@@middletigervevo si mambo ya kiroho mambo ya kiroho ni nini inatakiwa umfundishe mtu kwa lugha ambayo hata mwingine anaweza kujfunza ninacho jua me nihiki ili tufaulu mbele ya Mwenyezi mungu inatakiwa tumfulahishe yeyetu Mwenyezi mungu daima mpaka mwisho wa maisha yetu ili tupate ahadizake alizo tuahidi na kwa kuacha yote alio yakataza ndio tutafaulu tuache tunayo yajua na tunayo ambiwa na viongozi wadini
Daaaaah nikipataga vitu Kama hivi moyo unashituka najiskiaa wepesi Sanaa wa Kusali M Mungu akuweke uzidi kutusimulia Mambo mengi,, EE M MUNGU TUPE MWSHO MWEMAA MAANA HAKUNA AJUAYE SAA 1BAADAE KUNA NN KITATOKEA
Hii sku anajua mwenyewe ALAH,hakuna cha msomi wala kidudu mtu yyte ataweza tabir..YA ALAH ATUPE MWISHO MWEMA.....🙌mama hamjui mtoto kweli ni cku NZITO😰
ukisoma Mathayo 24 skumbuki vzul ni mstali wa ngap ila hata Yesu mwenyewe anakili kutojua ni lini mwisho wa dunia wala maraika yeyote mbinguni ajuae mwisho wa dunia ispokua Mungu pekee
Ameen mdogo wangu Jamari Mungu amekuongoza kuyaongea haya sababu hata makanisani au misikitini sasahivi hayahubiriwi haya isipokuwa kanisani kwangu tabata kisukuru Eagt utawasikia wachungaji na mitume wanahubiri kuvunja laana na vifungo lakini kuwaambia watu Mambo ya lazima hamna mwisho unakuja lkn hakuna ajuae Mathayo 24:36 na Bwana Yesu aliapa kwamba lazima yatatokea haya Mathayo 24:35
Mungu atujalie mwisho mwema,tuishi kwa upendo na amani kwani hakuna atakayeishi milele ktk hii dunia,jiulize wangapi ndugu na jamaa hatuko nao? Tumrudie Mungu,wanadamu tunajisahau sana! Like kama tupo pamoja
@@hamidhamadhamad5653 sijakataa uzuri wa uandishi wake,, lakin kuandika na kufanyia kazi ni vipaji viwili tofaut, alipoondoka mtiga jamaa alitumia style yake kila mtu alimkataa akajiongeza akapita njia ile ya mtiga, ndo leo munasema katulia, ukweli anajua ku edit story,
Winfrid Msindo kiukweli kwenye ukweli inabidi pasemwe ukweli,awali jamaa alikua akitumia mfumo wausimuliz ambao ulikua ukiboa kusikiliza,mfumo huu mpya amejitahid na at least unatia haja ya kumsikiliza,na hamna asojua hilo,au ndio nyie mnaotaka kusema Bongo star search judges walimuonea Harmonize!??,msikilize Harmonize alokua akiimba Malaika na huyu wa leo ndio utajua kua mtu akizingua watu wanaona na akijiweka sawa watu wanaona,kiufupi Jammal jitahid kuweka mfumo wako wa usimulizi imara zaid ya hapa ulipo kwa sasa kwan umesonga mbele kidogo tofauti na ulipokua awali..
