The Story Book : Tukifa Tunazaliwa Upya ! REINCARNATION

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 фев 2025
  • WATCH WASAFI TV📺
    AZAM - 411 | DSTV - 296 | ZUKU - 028 | STAR TIMES - 444 & 333 | COCONUT TV - 20 | DODOMA CABLE - 113
    LISTEN WASAFI FM 📻
    88.9 DAR/ZNZ/PWANI 📻 | 104.1 DODOMA 📻 | 94.5 ARUSHA 📻 | 97.3 MBEYA 📻 | 94.9 MWANZA 📻 | SHINYANGA 106.3 📻 | KIGOMA 101.7 📻
    Follow Us On:
    INSTAGRAM: / wasafitv || / wasafifm
    TWITTER: / wasafitv || / wasafifm
    FACEBOOK: / wasafitv
    𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2021 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm

Комментарии • 988

  • @salamaseleman3345
    @salamaseleman3345 Год назад +54

    Sijui nilitoa wap hii Imani but nimekuwa nikiishi na kuamin hivi hivi tangu nikiwa mdogo. Asante doctor

    • @mrprideofficial2879
      @mrprideofficial2879 Год назад

      Asante

    • @jolight01
      @jolight01 3 месяца назад

      ni kweli ila bible inatuambia ile roho itendayo zambi Ndio hufa Kwa maana ya kua haitaingia ktk huo mzunguko vile vilevile tumeona mzunguko huo nikama wa elia ambae alikuja tena Duniani Kama yohana mbatizani na yesu akiongea na wanafunzi wake aliwaambia amini amini nawaambia miongoni mwetu wako ambao hawataonjà umauti mpaka ule mwisho umefika Kwa maana hio miongoni mwa wale aliokua akiongea nao tuko nao mpaka leo wakiusubili ule mwisho

    • @aminajacobs76
      @aminajacobs76 2 месяца назад

      Kwa sababu ukomiongoni wale walio reincarnate they are called the chosen ones

  • @NzunguWilson-rg9sl
    @NzunguWilson-rg9sl Год назад +44

    Jamal professor, we ni mwandishi na muwasilishaji bora sana wa simulizi. Tanzania ijivunie wewe🙏🇹🇿💯💪

  • @TheNewgoat-v9z
    @TheNewgoat-v9z Месяц назад +4

    Swali nikwamba nani anatoa roho kutoka kwenye mwili wa kiumbe mmoja na kumpa kiumbe mwingine. Jibu ni Mungu kwahyo uwepo wamungu bado upo na utakuwepo

  • @rodricksimba
    @rodricksimba Год назад +17

    Mungu ndo kilaktu tuzidi kumuamin katika imani

  • @AbdullahAdinan-sh2kt
    @AbdullahAdinan-sh2kt Год назад +73

    Anasema Mwenyezi Mungu "Wanakuuliza(Muhammad) kuhusu roho,waambie roho ni katika mambo yanayohusiana na MoLa wangu,wala hamkupewa elimu ila kidogo tu" Quran chapter 17:_

    • @iraakasubete8287
      @iraakasubete8287 Год назад +6

      Haaaaswa Hakuna anae jua elimu ya roho ila kidogo mno, hakika Quran haijaaacha kitu

    • @abdulhamza7972
      @abdulhamza7972 Год назад +2

      Allah ndio mujuzi wa mambo yote.

    • @networkeryuzzo09
      @networkeryuzzo09 Год назад

      Io ila kidog ndo io elimu kidog sasa iliopo

    • @RobertWesley-z7u
      @RobertWesley-z7u 3 месяца назад

      Nyinyi kwanza Quran imewapumbaza ndio maana hamna elimu ya sayansi hamna kitu nyinyi

    • @EstherTembo-s6e
      @EstherTembo-s6e 2 месяца назад

      Ndio io kidg tumejua😅😅

  • @osmanstark7366
    @osmanstark7366 10 месяцев назад +14

    Hakuna mwanadamu anejua elimu ya Roho ispokua Allah pekee, yeye ndio anaejua wapi anapozihifadhi roho.....

  • @paulwasonga496
    @paulwasonga496 Год назад +41

    Kwa maoni yangu , wengi wa Hawa waliotajwa ni watu waliouwawa , je ebu tupe story ya waliokufa vifoo vya kawaida . Watching from Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @PascoPai
      @PascoPai Год назад +4

      Sorry sipo kuamini asemayo 100 bali kaa filiria kiundani unaweza fika sehemu mbaaali sana na unapoishi na hukuwahi kufika ila ukifika siku ya kwanza roho yako inakwambia kama ilo eneo hushawahi fika na kama unapakumbuka hivi

    • @KelvineMaswi
      @KelvineMaswi Год назад +4

      Na unaweza kuwa siku Moja kikatokea issue halaf kumbukumb zako kama vile icho kitu kilishawah kutokea lkn aukumbk ni wap Kuna kitu ni Siri ya mungu ila roho kuhamia mwili na kuzaliwa upya inawezakuwa ukwel kwa % kadhaa

