Asante dada kwa kuukumbusha ulimwengu mana siku hizi umapishana na mtoto wa kiume kama unapishana na mwajuma alafu wenzetu wanasema et Wana haki zao pia mh mungu atunusuru inshallah
Mungu atusamehe kweli nduguzangu mufwateni yesu ambaye ninjiya yakweli nauzima ukisoma katima mathayo yesu anasema mimi ndimi njiya yakweli nauzima mtu atafika kwa Mungu bila ya mimi nduguzangu maisha nimafupi kubalini yesu nanyi mutaponya na moto wamilele
mashaa allah ila kisaa hakikuisha ukuongelea mkasa uliomkuta mke wa nabii luti baada ya kuondoka na mume wake kwakua hakua mchamungu na ni mtenda maovu alipewa shalti ya kwamba ambapo anaondoka asigeuke nyuma kwakua hakua na iman na hofu ya mungu alijalbu kugeuka nyuma kuangalia nyuma mji wake ni nin kitakachoendelea na pale pale alpogeuka mwenyeez mungu alimuadhibu kwa kumgandisha na kua jiwe la chumvi na inasemekana mpaka sas jiwe hilo lipo
Uchafu wote duniani, maovu yote ya kumkosea Mungu yalifanyika Mashariki ya Kati. Mungu akawaadhibu mpaka Leo. Hakuna uwasi uliofanyika Afrika. Chanzo cha Madhambi ya duniani ni huko huko. Watakatifu wa dunia hii ni Waafrika. Ata Leo hii maovu yote yanayofanywa hapa Afrika ni kuiga kutokea huko. Ata kabla ya Kuleta dini zao Afrika ilikuwa salama sana bila ya dhambi zozote
Utaumbuka! Dunia yote mpaka Eden ilianzia hapo Iraq ikiwemo Africa baadae watu wakaanza kusambaa kuelekea sehemu mbalimbali duniani. Pia kimsingi hakuna sehemu inatwa mashariki ya kati ni wazungu waliamua kuigawanya Africa kwa faida zao wenyewe kimsingi mashariki ya kati ni Africa ndiyo maana unaona nchi nyingine za kiarabu zipo Africa soma biblia itakusaudia kujua Dunia ilianzia wapi. Kinacho takiwa ni kumuomba Mungu atuepushe na dhambi
@maria_mutondioriginal5 nafikiria bado mtumwa wa story za watu, mtumwa wa mawazo na pia mtumwa wa akili, ukiacha historia za wazungu na warabu ambazo zinafanya uwatukuze wao na kujidharau wewe mwenyewe utanielewa. Eti dunia ilianzia Iraq?!!!!
@@SanguloRaahooinaaminika kuwa kuwa watu wenye dini tofauti na ya Waislamu wanapoona dini zao hazina mashiko wanakimbilia Upagani! Karibu katika Dini ya haki Uislamu!
NA ADHABU YAO MPAKA LEO INAENDELEA UKIFIKA IYO MIJI MOTO BADO INAENDELEA KUWAKA NAWATAKAO FANYA HAYO MAMBO YA WANAUME KWA WANAUME WAKIFA WANAPELEKWA KWENYE IYO MIJI ILIOANGAMIZWA
Umeshindwa kuiadithia vizuri kabla ya kuwangaangamiza jibril alipewa oder mpaka nabii ruti atamke mara tatu kuwa watu wake ni wabaya, na pia jibril akuwatokea kwa nje bali yeye mwenyewe ndo alifungua mlango na kuwapofua pale nabii ruti alaysalam alipo kamilisha kutamka mala ya tatu kuwa watu wake ni wabaya
@@mosesg.pendael8381 Ishu sio ardhi ya waisrael ishu ipi nchi ya kanan kwa sasa , na hata israel ilianzishwa 1948. kabla kulikuwa na farastin au parestina hakukuwa na taifa la israel
Ibrahimu alitoka Iraq babel wanaishi nani? Warabu mayahudi ni kabila lilionzia Kwa mjukuu yakub ndio Wana Israel lkn asili ni waarabu wa Iraq soma sio unapelekeahwa makabila ya Israel yalianza yakobo alipoitwa Israel yaani kati ya mjukuu na Babu nani anaanza asili?😂
