Kupitia hizi worship songs, Mungu awatangulie kwa mwezi huu wa november , Mungu awatendea mema , kila mtu apate jibu la maombi yake in might name of Jesus Christ amen
rudisha macho nyuma utaona mengi Mungu amekufanyia mwaka huu. na yale hajatimia Mungu yeye yajuwa sababu. Mungu anakuwazia mema kila wakati. endelea kumuamini ninakuhakikishia kwa mda wake atatenda na hachelewi
Thank you for this powerful worship Truly if you need the presence of God listen to this playlist kneeling down in his presence ukiamrisha vinakamilika
December here we're by the grace of God, you'll all end this year in the greatest blessings of your life. Thank you Ebenezer for this year ,we pray for 2025 to be more graced father.
Tends Jambo jipya kwa huduma yangu.Kutana na mahitaji ya watu wako.Kumbuka nchi yetu tumekataana na uambudu wa miungu mingine,sanamu a machetani.Singira nchi yetu na damu ya Yesu.
Twakupa heshima na sifa zote ewe mungu umetukuka....i declare craigs health may it be restored in Jesus name....one person with all kind of deadly disease kidney disease heart failure, hepatitis c,goiter,pressure, diabetes accident and broke his whole left side but still alive God i believe you have a purpose with him in this life may healing 😢be his portion in Jesus name satan your a liar ..
Kati ya worshipping channel zinazofanya vizuri sana you guys Mungu abariki kazi za mikono yetu......na Mungu wa mbinguni akakutane na haja za mioyo yetu kila mmoja kwa uhitaji wake kwa jina la Yesu. Amen!!
Kupitia hizi worship songs, Mungu awatangulie kwa mwezi huu wa november , Mungu awatendea mema , kila mtu apate jibu la maombi yake in might name of Jesus Christ amen
Amen 🙏 nawe pia
Amen
Amen
Amen
Amen
Kwa wale tunaona mwaka unaenda kuisha na mambo tuliomba January bado hayajatimia.Gather here tumwambia Mungu bado anastahili
Amen
rudisha macho nyuma utaona mengi Mungu amekufanyia mwaka huu. na yale hajatimia Mungu yeye yajuwa sababu. Mungu anakuwazia mema kila wakati. endelea kumuamini ninakuhakikishia kwa mda wake atatenda na hachelewi
Sure Amen 🙏🙏🙏@@Gospeleverywhere
Thank you for this powerful worship Truly if you need the presence of God listen to this playlist kneeling down in his presence ukiamrisha vinakamilika
December here we're by the grace of God, you'll all end this year in the greatest blessings of your life. Thank you Ebenezer for this year ,we pray for 2025 to be more graced father.
Thank you, Lord there is no one to compare you. Amen. Amen.
Worship songs healed me from depression i love them😢❤...
Through this worship songs I humbly thank God for the year and grant me the blessings of the coming year next month indeed God is mighty
Let everything that has breath praise the LORD.
As we wait for what God has for us come new year of 2025 let's continue praising Him .
Mungu naomba ukutane na mahitaji yangu huu mwezi hadi mwisho wa huu mwaka jehova pokea sifa na utukufu kutoka mwoyoni mwangu jehova jire
Kupitia kusikia hizi nyimbo za maabuudu nashukuru Mungu amejibu maombi yangu vile nimemuomba❤🙏
haleluiah haleluiah... Mungu baba nimeinua mikono yangu nakushukuru. vile ulijibu huyu naomba ujibu na wengine Baba. nasema ni asante
@@GospeleverywhereAmen ❤❤❤Mungu naomba unifungulie kazi ya parmernent ❤❤❤kupitia kuskia hii worship
God bless this ministry 🙏 Amen Amen 🙏
Kupitia sifa hizi kwa Mungu wetu tunatoka kwenye vifungo vya madeni sugu. Amen
I am really enjoying these songs and getting blessed. God bless you.
Asante mungu mkuu akuna mwingine kama wewe❤
Tends Jambo jipya kwa huduma yangu.Kutana na mahitaji ya watu wako.Kumbuka nchi yetu tumekataana na uambudu wa miungu mingine,sanamu a machetani.Singira nchi yetu na damu ya Yesu.
unaweza yote Baba
Listening at 3am.praise God
Hallelujah hallelujah 🙌🙌mungu tenda miezi na nusu ulio baki
Indeed it's a nice worship ,,,Asante mungu Kwa kutondolea aibu 😢😢 baba utakapobariki familiar yangu bariki familiar zingine pia
Am so blessed, I do play these songs back to back
Am blessed by these worship songs
Through this worship songs, mungu naomba unionekanie kutana na maitaji yangu masaaa haya eeeeh mbwana
amen Mungu ajibu maaombi yako
Mbarikiwe mpaka mshangae
Blessed be your name Jesus Christ we worship you Jehovah blessed be your name forever and ever
Amina
Asante kwa Mungu kwa nyimbo zamaabudu. Mungu awabariki na awazidishiye vipaji vyakumutumikia
Amen
Getting blessed from USA 🇺🇸
@@mercymacharia3711 Amen
Thanks God for the blessings you have given to me 🙏🙏
Nashukuru kwa izi nyimbo za maabudu zinawesaka kunifariji mweyezi Mungu awazidisie vipaji na karma 🙏❤️
All the glory and honour belong to
you mighty God 🙏🙏🙏
You are worthy of all the praises.take all the glory my king!
