The Story Book:Ukweli Wote Kuhusu PEPONI.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 1,6 тыс.

  • @margaretnduati5203
    @margaretnduati5203 2 года назад +395

    From Kenya,tunakubali sana Jamal,huyu ni legend,kama unakubali nipe like..

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 2 года назад +104

    Tuishi kwa hofu ya Mungu , duniani tunapita 😔 pia hatuna maisha marefu kabisa , km umewai kusikia ule msemo fainal uzeen bac uzeen ndo uko

  • @stevennchambi3212
    @stevennchambi3212 2 года назад +675

    Kama mimi na wewe tutaacha mademu tukatenda mema, tukamsema vizuri Mwenyezi Mungu na kumsujudu kwa ile kweli na subira. Pigeni likes 20 zitatosha kubadili maisha yetu hapa duniani🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

    • @lameckshani9338
      @lameckshani9338 2 года назад +21

      Si kweli Ila mbinguni watakaoingia ni watakatifu tu,wenye haki walioishi Maisha ya kutokutenda uovu

    • @mrbill2231
      @mrbill2231 2 года назад +10

      Sema mimi kimoja tuu! kinacho nisumbua ni kuacha mademu🤔🤔🤔🤔

    • @derickshady5590
      @derickshady5590 2 года назад +13

      Mungu aliumba mademu kwa ajili yetu bro, tuache mademu halafu inakuaje?😅

    • @jimmymeshack8725
      @jimmymeshack8725 2 года назад +6

      @@derickshady5590 Hahaa bonge la point Mzee tuwaache afu tuishije sasa afu Mwamba anahisi like ndoo zitatufanya Mungu atuhurumie 😅

    • @zadokasaph5561
      @zadokasaph5561 2 года назад +8

      May God bless u abudantly Msitafa proffeser Jamali big up.

  • @nassibmalik9934
    @nassibmalik9934 2 года назад +73

    Utaishi dunian labda miaka 50 lakini akhera utaishi milele na milele.tufanye mema kwaajili ya kupata maisha mazur

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 2 года назад

      Yohana 3:16
      Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

    • @gh7naa
      @gh7naa Год назад

      @@endtimes9850 mmungu hana mtoto ana mana bee ndugu fatilia mmungu hazaa wala kuzaliwa

    • @TharsilaAthanas-iu2qf
      @TharsilaAthanas-iu2qf 9 месяцев назад

      Jaman mung Hana mtoto muwe na adabu kidogo

    • @kwangahudispensary7238
      @kwangahudispensary7238 9 месяцев назад

      ​@@TharsilaAthanas-iu2qfsisi tunaamini biblia ,,usitake wote tuamn yenu sio sawa.

    • @KATETIMQ
      @KATETIMQ 8 месяцев назад

      Hakika

  • @nicholasmutai2082
    @nicholasmutai2082 Год назад +8

    Huyu Jamal nimempenda kwa sababu amefanya nikajua vitu ambabvyo sikua najua zina exist🤗pongezi sana Jamal na Mwenyezi Mungu awe nawe kwenye safari yako.

  • @shedrackdamian2870
    @shedrackdamian2870 2 года назад +36

    Jamani nime chelewa kidg bwana ndiye mchungaji wangu sita pungukiwa na kitu😭 plz like hata 50

  • @erickmkwera2784
    @erickmkwera2784 2 года назад +35

    Allah akutunze Jamal Mustafa akufanyie wepesi Kwa kila jambo lililo mbele yako the story book

  • @SparkxBusinessEmpire001
    @SparkxBusinessEmpire001 10 месяцев назад +20

    Nataka kuingia peponi, ebu mnipe likes 500 nawapenda sana ndio tujitayarishe kuingia peponi pamoja❤❤❤❤

  • @nicolenabintu2509
    @nicolenabintu2509 2 года назад +119

    Maneno yana tia moyo kwa sisi ambao tuna hofu ya Mungu , baba Mungu Wetu kwa huruma yako tusaleye zambi na utupe mwisho mzuri ❤️🙏🏿

  • @meekman1805
    @meekman1805 2 года назад +67

    Allah atujaalie tuwe miongoni mwa watu wa peponi. Aaamin.

