Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa napokea Kwa jina la Yesu Kristo hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤❤
Katika maombi aya mungu anikomboe katika maisha yangu piya niende viwango vingin vya juu maana nimepitia mateso menge na mapito magumu namini sasa miujiza inakuja kupitia maombi aya na mungu piya naamini ata nijibu kwa wakati mwepesi 😭😭😭🙏
Naomba msaada wa maombi kwa ajir ya familia yangu ikombolewe na maagano yote mabaya ya Giza Kaz yake iweze kuwa baraka pia uzao naomba mkono wa muumba ututendee kutupeleka sehemu sahih yenye utukufu wa mungu mwili wangu ukombolewe mtoto wangu appne ugonjwa tutengwe na kila giz kibiashara kiuchumi
Amina na Amini katika maombi aya nimefunguliwa Mungu naomba kaniondolee roho ya magonjwa ndani yangu na kwenye familia yetu na roho za kutushusha kiuchumi zikatoweke
Mchungaji MUNGU Akubariki sana naomba maombi uniombee
Mchungaji nitakutafuta uniombee kuna vitu vinanisumbua kwenye mwili nyayo na kichwa mwili mzima na pesazangu hazikai
Asanteeee mungu akubaliki mchungaji kwa maombi yako naamini napokea ushindi mkubwa katika jina la yesu mkombozi
Maombi ni dawa, napoleya kwa njiya la yesu Amina🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏♥️
Naomba maisha ya watoto wangu yabadilike
Naomba Kutendewa kumbolewa na Damu ya Yesu kristo nakataa laana mikosi kufeli katika jina la yesu kristo Amen 🙏
Najiunganisha na mathabau ya mungu naomba unifungue tumbo langu kizazi changu uzao wangu watoto wangu kirahisi katika jina la yesu cristo amen 🙏 🙌 👏
Yesu naomba unikumbuke pamoja na watoto wangu kila madhabahu yote yaliyo kinyume na maisha yetu yavunjike kwa damu ya yesu
Paster kazi mzuri sana uniombee nafamilia ya ngu
Amen kupitia maombi yko imani yangu imepanda.
Amen amen ubarikiwe Sana mumishi kwa hii huduma
Amina hakika mbele ya mungu hakuna kinacho shindikana ❤ubarikiwi mchungungaji
Nakataa ufalme wa kizaa kusimama kwa maisha yangu katika jina la yesu cristo amen 🙏
Yesu ni msaada wangu maombi haya yanangu nyingi nimepokea uponyaji
Mungu wangu simama na mmi nafamily yangu kwajina la yesu Amen
Asante Mungu uwakomboe watoto wangu na madhabahu
Amen Amen Amen Amen baba napokea ukombozi wa mungu ndani ya maisha yangu kwa jina la yesu kristo 🔥🔥🔥🙏🏻🙏🏻🙏🏻
Aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa aminaaaaa napokea Kwa jina la Yesu Kristo hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah hallelujah ❤❤❤
Amen napokea kufunguliwa kila kona kwenye maisha yangu na watoto wangu,na kuongezeka uzao wangu amen
Oooooh Yesu unaweza yote mwokonzi wetu Kristo Yesu Kristo hallelujah hallelujah
Maombi ni dawa
Mchungaji ninaomba uniombee kichwa yangu inauma Kila wakati na tumbo mara nyingine na sikia kama nimechanganyikiwa pia nasikua kizunguzungu
Maombi yako mchngajii Godwin Yana nguvu 🙏🙏🙏
Amina na Amina. Nimekombelewa kwa damu ya Yesu. Amina.
Alelluyah alelluyah blessed barikiwa sanaaaana mutumishi wa Mungu sifa na utukufu simurudiye Mungu WA Mungu
Mungu akubariki sana mchungaji. Nimekuwa nakufuatilia na napata mpenyo
ANN INGA BI Amen mm nabata maombi. Niki wa saudia. asante. Baba Ya ngu. Waroho Na shu kuru Amen 🙏🙏🏻🙏🙏🏻🇰🇪
Nashukuru mchungaji kwa maombi Yako yananisaidia
Amina ubalikiwe sana mtumishi
Nimefunguliwa kwa Jina kuu la Yesu Amen
U connect my kids to this prayers in Jesus name Amen
Naomba Mungu akaniondolee hii roho ya hofu na kuota ndoto na kusaau na ninapo soma neno na ninasaau naomba Mungu akanifunguwe na akanirejeshee ufahamu
Amen Amen baba mtumishi mungu azidi kukuweka dahima amin baba 🙏🏻🙏🏻
Maombi ni dawa
Ameen baba nimebarikiwa na maombi mungu akubariki sana unapoendelea kutufungua kutoka kwenye vifungo
Askante sana mutumishi kwa maomaombi ya ukombozi mungu anikomboe nauzao wangu na familia yangu amen
Asante sana Yesu nisaindie mwokonzi wetu nibungue Kwa jina lako Yesu Kristo wanasareti
Yesu n'a homba unikumbuke mimi na watoto wangu tukombowe
Amen Amen 🙏🙏🙏,damu ya yesu kristo tukomboe mm na familia yangu
. mungu yumwema
Ninahomba munisaidie katika maisha ya wabinti wangu wafunguriwe kwa jina rayesu ❤
Maombi ni dawa ninaombamunisaidie katika maisha yangu na watoto wangu wote na wajukuu wangu ninapitia maisha mangu sana pamoja na watoto wangu
Maombi ni dawa
Theresia naombaMaombi nidawa naomba mambi
Mchungaji mungu akubariki, nakuwa apa goma D.R. Congo.
