KISA CHA KICHOCHORO CHA KWENDA PEPONI (Simulizi Ya Mnara Wa Babeli)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 ноя 2024

Комментарии • 1,2 тыс.

  • @kingally7816
    @kingally7816 4 года назад +18

    Kidogo unaelekea umesimulia vizuri Asante brother.
    By King Ally from mahembe kigoma.

  • @yahayammsiwa1651
    @yahayammsiwa1651 4 года назад +43

    Wewe mond turudishiye mtiga Abdallah,uyu jama yako mrudishe seemu alipotoka kama ni kijijini mrudishe atakuaribia biasha yako WCB❤❤❤❤❤

  • @mudathirhussein2670
    @mudathirhussein2670 4 года назад +305

    Achenj Ufala... Tuleteeni Mtiga. Sauti kma senge.... Sielewi kitu mm. Kma unamkubali Mtiga gonga like.

    • @washingtonsefu755
      @washingtonsefu755 4 года назад +5

      Iyo ni kweli uyo jama ni musenge sn hajuwi hata mara moja sema tuwa kwepe wazee

    • @officialmrtop1018
      @officialmrtop1018 4 года назад +3

      Haha haha eti sauti kama Senge!! Kkkk

    • @scco10
      @scco10 4 года назад +2

      Kwer mtiga arudiiii

    • @homeoflyrics6220
      @homeoflyrics6220 4 года назад +8

      Jamaaa ndio anamtayarishiaga mtiga yaan yeye ndio mwandishi wa story zote za mtiga

    • @thedoncomplex3679
      @thedoncomplex3679 4 года назад +7

      😂😂😂😂😂!!
      Huyu ndo mpishi wa story zote anazo simulia mtigaa ujue, mpeni heshima zakee😂😂😂😂

  • @deopende8202
    @deopende8202 3 года назад +4

    Asante kwa simulizi nzuri, inabidi tuwe makini,tusiwena waovu Mungu asituangamize.

  • @salomecomedyofficial
    @salomecomedyofficial 4 года назад +43

    Kama unaimiss sauti ya mtiga abdallah gonga like( wasafi fm mshaanza kuzingua tayari,,

  • @shokajr9714
    @shokajr9714 4 года назад +24

    Hadithi nzuri sana. Hongera mtangazaji watakuzoea tuu. 👏🏽👏🏽

  • @annafuredi3247
    @annafuredi3247 4 года назад +9

    Minakupendasana unasimuli kiufasaha zaidi don't give up just keep going best. One day you'll succeed love so much.ukopowa

  • @wahidymrosso7600
    @wahidymrosso7600 4 года назад +165

    Mtinga ndo kazi yakee hao wengine bdo sna km munatusikilza na munaona comment zetu plz tunamuitj mtinga

    • @scco10
      @scco10 4 года назад +3

      Abaki kwenye uandishi

    • @Respicius
      @Respicius 4 года назад +1

      Sasa kama hujui huyo ndo mtayalishaji na muhandishi wa hayo yote

    • @chellishikizitto7960
      @chellishikizitto7960 4 года назад +3

      Respicius Revelian Chief kuandika na kusimulia ni vitu viwili tofauti... Mtiga hana mpinzani

    • @johnsilima6789
      @johnsilima6789 4 года назад

      Kwel kabsa kila mtu ana kipaji chake

    • @MM-Advanced
      @MM-Advanced 4 года назад

      Mbona hata huyu yuko vzr tuu!

  • @historianyeusi9524
    @historianyeusi9524 4 года назад +19

    Jamal wew baki kweny kuandika story tuu na si kusimulia story..