HAYA HAWA WAZUNGU WANAO,AMBAO WANA SHADADIA,NA KUTUMIA GHARAMA KUBWA YA FEDHA KULAZIMISHA KUZISHAWISHI NCHI ZOTE DUNIANI KUHALALISHA MACHAFU HAYA AMBAYO YALI WAANGAMIZA WALE WATU WAOVU WA KAUMU YA NABII LUTI.TENA HAWA WAZUNGU KWA MACHAFU HAYA WANAYOYAFANYA NI ZAIDI HATA YA WALE WATU WALIONGAMIZWA WA LUTI!! HAWA WATUWA ULAYA NA MAREKANI WALIOIDHINISHA,USHOGA,USAGAJI NA NDOA ZA JINSIA MOJA AMBAZO ZINAFANYIKA KWA KUSIMAMIWA NA VIONGOZI WAO WA MAKANISA,YANI HAWA WAZUNGU HAKIKA WAMEWAZIDI WATU WA SODOMA NA GOMORA,SASA KAMA WALE SODOMA NA GOMORA WALIANGAMIZWA MAANGAMIZO MABAYA KABISA!! NA MBAKA LEO ARDHI HIYO HSKAI KIUMBE YOYOTE KWA JOTO KALI LILILOPO HAPO KWA MUJIBU WA WATU WANAOVIJUA RNEO HILO!! SASA KWA HAWA WA ULAYA NA MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZINAZOFUATA UCHAFU HUU KWA KUWAIGA HAWA WALIO CHUPA MIPAKA YA KUKUFURU,ADHABU YAO ITAKUWAJE SIKU HIYO YA KUHUKUMIWA NA ALLAH!! MUUMBA WA VYOTE!! MWENYEZI MUNGU HAKIKA YEYE NDIE MJUZI WA YOTE.
😂😂😂na hilo taifa teule wameendeleza huu uchafu zaidi kuliko wale waloangamizwa sherehe zote za huu uchafu zinafanyika huko kila mwaka wamezidi mana sasa waisraeli wamehalalisha mpaka ndoa chezea mayahudi wee
Unajidanyanya Taifa teule ndio linaongoza kupromoti ushoga Leo jiji la Tel Aviv ndio linaongoza Kwa ushogaa tena wanafanya bila kuogopa iweje Taifa teule liongoze Kwa maasi amka ndugu
unachokiongea uwe na ushahidi nacho ndugu yangu... mwaka jana tuu nimetoka Israeli, na sijawahi kusikia wala kuona hicho chama.. na kama kipo naomba nambie kinaitwaje na kipo mji gani?
Hapa sio sodoma na Gomorra, Uache kufuata Mafundisho ya Wazungu na Waarabu, nenda kwa mtandao tafuta Tswaing crater mahali ilipo, hapo kwa chumvi Kusini mwa Africa, Karibu na Bahari ya Chumvi kwenye Ardhi Tambarare, maarufu kama Makgadi gadi siku ya leo
Mtoa story ulitakiwa usome vitabu vya historia ya sodoma vya dini kwa umakini....ila umejjtahidi kidoogo..japo mapungufu ni mengi saaana kwenye hii hadithi yako...shukran saaaana
Waarabu wazungu ni mashetani wa zambi ufiraji umekisili huko uarabuni pamoja na uzunguni kwao kumejaa uchafu tu ndio maana paka sasa nchi za kiarabu utulivu mdogo sana vurugu nyingi mapigano mengi halafu hao hao wanajiita watu wa Dini na wanaijua dili ushetani mtupu
Simulizi nzuri. acheni dhambi ya kujamiiana kinyume na maumbile. kuepuka adhabu ya Mungu
Asante dada kwa kuukumbusha ulimwengu mana siku hizi umapishana na mtoto wa kiume kama unapishana na mwajuma alafu wenzetu wanasema et Wana haki zao pia mh mungu atunusuru inshallah
Ewe Molla wangu nijaalie mwisho mwema🙏
MashaAllah nlkua sijui dada mungu akuzidishie hii istoria cjawai iskia mm zidi kuwakimbisha waja wa ALLAH waepuke na ulawiti n haram
Mungu atusamehe kweli nduguzangu mufwateni yesu ambaye ninjiya yakweli nauzima ukisoma katima mathayo yesu anasema mimi ndimi njiya yakweli nauzima mtu atafika kwa Mungu bila ya mimi nduguzangu maisha nimafupi kubalini yesu nanyi mutaponya na moto wamilele
Eeh Mwenyezi Mungu tujaalie mwisho mwema🤲🤲🤲
Tunamuhitaji sana Mungu wa mbinguni kuwaangamiza mashoga, makahaba, masagaji, wachawi, n.k
Eeh Mungu tunusuru
Subhanallah
Allah atunusuru na uchafu w ulawiti na maasi yote
Amiin
Ameen!!!
