MAAJABU YA JANGWA LENYE MIUJIZA YA KUTISHA LILILOPO MEXICO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 936

  • @jardindullahsheikh9214
    @jardindullahsheikh9214 5 лет назад +183

    Sijawahi Kupata Likes Jaman aaah Hata tano tu zanitosha. Wcb for life.. The story BookHaikamatikiiiiiiii

  • @shakira1301
    @shakira1301 5 лет назад +823

    Kama unapenda the storybook gonga 👍 tuende nalo

  • @josephlotto996
    @josephlotto996 5 лет назад +91

    The story book mko vizuri, kama na wewe unaikubali gonga like

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 2 года назад +7

    Napendaga sana hizi story.shukran sana yaani humu duniani kuna vitu vya ajabu sana na vinaishi nasi.

  • @salynoirt6953
    @salynoirt6953 4 года назад +9

    Jinsi unavyosimulia hilo jangwa mpaka umenifanya nitamani kwenda kushudia hayo maajabu kiukweli unasimulia vizuri kiasi cha kumshawishi mtu basi naomba uandae story inayohusu mbuga na majangwa yetu ili tukuze utalii wetu watanzania ahsante

  • @solidarity31
    @solidarity31 3 года назад +15

    Real talent. Nairobi, Kenya 🇰🇪 well represented. Kudos wasafi media

  • @erumsafiofficial8801
    @erumsafiofficial8801 5 лет назад +157

    Nimeipenda kipindi cha the storybook toka 254🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @ramadhanimwanyumba2955
    @ramadhanimwanyumba2955 5 лет назад +11

    Mtiga Abdallah wewe ni extra talented kwa kusimulia, Mungu akubaliki sana uendelee kutujuza habari muhimu kama hizi👏

  • @bensonsafari5773
    @bensonsafari5773 2 года назад +33

    The story book
    Always amazing 👏 ❤
    Sauti ya mtangazaji pia swadakta

  • @ranyotvonline360
    @ranyotvonline360 3 года назад +4

    Wasafi mmefeli sana kumtowa mtiga abdallah uyu ndiyo really voice

  • @nicksonmgale4699
    @nicksonmgale4699 5 лет назад +12

    Wasafi media miaka mitatu ijayo mtatishaaa sanaaaa zaidi ya hapa MMEJIPANGA sana aiseeee 💪💪💪💪💪

  • @elvisngala4106
    @elvisngala4106 3 года назад +1

    Uko perfect bro...kabisa na izo video fupi fupi ulizoweka umecheza Kama ww.....simply the best!!!.....love from kenya

  • @peterwolftz2220
    @peterwolftz2220 5 лет назад +188

    NILIWAHI KUSEMAAA WEWE HUSTAILI KUTANGAZA STORY BOOOK LEVEL YAKO YA UTANGAZAJI NI KUTANGAZA BBC MAAANA UNA KIPAJI ASILIA SAUTI ASILIA WEW NI MTANGAZAJI

  • @rashadymuhamad6293
    @rashadymuhamad6293 2 года назад +2

    E bwana eee! Very very big up brother! Haujawahi kufeli brother. Endelea kutuelimisha with reliable research. Baraka za Mungu ziwe nawe. Comments from Zanzibar, Tanzania.

  • @johnsilima6789
    @johnsilima6789 4 года назад +82

    Wangapi wanaangalia the story book mwaka 2020 gonga like hapa

  • @emanuelchikobela3261
    @emanuelchikobela3261 5 лет назад +149

    Hongeren Sana wasafi Media group nasi tupo nyuma yenu

  • @kajuthecousin1032
    @kajuthecousin1032 5 лет назад +13

    xkuping ww hapo wa faida...uko vizuri xana!!!💪💪💪💪

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 лет назад +6

    Asante kwa simulizi,endelea kutuletea simulizi kama hizi zaidi.mhh diniani kuna vitu vya ajabu sana.ukanda wa kimya.

