The Story Book: Malaika Walionaswa na Kamera /Wajue Malaika na Nguvu Zao Za Kutisha ❗️

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 ноя 2024

Комментарии • 1,1 тыс.

  • @littletv3177
    @littletv3177 2 года назад +462

    Ambao tumeikubali story hii tupige kura Kwa kupiga like nyingi apo chini ( professor) 👍

  • @saidbinsaid7812
    @saidbinsaid7812 2 года назад +18

    Safi sana Mr,elimu ndo kila kitu hasa kwa wakati huu ambao dunia inaenda mwisho tena kwa dalili za vitabu.
    Tukumbushe hata kama kwa kutisha
    Ili sote tujaaliwe pale tulipoahidiwa na wewe ukiwa sehemu ya msaada wakufanikisha hilo..
    Shukran prof.

  • @rosegodson4633
    @rosegodson4633 2 года назад +42

    Namuogopa MUNGU mm😭😭😭
    Baba Mimi ni nani kwako😭😭 naogopa, naogopa mno nikiskia habar zako mola wangu nakuogopa nawaza kwann uliniumba binadam naogopa,. Nakuomba hiki tu nijalie mwisho mwema MUNGU Wang mwenye kuogofya

  • @johnmwanzia5461
    @johnmwanzia5461 2 года назад +82

    Asante sana Brother Jamaal. Hakika Mungu amekubariki na kipaji kikubwa Sana. Umeweza kuelimisha watu wengi kupitia hizi simulizi. Big up bro. Naomba utuletee simulizi ya " Kwa nini watu wako na rangi tofauti Duniani"

    • @allyngonyo4964
      @allyngonyo4964 2 года назад +2

      Wazung wametokan n nederthols nd maan wao n weupe n hawan vitu ving Kam culture nd maan wanatamadn z ajab tafta ndugu yng hyo history

    • @upendotarimo2965
      @upendotarimo2965 2 года назад +1

      Ni kwelii kabisa Hakika Mungu amembariki na kipaji kikubwa sanaa

    • @eyelushshamschel
      @eyelushshamschel Год назад

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Hakuna ukweli ndan yake huo n UONGO MTUPU 👉🌎☝️🙏🙏🙏

  • @nasirmusa4581
    @nasirmusa4581 Год назад +26

    Bro Jamal you are a true teacher and storyteller,you are really a good example to follow,be bless bro

  • @yassermohamed1034
    @yassermohamed1034 2 года назад +30

    Now this guy has become a true defination of a Best Documentarier. CBS Justice, Discovery ID, NatGeo, RealTime & etc wanafaa wakuone watutengezee swahili versions of documentary km hizi zako. Much support from🇰🇪

  • @rehmahamishamismkande4348
    @rehmahamishamismkande4348 2 года назад +11

    Hii stori imenifundisha kuwa Mtume Muhammad alipewa baraka kubwa Sana kutoka kwa mwenyezi Mungu

  • @ericfrance1486
    @ericfrance1486 Год назад +24

    Am a Christian..but this guy...is interesting.....from Kenya❤️❤️❤️

  • @mzeewajambo8293
    @mzeewajambo8293 2 года назад +66

    Jamali April"""professor """". Asante Sana Kwa Simulizi Hizi Nzuri
    Mungu aendelee kukubariki

    • @wambuakyalo3945
      @wambuakyalo3945 2 года назад +1

      Mola akubariki sana

    • @susankariuko9582
      @susankariuko9582 2 года назад

      Sometimes do your research well about christianity sikuja kupayukayuka upuz I love your story but so many things you have talked about christianity believe it's nothing but Nonsense

    • @mzeewajambo8293
      @mzeewajambo8293 2 года назад

      @@susankariuko9582 Mimi au

    • @mzeewajambo8293
      @mzeewajambo8293 2 года назад

      @@susankariuko9582 Mimi au

  • @SukuCeleb
    @SukuCeleb 2 года назад +14

    Hii story ni tamu sana,inayo ongelelea mambo yake maraika wa mwenyezi Mungu,am watching from Kenya Nairobi,Mungu akubarki zaidi

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 года назад +14

    Asante sana my brother from another mother kwa hakika the story book naipenda sana ndio maana nimehifadhi video zako zaidi ya mia NNE

  • @fauzilzubery4496
    @fauzilzubery4496 2 года назад +36

    Asante sana kk Jamal nilisubir simulizi kali km hii kutoka kwako ni kweli elimu juu ya malaika ni kubwa sana hatuwez kuimaliza kiwepesi ila asante sana ubarikiwe sana. Naomba uje na story book kuhusu majini ni viumbe wa aina gn wameumbwa kwa kutumia nn na wanaishi wp. Baba yao nani nk. Pongezi kwako kk Jamal.