  • @azeezhmussa9342
    @azeezhmussa9342 4 года назад +1

    Bring back MTIGA, had nimeamua kuweka pause kwanz ili nicomment, yan story hata haishawish kuendelea kusikiliza wala hutaman kuirudia, MRUDISHENI MTIGA

  • @faylema9534
    @faylema9534 4 года назад +13

    Thanks to my lovely pastor who teaches and narrate all most common stories in the old & new testament I was empty I learn it by force
    After sometimes I found it was so helpful
    Though am not righteous but I know lot in the bible
    Cheers to him where ever he is.👏👏

  • @mwalongojames1507
    @mwalongojames1507 4 года назад +20

    Mwanzo mgumu Sanaa usikate tamaa ndugu yangu Tutakuelewa Tu🙏

    • @ktmediatv
      @ktmediatv 4 года назад +1

      Washamuelewa

    • @emxsimba4025
      @emxsimba4025 3 года назад

      Best comment ever 💪

    • @januarylyambuzi1718
      @januarylyambuzi1718 2 года назад

      hii comment nadhani ni bora kuliko comment zote kwenye #TheStoryBook

  • @officialmrtop1018
    @officialmrtop1018 4 года назад +393

    Duuh kama uneshtuka kusikia sauti hii gonga like! Mtiga Abdallah bring him Back

  • @davidgeke9087
    @davidgeke9087 4 года назад +5

    Big up sana Msoma Makala upo vizuri.

  • @musalucas1192
    @musalucas1192 4 года назад +3

    kama una hakik hii story angepita mtiga abdal mjukuu wa nderangusho story ingekuw no1 on trending like apa

  • @dreambeesafricalimited4831
    @dreambeesafricalimited4831 4 года назад +25

    97% wote mnamtaka mtiga...pengine
    1.Tunaishi kwa mazoea Au
    2.Mtiga is the best
    Mi nafikiri tumpe mda jamaa mana hata mtiga naye alianza kama huyu kwa tunaomjua ujuzi unapatikana ukifanya kazi kwa mda

    • @ZaituniRashidi-ry9vz
      @ZaituniRashidi-ry9vz Год назад

      Kwanza Jamal ndo mwanzilish wa kusimulia story kwenye hk kipnd tang Wasaf inaanzishwa huyo mtiga aliletwa mara moja tu itakua mnaomtaka huyo mtiga ni wagen wa hik kipind

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 4 года назад +6

    Oooh kumbe leo enginear jamar april ameamua aruke nayo mwenyew tuu!🙌🙌🙌

  • @daudhabona8897
    @daudhabona8897 4 года назад +3

    Ananias Edgar ndio kibokoo. Mpeni kazi huyuu. Mtakubaliii. Kama unajua kazi yake gonga like.

  • @blessedmoses4243
    @blessedmoses4243 4 года назад +33

    Mbona yuko vizuri huyu msimuliaji,tumzoee huyu pia

    • @reubenmaghati1737
      @reubenmaghati1737 4 года назад +1

      Si ndo ushangae hawa watu , mshikaji kajitajidi sana.

  • @joackimmbanguka6304
    @joackimmbanguka6304 4 года назад

    Nilivyo kata ghafla mmh Kama umeme aisee baada ya kusikia saut different na mtiga,,,now I have been addicted to the voice of mtiga abdalla

  • @stanslauschatata3483
    @stanslauschatata3483 4 года назад +11

    Mwaka mpya, the story teller mpya!🙌🙌🙌

  • @franknhonyangi2135
    @franknhonyangi2135 4 года назад +2

    Achen moment za kisenge amjui uyu ndo anayetengeneza izo story za mtiga wenu Achen mambo yenu big up bro mdogo mdogo 2 utafika Kama umewaweza kwenye kuandika uko kwingine achana nako ila umezingua kidogo siwez kukutukana kwa sababu ww ndo fundi mwenyewe

    • @hamisrahul6067
      @hamisrahul6067 4 года назад

      Aise tunamtaka @mtiga abdallah the real deal

    • @rainakibiki3370
      @rainakibiki3370 4 года назад

      Hawajui huyu ndio alikuwa anamwandikia mtiga

    • @husseinomary4466
      @husseinomary4466 4 года назад +1

      Unaweza kuandika stor nabado usiweze kuiwakilisha kwenye hadhira kwa ladha inayotakiwa,, abaki kuandika kwenye simulizi akae mtiga ndo inanoga

