Tena nyie Chikenya ndio inawahusu ili mtoke kwenye giza totoro la akili za wakoroni kwenye mabichwa yenu maana nyie ukoroni mmeupanda kama SUKUMA WEEK 🤣🤣🏃🏃🏃
Wewe ni professor kweli kweli Jamal. Nimetoka sudani kusini napenda jinsi unayoadhia historia na utafiti ya ukweli. Stories telling is what make communities and great nation to be know can you tell our histories in English so that the world may know that we also have a unique history. 🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Unatoa wap nguvu za kutetea wakat mataifa yako ya africa had chupi na vijit vya meno wanaagiza nje😁... Siku ukija kutembea huku ulaya ndipo utajua sis waafrica tuna kasoro.. hawa jamaa maendeleo waliyofanya huku kwao ni kama miujiza. Sasaa unatoa nguvu ya kutetea wap ndugu yangu wakat bado chakula nguo na malaz ni bado janga.. miviongozi haina akil inafisad nchi.. utasema sis waafrica ni watu. Hata mim kabla sijaja huku niliko nilikua natetea sanaa nikikaa vijiwen. Nilipokuja huku kuish ndipo nimeamin sis watu weus tuna matatzo makubwa. Halaf tunajificha kwenye kichaka kwamba ukolon ndo umetufanya maskin..
@@uzungupoint chimbuko ni 1.muda..tuko nje ya muda wenzetu walichangamka mapema kuanza mapambano 2.uongozi mbovu na siasa chafu za kishamba 3.uvivu na ubinafsi 4.ukabila na udini.. uwe wa asili au udini wa kuiga/kuletewa na imani za ajabu ajabu.. kuamini miujiza ya kufanyiwa kuliko kujishugulisha 5.ushamba na kutojiamini
Through Prof Jamal you can realise that History is the great subject. Even our schools should change the way of teaching history by narating than giving notes to learners
Kabisa Jamal na ndiomaana elimu yetu ya Sasa haitusaidii chochote zaidi tu inatujaza ujinga na kukalilishwa vitu visivyokuwa na maana Kwa lazima..... I. Lovu you Africa
Prof Jamal ninakupongeza sana kwa kazi nzuri, Mwenyezi Mungu Azidi kukujalia kujua mengi na kuhabarisha Tanzania na Dunia nzima. Nikirud Tanzania nitakutafuta tuonane Nakufuatilia sana kutoka Israel
Ndugu yangu nakufurahia sana tena sana nikiwa mojawapo wa watu wanaoichi nchini ujerumani kwa historia utupatiyayo kutokana na the history book! Mimi pamoja na watoto wetu tunakusphukuru sana. Na hapo hapo ningekuomba sana kama ungetupatia historia ya wafarume wa mkoa wa kagera hasa Kyamutwara kama vile who is Kaitaba.
In short Brother and my African relatives I have invented and discovered very interesting mathematical laws , theories, theorems, axioms, conjectures and formulas etc. After publishing them people in the whole world will be very shocked and amazed .
Tatizo la Africa viongozi wanatuangusha sana dunia nzima inakontoliwa na mzungu lkn wenzetu wengine kidogo wanajielewa na wanathamini nchi zao mfano nchi za kiarabu wameendelea kwa sababu viongozi wao wanazithamini nchi zao Africa viongozi tamaa zimewazidi wanasahau hata nchi zao kikubwa wanajali matumbo yao tu na familia zao ndio sababu Africa haitawahi kuheshimiwa
Broo Jamali natamani siku moja Tanzania ijue nini unafanya na kwamaana gani. Nakuelewa saana kaka na kila siku za maisha yangu utabaki kia kiigizo kwangu kaka.....!!
Professor Jamal I admire you very much, I love History and Philosophy but my father would not let me study my bachelor's degree in Philosophy or History undergraduate programme, he says history is nothing and philosophy is unrealistic instead he had me admitted to the institute of his choice where I have to what I don't want to but no way he is my father.