    • @marandimhirinyakara7546
      @marandimhirinyakara7546 2 года назад +2

      Majini ndio hao malaika sema wenywe ndio malaika walio fukuzwa mbngunii

    • @samweljoseph5039
      @samweljoseph5039 2 года назад

      Kama umepata hadithi ya malaika ...Majini wakusaidie nn tena

    • @fauzilzubery4496
      @fauzilzubery4496 2 года назад

      @@samweljoseph5039 kk majini na malaika ni viumbe viwili tofauti majini wameumbwa kwa kutumia moto na malaika wameumbwa kwa nuru.

    • @fauzilzubery4496
      @fauzilzubery4496 2 года назад

      @@marandimhirinyakara7546 majini na malaika ni viumbe viwili tofauti majini wameumbwa kwa kutumia moto na malaika wameumbwa kwa nuru.

    • @gabrielkiragu6302
      @gabrielkiragu6302 Год назад

      Ww brother ni mtu mkarimu Kwa kazi yako thanks umenielimisha mambo mengi kw duniya mpaka narudi kw ibada Mungu akupe guvu na baraka kubwa thanks bro👍

  • @juniorafricaartwork5365
    @juniorafricaartwork5365 2 года назад +10

    Amazing how great you can tell a story. You are a genius,those who agree likes please. ...........

  • @Mussajohn99
    @Mussajohn99 2 года назад +41

    Unatujaza imani nakutufanya tumtambue Mungu zaidi Mungu akubariki sana kwa story hii🙏🏾

  • @jumakibe5032
    @jumakibe5032 2 года назад +10

    Daah jamal ww ni basi tena.. Nimepata iman ya Mungu kupitia hii clip ya leo. Mungu akupe afya unabadilisha watu kuwa watu wema. 🙏

  • @starlightofficial5214
    @starlightofficial5214 Год назад +4

    Mwanangu umetoa elimu safi sana. Ubarikiwe kwa kutukumbusha Mungu anatupenda sote na atagemea tujitahidi turudi kwake na kwa uwezo wake tunaweza tukijizatiti.

  • @bongiwebantwini6373
    @bongiwebantwini6373 2 года назад +34

    U Don’t get tired of listening ur storybook,Jamal April we love you!!!

  • @beutahzippy8069
    @beutahzippy8069 2 года назад +11

    Ever since I have been following this channel you have really been helpful to me I have grown in faith and knowledge I pray to God to give you more wisdom and long life to bring light and knowledge to this world.
    God bless you forever JAMAL MUCH LOVE FROM KENYA.💖

  • @mandalorian_4.11
    @mandalorian_4.11 2 года назад +14

    Tunashkuru sana kwa mafunzo yako... hakika unajua unachofanya, naomba ujue tu kua unajeshi kubwa sana.... tupo hapa kukusapot kwa kila kazi unayoiandaa kwa ajili yetu! #AsanteJamalApril

    • @mrishoathumani1164
      @mrishoathumani1164 2 года назад +1

      Mungu akubariki Kaka napia abariki kazi ya mikono yako

  • @TheNaomie1987
    @TheNaomie1987 2 года назад +6

    Allah atupe mwisho mwema!! Inatisha!! Love u Jamal 🇧🇮🇧🇪🇸🇳

  • @robertsimba5081
    @robertsimba5081 2 года назад +59

    God is powerful...HE is worthy to be feared!🇰🇪2022

  • @asaadalbusaidi1870
    @asaadalbusaidi1870 2 года назад +7

    M/mungu akuepushie hasad jamal kwakazi nzuri

  • @mohamedomary6919
    @mohamedomary6919 2 года назад +159

    Huyu jamaa Ni mfano wakuigwa sana Weka like yako kama na ww unamkubali Jamal🙏🙏

  • @mmutajr
    @mmutajr 2 года назад +6

    Mungu Anamiguvu Sana Zaidi ya Tunavyomsoma Ktk Vitabu

  • @macmut8957
    @macmut8957 2 года назад +115

    Zuri kama kawaida.Watching from Kenya.Big up Jamal.🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @Blakybraun_3
    @Blakybraun_3 2 года назад +14