    • @amilymgalamo7472
      @amilymgalamo7472 4 года назад

      problem sio mwandishi tatizo sisi mashabiki tunataka hile voice yenye ushawishi wa kuisikiliza story mtiga upo wapi

  • @mussaamiry9823
    @mussaamiry9823 4 года назад +9

    Mbona msimuliaji yuko vzuri sana,,, acheni kukosoa kazi za watu kama nyie mnajua nendeni wafasi mkaombe kazi

  • @dankoko7959
    @dankoko7959 3 года назад +1

    Am addicted to this chanel,,av learned alot since nigundue the storybook on star tv

  • @abracadabratz5294
    @abracadabratz5294 4 года назад +200

    Wasafi achen usenge !!mtandazaji gani huyuu ? Tuna mtaka MTIGA . Mtiga ndie tuna mtakaa

    • @samsonmusa7626
      @samsonmusa7626 4 года назад +7

      Abra Cadabra tz usiwe mwepes kutukana huenda anaumwa ndo maana huyu ni kama anamsaidia

    • @africanboyamani8640
      @africanboyamani8640 4 года назад +4

      Kweli kaka

    • @scco10
      @scco10 4 года назад +1

      Ndiioo

    • @sidetz4939
      @sidetz4939 4 года назад

      Waxha anza kulewa xifa xix ndo waxkilizaji nyie leteni mab ya kijinga mtaxhanga 2naamuaa wote king kiba

    • @cbsmedia33
      @cbsmedia33 4 года назад

      Acheni usenge pia acheni dogo atafute maisha

  • @abelmange5430
    @abelmange5430 4 года назад +8

    Where is Mtigaaa Abdallah...Yaan cjafaidi kabisa hii story Leo... gonga like twende Sawa

  • @aljuniormandro2839
    @aljuniormandro2839 4 года назад +103

    JAMALI NAKUOMBA UBAKI KWENYE UWANDISHI2 KAKA ILA KWENYE USIMULIZI MUACHIE MWANAO MTIGA KAK🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @scco10
      @scco10 4 года назад +1

      Uko Sawa bakisa nakusaport Hilo hapa mtiga Abdallah yaan umevuruga mzee mrudishen

    • @suleimanimg9696
      @suleimanimg9696 4 года назад +1

      Kak....Cjakuelew...kusimuliaa story n kipajii....Samahan

    • @happylaizer965
      @happylaizer965 4 года назад

      Hujuuuuuuuuuui kusimulia ucrudieeeee

    • @videozaaj1069
      @videozaaj1069 4 года назад

      Na hiyo saut si ya jamal mbna.. Sijui wamemtoa wapi daah

    • @hosseamelikioli9410
      @hosseamelikioli9410 4 года назад

      Sure

  • @peacelady5954
    @peacelady5954 2 года назад +2

    Keep it Jamal mstasapha

  • @rehemasalum2531
    @rehemasalum2531 4 года назад +18

    Mtiga jamani baby leo cjaridhika kabisa where are you my heart touchable voice

    • @augustmj4573
      @augustmj4573 4 года назад +2

      Kwa hii comment mtiga lazm arudi😂😂😂

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 4 года назад +1

      Rehema salum kwel umejilipua

  • @catherinedavidy9017
    @catherinedavidy9017 4 года назад +2

    Kelele ya kwanza kwa jamal ake, msimzibie mwenzenu liziki, huwezi kusikiliza sepa, love you jamal

    • @happinesslema7264
      @happinesslema7264 2 года назад

      Ni kwel kabisa wanadamu tumekua ajabu ,unamwinua mtu mmoja tu kana kwamba ataishi milele na hii hupelekea mtu kufa na sanaa yake

  • @ramadhanboi6485
    @ramadhanboi6485 4 года назад +7

    Kila mtu analalamika mtiga yuko wapi ,mtiga yuko wapi jamani story nzurii tumpe sifa zake nae like zake ziko wapi

    • @salimually9465
      @salimually9465 4 года назад

      Kweli man mtiga ndio mkali wa simulizi uyo mseke kama anahubiri

  • @marwawambura2880
    @marwawambura2880 3 года назад

    mtangazaji katudanganya Mungu aliwatawanya kwa lugha na siokuwepo kwa wazungu na Weusi
    Jamaal Mustafa amedanganya Sana wazungu hawakupatikana kwa njia hiyo mbali njia ya kutengenenzwa tu kuwa binadamu wakisasa kamailivyo kwa kuku wa kisasa au ngombe wakisasa nao kutokana na damu ya watu Weusi walitengenenzwa kuwa binadamu wa kisasa
    Watu wasiogope kusema ukweli na huo ndiyo ukweli.