  • @jumajuxx4925
    @jumajuxx4925 3 года назад +33

    Gonga like kwa mtiga kama sauti yake unaikubali tuwe pamoja

  • @sundaymwango440
    @sundaymwango440 4 года назад +8

    The story book inatusaidia sana kujua mambo mengi tusiyoyafahamu...endelea kutupa mambo

  • @mapenzikatana9990
    @mapenzikatana9990 5 лет назад +3

    Asante Sana Niko pamoja nawe kwenye story book inamafunzo Sana hongera

  • @EliyacostantinoPius
    @EliyacostantinoPius 5 лет назад +5

    No 1 fan..na wa kwanza kufika hapa leo

  • @jaxflavortz2677
    @jaxflavortz2677 5 лет назад +3

    Stori zavutia sana...gonga like kama tuko pamoja from TANGA tanzania

  • @ramadhanseif2914
    @ramadhanseif2914 2 года назад +2

    Napenda sana taarifa hizi kwangu Mimi huniwezesha kujua nisiyoyajua

  • @sefuselemani4341
    @sefuselemani4341 5 лет назад +51

    Sema ume kuwa ume tukawiza sn wengine uku tume kuwa amani kisa the stoy book ila ivi furah zetu zime tudi sn sn 100% kama ume penda ujuwembe huju gonga like yako apa tushikamane sote kwapamoja?

  • @edwinedward3736
    @edwinedward3736 4 года назад +1

    Professor Jamal unajua kutupa madini tofauti hngr

  • @barakachiwanga804
    @barakachiwanga804 5 лет назад +8

    Dahaaa THE STORY BOOK Naikubali sana Zaidi ya Sana Tupe Vitu Mkuu

  • @catherinemwasi283
    @catherinemwasi283 3 года назад +1

    Wow haki natamani kama ningeweza kuwa hapo tu nione homie jangwa la ajab. Mungu kweli ni Mkuu

  • @isayacharles8725
    @isayacharles8725 5 лет назад +113

    Kila mtu wakwanza naomba like zangu, hii tabia za watu hawa inaboa sana, kulilia like kana kwamba watoto daahh!! Basi mimi wa 10 naombeni like zangu.

  • @abdulkadiryusuf7213
    @abdulkadiryusuf7213 2 года назад +1

    Mashaallah story mzuri
    Hii inazidisha Imani endelea bro na ww inatakikana umuamini mungu zaidi shukran bro

  • @godfreylucas781
    @godfreylucas781 4 года назад +7

    Bro big up,wakati mwingine hawa wabongo wenzetu ndo wanajifanya wajuaji na ndo wakandamizaji kwa wabongo wenzao na ndio wanaowapa viburi hawa wawekezaji wa kigeni.

  • @MAASAIWITHPASSPORT
    @MAASAIWITHPASSPORT 5 лет назад +9

    Kama unapenda the story book gonga like hapo chini toka south sudan

  • @deogratiuskapama1675
    @deogratiuskapama1675 5 лет назад +93

    Uzuri wa mtiga bwana anafanya research kabla ya kutoa story zake, nakupenda bure mkuu, hakuna wa kukugusa kwa kusimulia story

  • @ramadhanboi6485
    @ramadhanboi6485 5 лет назад +83

    Toa kuhusu simbawanga the zone of uchawi jamani na ss africa tunamaajabu yetu ila nakubar sana story zako bro kazi nzuri

  • @molalib2715
    @molalib2715 5 лет назад +13

    i appreciate u bRo kwa hadithi kali kama hizi ila tuendelezee part 2 stor ya 2pac amaru shakur