    • @carenmihayo7991
      @carenmihayo7991 Год назад

      ​@@KelvineMaswikweli labisa

  • @HassanmalaleBezos999-hx1ix
    @HassanmalaleBezos999-hx1ix Год назад +17

    Hakik sis ni wamwenyez mungu na kwake tutarejea na hakika adi ya mola wangu mlezi ni kwel tupo kila nafsi itaikuta iliyo tanguliza mikono

  • @dozepofficial6465
    @dozepofficial6465 Год назад +64

    Hii inaweza kuwa kweli kabisa maana mimi ni Moja ya watu ambao Huwa nakumbuka matukio ambayo ni kama nimeshayafanya mimi lakini sikumbuki eneo husika ni wapi na ni mwaka gani

    • @jescafrank8797
      @jescafrank8797 Год назад +6

      That is me, yaan huyu n mm for sure yaan hata leo kuna matukio nkama nimeshawah kuona hii hali mara nyingi inanitokea huwa nasemag may be I'm crazy

    • @williamdouglaskiondo8270
      @williamdouglaskiondo8270 Год назад +6

      Mimi pia

    • @NelsonMandende-xf8nn
      @NelsonMandende-xf8nn Год назад +6

      @@jescafrank8797 Adi mimi Ishatokeaga iyo nakuwa naona kama kuna mambo nishayaona alafu kama inaludia ivi

    • @herimaguye4727
      @herimaguye4727 Год назад +4

      Deja vu

    • @eishstoner6692
      @eishstoner6692 Год назад +2

      @@herimaguye4727 kweli lakni haimanishi kma uliwai kuishii

  • @felixsyrio
    @felixsyrio Год назад +30

    Big up, Prof Jamal. April, much love from Kenya 🇰🇪 love you, brother.

  • @DannyMdoe-so7db
    @DannyMdoe-so7db Год назад +8

    Dah..... Nataman Sana niamin hiki k2 ila nikiamini tyu maswali yanakuja kichwn mwangu
    1. Je hakuna mungu
    2. Je dunia Aina mwisho
    3. Kwann tunakufa
    4. Je wale wanaosema tukifa twaenda mbingun au moton walitunga tuuuu
    5. Na Kama nikwel xaxa kwann bdo watu wanaendeleea kuongezeka dunian.

  • @alisterlexter1115
    @alisterlexter1115 Год назад +9

    Hii ni kweli.....Kuna mahala nilifika na ni Kama nilishawai kuwepo hapo lakini ndo ilikuw mara yangu ya kwanz kufik na nilienda na mzazi wangu akanambia hapa hujawai kufik Leo ndo mara yko ya kwanza

  • @georgekapilimka6474
    @georgekapilimka6474 Год назад +7

    Hakuna msimuliaj km jamal april ap AFRICAA 🌍 saluteee jamal good work Tanzania we proud of you

    • @bizimanadiallo
      @bizimanadiallo 6 месяцев назад

      Nenda Rwanda ambae anaitwa Rocky kimomo utakua kuwa kuna watu wen vipaji

  • @prince70863
    @prince70863 Год назад +85

    Mungu pekee ndio anajua maisha ni siri sana

  • @anamsangi2666
    @anamsangi2666 10 месяцев назад +22

    KAZI ZA MUNGU HAZICHUNGUZIKI,EEH MUNGU UTUPE MWISHO MWEMA🤲🤲🤲🤲

  • @pinchezbalozi7040
    @pinchezbalozi7040 5 месяцев назад +2

    Imani yako ndo itakuokoa hapo ndo msimamo wangu upo kwa kuwa nitakili mbele ya baba yangu katika kiti cha enzi na goti litapigwa wala hakuna yeyote atapiga goti la mweziwe 🙏🙏

  • @denniskimaro4143
    @denniskimaro4143 Год назад +18

    Nobody knows how the end of life really mean all in all are myths and assumptions we humans keep telling ourselves. Good work professor jamal as na historian and story teller

  • @officialInchakali
    @officialInchakali Год назад +1

    Ama kweli mungu acha haitwe mungu🤲🙏

  • @jaymandy8136
    @jaymandy8136 Год назад +14

    Kuna uwezekano mkubwa hii imani ya kuzaliwa upya ikawa kweli, Dunia ina mambo mengi ya ajabu

  • @amissaamani3210
    @amissaamani3210 Год назад +1

    Acha kudanganya watuu Mungu ni moja tu
    Na kufa tuta kufa
    Nafsi yako utaulizwa matendo yako uki fanya mazuri utalipwa na Allah baada yakufa
    Na ukifanya mabaya aliyo yakataza Allah Adhambu moto una kusubiri

  • @teacherkizumbe
    @teacherkizumbe Год назад +12

    Ulivyotoka wasafi nikajiuliza hivi ni kweli ndo sitoona tena the story book ila baada ya miezi mitatu umeludi wasafi hongera sana

    • @salim02tv24
      @salim02tv24 Год назад +2

      Aliyekuambiaa ametoka nan!? Au unasikiliza story za vijiweni!??

