MAOMBI YA ASUBUHI by Innocent Morris

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 мар 2022
  • Haya ni maombi ya kuomba kila siku asubuhi. Asubuhi yako anza na Bwana. Mtangulize Bwana katika siku yako, katika kazi yako, katika biashara yako, katika interview, katika safari, katika kila eneo la maisha yako.
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Page: holyspiritconnect
    Facebook Page: Holy Spirit Connect
    Contact: +255652796450 (WhatsApp)
    Instagram Link:
    / holyspiritconnect
    Facebook Link:
    / holyspiritconnect
    RUclips Link:
    / holyspiritconnect

Комментарии • 1,8 тыс.

  • @laithkavishe8881
    @laithkavishe8881 Год назад +9

    Nakukabidhi mipango yangu yote maisha yangu biashara yangu uchumi wangu ukanionekanie yesu unifanye niwe chombo Cha aman Yako Amina ktk jina la yesu 🙏🙏🙏🙏

  • @mariachengula5166
    @mariachengula5166 8 месяцев назад +3

    Bwana Yesu unitunze na kunilinda pia ukaitawale siku hii yaleo

  • @linahminde8965
    @linahminde8965 2 дня назад

    Bwana Yesu nakukabidhi siku hii ya leo . Nakuomba nikaone wema wako, tangulia Mbele yangu nitokapo na niingiapo, ukatawale biashala yangu nikapate hela Nitavyotoka nisiludi hivyo, naomba pia ukanikitanishe na watu sahihi . Asubuhi ni ya baraka, mchana Ni wa baraka, jioni ni ya baraka,na usiku wangu uwe uwe baraka. Siku hii ya leo ni ya baraka. Mabaya hayatanipata siku ya leo. Bwana Yesu linda maisha yangu, linda familia yangu yote, watoto wangu Jonas na Victor. Mama yangu na baba yangu. Na ndugu zangu wote Kaka Jerome kateguo mitego yote mbele yake tawala maisha yake. Ktk damu ya Yesu Kristo aliye hai. Amina Amina Amina.

  • @florencehaluwa2191
    @florencehaluwa2191 19 дней назад +1

    Bwana yesu ninakushukuru siku hii ya leo ambyo umenijalia nami nkukabidhi maisha yangu yote ukatawale.kazi yangu ndoa yangu family yangu yote naileta kwako bwana

  • @victorakwata3497
    @victorakwata3497 Год назад +7

    Baba siku hii ya Leo naikabadhi mikononi mwako kila mipango juu ya maisha ,kazini Mungu ukaifanye kuwa siku ya furaha juu ya maisha yangu uniongoze siku ya Leo nikaone wema wako juu maisha yangu pamoja na familia yangu Amina🙏🙏🙏🙏🙏

  • @DaimaLugala-ij1or
    @DaimaLugala-ij1or Год назад +6

    Asante Bwana Yesu kwa siku hii ya leo. Ninaikabidhi mikononi mwako nikatembee na wewe. Mlinde mume wangu, walinde watoto wangu katika jina la Yesu kristu. Mlinde na mtumishi huyu azidi kutuongoza katika njia ikupasayo
    Amina

    • @abuungoda-tq9jo
      @abuungoda-tq9jo 11 месяцев назад

      Ameen

    • @estherwanjirukanyori4485
      @estherwanjirukanyori4485 9 месяцев назад

      Amen bwana lda watoto wangu baba wakoboe katika video visasi waokoe

    • @florankuene2519
      @florankuene2519 3 месяца назад

      Amen Amen nakabidhi maisha yangu kwako,Nionekanie MUNGU baba yangu,nitie Nguvu wakati kaa huu napitia majaribu mingi..Nionekanie MUNGU..Rinda watoto wangu. Rinda family yangu..Rinda Hùu Mutumishi wa MUNGU,Onekania watu wote ndunia mzima Amen..Jina lako litukuzwe baba yetu wa binguni Amina..