  • @Cendrillon1417
    @Cendrillon1417 2 года назад +34

    Akhii Jamal namuomba Mungu akupe hii pepo yake Jannatul firdaous Allahumma Amiin ya Mujib 🤲🏼🤍 Shukran sana kwa kutuelimisha vyema kila story book 📖📚🙌🏽

  • @minabuelysee8
    @minabuelysee8 Год назад +9

    Mtume Muhammad (swalaallah alaih wasalam)

  • @Laila-nuraa
    @Laila-nuraa 2 года назад +8

    Maashaala tabaraka lah Allah nimkubwa namwomba mungu atukutanishe jannatul fartowsa, shukran kwa vile Ume tafsiriya tunamshukuru Allah ametufanya muislamu,

  • @maxmakobi2549
    @maxmakobi2549 2 года назад +300

    Gharama ya maisha imepanda huku Kenya tuombeeni😥 ila lazima tuone the story book . Wakenya pigeni likes hapa.

  • @saidchombo5952
    @saidchombo5952 2 года назад +25

    Allah nijalie mwesho mwema, pamoja na wake zangu, Amiiina.

    • @stratonmatei7834
      @stratonmatei7834 Год назад

      😊 😊. 😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊 😅😊😊 😊😊😅 😊 😊 😊😊 😊 😊 😊😊😊. 😊 😊 😊😊. 😊 ?. 😊 😊😊 😊😊

    • @5ffGg-uy7mf
      @5ffGg-uy7mf 8 месяцев назад

      Amin

  • @sahidahamad39
    @sahidahamad39 2 года назад +9

    Mwanangu unapomtaja Mtume Muhammad basi tafadhali usisahau kumswalia

    • @JoyceAvua
      @JoyceAvua 4 месяца назад

      Sasa yeye na nyinyi ni nanianafakusalia mweziwe😂😂😂😂wacheni utani

    • @aminasaid6555
      @aminasaid6555 Месяц назад

      Unamaanisha nini?​@@JoyceAvua

  • @imaniwihenge6331
    @imaniwihenge6331 2 года назад +80

    Respect professor Jamal

  • @Mazon_Gospel
    @Mazon_Gospel 2 года назад +156

    Tunaomkubali sana professor jamal
    Gonga like twende sawa

  • @jennylunsinde9770
    @jennylunsinde9770 2 года назад +16

    Mungu ni mmoja tuu🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @KvngDM-o9g
    @KvngDM-o9g Месяц назад +1

    😮😮😮😮😮daaaaaah inavutiaaa mnoooo❤❤❤❤❤❤Allah atujalie tue miongoni mwawatakao pata raha za peponi🤲🤲🤲

  • @giftibrahim
    @giftibrahim Год назад +11

    Mashallah Allah Atujaalie tuwe miongon mwa waja wa pepon❤🙏

  • @hassanismail1931
    @hassanismail1931 Год назад +6

    Mwenyez mungu atujalie sote binadam tuache maovu

  • @JumaLugendo-rk3rp
    @JumaLugendo-rk3rp Год назад +7

    Wallah umenifanya nisisimke na umeniongeza kitu Moyoni mwangu niiongeze Imani yangu na Toba zaidi na Ibada zaidi kiukweli Umeniathili Sana story hii

  • @GraceAdinani
    @GraceAdinani Месяц назад +1

    Mwenyezi mungu atusaidie kuwa na hekima kwenye hulimengu huu wa dhambi

  • @RamadhanGalgalo-td5ky
    @RamadhanGalgalo-td5ky 7 месяцев назад +4

    Tunamuomba Allah atujaalie pepo inshallah

  • @IslamMudrik-qu5wx
    @IslamMudrik-qu5wx Год назад +10

    Ni ngumu Sana mtu kuacha pesa Kwa sababu ya kitu anachokipenda lakini ni rahisi Sana mtu kuacha kitu anachokipenda Kwa sababu ya pesa Kwa maana hiyo fedha imechukua nafasi kubwa katika maisha yetu na ndio chanzo Cha uchafu wote tulionao maishani mwetu muhimu Sana kujitathmini na kutafakari muda wa uhai wako🙏🙏🙏🙏🙏😭😭😭😭

  • @Mrmakavuliv
    @Mrmakavuliv 2 года назад +91

    KAMA UNAAMINI WEWE UTAKUA NI MMOJA WAPO KATI YA WATU AMBAO WATAINGIA PEPONI EMBU GONGA LIKE APAA

    • @kelvinsinyinza1659
      @kelvinsinyinza1659 8 месяцев назад

      Kuna mapepo yawili ya wasilamu na wakristo ni ipi una Gongea Like?

