The Story Book: MFALME ALIYEULIWA NA MBU KISA ALITAKA VITA NA MUNGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 дек 2024

Комментарии • 1 тыс.

  • @MichaelMathew-j3f
    @MichaelMathew-j3f 10 месяцев назад +9

    Mungu ni Mungu. Amen.

  • @AskariKidume
    @AskariKidume 4 года назад +780

    Tangu nianze kukomenti story book sijawai kupata like 😭😭😭.. From Mozambique..

  • @rukiakipande186
    @rukiakipande186 4 года назад +104

    Kama wote tunaamini mungu ndie mwenye uwezo wakumfanya mwanadam chochote gonga like hapo

  • @vanessaemanuel849
    @vanessaemanuel849 Год назад +8

    Aise mwenyezi Mungu ndiyo muweza wayote na pia Mungu nimwema kilawakati🙏🙏🙏

  • @musampate279
    @musampate279 4 года назад +37

    Jamal, jamal, Jamal nimekuita Mara tatu bro uko juu mpaka sasa walikukataa mwanzomwanzo ila sasa wameanza kukuelewa big up bro kweli umejua kunyamazisha watu

  • @Isack_Leo
    @Isack_Leo 4 года назад +21

    Daaah...angeomba msamaha Mungu angemsamehe na kumponya ...sisi wanadamu bhana daaah
    Mungu si wa kuchezea

  • @khaijakadija2082
    @khaijakadija2082 3 года назад +9

    Subhna Allah
    Mola wetu tuhifadhi na kibri

  • @allyramadhani9081
    @allyramadhani9081 4 года назад +48

    Xijawaiii pata like aixeeee manzeeee embu fanya kama unapita chap nalike wadau wng

  • @sammanexofficial1511
    @sammanexofficial1511 2 года назад +26

    Mungu atabaki kuwa mungu milele na milele🙏🙌

  • @mossesjr4990
    @mossesjr4990 4 года назад +44

    Hii ki2 ni fire namkubali sana uyu jamaaa km na wewe upo pamoja nami gonga like apo iwe ishara yakuwa 2namkubali

  • @papaesco5198
    @papaesco5198 4 года назад +22

    Tulidhani story book ingeisha pale alipotoka mtiga but Jamal Ametuhakikishia kuwa anaweza big up mzee baba

  • @rezikomer9552
    @rezikomer9552 3 года назад +8

    Mashallah story tamu sana haya wenyekiburi hi ni funzo zuri kwawenzetu subhanallah

  • @clintonbleya1634
    @clintonbleya1634 4 года назад +13

    Hakuna Kama Mungu
    Mungu Anaweza
    Mungu Samehe Zambizetu Sisi Ni Waovu Hakuna Mkamilifu Mbele yako 🙏🏽

  • @mwalimubaydah6755
    @mwalimubaydah6755 4 года назад +10

    Historia zako nakupenda sana Allah akupe mwisho mwema na akuzidishie elim na akukinge na dunia na vilivyomo

  • @venancemwasakipala256
    @venancemwasakipala256 4 года назад +158

    Jamal Jamal Jamal nimekuita Mara Tatu jamaa nimekuekewa una fact na unaeleweka, keep moving bro

  • @elishafanuel
    @elishafanuel 4 года назад +130

    Bora Kama ume jua kua Mungu wa kweliii yupo mmoja tu alie juu

  • @ummyazizkimaro6378
    @ummyazizkimaro6378 2 года назад +18

    I just came across THE STORY BOOK today and i loved it i cant wait to listen to the rest of the stories

  • @allymbogoally7451
    @allymbogoally7451 2 года назад +19

    You're the best to narrate the history,
    Well done my brother?!.