Mimi kama mfuatiliaji wa kipindi cha the story book naomba sisi wote tunoa fuatilia tuwandae tuzo kwaajili ya huyu jamaa anastahili kabisa kwa madini anayo tupatia ila wakati wa kumkabidhi tuzo naomba aje na diamond tupige picha ya yeye 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Neocolonialism ndio ya Leo Sasa, ukivumbua kitu Mwafrica Kuna Mambo matau. 1. Utachukuliwa kwa gharama yoyote ile na malipo ili ukatumikishwe kwao, 2. Utadanganywa scholarip na ukihitimu huko hutarudi Africa. 3. Ukiwa mgumu utatengenezewa kesi uwekwe ndani
I think the truth about the abilities and skills of africans can further been developed up to now if only our uncestors would developed it , so we are not conversant with those skills not because we don't know but because our uncestors fail to developed those skills so that we will also use those skills to develope our africa
Jamal April kazi yako unaitendea haki. Sina cha kukupa ila siku ya mwisho wa dunia hii Mungu akupe tuzo yako maana unastalili. Umetufumbua.macho wengi kwa habari zako na sauti yakò nzuri. Hongera sana
Honestly Professor Jamal April you are one of the best story tellers of this generation in Africa and perhaps in the World. Coming back to the topic at hand, Africa is very much rich in many things and we Africans are so talented and skilled. Fir this reason whites try by all means to make sure that young generation of Africa does not realize this reality in order for them to continue stealing from us and making Africans feel inferior to them. It's time for an Africa child to wake up and realize his wealthy. I have the same wish as Kweme Nkrumah, "Having one Africa speaking the same language, agreeing in he things bringing development, having one goal." Speaking the same language doesn't mean we speak one local language the entire Africa but realizing our wealth and treating fellow Africans in the same way than we do now. Africa has all what it takes to cross boundaries.
Uko sawa sawa, Mungu wa wote vitu vyote vya toka Kwa Mungu, Eb 3.4, Mwz 1.1,Eb 4.12. Eb 11.6,11.1, 2Pet 1.20-21, The word of God is not a sychlogycal humanism.Amen
Mwanzilishi wa chama cha skauti duniani Sir ROBERT SMITH BARDEN POWELL akiwa afrika kusini aliona mashujaa wakiwafundisja watoto ukakamavu na upelelezi akapenda na alivyorudi chini kwao akawafundisha watoto wa kizungu wakafurahia mafundisho na ukawa mwanzo wa uskauti duniani.kwa maana iyo waafrika tunajua mengi tangu zama na si kama wanavyotuaminisha wazungu
Tutazame tulipojikwaa sio tulipoangukia. Tulipoteza dira baada ya kukubali kutawaliwa kifikra ujio wa waarabu lilikuwa pigo la kwanza tulipokubali kuacha mila zetu tukajifanya waarabu weusi na walipokuja wazungu tukageuzwa kuwa wazungu weusi. Unapokubali kufata mila ya wageni utadharau vitu vyako, elimu yako, ujuzi wako, majina yako,mungu wako, babu zako, asili yako, mungu ako na hata utu wako. Sasa hivi tumebaki tunabishana kati ya mungu wa waarabu na mungu wa wazungu nani ni mungu halisi na tuko tayari kutukanana na hata kuuwana tukipigania hao mungu wa wageni. Tunapaswa kujitamvua kwamba Mungu tulikuwa naye na tuko naye na ndiye aliwasaidia mababu zetu kupata mahitaji yao na kuwa na maendeleo tangu zama hizo kabla wageni/wavamizi hawajaja kutupotosha na kutulazimisha kufata mila zao.
Kweli ndugu, walipo kuja warabu waliuwa wafrika kinyama ikabidi mababu waogope waka salimu amri. Mzungu alipo fika pia, akaya fanya hayo hayo. Ndio twajipata hapa. Uzuri, we go wetu bado twazifata mila zetu ingawa zingine zimetutoka.
Hello My Brother Very Professor JAMAL You're more than good Researcher Brother, please Start also telling Us more about different Great Inventors and Discoverers individually, especially of Mathematics .
Mungu na akubariki sana maana unawafungua waafrica hata kama tumepoteza kwa kuibiwa kwa jina ya eti tuwashamba lakini naomba tuamke tujitegemee sasa asante Jamaica.
Africa 🌍 nimoja ya Bala la yenye watu wenye akili na matajili na watafiti kilakitu kimeanzia afrika , hakika namchukia mtu anae mtukuza mzungu mbele yangu au mbele ya jamii , naipenda Africa.
