Watu ni wavivu wa kufikiri na ni wavivu wa kujituma kuyajua mambo. Ufunuo wa Yohana 11:19 [19]Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
Huyo unaye msubiri mwisho atakukana. Luka 13:25-28 Wakati mwenye nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako; 26 ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu. 27 Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu. 28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.
@@mwarabumbarak4342 maandiko ya kwenye kitabu Cha biblia na ata Qur'an ni mazito Sana, hayana tafsiri sisisi yaan hayatafsiriwi Moja kwa moja kama yalivyoandikwa, yahitaji akili ya Iman ili kujua nn kinachokusudiwa kwenye andiko....mfano ww sheikh hapo umetafsiri Moja kwa moja Yan umenukuu na kichwani umeweka kama ilivyo......muache mtu na Iman yake
@@nissarhussein4887 kwa hiyo unajaribu kutuaminisha nini sasa kwa mfano...? Kwamba wewe tangu uzaliwe hujawahi ombea chochote wala mtu yeyote chini ya jua tofauti na wazazio sio..?
Jamal April a.k.a. Jamal Mustapha a.k.a. Professor unajua sana, nikiona the Story Book Umeandaa na kusimulia najua kwamba hicho ni kitu makini kilichofanyiwa utafiti wa kutosha na kuwasilisha kwa ustadi wa kuvutia kwa njia ya simulizi. Hakika wewe ni tunu kwa taifa, dunia na ulimwengu. Ubarikiwe.
We kaka story Yan tanguh nimeanza kuangaliah story book nafanya poa kwene somo la history munguh akubalikih maanah sikuh hizih imani yanguh pia imekuah Long life to you
Usihofu sanduku lipo soma maandiko haya. Bibilia ni jibu "yenye chetezo cha dhahabu, na sanduku la agano lililofunikwa kwa dhahabu pande zote, mlimokuwa na kopo la dhahabu lenye ile mana, na ile fimbo ya Haruni iliyochipuka, na vile vibao vya agano; Waebrania 9:4 Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana." Ufunuo wa Yohana 11:19
Kihistoria sanduku la agano lilipotea kule lilipokua lakini lipo Ethiopia sehemu moja ambapo ndio Malkia wa Sheba alipokuwa anatokea,katika mji wa Axum.
Jamal april pamoja na the story book mungu akubariki zaidi kwa bidii yako ya kutuelimisha, karibu tena na tena kwa story zako zenye mafunzo mazuri siku zote
Nimefurahi kusikia kuwa na ww unamsubiri yesu na unaamini atarudi cku ya mwisho asante sana professor kwa kuwafungua wenzko ambao awahamini kwl hyo kuhsu kurudi kwa mwana wa Adam, YESU
Yesu atarudi sio kwamba hakuna muislamu asiye tambua kua hatarudi. Ila sisi na nyinyi tunakinzana issa/yesu hakufa kabla ya kupaishwa kwake kwenda mbinguni Wala issa/yesu si MUNGU kama msemavyo. Wala MUNGU -hana utatu mtakatifu (hapana)
Ulikua wapi mwanangu napenda story zako sana lakini ngepeenda ue unafululiza ukimya wa muda mrefu unapoteza washabiki pia napenda nkushauri soma sana quran ina hadith nyingi sana za mambo ya kale mfano ni wale vijana wa pangoni waloishi miaka mingi sana wakiwa wamelala bila kujua wao wakajua wamelala usiku mmoja tu pia kuna habari za watu wa adi wakubwa wenye nguvu sana
Walokuwa wanamgonja Jamal kwa hamu gonga like twende pamoja.
Sija amini yanikama Jamal kaludi I'm so happy
Nmemsubiri sanaa
@@isaackmboma72
J
Sjaamini kumckia Jamal again jmn ninakupenda Sana Jamal km washkaji zangu waliolike
We miss you Professor Jamal
Watu ni wavivu wa kufikiri na ni wavivu wa kujituma kuyajua mambo.
