SAFINA YA NUHU / HASIRA ZA MUNGU NA GHARIKA YA KUTISHA [ NOAH'S ARK Swahili Documentary]

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 ноя 2024

Комментарии • 602

  • @MuganwaPatrick-jy3fx
    @MuganwaPatrick-jy3fx 3 месяца назад +179

    Kama unamkubalu Jamal ebu gonga like we're families guys I love y'all

  • @shantalclaryboteku9710
    @shantalclaryboteku9710 3 месяца назад +85

    Nilikuwa nasubiri kwa hamu history book,maana zote nilishamaliza kuangalia Good job Kaka wa Taifa 💪🏻🇹🇿

  • @AMARNsengi
    @AMARNsengi 3 месяца назад +40

    Kama wewe nimzima na hauna tatizo lolote la kiafya zidisha kumuomba kheri mungu
    Jamal april 🔥🔥🔥🙌🔥

  • @neozoran244
    @neozoran244 3 месяца назад +18

    mkuu.., humu umeua sana.., hakika kwenye ulimwengu wa story telling unastahili Heshima yako.., Pokea maua yako kaka 🙌🏽

  • @jamilaathumani5481
    @jamilaathumani5481 3 месяца назад +30

    Ibilisi kwel ni mnafki ...mwenyezimungu atuswamehe na atupe mwisho mwema inshallah...sisi na vizazi vyetu na wazazi wetu nafamilia zetu inshallah

  • @msazorhazard7395
    @msazorhazard7395 3 месяца назад +59

    Kwa wale wanaojiuliza ibilisi anawez aje kuongea na binaadam kwny hii story. Ibilisi huja kwenye sura na maumbo tofauti na huwatumia binaadam kufikisha maovu yake. Naamin hata wew kuna siku ibilisi alishawahi kukutumia kufanya ovu Fulani. Mungu atuepusha na fitna za Ibilisi, Ameen.

    • @AMJtiktok
      @AMJtiktok 3 месяца назад +3

      Bilisi huwa anavaa sutti na ana iphone 15 promax ❤❤ gari ibilisi haji nayo duniani mmtamuonea chuki wabongo

    • @Fm-MornStar2014
      @Fm-MornStar2014 3 месяца назад +2

      ​@@AMJtiktokI 😂🤣 😂 🤣
      Aya bhana!

    • @leonardmhagama5828
      @leonardmhagama5828 3 месяца назад +1

      Kama shetani anaweza kuja ktk maumbo ya mnyama au binadamu..
      Kwann waumini wengi wa kikristo wanakataa Yesu sio Mungu, na wanaoamini wanasema Mungu alikuja duniani kwa sura na mfano wetu kupitia mtoto Yesu, na tunawakatlia!?

    • @Theparzarcade
      @Theparzarcade 2 месяца назад

      ​@@leonardmhagama5828Yesu alifanya meditation na kuamsha chakra zote saba, na alitafuta elimu yake maeneo tofauti tofauti ikiwemo kuingia katika giza ndio maan kuna mtoza ushuru alimfuata akamwambia nifanyeje eeh mwalim mwema akamuuliza kwann unaniita mwema angali hayupo aliye mwema kumshinda mungu kwaiyo yesu anasiri nyngn kanisa linazificha ili kuchukua utukufu kupitia stori yake ya juu juu na stori ya yesu ndio inalipa kanisa nguvu ya kutawala dunia.

    • @MARIOTHERAPPER
      @MARIOTHERAPPER 2 месяца назад

      ​Wewe kunywa maziwa bangi itakuchizisha sawa sasa unataka kusema shetani ni sawa na mungu ama wanafanana wewe fikiria kwanza​@@leonardmhagama5828

  • @PaulMawira
    @PaulMawira 3 месяца назад +87

    Kutoka Kenya, nipeni likes jameni

  • @omariochumu935
    @omariochumu935 3 месяца назад +12

    Profesa jamal naomba ufanye makala ya jinsi ya kuswali kwa kiislamu na neno kwa neno kwa maana yake ahsante.