Then Tumepandikizwa Chuki Na waarabu..Thanks Brother huongei vitu vya kusimuliwa unasoma kisha unatuletea na Sisi wavivu wakusoma Historia Ya Dunia na Watu wake
Professor we ni noma mikono juu bro, chakula cha ubongo hasa kwa wavivu wasiosoma history za mambo yanayoendelea duniani wewe unayaleta kwenye story book
Consequently our history can open the darked mindsets of the african people ,am ur generation my role model .We need to use our wel knowldgeble minds to do maverous development in todays world congrats mr jamal
imani na kweli, ni mambo mawili tofauti. kuamini ni kukubaliana na mambo ambayo hayana uthibitisho. wakati ukweli, ni mambo yenye uthibitisho na ushahidi””
Wazungu hawana historia yenye mashiko wao wa khadith zisizo na ushahidi wa mashiko kwaio ndo inakuwa imani, ila sisi tuna historia zenye ushahidi na mashiko na ndo kweli, kwaio vitu vyotee waanzilishi ni sisi tu maana ushahidi upo mpk leo wao hawana ushahidi wa mashiko, ila wana imani na ndomana wakaweza kuanzisha dini kama kristo na islam
This guy is a good researcher and is so creative...I love what you do bro.Much love from Kenya.🇰🇪🇰🇪
Nipeni likes basi wenzangu😂
✌🏾
🇰🇪
Tena nyie Chikenya ndio inawahusu ili mtoke kwenye giza totoro la akili za wakoroni kwenye mabichwa yenu maana nyie ukoroni mmeupanda kama SUKUMA WEEK 🤣🤣🏃🏃🏃
@@shinipapaya846
please
The story book never lies! Kenya iko love!🇰🇪🇰🇪
Wewe ni professor kweli kweli Jamal. Nimetoka sudani kusini napenda jinsi unayoadhia historia na utafiti ya ukweli.
Stories telling is what make communities and great nation to be know can you tell our histories in English so that the world may know that we also have a unique history.
🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸🇸
Uyubwana ni mbabe wa historia kwakweli
Mimi nilibishana sana na mtu mmoja jinga anasema eti Afrika hatuna jipya👏👏👏👏Jamal
Kwa ninavyoipenda Afrika na ninavyobishana na watu wanaotukuza ukubwa wa wazungu kuliko ukuu wetu yaani nimefurahi ile mbaya 🙌
AMINA mababu zetu haawa wajuzi walitudisapoint dah big time😵wametuuza wakakubali unyonge
upo kama mimi nikianza kukinzana na wapuuzi wenyeakili za utumwa mbaka wanakimbia
Unatoa wap nguvu za kutetea wakat mataifa yako ya africa had chupi na vijit vya meno wanaagiza nje😁... Siku ukija kutembea huku ulaya ndipo utajua sis waafrica tuna kasoro.. hawa jamaa maendeleo waliyofanya huku kwao ni kama miujiza. Sasaa unatoa nguvu ya kutetea wap ndugu yangu wakat bado chakula nguo na malaz ni bado janga.. miviongozi haina akil inafisad nchi.. utasema sis waafrica ni watu. Hata mim kabla sijaja huku niliko nilikua natetea sanaa nikikaa vijiwen. Nilipokuja huku kuish ndipo nimeamin sis watu weus tuna matatzo makubwa. Halaf tunajificha kwenye kichaka kwamba ukolon ndo umetufanya maskin..
@@bobwhite9252 Unadhani nini chimbuko la matatizo yetu kiongozi kama waafrika?