  • @akbarrich257
    @akbarrich257 2 года назад +21

    Yaaa ALLAH tupe mwisho mwema na Utuzawadiye Pepo yako
    Allahuma Amiin 🤲🏻🤲🏻🤲🏻🤲🏻
    Allah atujaliye mimi nawewe tuwe miongoni mwa watu wa Peponi🤲🏻🤲🏻

  • @hamadfaki7625
    @hamadfaki7625 2 года назад +11

    Jamal hakika nakupenda kwa ajili ya Allah ,ushauri wangu naomba tujitahid kumcha Allah kwan jamal unaelim nyingj masha Allah hivyo kufanya dhambi unayo ijua ni mtihan kwakwel

  • @rosegodson4633
    @rosegodson4633 2 года назад +28

    Ewe mola ulieniweka kwenye tumbo la mamangu, ukanichagua niwe binadam na ukanipa uhai Leo, nakusihi nipe nguvu ya kuzishinda tamaa za Dunia, na unipe moyo safi ili siku nikichora pumz yangu ya mwsho, niione Ile nchi nzur ulioniandalia,. Tamaa isinishinde mm😭

  • @AthumaniAbushi
    @AthumaniAbushi 7 месяцев назад +2

    INSHAALLAH MUNGU atujaalie Mwisho Mwema

  • @tory_angie
    @tory_angie 2 года назад +34

    This guy is a legend. I love you Jamal keep winning and entertaining us. More love from 🇰🇪. You are a superstar ✨️ 💖 Rabana akujalie miaka mingi yenye heri duniani. Hugs 🫂

  • @RutaMazambocharles
    @RutaMazambocharles 3 месяца назад +1

    Asante Kaka kwakutuelimisha Ila tunaomba utuletehe story book ya Maisha ya watu WA Swaziland maana Mila Zao ningumu kweli

  • @jumaallyhuodadaminamtaka5586
    @jumaallyhuodadaminamtaka5586 2 года назад +6

    Mashaallah unajuwa kueleza Allah akuweke na atujalie mwisho
    Na pepo njema

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 месяца назад +1

    Mashalah mashalah mashalah mungu atujalie nasisi tuwe wanpepon inshallah...mungu atupende na atupe Kila la heri inshallah...

  • @williampable1699
    @williampable1699 2 года назад +71

    Huyu jama Djamali ni very creative kabisa, nipe likes kama unakubaliana na mimi👍

  • @shamissayd887
    @shamissayd887 2 года назад +23

    Katika the story book zooote..basi hii ni Top 1😍😍, hii ni namba 1 👌kwa uzuri, hadi inagonga nyoyo yan🫀

    • @jumannemohamedy1456
      @jumannemohamedy1456 2 года назад

      True top 🔝 one history book 📙
      Ime ni ingia panapo histaili
      Hakika Jamaal professional wewe ni kwenda pepo moja kwa moja kwa sababu hubagui dini wala kabila una pita inavyo histaili risperct for your my brother's endelea kutuletea madini yenye thamani kubwa kwetu sisi wasikilizaji wako sote tuna tegemeana maana pasipo ww hatu ezi elewa na pasipo sisi huwezi pata sport yetu 💪💪💪

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 2 года назад

      Yohana 3:16
      Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

    • @MaribaNenga
      @MaribaNenga 4 месяца назад +1

      Acha ukafiri wewe yohana

  • @abubakarkhamis1554
    @abubakarkhamis1554 2 года назад +37

    Assalam alaekum proffers Jamal gonga nondo kaka uko vizuri sana Mungu akuzidishie kipaji hicho

    • @endtimes9850
      @endtimes9850 2 года назад

      Yohana 3:16
      Kwa maana jinsi hii Mungu aliupenda ulimwengu, hata akamtoa Mwanawe pekee, ili kila mtu amwaminiye asipotee, bali awe na uzima wa milele.