    • @edwinsirchidunda5658
      @edwinsirchidunda5658 Год назад +2

      Alietoka wasaf alkua @mtiga abdallah sio jamal april

    • @teacherkizumbe
      @teacherkizumbe Год назад +2

      Alitoka mkubali mkatae

    • @teacherkizumbe
      @teacherkizumbe Год назад +2

      @@salim02tv24 the story book haijapostiwa miezi mitatu kulikuwa na shida kwa jamal

    • @zuriathabdallah9492
      @zuriathabdallah9492 Год назад +1

      @@teacherkizumbe kwel aseew

  • @SaïdlofenyaSam
    @SaïdlofenyaSam Месяц назад +2

    Roho ni sirj ya Mwenyezi Mungu tu.

  • @issamakau5841
    @issamakau5841 Год назад +5

    Reincarnation imeongelewa kiundani kwenye QUR'AN ijapo professor naona umeamua kubaki solid kuhusu dini maana hapo panahitajia ufafanuzi wa kina kulihusu .... Shukran ijapo kila mmoja ana imani anavyoitakidi

  • @ElochoSamuel
    @ElochoSamuel 4 месяца назад +2

    Mbona hakuna mwafrika ata mmoja, Kwani sisi wa Afrika tukifa roho zetu huenda wapi, naona watu wote ni waliorudia wote ni wazungu tu so sisi wa Afrika tukifa Roho zetu huenda kwa Baba Mungu 🎉🎉🎉

  • @manenogimbi24
    @manenogimbi24 Год назад +5

    Nakubali sana kipindi chako
    Nakuomba naomba usimulie kisa cha nabii yussuf siku ukipata muda nilikisikia kupitia mtiga ila nataka kusikia kutoka kwa sauti yako kwan inamambo mengi
    Ni mm mdau wako

  • @LaizaMkali
    @LaizaMkali Год назад +4

    Uki Tafakar ya Musa Uta yaona ya virauni nime jiuliza mpka nachanganyikiwa
    Mamb mengine tuachie Mungu............ 11:04 11:09

  • @africancomedy1967
    @africancomedy1967 Год назад +8

    Kweli kàbisa pia mm nakumbuka nilikua Kwa hii Dunia kitambo Sana hata na kumbuka tulivyo ijenga Forth Jesus ambayo iko Mombasa

  • @benardkyalo2517
    @benardkyalo2517 Год назад +2

    Bro Jamal you really make me see the world in other side. Nakubaliana na wewe sana

  • @paulineachieng4877
    @paulineachieng4877 Год назад +20

    I have been really waiting for this Jamal, from Kenya

  • @mhogomchungu7882
    @mhogomchungu7882 Год назад +23

    Ndg zangu ukweli kuhusiana na reicanation …ni kwamba sisi ni wamoja na MUNGU….na haya ndio mafundisho ya awali yaliyokuwepo kwenye dini zetu zote….nikiwa na maanisha ukristu,ubuddha,uhindu,uislamunk…waanzilishi wa dini kristu,gautama sirithati ,lao tzu,confusious..na wngn wengi hawakueleweka vzr…na mafunzo yao yakapotea…nawashauri tu ukitaka kujifunza ukweli…anza kujifunza universal conscioussness utamuelewa vzr yesu,buddha,lao tzu ,confusion ndio utarudi hapa na kuelewa reincanation lkn saaiv utaona ni hadithi tu…maana hata waliofundishwa reincanation kwny dini zao(wabuddha,wahindu)hawakuelewa vzr zaidi sana tumefungwa na ego

  • @estherwaweru7653
    @estherwaweru7653 Год назад +48

    Hallo professor Jamal
    I always waits for the next story book. Your stories has real teach me alot. Wish you God's blessings and long life you continue to bless us with great stories. Kenyan in Duesseldorf Germany.😊

    • @aoloathumani10
      @aoloathumani10 Год назад +1

      Hello mambo vp

    • @mussahussein268
      @mussahussein268 Год назад +1

      this is just the story, try to look peoples who realy enjoyed the reality of death

    • @mussahussein268
      @mussahussein268 Год назад +1

      this is just the story, try to look peoples who realy enjoyed the reality of death

  • @bas2823
    @bas2823 Год назад +11

    I TRULY BELIEVED THIS STORY! BEC I DREAMS N FEELS MANY THINGS IN MY LIFE TIME! WHICH THOSE THINGS ARE OLD! THEN MY AGE👌 THANKS FOR SHARING🙏👌 GOD! BLESS U ALWAYS👌🙏🤝👏👍🏽 AMEEN🤲 I LOVE IT❤💙💜💚👌

  • @nashneythanstm8560
    @nashneythanstm8560 Год назад +6

    its never death its transition! YOU CARRY YOUR MEMORIES TO THE SPIRITUAL WORLD

  • @Aishatheboss117
    @Aishatheboss117 12 дней назад

    Weee jamani mungu anakuona mimi na muamini mungu sikubaliani na maneno yako mungu alie umba mbingu na alidhi ndie anaejua 🙏