    • @petro_Raphael
      @petro_Raphael 3 месяца назад +1

      RUclips zipo video nying mkuu

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z 3 месяца назад +11

    Naomba Mungu akuongoze na akupe maisha marefu na elim yako❤

  • @ZaxAbudo-n2t
    @ZaxAbudo-n2t 3 месяца назад +11

    Comments Zango nikizipeleeka amunipi like naomba hi iwe yankuanza kupata like nyinge natokea Moçambique Mano Jamal eu gosto de ti muito você tás na lista dos shiekh ❤ bem

  • @YassirRashidjuma
    @YassirRashidjuma 3 месяца назад +10

    Allah ni mwingi wa huruma na nimmpole kwa wajawake

  • @ArafatIssahamis
    @ArafatIssahamis 3 месяца назад +16

    Safi jamali nakukubali unajuwa kak naomben like ndugu zangu Kam wote tunaipenda story za jamali

  • @JanipherLopez
    @JanipherLopez 3 месяца назад +5

    Kazi ya mungu ni ngumu sana ninajua mungu alikua anawalisha uko ndani ya safina

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 3 месяца назад +3

    Nimeipenda sana hii hadithi ya Nuhu, nilikwisha ona movie yake miaka ya nyuma, nimeipenda sana .hii dunia ilianza zamani sana ,na watu wakaidi walishakuwepo tangia hizo enzi.tumuombe sana Mungu, maana wakorofi sasa hivi ni wengi mno.16.08.24.

  • @MunezeroHabiba-td3mv
    @MunezeroHabiba-td3mv 2 месяца назад +3

    Mwenyeezi Mungu Subhanau Wataala hashidwi nalolote wala chochote kula kulala kuishi midhali alimtuma mtumishi wake humo ndani ya safina kilakitu kilikuwa tayari maana yeye ni KUN Faya Kun

  • @ChaumaraAli-z5i
    @ChaumaraAli-z5i 3 месяца назад +22

    really story quran congratulations my brother for good history have a good days

  • @salumukatani03-u8b
    @salumukatani03-u8b 3 месяца назад +10

    Hongera Kwa story hii yenye mafundisho Kwa maisha yetu

  • @fanuelfedrick2812
    @fanuelfedrick2812 3 месяца назад +31

    Mwaga like za upended kwa professional

  • @lidamudy2842
    @lidamudy2842 3 месяца назад +30

    Kutoka burundi 🇧🇮 nip like ata 5

  • @AishaTabi-e2z
    @AishaTabi-e2z 3 месяца назад +8

    Asante sana jamali nilikua na hamu nakusupiri ❤❤❤❤

  • @benjaminbrucesports3945
    @benjaminbrucesports3945 3 месяца назад +7

    Nimekuwa mtu wa 60 ,, Nakubali Mkuu Kwa Historia Kama Hii

  • @abedymtore2707
    @abedymtore2707 3 месяца назад +6

    Kuhusu chakula na vyakula vya wanyama kwakua swala lilikua laki Mungu apo Azani kama kuna tatizo iyo operation iltekelezwa na MOLLAH mwenyewe apo no dout.kazi nzuri professional profeor

  • @BrianPrudenceOngera
    @BrianPrudenceOngera 3 месяца назад +13

    It's Great story of Noah (Nuhu) professor Jamal April mustapha God is Omni presence to you 🙏🙏👏👏

  • @rogatusmeleki1660
    @rogatusmeleki1660 3 месяца назад +4

    Stori nzuri kabisa kwa mwaka 2024
    Kuna la kujifunza hapa
    Kwann binadamu hatupendan n kwann kuna adhabu ya kifo

  • @HildaLyimo-u9l
    @HildaLyimo-u9l 3 месяца назад +8

    Dahhh qur ann amefafanua kwakina sana

  • @amanmalima940
    @amanmalima940 2 месяца назад +1

    Yesu Ndiye njia ya kweli na uzima ya kwenda mbinguni hebu mwamini Yesu na UOKOKE na Ulithi uzima WA MILELE na uende MBINGUNI.(Yohana14:6, Warumi10:9-10).