  • @christopherfadhili5312
    @christopherfadhili5312 4 года назад +11

    Yani mtinga naomba urudie hii story huyuu Hamnakituu kabixa ahaaaa@wasafi man boa

  • @victorvancharlz9125
    @victorvancharlz9125 4 года назад

    Jamal uko vizur na sijaona mapungufu yako... Wanaokuponda wanahitaji muda kidogo kukuzoea... Kwa anaefuatili the story book anajua mchango wako kwa Ntiga..

  • @striderderulo4407
    @striderderulo4407 4 года назад +4

    Mungu kakupa uandishi na mtiga abdallah kapewa usimuliaji mungu si mchoyo kagawa kwa kila mmoja sawa ko nafasi ya mtiga mwachie mtiga na nafas yako ni yako tu mungu si zwalimu gonga like kama tumeelewana✌️ mtiga 4l!fe

  • @sixteenonline9811
    @sixteenonline9811 4 года назад

    Nakubali keep it up .Watu wanakatisha sana tamaa .Ukiwasikiliza watu hufiki popote .Kipaji unacho kaka songa mbele .

  • @plastidiacasmiry2234
    @plastidiacasmiry2234 2 года назад +3

    Thanks "The storybook",I was partially about that!

  • @johnsahani9892
    @johnsahani9892 4 года назад +1

    Mtiga wap jaman mbona mnafeli sanaaaa wasafi 🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄🙄😫😫😫😫😫😫😫😴😴😴😴😴😴😴😴

  • @sulaimanikhalfani282
    @sulaimanikhalfani282 4 года назад +43

    MTIGA ABDALLAH WE NEED U

    • @scco10
      @scco10 4 года назад

      Kwer mtigaa

    • @collins8437
      @collins8437 4 года назад

      Yes we need him pls

  • @bienfaitamani9513
    @bienfaitamani9513 4 года назад +1

    Nawafwata kutoka Congo ,Mtiga ipo wapi🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @husseinomary4466
    @husseinomary4466 4 года назад +24

    Mnataka turudi kwa ananias Edgar mnaanza kufeli tunamtaka mtiga hao wengine pelekeni kwenye mipasho

  • @ibrahrich4807
    @ibrahrich4807 4 года назад +1

    Hila huyu jamaaa yko vzr sana blessed sana unaweza kazi hiyo

    • @salumualoyce5620
      @salumualoyce5620 2 месяца назад

      Ulimtabiria mema na kweli sasa hv watu wote waliompinga wanamwita Genius.
      12 Sept 2024.

  • @kassimulugajo6512
    @kassimulugajo6512 4 года назад +197

    waliommisi mtiga abdallah tujuane hapa

    • @rastamsafi142
      @rastamsafi142 4 года назад +1

      Kassimu Lugajo .kweli kaka

    • @kulwasimon6692
      @kulwasimon6692 4 года назад

      S boy

    • @danielmpokasye6108
      @danielmpokasye6108 4 года назад

      Kassimu Lugajo mi nimekatisha siwezi kutumia GB zangu sauti yenyewe haivutiii kusikiliza .

