Bwana YESU akubariki sana mtumishi... Mwaka 2023 ulikuja mwanza kwenye semina ya wanawake wa maombi.. uliniombea nilikua nimefungwa kizazi na kweli nilimtafuta mtoto Kwa muda wa miaka miwili bila mafanikio... Baada ya kuniombea mwezi wa sita nikabeba ujauzito na nikajifungua mwezi wa pil mwaka huu.mtoto n mzima na Mimi pia.. Mungu akubariki sana umefanyika baraka sana Mtumishi
Bwana Yesu Asifiwe Mana Ministries kwa kunyenyekea sana tunaomba somo lipostiwe tena recorded one mtandao ulikuwa mbaya sana,Na Mungu Aliye Hai Awabariki sanaa
Nakumbuka hili somo mwaka 2014 ulifundisha kwa njia ya mioyo ya watu kufunguliwa kutoka kwenye madhabahu ya miungu,this time ni onether level ,another revelation ktk mifumo ,wat a word. Be blessed Mwlalimu
Asante Mungu Baba Mfalme wangu kwa neema hii umenipa na una haja nami katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege ubarikiwe kwa kutii na kunifundisha kuniombea na matokeo yapo Mungu Baba asikupite kamwe wewe familia na wote watendao kazi pamoja nawe kimuda, kipesa na maombi. AMOSI 8:2. ASANTE ❤❤❤.
Shalom Shalom, nafurahia sana neno la Mungu litokalo kinywani mwa Mwalimu linanipa njia na hekima maishani, mbarikiwe sana Mwalimu na mama kwa huduma kubwa ambayo Mungu ameiweka mioyoni mwenu, Yesu awabariki sana na awatunze muishi maisha marefu. Ameni.
Bwana Yesu asifiwe. Kuna baadhi ya sehemu record imekatwa katwa. Inatutukosesha ujumbe wa sehemu husika. Mafundisho ni mazuri mno kiasi sitamani kukosa ujumbe wowote
Yesu asifiwe nijiunganisha na madhabahu ya mungu kupokea uponyaji kwa ability ya family yangu nakutengwa na kila vinzuizi vinavyotufunga vikatuachie kwa jina la yesu
KUSHUGHULIKIA KAMBA ZA KIROHO ZINAVOWEZA KUKUKWAMISHA KIMFUMO MALENGO: 1:Kujua jinsi kamba za kiroho zinavyotumiwa na mifumo kukukwamisha 2:Kujua namna ya kushughulikia kamba hizo ili usikwamishwe kimifumo bai ufanikiwe kimifumo. √√ Mathayo 21:1-5 Ref Zacharia 9:9 Punda na mtoto wake i) punda na mwanapunda wanawakilisha nn kiroho? Vitu vya kufikiri √√ verse 5 Kwa nn alihitaji punda wawili? √√ verse 6,6 Kutoka 4:22-23
Bwana Yesu apewe sifa.Kwaunyenyekevu mkubwa tunaomba muupload recoded mahubiri ya siku ya leo maana hata haya tunayorudia bado yamekatalata kuna vipande havipo.Tunaomba sana
Nafuatilia toka Dom, leo vita ilikuwa kaliii Upendo Tv ilikata kwa mudaa, ikarudi kwa maneno kukata kata sana- a lot of scratches. Sijui tutafanyaje Watumishi wa MUNGU
Bwana Yesu Asifiwe Mana Ministries kwa kunyenyekea sana tunaomba somo lipostiwe tena recorded one mtandao ulikuwa mbaya sana,Na Mungu Aliye Hai Awabariki sanaa
Nabarikiwa Sana na Mtumishi huyu... MUNGU wa mbinguni amtunze na ampe miaka mingi kwa kusudi lake.... Tumuombee Sana mtumishi huyu.
Bwana YESU akubariki sana mtumishi... Mwaka 2023 ulikuja mwanza kwenye semina ya wanawake wa maombi.. uliniombea nilikua nimefungwa kizazi na kweli nilimtafuta mtoto Kwa muda wa miaka miwili bila mafanikio... Baada ya kuniombea mwezi wa sita nikabeba ujauzito na nikajifungua mwezi wa pil mwaka huu.mtoto n mzima na Mimi pia.. Mungu akubariki sana umefanyika baraka sana Mtumishi
Amina mungu ni mweza
Amina hayo mafuta nayahitaji sana kwa mim na mke wangu
Amina namimi napokea upako huo katika jina la Yesu
Bwana Yesu Asifiwe Mana Ministries kwa kunyenyekea sana tunaomba somo lipostiwe tena recorded one mtandao ulikuwa mbaya sana,Na Mungu Aliye Hai Awabariki sanaa
Asante YESU nimefunguliwa sasa kamba za kiroho na nimeongezewa imani yangu ....