    God bless you jamal april upo vizuri mnoooo unafanya tumalize MB zetu

  • @marianandisi1641
    @marianandisi1641 2 года назад +35

    I love to learn through this platform,, the story book 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🙏

    • @hajisalumsalum-lf6dy
      @hajisalumsalum-lf6dy Год назад +1

      the story book inatufunza mengi na tunapenda sana kufuatilia mafunzo haya ya kiulimwengu

  • @emmanuelbrownofficialke.-n7942
    @emmanuelbrownofficialke.-n7942 2 года назад +45

    Hakika Jamal amenifanya niyafahamu yale mengi nisiyoyafahamu! Kama wewe pia mwenzangu unahisi jinsi nilivyohisi maishani kutokana na huyu Jamal, please hebu tumpe hizo likes kwa wingi! More love ♥️♥️ from 🇰🇪

  • @elishayaredi9105
    @elishayaredi9105 2 года назад +17

    Jamal unafanya kazi nyema sana ningependekeza uweke namba ya kusapoti kazi hii binafsi niko tayari kutuma kakitu unatuelewesha sana mpendwa am Elisha from kenya

  • @polyglot053
    @polyglot053 Год назад +4

    You're are ripe for everything. Congratulations Mr. Aptily🎉❤

  • @gladnessshola2718
    @gladnessshola2718 2 года назад +13

    Ufunuo 4:8
    Na hawa wenye uhai wanne, kila mmoja alikuwa na mabawa sita; na pande zote na ndani wamejaa macho, wala hawapumziki mchana wala usiku, wakisema Mtakatifu, Mtakatifu, Mtakatifu, Bwana Mungu mwenyezi, aliyekuwako na aliyeko na atakayekuja

  • @feynation3739
    @feynation3739 2 года назад +94

    God is good all the time ♥️

    • @361NEWS
      @361NEWS 2 года назад +5

      Yes love

  • @dennissisi2770
    @dennissisi2770 2 года назад +25

    In kenya 🇰🇪 we love you professor

  • @valentinanduku8718
    @valentinanduku8718 10 месяцев назад

    Elimu ni ufunguo wa maisha jamal hongera sana kwa hii elimu unayotupatia Mungu akulinde

  • @nayoneplatnumz3311
    @nayoneplatnumz3311 2 года назад +12

    Jamal April professor hiii ni noma sana, congratulations maana unachukua mda mwingi sana kutuandalia nalala hizi endelea ivo ivoo

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 2 года назад +6

    da! HETI WAKIKUPINDUA
    DAH HATALI SANA
    GREAT OF ALLAH
    SO HAWEZI KUPINDULIWA
    💯%

  • @kalziidazamba2658
    @kalziidazamba2658 2 года назад +21

    Kazi mzuri brother jamal naomba history ya mfalme wa karne 20 kituko cha Afrika BOKASSA....🇲🇿🇲🇿

  • @mussamrope1934
    @mussamrope1934 Год назад +1

    Allah is great..hakika ukitaka kujadili ukubwa wa mwenyezi mungu..jadili kwnza alivyoviumbe..Allah akbar Allah akbar

  • @DEEJAYSYLVERkE
    @DEEJAYSYLVERkE 2 года назад +13

    Kazi bomba ndugu Jamal. Mafunzo mazuri tena kwa ufasaha

  • @JoshuaLekayeni
    @JoshuaLekayeni 7 месяцев назад +2

    Mungu wangu nakuogopaa nakuogopaa sana yani sana mungu wangu nijaliee mwishoo mwemaa🙏🙏⛸️

  • @tomyleejr3362
    @tomyleejr3362 2 года назад +63

    Good work Prof,like your stories from 🇰🇪

  • @KB-do5sr
    @KB-do5sr 2 года назад +16

    Kazi safi jamal,,kenyans 🇰🇪 🇰🇪 are in the house

  • @pauloh.4133
    @pauloh.4133 2 года назад +5

    Kazi swafi! Kenya iko love! 🇰🇪♥️♥️🇹🇿.