@@uzungupoint chimbuko ni
1.muda..tuko nje ya muda wenzetu walichangamka mapema kuanza mapambano
2.uongozi mbovu na siasa chafu za kishamba
3.uvivu na ubinafsi
4.ukabila na udini.. uwe wa asili au udini wa kuiga/kuletewa na imani za ajabu ajabu.. kuamini miujiza ya kufanyiwa kuliko kujishugulisha
5.ushamba na kutojiamini
Through Prof Jamal you can realise that History is the great subject. Even our schools should change the way of teaching history by narating than giving notes to learners
Kabisa Jamal na ndiomaana elimu yetu ya Sasa haitusaidii chochote zaidi tu inatujaza ujinga na kukalilishwa vitu visivyokuwa na maana Kwa lazima..... I. Lovu you Africa
FINALLY PROFESSOR JAMAL HAS DONE ONE OF THE FAVOURITE TOPICS EVER...OPEN YOUR EYE AND SEE❤❤❤❤❤❤
Nimejifunza kitu kikubwa sana ambacho sikuwai kijua hapo kabla niitamfundisha mwanangu mwenyewe kuhusu hii history ya Africa shukran sana 🙏
The best stories teller in the world, much respect Jamal professor mwenyewe💯%👍🥰
Usiichukue TU kama story chukua kama elimu na hamasa
This is the marvel story about African greatness; congrat's bro
Hapa nchini Kenya tunakupenda sana
Tunawapenda sana wakenya♥️
@@josephhiza811 Santeni Jirani Zetu
Naice video
💯
Kweli kbs 😍
Mungu ni mwema mno, Amini kuwa Africa inarudi katika ubora wake. Utawala wa wanzungu unaanza kuisha taratibu.
Ukweli
Kweli
Uishe kabisa upotelee huko mbali
Africa will be great again
Kama ni afrika ya story book, n a k u b a l i
Prof Jamal ninakupongeza sana kwa kazi nzuri, Mwenyezi Mungu Azidi kukujalia kujua mengi na kuhabarisha Tanzania na Dunia nzima.
Nikirud Tanzania nitakutafuta tuonane
Nakufuatilia sana kutoka Israel
I love your story professor Jamal. siku moja nataka niwe kama wewe. I want to be the great person like you
Ndugu yangu nakufurahia sana tena sana nikiwa mojawapo wa watu wanaoichi nchini ujerumani kwa historia utupatiyayo kutokana na the history book! Mimi pamoja na watoto wetu tunakusphukuru sana. Na hapo hapo ningekuomba sana kama ungetupatia historia ya wafarume wa mkoa wa kagera hasa Kyamutwara kama vile who is Kaitaba.
Love the story book 📖 from Kenya 🇰🇪
Tufanyie story ya Fort jesus 🙏
Tunakupenda sana Allah akupe maisha marefu ❤️
This man is number one story teller"* big up sana Mungu akupe maish marefu watching 2024.....2030
This story and more like such, should be the first topic in each history class all over the African classes.
Hizi sasa ndio storybook yenyewe inayo ongelea UKUU WA MWAFRIKA endelea kutupatia kama hizi itatusaudia wa afrika kujikubali zaidi na zaidi
In short Brother and my African relatives I have invented and discovered very interesting mathematical laws , theories, theorems, axioms, conjectures and formulas etc. After publishing them people in the whole world will be very shocked and amazed .
Big up broo
Do it fast..in a secrecy coz we know the plans of the whites
@@barakawabuge5285
Thank You I will do it .
Waiting
bravoo
Tatizo la Africa viongozi wanatuangusha sana dunia nzima inakontoliwa na mzungu lkn wenzetu wengine kidogo wanajielewa na wanathamini nchi zao mfano nchi za kiarabu wameendelea kwa sababu viongozi wao wanazithamini nchi zao Africa viongozi tamaa zimewazidi wanasahau hata nchi zao kikubwa wanajali matumbo yao tu na familia zao ndio sababu Africa haitawahi kuheshimiwa
All in all tuacheze kuabudu wazungu before our kids we are poisoning our generation yani it's sad siwezi andika Sana but inaumiza
Umemaliza maneno kaka
Na tamaa pia
Kuwa chanzo cha mabadiliko juu unaweza.Usisubiri mtu
Ao ni waarabu sio waafrika
Broo Jamali natamani siku moja Tanzania ijue nini unafanya na kwamaana gani. Nakuelewa saana kaka na kila siku za maisha yangu utabaki kia kiigizo kwangu kaka.....!!
😅😅😅😅
When I grow up I wanna be like u prof. One Of his own kind💪💪💪
mungu na mimi pia nakuombea ndoto zako, zitimie na mungu wetu sio mchoyo ndoto itatimia.