    • @MaribaNenga
      @MaribaNenga 4 месяца назад

      You are went astray you dis believer ALLAH have no child 😢😢😢

    • @MaribaNenga
      @MaribaNenga 4 месяца назад

      Mwenyezi Mungu hakuzaa wala hakuzaliwa yeye ni mmoja tu

  • @FatarBusolo
    @FatarBusolo 2 месяца назад +1

    Mashallah Allah atujalie pepo❤❤

  • @thestonetown3302
    @thestonetown3302 2 года назад +8

    Dahhh….wee unajua bhnaaa mi sina comment kabisa!!!!!amaizing story @@@yaani umenifany nizidi kumuamudu Mungu…Allah azidi kukupa umri mrefu Jamal bin April@theStoryBook$

  • @yustomwaisomania2587
    @yustomwaisomania2587 7 месяцев назад +1

    Eee YESU nipe mwisho mwema ili niweze kuishi na wewe mbinguni milele na milele 🙏🙏

  • @davidsosthenes4479
    @davidsosthenes4479 2 года назад +8

    Mungu ni mwema siku zote kwetu na mwenye huruma sana....Tumsikilize yeye na tuyatimize Amri zake

  • @uhr5437
    @uhr5437 9 месяцев назад +4

    By lj alla akuweke ❤❤❤

    • @uhr5437
      @uhr5437 9 месяцев назад +1

      Your the best teacher allah akuweke BY LJ❤❤❤❤❤❤

  • @notoriusmax8493
    @notoriusmax8493 2 года назад +73

    the story book usually teach us many important things God bless you jamal

    • @Richforever66
      @Richforever66 Год назад

      Je hao wahudumu ambao wanatuhudumia tukiwa huko peponi wao hawataki kula raha

  • @bakaryCMD
    @bakaryCMD 2 года назад +93

    The great professor of all time,
    Live from west virginia, usa/

  • @ALLYHussein-h6m
    @ALLYHussein-h6m 2 месяца назад +3

    Sema MUHAMMAD S.A.W

  • @wakatikaisi6743
    @wakatikaisi6743 Год назад +2

    Dah Allah atujaalie tuingie firdaus....amin

  • @issasaad3403
    @issasaad3403 2 года назад +26

    ALLAH atujaalie mwisho mwema na tuwe miongoni mwa waja zake watakaoingia peponi inshaaalahh

  • @maryamtwaja6346
    @maryamtwaja6346 2 года назад +19

    Allah atujaalie pepo ya firdaus🤲

  • @kotadapotar5094
    @kotadapotar5094 2 года назад +13

    Jamal ukitoa story natamani uzimalize mtavyopenda 👏🇹🇿🇬🇷⚓

  • @JustineAloyce-g2k
    @JustineAloyce-g2k 10 месяцев назад +1

    Jamani peponi kunasifa nzur swal je tutafika ila tumuombe mwenyezi mungu tufike inshallah

  • @mustafaivany2041
    @mustafaivany2041 2 года назад +16

    Nime aza kuisikiya kwasasa kaka sitaki like nataka funzo tu mim🇿🇦🇿🇦

  • @HasamSalum
    @HasamSalum Год назад +1

    Kamwe haiwezkn kuyafananish maish ya milele yasio na vkwaz tulvozoea
    تبارك الله أحسن الخالقين 😢

  • @ummukulthum1268
    @ummukulthum1268 8 месяцев назад +2

    Mwenyezi Mungu akujaalie ww unaesoma comments uwe mmoja kati ya watakaokua peponi na tutakutana huko... kwa kuacha maasi na kutembea katika njia ya muumba
    Tuseme amiiin

  • @theempire4058
    @theempire4058 2 года назад +86

    Hakuna kipindi kingine nachokiangalia wasafi zaid ya hiki, tujuane kwa like

  • @mwatumsaidi5104
    @mwatumsaidi5104 2 года назад +5

    Yaa Allah tuondoshee tamaa za dunia na tupe imani tufate kitabu chako na mitume yako

    • @mishimlowe6689
      @mishimlowe6689 Год назад

      Hii story imenifanya kuwa na hof ya Mungu, hakuna asiyetaman Pepo wallah, Isha Allah sote tutaiona Pepo tukirudi kwake Allah

  • @theben6756
    @theben6756 2 года назад +95

    To God be the Glory 🙏🙏

    • @mussahiza3888
      @mussahiza3888 2 года назад

      Brother uko very nice kwenye story

  • @kingkiya6640
    @kingkiya6640 2 года назад +9

    Maa Shaa Allah,,,Ukiskiliza kw makini utakuta sehemu kubwa ya story hii imesheheni maneno Qur'an tukufu kw sababu ndo imefafanua zaid habar za peponi na motoni kuliko vitabu vingine,,, Alhamdulillah tunaomba mwisho mwema yaa Allah

  • @neemamsaki1111
    @neemamsaki1111 2 года назад +21

    Ee Mwenyezi Mungu nipe Subrah,hekima yako😭🤲🏾..Ee Mola wetu Tusamehe maovu yetu PEPO yako nafsi zetu ziingie😭🤲🏾🙏🏾.