    • @bernelias897
      @bernelias897 4 года назад +1

      Memms sn .huyu angefata saut yake sio kuuiga ile y mzee mkbwa

    • @dullahbalaka1515
      @dullahbalaka1515 4 года назад

      Mtiga arudi jamani namsikia E fm

  • @willsonjuma6015
    @willsonjuma6015 4 года назад

    hiii kaz n ngumu jamaa anaandaa anaiandka story then anasimulia ninyi mnamtukana kisa mtiga kwan uyu ndo kamfukuza mtiga wasaf ama ebu achen fitna au jamaa anachanganya na kihaya au kinyakyusa acheni izo so fresh

  • @staralive9260
    @staralive9260 2 года назад +3

    Binadamu ndivyo tulivyo!! Tunabadilika sana kiakili. Watu wa Babeli ni mfano wa binadamu wa sasa.

  • @catherinemutindi5031
    @catherinemutindi5031 2 года назад +2

    Kenya tunakupata sawasawa.barikiwa ndugu kazi njema.

  • @shabanimchemba7504
    @shabanimchemba7504 4 года назад +7

    From kusini mwa tz newala💥🔥🔥

  • @jumaamsaga8651
    @jumaamsaga8651 4 года назад +1

    Mnazingua hadi trending mumekosa aje mtiga sasa hizi ingekuwa 5 on trending

  • @dicxonjohn8476
    @dicxonjohn8476 4 года назад +50

    Mnafeli wapi wasafi TV wapi mtiga abdallah

  • @mhogomchungu7882
    @mhogomchungu7882 4 года назад

    Yaan nmerud kutoka shule.... Nmekimbilia The stry book... Afu nakutana na saut mbaya balaa...... Wasaf achen ujinga.... Binafsi sitasikiliza tena.... Bila mtiga

    • @salumualoyce5620
      @salumualoyce5620 2 месяца назад

      Unachuki kali sana 😂😂😂
      12 Sept 2024

  • @idarousphotography3302
    @idarousphotography3302 4 года назад +31

    SEMA KWA ANAVYOSOMA HII SRORY NI KM ANAPITA NJIA ZA MTIGA HIVI YANI KM KARECORD THEN KAFATISHAA
    """ KAMA UMEGUNDUA GONGA LIKE""""

  • @kibwamoko8767
    @kibwamoko8767 4 года назад

    Jamal Mustafa/ Jamal April. Ww unapendeza kwenye uandishi zaidi ila hata kyhadithia pia uko fresh haikuwa mbaya sana.

  • @mudathirally1384
    @mudathirally1384 4 года назад +8

    mtigaaa more fire 🔥🔥🔥🔥

  • @ibrahimkanuto3514
    @ibrahimkanuto3514 4 года назад

    Jamaa anafaa sijawahi kupendezewa na MTU mwenye mihemko ya kazi mtiga ana mihemko huwezi ukawa powerful than media

  • @gfrhajji5233
    @gfrhajji5233 4 года назад +96

    You guys, simulizi ni sauti na tunajikusanya hapa kwa ajili ya Mtiga sasa hawa form one mnatuletea mtapiteza raia. Hima arudi Mtiga.

    • @rainakibiki3370
      @rainakibiki3370 4 года назад +7

      Huyu ndio anamwandikia mtiga story

    • @gfrhajji5233
      @gfrhajji5233 4 года назад +2

      @@rainakibiki3370 abaki kwenye uanndishi

    • @kisasarob751
      @kisasarob751 4 года назад +1

      Hahah wananchi duh mtiga asiumwe au....atarudi tu

    • @maezadam5492
      @maezadam5492 4 года назад +1

      Hahahaha

    • @yusufuheri6524
      @yusufuheri6524 2 года назад

      Hawawezi kumrudisha mtiga kwasababu you are the what you read

  • @FinleyMwakyusa
    @FinleyMwakyusa 7 месяцев назад

    Wote wanajua san tuu great respect kwaooo

  • @dicksonabdon9374
    @dicksonabdon9374 4 года назад +3

    HATA MBUYU ULIANZA KAMA MCHICHA KEEP IT UP BRO UKO VIZURI ENDELEA KUBORESHA NAIONA TOFAUTI KATI YA STORY ULIOSIMULIA KWA MARA YA KWANZA na hii ya leo keep growing bro. " mti wenye matunda hupigwa mawe"