  • @EmmyPhilimon
    @EmmyPhilimon 15 дней назад +1

    Asante bwana yesu katika sku ya leo ukaitawale ukanisaidie kutimiza yote nkuombayo Bwana Yesu ninakuomba katika huu mwez mpya tunaouanza leo ninakuomba ukawe pamojaa na mimi pamoja na family yangu ukatulinde kama neno lako lisemavyo emen

  • @norbertbaijukya5857
    @norbertbaijukya5857 Месяц назад +2

    Ee Bwana Yesu Kristu mwana wa Mungu nihurumie mimi mkosefu.
    Naleta mitihani yangu yote, kazi zangu zote, mipango yangu yote. Naomba kuona nguvu na wema wako.
    Ee Bwana Yesu ninakushukuru.

  • @rizikinibale6748
    @rizikinibale6748 Год назад +3

    Namimi na kuitaji bwana YESU unapo zuru wengine na mimi nahomba unikumbuke AMEN AMEN 🙏

  • @sweetluc2660
    @sweetluc2660 2 года назад +5

    Asante Bwana Yesu kwa ajili ya siku hii Leo ukanitangulie kwa kila jamabo Ameeen

    • @anusiathandunguru7527
      @anusiathandunguru7527 2 года назад

      Asante bwana yesu kwaajili ya siku hii yaleo ukanitangulie kwa kila Jambo Mimi na watoto wangu

    • @VeronicaMilanzi
      @VeronicaMilanzi 9 месяцев назад

      ​@@anusiathandunguru7527¹109QQ¹

  • @amjedsalam2856
    @amjedsalam2856 6 месяцев назад +2

    Bwana yesu asifiwe nakabidi siku ya leo mikonon mwako ikapendeze machoni nakabidi familia yangu mikonon mwako nakataa maisha ya ufukara ukasema hatakama itachukuada lakini kwa ahadi zako utatenda amen

  • @MutambalaSelemani
    @MutambalaSelemani 19 дней назад +1

    yesu tanguliya mipango yangu yote juuyasiku yaleo nakukabizi bwana vitu vitu vyote jumuchana wote waleo ukaonekane yesu nikauone wema wako

  • @fuziakally7581
    @fuziakally7581 Год назад +5

    Mungu nakushukuru kwa kuniamusha mzima wa afya najua Baba utaendelea kunilinda kwa siku njema ya leo,baraka zako Baba nazipokea niepushie maovu mabaya Baba katika jina lako Bwana AMEN 🙏🙏🙏

    • @HolySpiritConnect
      @HolySpiritConnect  Год назад

      Ameen

    • @luludiviyajuma2107
      @luludiviyajuma2107 Год назад

      Ukanitawale bwanh yesu

    • @user-qb8bh9lm9h
      @user-qb8bh9lm9h 7 месяцев назад

      Mungu wangu nakuomba bwana ukaniongoze na ukafungue maisha yangu ,pia ukaniepushe na maadui wanaoniandama katika jina la,yesu

  • @stephaniepayet9161
    @stephaniepayet9161 2 года назад +6

    Nime barikiwa na maombi haya ubarikiwe Amen

  • @angelinajohn7303
    @angelinajohn7303 Год назад +2

    Nilinde bwana yesu ukawabariki watoto wangu ukawafunike kwa damu ya yesu

  • @VELENARWEBUGISA
    @VELENARWEBUGISA 3 дня назад

    Asante bwana yesu nakukabidhi amani yangu,familia yangu na watoto ,kazi zao na masomo yao kuanzia asubuhi mchana na jioni iwesiku njema kwa baraka

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Год назад +6

    Ameen Neema ya Bwana wetuYesu Kristo. ikawe pamoja nami siku ya leo

  • @estaraberd1245
    @estaraberd1245 Год назад +5

    Bwana yesu achilia Neema yako ikawe juu yang, nikatende sawasaw na neno lako nikashinde zambi🙏🙏

  • @VELENARWEBUGISA
    @VELENARWEBUGISA День назад

    Bwana yesu, na sema asante kwa siku hii ukae pamoja na tangu asubuhi mchana na jioni ukanizingile ukanitangulie ,na watoto na familia zao malengo yangu na kukabidhi bwana yesu