  • @jameskinuthia4480
    @jameskinuthia4480 3 месяца назад +16

    Professor the best of the best 💯💪💪💪

  • @NoelyGasto-g6s
    @NoelyGasto-g6s 3 месяца назад +28

    Jamal April prolofesa nakubali kazi zako

  • @kinegandambalilo4295
    @kinegandambalilo4295 3 месяца назад +2

    Mwenyezi Mungu mkubwa 🙏🙏🙏🙏

  • @hamzafishten9560
    @hamzafishten9560 3 месяца назад +8

    Nakukubali sana

  • @OnesmoMwipopo-co8dr
    @OnesmoMwipopo-co8dr 3 месяца назад +8

    Hii story nilikuwa nasubili kwa hamu sana

  • @EstherMazengo
    @EstherMazengo 3 месяца назад +5

    Mungu uwe nami mpaka mwisho wa dunia

  • @renndag8742
    @renndag8742 3 месяца назад +13

    Jamal namkubali sana, kutoka DRC🇨🇩🇨🇩

  • @SalimuMachera
    @SalimuMachera 2 месяца назад +1

    Mashallah othman maalim mule mule wallah nimependa

  • @godfreystephano4992
    @godfreystephano4992 3 месяца назад +9

    Naisubiria kwa hamu sana hadithi ya henocko

  • @hudhaifaramadhan
    @hudhaifaramadhan 3 месяца назад +52

    Allahu Akbar

  • @HashimuMilanzi-ko8xm
    @HashimuMilanzi-ko8xm 3 месяца назад +8

    Jamaa unajua sana ww

  • @thisisivyy
    @thisisivyy 3 месяца назад +27

    Finally been waiting for a notification..🇰🇪♥️

  • @barakae.n6418
    @barakae.n6418 3 месяца назад +24

    Tunaofatilia story book kila wiki tujuane hapa 👍

  • @silakhaemba6084
    @silakhaemba6084 3 месяца назад +4

    Kazi nzuri Sana Jamal napenda hizi fafanuzi

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 2 месяца назад +1

    Yesu ni ufufuo na uzima

  • @King_Of_Everything
    @King_Of_Everything 3 месяца назад +7

    Nothing can stop Nature.✌️

  • @kenedyfrank-wo8jk
    @kenedyfrank-wo8jk 3 месяца назад +14

    Hizi ndo story tunazopenda sio zile za siasa tunataka za kidini ❤❤❤❤

    • @jacksonseleman4292
      @jacksonseleman4292 3 месяца назад

      Sas ndin na siasa c ni kitu kimoja tu

    • @allahisone6386
      @allahisone6386 3 месяца назад


      DINI NASI NDINI

    • @rayv519
      @rayv519 3 месяца назад

      Mwambie ajue spellings kwanza😂​@@allahisone6386

    • @atenionesmo_A10
      @atenionesmo_A10 2 месяца назад

      zote zinaumuhim zinaumuhim kukingana na mda wake

  • @tanzcanmediatv4473
    @tanzcanmediatv4473 3 месяца назад +9

    Nakakumbuka kaleckawimbo Nuhu alifanya kama vile alivyoagizwa na Mungu.kwamba atengeneze safina.....

  • @finetechkenya
    @finetechkenya 3 месяца назад +8

    Watching from Kenya feel loved professor of creativity ♥♥!!!

  • @DJQueenBeeOG
    @DJQueenBeeOG 3 месяца назад +7

    Nime isubiria sana hii aisee atimae

  • @henrylugendo280
    @henrylugendo280 3 месяца назад +22

    Safi sana jamal

  • @dennissitawa6020
    @dennissitawa6020 3 месяца назад +4

    I like it. Good work Professor. You have explain it in clarification, intensity and diversity manner.

  • @JolieLila-q7t
    @JolieLila-q7t 2 месяца назад +1

    iyi story ni mzuri sana kweliii❤

  • @civianipyana4915
    @civianipyana4915 3 месяца назад +5

    Greatest of all time once again ❤❤❤

  • @AminRound
    @AminRound 3 месяца назад +6

    Fantastics story like nyingi

  • @davidmchomvu2210
    @davidmchomvu2210 3 месяца назад +9

    Professor jamal anajua 🎉

  • @christopherwilbard2711
    @christopherwilbard2711 3 месяца назад +5

    hakika mungu nimwema

  • @maliyawatukim5912
    @maliyawatukim5912 3 месяца назад +1

    G.O.A.T Professor jamal keep it up 🙌👏

  • @petronsemwa9772
    @petronsemwa9772 3 месяца назад +4

    Hatimae umerudi jamala

  • @GeofreyMtensa
    @GeofreyMtensa 3 месяца назад +12

    Huyu nabii ISSA anazungumziwa juu kwa juu...lkn ...inaonesha sio mtu wa kawaida km tunavyomchulia....kuna kiwango cha imani kimeongezeka kwng juu ya kumwamini issa bin Mariamu(YESU KRISTO)