  • @anoldykway1109
    @anoldykway1109 4 года назад

    Wasafi tunawapenda xana watu gani ten mnaleta kweny story book jmn. ME SITAK

  • @buffontv4183
    @buffontv4183 4 года назад +4

    *Mtiga abdallah kama kazingua tupa kule jamaa pia yupo vizur sema tu saut ya ipo chini sana*

  • @jei_maimu6957
    @jei_maimu6957 4 года назад +1

    NI MWENDO WA STORY TUU..NASIKILIZA UJUMBE,AIJALISHI MSIMULIAJI NANII..MBONA INAKOLEAA TU

  • @dogolakejamalapril7589
    @dogolakejamalapril7589 4 года назад +19

    MNAOMTAKA MTIGA ABDALLAH MTAZOEA TU MSIJALI SHIDA NI MAZOEA YANA TANU ILA MWANA NAE YUKO VIZURI CHA MSINGI MSIKILIZENI VIZURI TU🙏🙏🙏

    • @rusakanyohenry6932
      @rusakanyohenry6932 4 года назад +2

      Kabisa. Maana akibaki mtangazaji mmoja wengine watafanya nn tumpe nafasi nae maana nae anahitaji sapoti ili atimize malengo yake na asaidie familia yake

    • @dogolakejamalapril7589
      @dogolakejamalapril7589 4 года назад

      @@rusakanyohenry6932 wabongo bhan ndo tulivo mtu asiende hata likizo

  • @mfaumehassan4424
    @mfaumehassan4424 4 года назад +1

    story nzuri snaa hakika inatubariki snaaa na pia ubarikiwe na ww pia

  • @disantiokiberanbwoy8831
    @disantiokiberanbwoy8831 4 года назад +131

    Sauti Ya Mtiga Ipo wapi natoa malalamishi nikiwa 🇰🇪

  • @chordyvipers9322
    @chordyvipers9322 4 года назад +1

    Mtangaazaji mpaka raha keep it up

  • @missenna_tz
    @missenna_tz 4 года назад +4

    Ila yuko vzr,n saut tu,napenda mnavyoleta story za bibilia

  • @nichoojr.6747
    @nichoojr.6747 4 года назад

    Wasimuliaji wanaojiekewa Na wanaoelewa kazi yao ya usimulizi ni Wa3 Tu hapa bongo
    1Mtiga
    2ananius edger
    3Skay
    Wengine mnaharibu Tu Ona hii ilikua nzuri sana Itabidi Arudie tena Mtiga Ili twende Sawa

  • @mubarakamuba376
    @mubarakamuba376 4 года назад +16

    Uyu jamaa ata aendi n beat, hii n kaz y *mtiga abdallah*

  • @donkohraymond5689
    @donkohraymond5689 4 года назад +1

    Chanel Bomba sanaaa

  • @festodauka4447
    @festodauka4447 4 года назад +39

    Oyaaa wadau mnayumbaa mbona simulizi imesimama mbona

  • @eddovanny2554
    @eddovanny2554 4 года назад +1

    Wabongo Ifike Mda muwe mnapokea watu wapya sas hii story kila mtu anaijua kama Kama Unatak sauti hata Yako Tu

  • @iamstevenrungatv4805
    @iamstevenrungatv4805 3 года назад +7

    Big up brother👍🏿🔥

  • @marcusoreki3219
    @marcusoreki3219 2 года назад +1

    We need more story every day on shife tv

  • @fayscott9995
    @fayscott9995 4 года назад +5

    Simulizi nzuri lakini msimuliaji hajategemewa na kila m2...we need MTIGA plz

  • @sofialinus9153
    @sofialinus9153 4 года назад

    Kaka nakupenda buree uko vizuri umeeleweka, midume mi zima inalilia sauti hovyo kweliii

  • @isacklaurent8948
    @isacklaurent8948 4 года назад +5

    ata angeanzaga huyu
    alaf mtinga aje mngemkataa pih
    sas iliyopo 2zoee 2 coz nae hyu
    atazoea atanoga msiwaze!😊😊😊

  • @halimasssomar8793
    @halimasssomar8793 4 года назад

    Watu Bana..ooo sauti sauti..ivi amuelewi story acheni kuishi kimazoea..mlo mzoea pia ni binadamu Leo yupo kesho ayupo.. itakuwaje...