Ameen
Maashaallah dada Allah akuzidishie Elimu yenye manufaa ktkt Dini na Dunia
Allah amzidishie dada.Na tumuombe Allah atusamehe dhambi binadamu hatujakamilika isipokuwa ALLAH.
Maa Shaa Allah! Kisa Kimesimuliwa Katika Namna ya Kuvutia. Allah Awalipe Kila la Kheri Kalamu
Shukrani sana habbty Allah atuepushe na vitendo vibaya na atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲
Shukran kwa Simulizi.
Mungu atuongoze waja wake na awarehemu maiti zetu
Mashalla mwenyezi mungu akuzidishie kher kwa elimu yenye manufaa amina
Thanks salma mzungu
Hasbiyallah wainiimal wakiil
🎉duh balaaah mola awe na huruma juu yetu.
Subhanallaah 😢😢😢
mashaa allah
ila kisaa hakikuisha ukuongelea mkasa uliomkuta mke wa nabii luti baada ya kuondoka na mume wake kwakua hakua mchamungu na ni mtenda maovu alipewa shalti ya kwamba ambapo anaondoka asigeuke nyuma kwakua hakua na iman na hofu ya mungu alijalbu kugeuka nyuma kuangalia nyuma mji wake ni nin kitakachoendelea na pale pale alpogeuka mwenyeez mungu alimuadhibu kwa kumgandisha na kua jiwe la chumvi na inasemekana mpaka sas jiwe hilo lipo
Kabisa ndivyo tujuavyo
Mungu tusaidie sisi
Asante kwa simulizi
MashaAllah da salma
Good teaching.na mji huo umekauka mpaka leo.watu waache dhambi
mungu ni mwema siku zote!
Sauti ya Lulu hassan citizen TV 🎉
Africa ndiyo bara ambalo
mpaka leo bila mambo ya video
na simu naisi tungeliish salama
zaidi lakn kwa sasa hatupo
salama tena mungu ibaliki Africa
Subhana Allah
Mashaallah jazzakllah khery KALAMU hapa mmeonyesha ufanisi wa kazi zenu na uwezo mkubwa sana wa kuchapa kazi🫡
Ya allah utusamehe sisi waja wako hayo ya sodoma na gomola ndio yanayo endelea sasa ndio mana balaa haziishi 😢😢😢
Nmependa hii ❤️
Shukran
Kazizr❤
tuwaombee kwa allah wale wanaotenda maovu haya .allah awaongoze .na allah atuepushe na ovu hili ameen
Subhanaallah
allah akbar allahu akbar
Uchafu wote duniani, maovu yote ya kumkosea Mungu yalifanyika Mashariki ya Kati. Mungu akawaadhibu mpaka Leo. Hakuna uwasi uliofanyika Afrika. Chanzo cha Madhambi ya duniani ni huko huko. Watakatifu wa dunia hii ni Waafrika. Ata Leo hii maovu yote yanayofanywa hapa Afrika ni kuiga kutokea huko. Ata kabla ya Kuleta dini zao Afrika ilikuwa salama sana bila ya dhambi zozote
Utaumbuka! Dunia yote mpaka Eden ilianzia hapo Iraq ikiwemo Africa baadae watu wakaanza kusambaa kuelekea sehemu mbalimbali duniani. Pia kimsingi hakuna sehemu inatwa mashariki ya kati ni wazungu waliamua kuigawanya Africa kwa faida zao wenyewe kimsingi mashariki ya kati ni Africa ndiyo maana unaona nchi nyingine za kiarabu zipo Africa soma biblia itakusaudia kujua Dunia ilianzia wapi. Kinacho takiwa ni kumuomba Mungu atuepushe na dhambi
@maria_mutondioriginal5 nafikiria bado mtumwa wa story za watu, mtumwa wa mawazo na pia mtumwa wa akili, ukiacha historia za wazungu na warabu ambazo zinafanya uwatukuze wao na kujidharau wewe mwenyewe utanielewa. Eti dunia ilianzia Iraq?!!!!