Nadai ushindi kwenye maisha yangu amen
Asante sana mchungaji kwa maombi na Mungu azidi kukutumia
Amen mungu afungue bilivyo fugwa ndani ya nyumba yangu
Kupitia Maombi haya naomba Mungu amfungue mtoto wangu maana ibilisi anamtesa ameni.
Amen amen 🙏🙏🙏 nimefunguliwa kwa jina la yesu
Mombi ni silana kubwa kutoka Mbn guni🙏🙏🙏🙏
Mungu wangu simama na family yangu kwa jina la yesu amen 🙏
Amen na amini Nita kombolewa kwa Jina la Yesu
Nashukuru sana kwa maombi yko mtumishi wa mungu
Amen 🙏 ushindi mungu amen 🙏❤
Amen barikiwa sana mchungaji🙏🙏
Amina baba kilaana itoke kwajina layesu🎉
Mungu naomba utemberee familia yangu 1:19
Naomba utemberee familia yamgu pomoja na Nazi zangu6
Amina nimekombolea naisi Amani moyoni mwangu
Ameen Pastor, wakati wakusali nimekohoa sanaa naamin nimekombolewa.Mungu wa mbinguni azid kukubariki 🙏
Asande sana mutumishi wa Mungu barikiwa sanaaaana
Mchungaji unanibariki sana Amen
Ee mungu naomba ubadilishe maisha ya familia yangu🙏🙏🙏
Amen Amen kupitia maombi yameniweka huru na pia nimekua mwepesi na fatilia sana maombi pst mungu akubariki sana
Namuomba mungu mke wangu akapate ujauzito tukapate kizazi kilicho bola ameni
Amina mtumishi napokea ukombozi wangu kwanzia sasa
Amina napokea kukombolewa kwa jina la Yesu
Katika maombi aya mungu anikomboe katika maisha yangu piya niende viwango vingin vya juu maana nimepitia mateso menge na mapito magumu namini sasa miujiza inakuja kupitia maombi aya na mungu piya naamini ata nijibu kwa wakati mwepesi 😭😭😭🙏
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Naomba msaada wa maombi kwa ajir ya familia yangu ikombolewe na maagano yote mabaya ya Giza Kaz yake iweze kuwa baraka pia uzao naomba mkono wa muumba ututendee kutupeleka sehemu sahih yenye utukufu wa mungu mwili wangu ukombolewe mtoto wangu appne ugonjwa tutengwe na kila giz kibiashara kiuchumi
Amen pastor uparikiwe nawe pia
Nmekmblewa pamoja na familia yngu amen ubarkiwe mtumishi wa mungu.
Amina na Amini katika maombi aya nimefunguliwa Mungu naomba kaniondolee roho ya magonjwa ndani yangu na kwenye familia yetu na roho za kutushusha kiuchumi zikatoweke
Madhabahu yoyote ya nguvu za Giza kwenye maishani mwangu yavunjike kwa damu ya yesu.
Kupitia maombi haya naamini nitafunguliwa pamoja na watoto wangu amen.
Amen 🙏🙏🙏🙏 nime kombolewa Kwa jina la yesu kristo
Amina amina kupitia maombi haya familia yetu imefunguliwa
Mchungaji mimi naitwa felista nipo morogoro naomba uniombee nifungue kiuchumi
Ubarikiwe sana naomba uniombee nipone nanifunguliwe kila vifungo
Amen🙏🙏🙏 Mungu akubariki kwa kazi unayo utumikia
Asante mutumishi pasta godi naomba maombi kwenyi maisha yangu n'a kwenyi familia yangu yote
Amen naskia vitu zikotembea tembea Kwa miguu
Amen
Nafunguliwa kwa jina la Yesu
Praise be to God
NIMEFUNGULIWA SASA KATIKA JINA LA YESU KRISTO🙏🙏🙌🙌🙌DAMU YA YESU IMENIWEKA HURU
Naomba maisha ya watoto wangu wakakombolewe kwa jina la Yesu Kristo alie hai🙏🏻
Amina napokea uchumi wangu watoto wangu
Asante sana barikiwa saidi mutumishi wa Mungu
Amen Amen God bless baba
Amen and Amen more blessings 🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤
Naamin naenda kukombolewa kaika maisha yangu
Naomba mungu awakomboe watoto wangu kwenye madhabahu ya ukoo maroho ya kuridhi mungu akanipiganie
Allelua napokeye uponyaji kwajina la yesu kristo
Baba Asante Kwa maombi hakika damu ya Yesu imekata Kila mishale ya magonjwa na madhabahubzimevunjika kwangu nikumbuke
Amen Amen, nakataa ndoto mbaya nasosiota kwa Familia yangu, waja damu ya yesu iliyo mwagika ikasingire Familia ygu, I command fire in Jesus name
Nimekombolewa na familia yangu kwa damu ya yesu amina
Mungu niepushe na wabaya wote baba
Amin mtumish wa mungu 🙏🙏🙏
Amen nimepokea
Mungu ametenda
Mungu afunguwe watoto yangu
ubarikiwe mtumish
Wabariki watoto wangu mmoja apate kazi na mwingine afaulu vema mitihani yake
Nakataa magonjwa ya kufanana kwenye family magonjwa ya kurizi vifo vya kufanana fanana kwa jina la Yesu
Mungu akubariki sana
Ee Mungu nikomboe katika madhabahu zote za Giza poppet zilipowekwa na nilizoingia kwa kujua nakutokujua
Naomba ndoa katika jina la Yesu🙏
Amen 🙏🙏🙏🙏 barikiwa sana pastor
Asante sana Yesu Kwa uaminifu
Asante. Kupitiya ndamu yayesu .mungu aogeze kipawa
Amen servant of God be blessed