Nakumbuka hili somo mwaka 2014 ulifundisha kwa njia ya mioyo ya watu kufunguliwa kutoka kwenye madhabahu ya miungu,this time ni onether level ,another revelation ktk mifumo ,wat a word. Be blessed Mwlalimu
Hongera kwa kumbukumbu
Amina
Amen. Tutafunguliwa hakika.
#OneMinute4Jesus
MUNGU kupitia somo hili fungua karama yangu elimu nifanyike ushuhuda❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤ ubarikiwe mtumishi
BWANA YESU! Apewesifa namshukuru MUNGU kwa kuniponya ugonjwa wa kuwashwa na upele sasa nimepona ASANTE YESU KRISTO KWA UPONYAJI....
Amina napokea
Nami pia napokea..
#OneMinute4Jesus
Ameen mtumishi wamungu ubarikiwe sana ktk mkutano huu ❤❤
Asante YESU nimefunguliwa sasa kama za kiroho na kimeongezewa imani....
Amina kabisa kabisa.
#OneMinute4Jesus
amen mwalimu! watu wa IT mjitahidi somo linaenda kwa kukatakata sana
mnaweza mkatuwekea somo hili mlilorecod vizuri jamani tumekosa baadhi ya vitu
Mtumishi asante kwa huduma nzuri Mungu zaidi 🐔 baliki
Emen, Emen nimepokea uponyaji kwa jina la Yesu Kristo
Asante Mungu Baba Mfalme wangu kwa neema hii umenipa na una haja nami katika jina la Yesu Kristo Amina. Mwalimu Christopher Mwakasege ubarikiwe kwa kutii na kunifundisha kuniombea na matokeo yapo Mungu Baba asikupite kamwe wewe familia na wote watendao kazi pamoja nawe kimuda, kipesa na maombi. AMOSI 8:2. ASANTE ❤❤❤.
Amen mwalimu, Mungu azidi kukutumia kwa viwango vikubwa
Kwa somo hili neema ya Kristo imefika Kigoma.
#OneMinute4Jesus
Shalom Shalom, nafurahia sana neno la Mungu litokalo kinywani mwa Mwalimu linanipa njia na hekima maishani, mbarikiwe sana Mwalimu na mama kwa huduma kubwa ambayo Mungu ameiweka mioyoni mwenu, Yesu awabariki sana na awatunze muishi maisha marefu. Ameni.
Ubarikiwe sana mwal MUNGU wa Mbinguni akuinue zaidi nabarikiwa sana..
Bwana Yesu asifiwe. Kuna baadhi ya sehemu record imekatwa katwa. Inatutukosesha ujumbe wa sehemu husika. Mafundisho ni mazuri mno kiasi sitamani kukosa ujumbe wowote
Bwana YESU asifiwe mwalimu MUNGU akutunze Kwa ajili ya utukufu wake tunakuombea miaka mingi ya kuishi amen
Tunabarikiwa na kujifunza mengi kupitia hili somo.......Mungu awabariki wote
Punda na mwanapunda wafunguke sasa kwa jina la Yesu Kristo amen. #OneMinute4Jesus
Ndo tuwaombee wenzetuwalioko Kigoma na tuombee madhabahu ya radio tv na youtube
Mungu aondoe upinzani
Mungu awabariki sana Mwl, Kwa Mafunuo haya! Mungu awatunze team nzima
Halleluya lazima nitoke kwenye mifumo mibaya najuwa huru ,
Hili somo niukombozi tosha.ninaomba lipostiwe likiwa lote halijakatika katika vipande
Ameen. Napokea mimi na familua yangu. Haleluya. ✋💪
Bwana Yesu ASIFIWE..watu wa Media tunaomba hii video irushwe tena nyingine itakayo kuwa clear.. please
Mungu awabariki sana.
Mungu awabariki watumishi tunavuka
Leo vita haikuwa ya kawaida tumwombee Mwalimu na mke wake na team ya mana.. Adui ameshindwa
Tunaomba kwa jina la Bwana YESU ili somo lipostiwe tena,mtandao ulikuwa unasumbua sana
KIGOMA KWA YESU
Bwana Yesu apewe sifa, Mungu akubariki mtumishi wa Mungu kwa somo zuri, Bwana Mungu azidi kukupa mafunuo zaid
Amen.. mwenyezi Mungu awabariki na kuwatunza daima.