  • @athumanihabibu7592
    @athumanihabibu7592 Год назад +19

    Rencarnation ni dhana iliyotapaka sana bara la Asia especially Indian's. Wakiamini watu huzaliwa upya kama msimuliaji anavyoelezea, lakin kwenye baadhi ya din pia ipo wanaposema kuna kufufuliwa ndio rencarnation yenyewe, lakin kuna haja pia ya kujua maana halisi ya neno rencarnation maana yake hasa ni Nini? (Maana yake ni kitu kilekile kukirudia kama kilivyo). Moja ya sifa ya maumbile ni kutofanana kwa vitu, Kila kitu ni tofaut na kingine ata kama kwa muonekano vipo sawa. Lakini pia vitu hivyo (ikiwemo mwanadamu) hupitia mabadiliko wakati wote na moja ya mabadiliko hayo ni kifo. Tangu ungali hai hadi ukifa hakuna mtu atakae kua ni wewe kabisa ata akizaliwa huyo ni kiumbe mwengine kabisa. Ivyo dhana ya rencarnation bado inamaswali mengi ila kwa vile ni imani Basi inabaki kama ilivyo. Kuhusu watu kuzaliwa au kua na access ya taarifa za kale Kila mmoja wetu anao uwezo wa ku access past na aka feel kabisa kua ni yeye. Iko iv Kila kitu apa tulipo adi mwanadam ni ufaham wa aina Fulani ambao Kila mmoja wapo unajitegemea ila inaweza kuingiliana. Sasa kuna ambao wanazaliwa na direct connection ya ku access past au future ambapo wengine uo uwezo upo ila upo dormant adi wapewe mbinu ndio waone. Sasa kwa kuingia kule unaweza kua ufahaam fulani na uka experience Yale maisha na ukajiona ni wewe kabisa au ata ukawa unapata insight fulani za Mambo yaliopita iyo inawezekana. Ila mtu ukifa habari ya kurudi haipo maisha yanaendelea na unatoa nafasi ya vitu vingine kujieleleza.

  • @CathelineKasase-vb8ir
    @CathelineKasase-vb8ir Год назад +1

    kuhusu swala la kukumbuka zamani hata mimi ilisha nitokea naweza kwenda mahari ambapo sijawahi fika lakini nikahis kama nilisha wahi kuwepo ila Mungu atukuzwe ktk yote na atusamehe sana

  • @irenewile
    @irenewile Год назад +44

    Ndio maana watu wanafanana,,r.i.p Mom 💔 2022.02.12

  • @savaidennis896
    @savaidennis896 Год назад +2

    I believe in that and you have teach me more God bless you

  • @ellybrown5989
    @ellybrown5989 Год назад +5

    Asante Jamal Kwa Makala nzuri ya kuvutia..👏👏👏

  • @albertmwanshuli1016
    @albertmwanshuli1016 Год назад +8

    Jamani hakiamungu hata mimi jambo hili limenigusa tena lina ukweli ndani yangu naweza kuwaeleza kirefu sana na hata msipo amin ila hili suala ni kweli lipo mimi siku nyingi sana nilikua najiuliza je kila mwanadamu yupo kama mimi anayakumbuka haya na kuna baadhi ya matukio mengine yanajirudia na nikipita hata sehem zingine huwa naona kama nimewahi kupita duuh jaman 😭😭🙏🙏

    • @herimaguye4727
      @herimaguye4727 Год назад

      Deja vu

    • @PascoPai
      @PascoPai Год назад

      Yaaah! Tena hunaweza kuta ni mbali sana na unapo ishi and kunatukio linakutoke unaisi kama ni marudio

    • @ZaituniRashidi-ry9vz
      @ZaituniRashidi-ry9vz Год назад

      Hata mm hvohvo

    • @pinchezbalozi7040
      @pinchezbalozi7040 5 месяцев назад

      Hizo ni nguvu za roho walio kufa zilizo kataa kwenda zilipo amuliwa adi siku ya hukumu ndiposa unapata familia nyingi kusumbuliwa kwa yeyote akuzikwa kwa njia inayofaa,,wakati mwingne waweza kujiona kiumbe chenyewe mbali inafaa tu kwamini bibilia ambapo kila goti litapigwa mbele ya mwenyezi mungu na pia akuna maali mtatokea watu watatu kwa nyoyo Moja🙏🙏hiyo kuamini kwangu kama bado utamini kuwa tukio la ol...ni sawa Sina shaka

  • @bigiemnyamaa1185
    @bigiemnyamaa1185 Год назад +53

    Leo ndo Derby ya Kariakoo, Simba vs Yanga wakati unasubiri mechi unaangalia story book km hivi. Salute kwako Jamal....✔️✔️🙌🙌🙌🙌💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @Shania3
    @Shania3 Год назад +7

    Sio kweli shida ya watu weusi tunahamini sana wazungu wanajua kila kitu ndio maana wanatupoteza sana mimi hii story book si amini❤ kabisa

    • @bonifaceomallya9201
      @bonifaceomallya9201 Год назад +2

      Uwezi kuamini kwasababu ya imani ya huyo mzungu alie kuletea dini hili usiweze kujitambua ila jamal anasema kweli mtupu

    • @yassiraliy7652
      @yassiraliy7652 Год назад

      Kweli atamm siamn nimemuuliza swal ukifa kaburini wanakuja malaika wawili munkar na nakir. Ao ni malaika wanao kuja kukuuliza maswali juu ya matendo yako yote duniani ss km roho yako kapewa mtu mwengn ww utapt wp roho ya kujibu maswali ., Naomba munisaidie 😊

