hearing the song everywhere

    • @kenkayange
      @kenkayange 2 года назад

      @@maryk6797 amen to this

    • @kenkayange
      @kenkayange 2 года назад

      @@paulinemwangi8305 the word of God is always accurate

    • @EDEL121
      @EDEL121 2 года назад

      You are right🥰@parklands baptist we already sang this year

  • @mercynaserian2742
    @mercynaserian2742 Год назад +5

    In my Life Lord
    Mimi nipungue -- Wewe Unongezeke Yesu
    Mimi nipungue --Wewe Unongezeke Yesu
    Mimi nipungue --Wewe Unongezeke Yesu
    Mimi nipungue --Wewe Unongezeke Yesu
    Oooooh this my National Anthem back in Kenya 🇰🇪
    More Grace Man of God and Mercies of God as you bless many people soul's 🙏

  • @PTNTVNEWS
    @PTNTVNEWS 2 года назад +2

    Naomba mimi nipungue Eh Mungu wangu ili Wewe uongezeke sana. Shukrani Kwa wimbo huu mtumishi Mungu Na kunemeshee zaidi katika huduma.

  • @clemencewakesho1312
    @clemencewakesho1312 Год назад +1

    Uongezeke Yesu,nipingue...ondoa kiburi na kujiinua ndani yangu Bwana, nipingue uongezeke kwangu Yesu.

  • @esthernekesa7301
    @esthernekesa7301 2 года назад +3

    Powerful

  • @faustmboi
    @faustmboi 2 года назад +269

    Truly God is real.
    I encountered The holy Ghost through this very worship song. Since then it has been the ringtone in my mind. I just burst and shout "Uongezeke yesu". Somebody shout AMEN!

  • @Boniphacekiula
    @Boniphacekiula 7 месяцев назад +4

    Barikiwa mpaka ushangae 🎚

  • @michaelamimo2685
    @michaelamimo2685 2 года назад +6

    Mimi nipungue,wewe uongezeke yeah❤.nipe roho ya kunyenyekea mungu Wangu😢😭😭😭😭

  • @annointamani3285
    @annointamani3285 2 года назад +122

    Hallelujah, Mimi nipungue wewe Yesu uongezeke,
    Wimbo huu ufike kwa wote walio kusudiwa dunia nzima ili kuimarisha mwili wa kristo.

    • @joycekashaija9232
      @joycekashaija9232 Год назад +1

      uongezeke Yesu kwenye mioyo ya watu,kisha sisi.tupungue.maisha hayana maana bila wewe.Thank you my father.

    • @catherinekitunga512
      @catherinekitunga512 Год назад

      Mimi nipugue yesu uongezeke

  • @terryannewambua8588
    @terryannewambua8588 2 года назад +6

    Prayer of humility,nami nipungue milele naye Kristo aongezeke Milele AMEN

  • @samuelkamau4482
    @samuelkamau4482 9 месяцев назад +2

    Mimi nipungue Yesu aongezeke sana

  • @user-cl1ov3ng9w
    @user-cl1ov3ng9w 9 месяцев назад +3

    Mimi nipunguwe wewe uongezeke it's my special prayer request 🙏 I believe my manifestations will come to pass🙏.

  • @marionchao
    @marionchao 9 месяцев назад +6

    Kweli Mimi nipugue Yesu uongezeke na kuinuliwa Juu sana🙏🙏nipee Neema yakunyenyekea

  • @BrotherHoodMentality
    @BrotherHoodMentality 2 года назад +6

    NIPUNGUE KABISAAAAA BWANA, WEWE UONGEZEKEE MAISHANI MWANGU 🙌🏾🙌🏾💯❤️❤️

  • @lornaolonde3688
    @lornaolonde3688 3 месяца назад +13

    Mungu anifunze kupungua ili Yesu aongezeke katika familia yangu, katika kazi yangu, katika watoto wangu na katika yote ninayoyafanya.
    Hallelujah

  • @user-lc3km8ry6m
    @user-lc3km8ry6m Год назад +6

    Uongezeke kwenye maisha yangu ewe Yesu

  • @neemagerald3170
    @neemagerald3170 2 года назад +83

    Mungu kanifundisha Jambo kupitia wimbo huu ... glory to God....Madhaifu yangu yapungue yeye aongezeke ..yeye nimkuu kuliko changamoto zangu, mawazo yangu yapungue ili uhalisia wake uongezeke ndani yangu nimeuelewa kutoka mbali..... mmmh

  • @gomarakimwanzaro9903
    @gomarakimwanzaro9903 9 месяцев назад +6

    Ongezeka YESU kwa maisha yangu siwezi bila wewe napungua wewe uongezeke

  • @MICHAELODUOR-li4bi
    @MICHAELODUOR-li4bi 3 месяца назад +2

    May you Lord have mercy and goodness in all my work, learnings and my life situations😢

  • @hellenmollel6679
    @hellenmollel6679 Год назад +5

    Tuliopita Tena kuutizama Kwa mwaka 2023 njoo tumuambie Yesu aongezeke zaidi na zaidi

  • @johnoduor8816
    @johnoduor8816 2 года назад +191

    “Mimi nipungue wewe uongezeke.” Scripture songs hit differently. Can’t get enough of this song.