  • @pheobeawuor8562
    @pheobeawuor8562 2 года назад +15

    Thanks Jamal April you have give me something in my Head

  • @juniormtei8005
    @juniormtei8005 2 года назад +14

    Ubarikiwe. unazidi kunijenga ki imani na kujibu maswali yagu. Na ubarikiwe na mungu kuwafuguwa watu akili kupitia yeye

  • @sultanmedia.666
    @sultanmedia.666 2 года назад +20

    Always you are up there !!!
    Nakukubari saana kaka na wish siku moja nipate nafasi ya kuzungumza na wewe ana kwa ana braza Jamaar.

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 4 месяца назад

    Mashalah mashalah mashalah mungu namimi anijalie niwe wa peponi inshallah Mimi na kizazi changu mwanangu wanangu wazazi wng na familia yangu walahi..

  • @JoashKorir-fb3bg
    @JoashKorir-fb3bg Год назад +4

    This is man is actually the best.. I love him 🙏🙏

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 2 года назад +2

    Waebrania 9:28
    kadhalika Kristo naye, akiisha kutolewa sadaka mara moja azichukue dhambi za watu wengi; atatokea mara ya pili, pasipo dhambi, kwa hao wamtazamiao kwa wokovu.
    Yohana 14:6
    Yesu akamwambia, Mimi ndimi njia, na kweli, na uzima; mtu haji kwa Baba, ila kwa njia ya mimi.

  • @BON357
    @BON357 Год назад +3

    Qur'an kitabu Cha mungu bibiria kitabu Cha Paulo Ila injili kitabu Cha mungu

  • @sabebejr2580
    @sabebejr2580 7 месяцев назад +2

    Alhamdulilah ❤

  • @rayyanabdul955
    @rayyanabdul955 2 года назад +24

    Jamani tuweni na hofu ya mungu ili tufike uko peponi 🥰😍

    • @danimark3300
      @danimark3300 2 года назад

      Hiyo pepo ni hadithi za kufikirika Mkuu, haipo hivyooo

    • @kelvinsinyinza1659
      @kelvinsinyinza1659 2 года назад

      ipi yawa christo awu ya Muhammad?

    • @khalidkhamis8160
      @khalidkhamis8160 2 года назад

      @rayyan..ni mlango wa peponi

    • @gh7naa
      @gh7naa Год назад +1

      @@kelvinsinyinza1659 mulize na mana bee wa mmungu watakuako upande gani duh huyu jamaa hangalii ukweli mmungu hana pepo mbili wala tem mbili mana bee wake wote ni waislam hakuna nabee alie toka nchi za Europe hata mmoja watu wamebadilisha maneno ya mungu na kufanya watakayo isa na ibrahim na ayob yagob ni waislam walimuogopa mmungu na walikataza mabaya leo dini ziko kibao za ajabu mana bee ndio wanajitokeza hakuna na bee wakati huu ilankufuru imezidi maslahi yao

    • @gh7naa
      @gh7naa Год назад +1

      @@kelvinsinyinza1659 umemuluza swali zuri hajajibu

  • @اماحمد-ض4ه
    @اماحمد-ض4ه 2 года назад +1

    Watakao ingia Mbinguni nwatakatifu pekeyake kwa kua Mungu wetu ni mtakatifu ukijua anaelimu ya kuruhusiwa kuoa zaidi ya mke mmoja jua sehemu yako ni jehanamu usidanganywe na mapokeo ya wanadamu chukua hatua mapema umuulize Mungu nifanyeje ili niurithi uzima wa milele yye ni mwaminifu atakuelekeza njia ya kufata nafasi badoiko mda karibuni unaisha usitegemee sala ya wafu ukaona itakupeleka mbinguni...chaukwali usipo mkir Yesu na kuishi maisha ya utakatifu jipenge kua kuni ya jehanamu