  • @chrisskibaking8184
    @chrisskibaking8184 4 года назад +6

    MUNGU ni balaaaa 😂😂😂😂😂
    Kila mtu alipewa lugha yake dadeq

  • @michaelkornel5809
    @michaelkornel5809 4 года назад

    Hii story irudiwe na mtiga huyo bado sanaa mnatokosea sanaa Wasafi

  • @yessembwambo4440
    @yessembwambo4440 4 года назад +9

    Tunamtakaa Mtiga Abdallah Huyuu Jamaaa Anajua Aseh Then Huyuu Wa Leo Aendelee Kutaftaa Tu Story

  • @fashion_killer_up6959
    @fashion_killer_up6959 4 года назад

    Mko vzr sn mungu awabariki kwa elimu hii mnayotupa

  • @allyhussein800
    @allyhussein800 4 года назад +4

    Mh! Wasafi hii mara yenu ya kwanza kuzingua jamn sasa huyu jamaa sauti yake mbon hatujaielewa mnafel ety

  • @silasmsangi9335
    @silasmsangi9335 4 года назад

    Leo mmechapia sana,,baada tyu yakuskia hii saut nimeacha kuskiliza,,story hazinog bila Mtiga.

  • @paulnyanda9572
    @paulnyanda9572 4 года назад +5

    Ambao tunasikiliza huku tunasoma comments za watu wanavyodisi sauti jamal like

  • @luckyyusto8159
    @luckyyusto8159 4 года назад

    We jamal kazi yako ni utunzi bro acha tamaa yatakushinda

  • @ayubuhenry5426
    @ayubuhenry5426 4 года назад +5

    Wewe ndo mwandish ndio laki sauti usirudie ww mpe tulie mzoea bana, mungu anagawa vipaji wewe n mwandish poa sana but msimulizi nae ni mwingine aliepewa kipaji kingine ambacho hana ulicho nacho usivae vyote sawa baba,

  • @mauakasheshela4828
    @mauakasheshela4828 4 года назад

    Bro unajua ila huwez kumfikia Mtiga 👏👏👏👏

  • @edydio3556
    @edydio3556 4 года назад +26

    Huyu jamaa huwa anaisikilizaga sauti yake kwel maana kama kalewa vile!!!,na kama ataendelea kuwa huyuhuyu MB zangu hamto zilamba tena?

  • @malk8152
    @malk8152 2 года назад

    Thanks our teacher.

  • @ayoubmwakitalima955
    @ayoubmwakitalima955 4 года назад +26

    Mtiga jmn where where

  • @zubeirmohammedy6871
    @zubeirmohammedy6871 4 года назад

    Hongera sana bro,cie tunaangalia vitu tunavyopenda mara nying ila hatuangalii vitu vyenye kujenga ktk fikr zetu,cidhn km kuna mtu mwanzo mpk mwisho ana mabaya 2.

  • @haruniisaya7103
    @haruniisaya7103 4 года назад +12

    Huyu fala wa Wp Tena. Mtiga Arudi 2 Huyu cmuelew kbx

    • @stanslauschatata3483
      @stanslauschatata3483 4 года назад +1

      Huyu ndo mpishi wa story, bila huyu huwezi msikia mtiga, mi naona kafanya poa tuu japo si bora kama mtiga!

