1. Roho ya mipaka( limitations) 2. Roho ya kuchelewesha majibu yako 3. Roho ya hasara Haggai 1:6 4. Roho ya makosa( kukosea Mara kwa Mara) 1John 4: 6 5. Roho ya kushindwa katika ukingo wa mpenyo 2Wafalme 19:3 Isaya 66:9 6. Roho ya mavumbini 1Samwel 2:8 Luke 1:80 7. Roho ya utasa Kutokufanikiwa kwa lolote #Ahsante #Mungu #PstGeorge
Bwana yesu asifiwe Baba Mungu akubariki sana kwa huduma njema najifunza mengi ....Mungu aendelee kukupa kibali huduma ikuwe zaidi na zaidi kwa jina la yesu
Asante baba, umezaliwa baba Tanzania tusaidiane bega kwa bega , kwa mawazo mapya Tanzania. Nafurahi sana, nasi tupo barabarani. Oooo mungu fungua macho. Mazuri. Just. One love.🙏❤️❤️❤️❤️
Huyu ni Mimi kabisaa hatua zote saba nimezisikiliza hakuna hata Moja iliyonikwrpa. Oooi Ee Mungu Kwa neno hili Leo navuka Roho ya mipaka,,roho yakucheleweshwa, Roho ya hasara, Roho ya makosa, Roho ya kushindwa katika ukingo, Roho ya Mavumbini, Roho ya utasa Yaani Kila kichotajwa katika Roho hizi zimenipata Dooh Yesu nisaidie niondokane na hizi Roho hata swau hii isiwe ya kushindwa njaa Bali ya kumaanisha maana nimechoshwa na yanayoendelea ndani ya Maisha yangu. Asante sana mpakwa mafuta wa Bwana alichokiweka Mungu ndani Yako kikawe Baraka ya Utoshelevu ndani ya Maisha yangu🙏
Bwana yesu asifiwe pastor umenifunza mambo mengi katika maisha yangu kweli mm naenda kanisani lakini sifanikiwa ni vilio tu na madeni kuniandama na sina kazi hadi nashindwa ata kulipa madeni mungu anisaidie usiku wa Leo nifunguliwe katika jina la yesu
Haya ndio nmekuwa nikiyapitia lkn baada ya kukuskia natangaza yamefika mwisho ,nafungua kurasa nyingine Kwa neema yake Mwenyezi Mungu ntatoa ushuhuda mpya katika jina la Yesu, Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Mchungaji unanipa amani ktk mafundisho yako. Mungu nakuomba unipe ufaham wa kuyajua mafundisho yako mchungaji, kwenye upande wa neno la Mungu na majila ya ulimwengu huu.
hakika wewe ni jemedari. mungu akupandishe viwango vikubwa baraka za mungu ziwe pamoja na ww 🤝🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏👍
Ubarikiwe mchj skujui ila nimevutiwa na mafundisho Yako Mungu akutunze
Mafunzo Yako yamenisaidia sana pastor,,,,nitume aje shukrani yangu Kwa mungu
🙏🙏🙏🙏
ninazidi kukomaa kiroho Mungu aabudiwe
Asante sana mchungaji mafundisho yako yamebadilisha maisha yangu
1. Roho ya mipaka( limitations)
2. Roho ya kuchelewesha majibu yako
3. Roho ya hasara
Haggai 1:6
4. Roho ya makosa( kukosea Mara kwa Mara)
1John 4: 6
5. Roho ya kushindwa katika ukingo wa mpenyo
2Wafalme 19:3
Isaya 66:9
6. Roho ya mavumbini
1Samwel 2:8
Luke 1:80
7. Roho ya utasa
Kutokufanikiwa kwa lolote
#Ahsante #Mungu #PstGeorge
Barikiwa
Mungu akutunze Sana. Unanifungua sanaaa..Kila somo lako linanifungua..
Barkiwa sana
Manueli
Maubiri mazuri
Ameni mtumishi binafsi nabarikiwa na neema aliyokupa mungu mungu anikutanishe nawewe
God bless you so much my Pastor,as i use to make follow up your teachings day by day, I see changes in my spiritual life. THANK YOU.
.mungu nipe kuona kila kitu ninachopia ni wewe mungu sio shetani nione ni kusudi la mungu Kwa kila ninalopitia amen
Amen Amen and amen 🙏 🙌 👏
Naomba mungu anisaidie nisifuate miujiza ila nifuate kristo maishani mwangu🙏
True well bless with your teaching pastor
Ameeeni napokea kwa jina la YESU
Amen amen mungu akubariki kwa mafundisho ..mungu azidi kukuinuwa mm toka nikufwatilie naona mungu akinipeleka viwango vingine in jesus name🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mungu akubariki sana mchungaji
Sifa na utukufu namrudishia Mungu kwa zawadi Yako mchungaji wewe ni mwalimu mzuri sana wa neno la mungu
Jina LA Mungu liandike kwa herufi kubwa tafadhali
Asante Kwa mafundisho ya Neno la Mungu nimeza kupokea mabadilko sana kiroho na kimwili Kwa mafundisho ya maombi ya usiku WA manane Mungu akubariki....