    • @Richforever66
      @Richforever66 3 месяца назад

      Tena waislam wamesema yeye ndio nabii wa Kwanza aliye fanya miujiza dunian kuliko nabii yoyote yule

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 3 месяца назад

      Kwa hiyo ni Mungu sio😅

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul 3 месяца назад

      ​​@@Richforever66... kwa hiyo atakuwa Mungu sio😅

    • @KevinAtito
      @KevinAtito 3 месяца назад

      Endelea kueka imani kwake utamjua zaidi

    • @alimoe9769
      @alimoe9769 2 месяца назад +1

      ​@@Richforever66hapana akuna muislam anasema hivyo kila mtume amekua na miujiza yake

  • @kingkittah6748
    @kingkittah6748 3 месяца назад +7

    PROFESSOR 🙌🙌🙌🙌

  • @RawdhaTv
    @RawdhaTv 3 месяца назад +5

    Mashaallah

  • @lilfourcreatives
    @lilfourcreatives 2 месяца назад +1

    I requested this story book of Noah .. thanks Professor Jamal Mustapha ...baraka nyinyi kwako ndugu ...
    From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with love

  • @LangxSheby
    @LangxSheby 3 месяца назад +3

    history mzuri Kinachoniuzi the story Book inakua ndefu ndefu kama move Daah

    • @MohammadKhamis-ib7dz
      @MohammadKhamis-ib7dz 3 месяца назад

      Mmmh 🤔 mbn

    • @gilbertgodfrey6376
      @gilbertgodfrey6376 2 месяца назад

      We ulitaka iwe fupi and then

    • @LangxSheby
      @LangxSheby 2 месяца назад

      @@gilbertgodfrey6376 sasa and then ndionini ivyo vingelezavyenu vyaku mix mix vinaboa kinoma sikuizi kama kimombo shuka kimombo kama kiswahili shuka kiswahili Bhana 🤣🤣