    • @odoyo2553
      @odoyo2553 Год назад

      Leta yako ya kiafrica

    • @ZeraGeofrey
      @ZeraGeofrey Год назад

      @@yassiraliy7652 huamin sababu ya dini uliyopandikizwa na muarabu mbona huyo muarabu umemuamin kama ni kweli wakati huna uthibitisho wa hicho alichokuambia. Unauhakika gan kama kweli unaulizwa ulishawahi kufa ukarud au... hiyo ni iman tu ambayo hakuna aliyethibitisha maana hakuna aliyeenda akarud

    • @edwins5804
      @edwins5804 Год назад +2

      Huamini ivi visa vya wazungu lakini unaamini dini walizokuletea… kuna tatizo kwenye ubongo wako 😁😁😁

  • @venfreysand8835
    @venfreysand8835 Год назад +6

    Haya mimi naamini kuna pepo na jehanamu full stop kwa kweli

  • @JonathanNzogya
    @JonathanNzogya 10 месяцев назад

    Imani ni kuamini kuwa kuna Mungu na yeye ndie muumbaji wa kila kitu duniani !NDUGU Jamal kafiri mpotoshaji musimuamini bali muaminini Mungu na vitabu vyake

    • @lilotz-we7xq
      @lilotz-we7xq 10 месяцев назад

      Acha uboya wewe hiyo ndio jitihada yake yaufahamu Sasa wewe muelimishe kile ukijuacho nasio kumkufurisha

  • @salumhbomary1270
    @salumhbomary1270 Год назад +15

    Thanks a lot professor!!
    This is the real meaning of the story!!

  • @timochazze9845
    @timochazze9845 Год назад +4

    Haujawai kuniangusha professor jamali big up sana

  • @benedicto6057
    @benedicto6057 Год назад +14

    Professor I wish one day I be like u🤗🤲

  • @HabibuChobu
    @HabibuChobu Месяц назад

    Hiyo Imani ni dhaifu, Rudi kwenye vitabu vitakatifu.
    Huo ni upotofu.

  • @shepherdhermas6763
    @shepherdhermas6763 Год назад +6

    Am glad you're back 🇰🇪🇰🇪🇰🇪😘😘 Welcome

  • @NibarutaJoselyne-qq8se
    @NibarutaJoselyne-qq8se Год назад

    We mzee soma neno lamungu ujuw ukweli unacokiongeya ni ongo mtupu katika maandiko matakatifu mtu akifa loho inaludi kwa yule aliewupana nimemanusha yakwamba loho kuludi kwa mungu namwili kuludi udongoni ambapo ulipotoka

  • @Komaroff-y7f
    @Komaroff-y7f Год назад +42

    Kusema tu ukweli Niko hapa Kenya kiambu county thika town na natambua huyu babuu😍😍😍

  • @morrismunyao
    @morrismunyao Год назад +9

    Thank you professor Jamal

  • @kennedydeya-tl7ti
    @kennedydeya-tl7ti Год назад +8

    Documentary Evidence, Great Story Keep It Up Pro.Jamal.

  • @donrodgerske
    @donrodgerske Год назад +11

    it takes 500-1000 years to reincarnate......at this stage it gas forgotten everything after undergoing all the stages of incarnation but nowadays souls are reincarnating faster than usual as humans continue to mature spiritually

  • @husseinibrahim2929
    @husseinibrahim2929 Год назад +3

    Fundisho la kuzaliwa upya ni kampeni chafu za baadhi wazungu kuukana uungu kwa hakika linatokana na kutoelewa kuamini maisha ya akhera ambayo ni uzima wa milele

  • @AnlyAbudo
    @AnlyAbudo 8 месяцев назад

    Mungu mwenhewe ndo anadjua Allá atupe mwisho mwema amén 🤲🤲🤲

  • @juniorkyando3546
    @juniorkyando3546 Год назад +4

    Thank you professor Jamal 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @ChazDaniel-k9o
    @ChazDaniel-k9o Год назад

    Mmh huo niongo broh, ndugu juwa mungu yupo na kiama kipo, ukifa ujue unaxubili palapanda2 mengine niubatili

  • @vivannywizzy908
    @vivannywizzy908 Год назад +291

    Wapagani mutakubaliana na Jamar na uwongo huuu, tunayemuamini mungu gongeni like apa tujuane.