Thanks pst for the ward of God
Amen mtumishi wa Mungu nafurahia mafundisho Yako
Nakuombea sana mtumishi we MUNGU uishi miaka mingi ... uishi milele
Bwana Asifiwe wapendwa hakika tunajifunza mengi MUNGU akubariki mtumishi uendelee kuhubiri neno la uzima 🙏🙏
Hallelujah ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤wow powerful❤❤❤❤❤❤❤❤shallom shallom shallom Utukufu ni wake Mtakatifu❤❤❤❤❤ Ameeeen Amen Hallelujah
Sifa zimudiliye BWANA MUNGU WETU vraiment tumeshukuru saana kwa Neno Nzuri iyii Mungu akuzidishiye.
Mungu mwenyeenzi akubariki sana aibariki huduma hii iongezeke sana sholom mungu akutunze mno, Amen
Amina mchungaji ubarikiwe maana tunapokea mafundisho ya kutufungua tusiyoyajua amen uishi milele
Nabarikiwa sana mtumishi, MUNGU akulinde, akutunze, akuhifadhi, akupe kibali zaidi, akupe nafasi na neema ya kutumika zaidi na zaidi. Amen.
Bwana yesu asifiwe Baba Mungu akubariki sana kwa huduma njema najifunza mengi ....Mungu aendelee kukupa kibali huduma ikuwe zaidi na zaidi kwa jina la yesu
Baba MCHUNGAJI barikiwa sana kwa mafundisho mazuri
Unanibariki mnoo mtumishi wa Mungu
Amen mungu akubariki mtumishi wa mungu
MWENYEWE MUNGU akutunze kwa umri mrefu ❤
Amina mungu akubariki mtumishi wa mungu.mwalimu mzuri kwa neno la mungu
Barikiwa sana mtumishi wa mungu❤❤
The real God's word teacher!
Ninakuelewa mwalimu George hakika unatufingua ufahamu.
Mungu akubariki sana Pastor kwa mafundisho mazuri
Amina mtumishi wa mungu nimebarikiwa sana nawe mungu azidi kukuongeza hatua zaidi kwenye huduma yako
Asante sanaaa mtumishi wa Mungu akubariki sanaaaa neno nzuri sanaaa!!!!
Amen Amen Amen baba, UBARIKIWE SANA...💪🔥🔥🔥
Amen mtumishi wa Mungu, hakika ninabarikiwa na mafunzo Yako.
Asante kwa mafundisho mazuri hakika wewe ni mwalimu mzuri sana Mungu akubariki
*Ninahitaji msaada wako natamani kuzungumza na wewe*
balikiwa sana mwalimu wayesu nime jifusa mengi kupitia wewe🙏💯
Kupitia kwa haya mafundisho nimegundua kwamba Nina kazi kubwa Sana ya kufanya,,, barikiwa Sana mtumishi wa Mungu
Asante mungu kwa kunipa ufahamu... niondolee vikwanzo vyote in the jesus name
Nampenda sana maubiri yako baba wewe kwel ni mteule wa mungu mwenyez mungu aendelee kukujaza upako
May God bless His Word via your tongue...God bless you too son of God.
Nisaidie yesu mimi pekeyangu siwezi nahitaji maombi na nguvu
Amina mungu akubariki Sana kwasomo zuri unalo tufundisha
Mungu amekupa kipaji jitahidi sana kutetea waliopote 😢😢
Amen
Nimejiungamanisha na madhabahu hii na nimepata chakula chenye Afya njema, Barikiwa sana Mchungaji🙏🙏🙏
Asante baba, umezaliwa baba Tanzania tusaidiane bega kwa bega , kwa mawazo mapya Tanzania. Nafurahi sana, nasi tupo barabarani. Oooo mungu fungua macho. Mazuri. Just. One love.🙏❤️❤️❤️❤️
Naomba kujuwa kanisa liko wap
Asante pastor nakufuatilia kutoka South Africa nimefunguka sana macho ya kiroho na nimejitambua
Nashukuru kwa mafundisho ya bwana
Akina najifunza sana baba
Hongera sana Pastor nafuatilia masomo na mafundisho yako toka Geita
Ameen barikiwa sana Mutumishi waMungu hakika nimejifunza kitu kikubwa sana🙏🙏🙏
Amen baba tunabariwa ya kutosha maana hiizii roho inatusumbuaa nitaomba Mungu mpka kieleweke
Mungu tusaidie katika neno hili tukapate mabadiliko ya kiroho
Asande sana mutumishi wa Mungu Glory be to God
Hongera baba kwa ujumbe huu umenifungua barikiwa mno
Amina baba nabarikiwa sana na mafundisho yako
Mungu akutendeye mema mwalimu
Huyu ni Mimi kabisaa hatua zote saba nimezisikiliza hakuna hata Moja iliyonikwrpa. Oooi Ee Mungu Kwa neno hili Leo navuka Roho ya mipaka,,roho yakucheleweshwa, Roho ya hasara, Roho ya makosa, Roho ya kushindwa katika ukingo, Roho ya Mavumbini, Roho ya utasa
Yaani Kila kichotajwa katika Roho hizi zimenipata Dooh Yesu nisaidie niondokane na hizi Roho hata swau hii isiwe ya kushindwa njaa Bali ya kumaanisha maana nimechoshwa na yanayoendelea ndani ya Maisha yangu.
