The Story Book : Yesu Alipotelea Wapi Miaka 18 Ambayo Maandiko Hayamuongelei?

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 янв 2025

Комментарии •

  • @martinhit400
    @martinhit400 2 года назад +1150

    Kama unaamini mungu Yupo basi nipeni like 🙏

    • @officiallcoolest_khid3223
      @officiallcoolest_khid3223 2 года назад +19

      afu utazila au

    • @alphabusara8710
      @alphabusara8710 2 года назад +11

      We likes zinakusaidia nn mzee😂😂

    • @alphabusara8710
      @alphabusara8710 2 года назад +7

      Ushamba huo bobuuu

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 2 года назад +4

      Zinakusaidia nn

    • @mastaplan
      @mastaplan 2 года назад +7

      Acha kuwapa watu zambi je unataka kuniambia hizo like zako na views ni sawa???? Acha kutupa zambi za namna hiyo....Futa hii comment hakika utaulizwa ulikuwa na maana gani KUANDIKA MANENO HAYO?

  • @sporthighlights9563
    @sporthighlights9563 2 года назад +188

    Uishi Sana brother Jamal uendelee kutupa maarifa God bless you 🙏 tujuane tunayemwombea miaka mingi brother jamar miaka mingi kwa like hapa.

    • @Metusi
      @Metusi 2 года назад +2

      Sasa like za nn..!?
      Tujuane kwann..!?

    • @sporthighlights9563
      @sporthighlights9563 2 года назад +1

      Tujuane tunayemkubal professor

    • @DavieArmsty
      @DavieArmsty 4 месяца назад

      ℌ𝔞𝔨𝔲𝔫𝔞 𝔪𝔞𝔞𝔞𝔯𝔦𝔣𝔞 𝔥𝔞𝔭𝔬 𝔦𝔳𝔶𝔬 𝔥𝔱𝔞 𝔫𝔶𝔦𝔢 𝔪𝔫𝔞𝔧𝔲𝔞 𝔪𝔴𝔦𝔰𝔥𝔬 𝔴𝔞 𝔡𝔲𝔫𝔦𝔞 𝔶𝔢𝔰𝔲 𝔫𝔡𝔦𝔢 𝔞𝔱𝔞𝔪𝔞𝔩𝔦𝔷𝔞 𝔨𝔴𝔞 𝔨𝔲𝔯𝔢𝔧𝔢𝔞 𝔨𝔴𝔞𝔨𝔢 𝔪𝔢𝔞𝔫𝔦𝔫𝔤 𝔥𝔢'𝔰 𝔞 𝔰𝔲𝔭𝔢𝔯𝔫𝔞𝔱𝔲𝔯𝔞𝔩 𝔟𝔢𝔦𝔫𝔤 𝔨𝔴𝔞𝔫𝔦 𝔥𝔞𝔡𝔦 𝔶𝔢𝔶𝔢 𝔞𝔰𝔬𝔪𝔢 𝔫𝔢𝔫𝔬 𝔞𝔲 𝔶𝔢𝔶𝔢 𝔫𝔡𝔦𝔬 𝔞𝔣𝔲𝔫𝔷𝔢 𝔥𝔢𝔢𝔢𝔢𝔢𝔯 𝔪𝔨𝔬 𝔤𝔯𝔢𝔢𝔢𝔫 😢😢😢😢

  • @tranqyiltranqyil7822
    @tranqyiltranqyil7822 Год назад +9

    Eee Mungu wangu uliye hai,E Yesu kristo ee Roho mtakatifu ikikupendeza funua neema yako anaesoma na ataesoma ushuhuda wangu akujue na akupokee,Amen

  • @sifamugwaneza8774
    @sifamugwaneza8774 2 года назад +78

    Amen Amen Amen nina imani kua Mungu yupo nakilasiku namuona kupitia matendo na makuu yake 🙏🙏kama unaamini kama mimi like hap jmn

  • @thevoiceofdeliverance6061
    @thevoiceofdeliverance6061 2 года назад +27

    Yesu alizaliwa kwa uweza wa Roho mtakatifu aliongozwa na Roho mtakatifu alifundishwa kila kitu na Roho mtakatifu na mwisho wa yote Yeye Ni Mungu ambae alijuwa MAMBO yote ndiyo maana katika umri mdogo miaka kumi na miwili aliwashangaza viongozi wa Dini waandishi na wanazuoni kwa akiri kubwa alikyokuwa nayo.

    • @kilalasalu361
      @kilalasalu361 2 года назад +3

      Nadhani bado upo gizani

    • @msangiramadhan1911
      @msangiramadhan1911 2 года назад +2

      Kwaiyo mungu alikuwa anafundishwa

    • @mastaplan
      @mastaplan 2 года назад +2

      Hiyo miaka mingine alikuwa wapi? Ila Issa ni mtu poa sana

    • @naahnicky4682
      @naahnicky4682 2 года назад +2

      @@kilalasalu361 ww ndo upo gizan

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 Год назад +1

      @@kilalasalu361 wewe na Jamal wenu ndo mpo gizani

  • @eddy_dejongeddie1431
    @eddy_dejongeddie1431 2 года назад +136

    Kama unaamini Mungu yupo nipe like na weka neno Ameni🙏🙏

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 2 года назад +101

    Hata ikiwa ni ukweli Yesu aliwahi kusafiri nchi hizo ila sio kwa ajili ya kutafuta elimu sababu tayari alikuwa mwenye upeo wa juu aliojaaliwa na Mungu hata alipokuwa mchanga alipomtetea Mama yake kwenye shutma za uzinzi...Mungu ndiye aliye mkhiari na kumpa elimu hiyo angali mtoto na hivyo kwenye usafiri aloufanya,Mungu alikuwa yuathibitisha ubinadamu wake na na si eti alikuwa yuaitafuta elimu...Naomba upafanyie research zaidi hapo ili usijejipata ukipotosha wengi kwa kupitia vitabu vya watu wasomjua Mungu na kuwafanya kama mashahidi wa Historia ya Yesu... Shukran kwa research Ila usiegemee sana vitabu walivyoandika watu unaposimulia visa vya Manabii

    • @yesuyuhaipectv9176
      @yesuyuhaipectv9176 2 года назад +8

      Ninashukuru sana kwa ushauri uliotoa ( kwa hiyo anataka kusema Yesu alisomea kutembea juu ya maji.)