  • @NiaKelly-sh4hj
    @NiaKelly-sh4hj 8 месяцев назад +14

    Nawakubali Sana wasafi munatufanya tujuwe mengi Kama tuko wengi tunayo ikubali wasafi gonga like tujuwe the story book ni 💯💯💯💯💯💯💯💯

  • @simontamba1285
    @simontamba1285 3 года назад +8

    Sote ni wtoto WA Baba mmoja
    Na Hakika Mungu ni Muweza
    Tupendane

  • @siasamweli372
    @siasamweli372 3 года назад +6

    Mungu hazihakiwi!Nakupenda Sana mungu wangu

  • @geoffreymakana5677
    @geoffreymakana5677 Год назад +15

    I like how this guy puts his story

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 4 года назад +11

    Tunaomba muwe mnawaisha. Hiki kipidi tunakipenda sana mungu azidi kukuinua zaidi na zaidi

  • @lkshmykomar5472
    @lkshmykomar5472 3 года назад +23

    Qulhu Allahu ahadu Allahuswamadu Lamiyalid walamiyuladu wanamiya qulahu qufuwan ahadu

  • @lydiaingolo1678
    @lydiaingolo1678 4 года назад +34

    Jamani kuna Mungu mkuu mwenyewe uwezo wa ajabu na nguvu na mwenye mamlaka, atukuzwe milele baba yetu aliye mbinguni

    • @jacksonjosephkungunde6337
      @jacksonjosephkungunde6337 4 года назад +2

      Amen

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 4 года назад +2

      Ameen

    • @mweucchunda4244
      @mweucchunda4244 4 года назад +2

      Amen

    • @mwantumuakida24
      @mwantumuakida24 3 года назад

      She he shafii

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 2 месяца назад +1

      Naye ni Allah tu peke yake. ukiskiliza hichi kisa utajua kama wale wanamuita yesu ni Mungu wanakufuru kuliko pitiliza. kwasbb hapo unaambiwa ni kabla ya yesu kuzaliwa sasa jeuliza huyo mfalme aliadhibiwa na nani?? wakristo mtafakari Mungu ni mmoja tu ni Allah aliyekuwepo kabla ya kila kitu na atakuwepo mielele. tunawasihi ndugu zetu muamini yeye kabla hakijakukuteni kifo.

  • @AliceMwacharo
    @AliceMwacharo Год назад +5

    Mungu ni mwaminifu kila wakati

  • @sumaiyamahamoud2488
    @sumaiyamahamoud2488 4 года назад +9

    Mungu tupe imani daima tuamini uwepo wako

  • @avivtelcomms
    @avivtelcomms 4 года назад +45

    Jamal umekuja na sauti yako mwenyew, so unique cdhan Kuna mtu anaweza kuiga hii saut

  • @sharifaallan2386
    @sharifaallan2386 4 года назад +50

    Allah atunusuru tusije kukufuru

  • @tonnymkoya8790
    @tonnymkoya8790 2 года назад +4

    Napenda kufuatilia historia yako.Great

  • @jacquelinealinanuswe9639
    @jacquelinealinanuswe9639 4 года назад +4

    Ukuu wa Mungu God is so merciful

  • @salehabri6957
    @salehabri6957 Год назад +23

    I am proud to be Muslim, peace and mercy up on you..

    • @yustomwaisomania2587
      @yustomwaisomania2587 Год назад

      Ni utumwa kuwa hivo

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 2 месяца назад

      wala hutakuja kujutia leo wala kesho kiama upo njia sahihi sana

    • @hassanrashid9436
      @hassanrashid9436 2 месяца назад

      Allah tu ndie Mumu peke yake. ukiskiliza hichi kisa utajua kama wale wanamuita yesu ni Mungu wanakufuru kuliko pitiliza. kwasbb hapo unaambiwa ni kabla ya yesu kuzaliwa sasa jeuliza huyo mfalme aliadhibiwa na nani?? wakristo mtafakari Mungu ni mmoja tu ni Allah aliyekuwepo kabla ya kila kitu na atakuwepo mielele. tunawasihi ndugu zetu muamini yeye kabla hakijakukuteni kifo.