Inategemea na roo na moyo wako..km mm kila siku...nikiamka mzima..lkn akili usema anytime nafa mungu akipenda..so utakiwi kusaau kifo..sababu unacho unatembea nacho..cha msingi ukiwa bado mzima...bs fanya bidii utende yalo mema ili upate mwisho mwema
Jamal kanyaga twende Tumechelewa Sana ! Nasemajee Kanyaga twende Tumechelewa Sana ! Ila namimi mwanzo nilikua sikuelewi kabisa ila naanza kuelewa na kuzoea 😄
Asante sana Kwa ktujuulisha kuhusu mwisho wa Dunia lakini tumuachie mungu peke ndo yeye ambaye anajuwa mwisho yake sisi tunagesi tu mana yeye ndo aliiumba
Inatisha sana eh mwenyez mungu mtukufu tujaalie mwisho mwema ummat MUHAMMAD s.a.w😭😭😭
Uongo mungu alisema hata tuangamiza kwa maji Tena🧐🧐
Sawa sawa ameni
Amiin yaa Rabbi Allah 🤲🤲
Muhammad hana uwezo wa kukupeleka mbinguni mwamini yesu
Ameen
Daaaaaaaah Ee Mungu unijalie niumalize mwendo salama. AMEN
Amen
@@middletigervevo si mambo ya kiroho mambo ya kiroho ni nini inatakiwa umfundishe mtu kwa lugha ambayo hata mwingine anaweza kujfunza ninacho jua me nihiki ili tufaulu mbele ya Mwenyezi mungu inatakiwa tumfulahishe yeyetu Mwenyezi mungu daima mpaka mwisho wa maisha yetu ili tupate ahadizake alizo tuahidi na kwa kuacha yote alio yakataza ndio tutafaulu tuache tunayo yajua na tunayo ambiwa na viongozi wadini
Allah the great
Unatakiwa uache uzinzi
Eeeèee tusaidie utuepushee na adhabu kali ya milele
Kama umepanga kumrudia mungu gonga like apa
😂😂 moto umewaka
Mungu tuokoe na mambo ya kidunia
Bwana tuokoe
@@nicholausclaud8852 daimoni
Sio nimepanga nisharudi kabisa maana dah!! yatisha
Ya - Allah utusamehe madhambi yetu na utupe mwisho mwema amen
Amen
Amen
Ni kweli ama
Ameen
Aaameen yarabbil aalameen
Daaaaa!! Tatizo la diamond kuwafukuza hawa wasimulizi huwa linaniuma sana maana ipo siku na yeye atasimuliwa....Bigup sana jamali...👍🏻👍🏻
Au kisa ametoa siri za Freemason
Kaka mungu atakulipa kwa ukumbusho huu kwa kila mwenye akili timam ataacha machafu yete na kurudi kwa Allah muumba wa kila kitu
Eeh Bwana uirehemu moyo wangu na uongoze siku zote maishani...twakuomba utusamehe sisi waja wako!!
Mwenyezimungu hatupe mwisho mwema kwa sote aminaaa
Ameanza kujiongeza Sasa! Simulizi YA leo imebebwa na hisia YA hali YA Juu! Hongera
Kha
😢
Mm nikifikiriaga kuhusu mwisho wa dunia na kifo Hua namrudia mungu hapohapo hua naogopa sana 😢😢
Wanadamu tumwamin Mungu peke kwan iman ndo itakayo tuponya, lakin pia napenda makala zako big up sana bro jamali mustaphs
Nzur
OK pw
Kama unaamini mwisho wa dunia uko karibu gonga like apa
Sikuhiyo hatutakumbuka hatu kugonga like
Wawawa kwa kweli kapisa Dunia yaisha lililo paki ni.sisi kujiweka tayali kwa mahana ajui siku Wala sana
Acheni story za kutishana imezen watu wafanye ibada ,nani ajue siku ya mwisho?
The fuck of the end of of the world
Matukio yote tunayo yaona naona muda umefika ssa, tunatakiwa tuyaishi yale yampendezayo Mungu.
Yarabbi atujaalie mwisho mwema🤲...Jamal unajua wasiokutaka wasisikilize hatujawaforce👌
Nakuelewa xana jamal
Yeap
Eeeee MUNGU utuhurumie sisi wakosefu tuwe na mwisho mwema wa dunia utusamehe makosa yetu AMEN.
Tumwamin I Mungu atupaye uzima
Daaah jamal unajuaaaa🔥🔥🔥 km unaamini GONGA LIKE hapa
Daaaaah nikipataga vitu Kama hivi moyo unashituka najiskiaa wepesi Sanaa wa Kusali M Mungu akuweke uzidi kutusimulia Mambo mengi,, EE M MUNGU TUPE MWSHO MWEMAA MAANA HAKUNA AJUAYE SAA 1BAADAE KUNA NN KITATOKEA
Mungu atujaalie mwisho mwm na kauli thabit ya Allah🤲😢😭
Ameen
Aamin yarabi
Amiin
Amin
Amin ya rabil alamin
Mungu tusamehe dhambi zetu tusaidie kuzishinda dhambi amen
Jamali unajua,stor ni kali kinomaa,,fany mchakato uandike mwendelezo inakaa haijaisha,,
Kama waamini kiama kipo gonga like
Hakuna mwishon wa dunia
Tukubaliane na hali tu wabongo kwan ndo tumo dunian sas hakuna namna
Gonga like kama unaamin yote haya
Mwenyezi mungu atujalie mwish mwema
Ameen thumma ameen
aminya Rab
Mwenyezi mungu atupe mwisho mwema aaaaamin.