    • @dlbckeonline3582
      @dlbckeonline3582 Год назад +6

      Hii ni namna ya kupinga Mungu, pia ni Imani ya wapagani

    • @fadhililipegea4173
      @fadhililipegea4173 Год назад +3

      Africa hawapo waliozaliwa upya

    • @ZeraGeofrey
      @ZeraGeofrey Год назад +5

      Hivi nyinyi amuelew maana ya imani au kuamini mitishamba haina maana humuamin Mungu

    • @Eng2460
      @Eng2460 Год назад +4

      MUNGU na sio mungu

    • @samroymen-tz3om
      @samroymen-tz3om Год назад +2

      𝙢𝙚 𝙣𝙖𝙖𝙢𝙞𝙣𝙞 𝙝𝙞𝙞 𝙠𝙬𝙖 70𝙥𝙚𝙧𝙘𝙚𝙣𝙩

  • @patrickamwela573
    @patrickamwela573 13 дней назад

    Yesu aliwaambia wanafunzi wake: “Rafiki yetu Lazaro amelala usingizi.” Lakini Yesu hakumaanisha kwamba Lazaro alikuwa amepumzika. Yesu akaendelea kusema: “Lazaro amekufa.” (Yohana 11:11-14) Kwa hiyo Yesu alilinganisha kifo na usingizi. Hakusema kwamba Lazaro alikuwa mbinguni au pamoja na watu wa familia yake waliokufa zamani. Wala hakusema Lazaro anateseka katika moto wa mateso au amezaliwa upya akiwa mwanadamu au mnyama kiufupi kama nafsi bado iko hai basi wewe hujafa

  • @iddikhamis8454
    @iddikhamis8454 Год назад +4

    Jamal mara hii hukuja na madoidoi yako ya kuipamba sauti katika simulizi zako. Story zako ni nzuri ila huzidi uzuri unapozidisha yale madoidoi ya sauti yako.

  • @issahibrahim9479
    @issahibrahim9479 Месяц назад

    Yes ni sawa kabisa brother ila kwa sisi waswahili waeza sema umesharogwa ukisema maisha yako ya nyuma😅😅😅

  • @luluhashim6644
    @luluhashim6644 Год назад +3

    Mimi nakumbuka zamaani sana kipindi nikiwa mdgo bibi yangu mzaa mam aliwah kunambia hii story na nilimuamin ..

  • @baquirmaulana4845
    @baquirmaulana4845 Год назад

    Professor tshunga sana usije ukakufuru maana unapotosha watu wengi sana, inna lillahi wa inna ilaihi rajiun.

  • @joanesasalavaleriano9980
    @joanesasalavaleriano9980 Год назад +3

    Asante baba profess🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇲🇿🇲🇿

  • @joshuamugala265
    @joshuamugala265 Год назад

    Hapana umeanza kupindua nenola mungu haiwezekani unawadanganya mamia namaefu tafadhari kwaudanganyifu wako

  • @felixcleophas3299
    @felixcleophas3299 Год назад +9

    Your the best professor 🤝🏾

  • @sheilajess
    @sheilajess Год назад +1

    I really appreciate your work jamal April

  • @abdulhamza7972
    @abdulhamza7972 Год назад +4

    Tunashkuru sana professor Jama , Hapa pia tunajifunza pengine hata gays waliowengi huwenda rohozao kabla ya kuingia kwenye miili Yao ,ziliishi katika miili ya wanawake.... am seriously😅

    • @DotoMnubi
      @DotoMnubi 5 месяцев назад

      Ni Imani za wapagan lkn Imeandikwa Neno la MWENYEZ MUNGU linasema mtu akifa atakuwa amelala anasubili siku ya hukuma

  • @gisbertusrevocatus171
    @gisbertusrevocatus171 Год назад

    Ni kweli Kama mnafatilia vizuri Arusha Kuna mtoto mzungu lakini anaishi maisha ya kimasai na hatamani kuvaa style yeyote ile Ni Masai tu na anapenda utamaduni up jiulze Sasa aliwezaje na ujasiri aliutoa wapi mpaka akaweza kuishi ivyo

  • @mahadmpemba3503
    @mahadmpemba3503 Год назад +3

    Your master plan brother

  • @silaokal2074
    @silaokal2074 3 месяца назад

    Yesu alipokuja kwa wayahudi alitoa mapepo kwa Kila aliyeuguwa kudhihirisha kuwa mapepo utafuta makao kwenye mioyoo ya wanadamu.

  • @sixville_tv
    @sixville_tv Год назад +50

    The soul becomes unconscious when one faces death. The same way like we don’t remember the things when we were a year old kid, the soul forgets all the memories in it’s previous birth. It does reborn in a new physical form (might be human, animal, insect or anything). It adapts to it’s environment and starts it’s next journey of life.
    The only way to find this out is when we face death.
    If that is the end, nothing matters any more. If it’s not the end and we do reborn into another but however lose all our memories and conscious, again nothing matters any more. But if we reborn and still have those memories, just think will we be arguing about this if this case had already happened?

    • @ramadhanijuma4130
      @ramadhanijuma4130 Год назад +1

      Absolutely

    • @NIGHTMARE-wt1pw
      @NIGHTMARE-wt1pw Год назад

      That’s a deep one fam…this is the most debatable question in world with many plausible explanations/ theories.it’s creepy to think of returning as a bug😂..who knows what the future holds..ever heard of time travel??

    • @Vaiva4254
      @Vaiva4254 Год назад

      I agree with you

    • @nashneythanstm8560
      @nashneythanstm8560 Год назад

      its never death its transition! YOU CARRY YOUR MEMORIES TO THE SPIRITUAL WORLD

  • @ynahmorata7604
    @ynahmorata7604 Год назад +1

    Daah inakuja kbs kichwan ata m niliwah kuota maisha ya zaman nikiwa uturuk wakat ata sijawah kufk

  • @jibaba5110
    @jibaba5110 Год назад +12

    I just like your art, keep them coming.