Asante sana mpakwa mafuta wa Bwana alichokiweka Mungu ndani Yako kikawe Baraka ya Utoshelevu ndani ya Maisha yangu🙏
Asante Mungu kwa kunifanya kuyasikia mafundisho haya.mungu niwezeshe kuyaishi mafundisho haya
Ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen ameeeeeen pstr nabarikiwa Sana Mimi na family yetu
Amen mungu❤
MUNGU AKUBARIKI SANA PASTOR UNAFUNDISHA KWELI KTK NENO LA MUNGU.
Najiungamanisha na madhabahu hii, na Natoka kwa jina la yesu.🙏
Nakuelewa sana,Mungu azidi kukuweka
Ubarikiwe sana sana mungu nisaidie roh o ya mipaka iniachie
❤Asante nimefunguliwa sana
Amen, Mungu nisaidie niweze kupata ufunuo
Mungu akubariki neno iyi inaninjenga zaidi
Amen🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤
na mshukuru mungu kupitia neno la kushabuliwa kiroho nimefunguliwa
Mungu akubariki sana mtumishi nabarikiwa sana
Amen amen mungu akubariki sana Kwa mafundisho yako
Asante,Ubarikiwe pastor George Mukabwa
Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu.
MUNGU hii ni yangu naomba likae ndani yangu hili ni fuke hatua ingine,majelaa nimeyapata kiroho asantii,MUCHUNGANJI.
Truly, ure ablessing to many of us.
Amen. Mungu akubariki sana pastor
Past bwana asifiwe sana mtumishi wa Mungu akubariki sana mtumishi Mimi nina furahi sana yani kama Nina sikia kiu kama kunakitu nataka kutapika
Bwana yesu asifiwe pastor umenifunza mambo mengi katika maisha yangu kweli mm naenda kanisani lakini sifanikiwa ni vilio tu na madeni kuniandama na sina kazi hadi nashindwa ata kulipa madeni mungu anisaidie usiku wa Leo nifunguliwe katika jina la yesu
Amen pastor. Mafundisho haya yananibariki sana.
Mungu akubariki sana mtumishi kwa neno
Haya ndio nmekuwa nikiyapitia lkn baada ya kukuskia natangaza yamefika mwisho ,nafungua kurasa nyingine Kwa neema yake Mwenyezi Mungu ntatoa ushuhuda mpya katika jina la Yesu,
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Shalom ahsante sana nimepata ufahamu
Thank you pastor for this message,hakika nimeipokea wakati wa sawa God bless you
Amen god bless you ukupatie nguvu tena
Mungu aendelee kukuweka paster
Pastor uko sawa kabisa.mungu akulindi
Huyu mtumishi Mungu kampa karama ya ualimu,nanifunza mambo makubwa mno yananitoa mahali na kunipeleka mahali
Mungu naomba uniinue kutoka mavumbini siku ya leo
Waiting apon God hiii for me sitasahau
A true teacher of the word....you are such a blessing pastor.
Baba nakushuru kweli we ni mwalimu wa neno la Mungu mafundisho yako lazima yatanibafirisha thank you so much dad
Yaani na barikiwa sana na mafundisho yako ubarikiwe sana
Ubarikiwe mtumishi naona kutoka mahali nilipo na kwenda hatua nyingine kupitia Neno hili mungu akubariki sana
amen barikiwa sanaaaa mtumishi wa MUNGU
Yani mchungaji neno fundisho la leo linaongelea kuhusu mm mungu akubariki sana
Natoka katika vifungo vyote katika jina la Yesu. Amen
Mungu atusaidie kupitia hili neno la Mungu litupe upenyo wa ushindi kila siku
mungu nisaidie
God bless you 🎉 and God bless me
Mchungaji unanipa amani ktk mafundisho yako. Mungu nakuomba unipe ufaham wa kuyajua mafundisho yako mchungaji, kwenye upande wa neno la Mungu na majila ya ulimwengu huu.