  • @HaluwaChristopher
    @HaluwaChristopher Месяц назад

    Bwana yesu nakukabidhi siku hii ya leo mipango na kazi zangu nakukabhi wewe familia yangu yote naikabidhi kwako utulinde tutokapo na tuingiapo amen

  • @christandosi9472
    @christandosi9472 Год назад +3

    BWANA YESU katawale kwenye mipango yangu mm nawatoto wangu ukituepusha na hila zote za yule mwovu Ameeen🙏🙏🙏

  • @emeldabituro1328
    @emeldabituro1328 Год назад +4

    Asante sana kwa maombi Bwana Yesu aendelee kukutunza mtumishi wake Amina 🙏

  • @victoriashelutete
    @victoriashelutete Год назад +2

    Asante yesu kupitia maombi haya nimeponywa kwa kila kitu 🙏🙏🙏🙏

  • @rehemamasanja8875
    @rehemamasanja8875 15 дней назад

    Mungu nakuomba unitangulie siku hii ya leo ukawe mbele yangu kwa kila hatua nitakayoipiga. Naomba ukanionekanie katika siku hii ya leo na ukanionekanie ktk jina la Yesu Kristo, Amen.

  • @mourineanyango2082
    @mourineanyango2082 Год назад +3

    Asante Yesu Kwa siku ya Jehovah 🙏 nakukabidhi wanangu mikononi mwako chochote watakachokigusa Bwana wa Majeshi ukitakaze nakukabidhi wazazi wangu wakomboe Yesu katika jina la Yesu 🙏🙏🙏

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 Год назад +32

    Ahsante Bwana Yesu kwa ajili ya maombi haya, ukamlinde Mtumishi wako na umbariki kadri ya mapenzi Yako Amen.

  • @elizabethkaonga2552
    @elizabethkaonga2552 10 месяцев назад +1

    Bwana yesu unilinde siku ya leo ninakataa mabaya siku yaleo funika kila eneo la maisha yangu dam ya yesu itende kazi juu yangu.nafuta mipango juu ya aduwi kwa dam ya yesu kristo🙏🙏

  • @emiltonndanshau7620
    @emiltonndanshau7620 2 месяца назад

    Bwana Yesu nakuomba ukanilinde mimi na familia yangu na chochote ulichotupa.Amen.

  • @alyndaalynda6184
    @alyndaalynda6184 Год назад +4

    Bwana yesu kristo naakukabidhi kila kitu katika maisha yangu ukatawale wewe na uhishi ndani yangu sikuzote za maisha yangu Amina 🙏🙏🙏

    • @asilakagambo
      @asilakagambo Год назад

      Kila mipango aliyoipanga kwa ajili yangu na uzao wangu ikatimie

  • @happnessriwa9222
    @happnessriwa9222 Год назад +7

    Bwana yesu nakukabidhi njia zangu nakukabidhi maisha yangu nakukabidhi mtoto wangu nakukabidhi mume wangu nakukabidhi biashara yangu nakukabidhi mdogo wangu nakukabidhi dada zangu nakukabidhi kaka yangu

    • @christinamafera8025
      @christinamafera8025 Год назад

      Bwana nakukabidhi nyumba yangu uniletee mteja was kuinunua kwa Bei ninayoitaka.. Amina

  • @HeleneJoyceCongo
    @HeleneJoyceCongo Месяц назад

    Bwana yesu nakukabidhi mipango yangu nakukabidhi biyashara yangu nakukabidhi afya yangu nakukabidhi familiya yangu baba yangu mama yangu kaka zangu dada zangu na ndugu zangu uwalinde bwana yesu sikuyangu iwe yenye furaha naomba bwana yesu uwajaliye piya waliyo na madeni yangu naomba leo iyi wanilipe 100.000$ katika jina layu christo ashiya neema yako iwe juu yangu

  • @feddymwanga5462
    @feddymwanga5462 Месяц назад +1

    Bwana Yesu Nikaone wema wako katika maombi yetu yamiradi

  • @jacklinenatocho2443
    @jacklinenatocho2443 2 года назад +9

    Asante Bwana Yesu kwa kuniamusha salama mimi pamoja na familia yangu. Asante Yesu siku hii ninakukabidhi wewe ukatawale. Amen

  • @theresiagisberth6197
    @theresiagisberth6197 Год назад +4

    Hallelujah hallelujah nakukabidhi kila mpango nilioupanga naamini nakwenda kuuona mkono wako Elishadai, siku ya Leo ikawe ya tofauti kwangu katika jina la Yesu Kristo Amina.