Bwana Yesu apewe sifa wana wa Mungu,samahan naomba mrudie upya kurusha somo hili maana halijatimia kuna vitu tumevikosa
Amen
Yesu asifiwe nijiunganisha na madhabahu ya mungu kupokea uponyaji kwa ability ya family yangu nakutengwa na kila vinzuizi vinavyotufunga vikatuachie kwa jina la yesu
AMEEN
Barikiwa sana kwa Somo hilli binafsi limenivusha
Asante sautihimekaa vizuri natamani nitoke nilipokwama
Na iwe hivyo kwa jina la Yesu Kristo.
#OneMinute4Jesus
Somo la Aina yake ila sasa mtandao umetuangusha,Roho Mtakatifu naomba Uguse mitandao hii leo yule mwovu ashindwe
Napokea uponyaji
KUSHUGHULIKIA KAMBA ZA KIROHO ZINAVOWEZA KUKUKWAMISHA KIMFUMO
MALENGO:
1:Kujua jinsi kamba za kiroho zinavyotumiwa na mifumo kukukwamisha
2:Kujua namna ya kushughulikia kamba hizo ili usikwamishwe kimifumo bai ufanikiwe kimifumo.
√√ Mathayo 21:1-5
Ref Zacharia 9:9
Punda na mtoto wake
i) punda na mwanapunda wanawakilisha nn kiroho?
Vitu vya kufikiri
√√ verse 5
Kwa nn alihitaji punda wawili?
√√ verse 6,6
Kutoka 4:22-23
Amen Baba.
Amen😊
Amen amen
Bwana Yesu apewe sifa.Kwaunyenyekevu mkubwa tunaomba muupload recoded mahubiri ya siku ya leo maana hata haya tunayorudia bado yamekatalata kuna vipande havipo.Tunaomba sana
Mungu akubariki baba
Amen
Amina
mnakatakata clip kwann
AHSANTE YESU
Kongamano like li e leo iringa jamn
Jamn mungu msaidie mtumishi wako atufunze sawasawa na maagizo yako Bwana tusaidie tuone uwepo wako kupitia mtumishi huyu
Najiunganisha na upako
Ameni
AMEN
AMINA AMINA AMINA
𝐀𝐦𝐞𝐧,𝐧𝐚𝐰𝐞𝐤𝐰𝐚 𝐡𝐮𝐫𝐮 𝐤𝐰𝐚 𝐣𝐢𝐧𝐚 𝐥𝐚 𝐘𝐞𝐬𝐮.
Jaman hata upendo tv mtandao haupo sawa
Mafundisho ya kina ni hazina kubwa.
#OneMinute4Jesus
Groly to God,groly to groly
BWANA YESU ASIFIWE, WANA WA MUNGU TUNAOMBA MAOMBI KWAAJILI YA UPENDO TV JANA HAIKUWA VIZURI KABISA .
Nafuatilia toka Dom, leo vita ilikuwa kaliii Upendo Tv ilikata kwa mudaa, ikarudi kwa maneno kukata kata sana- a lot of scratches.
Sijui tutafanyaje Watumishi wa MUNGU
Omba
Inaonekana wengi wamefungwa kamba inabid tuiombee semina mambo yaende vizuri,maana sio kwa kizuizi hicho
Mm naumwa mgongoni chini ya bega la kushoto na kiuno lakini kupitia haya maombi maumivu yamepungua
Naomba namba ya sadaka maalum ya ujenzi dodoma
Bwana Yesu asinine, tunaomba hili some like uploaded upya kama walifanya editing basi Kuna vipande muhimu sana wamevikata.
BWANA pokea sifa na utukufu
Somo zuri sana lakini kuna maeneo yamelukwa ayajaeleweka, tusaidieni tulipate somo lote
Leo muunganisho haukuwa mzuri hata kidogo.
Bwana Yesu Asifiwe Mana Ministries kwa kunyenyekea sana tunaomba somo lipostiwe tena recorded one mtandao ulikuwa mbaya sana,Na Mungu Aliye Hai Awabariki sanaa
Amen
BWANA YESU! Apewesifa namshukuru MUNGU kwa kuniponya ugonjwa wa kuwashwa na upele sasa nimepona ASANTE YESU KRISTO KWA UPONYAJI....
Dumu katika huyo YESU ALIYEKUTENDEA,, USIACHE KUMFUATA YESU
amen
Amen
AMEN AMEN AMEN
Ameen