Mungu nisaidiee nimalize mwendo salama!
Mmhh maneno yanachoma sn yaan yanachoma mungu tusaidie
Umemaliza mwendo? Bado
Kabisa atusaidie haswa😪😥
Eeh! Mungu tupe subira
Ee mungu uturehemu siku ya mwisho.
Hii sku anajua mwenyewe ALAH,hakuna cha msomi wala kidudu mtu yyte ataweza tabir..YA ALAH ATUPE MWISHO MWEMA.....🙌mama hamjui mtoto kweli ni cku NZITO😰
Hpo kweli mwisho wa dunia n kifo cha mtu dunia haiishi mtu ndiye huisha
ukisoma Mathayo 24 skumbuki vzul ni mstali wa ngap ila hata Yesu mwenyewe anakili kutojua ni lini mwisho wa dunia wala maraika yeyote mbinguni ajuae mwisho wa dunia ispokua Mungu pekee
Inatisha sana ila tunaomba utuleteage mafundisho kama haya mara kwa mara huenda tukabadilika ubarikiwe sana na kazi njema
U
Iiiihxseetyyi
Jjjkkk
J
huenda😄
Eemungu tupe mwisho mwema 🤲🤲🤲
Melissa Lablonde mungu tusaidie
ndugu ww andik 2 kusoma mwachie dogo asababish
@@ramadanmaulid8015 njo nini Sasa kaka
@@melissalablonde9580 Hakuna ajuaye siku wala Saa.Hivyo tuwe na kiasi tukeshe tukiomba.Tena cha muhimu kama unajua kuna dhambi bado unayo acha.
Mwambie Mungu akupe mwisho mwema, sio atupe mwisho mwema kwasababu maandiko yanaeleza "Kila MTU atabeba mzigo wake mwenyewe"
"Subhanallah,Allah tustiri waja wako utusaheme makosa yetu utupe mwisho mwema ya rabbi🙏
Amina inshallah
Amiiin
Ameen yarabi
Tusameh makosa yetu yarabi nautujalie mwisho mwema
Allah atupe imani nanguvu ya kumwabudu
Shukran Jamal Hili ni somo Tosha. Mwenyezi mungu atujalie mwisho mwema😢amin
Ameen
Ameen mdogo wangu Jamari Mungu amekuongoza kuyaongea haya sababu hata makanisani au misikitini sasahivi hayahubiriwi haya isipokuwa kanisani kwangu tabata kisukuru Eagt utawasikia wachungaji na mitume wanahubiri kuvunja laana na vifungo lakini kuwaambia watu Mambo ya lazima hamna mwisho unakuja lkn hakuna ajuae Mathayo 24:36 na Bwana Yesu aliapa kwamba lazima yatatokea haya Mathayo 24:35
Amen 🙏🙏
Eee mungu utaisadie !