  • @abdulnuruhassan8611
    @abdulnuruhassan8611 2 года назад +1

    Kaka jamali
    Tunashuku kwa kutupa faida....tunaomba uzidi kutuletea makala nyengine na nyingine Allah akuzidishie ilimu na ibra🙏

  • @mustapharally9489
    @mustapharally9489 2 года назад +3

    Waaaaaah natamani kufanya kazi n huyu gwiji Jamal April.... Watching from south b Nairobi Kenya

  • @ftheophili_
    @ftheophili_ Год назад +1

    ALLAH atulinde na atuepushe na mabaya yote na tumuamini yeye tu maana bila yeye sisi si chochote wala si lolote ALLAH AKBAL ❤🙏🙏🙏🙏

  • @reyvannyedsoni983
    @reyvannyedsoni983 2 года назад +4

    Uko vizuri sana kwkwel mdadisi Bora kwa maswala ya the storybook

  • @haniahrajab
    @haniahrajab Год назад

    Yaani nimejikuta hapa masaa yanaendelea na sipati kutambua ,...
    Kazi nzuri sana ndugu yangu.
    Mwenyezi Mungu akuwezeshee na kukuzidisha kwa kwa kazi yako nzuri.

  • @BeuregardLigunzilu-gi8wf
    @BeuregardLigunzilu-gi8wf Год назад +3

    We love you professor from🇰🇪 continue doing this great work

  • @lovis6863
    @lovis6863 2 года назад +1

    Kazi Safi na za kupenza Sana asanti Kwa kutujulisha mengi tuliyokua hatujui Kama kijiji cha kilwa🙏🙏

  • @rahimumlulu9023
    @rahimumlulu9023 2 года назад +2

    Allah akupe ILMU zaidi na akuongoze. shukran sana

  • @AndrewWoiso
    @AndrewWoiso Год назад

    Kaka Jamal ww ni professor Mungu azidi kukuinua kwa unazofanya nakukubali sana broda🙏✊

  • @sollothemonster207
    @sollothemonster207 2 года назад +16

    Upo vizuri professor, nakubali makala zako...

  • @ayubukedimundi3221
    @ayubukedimundi3221 2 года назад +2

    mtalamu upo vizuri unasoma vitu ving mtu makini...Professor.....Naomba utuletee simulizi ya vita ya almagedon

  • @selemanihussein6827
    @selemanihussein6827 2 года назад +17

    Unajua kusimulia pia wewe ni mbunifu sana proffessor

  • @Abashomela
    @Abashomela 2 месяца назад

    Huyu ndio mtu anaetakiwa kupewa tuzo za masimulizi bora mbaka atakapostaafu ndo wawape wengine unaweza prof. Jamal mungu awe nawe kila hatua ww ni mwambaaaa

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 2 года назад +10

    Tunaweza kujiuliza mengi nakuhisi, lakini kitu tumejifunza apa Mungu kwanza. Sisi binadamu hatuwezi acha kutafiti hivi, sisi si wa kwanza katika dunia hii. Mungu ache aitwe Mungu, katuumba yeye hata kujua jambo lake kwa usahihi, yani tunajikuta tunajichanganya wenyewe kwa maswali mengi.
    Tuache kujifanya tunaakili nyingi za kutafiti jeshi lake wakati Jamal pia ni binadamu kama sisi kasome Quruan yako Bible yako, nawewe utaijua kweli iliyopo na itakuweka huru.
    JAMAL ASANTE KWA ELIMU, WASIHI WATU PIA WATU WASOME VITABU VYAO VYA DINI

  • @miltonchiwanga8734
    @miltonchiwanga8734 2 года назад +1

    Mr jamall April hapo ume vuka viwango upo viwango vya juu saaana mwenyez mungu akulinde wakati wootee baarkiwa saana

  • @marthageofrey2773
    @marthageofrey2773 2 года назад +6

    I love this guy and his work

  • @BL52Tv
    @BL52Tv 2 года назад +13

    Mungu akubariki professor Jamal from Mozambique

  • @isabellanyamusi1209
    @isabellanyamusi1209 2 года назад +2

    Kazi nzuri sana Bwana Jamal we love your documentaries here in 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @deohcivilian
    @deohcivilian 2 года назад +1