    • @sleeprelaxation8431
      @sleeprelaxation8431 2 года назад +4

      hata sasa hivi tunaona wasomi wakubwa hapa duniani bado wanaitafuta elimu, unapo zani wajua ndipo unajikuta ujui, pia hakuna sehemu inayo sema alikua akitafuta elimu tu badi alikuwa akiwafundisha pia, umelewa?

    • @castorymagehema8429
      @castorymagehema8429 2 года назад +2

      Nimependa ulicho andika

    • @Markhomestz
      @Markhomestz 2 года назад +5

      Ukimsikiliza vizuri
      Kwanza hajabase na nadharia yoyote
      Pili hajasema alikuwa anajifunza bali alikuwa anawachallenge na kila alipo pita wanashangazwa na upeo wake

    • @jacksonsimbibalegana7758
      @jacksonsimbibalegana7758 2 года назад

      @@sleeprelaxation8431 😀

  • @bernadvincent6608
    @bernadvincent6608 2 года назад +16

    Kaka yangu Jamal wee ndo king wa the story, ila plz keep it up, coz nilikuwa nakunywa pombe, kuona story hii hata bila kuisha kiu ya pombe yote imekata Kisha ninekaa kuangalia the story book yako but iyo story ya yesu kwenda India😂 nilicheka,na izo nchi zingine za uwongo but niko kawaida2 nakunywa zangu Pepsi not (jokes) sio tena pombe kama before but, God is Great for all peoples in the World, Bro ur the Best 🙏🏽🌍. 100% Mungu yupo pia ndo King Wetu.

  • @bensonbarnaba1431
    @bensonbarnaba1431 Год назад +112

    KAMA UNAAMINI YESU NI MWANA WA MUNGU SIO BINADAMU , Gonga like👍

  • @epmzmusifiwar6694
    @epmzmusifiwar6694 2 года назад +22

    BWANA YESU CHRISTO WA NAZARETH ALIYE HAI APEW SIFAA TENA Yeye Ni Bwana Mpaka Usio Kuwa Nakipimo🥰🥰🔥🔥

  • @T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs
    @T.B.JOSHUALEGACYLIVESON30yrs 2 года назад +38

    Nachoamini YESU NI MWANA WA MUNGU❤️😍

    • @Baharia92
      @Baharia92 2 года назад

      Wewe umesema yeye muhusika anasema ni mwana wa adamu

    • @philipojohn191
      @philipojohn191 2 года назад

      😍😍

    • @violetsangamysongs1815
      @violetsangamysongs1815 2 года назад

      Yesu ni mwana wa Mungu aliyejuu

    • @flova7022
      @flova7022 Год назад

      @@Baharia92 wewe unaamini nini... mbili Jamal ni jina la kikristu au kiislam. ...povu ruksa

    • @Pedeshee01
      @Pedeshee01 Год назад

      @@flova7022 jamal ni jina lenye asili ya kiarabu,Kuna majina yenye asili ya kiarabu lakini wenyewe siyo waislam ukitaka kujua hili labda fuatilia nchi za mashariki ya kati mfano Lebanon,Siria,Palestina na Iraq.Kuhusu hilo la Issa(yesu)kuwa mtoto wa Mungu ni suala la imani ya kikristo ambalo siwezi kuliingilia.Kwa sababu naheshimu imani ya wengine,Kwa sisi Waislam tunaamini vingine kuhusu yesu na Kwa upande wa wakristo pia wanaamini vyengine kuhusu yesu(Issah)mlengwa ni mmoja huyo.Kwa waislam pia Tunamuamini yesu(Issah) kama nabii wake na ni moja ya nguzo ya imani ya kwenye uislam,zipo sita mojawapo ni hiyo kuamini mitume na manabii wake,Ukisema mimi yesu(issah)simtak lakini Mussa(moses) ama wengine nawataka automatical utakua umetoka kwenye uislam.Hatubishani ni kupeana tu ama kufahamishana.Mwisho sisi ni watanzania kumkashifu mtu kwa imani yake siyo miongoni mwa jadi ama asili yetu,muasisi wa taifa letu Nyerere alitujenga tuishi kwa umoja mpagani mkristo,muislam na wengine ndiyo maana tumeishi kwa amani mpaka leo.Sema kuna baadhi tu wapo kwenye kuhatarisha amani kama tuonavyo nchi nyengine za wenzetu.🙏🙏🙏🙏

  • @geographicalworld1994
    @geographicalworld1994 2 года назад +75

    Hii kazi anayofanya prof. Jamal ni ngumu sana, just imagine kila wiki inabidi afanye research juu ya story flani mpya, then katika hiyo story anachimba sana. Hata wahadhiri wa vyuo vikuu kazi zao sio ngumu kama hii maana wao hurudia topics zilezile zilizofundishwa mwaka uliopita. Hakika huyu jamaa anahitaji pongezi sana👏

    • @saidissa4741
      @saidissa4741 2 года назад +2

      Saaaaaaana

    • @valentinekigahe9707
      @valentinekigahe9707 2 года назад +2

      Alishakusanya material na kwenda kupeleka kwenye TV it means hadithi zote anakuwa nazo kinachobaki ni kutoa tu

    • @Jitu_Lisilofikirika.
      @Jitu_Lisilofikirika. 2 года назад +2

      @@valentinekigahe9707 ila si tayari umesema alikusanya.? So bado amefanya kazi kubwa, bila kujali ni lini amefanya.

    • @Officialpiejotv
      @Officialpiejotv 2 года назад +1

      Hakika😍

    • @Officialpiejotv
      @Officialpiejotv 2 года назад +1

      @valentine kigahe sio kweli bhana, hawezi Sanya kila kitu. Me ntakataa katukatu.

  • @richardkonzo5717
    @richardkonzo5717 2 года назад +15

    Ushauri wangu kwako Jamal! Achana na story za Yesu kwenye story book.
    Waachie Theologians, na wahubiri.zungumzia story zingine kabisa.