Pyramid zilijengwa na wayahudi karne 1 na 2
@@yustomlay4422soma vitabu myahudi ni mtu mweusi hata Ibrahim mwenyewe anasema kwenye maandiko tazama ngozi yangu ilivyo nyeusi
Professor Jamal I admire you very much, I love History and Philosophy but my father would not let me study my bachelor's degree in Philosophy or History undergraduate programme, he says history is nothing and philosophy is unrealistic instead he had me admitted to the institute of his choice where I have to what I don't want to but no way he is my father.
Thank you Jamal for this,unatufunza mengi sana tusiyoyafahamu,much love from Kenya🇰🇪🇰🇪
Darasa pekee ambalo halimchoshi mwanafunzi 🔥🔥🔥🔥
mno mr
@@fakiimohamed6163 haipingwi mzee
Daaah noma sana
The talent you got, damn!!!!.... You found your purpose wallah.... ❤️❤️❤️
True calling
This story was so interesting...we look forward to more of this about African history
Mimi kama mfuatiliaji wa kipindi cha the story book naomba sisi wote tunoa fuatilia tuwandae tuzo kwaajili ya huyu jamaa anastahili kabisa kwa madini anayo tupatia ila wakati wa kumkabidhi tuzo naomba aje na diamond tupige picha ya yeye 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
Kabisa mimi niko tayari
Kweli kabisa
Itafaa sana
@@sombochristian8373 pa1
@@stellah3844 pa1
I love the way you contrast the story b4 it starts.. makes us watch till end.. big up🇰🇪
🇺🇬🇺🇬🇺🇬🇺🇬👣 Asante saana kaka Kwa history nziri saana kuhusu Africa yetu pedwa
Daaah ukweli daima hung'aa katikati ya uongo thank you professor Jamal 👏👏✊👊
Neocolonialism ndio ya Leo Sasa, ukivumbua kitu Mwafrica Kuna Mambo matau. 1. Utachukuliwa kwa gharama yoyote ile na malipo ili ukatumikishwe kwao, 2. Utadanganywa scholarip na ukihitimu huko hutarudi Africa. 3. Ukiwa mgumu utatengenezewa kesi uwekwe ndani
Me I respect jamal this guy is wow he's a great researcher
daah ni kweli maana kila kitu tunawategemea wao hata ukitazama madawa watu tumeacha miti shama tunapambana na madawa yao
I think the truth about the abilities and skills of africans can further been developed up to now if only our uncestors would developed it , so we are not conversant with those skills not because we don't know but because our uncestors fail to developed those skills so that we will also use those skills to develope our africa
Jamal April kazi yako unaitendea haki. Sina cha kukupa ila siku ya mwisho wa dunia hii Mungu akupe tuzo yako maana unastalili. Umetufumbua.macho wengi kwa habari zako na sauti yakò nzuri. Hongera sana
Guy african let’s wake up tuendeleze africa yetu 💪🏽 tuamke wajameni
I just love this guy he is a good researcher 🎉 ady kusimulia 💯
Much respect from kenya
Honestly Professor Jamal April you are one of the best story tellers of this generation in Africa and perhaps in the World.
Coming back to the topic at hand, Africa is very much rich in many things and we Africans are so talented and skilled. Fir this reason whites try by all means to make sure that young generation of Africa does not realize this reality in order for them to continue stealing from us and making Africans feel inferior to them. It's time for an Africa child to wake up and realize his wealthy. I have the same wish as Kweme Nkrumah, "Having one Africa speaking the same language, agreeing in he things bringing development, having one goal." Speaking the same language doesn't mean we speak one local language the entire Africa but realizing our wealth and treating fellow Africans in the same way than we do now.
Africa has all what it takes to cross boundaries.
He comes second, next to Mkurugenzi Abel Mutua
From Kenya we love you proffesor 😘😘😘
Yeah the Story Book Kwa hewa🔥🔥🔥🔥
Kwakweli kaka Jamal kazi yako ni nzur sana natamani one day nchi itambue kazi yko hakika unakotupeleka mkono wa MUNGU ukahusike
Nakupata kaka, Asante sana kwa kuwakumbusha wenzetu.
Tuache utani jamali you are so creative bro
U seee
Mwanang nakukubal sana kwa historia we ni number one
Interest story from the interest person
Fact
You're very bright my bro.i love you're story and the way you send a massage in a society.
no world power without africa! thanks jamal april!