  • @joyceshirima207
    @joyceshirima207 9 дней назад

    Bwana yesu nakukabidhi siku yangu ya leo na unikumbuke kweny biashara yangu ,kazi zangu na afya yangu na uwe mlinzi wangu kila niendako

  • @eliurumamollel5940
    @eliurumamollel5940 7 месяцев назад +2

    Bwana yesu nakukabidhi siku yangu ya leo Aminaaa

  • @biasharaathumani6363
    @biasharaathumani6363 2 года назад +4

    Bwana Yesu nimechoshwa na madeni bwana naomba nipokee bwana Yesu.bwana Yesu kila mipango ya maaduwi waliyo nipangia bwana Yesu nakukabidhi wewe sikuhii yaleo nikamuone wema wako nikauone utukufu wako sikuhii yaleo ikawe ya furaa kwangu beans Yesu bwana Yesu Katka jina la Yesu Kristo Alie hai siku yote ukatawale bwana ikawe siku mzuri kwenye ndoa yangu ikawe siku yakicheko kwangu siku hii yaleo ikawe siku yakicheko kwangu nikapokee kicheko kwangu bwana

    • @madamtedyjoseph9175
      @madamtedyjoseph9175 Год назад

      Aminaaa

    • @gatimwita2865
      @gatimwita2865 Год назад

      @@madamtedyjoseph9175 Amina NAMI nakataa mabaya na familia yangu yesu atuponye Mimi nipo mishen Kongo nawapats familia yangu ipo kibaha kwa mfipa wabarikiwe ingawa mwezi wa Tano mwaka huu nimempoteza mume wangu yesu anitetee kwayote mahitaji mume w as ngu as lejee k as ni adui alief as my as hivyo kwa mazingil as magu Mani ya watu w as mungu y as naleta majibu katik as ka jun as la yesu wanangu wa f as nikiwe kupata as kazi emanuer na deus magrety afauru mitihani yake na kuwa Ta nz as Nia one darasa la saba amen mungu mwema amen

    • @veronicamajaliwa608
      @veronicamajaliwa608 Год назад

      andika Bwana Yesu kwa herufi kubwa

  • @beatricechepkurui9161
    @beatricechepkurui9161 Год назад +4

    Amen 🙏 please pray for me and my family god bless you all

  • @aminarajab1045
    @aminarajab1045 26 дней назад

    Sikuyaleo nisiku ya baraka ikawe nuru nawatoto wangu nawazee wangu ukatutangulie kwa mema utuonfoelee mabaya yote mbeleyetu tukawabaraka tukawe nuru fungua milango yabaraka tunakukabidhi tawala sikuyahii yaleo uchumi mashambayetu biasharazetu kazizetu dukalangu ndoa yangu tawala yesu kriato Ameeen

  • @yvonneyvonneyvonne
    @yvonneyvonneyvonne Год назад +2

    Amen mungu nijibu haja ya moyo wngu unijibu baba 😭 ndoa yngu hikarundi kwa damu ya yesu