Here already
May God bless you
🎉❤
Amen baba bariki tumbo langu,ufunguwe tumbo la uzazi,na ubariki mume wangu,jamaa yangu naya mume wangu🙏
So shall it be Amen the blood of JESUS HAS POWER TO OPEN YOUR WOMB
Eee mungu sikia maombi yangu katika mwisho wa mwaka 🙌🙌🙌🙏
Twakupa heshima na sifa zote ewe mungu umetukuka....i declare craigs health may it be restored in Jesus name....one person with all kind of deadly disease kidney disease heart failure, hepatitis c,goiter,pressure, diabetes accident and broke his whole left side but still alive God i believe you have a purpose with him in this life may healing 😢be his portion in Jesus name satan your a liar ..
Hau linganishwi na chochote bwana....
Nimebarikiwa
Mungu akubari sana kwa nyimbo hizi baba Mungu akubariki sana asante kwa nyimbo ina nibariki sana
Amen. Mungu akubariki pia wewe
Ahsante Mungu wangu kwa Jina la Mwanao Yesu Kristo,, Umenitoa mbali Mungu wangu,, Ahsante zaidi
Haulinganishwi na chochote wewe ni mungu jana leo na hata milele
Thank you lord , hakuna mungu kama wewe.am blessed 🙏🙏🙏🙏
Barikiwa sana
Asante Mungu wangu,wewe ni mkuu sana na unastahili sifa na utukufu wote.I love you Lord for the far you have brought me,
Mweza yote aushindwi Eee mungu umetukuka eshima na sifa zote alleliua milele mungu awabariki waimbaji nasikia nawapenda ❤❤❤❤❤❤❤
Amen Mungu akubariki sana
Amen.
Wow, powerful
Blessing, Worship song
So blessed by your music. Worshipping God with you always. May God bless your ministry!
I have always seen God whenever I listen to these songs
Kenya is a worshipping Nation.Mnapendwa na Mungu.
Amen
Nimebarikiwa sana na Mungu hawabariki sana Kwa kazi nzuri mnatenda Kwa Wana na Mungu❤🙏
Amen
Am blessed beyond Measure and still reloadng
Asante mungu ukanionekanie katika mwezi huyu WA a November hadi mwisho WA mwaka ninapo sikiliza nyimbo hizi Amen
Amen, glory be to God
Power full song this morning.
Kati ya worshipping channel zinazofanya vizuri sana you guys Mungu abariki kazi za mikono yetu......na Mungu wa mbinguni akakutane na haja za mioyo yetu kila mmoja kwa uhitaji wake kwa jina la Yesu. Amen!!
Amen
Gusa maisha yangu Mungu
Wastahili Jehova. My personal en saviour you're....love you sweetheart 🙏🙏🙏
Namshuru sana Mungu kwa hiyi tenze nimebarikiwa sana na Mungu wampinguni Awabariki katika jina la yesu
Yesu asante
Nimebarikiwa mnoo na praysworship
Mbarikiwe
Mungu ni mkuu siku zote
Nakupenda sana my father,,,,pokea sifa za moyo wangu
Mungu fanya Jambo 🙏🙏 Amen
Asante yesu twakupa heshima zote na sifa
Eehh mungu nakuomba ndoa takatifu 🙏🙏🙏
Pure bliss, the whole thing is heavenly and angelic, God bless you man of God🙏
Glory be to God
Very uplifting worship, great voices,more grace
The. God is everything thanks alof.
So powerful 🙏🙏
Amen glory to God
❤
I am so blessed with these worship songs. God bless your ministry. Amen.
Wewe ni mkuu Jehovah Amen
Glory be to Yahweh Jehovah,am flowing as l listen to this worship song.Be bless.
Amen amen
Praise the Lord 🙏🙏🙏❤
Amen,ndwe mwenye upended neuroma amateur yesu
Amen 🙏🙏🙏 thanks for this beautiful powerful worship iam blessed 🙏
Asante mungu ukanifungulie mirango kupitia nyimbo hizi
am blessed through this wonderful worship song....May almighty God bless you
amen. may God bless you too
Mungu awatende mema🙏🙌
So wonderful,, am blessed 🙏
Mungu Yesu Christo asifiwe nanyi mubarikiwe
amen Glory be to God
nimebarikiwa na hii praise n worship
Mungu awabariki
❤ Amen 🙏 thank my Lord 🇷🇼
Yesu u mwema kwa maisha yangu
Powerful and blessed 😊
These worship songs are a blessing to me
nam blessed with the worship 🛐 🛐
Hallelujah 🙏🏻🙏🏻 Mungu tenda Jambo jipya😢😢😢
Amen
Wewe ni mkuu Jehovah
❤ Very power full
Ninapo sikiza hizi nyimbo moyo wangu unatulia Sana🫂
Sifa kwa Mungu
Be blessed man of God, Amen n Amen
In the spirit,,, wewe ni Mungu mkuu
Sifa na utukufu ni zako ee Mungu..
Amen and Amen 🙏🙏
Amen 🙏🙏 hua najikuta natokwa na machozi wakati nkickiza worship zako
Niguse Tena baba
Blessings upon your lovely worshiping songs, may you be lifted up to another level.
amen
AMINA
Amen 🙏, nimebarikiwa zaidi
Lovely lovely worship.
Aaameein
Hakuna mungu mwingine ni wewe tuu
Wastahili wastahili amen amen
Mungu wetu mwenye huruma sikia maombi yetu na huturumie
Mungu asikie maombi in Jesus Name