  • @user-jm3df8ry5c
    @user-jm3df8ry5c 10 месяцев назад +4

    Ongezeka Yesu katika maisha yangu yote🙌🙌

  • @josephkimaro9300
    @josephkimaro9300 Год назад +3

    Mimi nipungue wewe uongezeke 2023 tell GOD to increase you to decrease.....👏

  • @OfficialMarjorieDSI
    @OfficialMarjorieDSI Год назад +18

    Such a powerful worship song...
    A prayer from the depths of my heart... Mimi nipungue, Wewe Uongezeke Yesu in my life now and forevermore I surrender 🙏... Wewe uonekane katika maisha yangu, mimi nipungue 🙏🙏🙏

  • @loighamasuru6504
    @loighamasuru6504 2 года назад +15

    I heard it on Rauka it's a blessing song may I decrease so that u may Increase..may I be of less important and u more more important...it's caming from the book of John :3;30 may God bless you all

  • @janethallan5694
    @janethallan5694 2 года назад +15

    Waabuduo halisi🙌🙌🙌🙌🙌 one of my favorite worshipper what a worshipping song....Keep on soaring

  • @Don_TitoJr
    @Don_TitoJr 8 месяцев назад +20

    R.I.P to my friend and brother-in-Christ Daniel. This was his favorite song. Till we meet again my friend, God be with you in the next Life. ❤

  • @listerkemuntomiroro6934
    @listerkemuntomiroro6934 Год назад +2

    2023 bado napungua ili uongeze...I decrease Lord that you may increase

  • @jacklynekunikina1540
    @jacklynekunikina1540 2 года назад +194

    The servant of God ministered this song in our church in Cathedral of Praise ministries in Nairobi Kenya,kanisa nzima tukalipuka maombi.It was an amazing encounter with Jesus.Since then the song keeps ringing in my heart,be blessed Man of God.

    • @boazdanken
      @boazdanken  2 года назад +18

      Glory and Honor to Jesus Asante

    • @miriamosiomi4110
      @miriamosiomi4110 2 года назад +5

      I love the song God bless you

    • @purityjossy9394
      @purityjossy9394 2 года назад +3

      Ooh my God i have goosebumps all over my body and tears are flowing from my eyes freely as i listen to this song😭😭😭Bwana yesu ongezeka sana kwa maisha yangu mimi nipungue

    • @maryanneawino2124
      @maryanneawino2124 2 года назад +3

      Copmi was my church some years back

    • @mesemere663
      @mesemere663 2 года назад +1

      Baba mungu, mimi nipunguwe, Wewe uongezeke yesu. Hallelujah I worship you Jesus Christ

  • @conjeptandaskoy376
    @conjeptandaskoy376 Год назад +4

    This is a nice song god bless you

  • @catherinemenganyi2645
    @catherinemenganyi2645 7 месяцев назад +3

    Hili ni ombi Langu

  • @jenipheretenyi7922
    @jenipheretenyi7922 Год назад +11

    I am listening to this waiting for surgery and just praying to God to come through for me and minister to my surgical team.

  • @florencenafula7111
    @florencenafula7111 2 года назад +4

    Mungu akubariki mtumishi, nipungue wewe uongeseke Sana God I pray for this grace upon my life

  • @phoebe1321
    @phoebe1321 2 года назад +97

    I thought I had so many problems in life until I received this song through a worship experience. The words came so real..so alive, it was life changing experience and here I am Lord..mimi nipungue..wewe uongezeke Yesu..Ongezeka sana..
    Mimi nipotee..wewe uonekane hallelujah.. my life will never be the same again.

    • @gwantwaassay7017
      @gwantwaassay7017 2 года назад +1

      Me took just can’t stop listening to it..Excatly what you say

    • @naomiwayua5622
      @naomiwayua5622 Год назад

      Natamani uongezeke Yesu, uongezeke sana katika maisha yangu, mimi nipungue, this year 2023 I need to be successful in life please help me

    • @MariahPatience-bb1ms
      @MariahPatience-bb1ms Год назад

      Indeed 🙏 amen hallelujah in Jesus name 🙏😭🙌

  • @abrahama9803
    @abrahama9803 7 месяцев назад +1

    This song blessed me today 26th Nov 2023. God bless you sir. Kindly add the lyrics in the description section to help us sing along better

  • @salomerichard4542
    @salomerichard4542 Год назад +7

    Some songs are heavenly revelation😫🥰

  • @caroline_ngatia
    @caroline_ngatia 2 года назад +37

    My sister led me here! What a spirit-filled tune. In the last days, I will pour out my spirit. Let us worship the King of kings in spirit and in truth🙏

  • @mosesblessing614
    @mosesblessing614 2 года назад +8

    In Tanzania gospel is really , no mixing 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @misskarun2548
    @misskarun2548 11 месяцев назад +4

    saw stories za WaKavinye jana and❤❤

  • @Umwamikazi_nelle23_-
    @Umwamikazi_nelle23_- Год назад +5

    Kila mara mama yangu huiimba huu wimbo na nlikuwa sjawahi kuelewa sala hii kubwa aisemayo. Ila as I grow up I’m learning every time to grow closer to Christ I need to let Him to let Him to be the lead. Mimi nipungue , Yeye aongozeke🙌🏿