Subuhannallah
Allah wakbar
Ndienwenye mmulaka yote 😢
Kazi nzuri sana
Mashallaah
Lahaulaa
Ni wanyumbani moja
MashaAllah dada
Kwa kwel Maasi yote yaliyotendwa na Vizazi vilivyopita bac yapo katika Kizazi hiki cha Umma wa Mwisho😪😭😭.. Allah atupe mwisho mwema InshaAllah🙏
Amiin
Jazaka Allah khayran
Hizi zote ni hadisi za watu wa kale
@@SanguloRaahooinaaminika kuwa kuwa watu wenye dini tofauti na ya Waislamu wanapoona dini zao hazina mashiko wanakimbilia Upagani! Karibu katika Dini ya haki Uislamu!
@@SanguloRaahooBWEGEE wewe
@@nasseralhatmi1762kwann sasa? Kwani kasema hadaa?
We dada kwa leo hii hakuna sodoma na gomora kwa leo hii hata mabaki Mungu aliufuta kwa moto na kiberiti haupo hata mnara wa babeli
Na kile kipande cha dunia alikifanya pakabaki shimo au pakabaki hapapo kabisa!? Mji hautakuepo ila Ardhi lazma iwepo tu, tumia akili yako vizuri
Subhanallah
Watu wa Leo nikuhangaika kutafuta pesa tu mambo ya Mungu hatuyafuati hata kanisani au msikitini hauwezi kwenda mikono mitupu
Ahsante
Asante
NA ADHABU YAO MPAKA LEO INAENDELEA UKIFIKA IYO MIJI MOTO BADO INAENDELEA KUWAKA NAWATAKAO FANYA HAYO MAMBO YA WANAUME KWA WANAUME WAKIFA WANAPELEKWA KWENYE IYO MIJI ILIOANGAMIZWA
MUNGU ndiyo mkali wao. Wanadamu wakileta mchezo watanyoroshwa tu. MUNGU hachezewi
Leo wazungu wanalazimisha kwanguvu zao ayo yafanyike wanaweka mpaka vikwazo vyauchumi wanaokataa kupitisha sheria zakuluusu ushoga
Hivyo vitendo vichafu ndio vinaendelea duniani hivi Sasa,na hizo zinazoitwa morden nations ndo Zina promote uchafu huo.Mungu tusaidie Sana
Waache waendelee . Maangamizi yanakuja. MUNGU hachezewi.
Halaf kunawajinga wanasema wanaofanya uchafuhuu wanahakizso nawanapaswa kuheshimiwa hakizao, innalillahi wainnailaihi rajiuun
Aliyetumwa na myahudi mtoto wa kaka wa Abrahamu
Machaallah 🥰
Kuna sehemu umeruka...mke wa lutu aliambatana na mumewe....ila aligeuka nyuma akawa jiwe la chumvi au mwamba...hii sehemu sijaisikia
Mung tupe mwisho mwema
Umeshindwa kuiadithia vizuri kabla ya kuwangaangamiza jibril alipewa oder mpaka nabii ruti atamke mara tatu kuwa watu wake ni wabaya, na pia jibril akuwatokea kwa nje bali yeye mwenyewe ndo alifungua mlango na kuwapofua pale nabii ruti alaysalam alipo kamilisha kutamka mala ya tatu kuwa watu wake ni wabaya
Kahadisie yakwako
Sema amejitahidi lakini japo ameacha mambo muhimu sana mke wa luthu na watoto wake nini kilifuata
Hmm!
Inchi km marekani nazingine zinazo Fanya ujinga km huo lazima mungu ataziazibu
Sikuizi maasi yanafanywa mataifa yote sio marekani tu hata Saud arabia sikuiz kuna maasi ya ushoga ya kutupwa kwaiyo dunia imeisha
Mungu hataadhibu marekani Tu Bali dunia mzima
luti alikuwa ndugu yake na ibrahiim,na ibrahiim ndiye babu wa mayahudi na waarabu pia!!
Kwa ufupi warabu na wayahudi ni ndugu damu kabisa
Dunia yaleo ni zaidi yasodoma 😭wanawake wanasagana wanaume wanafirana chakusikitisha unakuta ni vijana wadogo mno mpaka unajiuliza kwann inakua hivi
😢😂😂
Kaanan ni palestine ya sasa na sio israel. Ikumbukwe israel ipo ndani ya palestine, ahsante!!
Kwahiyo ni ardhi ya Waisrail? Maana ardhi ya Waisrail inaitwa Kanaan.