    🇹🇿🇹🇿Namba ☝.nakukubali sana professor MUNGU akujalie uendelee kutuelimisha

    • @amosiwasanda8954
      @amosiwasanda8954 2 года назад +1

      The stor boock namimi naamin malaika wapo kweli 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @bonfacemwanza3334
    @bonfacemwanza3334 2 года назад +23

    I just like the way you prepare your documentaries Jamal, so educating and interesting 👍

  • @MarkJackson-eq3wp
    @MarkJackson-eq3wp Год назад

    Brooo Jamal April Unajua Na Unajua Tena Mungu Akupe Afya Uzima Na Utukufu uzidi kutufunza kila Siku zaidi na zaidi🙏🙏🙏🙌🙌🙌🙌

  • @halilakhalifa1841
    @halilakhalifa1841 2 года назад +7

    We need a lot of stories Jamal we love you ✌️✌️

  • @charleswachira3350
    @charleswachira3350 2 года назад +2

    Kazi nzuri jamal nimejifunza mengi kwa storybook

  • @hamadihamisiambale8943
    @hamadihamisiambale8943 2 года назад +57

    Big up jamal for your job more love from Qatar 🇶🇦

  • @emilywafula9237
    @emilywafula9237 Год назад

    Asante sana ndungu, ila Kristo Yesu hafananishi au hafananishwi na malaika yeyote mbinguni wala duniani, ila yeye ni mwana wa Mungu.

  • @ibrahimuyusufu5203
    @ibrahimuyusufu5203 2 года назад +3

    Napenda sana simulizi zako ni nzuri sana unaweza kaka Your stories are beautiful favorite tools

  • @rinirietransfomaorenge4309
    @rinirietransfomaorenge4309 2 года назад +1

    Kazi nzuri sana Prof.Maisha marefu uendelee kutupa hadithi za kileo za kizamani maeneo ya Marekani Kasikazini nawapata mbashara mpaka maeneo ya Kisii Kenya 🇰🇪 👌

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 2 года назад

      Hata mm namkubal sana jamal kwa kazi zake jamani mungu akupe rehema kwa kazi zako

  • @tarickmpemba9871
    @tarickmpemba9871 2 года назад +8

    nakuelewa bress sana allah akujalie kheri

  • @alicemonyo5717
    @alicemonyo5717 7 месяцев назад +1

    Watching this while im in Al Madina❤Glory to God

  • @be_sqwenga9174
    @be_sqwenga9174 2 года назад +3

    Jamal April Kila siku unafanya makuu kuliko. Mungu akulinde🔥🔥

  • @nuwmarahchata3590
    @nuwmarahchata3590 Год назад +1

    Best story teller !! Ambae hana tuzo

  • @kurumwagodfrey7052
    @kurumwagodfrey7052 2 года назад +8

    Prof jamal kazi nzuriiiiiiii

  • @tiktokTviral
    @tiktokTviral 2 года назад +39

    VERY INTERESTING STORY TELLER
    #PROFESSOR🤩🙏🏾

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +3

    Nimeipenda sana simulizi hii ya kuhusu malaika. Natamani wanitembelee waongee nami .

  • @jamesobedy3940
    @jamesobedy3940 2 года назад +21

    Tuzo soon kwaajili yako 🙌🇧🇮

  • @yomenikabombwe4939
    @yomenikabombwe4939 2 года назад +4

    Asante sana kwa kazi iyi ya story boock mubarikiwe

  • @motofficial4744
    @motofficial4744 2 года назад +16

    this guy is a living#GENIUS 🙌🙌

  • @saumuabdallah198
    @saumuabdallah198 2 года назад +10

    fululiza bro tunakufatilia xn! viva jamal viva ❤❤❤🔥🔥🤙🤙

  • @joshuajofrey9832
    @joshuajofrey9832 2 года назад +17

    Ila ukweli utabakia pale pale niamini mimi Mr Jamal Malaika ni (spirit) haiwezi kupigwa picha wala kurekodiwa Tusidanganyane.