Mwenyezi mungu mapenzi yako yatimee
Mungu atujalie mwisho mwema,tuishi kwa upendo na amani kwani hakuna atakayeishi milele ktk hii dunia,jiulize wangapi ndugu na jamaa hatuko nao? Tumrudie Mungu,wanadamu tunajisahau sana! Like kama tupo pamoja
Uko vizuri sana, hii ni fundisho kubwa sana maana binadanu ni mfano wa maua
Kama unamkubali uyu jamaa gonga like twende sawa👍
Yuko vizuri
Sanaaa
Mambo yenyewe kama yatakuwa haya bora kutangulia mapema maana dhoruba si mchezo
@@cathynoel6319 mmmmmmmh
Subhanallah yaarabi tujalie mwisho mwema turudi kwako tukiwa tumetubia amin
Amiiin🙏
amen
Kweli mungu ulituumba kwa mapenzi yako na tunakuomba utunusuru na janga hili maana tumejua siri nyingi ila hii umetufichia,jina lako na lihimidiwe 👼
Mbona walikosa jibu na wao ni waerevu mungu pekee
Janmani tuache unafiki huyu mwamba wengi mlimsema kwamba hajui Leo tena mmegeuka ✍️🙏🤝kweli binadamu cyo watu wazuri wamejawa na unafiki
Winfrid Msindo Maneno ya dudubaya yaweke akilini anasemaga vishonoko
Huyu anapita kwenye njia ya mtiga abdallah style , bila hivy wangepotea,
Hyu ni Jamal niambae aliekua anaandika story alaf mtiga abdallah yeye anasoma ila saiv yeye Jamal ndie anasoma pmj nakuandika mwenyewe
@@hamidhamadhamad5653 sijakataa uzuri wa uandishi wake,, lakin kuandika na kufanyia kazi ni vipaji viwili tofaut, alipoondoka mtiga jamaa alitumia style yake kila mtu alimkataa akajiongeza akapita njia ile ya mtiga, ndo leo munasema katulia, ukweli anajua ku edit story,
Winfrid Msindo kiukweli kwenye ukweli inabidi pasemwe ukweli,awali jamaa alikua akitumia mfumo wausimuliz ambao ulikua ukiboa kusikiliza,mfumo huu mpya amejitahid na at least unatia haja ya kumsikiliza,na hamna asojua hilo,au ndio nyie mnaotaka kusema Bongo star search judges walimuonea Harmonize!??,msikilize Harmonize alokua akiimba Malaika na huyu wa leo ndio utajua kua mtu akizingua watu wanaona na akijiweka sawa watu wanaona,kiufupi Jammal jitahid kuweka mfumo wako wa usimulizi imara zaid ya hapa ulipo kwa sasa kwan umesonga mbele kidogo tofauti na ulipokua awali..
Mungu tutie nguvu zako ili siku hiyo tukuone na tukulaki 🙏
Thank you watching/ngunitv
Watching /ngunitv
Ngunitv
Allah tupe mwisho mwema sisi waja wako WAISLAMU ya rabb🤲🤲😭😭hussnul AL khatima ya ALLAH
Ameeeen
Inshaallah
Amiin ya rabbi😭
Twalha Adam&
Kama unamkubali jamal na uko hapa 2021 baada ya corona kutuangaisha gonga like tukisongaah. Mungu nijalie mwisho mwema
Hongera aisee kumbe siku hizi unaandika na kusimulia
Eee mungu tunusuru wote waja wako
@@womenmuungano881 amin thumma amin hakuna ajuae kesho
hii habari inatisha I say mungu atu hurumie
Nilipo gundua kua ww ndo mwandishi na sasa ww ndo unasimulia kiroho safiii nakukubali na maisha yanaendelea 🤝🤝🤝🤝
Amiin, na ninamuomba MUNGU aichukue roho yangu kalbla ya siku hiyo ya kaiama🤲🤲🇰🇪
Daaaah Jamal umetisha mzeee bonge moja la story ...asante kwa kutukumbushaaa tunajisahau sana
Mungu atupe neema siku ikfka kiama wote tuwe tumeungama madhambi tuliyo tenda Kama unaamin comment amen
now tunakuelewaaaaaaa❤️ kama naww umeelewa gonga like
Achen tumuelewe tu jamani mwenzetu anajipayia ridhiki hapo
Tazama Huyu Jamaa Alivyofundi...... Duh
Kajitahi😂😂😂😂😂😂 ajibezisheee kiduuuunchu
Maajabu ya dunia
Mwenyezmungu tunaomba utujalie mwisho mwema.
Mungu wangu tuhurumie sisi wenye dhambi twaomba msamaha 😭😭
kweli mungu wetu tuepushe namabaya
There is nothing in this world above the Lord we need to stay and walk in God. We are like candles
😭😭😭😭😭
Kwery kabimza
Nikwery dunia ipo mwisho
P
P
Subuhanallah Allah atujaalie Mwisho mwema lnshallah mtihani
Tushakukubali Jamal April 💪💪💪💪💪💪💪 ila usimchokonoe Mondi 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
😂😂😂😂😂
Achokonolewi amkumbuke mungu yy amchonoa mungu Nani mchonoaji zaidi Ni Jamal au mondi
Subhanah Allah Mungu a tunusuru turudi kwa muumba wetu, ambao hawamkumbuki aliewaumba Na kuamin kudura zake
Mi mwanzo siku iyo nitakuwa nisha kufa..mungu nijalie mwisho mwema....