@@mosesg.pendael8381 Ishu sio ardhi ya waisrael ishu ipi nchi ya kanan kwa sasa , na hata israel ilianzishwa 1948. kabla kulikuwa na farastin au parestina hakukuwa na taifa la israel
UNATAKA KUKWEPA IYO MIJI ILIKUWA ISRAEL
@@mosesg.pendael8381 kaanan ilikuwepo kabla ya israel. Mwaka 1948 ndio taifa la esrael lilipo anzishwa rasmi.
@hemedmbondejr na ule utawala wa akina King David na Solomon, ulikuwa utawala wa watu gani vile?
Shukulan dada
Mambo ya Waarabu hayo!
Wafrika tunatoka akili
Jee kuhusu mwanamke aliye geuzwa kua chunvi Ina semwaje?
Tunaomba msaada wa elimu sahihi
Wasimulie uongo wasioielewabiblia, sijuiulisomawapihayoooo!!!
Muongo ni ww
Uongo ni biblia yako
allahu akbar
Mungu wa miungu yote na mfalme wa falme zote,, hakuna kilochojua yako ee baba muumba
Waarabu ndio wafiraji namba moja duniani
Mashoga na mabasha na wanawake mnaosagana hii video itoshe kuwa ni funzo kwenu, acheni huo uchafu tubuni na murudi kwa Mola Mwenyezi Mungu mtukufu
Shukran kwa somo la kusimumua ,mwenye sikio na asikie
Hy bibilia imeandikwa
Quruan pia imeandikwa na majini
je hyo miji kwa sasa bd ipo...na kwa sasa inaitwaje...majina ya ss
Waarabu hao
Uarabuni unaweza kuuawa kwa kosa hili, uzunguni mnaozeshwa kabisa kwa misa rasmi
ruclips.net/user/shorts14x5DOUoCak?si=XApLvihQGvVJo095
Luutwi sio Luti
we nae sio hivyo
Suleiman vs seleman
Ni matamshi tu maana moja
Acha kubana pua godamnt😂😂😂
Kumbe majani yameanza kuota now days
Hakuna ulimwengu wa kiyahudi ww mjinga
Sio ulimwengu wa kiarabu ni ulimwengu wa kiyahudi, huyo mtume wa Lut alikuwa myahudi, na wayahudi ndio walikuwa wakifanya uchafu huo, sio WAARABU
Unajua lkn historia ya vizazi wewe,lutu hakuwa myahudi na hata Ibrahim hakuwa myahudi,wao walikuw waarabu kutokea Iraq,ktk jamii ya wakurdi,
Ss mwaharabu katoka mbinguni moja kwa moja
Ibrahimu alitoka Iraq babel wanaishi nani? Warabu mayahudi ni kabila lilionzia Kwa mjukuu yakub ndio Wana Israel lkn asili ni waarabu wa Iraq soma sio unapelekeahwa makabila ya Israel yalianza yakobo alipoitwa Israel yaani kati ya mjukuu na Babu nani anaanza asili?😂
HAYA HAWA WAZUNGU WANAO,AMBAO WANA SHADADIA,NA KUTUMIA GHARAMA KUBWA YA FEDHA KULAZIMISHA KUZISHAWISHI NCHI ZOTE DUNIANI KUHALALISHA MACHAFU HAYA AMBAYO YALI WAANGAMIZA WALE WATU WAOVU WA KAUMU YA NABII LUTI.TENA HAWA WAZUNGU KWA MACHAFU HAYA WANAYOYAFANYA NI ZAIDI HATA YA WALE WATU WALIONGAMIZWA WA LUTI!! HAWA WATUWA ULAYA NA MAREKANI WALIOIDHINISHA,USHOGA,USAGAJI NA NDOA ZA JINSIA MOJA AMBAZO ZINAFANYIKA KWA KUSIMAMIWA NA VIONGOZI WAO WA MAKANISA,YANI HAWA WAZUNGU HAKIKA WAMEWAZIDI WATU WA SODOMA NA GOMORA,SASA KAMA WALE SODOMA NA GOMORA WALIANGAMIZWA MAANGAMIZO MABAYA KABISA!! NA MBAKA LEO ARDHI HIYO HSKAI KIUMBE YOYOTE KWA JOTO KALI LILILOPO HAPO KWA MUJIBU WA WATU WANAOVIJUA RNEO HILO!! SASA KWA HAWA WA ULAYA NA MAREKANI NA NCHI NYINGINE ZINAZOFUATA UCHAFU HUU KWA KUWAIGA HAWA WALIO CHUPA MIPAKA YA KUKUFURU,ADHABU YAO ITAKUWAJE SIKU HIYO YA KUHUKUMIWA NA ALLAH!! MUUMBA WA VYOTE!! MWENYEZI MUNGU HAKIKA YEYE NDIE MJUZI WA YOTE.