Ufunuo wa Yohana 11:19
[19]Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana.
Mimi utazama nikiwa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪 jina langu ni Stanley mathenge ❤ mnipee likes 🎉🎉🎉
Wīmwega mŭndŭ Mathenge. Haya ni magumu sana sijui wewe umefikishwa na hizi habari mbali mbali za hali na mali na mengineo ya Kiroho.
Haya tumekupea
@@daisynyerere5730 thanks
@@winniethuo9736 nekwega muno Winnie
15:08
Mwenyezi Mungu pekee ndiye mjuzi. Sio yote tunatakiwa kuyajua mengine ni kumuachia mwenyezi Mungu pekee Asante Jamal
Wazungu walitupiga tu na hadithi zao ili watukoloni...
Imeandikwa yachunguzeni maandiko tena ikaandikwa usimuache elimu aendezake.
JJ
@@lujenjejr3628 ukifa utaelewa tuuu kila ndimi itakiri
@@seasonepisode3328 nani alikifa akawaambia kua huko kila ndimi zinakiri...
Leo nimeflai sana imanijenga sana kwenye imani yangu amen tunamsubira bwana yesu kisto amen
Huyo unaye msubiri mwisho atakukana.
Luka 13:25-28
Wakati mwenye
nyumba atakaposimama na kuufunga mlango, nanyi mkaanza kusimama nje na kuubisha mlango, mkisema, Ee Bwana, tufungulie; yeye atajibu na kuwaambia, Siwajui mtokako;
26 ndipo mtakapoanza kusema, Tulikula na kunywa mbele yako, nawe ulifundisha katika njia zetu.
27 Naye atasema, Nawaambia, Siwajui mtokako; ondokeni kwangu ninyi nyote mlio wafanyaji wa udhalimu.
28 Ndipo kutakapokuwa na kilio na kusaga meno, mtakapomwona Ibrahimu na Isaka na Yakobo na manabii wote katika ufalme wa Mungu, nanyi wenyewe mmetupwa nje.
Usimsikilize m2 yeyote iwe Mimi huyu Jamal na hata wasomi.....muombe Mungu akutie maarifa ya kumjua....Soma neno mwenyewe
@@mwarabumbarak4342 maandiko ya kwenye kitabu Cha biblia na ata Qur'an ni mazito Sana, hayana tafsiri sisisi yaan hayatafsiriwi Moja kwa moja kama yalivyoandikwa, yahitaji akili ya Iman ili kujua nn kinachokusudiwa kwenye andiko....mfano ww sheikh hapo umetafsiri Moja kwa moja Yan umenukuu na kichwani umeweka kama ilivyo......muache mtu na Iman yake
Jina la BWANA huandikwa kwa herufi kubwa
Leo nmekuwa wa Kwanza jamani like zenu ata 50
Kbisa ruclips.net/video/9VINaNBAlFU/видео.html
M acha ushamba na ww kbisa ndo nn huelewek fala ww
@@nissarhussein4887 kwani umelazimishwa kukoment c ukaushe tu
Hoja ya dini na dini
Uko vizuri
nimeishi kuombea the storybook kurejea na ama kweli maombi yangu ni ya hakika
SIJAFELI😍😍✔
Kbisa ruclips.net/video/9VINaNBAlFU/видео.html
Unaombea ujinga badala kuombea Wazazi wako dahh Innalillah wainaillah rajuun
@@nissarhussein4887 ama kweli unadhihirisha ulemavu wa ubongo wako samahani maombi yangu kama hayakupendezi omba yako
@@nissarhussein4887 fikra zako cyo zetu shugulika na yako
@@nissarhussein4887 kwa hiyo unajaribu kutuaminisha nini sasa kwa mfano...?
Kwamba wewe tangu uzaliwe hujawahi ombea chochote wala mtu yeyote chini ya jua tofauti na wazazio sio..?