  • @ROBERT-u9x8i
    @ROBERT-u9x8i Месяц назад +2

    Respect to the most merciful powerful God

  • @amosmwanga4027
    @amosmwanga4027 3 года назад +28

    Kama una amini wasoma comment ni wengi kuliko watoa comment like
    Hapaa🤣
    👇

    • @deborahdavi6593
      @deborahdavi6593 9 месяцев назад

      Binadamu hawakosangi madharau😂😂😂

  • @limixfilamu
    @limixfilamu Год назад +7

    ❤❤❤God creat us in order to pray for him❤❤❤

  • @christopherfadhili5312
    @christopherfadhili5312 4 года назад +303

    Kama na wewe nii mpenzi wa hichi kipindi namba like hata 30 tuu jman

    • @allymwachuma3132
      @allymwachuma3132 4 года назад +4

      UMEJITAHIDI LKN HAPO KWENYE KUUWAWA WATOTO WA KIUME NI ULIKUA UTAWALA WA FIR AUN NA UTABIRI YALIKUA NI MAZAZI YA NABII MUUSA ALAYHI SSALAAM.

    • @monicahovda4524
      @monicahovda4524 4 года назад +4

      Ni kweli. Kumbe Biblia inalingana sanaa na Koran

    • @janethsamson9123
      @janethsamson9123 4 года назад

      Naipenda sana stoli zake

    • @bakaryhamza7377
      @bakaryhamza7377 4 года назад

      @@allymwachuma3132 kweli

    • @sturidamsesa7958
      @sturidamsesa7958 4 года назад

      B. N

  • @rehematawalani733
    @rehematawalani733 Год назад +1

    HASANTEE
    Hii story inanikumbusha mbali sana mamayangu alikuwa anatusimulia wakati tupo wadogo

  • @polytarimo324
    @polytarimo324 4 года назад +5

    Daah hii simulizi nimeipenda niliisikia kwa mbali ikirushwa kwenye wasafi tv jana nikaitamani hatari

  • @josephkalamazoo7979
    @josephkalamazoo7979 4 года назад +9

    Napenda saana uongezi wake na historia zake big up Jamal, congratulations keep it up nice job

  • @mayamerali9264
    @mayamerali9264 4 года назад +51

    Allah is the one,, hashindwi kwa kitu alichokiumba yeye.

  • @princesanita46
    @princesanita46 2 года назад +22

    Kibri siyo kitu kizuri na kujikweza itatuweka sehamu mbaya milele tumshukuru alie juu siku zote 🙏🙏

  • @kritterlovers4578
    @kritterlovers4578 4 года назад +15

    Namkubali Jamal Mustafa anaye nifanya nifuatilie story zake zote weka like kama. Nawe unamkubali

  • @samirasadasalum5974
    @samirasadasalum5974 2 года назад +6

    Shukrani sn kwa simulizi mzuriii sna MUNGU atuhifadhi tukiwa wenye kumkufuru ktk hali yeyote Amiina.

  • @sieleclaus4430
    @sieleclaus4430 3 года назад +10

    God is greater than anything nothing can be compared with him😁😀😀😀😀

  • @Yuzzowgrapher
    @Yuzzowgrapher 4 года назад +3

    dah jamaa anajua sana.....kama unapenda kuwa na IQ kama ya huyu jamaa weka like yako hapa

  • @abdulkadiryusuf7213
    @abdulkadiryusuf7213 2 года назад +14

    Mungu ni mkubwa na mwenyewe nguvu💪

    • @vannesaClaude
      @vannesaClaude 6 месяцев назад

      Mungu hafananishwi na chochote daima matendo yake n makubwa

  • @josephsamuel1073
    @josephsamuel1073 4 года назад +42

    Mpaka nimemsahau mtiga abdalah,story book imenoga sana

  • @daudisulle8410
    @daudisulle8410 3 года назад +3

    Kiburi Cha imani ni hatari sanaa,tunatakiwa kumwamini MUNGU tu,ametuumbaa kwa kusudi inatupasa kumweshimu na kuishi katika kusudi lakee 🙏🙏