@@abdallahally842asome kwny nn? hii historia inapatikana wap ndugu
Astaghafirullah
Mungu alichukuzwa na hao. Nabkuwaangamiza. Ndio maana akaanzisha Taifa lake TEULE la ISRAEL baada ya kumwambia Abraham atoke huko.
😂😂😂na hilo taifa teule wameendeleza huu uchafu zaidi kuliko wale waloangamizwa sherehe zote za huu uchafu zinafanyika huko kila mwaka wamezidi mana sasa waisraeli wamehalalisha mpaka ndoa chezea mayahudi wee
Unajidanyanya Taifa teule ndio linaongoza kupromoti ushoga Leo jiji la Tel Aviv ndio linaongoza Kwa ushogaa tena wanafanya bila kuogopa iweje Taifa teule liongoze Kwa maasi amka ndugu
Sodom na gomorrah iko sham haiko arabia 😮
Apo ndo Sinza?? Mmhh
Kwakweli 😂😂😂😂
Hata leohii chama cha mashoga na wasagaji makao maku ni Israeli kwa wayahudi
unachokiongea uwe na ushahidi nacho ndugu yangu...
mwaka jana tuu nimetoka Israeli, na sijawahi kusikia wala kuona hicho chama..
na kama kipo naomba nambie kinaitwaje na kipo mji gani?
@@imokatechnologyww mgeni utafikir utajua kule ndo kuna mipango meng ya ushoga
Nakila mwak MAADHIMISHO yanafanyika kule ISRAIL
Kipindi icho uisilam bado haujatungwa na kuja kupotosha watu
Sasa hao mitume inayozungumziwa ni mitume ya kiislamu .
Hawa ndio walikuwa wacheza mduara sio wa mbele apate na yeye apatwe pia😂
Sisemi kitu
Alafu mvuta bangi mmoja anasema hakuna Mungu weweee endelea kucheza
SYSTEMATIC MYTHOLOGY AND INDOCRINATION
Sawa lakin biblia soma vinZuri
😂😂😂umejuaj Kuna sehem anaongea uhongo
Kwani hapo anafundisha bibilia?
Hapa sio sodoma na Gomorra,
Uache kufuata Mafundisho ya Wazungu na Waarabu, nenda kwa mtandao tafuta Tswaing crater mahali ilipo, hapo kwa chumvi Kusini mwa Africa, Karibu na Bahari ya Chumvi kwenye Ardhi Tambarare, maarufu kama Makgadi gadi siku ya leo
Hao jamaa walikuw wanakulana viboga😂😂😂
Waafrica ndio watakatifu pekee katika ulimwengu huu hawa wengine ni nyoko kama nyoko tu ndio wameleta hata uchafu huku Africa na hasa Tanzania
Mtoa story ulitakiwa usome vitabu vya historia ya sodoma vya dini kwa umakini....ila umejjtahidi kidoogo..japo mapungufu ni mengi saaana kwenye hii hadithi yako...shukran saaaana
Vitaje tukavisome
Pia wewe tuga Yako utuadithie
@@jacksonmureithi4335Uislam haupelekwi na matamanio ya nafsi wala mihemko tyr umesha kamilika
Wacheni uongo Sodoma na gomora ndio bahari mfu
Sodoma na Gomola si ndy JORDAN ya sasa au kwahyo ndo jangwa ivo?
Waarabu wazungu ni mashetani wa zambi ufiraji umekisili huko uarabuni pamoja na uzunguni kwao kumejaa uchafu tu ndio maana paka sasa nchi za kiarabu utulivu mdogo sana vurugu nyingi mapigano mengi halafu hao hao wanajiita watu wa Dini na wanaijua dili ushetani mtupu
Kwa waarabu unadanganya hakuna ushoga kule
Yakubu babayake ni is-haka na babu yake ni lbrahim ambae pia alimzaa lsmail alietoa kizazi cha waarabu
Absolutely yes