Uko sawa sawa, Mungu wa wote vitu vyote vya toka Kwa Mungu, Eb 3.4, Mwz 1.1,Eb 4.12. Eb 11.6,11.1, 2Pet 1.20-21, The word of God is not a sychlogycal humanism.Amen
Mungu akubaliki wanakupenda wengii wengi,,hawakomenti
Nchini Congo Wana kukubali sana .istory zako zinampa mutu imani na nguvu za kujiamini
Wazungu wabaguzi sana, ndio mana Magu alikua hawataki na akimkumbuka gadafi kila mara
Tatizo wa African wameacha mila zao kufuata mila y wazungu n warabu
Hii imenizengua😱😱😱. Indeed we all have within us the capacity to be great. #MawazoWise
Very excellent 👏👏👏, professor
Hiyo kweli bro ndo maanaxgrammy wametuachia sisi halafu wanasema za kibaguzi sisi afrikaxkwenye muziki tunacgreat melody I proudxof you Africa
Much love professor ❤💕💗
Hello Jamal,I want to tell you that you are educating Africans very well and may Allah bless you
Sema weh jamaa ni mkali sana daaah, mungu akuzidishie zaid kwakweliii 🔥🔥
Loving every story you tell..Big Up Jamal
I really love the way unaleta hii story ya Africa
Genious mind set professor Jamal April
Mwanzilishi wa chama cha skauti duniani Sir ROBERT SMITH BARDEN POWELL akiwa afrika kusini aliona mashujaa wakiwafundisja watoto ukakamavu na upelelezi akapenda na alivyorudi chini kwao akawafundisha watoto wa kizungu wakafurahia mafundisho na ukawa mwanzo wa uskauti duniani.kwa maana iyo waafrika tunajua mengi tangu zama na si kama wanavyotuaminisha wazungu
thumbs up from kenya.......good research 👍👍
Mwanafunzi hongela Sanaa,,,,,,
Tutazame tulipojikwaa sio tulipoangukia.
Tulipoteza dira baada ya kukubali kutawaliwa kifikra ujio wa waarabu lilikuwa pigo la kwanza tulipokubali kuacha mila zetu tukajifanya waarabu weusi na walipokuja wazungu tukageuzwa kuwa wazungu weusi.
Unapokubali kufata mila ya wageni utadharau vitu vyako, elimu yako, ujuzi wako, majina yako,mungu wako, babu zako, asili yako, mungu ako na hata utu wako.
Sasa hivi tumebaki tunabishana kati ya mungu wa waarabu na mungu wa wazungu nani ni mungu halisi na tuko tayari kutukanana na hata kuuwana tukipigania hao mungu wa wageni.
Tunapaswa kujitamvua kwamba Mungu tulikuwa naye na tuko naye na ndiye aliwasaidia mababu zetu kupata mahitaji yao na kuwa na maendeleo tangu zama hizo kabla wageni/wavamizi hawajaja kutupotosha na kutulazimisha kufata mila zao.
Kweli ndugu, walipo kuja warabu waliuwa wafrika kinyama ikabidi mababu waogope waka salimu amri. Mzungu alipo fika pia, akaya fanya hayo hayo. Ndio twajipata hapa. Uzuri, we go wetu bado twazifata mila zetu ingawa zingine zimetutoka.
Kwani izo dini ndo zinavyotufundisha tugawane?
J
Africa lazima tujikubali kuwa NDO chimbuko la binadamu halisi.tujikubali jamani
@mamaafrika7979kabisa ndugu yangu kama dini ndio zimetugawa kabisa ukifata mila zako unaambiwa ushilikina
Kazi nzuri professor Jamal kiukweli umejiandaa vema kutupatia makala nzuri ya historia ya afrika
Aminia xana prof-Jamal unachimba mambo na unajua kuyahadithia kwa uxtadi kama wote yaani...,big up brah ✌️✌️
Mashaallah kaka shukran kwakutukumbusha from oman sipitwi story book
Hello My Brother Very Professor JAMAL You're more than good Researcher Brother, please Start also telling Us more about different Great Inventors and Discoverers individually, especially of Mathematics .