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 Год назад

      Yes u are right, watu wengi ana wapotosha

    • @Ezammwakisambwe
      @Ezammwakisambwe Год назад +1

      Anahitaji ashuhudiwe Mana hajui kilicho Cha roho hakitafsiriki kilimwengu/kimwili fixion story

    • @AlkadoNkundwe-wb3of
      @AlkadoNkundwe-wb3of 9 месяцев назад +1

      Waoga wa kweli,, muovu huogopa kweli

    • @selemanmaganga-le4zg
      @selemanmaganga-le4zg 4 месяца назад +1

      Kwanini unaogopa changamoto? Hata yeye ajataka kwenda deep kwakukataa mambo kama haya usemayo wewe, Ila soma saana ufunuliwe.

    • @IsackIsacksamson
      @IsackIsacksamson 3 месяца назад

      Wala theologia hawana majibu halisi kumzungumzia Yesu kristo Yesu ni spiritual all of us no one will understand him except who he believe spiritually Yesu hamilikiwi na wanatheologia ni wa kila mtu atakaye amin kuwa Yeye ni Bwana

  • @petermaroaofficial
    @petermaroaofficial 2 года назад +24

    Yesu ndiye njia kweli na uzima wa milele hakuna mwingine tena

  • @amourworldbeats
    @amourworldbeats 2 года назад +13

    Hakika mimi Naamini Mungu Yupo Na Ni Mmoja Hana Mshirika Wake,Hakuzaa Wala Hakuzaliwa Na Wala Hana Mfano Wake Na Ndo Maana Tunamuabudu Kwa Sababu Anasifa Za Kipekee Zisizofanana Na Kitu Kingine chochote.

  • @ShaskaMakota
    @ShaskaMakota Год назад +6

    Yesu.
    Mwana wa daudi.
    Mfalme wa wayahudi.
    Aliyewakomboa watu wake na dhambi zao.
    Ni neno aliyeshuka akakaa kwetu.

  • @josephatsebastian6910
    @josephatsebastian6910 2 года назад +68

    Wajumbe leo na mm nimewah nipen like zangu wajumbe

  • @siriyamwanamkemkakamavu
    @siriyamwanamkemkakamavu 2 года назад +29

    I don’t like Wasafi TV, but because of you, i am watching. Endelea kuleta story kama hizi. Stay blessed indeed 🙏🏾💕

    • @davidcurtis175
      @davidcurtis175 Год назад +1

      Ndio maana unaambiwa wasafi ni kama maji usipo yanywa utayaoga

    • @yangatv2264
      @yangatv2264 Год назад

      Hupendi mbona unafatilia sasa hayo ni maswal wazungu wanatuzungusha kma kichwa maji utajikuta unachuki moyoni kisa dini kumbuka tumeletewa ili tuibiwe africani amkaaa ww

  • @michelinebosibori4027
    @michelinebosibori4027 2 года назад +74

    God bless you Jamal 🙏 you are the best stories teller 🥰🤝

  • @naimabdul1231
    @naimabdul1231 10 месяцев назад +1

    Huyu jamaa unaweza ukasema hakunaga...ni wachache sana wenye kipaji kama hiki mfano wakr kama othman maalim vile anakuhadithia kitu mpaka unaijengea picha ile story anakuhadithia, may allah bless and protect you Jamal we proud for you brother...❤

    • @MariaShehemba
      @MariaShehemba Месяц назад

      Ndio kabisa anajua kupangilia uongo mtamu mpaka watu wanakubali kudanganyika kama unataka kujua Yesu ni nani soma biblia Yesu alitabiriwa kuzaliwa kwake kuishi kwake kufa kwake na kufufuka pia. Isaya 9:6-7, yer 23:6Mika 5:2-4, isaya 53
      sasa ukweli wa Yesu usome biblia tena kwa lengo la kujifunza Mungu atakusaidia kuelewa na uchaguzi utakuwa juu yako

  • @mamuoman7849
    @mamuoman7849 2 года назад +97

    Kama unaamini Yesu ni nabii toa like tujuane waumini wa kweli👍

    • @danielmlwafu4380
      @danielmlwafu4380 2 года назад +3

      Unabii unatoka kwake

    • @naweytagawa
      @naweytagawa 2 года назад +2

      Na'am masii Issa bin mariam

    • @sumayimahule2748
      @sumayimahule2748 2 года назад +6

      Yesu mwana wa Mungu aliye hai

    • @mamuoman7849
      @mamuoman7849 2 года назад +1

      @@sumayimahule2748 sisi waislam tunajua kama Yesu hayupo hai Alishapaa mbinguni long time... Uhai wake ni upi ndug wakat mnasema aliuliwa msalabani

    • @simeonmimuofjudahfirstmedia
      @simeonmimuofjudahfirstmedia Год назад

      He is not just a prophet ,,,but almasihi

  • @OmegaNelson-ho1no
    @OmegaNelson-ho1no Год назад +1

    move hizi n nzuri sanaaaaa zinafundisha zaidi katika njia ya imani endeleeni kuzirusha ili tujengwe kiroho kupitia move hizi za Yesu mwana wa Mungu

  • @osodojunior3436
    @osodojunior3436 2 года назад +110

    I really love this Man like nothing else 💝💝

    • @johndingi2504
      @johndingi2504 2 года назад +2

      Nchi zote hizo yesu alitumia usafiri gni kufika

    • @hellenjelimokiplagat5615
      @hellenjelimokiplagat5615 2 года назад +1

      Now I can agree that the Bible was truly corrupted.

    • @osodojunior3436
      @osodojunior3436 2 года назад

      @@hellenjelimokiplagat5615 yes indeed

    • @mainabenson5173
      @mainabenson5173 Год назад

      Unapenda aje mwanaume mwenzako....He dsav respect not love

  • @gospelman3720
    @gospelman3720 2 года назад +14

    "Waeseni walikaa jangwani ili kujitakasa wakimsubiri Masihi, na mmoja wa wanafunzi wa Waeseni ni Yohana Mbatizaji". Father Ricardo Maria (2014).