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 года назад

      Kweliii

    • @davidmnyela2459
      @davidmnyela2459 2 года назад +2

      Hata Mimi nakuunga mkono
      2 Kor 11:14
      Wala si ajabu. Maana Shetani mwenyewe hujigeuza awe mfano wa malaika wa nuru

    • @fauzilzubery4496
      @fauzilzubery4496 2 года назад +3

      Upo sahihi lkn mungu anaweza kuruhusu hilo litokee kwasababu anataka kuwa kumbusha ukuu wake na uumbaji wake. Watoto wa baba Adam walikuwa wanatokewa na malaika nakuwauliza mnatafuta nn. Na wakawa wanaongea nao ila sasa hv maovu ni mengi sana nayakutisha imani zetu ni haba sana.

    • @binhussain3445
      @binhussain3445 2 года назад +2

      @@fauzilzubery4496 Kama ni kweli basi wangetokewa wale waliokuwa karibu na mitume

    • @yama_virginhairthequeen1065
      @yama_virginhairthequeen1065 2 года назад

      @@binhussain3445 mungu hapangiwi wwweeh

  • @salmakamis1033
    @salmakamis1033 2 года назад

    Unaweza mungu akupe maisha malefu uendelee kutupa helimu

  • @ramadhanaliramadhan2122
    @ramadhanaliramadhan2122 2 года назад +3

    Watching from Dubai, kipaji unacho professor. Big up

  • @hilalikaumo3470
    @hilalikaumo3470 2 года назад +1

    Mashaallah,kuna elimu kubwa ya dini unaitoa jamal,Allah akuhifadh

  • @nsaluhenry6435
    @nsaluhenry6435 2 года назад +35

    Ukuu wa MUNGU ni Mkuu mno ukisikiliza hii stori mwishoni naingiwa na hofu na kutamani kuishi kwa utakatifu na utii kama malaika eeeeh MUNGU UNIREHEMU

    • @aronpaul2331
      @aronpaul2331 2 года назад

      Mungu ni mungu tuuu lakin kuna watu wanamkufuru

    • @millenmichael2669
      @millenmichael2669 2 года назад

      Thought I was the only one

    • @jaypk5187
      @jaypk5187 Год назад

      Same applies to me….. Dear God 🙏

  • @PAULMORANGA-vr6cb
    @PAULMORANGA-vr6cb Год назад

    Ni ishara Mungu yupo.kazi ya Mungu...

  • @hanifa9153
    @hanifa9153 2 года назад +8

    Mashallah my God bless you Jamal...

  • @neemamzande8547
    @neemamzande8547 2 года назад +2

    Wallh Leo nimelia xna kuona histori ya uku kaka Allha akulipe malipo yako inshallah

  • @papaesco5198
    @papaesco5198 2 года назад +4

    Big up Professor Jamal April huna competitor

  • @glorykendy7074
    @glorykendy7074 Год назад

    Amina nimejua mengi sikua najua May God bless you

  • @eddykalkz360
    @eddykalkz360 2 года назад +22

    Umeleta documentary kali sana leo💯

  • @yirgayemyirgah7820
    @yirgayemyirgah7820 2 года назад +1

    Jamal unajua kusimulia aisee you are my role model

  • @luxurious6616
    @luxurious6616 2 года назад +13

    God is great
    Good work Professor Jamal🇰🇪

  • @timochazze9845
    @timochazze9845 2 года назад

    Professor wewe ni noma na nusu tatu. I love you so much

  • @cyrusngenoh2616
    @cyrusngenoh2616 2 года назад +2

    Director...He/she is Killing it...more 🔥🔥🔥 very impressive.. watching from Kenya

  • @ckdawn514
    @ckdawn514 2 года назад

    nimependa maneno yako ya mwisho.
    Tumshukuru Mungu bila ya kusita wala ubishi tungali hai🤲🤲🤲

  • @sunnycharlesm1052
    @sunnycharlesm1052 2 года назад +3

    Big hugs kaka 255 tz boy 👦 shavu limekamilika sana

  • @paulyvonne1147
    @paulyvonne1147 2 года назад +1

    Mungu atulinde, kama ni changa la macho sisemi kitu. 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @mariamedward
    @mariamedward Год назад +9

    Kama una mkubali Jamal gonga like