Kazi safi Jamal.
Vichapishe sasa vitabu vya historia halisi ya Afrika
keep it up we love u🇹🇿
Asante Sana nimepata elimu kupitia the story book.🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪
Genius mind professor Jamal much love brother
Mungu na akubariki sana maana unawafungua waafrica hata kama tumepoteza kwa kuibiwa kwa jina ya eti tuwashamba lakini naomba tuamke tujitegemee sasa asante Jamaica.
Mr Jamal DRC we Love you brother u're so great
Jamali I humbly request the whole story of this mnsa musa pls 🥺🥺I wish I could sub a million times 🥺🥺I just cant get enough of this story book 🥺🥺🥺
Hii story book huwa inarushwa lini na saa ngap kwenye TV?
Inarushwa wasafi tv kila ijumaa kuanzia saa tatu usiku na marudi0 ni jumamosi saa saba mchana
Kaka Jamari nakuombea kwa Munga akupe maisha marefu ili utuelimishe kuhusu Afrika na utajiri wetu
Africa 🌍 nimoja ya Bala la yenye watu wenye akili na matajili na watafiti kilakitu kimeanzia afrika , hakika namchukia mtu anae mtukuza mzungu mbele yangu au mbele ya jamii , naipenda Africa.
This is very true
Big up sana Jamal kwa elimu hii ya kutuamsha kujitambua
I this deep truth 💯 😪 from my heart God bless you brother 🙏
The story book 🧡♥️
Mungu akuekee mkono ulinzi na afya brother Jamal proud to be an African 🎉❤from Tanzania
Congratulations my model 💖
The story book inafanya kazi nzuri sana kueleza back ground ya Africa na nyenginezo Mungu amzidxhie ❤❤❤
The only one professor l have 👊🏾👊🏾up Brother Jamal
Then Tumepandikizwa Chuki Na waarabu..Thanks Brother huongei vitu vya kusimuliwa unasoma kisha unatuletea na Sisi wavivu wakusoma Historia Ya Dunia na Watu wake
Jamal explore more brother, I all know this but the power is what am lacking to spread it out
You will get the power some day.. Keep your head up.. Jamal is doing great content educating and entertaining at the same time.
Someni vitabu mtapata maarifa zaidi siyo kusubiri makala kama hizi zilizofupishwa acheni uvivu
Professor we ni noma mikono juu bro, chakula cha ubongo hasa kwa wavivu wasiosoma history za mambo yanayoendelea duniani wewe unayaleta kwenye story book
Great contents! Safi sana. I really enjoyed this.
My favourite, keep pumping knowledge
Ukitenda mema,basi jamii itakukumbuka kwa mengi,kama great person
Tunajuwa mengikuusu Africa
Kupita the story book Blees jamal 🤩
Profesor🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Beautiful information! ❤️ ❤️ ❤️ Thanks!!!
Asante sana professor kazi safi sana kutuelimishaa 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
Huu ndio ukweli afrika mungu aliijalia kheri nyingi mmno emu gongeni lake zangu hapa kwa sharifu teacher
Indeed
Consequently our history can open the darked mindsets of the african people ,am ur generation my role model .We need to use our wel knowldgeble minds to do maverous development in todays world congrats mr jamal
imani na kweli, ni mambo mawili tofauti. kuamini ni kukubaliana na mambo ambayo hayana uthibitisho. wakati ukweli, ni mambo yenye uthibitisho na ushahidi””
Hivi wamaanisha nini kuhusiana na kisa hiki?
Wazungu hawana historia yenye mashiko wao wa khadith zisizo na ushahidi wa mashiko kwaio ndo inakuwa imani, ila sisi tuna historia zenye ushahidi na mashiko na ndo kweli, kwaio vitu vyotee waanzilishi ni sisi tu maana ushahidi upo mpk leo wao hawana ushahidi wa mashiko, ila wana imani na ndomana wakaweza kuanzisha dini kama kristo na islam
Tuangalie tulipojikwaa
sio tulipodondokea.
Asante mswahili .....
Gostei muito prof Jamal ✨
Uko vizuri kaka kazi yako njema Mungu akupe maarifa zaidi na kuku funulia mengi zaidi
Much love from Kenya 🇰🇪🇰🇪