  • @ephraimkabeya9648
    @ephraimkabeya9648 2 года назад +12

    Hii inanifanya niamini kwa kazi za watu wenye kipaji Cha kuonyesha makubwa kwa vitendo zaidi bila kuangalia vyeti wala historia. Kweli hii Ni kazi ya Professor

  • @allydavy6919
    @allydavy6919 2 года назад +110

    Kutoka Burundi but naishi Nairobi nampenda huu jama kupitiliza mnipee like plz

  • @mkuudaudi1880
    @mkuudaudi1880 2 года назад +37

    First Kenyan here🇰🇪🇰🇪

  • @bernadvincent6608
    @bernadvincent6608 2 года назад +22

    God is the King 👑🙏🏽😇.
    Wish u Good Morning from Dubai 5:32 am👑.

  • @nigananurunjema
    @nigananurunjema 2 года назад +33

    Narudia Yesu siyo Isa na wala hakuwa muislamu. Msimuingize Yesu Kristo kwenye dini zinazokubali kuwa majini ni rafiki zake.
    Yesu hakuwa na urafiki na majini. Mnapenda sana kuingiza Imani ya kistaarabu ya Kikristo na taratibu zenu jlimradi tu muweze kujifanya mko sawa lakini kwaujumla na uhalisia kila kitu kijulikane YESU KRISTO atabaki kuwa Mwana wa Mungu.

    • @boscomwanisongole9173
      @boscomwanisongole9173 2 года назад

      🤣🤣

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 2 года назад

      Toa ushahidi ww kuwa alikuwa mkristo

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад +4

      YESU SIO MUNGU NA MAPEPO NA MJINI TUNAYAONA.MAKANISANI 2 MISKITINI HAKUNA UJINGA HUO FALA WEWE TAFUTA MUME AKUOWE KANISANI DINI YAKO INAKURUHUSU.

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад +2

      @@barakashaban9698 ANATAKA KUOLEWA HUYO.

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 2 года назад

      @@salimmalaka256 kweli kabisa nakubali

  • @meshackmlaki2066
    @meshackmlaki2066 2 года назад +14

    Yesu Mambo aliyoyafanya ni mengi San yasingeweza kuandikwa yote. Ata kama mbigu ingekuwa kratasi, miti iwe kalamu bahari iwe wino hakika wino ungekwisha

  • @FestoLucas-lv9ig
    @FestoLucas-lv9ig 4 месяца назад +9

    Yesu miaka 18 alikuwa ana pewa mafundisho na alifanyiwa majaribia mengi ambayo wewe nami atuyawezi atunaaja yakuyajua ila jua yesu alishinda naalikuwa teyari kukuokoa sisi kiroho na akawa teyari kubeba dhambi yawe nami jambo ambalo sisi limetushinda kama unaungana nami like comment yesu ndio mshindi naanapaswa kuabdiwa kama mungu alivyo mwamin amina

    • @kdloon2030
      @kdloon2030 3 месяца назад

      Yesu sio mungu na hafai kuabudiwa,anae faa kuabudiwa pekee ni Mungu muumba wa mbingu na ardhi!Kipindi Yesu yupo tumboni mwa mamaake,nani alie abudiwa?

  • @JeremiahKazungu
    @JeremiahKazungu 9 месяцев назад +1

    Congratulations JAMAL una story yenye uzito mkubwa kweli mungu azidi kukuongeza ujuzi kaka nataman sana kuwa kama wew

  • @thevoiceofdeliverance6061
    @thevoiceofdeliverance6061 2 года назад +9

    Yesu hakuwahi kusoma dini yoyote na mbaya zaidi wabudha Ni Imani potofu ya mashetani .
    Lakini Yesu siyo Isa Bari kwa lugha ya kiyahudi Ni Yeshua yaani Mungu mwenye kuokoa jina Isa linatumiwa na wapinga Imani na kupotosha ukristo.

    • @feisaldasilvajr311
      @feisaldasilvajr311 2 года назад +1

      Atakuwaje mungu ambaye amesurubiwa na wanadamu wake?

    • @barakashaban9698
      @barakashaban9698 2 года назад

      @@feisaldasilvajr311 👍👍 Good question

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 Год назад

      @@feisaldasilvajr311hivi vitu kama huvielewi sasa utaelewa baadae

    • @alfredkayabu3210
      @alfredkayabu3210 6 месяцев назад

      Yeshua ni mwana wa #Haruni toka ukoo wa #ibrahim baba wa imani. Na yesu ni mwana wa mungu kiimani aliyezaliwa kwa uwezo wa roho mtaka hai(mtakatifu). Yesu sio mungu bali anaonekana katika utatu mtaka hai(mtakatifu). Yesu pia alitukana wanadamu kwa majuto wa namna alivyojitoa kwajili yetu na bado tukawa tunawaza mabaya ""baba naomba kikombe hiki kiniepuke" imeandikwa bibliani. Budha sio imani ya kishetani bali ni watu wanaomba kwa uzingativu na ukimya kama anavyosema muumba kuwa ""muombe kwa utulivu na uzingativu pasi kelele" wao hufuata hivyo. Mungu hakuumba dini na wala dini haikupeleki peponi bali kukufanya kuwa na utaratibu wa kuwa karibu na muumbaji wako kwa kuongozwa na dini kutenda yampendezayo. Na kwa haki. Asante

  • @philipoloo9780
    @philipoloo9780 2 года назад +9

    Mungu yupo ndiyo yesu mwana wamungu

  • @gu-away5246
    @gu-away5246 2 года назад +10

    Mukubwa 💙 vraiment 🤗
    Nakupa kumi juu ya kumi (10/10)
    Niko fan wako wakwanza kufata vidéo zako zote, Niko nafata elimu nisio ijuwa kwa kila atua 💪 👏🤝

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq Год назад +1

    Eyesu uliyejifanya binadamu ukiwa sehemu ya nafsi tatu tunakuomba utende miujiza kama ilivyo kawaida yako ww ndiye ujuaye ukweli kuhusu hilo nakuomba katika jina lako takatifu jifunue kwangu japo ninadhambi ilikuondoa huu upotoshaji unaotendeka juu yako japo mm sina hofu na ww namini ww ni mungu tenda ilikuondoa huu unafiki amina

  • @Gerardirankunda2885
    @Gerardirankunda2885 2 года назад +16

    Nilukua nimegukumbuka San aca nisikiliz mambo yako🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮🙏🙏🙏🇹🇿🇹🇿

  • @danielpauljoho4949
    @danielpauljoho4949 10 месяцев назад +2

    Jamal April hujui ni roho gani uliyo nayo. Utasema mimi nipo kazini na bla bla zote lakini nakuhakikishia kama kuna kitu utakijutia kabla ya kuondoka hapa duniani ni kuupotosha ukweli kuhusu Kristo iwe kwa kujua au kwa kuto kujua. Naomba Mungu wa mbinguni kwakupitia kifo cha huyo Yesu unaejaribu kumfanya aonekane wakawaida kwa watu AKUREHEMU na huo upofu wa fikra ukutoke Kwa jina la Yesu.