Leo wa kwanza naombeni like zangu
Jamal April a.k.a. Jamal Mustapha a.k.a. Professor unajua sana, nikiona the Story Book Umeandaa na kusimulia najua kwamba hicho ni kitu makini kilichofanyiwa utafiti wa kutosha na kuwasilisha kwa ustadi wa kuvutia kwa njia ya simulizi. Hakika wewe ni tunu kwa taifa, dunia na ulimwengu. Ubarikiwe.
Jamali April....hongera sana unatufanya tujue mambo ya siri sana ya dunian mungu na azidi kukubariki kaka yang binafsi nakupenda sana
We kaka story Yan tanguh nimeanza kuangaliah story book nafanya poa kwene somo la history munguh akubalikih maanah sikuh hizih imani yanguh pia imekuah
Long life to you
Nipewe Like za The Only Professor We Have In Africa
Hichi ndio kipindi pekee ninachofuatilia wasafi. Hongera sana Jamal, hongereni Wasafi Media
Huwa kipo muda gani,na siku gani
Hivi huwa kinarushwa lini na saa ngapi??
Umerudi vyema Jamal April nakupata vyema kbs toka 🇹🇿 like 20 jamn km umekubali ujio wa the story book
From Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪 with looove
Usihofu sanduku lipo soma maandiko haya. Bibilia ni jibu "yenye chetezo cha dhahabu, na sanduku la agano lililofunikwa kwa dhahabu pande zote, mlimokuwa na kopo la dhahabu lenye ile mana, na ile fimbo ya Haruni iliyochipuka, na vile vibao vya agano;
Waebrania 9:4
Kisha Hekalu la Mungu lililoko mbinguni likafunguliwa, na sanduku la agano lake likaonekana ndani ya hekalu lake. Kukawa na umeme, na sauti, na radi, na tetemeko la nchi, na mvua ya mawe nyingi sana."
Ufunuo wa Yohana 11:19
Kihistoria sanduku la agano lilipotea kule lilipokua lakini lipo Ethiopia sehemu moja ambapo ndio Malkia wa Sheba alipokuwa anatokea,katika mji wa Axum.
Hatimaye kipindi changu pendwa 💕💕💕kimerudi 🙏
Dah ahsante sana wasafi media kusema kweli wasafi ni media iliokuja kupindua radio zingine watasubili sana
Jamal unafanya kazi kubwa sana kutengeneza thestorybook kazi nzuri sanaa
My brother from another mother! tulikumis san kaka 🙏
🥰🥰🥰🥰. Nakupenda ww
Kama unasikiliza huku unasoma comment gonga like twende sawa WCB 4 Life
Zinakusaidia nn izo like acha ujinga tafuta ela sio like
@@nissarhussein4887😊😊😊
@@nissarhussein4887😊😊😊😊😊😊😊😊
@@nissarhussein4887😊😊😊😊
thanks for this information is correct and necessary
Jaman April alikuwa kimy San Kama ulikuwa una mmic Kama mim gonga like
Asante #the storybook imekuwa ikinisaidia kujuwa mengi Sana duniani
Ahsant sana ndug Jamal kwa story nzur naomba utusaidie kujua historia ya bustani ya heden
Jamal april pamoja na the story book mungu akubariki zaidi kwa bidii yako ya kutuelimisha, karibu tena na tena kwa story zako zenye mafunzo mazuri siku zote
Wewe unatakia upewe p.hd ya heshima
@@frankkondo5198 qqqqqqq
♧
Story book nashuku rusana Mimi naichi Congo ila nakufata vizurisana n'a kulomba namba yako ya WhatsApp
A2
The story book huwa inatusaidia kujuwa na kutaka kufatiliya jambo..
Nakubali
Mzee wa zamaniiiiiiii
Zamani sana
Welcome
Hongera Sana kijana kwakuwafumbua wenge the story book
Hapa sawa sasa, sio storybook inapotea mpaka tunataka kuchanganyikiwa.