  • @SadyPatison
    @SadyPatison Месяц назад

    Marehemu kafukaliwa kakutwa ana majeraha ha haaa mwachen Mungu aitwe Mungu hachunguzik

  • @SaidiMaina
    @SaidiMaina Год назад +4

    This is making sense Bro ❤

  • @SolomonMusembi
    @SolomonMusembi Год назад

    Thanks Jamal April.God Bless you.Tuandalie Story ya Entebe wakati wa Idi Amin.Tafadhali.

  • @gatekanene5753
    @gatekanene5753 Год назад +18

    Daah mbona hata mimi nazidi kutafakari kama vile naamini pengine imani inagoma kabisa kwanza nimejiuliz maswali ambayo sipati jibu sahihi nawaza kama kweli duniya itakwisha kwa sasa watu wanazidi kuzaliyana na kuongezeka duniyani wanaozaliwa niwengi kuliko wanao kufa kuusu hoja ya Jamali hapo naomba jibu? Swali la pili inamaana Mungu bado anaumba watu kwa udongo mpaka sasa? Ao inakuwa aje watu wanazidi kujaa duniyani ao wa toto wanao wekwa tumboni Mungu anawatowa wapi kabla awatiye kweny viuno vya wa wanaume?? Waliyomo makaburini wana lala mdaa mrefu sana zaidi kuliko urefu wa uhai wao na nikitizama waliyo kufa niwengi sana tukianziya kwa Adam mpaka kizazi hiki nabado wengine wanazidi kuzaliwa kweli nisaidiyen maan nikicukuwa mdaa kuyawaza hayo kuna mda nahisi kucanganikiwa ila majibu siyapati kabisa nabakiliya kusem tu kuwa Mungu anasiri kubwa na yeye ndo mfumbuzi wa siri hizi .

    • @kinggwaky4421
      @kinggwaky4421 Год назад +10

      Bro unatakiwa ufungue akili yako kwanza. Pili Mungu haumbi watu kwa udongo kwasasaivi kwasababu tayari ndani ya viuno vya mwanaume ameweka uhai wa mtu kwanjia ya shahawa. Ukifa kimwili tutakuzika ila tambua roho yako (nafsi) itakuwa hai milele na ndio kitu pekee Mungu atadili nacho, usipotoshwe na hizi story kwasababu wengine wanatunga kwaajili yakupata umaarufu. HUJIULIZI KWANINI HAYO MAMBO HAYATOKEI AFRICA?

    • @gatekanene5753
      @gatekanene5753 Год назад +2

      @@kinggwaky4421 daah Asante san kwa kunifunguwa akili

    • @wilsonjuma08
      @wilsonjuma08 Год назад +4

      @@kinggwaky4421 sio kwamba hayatokei africa, hakuna research inayofanyika uku kwetu

    • @kinggwaky4421
      @kinggwaky4421 Год назад +4

      @@wilsonjuma08 Point yangu iko hapohapo juu ya hao wanaofanya research. Jiulize kwann hawafanyi Africa? Utapata jibu kuwa wao ndio wanataka umaarufu ili africa tuwaone wao ni watu special. Sasa hapo kuna mengi yatafanywa eitha mtu atunge story au wengine imewatokea kweli. Thats why nakuomba hata ww usiamini kila story

    • @phabiandeshadowwizzy618
      @phabiandeshadowwizzy618 Год назад

      4 this time tunaish kwa story kiufupi ni kwamba amini unachoona kuwa nafsi yako unaona kuwa ni sahihi kukiamin but asilimia kubwa ya watu now tunaishi kwa mapokeo shorty usiamini iman yoyote yamtu amini kilicho ndan ya nafsi yako coz mambo yote aya tunaletewa2 be4 ya din afrika watu tulikua vip!???

  • @jumaaally6088
    @jumaaally6088 Год назад +10

    Much respect bro for ever 👏👍

  • @eliyammari6382
    @eliyammari6382 Год назад

    Acha kudanganya watu na ujue adhabu yako ipo. Kama ingekuwa ivo basi na roho ya watumishi wa mungu walio pita miaka mingi iliyopita wangezaliwa kama wanyama wa kufugwa tuwale ili mungu apate faida gani wee acha izo swaga

  • @saimonyedy775
    @saimonyedy775 Год назад +8

    Brother drop another one upo vizuri story book ni kama tamaduni me na wafanyakazi wenzangu uwa tunakaa tunaangalia

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 Год назад +1

    Asante sana my roll mode wangu

  • @Mariamerit1
    @Mariamerit1 Год назад +6

    This is very true.. Me being an old soul it's true,,, nilikufa maji in my past life mpka Leo hii siwezi ongelea naongopa maji hata ya swimming pools..

    • @salmaalimusa6809
      @salmaalimusa6809 Год назад +1

      Mmmh umejuaje kama ulikufaga?