  • @christonchristian7448
    @christonchristian7448 2 года назад +6

    from Missouri U.S.A much lovee watz wenzangu

  • @kinasaba
    @kinasaba 7 месяцев назад

    Prof. Jamal, your research and reporting type is great than many others. Katika Tanzania upo juu kabisa. Unajua kuwianisha mambo mbalimbali hata ya kidini ambayo ni very sensitive. Your, research questions, are perfect than ever. All the BEST

  • @S1rb0ny
    @S1rb0ny 2 года назад +6

    Hakuna amjuae Baba Wala hakuna amjuae Mwana isipokua yule tu ambae mwana amependa kumfunulia ujui chochote kuhusu Yesu.

  • @yhwh353
    @yhwh353 2 года назад +2

    Maana kwa ajili yetu mtoto amezaliwa, Tumepewa mtoto mwanamume; Na uweza wa kifalme utakuwa begani mwake; Naye ataitwa jina lake, Mshauri wa ajabu, Mungu mwenye nguvu, Baba wa milele, Mfalme wa amani.
    Isaya 9:6
    Kama mfalme Suleiman hakusoma chuo chochote na alikuwa na hekima kuliko watu wote Sasa Yesu Kristo ✝️ Ana hekima kuliko mtu yoyote aliwahi kuishi duniani kuwepo

  • @com5766
    @com5766 2 года назад +9

    We jamaaa daah! Utakuwa unajua mambo mengi sana2 sema hutak kuharbu iman za watu respect sana brooh

  • @icon_masanaa
    @icon_masanaa 3 месяца назад

    Imeandikwa,Mungu akasema Yousouph mchukue Mkeo na Mwanao Mkimbilie Misti,Maana Herode anataka Amuangamize, Kwahyo Yesu Alikimbilia Africa

  • @yurisongoro2895
    @yurisongoro2895 2 года назад +33

    Kwa sababu nna amini technology ina dumu🥰 nampenda Allah

  • @joachimlema
    @joachimlema 6 месяцев назад +2

    Hapa naona kuna ubishan mkubwa wa kidini ila naomba kila mtu aendelee kuamin imani yake mradi tu inampa mabadiliko kwenye maisha yake

  • @kelvinbernard5453
    @kelvinbernard5453 2 года назад +16

    Jamal your the best teacher in world, God bless you

  • @benjaminjackson8567
    @benjaminjackson8567 2 года назад +2

    Hapa Kuna kitu ndani yake maana kwa Mim Profesa mdogo Kuna kitu nakiona kwa mbali sana juu ya Yesu na kimefichwa lkn nashindwa hata kidogo kukielezea Ila Mungu mwenyewe anajua maana mwanadam naona anakwenda lkn Kuna sehemu anakwama yaan kama Kuna pazia hivi na siku ikiwa wazi tu basi Yesu karudi, lkn big up Jamal April, Professor 🙏🏿🙏🏿

  • @shadrickmwanjabala4681
    @shadrickmwanjabala4681 2 года назад +9

    Nilitaka nishanga kweli bro ata kakufungia mwaka hautupi. Nimefurahi Sana shukrani 🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳

  • @bashiryusuph7109
    @bashiryusuph7109 2 года назад +15

    kazi nzuri Jamal, Yesu alikua Mtume wa Mungu na sio Mungu, kingine lazima muelewe kila mtu Mungu kampa atakavyo yeye, kusema Yesu alizunguka kutafuta elimu Sijambo la kubishana sababu Hata Mtume Mussa aliambiwa aende ktk makutano yabahari mbili atakutana na mtu mwenyeelimu zaidi yake, Lamsingi Mitume wote inatakiwa tuwakubali na kuwaheshimu, lamwisho Jamal hajatumia maneno yake yeye kafanya research ktk vitabu tofauti vya kale. kwaiyo kama unataka kujua zaidi nawewe unanafasi ya kwenda kusoma.

    • @raphaelonyango5690
      @raphaelonyango5690 2 года назад +3

      Umenena vyema, lkn Ili ujue nafasi ya YESU katika uungu ni mpaka u some sana na kuuamini utatu mtakatifu. Nitakuacha na swali,
      Mwanzo 1:26
      [26]Mungu akasema, Na tumfanye mtu kwa mfano wetu, kwa sura yetu;
      And God said, Let us make man in our image, after our likeness:
      Je hapa MUNGU BABA, aliposema "Tumfanye"..... " Wetu" Hapa tunaona nafsi zaidi ya moja, Je hawa wengine ni wakina nani?
      Katika kulitafuta jibu, utapata mwanga.

    • @jglaiser
      @jglaiser 2 года назад

      Kasimp tena

    • @yhwh353
      @yhwh353 2 года назад +3

      Emmanuel God with us ✝️🕊️🔥 Yesu Ni Mungu take it or leave it.

    • @salsashmomy
      @salsashmomy 2 года назад

      @@yhwh353 astaghfirrllah

    • @yhwh353
      @yhwh353 2 года назад

      @@salsashmomy When "ALLAH -- The all knowing" got the "TRINITY" wrong!!!
      And when Allāh will say, "O Jesus, Son of Mary, did you say to the people, 'Take me and my mother as deities besides Allāh?'" He will say, "Exalted are You! It was not for me to say that to which I have no right. If I had said it, You would have known it. You know what is within myself, and I do not know what is within Yourself. Indeed, it is You who is Knower of the unseen.
      - Saheeh International (5:116)
      --- Surah Al -Maidah :116

  • @GodfreyMuiruri
    @GodfreyMuiruri Год назад +15

    Jamal you are doing an extremely wonderful job....kuvihadidhia hadithi hizi na ambazo lazima afanye research kwa upana na undani zaidi sio kazi rahisi...you deserve it man....just continue.We love what you does alot.