😁😁
Neno la Mungu ni taamu
Sanaa
Mnoooo
Tamu sanaaa
Aise umeifanya siku iishe vizur,nakubar kamanda👍👍
Daah!! Nimekuwa wa mwisho ku view....🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍🌍
Jamal April the master miind professor una akili sana weka like apa
Zinakusaidia nn izo like
@@nissarhussein4887 ata nikikujibu inakusaidia nini wewe
Muache uvivu wabongo,muwe mnafuatilia vitu youtube na google kama yeye.Unamsifia kwa kukutafsiria!
Sanduku laagano liko D.R.Congo ,maana ndo inci inautajiri mingi pia umaskini kwasababu ya vita
Kazi nzuriii endelea na moyo huo huo,,,, barikiwa saaana
Nakubalii san the story book🔥🔥🔥
Mama
The story book, chai yangu, chàkula changu cha mchana, pia jioni, #thestorybook nakupenda 🤗
Finally story book is back 👏👏👏👏👏congrats Jamal April
Kumbe uko uku pia my dear
@@selfaakinyi7824 🤣kabisaa
@@nzisakasau8234 ,🙄😉🙄
@@nzisakasau8234 i knew you at milele FM all the plat form za Jalango.
@@selfaakinyi7824 woow 😊
Nakubar sana The story book👍
Thanks for coming back @Jamal
Mungu akuzidishie maradufu.
Dini ya kweli ni roho yako... Kuwepo kwa lugha tofauti duniani ni mipango ya Mungu pia kuwepo kwa imani tofauti ya dini ni mipango yake...
Jamari Mungu akupiganie unatula raha wewe ni pasuapasu na Yesu akija hatakuacha bigup jamal
Hongera sana jamal unafanya kazi nzuri sana sijuti kukufahamu kaka tunasubiria tena kwa mara nyingine the story book
Kaz nzur kak endelea kutuelimisha
Wewe kweli msomi, ahsantee kwa the story book
Wakati wangu mingi natumia kwa story book Jamal April i love you bro
Toka kenya kila siku naingia you tube kuangalia kama the storybook ipo.. Nashukuru umerudi baba
Jamali hapo sawa Mungu aendelee kukujuza zidi
WCB4life kimeludi tena kipindi changu pendwa @the story book tujuane hapa wote tunaopend the story book like k10
Kabisa kaka
You deserve a crown 👑 professor, your analysis is top notch
Karibu tena kaka, nakubali kazi yako sana
Amina tumungojee bwana wetu yesu kristo tu
Jamal April PROFESSOR, nakubali Sana , Good story
Big up sana Professor Jamal,Mungu akulinde siku zote
Jamar Happ umenena nami niliwahi jiuliza
Bravo bro @jamal for the story book
Listening from THE NETHERLANDS 🇳🇱, more blessings to you Jamal April.
Nimefurahi kusikia kuwa na ww unamsubiri yesu na unaamini atarudi cku ya mwisho asante sana professor kwa kuwafungua wenzko ambao awahamini kwl hyo kuhsu kurudi kwa mwana wa Adam, YESU
Yesu atarudi sio kwamba hakuna muislamu asiye tambua kua hatarudi.
Ila sisi na nyinyi tunakinzana issa/yesu hakufa kabla ya kupaishwa kwake kwenda mbinguni
Wala issa/yesu si MUNGU kama msemavyo.
Wala MUNGU -hana utatu mtakatifu (hapana)
Na issa hakusulubiwa mapimbi hawa
Safi bro tupe na historia ya mathehebu
I Appreciate Broh 🙌🙌🙌🙌🙌
Ahsante Kwa ujumbe mzuri wasafi media.
Umemaliza bwana jamal.