  • @christopheritambo1315
    @christopheritambo1315 3 месяца назад +8

    Nzulii hii 😁

  • @KeithKipleting-ot6wc
    @KeithKipleting-ot6wc 3 месяца назад +4

    Kazi nzuri Jamal

  • @CaptainJaphet-lp1km
    @CaptainJaphet-lp1km 3 месяца назад +5

    You're best Bro 👍 good work

  • @SwadyChino-z2h
    @SwadyChino-z2h 3 месяца назад +15

    Natokea Mozambique 🇲🇿 kama una mkubali jamal gonga like apa ❤

    • @muhibuabdul5070
      @muhibuabdul5070 3 месяца назад +1

      Upo seemu Gabi Nami nipo moza

    • @RobinsonChege-pc3pk
      @RobinsonChege-pc3pk 2 месяца назад +1

      Msumbiji mnaweza kuiongea kiswahili vizuri hiviii.... Tuwe marafiki

    • @bonifasjk2290
      @bonifasjk2290 2 месяца назад

      Huko Mozambique mnakula Likes? Au kuna duka la kununulia likes? 😅

    • @RomakaAbdala
      @RomakaAbdala 2 месяца назад

      Niko Mozambique 🇲🇿 kutoka Cabo delgado Mocimboa da praia

  • @omarymayunga2889
    @omarymayunga2889 3 месяца назад +9

    Wa Saba daah leo

  • @Aliy-kf2hc
    @Aliy-kf2hc 2 месяца назад +1

    Uko vzur bro nkubali zako

  • @abelmbilinyi1262
    @abelmbilinyi1262 3 месяца назад +6

    Proffesor ❤

  • @petertosh7726
    @petertosh7726 3 месяца назад +10

    At least Leo cjachelewa,pita n like

  • @hamzamoshi8275
    @hamzamoshi8275 3 месяца назад +6

    Jaaamaaaaalllly🙌🏻

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 3 месяца назад

    Shukran Kaka kwa ufafanuzi huu ila swali ambalo ni jibu kwa kila mwenye shaka ni hili, Je ni kipi kigumu zaidi ya haya, kubuni kisichokuwepo kikapatikana na kutengeneza muundo wa chombo ya kilichokuwepo,kipi ni rahisi?
    Wabunifu wote wa sasa hivi na ujuzi wao wote wanarudi kwenye matukio ya kihistoria ya kale ili kubuni waliyoyasoma..k.m Mungu kaeleza kuhusu safina ya Nuhu(a.s) na kwa upana wake na uweza wake yote yaliyopo kwenye maandiko yakatimia, ijapo vipimo vya ujenzi huo huenda vilikoseka...ukubwa wa Mungu utabaki tu daima

  • @christopherotieno4866
    @christopherotieno4866 3 месяца назад +4

    🎉🎉🎉🎉 Good job 👏 Professor.

  • @JosephFredrick-ev1tw
    @JosephFredrick-ev1tw 3 месяца назад +6

    Appreciate bro unajuwa bhana live long Life

  • @JohnKevin-y1g
    @JohnKevin-y1g 3 месяца назад +7

    Kazi nzuri

  • @NyandaAmos
    @NyandaAmos 3 месяца назад +6

    Good broo

  • @TheRedArmy980
    @TheRedArmy980 3 месяца назад +4

    Jamal the king 👑
    Nikiskia tuu "The Story book..."
    Nasisimka tuu

  • @SamweliLazaro-t7n
    @SamweliLazaro-t7n 3 месяца назад +1

    Duhhh kitmbo xn nilkua naisbri snaa good job Mr Linguist 👏🦾🦾

  • @CITIONE-w6l
    @CITIONE-w6l 3 месяца назад +2

    Yani kil kilichoendelea kwenye kukusanya wanyama na juu ya chakula walikulaje vyote ni uwezo wa mungu ,hata wanyama kutokulana na namna ya vipi walikula ni mungu pekee ndie aliewezesha kila kitu hamna hata haja ya kupinga chochote.ALLAHU AKBAR.

  • @sheshehassan2504
    @sheshehassan2504 3 месяца назад +1

    Ahsante kaka umetisha kiukweli maana umeenda vizur

  • @MalaikaBrighton
    @MalaikaBrighton 2 месяца назад

    Baba muumba mbingu na nchi na vyote viliyomo jina lako litukuzwe milele yote 🙏🙏🙏amen

  • @jumannemohamedy1456
    @jumannemohamedy1456 3 месяца назад +4

    Nilikuwa na kusubiria sana

  • @joselineamosy5507
    @joselineamosy5507 Месяц назад

    May God bless you Jamal ❤❤

  • @MasnamussaPp
    @MasnamussaPp 3 месяца назад +1

    Mungu hashidwi na jambo lolote lile alitakalo,kimfano inanyesha mvua ktk mbinguni yupo wa kuizuia,jibu hakuna isipo mungu mwenyewe asie na mshirika

  • @HamadOmar-x4u
    @HamadOmar-x4u 2 месяца назад

    Allah akbar

  • @AimealengebienkisepeAimealenge
    @AimealengebienkisepeAimealenge 3 месяца назад +1

    Merci bcp professionnel

  • @aishabrondi236
    @aishabrondi236 Месяц назад

    Uislamu raha ❤❤❤❤

  • @m.m.tvmbebamaono
    @m.m.tvmbebamaono 2 месяца назад

    Sayansi ya Dunia haiwezi kulingana na sayansi ya Mungu ,kama aliweza kusimamisha jua atashindwa kufanya hivyo

  • @benwagema3731
    @benwagema3731 3 месяца назад

    jamal alwas makes my day. his resech is perfect

  • @vangaboy
    @vangaboy 3 месяца назад +11

    Wa kwanz leo daah

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 3 месяца назад +10

    Hii story ukitaka uienjoy vizuri isome kwenye Biblia kitabu cha Mwanzo 6,7,8 na 9,story imekuwa ndefu mpaka imepungua ladha kwa kutaka kubalance dini.Wakat ukweli ni story halisi ya Nuhu ipo kwenye Agano la kale hao wengne wote wamecopy humo na kuongezea maneno yao.