  • @wllsntim5740
    @wllsntim5740 2 года назад

    Thank you for your education but always is JESUS,BIBLE,AND CHRISTIANITY now we want to be educated on MTUME MUHAMMAD S.A.W,QURAN AND ISLAMIC THANKS

  • @saimonjmai801
    @saimonjmai801 2 года назад +3

    Kila mtu abaki na Imani yake na moja ya sifa ya kuamini ni kutokuwa na mashaka, ndiomana hata msimulizi kasema kila mtu abaki na yake anayo ya amini.

  • @DicksonMchapo
    @DicksonMchapo 4 месяца назад

    Erimu ya Yesu ni erimu ya kimungu mambo ya mungu ukitaka kuyachunguza yaitajika roh mtakatifu akushukie kweli kweli mungu achunguzwi ata kidogo yani

  • @kennethjunior6071
    @kennethjunior6071 Год назад +6

    Once am with Jesus I will never die

  • @stephenmasawe1602
    @stephenmasawe1602 Год назад +2

    Ingefaa jamal mustafa kuwa mkristo kweli kweli maana siku ya mwisho hukumu yako itakuwa kubwa zaidi maana uliijua kweli ya Yesu kristo

  • @yuathmtenzi2114
    @yuathmtenzi2114 2 года назад +5

    Indeed you're a professor. Thanks jamar one day we gonna meet! InshaAllah.

  • @Habaritrending.tanzania
    @Habaritrending.tanzania 2 года назад +2

    Dunia iko na mambo mengi sana nyuma ya pazia ambayo binadamu wengi atuyajui ayo unayoyajua yanatosha ukitaka kujua kila kitu kuhusu dunia utachanganyikiwa na utapoteza imani.. we amini kuna mungu tu inatosha

    • @ymsumi1918
      @ymsumi1918 Год назад

      Mnafundshwa muamke mmepotezwa mnaanz kusema mnachanganyikiwa😂😂

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 2 года назад +33

    Wampenda kristo like💋💋

  • @orestsanga6294
    @orestsanga6294 2 года назад +1

    Kusudi la kutunga vitabu zaidi ya hamsini vya injili na kutangaza uwepo wake, ni kudhoofisha vitabu vinne vya injili ya kweli na kuingiza udanganyifu uliokusudiwa na wapinga Kristo.📖📖📖

  • @hindujuma6524
    @hindujuma6524 2 года назад +37

    Story ya Leo nzur 💋😘

  • @yakoboesenga5754
    @yakoboesenga5754 2 года назад +2

    JAMAL thenks 2 much love from usa Portland Oregon

  • @moshantoj
    @moshantoj 2 года назад +6

    Asante sana kwa kuelezea History ya yesu kulingana na Elimu ya msikiti.

  • @kennethjunior6071
    @kennethjunior6071 Год назад +5

    For God so Loved the world 🌍 that he gave us the only begotten son so that whomever believe in him should not perish but have Ever over lasting life

  • @msifunimasawe215
    @msifunimasawe215 2 года назад +4

    Ilove story of Jamal 💥 unanfanya niipende xna ,na io biti haswaaa

  • @nasramuhammad2046
    @nasramuhammad2046 2 года назад

    Tumkimbilie Mola yy ndo alituleta duniani na yy ndo atatutwaa jina Lake litukuzwe,praise to God

  • @akiruleah6093
    @akiruleah6093 2 года назад +6

    Wooow mungu azidi kutufunulia ukweli,be blessed bro

  • @jumamstapha9558
    @jumamstapha9558 Год назад

    Namshukuru Kwa kujua kumbee yesu alikuani mwisilam inshaallah kama unaupeo wakutosha basi utakua umeelewa apo

  • @festosungura5251
    @festosungura5251 2 года назад +9

    Ukweli ni kwamba yesu hakuwahi kwenda darasa lolote wala kufundishwa na mwalimu yoyote Yesu alikuja duniani neno analijua Tena, kwa muda mwingi ambao haukuzungumzwa Yesu alikuwa akifanya kazi ya useremala kazi aliokuwa akiifanya Mzee Joseph mume wa Maria mama yake na Yesu habari hizi hazikuandikwa ama hazikuzungumziwa kwa maana hazina muhimu sana katika ukombozi wetu wanadamu

    • @thekingdragon8358
      @thekingdragon8358 6 месяцев назад

      kwani ukisema babake utapungukiwa nin hadi useme mume wa mamake

  • @MarryMush-j8u
    @MarryMush-j8u 4 месяца назад

    i believe in jesus jamal thanks 4 give us a lot of story about jesus

  • @edgaramiani
    @edgaramiani 2 года назад +4

    Thanks again i was waiting to hear from you

  • @samuelosembo3028
    @samuelosembo3028 2 года назад

    Kazi nzuri kufanya utafiti lakini tambua kuwa maisha ya yesu yamezungumziwa katika bibilia yote Kwanzia GENESIS .... REVELATION...so yesu ni mwenye upeo na hakuna shule aliohudhuria...

  • @Hussein-ol4wn
    @Hussein-ol4wn 2 года назад +5

    Itikadi yetu Waislamu kuhusu Yesu ni kuwa hajawahi kufa wala hakufufuka na wala hajawahi kusulubiwa
    Wala Yesu sio mtoto wa Mungu. Bali Ni Nabii wa Mungu aliyeletwa kupitia uzao wa Maryam(Maria) bila ya Baba
    Kilichotokea ni kuwa wakati Watu walipotaka kumuua Mwenyezi Mungu alimpaisha mbinguni(na ndipo alipo hadi sasa).
    Baada ya kupaishwa Mungu akampa sura ya Yesu mmoja kati ya wale watu na ndie waliemsulubu na akafa

    • @janaleokesho8374
      @janaleokesho8374 2 года назад

      Yesu wa waislamu na wa wakristu ni tofauti kuanzia kuzaliwa na pia malezi.