  • @bonheurwikendjamusambya3131
    @bonheurwikendjamusambya3131 Год назад +3

    Namkabizi bwana njia yangu, namkabizi bwana mawazo yangu yote,Amen🙏🏻🙏🏻

  • @kissamwamunyange1018
    @kissamwamunyange1018 Год назад +8

    Ameeen kila siku siachi kusali hii sala. Ubarikiwe Sana Mtumishi wa MUNGU BABA 🌹

    • @HolySpiritConnect
      @HolySpiritConnect  Год назад

      Ameen

    • @annekombo6945
      @annekombo6945 Год назад

      Mchungaji nikitaka kukupata live na fanyaje

    • @theresiajohnmrimbo9446
      @theresiajohnmrimbo9446 Год назад

      Ameeen

    • @lewynelusia4197
      @lewynelusia4197 Год назад

      amen kazi yangu iwe njema na boss wangu anirenee katika jina la yesu na familia yangu na mipa go yangu ifanikiwe nistoke saudi mkono mtupe mungu nakutegemea amen amen 🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽🙏🏽 i

  • @davdNyika-qh4qb
    @davdNyika-qh4qb Год назад +2

    Nakushukuru MUNGU kwaneema thako juu yangu pia nafamilia thangu YESU nasema ansate Baba yangu neema zako

  • @naptaioltetia1659
    @naptaioltetia1659 Месяц назад

    Bwana yesu nakukabidhi Kila kitu kwangu asubuhi ya Leo unilinde na familia yangu .amen

  • @joycewairimu7050
    @joycewairimu7050 Год назад +12

    Evangelist Innocent be blessed.thank you for morning prayer 🙏 Amen

  • @biasharaathumani6363
    @biasharaathumani6363 2 года назад +8

    Bwana Yesu ninakataa mabaya kwajina la Yesu Kristo ninakataa mabaya siku yaleo ninakataa kukataliwa ninakataa mabaya yote kwangu siku hii yaleo niku njema kwangu Yesu ninakukabidhi Maisha yangu beans Yesu ukanilinde usiku namchana Linda familia yangu Linda ndoa yangu mlinde mumewangu bwana Yesu Linda wanangu waliopo shuleni Yesu ukafunike Katka kila eneo damu ya Yesu ukafunike ndoa yangu ukafunike mafanikio yangu damu ya Yesu ukanifunike namabaya yakila eneo bwana Yesu ukanifunike.ninafuta mipango mibaya ambayo aduwi amepanga zidi yangu ninaenda kuifuta kwadamu ya YESU kristo

    • @orestangassalah7416
      @orestangassalah7416 Год назад

      amen

    • @mtanyattapeter
      @mtanyattapeter Год назад

      Yus nahonba ubarik kazi zang ufungue mirango ya kaz kupitia mahonbi Aya bwana hongez kipato changu

  • @hamisichande8417
    @hamisichande8417 2 месяца назад

    Bwana yesu nakukabiz siku hii yareo uwe urinzi wangu kwakuwa ufarume niwako nanguvu ata milele amin

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +2

    Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi nitangulie siku hii yote amen

  • @winifridarutaindurwa182
    @winifridarutaindurwa182 Год назад +4

    Amen. Leo ni siku njema nitauona wema wa BWANA Yesu Kristo.

  • @gloryshirima5093
    @gloryshirima5093 Год назад +12

    Siku hii ya leo ni siku ya baraka na uponyaji kwangu, nakataa mabaya,naomba ulinzi kwangu kwa mtoto wangu na mume wangu ulinzi kwenye kazi yangu. Amen

  • @flookelo7450
    @flookelo7450 Год назад +2

    nakabidhi siku nzima afya maisha watoto wetu wanaosoma mitihani wanayoifNya tawala yesu

  • @BuzakeYvonne-cc4ge
    @BuzakeYvonne-cc4ge Месяц назад +1

    Bwana yesu christo na kushukuru kwa wema wako asante kwa pomzi mpya natagaza amani salama katika mambo yote nakata mabaya yote kwangu natangaza ushundi katika mambo yote Amen.