    • @jessicajoel6410
      @jessicajoel6410 3 месяца назад

      kabisa uhalisia umepotea kwenye Quran Mohamedi alitupiga hapo hakucopy vizuri, Torah kitabu cha Wayahudi na Bible stori inafanana ila Mohamed kachochora kidogo... kama hapo Mke wa Nuhu kuwa muovu hapana.....Mke wa nabii ambae alikuwa msaliti kwa mumewe ni Rutu yule aliyegeuka kuwa jiwe la Chumvi wkt wa Sodoma na Gomora

    • @MrSmile_Family
      @MrSmile_Family 3 месяца назад +1

      Hamjui kitu na dini yenu ya uongo

    • @NassorMasoud-le1jt
      @NassorMasoud-le1jt 2 месяца назад +2

      @@jessicajoel6410mzee usizungumze usilona uhakika nalo kama bible imetungwa na binaadamu basi sisi QUR’AN yetu haijatungwa na yyte wala muhammad hajatunga ila ni maneno ya mwenyezi mungu…..! Yeye nimpokeaji tu na ni binaadamu kama sisi ila ni mtume wetu na ni kiumbe kitukufu na kipenzi cha waislam wote ulimwenguni usiropoke tu boss unakosea……!

    • @jessicajoel6410
      @jessicajoel6410 2 месяца назад +1

      @@NassorMasoud-le1jt Ana utukufu gani huyo kwa kuoa kitoto cha miaka 9 kama alicopy vibaya tusiseme???? Alicopy vibaya kwasababu alishayakuta maandiko na yeye kakopi na kubadilisha

    • @saddybrezzy9777
      @saddybrezzy9777 2 месяца назад

      Sio hadith tamu ipo kwenye Qur'an

  • @muwezahasani4017
    @muwezahasani4017 3 месяца назад +1

    Much respect 🔥🔥

  • @SethJohn-x9f
    @SethJohn-x9f 3 месяца назад

    Nakubali sana Jamali Jamali nakufwatilia sana

  • @mwananyamalaz4427
    @mwananyamalaz4427 3 месяца назад

    Mungu nimungu story nzuri God bless 🙏

  • @mulwalivu5778
    @mulwalivu5778 3 месяца назад

    Baba jehova jire unisuru daima nikutumikie amen

  • @rodgersmwenda6204
    @rodgersmwenda6204 3 месяца назад

    Congratulations,,I admire your story telling. ❤thumbs
    God bless you.

  • @SaleheHashimu
    @SaleheHashimu 3 месяца назад +2

    Good job Jamal april

  • @nunumrisho6548
    @nunumrisho6548 Месяц назад

    Mwenyezimungu nibmjuzi wa kila jambo

  • @skynet-timazi
    @skynet-timazi 3 месяца назад +1

    Kutoka Kenya, nipeni likes jameni...

  • @aliymwanafuno9848
    @aliymwanafuno9848 2 месяца назад

    Mr jamal asante kwakutujuza vyema Allah akuzidishie elim,ila nina swal kaka kipindi nuhu anawachukua wanyama na kuwaweka kweny jahaz,je kipind hiko simba walikuwa awali wanyama wenzao,na ikawaje simba mbaka wanakula wanyama wenzao

  • @hajiyusuf3837
    @hajiyusuf3837 2 месяца назад

    Story nzuri!umekosea hapo kwenye picha tu,hizo siyo picha halisi za mitume ya mwenyezimungu,Athari za hizo picha ni kubwa mno kiasi kwamba wapo baadhi ya watu wanaziabudu .

    • @concareenpius
      @concareenpius 2 месяца назад

      Sasa pc halisi angezitoa wap yeye kajarbu tu kufikisha ujumbe aliokusudia

  • @JacksonThomas-or4zc
    @JacksonThomas-or4zc 3 месяца назад +20

    Gonga like kama Unamkubali Jamal