    • @Hussein-ol4wn
      @Hussein-ol4wn 2 года назад

      @@janaleokesho8374 Yeah
      Hata kiitikadi. Sisi tunamuamini Yesu Kama Ni Nabii wa Mungu, wakristo wanamuamini kivyengine

    • @philipojohn191
      @philipojohn191 2 года назад

      😆😆😆😆😆

    • @dostovan5142
      @dostovan5142 Год назад

      wakristo Mohammed hatumjui kabisa

  • @EstherLyatuu
    @EstherLyatuu Год назад

    Yesu ni mwana wa Mungu alie hai na ni mfalme wa ulimwengu atakae kuja kuhukumu ulimwengu wote na kila jito litamuona na kila goti litapigwa kwake utukufu kwa Mungu

  • @alexalute6712
    @alexalute6712 2 года назад +23

    yohana 3; 31-36 yesu hakusoma chuo chochote duniani

    • @islachristabinastaravista8104
      @islachristabinastaravista8104 2 года назад +1

      Miaka hyo chuo kitoke wap Elimu walikuwa wanapata kupitia kufanya kazi za kila cku kutokana na uhitaji wa maisha ndiyo unajifunza unadhani walivyosema Yusuph alikuwa fundi selemara Unahis huo ujuzi aliupata Chuo cha Veta jibu hapana ila aliujulia wap bas Kuna namna alijifunza ndiyo shule yenyewe hiyo Sasa sio mpka uende Chuo ndiyo ujifunze

    • @amirbalali6483
      @amirbalali6483 2 года назад

      Vyuo vilikuepo... Soma kitabu cha danieli ndugu.

    • @barakadavidmakome6353
      @barakadavidmakome6353 2 года назад +1

      Unajidanganya na hayo maandiko, bado hujafikiria vizuri.
      Shida wakristo tunazani kwakua Yesu ana uwezo mkuu hakuhitaji kujifunza wala kusikia lolote kutoka kwa yeyote.
      Ila kumbuka kua Yesu alikua ni mwanadam asilimia mia na uungu pia mia. Hivyo alikua mwanadam mdaisi, na tabia hii alioonesha tangu utotoni, na alikua ikipendelea elimu ya mambo ya kidini.
      Kwaio mim sishangai kusikia Yesu alisoma, tena alisoma mambo ya dini, hata ivyo ilikua ni ndoto yake kuwa mwalimu na mwenye wafuasi.

    • @ilhamswaleh3428
      @ilhamswaleh3428 Год назад

      @@barakadavidmakome6353 mungu asilimia mia na mwanadamu asilimia mia dah kuna sehemu binadam tumefeli ktk kufikiri 😮

    • @barakadavidmakome6353
      @barakadavidmakome6353 Год назад

      @@ilhamswaleh3428 sio swala la kufikiri ni maandiko ndugu!

  • @Mlangira1993-ge9es
    @Mlangira1993-ge9es 9 месяцев назад +1

    Mimi Kwa akili yangu ndogo sana ya elimu ya kidini nasema kwa confidence zote Kuwa Yesu ni Mungu halisi aliyeziumba mbingu na nchi na kila kitu kilichomo. Alijifanya mtu akaiacha enzi yake akaja mwenyewe kutuokoa watu wake hivyo alizaliwa kama binadamu wote lkn kwa kuthihirisha Umungu wake mimba yake haikutungwa Kama zetu binadamu hivyo alizaliwa kwa uwezo wake mwenyewe (Roho mtakatifu ambaye bado ni yeye Mungu mwenyewe😀) akaishi kama binadamu akatufundisha yote tunayopaswa kujifunza ili tumjue kisawasawa na ndio maana miujiza yake haijawahi fanana hata Kidogo na ya mtume yoyote yule hapa ulimwenguni kwasababu yeye ni Mungu halisi. Na kuthibitisha ubinadamu wake alijaribiwa na ibirisi kama Sisi binadamu wengine tunavyojaribiwa na kubwa kuliko aliteswa akafa kabisa akazikwa kabisa Lakini kwa utukufu uliotukuka wa Kiungu alifufuka ambapo hakuna mtume mwanadamu aliyeonja mauti na akawa hai tena hivyo yeye sio mtume yeye ni Mungu halisi na baada ya ufufuko akawasihi sasa mitume aliowaacha kueneza habar njema zake yaani za Yesu kristo ambaye ni Mungu. Na akawaambia hatowaacha peke yao ila atawaachia msaidizi wake ambaye ni roho mtakatifu ambaye ni yeye Mungu mwenyewe ambaye hatotenda tena katika umbile la ubinadamu ila katika Roho tu na anaishi na kutenda kazi zake mpaka Leo katika Roho hahahahaha nyie kumjua Mungu ni Raha Sana.
    So conclusively, Mungu ni mmoja tu ila ametenda kazi zake katika nafsi tatu ambazo ni Baba, mwana(inadhihirishwa baada ya kuzaliwa na mwanadamu so Maisha yake ya ubinadamu lzm aitwe mwana kama Sisi tulivyo wana wa adamu (wanadamu), Roho ambaye kwasasa anatenda kazi zake katika Roho hivyo Mungu ni mmoja na watu wote tunatakiwa kulijua hili bila ya kujali Dini zetu maana hazitotupeleka mbinguni na hakuna dini bora zaidi ya nyingine ubora ni wako wewe mwenyewe wa kumuamini Mungu.
    Natamani Sana Kama wanadamu tungemtafuta Mungu kwa bidii zetu zote na tukaacha kuzitumikia Dini maana mbinguni hakuna dini wala dhehebu kinachoangaliwa ni moyo wako tu. Tuzidi kutenda mema na tumtafute Mungu kwa bidii
    Nawapenda nyote tubarikiwe sote na me I should tufike mbinguni Amina🙏

  • @Metusi
    @Metusi 2 года назад +4

    Leo nimependa content sababu mimi ni mkristo na naipenda sana dini yangu
    Na ninapoona muislamu kama jamal anapoongelea ukristo bila kukosoa bali kwa mema nafurah sana na ni kuonyesha kujal na kiheshimu iman ya mtu mwingne

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад +1

      ANA ZUNGUMZIA STORI YA ISA (JESUS) HATA QUR'ANI IMEMZUNGUMZIA PAMOJA NA MANABII WENGI WENGINE.