@@lampadshigonko3006 kufa nitakufa naamini hilo..lkn kufikia kuiyona iyo siku y mwisho wa dunia..sina uakika uo
Ewe mwenyezimngu tujalie waja wako mwisho mwema
Congratulations jamal we don't know we will happen but one day yes
Yaarab tujalie mwisho mwema😭😭. Ameen🙏
AMEEN🙏
Ameeeen but tutende yaliyo mema
Amiin inshaallah 🙏🙏
Inshaallah na atujaalie ndimi zetu ziwe nyepesi kutaja kalma ya mwisho .
Amen
mungu atutetee wapendwa,,, huo wote ni ukwelii unaopatikan kwenye biblia katika kitabu cha ufunuo wa yohana....
Maneno yananichoma
Binadamu ni maua
Ikipita wiki moja
masikini nasahau kabisaa
Ooh niko na ubaya
Eeh niko na ubaya
Bwana nibadilishe
Naikubali sana the story book kama na ww unaipenda gonga like tuende sawa
Inategemea na roo na moyo wako..km mm kila siku...nikiamka mzima..lkn akili usema anytime nafa mungu akipenda..so utakiwi kusaau kifo..sababu unacho unatembea nacho..cha msingi ukiwa bado mzima...bs fanya bidii utende yalo mema ili upate mwisho mwema
Yona Mwakamele n
Kweli broo but inabidi umuabudu mwenye mbingu na Ardhi ndio utaokoka hii siku
Binadamu ni kama maji ya MTO ,ukigusa basi ndo yamepita
Qur,an 99:1 --- 99:8 ni xku nzito mnooo Allah tujalie mwisho mwema InshaAllah😢😢😢😢😢🙏🙏🙏🙏🙏
Tushakuzoea kwasasa Jamal hii story Umetisha sana 🙏🙏🙏
Umetisha sanaaaaaa
Ewe mungu tuepushe mbali na maovu ya kishetani..zidi kuwakumbusha wana wako wakujue zaidi
Jamal kanyaga twende Tumechelewa Sana !
Nasemajee Kanyaga twende Tumechelewa Sana !
Ila namimi mwanzo nilikua sikuelewi kabisa ila naanza kuelewa na kuzoea 😄
Seng* umenichekesha sanaaa bana
Yuko fresh sana
@@sofiaasukuku8238 Yap Tatizo lilikua mazoea
Jamaa yuko vzur sana kwahii ametishaaaa
@@rajabukiseto4103 Hata zile Comments za kumtaka Mtiga zimepungua Sana
Ee mwenyezi MUNGU tupe mioyo mikunjufu tukutumikie kwa Roho na kweli. amen
msimulizi mzuri, congratulations from Kenya
Nimejikuta nalia😭😭😭Ya Allah nipe mwisho mwema na unisamehe
7:22 Hapo ndo nimeanza kuogopa Mpaka nimeacha kuangalia 😭😭😭😭😭
Usiogope ndo tunakoelekea
You don't need to be afraid the thing is to do what God told us.
ACCEPT JESUS CHRIST AS YOUR PERSONAL SAVIOUR HE IS THE ONLY WAY, TRUTH AND LIFE AND YOU WILL NOT BE AFRAID YOU WILL BE SAFE AND SECURED
Dah hata mim nimeogopa
Storii nzuriii japo kwa uuwelewa wa kawaida mwisho wa dunia ni pale unapofariki unapokata pumzi ndo mwisho wako!
mwisho wa dunia upo.hakuna kitu kisichokuwa na mwisho.soma vitabu vya dini
NICE
Boss
Platnumzzzzzzzzzzzzzz
WCB
THANKS BOSS
Chibu Dee Chibu Dee 💥🙏🙏
Waaah...natazama kutoka Nairobi kenya...ngonga like tusonge kwa pamoja
Bt kumbuka mwenyezi mungu pekee ndiye ajuae vyenye kutakuwa ayo mengine ni ya malimwengu tu
Asanté sana Wasafi media Mwenye Anapenda wfd Agonge like
Allah atunusuru na majaribu ya dunia ....dah kiama nisiri ya Allah skins atakayejua kiama Ila Allah SubhanaAllah wataala.....