  • @Grace.67
    @Grace.67 11 месяцев назад +5

    AMEN. GLORY TO GOD 🙌

  • @favourkerubo2368
    @favourkerubo2368 Год назад +8

    How good it is to start with Him the Creator and finish with Him thru prayer,Hallelluyah 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Asante BWANA YESU nilinde siku hi yote mlinde na mtumishi wako mubariki amen

  • @esthernchimbi593
    @esthernchimbi593 29 дней назад

    Naomba. Baraka zako zikawe juu yangu na watoto wangu wajukui na mume wangu kwa jina la Yesu kristo amen

  • @official__witty9417
    @official__witty9417 8 месяцев назад +4

    Ninakubidhi maisha yangu,wazazi wangu,wadogo zangu,ndugu zangu,masomo yangu,mitiani yangu,afya yangu mungu wangu wa mbinguni utatatenda kwa jina la yesu krisho 🙏

  • @evilahmponzi2768
    @evilahmponzi2768 Год назад +38

    Bwana Yesu nakukabidhi siku ya Leo,Naomba nikauone wema wako,tangulia mbele yangu katika kila hatua Ongoza maisha yangu,Naomba Leo ikawe siku njema kwangu ikawe siku ya furaha amani na kicheko kwangu nikauone ukuu na utukufu wako kwangu,kibali chako na upendeleo wako vikawe nami Leo Kwa jina la Yesu ,,Nakataa mabaya yote na ninafunga mabaya yote Kwa jina la Yesu kristo Nakataa taalifa mbaya kwangu Nakataa hasara Nakataa machozi ya huzuni usoni mwangu,,,Leo ni siku njema Bwana umeifanya nami naishangilia na kuisherehekea Kwa jina la Yesu

  • @user-pw3xm2bp8p
    @user-pw3xm2bp8p Месяц назад

    Bwana yesu ukatawale siku yangu zima ya leo bwana yesu tawala familia yangu yote kwa jina la yesu kristo🔥🙏

  • @anniebonny3797
    @anniebonny3797 Месяц назад

    Bwana Yesu ukaonekane Leo kwenye maisha yangu, kwa watoto wangu, kwa kazi zangu, Inuka eeh Bwana wa majestic unishindie.. Kwenye mipango yangu nikakuone kwa jina LA Yesu

  • @Ann-dr6ud
    @Ann-dr6ud Год назад +6

    Amen 🙏 May God bless you

  • @vanemomanyi6808
    @vanemomanyi6808 2 года назад +4

    Napokea katika Jina la yesu, AMEN 🙏🏽 Mungu awe nawe pia ,asante Kwa maombi Mungu awe nawe siku zote za Maisha yako yote Na kila mmoja ambaye ataye skiza maombi Aya katika Jina la yesu kristu Wa NAZARETH, AMEN🙏🏽🙌 thanks to God 💪🙌🙏🏽🤲🤲🤲

  • @cornelius7697
    @cornelius7697 2 месяца назад

    Bwana Yesu nninakushukiru Kwa kuniruhusu kujumuika na wanao wakupendao Kwa siku hii ya Leo naomba siku hii ya Leo ukaitawale Bwana Yesu sababu nimekukabithi wewe kuachilia ajira Kwa wale hawana kazi 🙏🏻🙏🏻

  • @medinahsamita3981
    @medinahsamita3981 9 месяцев назад

    Bwana yesu nakukabithi yangu kwako unlinked pamoja na family yangu wakimo watoto wangu uzidi kubariki wafunike na damu yako takatifu naomba umuondoe shetan muovu anaengilia masha yangu🙏🙏🙏🙏🙏🤲🤲🤲🤲🤲amina

  • @agnesmatakwe5084
    @agnesmatakwe5084 Год назад +7

    Ameeeen Pst 4 the good morning prayer it makes my day to start with peace and end with peace 🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼🙏🏼

  • @pst.johnchegere6233
    @pst.johnchegere6233 Год назад +5

    Wow that's a great song

    • @nicodemianarose5216
      @nicodemianarose5216 Год назад +1

      Mungu akubari Mtumishi tumeuona mkono wa Bwana kupitia maombi yako barikiwa sana

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Asante BWANA YESU nitangulie siku hii yote kanilinde mulinde mtumishi wako mubariki katika huduma yote amen

  • @user-tl2xd3jb2i
    @user-tl2xd3jb2i 2 месяца назад +2

    Asante Bwana wet yesu kristo Kwa ulinzi wako umetuamusha salama mm na familia yangu hivyo naomba hata siku ya Leo tuwe pamoja nawe na katika biashara yangu pia naiweka mikononi mwako na mipango yangu yote ninakukabidhi ww Amina