    • @madetetv6576
      @madetetv6576 2 года назад

      @@salimmalaka256 Quran haijamuandik hivo imemuandik tofauti

    • @salimmalaka256
      @salimmalaka256 2 года назад

      @@madetetv6576 QUR'ANI IMEMUANDIKA KAMA YEYE NI NABII NA HAJAFA M'UNGU KAMCHUKUWA YUKO MBINGUNI NA YUKO HAI NA ATARUDI TENA DUNIANI UNAPOSEMA QUR'ANI HAIJAMUANDIKA HIVYO UMEMAANISHA NINI?? ULITAKA IMU ANDIKE KAMA MTOTO WA MUNGU AU YEYE MUNGU??? YEYE NI NABII KAMA MANABII WENGINE 2.

    • @yhwh353
      @yhwh353 2 года назад

      @@salimmalaka256 Qur'an imechanganya vitu apo ukisoma vizuri utajua Kuna vitu haviko sawa ndugu imechanganya kuhusu story ya Mariam Mama yake Yesu na story ya Mariam wa kipindi Cha Musa

    • @yhwh353
      @yhwh353 2 года назад

      @@salimmalaka256 na pia Kuna kitu akikosawa katika Qur'an yaani Allah aliwadanganya wayahudi kwa kumfanya mtu Kama Yesu asisulubiwe na sio wayahudi, wayahudi na Mama yake Yesu Kristo wote wanajua Yesu amesulubiwa na si vinginevyo.

  • @MpembaChapa
    @MpembaChapa 10 месяцев назад

    Kaka Jamal Mungu akubariki Sana pia Nani natamani niwe kaa wewe tushilikiane kuelimisha ulimwengu nakukubali Sana Kaka natamani siku moja isiyo na jina tuonane Ana kwa Ana unipe mawazo zaidi maisha marefu kwako

  • @jameskinuthia4480
    @jameskinuthia4480 2 года назад +17

    Safi kabisa professor

  • @suzanrichard3648
    @suzanrichard3648 2 года назад +8

    Thnks for story
    Bro Jamal🥰🥰🥰🥰🥰

  • @Bondea-zj2yf
    @Bondea-zj2yf 11 месяцев назад +3

    1. Kwani ninyi hajui kwamba Yesu alikua mwana pekee wa Mungu?
    2. Kwani ninyi hajui kwamba Mambo Yote Yesu alifundisha alitowa kwa Baba Yake Mungu alie juu zaidi?
    3. Kwani ninyi hajui kwamba Yesu alikuako kabla ya ABRAHAM na aliishi Mbinguni?
    4. Kwani ninyi hajui kwamba Biblia ni Neno au barua kutoka kwa Mungu wa muingu , Yehova.
    Basi msikengeushwe na watu wasio chukua mda na kuisoma Biblia na kuitafakari.

  • @graceanthony3870
    @graceanthony3870 Год назад +1

    Mimi nakubaliana na wewe , mambo megi hayakuandikwa kwenye bible. Endelea kutupa story Mungu akupe maisha marefu

  • @wambuamwinzi
    @wambuamwinzi 2 года назад +12

    Kenya twakupenda💗💟

  • @BatromeoCarvin
    @BatromeoCarvin Год назад

    asante kaka kwakutukumbusha kilam2 asimamie imani yake ila 2 2kumbuke nibora kuamini mungu nguyo kuliko uamin hayupe alafu baada ya umauti ukamkuta asee god bleess

  • @captainb.o.b568
    @captainb.o.b568 2 года назад +10

    Ooh the story book, ya leo ni nzuri sana tayari nimewahi darassani??

  • @younglunya-vy3xb
    @younglunya-vy3xb 4 месяца назад +2

    Kama unaamini yesu nibwana weka like

  • @zacharykuria5789
    @zacharykuria5789 2 года назад +10

    Iko sawa sana nipeeni hizo likes pls

  • @eliamkamba4325
    @eliamkamba4325 2 года назад +1

    Uko vizuri sana Jamal na Asante sana Kwa Elimu unayotupatia. Ila naomba utuletee na story inayosimulia kwa nini rangi za binadamu zimetofautiana Sana. Weusi , wazungu, wengine wekundu nk. Nini sababu hasa. Je ni kweli Mungu ndivyo aliyesababisha hizi tofauti katika uumbaji wake au ni kweli imetokana na mabadiliko ya kimazingira Kama ambavyo sayansi inatwambia?

  • @darkdhmafia8666
    @darkdhmafia8666 2 года назад +8

    !!!!?😎💎🔥 Mungu ni mkubwa sana katika dunia

  • @SichaliJuan
    @SichaliJuan 5 месяцев назад +2

    Glory to God 🙏🙏❤

  • @faizamohamed6993
    @faizamohamed6993 2 года назад +28

    You are the best jamal, tnx for educating us ❤️❤️❤️❤️

  • @budaboss8435
    @budaboss8435 2 года назад +8

    Nakuombea uishi maisha marefu sana kaka Na Ubarikiwe sana ❤👍

  • @christiandayisenga3773
    @christiandayisenga3773 2 года назад +4

    Jamal kama unamwamini Mungu basi nafurahi🙏

  • @tanzaniatourismboard8395
    @tanzaniatourismboard8395 2 года назад

    AHSANTE JAMEEL. Ufafanuzi Mzuri, Ufafanuzi Makini.

  • @johnsonomari8561
    @johnsonomari8561 Год назад +7

    I love history, history is life, long live Jamal April

  • @moses7802
    @moses7802 2 года назад +1

    Yesu aliishi maisha ya mwanadamu kwaiyo kufanya hayo yote hakuna ubaya kwa kuwa yeye ni mwana wa mungu, anastahilo kufanya hayo yote kwasababu alipitia njia ya kua mwanadamu ili afikishe ujumbe wa mungu kwa mwanadamu, 🙏

  • @annachales9623
    @annachales9623 2 года назад +6

    Kwa kweli nikisikia habari kama hizi nafurahia sana kwa kweli...

  • @vema_tv
    @vema_tv 2 года назад +14

    My best role model n story teller, I appreciate your skills Brother

  • @kevinmakori7552
    @kevinmakori7552 2 года назад +3

    This man Jamal April,Jamal Mustafa, Professor is something else mungu akupe neema my brother huzidi kutupa hizi hadithi.

  • @MpembaChapa
    @MpembaChapa 10 месяцев назад

    Ila Mungu akusaidie Sana atufunulie kwa akili za kibinadamu atuwezi jua Jesus alikuwa wapi ... Asante kwa simulizi hyo kaka