  • @michaeljoachim8517
    @michaeljoachim8517 2 года назад +4

    Acha uwongo bro lugha zote zimeletwa na mungu acha kupotosha watu

  • @VeronicaMayemba-q7y
    @VeronicaMayemba-q7y 9 месяцев назад +1

    Eee mwenyezi mungu nijalie mwisho mwema

  • @ngaosimba4221
    @ngaosimba4221 2 года назад +26

    Hongera kutoka Kenya 🇰🇪

  • @Ahmed-w4b1v
    @Ahmed-w4b1v 3 месяца назад

    Kweli pepo Raha mwenyezimungu atujaalie mwisho mwema Amin

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 Год назад +8

    I can't wait to be in heaven...the most merciful GOD forgive me all my sins please

  • @andrewraphael3098
    @andrewraphael3098 2 года назад +40

    The story book 📖 Leo hap tujuane 😍

  • @leahmassawe7844
    @leahmassawe7844 2 года назад +26

    Daah! Wewe utaenda peponi kwa kutoa mafundisho mazuri kama haya kwetu❤

  • @personpeter2221
    @personpeter2221 2 года назад +3

    Ee MWENYEZI MUNGU nakuomba unipe maisha marefu na mwisho mwema ktk hii dunia

  • @ABDULSALAM-nd1ug
    @ABDULSALAM-nd1ug 11 месяцев назад +3

    Masha Allah

  • @creoamasy2968
    @creoamasy2968 2 года назад +6

    Umenifanya nishike Biblia bwan jamal
    Vifungu unavyotaja bc naenda n wew sambamba🥳🥳

  • @Bigsneh
    @Bigsneh 2 года назад +41

    God bless you Professor 🙏🙏

  • @KALIMBULA
    @KALIMBULA 7 месяцев назад +6

    Allah nijalie pepo njema

  • @brinasally7451
    @brinasally7451 2 года назад +8

    May God have mercy on us, May God forgive us our sins, May God receive and welcome us to heaven 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽

  • @loganpoul
    @loganpoul 2 года назад +8

    Wewe kijana tunakukubali Sana kutoka Congo DRC

  • @mohammedkidody5618
    @mohammedkidody5618 2 года назад +7

    Professor jamal umeua hongera tunakukubali sana kwa kutupa mambo ya msingi katika maisha yetu

  • @geraldmollel30
    @geraldmollel30 Год назад +7

    Nakubali Prof Jamal "unajua kuelezea na kufafanua mambo ya hadithi mbalimbali" big up xana Prof ✌️✌️

  • @princehancesam9892
    @princehancesam9892 Год назад +12

    Jaman nikifikiri maisha ya badae mwili wangu unaishiwa nguvu kabisa

  • @yhwh353
    @yhwh353 2 года назад +1

    28 wakisema, Mwalimu, Musa alituandikia ya kuwa, mtu akifiwa na ndugu yake mwenye mke, lakini hana mtoto na amtwae huyu mke, ampatie ndugu yake mzao.
    Luka 20:28
    29 Basi, kulikuwa na ndugu saba. Wa kwanza alioa mke, akafa hana mtoto;
    Luka 20:29
    30 na wa pili [akamtwaa yule mke, akafa hana mtoto;]
    Luka 20:30
    31 hata wa tatu akamwoa, na kadhalika wote saba, wakafa, wasiache watoto.
    Luka 20:31
    32 Mwisho akafa yule mke naye.
    Luka 20:32
    33 Basi, katika ufufuo atakuwa mke wa yupi? Maana aliolewa na wote saba.
    Luka 20:33
    34 Yesu akawaambia, Wana wa ulimwengu huu huoa na kuolewa;
    Luka 20:34
    35 lakini, wale wahesabiwao kuwa wamestahili kuupata ulimwengu ule, na kule kufufuka katika wafu, hawaoi wala hawaolewi;
    Luka 20:35
    36 wala hawawezi kufa tena; kwa sababu huwa sawasawa na malaika, nao ni wana wa Mungu, kwa vile walivyo wana wa ufufuo.
    Luka 20:36
    Peponi hakuna kuoa Wala kuolewa Wala Pombe Wala tendo la ndoa Wala wahudumu Wala vyakula hivi vyote Ni vya ki dunia Bali tutakuwa Kama malaika Ni kusifu na kuabudu na kumshukuru Mungu unastahili Mtakatifu wa takatifu Alfa na Omega . Pepo ya Waislamu Ni Kuzimu, Na Kuzimu na Kunywa Pombe na matamanio yote na starehe zote za kidunia yaani kuzini ruksa, ulevi ruksa na ulafi ruksa. Itoshe kusema hiyo Ni Kuzimu💯💯 Allah is Pimp.😅😂🤣 Na ndomaana vijana wakislam wanafanya Jihad Kama Al-Shabaab,Boko Haram, Al-Qaida wanapambana kuwahua watu na kuupigania uislam kwa kuuwa watu ili waende Janna (Peponi) na kupata starehe zote hizo ambazo duniaini hawakupata😭💔

  • @innocentmfalme4395
    @innocentmfalme4395 2 года назад +14

    From kenya, jamal baba lao, kama unakubaliana nami, nipe like..