    • @Mariamerit1
      @Mariamerit1 Год назад +1

      @@salmaalimusa6809 naitymares and dreamz

    • @bakarikolumba9660
      @bakarikolumba9660 Год назад

      Mzee kama hujazaliw kijijin huwez ogelea😂😂

    • @aminajacobs76
      @aminajacobs76 2 месяца назад

      ​@@salmaalimusa6809pay attention to your dreams u will know your past life. That's what we have dreasm in the first place.

  • @saidothman4527
    @saidothman4527 2 месяца назад

    M/mungu Ameumba roho zote kwa idadi

  • @saimonyedy775
    @saimonyedy775 Год назад +4

    Tunapenda kazi yako

  • @MasoudNyoni-g8o
    @MasoudNyoni-g8o Год назад +1

    Ahsante Kwa taarifa ya habari kutoka this story book.

  • @kelvinfesto2971
    @kelvinfesto2971 Год назад +4

    Toa another story book upo vzr kaka nakukubali kinoma 🎉❤

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka Год назад

    Sio kweli kbs mnakwepa kwenda jeanamu kwenye ukumu za mungu ayo yote mumesema nyie mungu muacheni anajua mwenyewe

  • @nonoplatnum9180
    @nonoplatnum9180 Год назад +8

    This is how I believe before seeing this, I can't tell why but I feel it inside me

  • @mistasaa9214
    @mistasaa9214 Год назад

    Jamal muogope MUNGU zingatia unayoyasimulia kw faida yko n ulimwengu. ila usipozingatia utakuja kujikuta siku y mwisho ulikua ni msaada mkubwa wa kuwapotosha watu. napenda sn kaz unayofny kw sbb inawez kua sabb y uongofu mkubwa kw wengine ila kw njia nyngn zinawez kua sbb y upotev w w2 wengi. keep on doing your magic work but deeply critically think on what your are saying and finally fear the ALMIGHTY GOD

  • @junithercherotich4237
    @junithercherotich4237 Год назад +4

    Watching from Kenya ❤

  • @mahmoudshaaban6851
    @mahmoudshaaban6851 Год назад +1

    Hemu tuwachukuwe watoto 100 tu hapa kwetu Kisha watuhadithie WA nakumbuka nn kabla ya kuzaliwa kwao

  • @BGHaule
    @BGHaule Год назад +19

    Hii inakuja kabisa,Mimi kuna muda huwa najiwa na kumbukumbu za maisha niliyowahi kuishi,na Kuna eneo niliwahi kwenda kule moshi,sikuwahi kufika,lakini nikawa najihisi kama ni sehemu ninayoifahamu,but sikuwahi kufika na ilikuwa Mara yangu ya kwanza kufika

    • @handbagsquality9835
      @handbagsquality9835 Год назад +1

      Eeeh wacha ,kumbukumbu zako za zamani ,zinakujia ? Wow hongera sana . Kwa kumbukumbu

    • @BGHaule
      @BGHaule Год назад +1

      Sio zinakuja,ila nilikuwa nahisi ni kama sehemu ninayoifahamu

    • @BGHaule
      @BGHaule Год назад +1

      Sikuwahi kufika kabla ila ni kama naifahamu hiyo sehemu

    • @ivanpeter4945
      @ivanpeter4945 Год назад

      Oyah ata mm iliwah nitokea.. unafika sehemu.. lkn unahisi kama ulisha wahi kuiona

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 Год назад

      Ni kweliiii kabisaa hiii kitu hutokea

  • @nganigwamwakibete
    @nganigwamwakibete 11 месяцев назад

    Mystery are something very special which wonders

  • @khadijakisingo7920
    @khadijakisingo7920 Год назад +4

    Professor ni mmoja tu🎉

  • @badrahassan7513
    @badrahassan7513 Год назад +1

    Ni kweli naamin mm nmeumbwa zaidi ya mara 1

  • @africancomedy1967
    @africancomedy1967 Год назад +7

    na mm najua history nzima ya Ubuntu (Africa) najua watu wageni wakwaza kuja Africa na kumbuka kila kitu na hata hizo birth mark niko nazo nyingi tuu

  • @athanaschipanha8366
    @athanaschipanha8366 Год назад

    Kwa hesabu hizi ikitokea loho Yako ni ilikufa kabla ya kumkili mungu ndo inaludi lakini ukimkili mungu roho hailudi duniani na nimpango wa mungu mwenyewe mnajitahidi kuzijua Siri hongereni na hakuna atakae wambia hata wew Leo ukipatwa na janga usipate mda wakukili unamwamini mungu au shetañi ukajifanya upo katikati lazima uzaliwe upya mpaka itakap kuja kukili ndipo utakwenda mbinguni

  • @noahayoubameninaendereakubarik
    @noahayoubameninaendereakubarik Год назад +3

    nikwelii hata mimi nilikua nikimsimlia mzazi wangu vitu vingi sana vya kale nae alinihoji sana mpaka sasa hua ananisimlia vile nilikua namwambia yaani nilikufa nikiwa katikati ya mapigano makali ya ufalme flani ukipigana na ufalme flani mimi nikiwa kama kiongozi tuliwekwa kati kisha kufyatuliwa mishale kwa pamoja