  • @bintichausa4744
    @bintichausa4744 3 года назад +1

    Allah akbar ... Subhanakallah inkuntumina dhwalimiin

  • @mwanzashinyanga8060
    @mwanzashinyanga8060 3 года назад +9

    acheni mungu aitwe mungu 🙏

  • @JaphetCaptain-tq2dv
    @JaphetCaptain-tq2dv Год назад +4

    Thank ya 🙏 congratulation 🥳

  • @mwinyimkuu2023
    @mwinyimkuu2023 4 года назад +299

    KAMA UNA AMINI MUNGU WETU MWENYE HURUMA SEMA CHOCHOTE KWA KUTUPA PUMZI🙏🙏

  • @ronnyprisc2175
    @ronnyprisc2175 2 года назад +1

    Inshaala mungu akutende mema jamal ufike mbali zaidi proffesor

  • @clementpeter8918
    @clementpeter8918 4 года назад +8

    Daaaaaa hiii The storybook ni nzuriii snaa semaa mnachelewa kuiwekaa online tengenii sikuu ilii tuwe na siku mahalumu ya kuifatiliaa jmn

    • @Ngangabwite
      @Ngangabwite 4 года назад

      Mke wa Tera hakuwa Sarai, Sarai alikuwa mke wa Ibrahim

  • @sifajacky7779
    @sifajacky7779 3 года назад +2

    Tumuombe Allah wetu mtukufu Subhanah wataala atupe mwisho mwema inshaalllah

  • @amosfabian8326
    @amosfabian8326 4 года назад +22

    It's very potential, this video has helped me expand my knowledge

  • @deopende8202
    @deopende8202 3 года назад

    Tuogope Mungu,tusichanganye mambo yetu na Mungu,tufanye yaki binadamu na ya Mungu yabakiya Mungu, ubarikiwesana kwa kipaji chako ambacho Mungu amekupa wandelee hivyo hivyo barakaza Mungu ziwenawe,siku zote.

  • @dicksonlwiza
    @dicksonlwiza 4 года назад +3

    Nakubali jamaa upo vzuri tupe mastory ya kutosha nataman kupata story za Mambo ya historia ya Vita za majimaji na ushujaa wa watemi wetu Kwa indani zaidi namna wazungu walivyo tulaghai Kwa mikataba mibovu

  • @estachengula5499
    @estachengula5499 4 года назад +24

    Sauti ya Jamal April ni nzuri lakini inanitisha nikiisikia love u

  • @glorrineshoo2444
    @glorrineshoo2444 4 года назад +12

    Mungu ni fundi jmn apo kwenye kuwapotezea kwa lugha

  • @salmaluhombero8466
    @salmaluhombero8466 4 года назад +2

    Unajua sana kuhadithia kiswahili ni lugha tamu duniani najivumia story mno asante

  • @issamwenda6813
    @issamwenda6813 3 года назад +8

    Very good professor

  • @khayratsuleiman5346
    @khayratsuleiman5346 4 года назад

    ALLAAHU AKBAAR.
    LAAILAAHA ILLA LLAAAH WAHDAHUU LAA SHARIKA LAH LAHULMULKU WALAHULHAMDU WAHUA A'LAA KULLI SHAIN QADIIR.
    YAA ALLAAH SW TUEPUSHE NA KIBRI NA GHURURI ZA DUNIA WAJA WAKO CC NI DHAIFU MBELE YAKO.
    INNIY A'BDUKA WA ANTA RABBIY

  • @juliaayieta2578
    @juliaayieta2578 4 года назад +4

    I love the story book 📖 😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘😘

  • @nourathossein1204
    @nourathossein1204 4 года назад +1

    Uko vizuri mashaalla allahvakupe umri na afya kutupa elim

  • @eliuskamwelwe1018
    @eliuskamwelwe1018 4 года назад +8

    muandaaj ,mtafiti , muandishi na msimulizi 💪🏿💪🏿

  • @yusufuheri6524
    @yusufuheri6524 2 года назад +1

    Asante sana my brother from another mother

  • @sabatoelia312
    @sabatoelia312 4 года назад +9

    Kama unachanganyikiwa na majina ya kiislam na ww ulisha sikia stori hii kwa biblia kwa majina tofauti kama mm .. gonga like hapa🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔🤔

  • @mahfoudhcalender2747
    @mahfoudhcalender2747 4 года назад +17

    ( وَإِذْ قَالَ إِبْرَاهِيمُ لِأَبِيهِ آزَرَ أَتَتَّخِذُ أَصْنَامًا آلِهَةً ۖ إِنِّي أَرَاكَ وَقَوْمَكَ فِي ضَلَالٍ مُّبِينٍ )
    الأنعام (74) Al-An'aam
    (Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi) Huuu ni ushahidi wa Quran

  • @godfreystephano4992
    @godfreystephano4992 4 года назад +14

    Jamal nakubali nakubali..
    Fanya kushusha na kitu cha Ghekis khan wa mongol empire

  • @stanslaus7775
    @stanslaus7775 4 года назад +47

    Vitamin Story ✨
    'God is the Greatest'

  • @KILLERGAMER009
    @KILLERGAMER009 4 года назад +47

    kama ww unaamini dini ya kislam gonga like hapa

    • @allpotentials8420
      @allpotentials8420 4 года назад +8

      Acha udini ndugu yangu, mbona nyie mnajifanya ni watu Bora Sana kuliko wenzenu. Cc wote ni wamoja uislam na ukristo zote ni dini nzuri lakini majitu yasiyo na akili Kama wewe ndo yanaleta migawanyiko pumbavu Sana.

    • @salehkhalfan7345
      @salehkhalfan7345 4 года назад +1

      @@allpotentials8420 Tunakuw saw kiubinaadamu tu ila kiidini hatuwez kua saw
      Uislami na ukisristo sio saw

    • @rehemafungo5042
      @rehemafungo5042 4 года назад

      @@allpotentials8420 amina kakaangu

    • @hamadamaan9800
      @hamadamaan9800 4 года назад

      @@allpotentials8420 hakuna dini ukiristo

    • @allpotentials8420
      @allpotentials8420 4 года назад

      @@hamadamaan9800 sawa lakini me naamini hata mtume muhamad sws anaamasisha umoja baina ya watu wote lakini mabinadamu fedhuri Kama nyie ndo always mnaaribugi hata twaswira ya dini yenu wakati ni dini nzuri tu, kwa kuleta migawanyiko. shame on you all.

  • @jumamofu9573
    @jumamofu9573 4 года назад +6

    Thanx kwa hii nimependa nimetazama leo 02/June/2020

  • @Bigboy-nx3nc
    @Bigboy-nx3nc 4 года назад +8

    Unajitahidi thumbs Up 👍

  • @tatoorashedi1787
    @tatoorashedi1787 3 года назад +1

    Huo ndio upeo wa mungu mungu mwacheni aitwa mungu

  • @deusdeodavid5360
    @deusdeodavid5360 4 года назад +3

    Jamal nakuelewa sn sikuizi mwanzo tulikaririshwa yule jamaa uliekua unamtungia stori akalewa umarufu, big up bro

  • @ananiamkasu8847
    @ananiamkasu8847 4 года назад

    Japo maisha yana misukosuko mingi naamini Mungu yupo.Ikiwa Shetani yupo lazima Mungu awepo

  • @nextlevelmusic9276
    @nextlevelmusic9276 4 года назад +286

    thestorybook

  • @saidimkopi9273
    @saidimkopi9273 2 года назад

    Mungu Akupe umri mrefu nanjema kwajitihadazako

  • @mosesmwasi4795
    @mosesmwasi4795 4 года назад +10

    Jamani watanzania toeni maoni, badala ya kuomba likes!