  • @mrkanani6180
    @mrkanani6180 4 года назад +26

    I come from Congo and I love this story book

  • @dimolannyofficial3503
    @dimolannyofficial3503 2 года назад +7

    Bora umerudi tena wasafi kaka wewe ndo unasauti yakusimulia🔥🔥

  • @issarashid1421
    @issarashid1421 2 года назад +1

    Upo vizuri sana kwenye story book zako

  • @jolamboi8842
    @jolamboi8842 5 лет назад +12

    Wa kwanza Leo nipeni like

  • @nahyaseif6226
    @nahyaseif6226 5 лет назад +2

    Anaelezea vizur sana inamfanya mtu avutiwe sanaa yuko poa sana very interesting good keep it up

  • @fredyrichard4737
    @fredyrichard4737 5 лет назад +12

    The story book hapana machizoo! 😎%100🔥🔥🇹🇿

  • @davidchristopher9319
    @davidchristopher9319 5 лет назад +8

    Hatari baba nakuelewa sana ndg

  • @rashidimuhibu6832
    @rashidimuhibu6832 5 лет назад +22

    Anae kubali the story Book agonge like huku akiamin km mm kwamba kuna 40% tu za ukweli Vinginevyo kufurahisha channel 😋😋

  • @AbdulJuma-i4i
    @AbdulJuma-i4i 2 месяца назад +1

    Wa kwanza leo ata sijawah pata likes

  • @mussayohana7828
    @mussayohana7828 5 лет назад +27

    Leo nimewah naitaj like zangu

  • @Theresia-qy3yh
    @Theresia-qy3yh Год назад +1

    What a fascinating story ooh I've got goosebumps all over a sudden ,I like it!

  • @melkionpaulhaule
    @melkionpaulhaule 5 лет назад +6

    Napenda sana the story book

  • @tresollamary6146
    @tresollamary6146 5 лет назад +2

    Daah nakubali sana story book inatujuza vitu vingi big up bro

  • @ericklukwekwe1388
    @ericklukwekwe1388 5 лет назад +5

    Story book noma sanaaaaaaa
    Kaz nzur mzeee baba ila mm nataka. Story ya rais wa irac. SADAAM HUSSEIN

  • @geoffrykirui5314
    @geoffrykirui5314 3 года назад

    Thanks to the story book teller nimechifunza mengi

  • @set-px8un
    @set-px8un 5 лет назад +3

    Zone of silence. Nimekuelewa👌

  • @teychriss3248
    @teychriss3248 3 года назад

    Mapimi!! Zone of silence!! Mtiga Abdallah! Yaani hiyo sauti yako mmh! Hachoshi kusikiliza! 🥰🥰

  • @vickmiraji8845
    @vickmiraji8845 5 лет назад +11

    The story book... Lots of love from Mombasa.

  • @lovenesreuben6179
    @lovenesreuben6179 5 лет назад +2

    Mwandishi na mtangazaji nawapenda xana, mtiga $ Jamal 💕💞

  • @devidmichael5537
    @devidmichael5537 5 лет назад +39

    Baba wew unasauti ya pekee huwezi kuchoka kusikiliz stor zako

  • @abdkhalidi6625
    @abdkhalidi6625 5 лет назад +1

    Zona del silence htariiii sanaa kazi mzri mtigaaa

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 5 лет назад +6

    Daaah nilikumis sana dulllah!

  • @ahebwaedinah3218
    @ahebwaedinah3218 11 месяцев назад

    Thanks so much watching from Ugandan 🇺🇬🇺🇬

  • @zephaniamichael1894
    @zephaniamichael1894 5 лет назад +5

    Tunakuomba uenderee kutoa story Nzuri

  • @subrynerysegerow1323
    @subrynerysegerow1323 5 лет назад +2

    Nataman story ziwe kil siku aseee 👏🏽👏🏽👏🏽

  • @queennafsa2207
    @queennafsa2207 5 лет назад +30

    huyu kaka he is saying the truth i did my research about zone of silence and that is actually the truth about the zone of silence. i have respect because you always give true story bro.