  • @nassorhemedy3956
    @nassorhemedy3956 4 года назад

    Mnazngua wasaf uyo jmaa hatufai mtiga ndio kilakitu mm nilivomskia huyotu sjaendelea kamwe kuskiliza mtiga come back braza

  • @washingtonsefu755
    @washingtonsefu755 4 года назад +87

    Kama una mupinga uyo jama gonga liker yako hapa kwaman hajuwi ata kusema hatumutaki hata mara moja uyo jama yuko na saut mbovu sn wenye wako pamoja na mm bas tushikamane kwa kupinga uyo jama

    • @nasirabdul2
      @nasirabdul2 4 года назад +5

      Mzee huyu ndo muandishi wa uyo mtiga unaemtaka ww

    • @dayanaleo7537
      @dayanaleo7537 4 года назад +5

      Sauti anayo ila sio yakusinulia ni yakumbembelezea mkewake sisi hatutaki kubembelezwa tunataka kusimuliwa

    • @chafutatu4179
      @chafutatu4179 4 года назад +5

      Tangaza ww kama unaweza mbwa ww

    • @happylaizer965
      @happylaizer965 4 года назад +2

      @@nasirabdul2 kwa hiyo km ndio mwandishi wake hatumtaki hana saut

    • @washingtonsefu755
      @washingtonsefu755 4 года назад +1

      Sema tu wame tukosea sn ndomn

  • @chizimndalu8537
    @chizimndalu8537 4 года назад

    Huyu jamaa amesimulia vizuri sana,kumshinda Mtiga ,sema sauti tu pekee inaboa.

  • @rafiiabdul6217
    @rafiiabdul6217 4 года назад +8

    Musiwe vibur ckilizen maon ya watu mludishen Mtiga Abdallah coz munapost ili cc tusikilize n.a. tuangalie

    • @scco10
      @scco10 4 года назад

      Ndioo

    • @rusakanyohenry6932
      @rusakanyohenry6932 4 года назад +1

      Mpeni nafasi kila mtu ukitegemea mtu mmoja kuna tatizo, je itakuwaje ukimtegemea mtangazaji mmoja itakuwaje pindi akitaka kuondoka kama harmonize au akiumwa au kusafili. Mwacheni nae aonyeshe uwezo wake hakuna aliyezaliwa anajua ni kujifunza tuu

  • @tbwoy216
    @tbwoy216 2 года назад +2

    Mungu aliwangamiza watu wote wakati huo kulinga na BIBILIA,,,kwa sababu baathi ya malaika waliwatamani waschana wa kibinadam wakalala nao na kuzaa wana wakubwa mno mpaka ikawa wana hao hawawezi fuata Sheria zao,,kwa vile ni majitu wakaanza kuwaua binadamu,MUNGU akasema haiwezekani uungu na ubinadamu ukazaa,,,,thambi ilizidi sana,,kizazi Cha nuhu peke yake ndicho kilicho bakia,,na wakeze vijana watatu..walibaki watu wanane peke yake Duniani na hapo ndipo Ibrahim ametokana na kiza Cha NUHU....

    • @tbwoy216
      @tbwoy216 2 года назад

      @mixture znz BIBILIA ni mkusanyiko wa vitabu vitakatifu vya MUNGU kwa hivyo Kila kitu imeandikwa naamini kwa moyo wangu wote.kwanza MUNGU aliumba malaika walipo ASI wakageuzwa kua wabaya majini na mkubwa wao ibilisi,na ukisoma Quran 2-97 barwani sema aliyekua ni adua wa jubril basi huyo ndie aliteremsha Quran,nani huyo adui wa jubril aliteremsha kitabu chenu???

    • @jumaabas6837
      @jumaabas6837 8 месяцев назад

      Acha uongo wewe malaika na kuzaaa wapi na wapiii

  • @mrishomudi8757
    @mrishomudi8757 4 года назад +8

    Daaah unaona sasa sio mnoma huyu yan havutii kabisa

  • @azeezhmussa9342
    @azeezhmussa9342 4 года назад +2

    Cku mkimrudisha MTIGA taomba airudie tena hii story ili niielew vizur mana leo Mh!

  • @donjanimajani8528
    @donjanimajani8528 4 года назад +5

    "Wakatoka sehem mbalimbali za dunia kwenda babeli" walitoka WAP wakat watu wote waliteketezwa

  • @anordthadeo7616
    @anordthadeo7616 4 года назад

    Kusikia sauti tu mood imekata ya kusikiliza tena........ mtinga is the best acheni utani