  • @endtimes9850
    @endtimes9850 2 года назад +1

    Ufunuo wa Yohana 21;
    6, Akaniambia, Imekwisha kuwa. Mimi ni Alfa na Omega, Mwanzo na Mwisho. Mimi nitampa yeye mwenye kiu, ya chemchemi ya maji ya uzima, bure.
    7, Yeye ashindaye atayarithi haya, nami nitakuwa Mungu wake, naye atakuwa mwanangu.

  • @HarrisonKesi
    @HarrisonKesi Год назад +3

    Naomba Mungu aniepushe na Raha na Tamaa za dunia ili niweze kuona ufalme wa Mbinguni

  • @gma841mulkasihjanja
    @gma841mulkasihjanja 2 года назад +1

    Ewe mola wetu tuepushe na maovu tuepushe na moto tuepushe na majalibu ya kishetani tuepushe na ibilisi muovu tuzidishie kheli na swawabu Amina labila alamin Allah tulinde ENYI WAISLAMU WEZANGU PLEASE NAWAOMBA NAWASHAULI JAMANI NDUGU ZANGU TWASWALI JAMANIII JAMANI TUJITAHIDI KUFANYA MEMA UWA NAUMIA SANA NIKIONA WAISLAMU WEZANGU HAWASWALI DAAAH! EWE MOLA ALLAH ALLAH ALLAH TUZIDISHIE IMANI MOYONI MWETU TUZIDISHE IBADA AMIN 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🕌🕌🕍🕋🕋🕋

  • @japharykigoda5895
    @japharykigoda5895 2 года назад +3

    Qur an inasema katika Surat Al muuminuun... Katika Aya ya Kwanza .. (Wamefaulu waumini) maneno hayo ilitamka pepo baada ya kuumbwa yaan jinsi ilivyokuwa nzuri mbaka pepo yenyewe ilijitamani na kusema Qad afrah almuminuun yaan Wamefaulu waumin... SASA kama pepo ilisema Wamefaulu waumini kwa jinsi ilivyokuwa nzuri wewe Nani usitamani kuingia peponi... Tumuombe Mola wetu ili na sisi tuwe miongoni mwa watakaoipata pepo take tukufu Amiin

  • @Jordan-pm2uj
    @Jordan-pm2uj 4 месяца назад

    Allah nijalie niwe miongoni nitaoingia katika pepo yako 🙏🙏

  • @japhetvukaly4716
    @japhetvukaly4716 2 года назад +8

    Mimi sijawahi kuchoka kusikiliza story zako kaka jamal,hakika wewe ni proffesa.Mungu akupe umri mrefu utufundishe mengi ya kumpendeza allah wetu

  • @ashadiramo
    @ashadiramo Год назад +3

    👍 Naipenda xna story book,mashallah Mungu akuzidishie 🤲

  • @ahmedmiraji877
    @ahmedmiraji877 2 года назад +7

    Wallahi nimelia kusikia hi leo, jamal april Mwenyezi Mungu hakutangulie leo katika zte nimepata message vizuri Mwenyezi Mungu hatujalie tuwe watu wako Ameen.

  • @SingidaManispaa-xt6ro
    @SingidaManispaa-xt6ro 6 дней назад

    Ee ALLAH,naomba utujalie mwisho mwema na niingie peponi

  • @zanmedia5225
    @zanmedia5225 2 года назад +4

    Moja kati ya Elimu muhimu hapa ni kua Yesu ni Nabii na sio Mungu kama wengine wanavyodhani 🙏🙏

  • @madedemiller7070
    @madedemiller7070 7 месяцев назад +2

    The story book ya lewo umetisha mr jamali

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 2 года назад +87

    Watu wa peponi watapewa mpaka wataridhika, Allaah nijaalie kua miongoni mwa watu wa Peponi na uniepushe na adhabu yako ya moto.
    Aamiin 🤲