Tume miss kipindi boss wangu nilitafuta nipingiye CEO Platnumz ju ya ufafanuzi zaidi
😂😂😂ruclips.net/video/9VINaNBAlFU/видео.html
Asante sana jalibu kuamini jina la YESU😢😢😊😊😊❤❤❤❤
Mda mrefu kidogo kaka tulikuwa tume ku miss kweli
We kaka nakupenda hatali unajitahidi kufatilia dini nakuelewa zaidi wewe 🔥🔥🔥🔥🔥
Hi I am watching from Buguruni city centre Tz Dar
the best story teller
Am really glad for storybook to back on air..........
Mungu akubariki maana unafanya kazi yake ya kuelimisha watu wake
Your stories always give me goosebumps much love from 254 kenya
unakipaji kikubwa sana mbali naelimu yako
Welcome back jamaaaaaaal
I love his stories
Ubarikiwe kwa kutuletea story nzuli nimejikuta nikitaman Sana kujua biblia kuliko kitu kingine
Kama mm
Exllent and brilliant professor keep up
Dah nmeipenda
Huwezi kwenda kwa Mungu ila kwa njia yake yy Yesu Kristo, ...bas subirn sana aje kusema mala ya pili kuwa yy ndiye njia ya kweli na uzima juu
Tupe Mambo jamal nilikuwa nimemic Sana the story book
Aziji bure hizi story tujifunzeni kitu guys 🙏🙏🙏🔥🔥🔥🔥
Kazi nzuri sana Jamal
its more than the story book 🎉🎉
Miss this a lot.
Safi sana Jamal
Kbisa ruclips.net/video/9VINaNBAlFU/видео.html
Tusubir yesuu akirud tutajua yote...AMEN
Mambo
@@hamdanmrisho4606 powa
Akirudi atasema na watakatifu watu walio mpenda na kumwamini Mungu
Ngoja na mimi ni comment tu niongeze comment
Aise we kwa kusimulia hakika uko juu sana ndugu yangu.
Daaah proffersor nilikuwa nasubiri simulizi zako kwa hamu maana nimemaliza zote kuzifatilia as historian
Ubarikiwe sana mkuu
Karibu tena mjini broo, story is 🔥🔥🔥
Soma biblia ufunuo 11:19
Kazi nzuri uzidi kubarikiwa
Our beloved have back again
Asante kwa story book Jamal
Nilikua nime miss makala zako, punguza ukimya kaka mkubwa tunakukubari sana The Story Book utabakia kua juu wengine wakasome
Nakukubali Sana broo👍
You are doing good job my brother keep it up🙏🙏🙏🙏
Kazi nzuli sana👍👍
May the lord bless you
Noma Sana broo
Ulikua wapi mwanangu napenda story zako sana lakini ngepeenda ue unafululiza ukimya wa muda mrefu unapoteza washabiki pia napenda nkushauri soma sana quran ina hadith nyingi sana za mambo ya kale mfano ni wale vijana wa pangoni waloishi miaka mingi sana wakiwa wamelala bila kujua wao wakajua wamelala usiku mmoja tu pia kuna habari za watu wa adi wakubwa wenye nguvu sana
Mungu akubariki kwa kutupa ushuhuda Jamari nitafutie stori ya kisa cha wakristo na waislam hata kdog jinsi ilivyo kua
Le Retour d'un Genie Merci Jamal✌
Umezama mno umu proffesor jamal🙌
Thankful Professor we had missed this.Love from Kenya
Hongera sana wasafi media. Nawapenda sana kabisa! Mutujulishe majina 99 za MWENYEZI MUNGU kama zilizo na maana zake.
Pole ndugu 😢unaamini na kuomba usichokijua.Mungu aliye hai na wakweli hana majina 99 ...jina lake ni moja tuu na ni JEHOVAH.
Waooh naipenda saaana hii story jaman🥰🥰❤
Daah nilikua naisubir mnoo yaan Jamal 💪👍👍