  • @johnkiboy7085
    @johnkiboy7085 4 года назад

    Mungu atabaki kuitwa Mungu, hafananishwi wala halinganishwi

  • @barklesbarkles7733
    @barklesbarkles7733 4 года назад +5

    Nani hajawai hata..kusikiza.. legendary. THE STORY BOOK

  • @jayfourjofrey7129
    @jayfourjofrey7129 4 года назад +59

    Kama unakubalu the story book Kama Mimi weka like✌️🔥🔥

  • @shabanimwinchea2696
    @shabanimwinchea2696 4 года назад +106

    Tumuogope Allah .

  • @sophiajunery6431
    @sophiajunery6431 4 года назад +2

    Great let's have 💯 likes for Jamal April

  • @bas2823
    @bas2823 3 года назад +3

    Thanks for sharing GOD bless u Always👍🏽🤝👏👌🙏GOD IS GREAT.💙💜💚❤💖💛🧡👑💎💞

  • @raphaelfrank3113
    @raphaelfrank3113 4 года назад +2

    Unasimulia vizuri sana huna papara kazi nzuri kaka jamal

  • @jonnesmongare5530
    @jonnesmongare5530 2 года назад +13

    Always put your trust and faith in God 🙏 and we shall never compire ourself with our creater who is heaven course he knew us before we were born and he can finish us anytime anywhere 🥰🥰🥰

  • @thomasdonald6604
    @thomasdonald6604 4 года назад +3

    Nzur naipenda naomba like zenu wote mlio naima

  • @jumampony4346
    @jumampony4346 4 года назад +3

    Unafanya vizuri jamal

  • @mjuba
    @mjuba 4 года назад +14

    Acheni MUNGU aitwe MUNGU🙏🙏

  • @stansilauseliasi7883
    @stansilauseliasi7883 4 года назад +19

    Oya unajua sana mtinga hawezi kujua hivi vitu hadi uwe mwamba

    • @abubakarsalimu6930
      @abubakarsalimu6930 4 года назад +1

      Stansilaus Eliasi we ni boya2 haandai yeye story boya ww mtiga mtu mwengne ww mbwa

    • @mwinyimussa167
      @mwinyimussa167 4 года назад

      Hahahaha jidang'anyeee

    • @ezekielmanyesela3846
      @ezekielmanyesela3846 4 года назад +3

      @@abubakarsalimu6930 huyo mtiga mwenyewe unayemsifia alikuwa anaandikiwa na Jamal Kama hujui

    • @peterpaulinuce4316
      @peterpaulinuce4316 4 года назад +2

      @@abubakarsalimu6930 mtiga alikuwa anaandikiwa na Jamal fuatilia story book za nyuma mkuu acha matusi

    • @greysonchogga4636
      @greysonchogga4636 4 года назад +1

      @@abubakarsalimu6930 unakosea mtiga yeye kazi yake nikusoma story tu lakini Jamali yeye anaandaa story na anasimulia story

  • @zaynudachi6790
    @zaynudachi6790 3 года назад

    Sio kweli kwamba nimrud ndiye aliyeamrisha kujenga mnara wa kumfikia Mungu,

  • @kevingechore5610
    @kevingechore5610 3 года назад +5

    Following your story what awonderful..keep it up proff

  • @richarddominick3172
    @richarddominick3172 4 года назад +2

    Nzuri hyo Kaka mungu akulinde

  • @captainswaicomedian8484
    @captainswaicomedian8484 4 года назад +9

    Nimechelewa kiduchu likes zangu dadeki sana sana zitokee nje ya Mwanza

  • @ferexanatory3629
    @ferexanatory3629 4 года назад +1

    Mungu mwache aitwe Mungu sio kama wanadamu

  • @tinasamo2403
    @tinasamo2403 4 года назад +5

    You are great GOD🙏

  • @annachales9623
    @annachales9623 2 года назад

    Mungu ni mwenye huruma sana sana endapo ukigundua makosa ukatubu

  • @jacklinendinda7851
    @jacklinendinda7851 3 года назад +11

    God his God Alpha and Omega we trust in him amen 🙏🙏🙏