    • @neemapetro7874
      @neemapetro7874 5 лет назад

      dhuuuuuuu

    • @sniperislam4547
      @sniperislam4547 5 лет назад +1

      wasafi made me to do research for all time

    • @pendoassenga6161
      @pendoassenga6161 2 года назад

      It is so wonderful place and so good 💫💥🕐🔥💡💫💦💨💥🕛💨💥

  • @jabilingandule6621
    @jabilingandule6621 5 лет назад +2

    Napenda hizi stori zenu kwakweli.

  • @omarbosiomar8608
    @omarbosiomar8608 5 лет назад +23

    Salute to all the comrades of the story book in particular Wasafi media Big up always 📖📖📖📖📖

  • @abdullahhashimu2380
    @abdullahhashimu2380 5 лет назад

    Uko vizuri kwa simulizi upo vizuri kwa stor yaani uko juu

  • @kelvintz7684
    @kelvintz7684 5 лет назад +13

    Best presenter ever

  • @nataliekamaka4216
    @nataliekamaka4216 4 года назад

    Iko kidudu chekundu nlikuw navionaga zaman kipind mvua ikikalibia tulikuwa tunaviita vidudu vya mungu! Akn saiz sjawah kuviona

  • @huseinboytz5905
    @huseinboytz5905 5 лет назад +5

    Gonna like tu songe mbelee

  • @josephmadigo9521
    @josephmadigo9521 2 года назад +1

    Kazi nzuri kaka nakupenda sana

  • @SunsetHunter4526
    @SunsetHunter4526 5 лет назад +4

    Napenda Hiyo Background Music 😂😂😂ina nata na simulizi

  • @Afsah90
    @Afsah90 4 года назад

    Hapo watakua wanakaa mashetani ya kijini, kwa sababu ya ivo vimondo Allah amesema ktk Quran mashetani wanapopanda juu kuskiliza siri za mbinguni huwatumia moto wa vimondo subhanallah

  • @angeluschris5852
    @angeluschris5852 5 лет назад +3

    Wasafi pamoja tunawakilisha 😉😉😉💯💯😘😘

  • @briankipkoech5158
    @briankipkoech5158 Год назад

    From 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 much love keep educating us💯💯💯

  • @amissislywachako1772
    @amissislywachako1772 5 лет назад +3

    Naam Nakubal sn Mr Mtiga ABDALLAH

    • @henryalex4885
      @henryalex4885 3 года назад

      Da unatufunza meng can yaliopo hapa duniani

  • @zuhuraswaleh1127
    @zuhuraswaleh1127 5 лет назад

    Dah amaizing hayo maeneo yalokaa latitude moja ni hatareee

  • @graceenno4859
    @graceenno4859 5 лет назад +14

    Nimeipenda sauti ya mtangazaji yuko makini

  • @stn4873
    @stn4873 3 года назад +1

    LA ZONA DEL SILENCIO.....Haya mambo yapo jamani Dunia hii ina mambo mengi mnoooo....

  • @TurkanaDigitalMedia
    @TurkanaDigitalMedia 5 лет назад +197

    Asante saana kwa habari,,,if you appriciate this message naomba like hapo tukisonga mbele,,,#

  • @heavyweight5487
    @heavyweight5487 5 лет назад

    Documentari mzuri ingawa imejawa ignorance kwa msimulizi. Fanya utafiti wako vizuri especially from the original native people of these holy spots on earth

  • @towfiqseif5430
    @towfiqseif5430 5 лет назад +14

    Nakkubali xna we jmaa WCB 4 LIFE......