Nice kumbe daimond platnam kumbe pia anaangalia stor book bosss Simba baba laooo
Saf
🤣🤣🤣🙌
Eeeee Mungu wangu nipe mwisho mwema tuepuche natama za duniya, 🙏🙏🙏😭😭
Hadi na tetemeka ee Mungu nipe mwisho mwema
Patrick Dilort r
Amina sisi sote.
Huruma yako yatoshaaa
Tubu Zambi Zako zote Na kuacha Leo hiiii hakika utauona ufalme WA mbingun
Mungu wa rehema, uiokwe nafsi yangu, na huruma yako iwe juu yangu
Story book haita kufaa kumbe mwamba uko vizuri kwanza tushaizoea sauti yako endelea kutuletea story br✌🙏🙏🙏🙏✍️✍️✍️
🙏🙏🙏
mungu atusaidie sana jamani make nampenda sana mwanangu sjui itakuewaje 😭😭😭😭😭😭🙏🙏
Huyu ndye alikuwa anaandika story na inasimuliwa na mtiga ila sasa hv anaandika yy na kutia manjonjo yeye ameweza sana
Mungu ni wa upendo saana na huruma atatutetea, TUSAMEHE DHAMBI ZETU NA UTUNUSURU NA GHARIKA YA MATESO AMEEN
Allah atujalie mwisho mwema
Ameen
Ameen
Yaa Allah tujaliye mwisho mwema na utusamehe makes yetu
kama wasikiliza uku wasoma comment like apa plzz
Tuko pamojaa
😘
Tupo pamoja 👊🤣🤣
Ororpop@@fereskenya9923
👏👍✊tu pamoja
Mwenyezi mungu pekee ndiye ajuaye siku ya mwisho. Na Wala hakuna binadamu yeyote ajuaye. Hata mitume hawajui siku ya mwisho
1st viewer from 254
MUNGU atujaalie mwisho mwema inshallah
Hakika alipangalo Mungu hakuna wa kulipangua
Eeeh mwenyezi mungu Fanya kile kilicho bora kwako nasi tutapokea maan hatuna njia ya kukukwepaa😭😭😭
SubhanaAllah😧 husnul khatima ya Allah...Amiin
The word of God is true and amen🙏 thanks be God
+255 716326162
Amen
Amen
Duuuuh!!! 😭😭😭😭🙏🙏🙏🙏 Bro umeongea Point sanaaaaaa 👏👏👏 M/MUNGU atufanyie wepesi
Siku za mwisho dunia itatawaliwa na zinaa,rushwa,ulevi, na wingi wa wanawake
Mbona naona kabisa huu ndio mwisho wa dunia sasa
Kwel dunia imezeeka sana
Tumuachie mungu pekee
Kwel kabisa maan pekee ndio wakulimaliza hilo janga kubwa la corona
Ee Mwenyezi Mungu tunusuru 😭😭😭😭
Mungu Baba Tunakuomba Utupe Mwisho Ulio Mwema,Na Pia Tunaomba Utupe Kauli Thabiti....Aamiin
Mwenyezimungu tujalie mwisho mwema wa maisha yetu duniani
Asante sana Kwa ktujuulisha kuhusu mwisho wa Dunia lakini tumuachie mungu peke ndo yeye ambaye anajuwa mwisho yake sisi tunagesi tu mana yeye ndo aliiumba
Dah😳 kweli Mungu atupe mwisho mzuri yaani ulivyo kuwa nasimulia utadhani kweli sema hakuna anaye jua nini kitatokea siku hiyooo ya mwisho wa Dunia🙏🏻
Subhannalah,ametakasika mwenyezimungu muadilifu na mwenye nguvu zaidi
This story, Is very attractive to learn families, do not forget, always any time,brings this.
Mhhhhh!!! Inatisha sana, , , tumche allah ndugu zangu
Ukweli vitabu vya dini vina ukweli kabisa. Lindeni vitabu hivi tafadhali.
Mungu nipe mwisho muzuri nawa toto wangu
Bonge la story kbsa baba saiv unajua kusimlia bhn @jamal April big pU
umenena vyema nduguu
Ok kaka nakukubali sana
God is always there for you!
Mungu atujaliye mwesho mwema , naendeleye kutusameh ,,utasamehe zambi zetu kwa sababu sisi ni wanadamu😭😭 eeeh MUNGU utuoneye uruma🙏🙏🙏