  • @amosnnko7792
    @amosnnko7792 3 года назад +1

    Napenda sauti yako mnoo manake uko vzr broo

  • @allyandro2702
    @allyandro2702 5 лет назад +4

    Ubinufu mkubwa sana kwa hichi kipindi👏👏👏👏

  • @lyricsmusical8296
    @lyricsmusical8296 5 лет назад +1

    Aaaaaah nahic sijachelewaaa saaaaanaa # the story book

  • @johnmathenge9994
    @johnmathenge9994 5 лет назад +2

    Mtigah Abdallah saluti kutoka kwako from Johnation 254 🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @clarewekesa5881
    @clarewekesa5881 Год назад

    Kiswahili kinachovutia kweli kweli congrats bro

  • @KURYABOYTV
    @KURYABOYTV 5 лет назад +10

    Nimeipenda Hii 🇰🇪 🇰🇪

  • @mohammedalkiyumi8713
    @mohammedalkiyumi8713 4 года назад

    Mashallah mashallah your video is very very beautiful thanks so much

  • @jafarialiyswalehe9477
    @jafarialiyswalehe9477 5 лет назад +5

    Story zako zinamvuto wa kipekee i like it😘

  • @rojallyrmr1402
    @rojallyrmr1402 5 лет назад +376

    😂😂😂😂 *huaga sinaga tabia yakuchelewa kwenye the story book*

    • @keyakeya8911
      @keyakeya8911 5 лет назад +3

      Jaman uwiii so mm ndo nimechelewa

    • @rojallyrmr1402
      @rojallyrmr1402 5 лет назад +1

      @@keyakeya8911 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 daaah ulikuwa wap watu sahv tunairudia mara ya 3😋😋😋😋😋😋😋

    • @sakinamubaraka1246
      @sakinamubaraka1246 5 лет назад +1

      😁😈😁😂😂😂😂eti huwaga sinaga

    • @rojallyrmr1402
      @rojallyrmr1402 5 лет назад +1

      @@sakinamubaraka1246 😁😁😁😁😁😁😁 hatar na nusu

    • @sakinamubaraka1246
      @sakinamubaraka1246 5 лет назад

      @@rojallyrmr1402 hhahhaahhhaha aise ww noma

  • @hamismamba7668
    @hamismamba7668 5 лет назад

    Wasimulizi kuweni wenyewe kwa sauti zetu original tumechoka nyinyi wasimulizi kuigiza sauti na Aninas Edger mnapenda sana watanzania kuiga iga tu bila ya ulazima wwte ule

  • @africanmom2663
    @africanmom2663 5 лет назад +60

    Yaan mie pia napenda sana,nataman angekuwa anapost kila siku

  • @mauyambegu8407
    @mauyambegu8407 3 года назад +1

    Salute brother and GOD bless you🙏🙏🙏

  • @moullaommywayneofficial1199
    @moullaommywayneofficial1199 5 лет назад +7

    tumeipata uku 257 nipeni like zangu kama mnanifata me kutoka Burundi Bujumbura

  • @williamthomasthomas8892
    @williamthomasthomas8892 3 года назад +2

    Mungu akubariki

  • @sikukuugudeh6327
    @sikukuugudeh6327 5 лет назад +25

    Hiki kipindi nakipenda mtuekee story kila siku 💥💥

  • @tommbithi9452
    @tommbithi9452 2 года назад

    Thomas mbithi mks.Hayo ni maajabu kweli,

  • @abiudemmanuel9108
    @abiudemmanuel9108 5 лет назад +3

    Gonga like kama huwa unachukia bando likiisha na bado unataja kuangalia the story book

  • @beatricelauden8317
    @beatricelauden8317 5 лет назад +2

    Hongera msimuliaj hauchoshii jmn haina part 2😍

  • @kondegangfans7368
    @kondegangfans7368 5 лет назад +80

    Kipindi changu pendwa👽 wcb family without peace we can't go nowhere thanks my fans 😍

  • @romanomlanda655
    @romanomlanda655 5 лет назад

    Huwa nazikubali sana hizi story, kaka upo vzr kabisa kwenye hizi story

  • @annygodsfavour5557
    @annygodsfavour5557 5 лет назад +34

    Labda Ile eroplain 🛩️ ya Malaysia ilipotelea huko.... 🤔
    Anne Kenya🇰🇪