  • @adelamsuya7063
    @adelamsuya7063 Год назад +6

    God is good 🙏🙏

  • @madoramadhani7622
    @madoramadhani7622 Год назад +6

    Amen🙏🙏 Gloire à Dieu 🙏🙏

  • @JofreyDamson-nm6ec
    @JofreyDamson-nm6ec 9 дней назад

    Bwana yesu naomba niongoze Siku yaleo niimalize salama kwajina layesu

  • @catherinejosephs7217
    @catherinejosephs7217 Год назад +1

    Mungu baba nakushukuru kwa neema na baraka zako kila cku iitwayo Leo.Nashukuru kwa maombi ya asubuhi kupitia Mchungaji wako.Amen

  • @fridabisama2615
    @fridabisama2615 Год назад +22

    Leo nilianza na maombi ya asubuhi. Kweli nimeona faida ya kuanza na maombi. Siku ya leo nimebarikiwa kila idara! Nimemuona Bwana akitenda mambo makubwa na yasiyo wezekana katika hali ya kawaida 👏

    • @joycealoyce3711
      @joycealoyce3711 Год назад +1

      Amen Amen usiniche ukawe Nani pamoja na familia yangu🙏

    • @janethshimbi906
      @janethshimbi906 Год назад +1

      skuya yareo itakua yabaraka kwangu

    • @janethshimbi906
      @janethshimbi906 Год назад

      Bwana yes usini ache uwe murinzi wangu kwenye kazi yangu na biashara na uchumi wangu naafya yangu ukani pake damu ya yes nabaraka zake

    • @pamelasekule2552
      @pamelasekule2552 11 месяцев назад

      ​@@janethshimbi906😅😊😊😊😊😊😊😊

    • @VeronicaMilanzi
      @VeronicaMilanzi 10 месяцев назад

      Bwana yesu ukawe baraka kwangu siku ya leo

  • @carolynekarani4285
    @carolynekarani4285 Год назад +3

    Amen in Jesus Christ name thanks

  • @emiltonndanshau7620
    @emiltonndanshau7620 Месяц назад

    Katika jina la Yesu Kristo naomba Bwana ukatawale siku ya leo nikapokee baraka katika maisha yangu na familia yangu.

  • @user-ct5pz9sw8o
    @user-ct5pz9sw8o Месяц назад

    Baba katika jina la yesu nakabiz maisha yang mikonon mwako nakabizi wanangu wazaz wang ndugu zangu hakuna linaloshindikana kwako kwa kuwa naamin utatenda miujiza amen

  • @musewerema1223
    @musewerema1223 10 месяцев назад +6

    Bwana Yesu, nakukabidhi siku ya Leo unikumbuke nami. Katika biashara yangu, kazi yangu, afya yangu, watoto wangu, ndugu zangu, mume wangu, siku ya leo bariki mipango yangu. Iwe ni siku ya baraka, kicheko, amani, furaha na neema tele. 🙏

  • @bestinamafipa2002
    @bestinamafipa2002 Год назад +3

    Ameeeeen . Stay blessed man of God.

    • @annakosta2789
      @annakosta2789 Год назад

      Asante bwana kwa siku hii ya Leo njema uliyoifanya

  • @cornelius7697
    @cornelius7697 Месяц назад

    Bwana Yesu nitangulie kwa kila kitu siku hii nzimakuazia asubuhi mchana jioni usiku siku hii ya leo ikawe siku ya baraka kicheko

  • @user-pw3xm2bp8p
    @user-pw3xm2bp8p Месяц назад

    Bwana yesu tawala Afya yangu
    Bwana yesu ninakukabizi siku yangu maisha yangu mpango yangu yote kwa jina la yesu kristo 🔥🔥🙏🙏

  • @reginaldipeter2272
    @reginaldipeter2272 2 года назад +6

    Halleluyah Halleluyah Halleluyah Ayubu 38:12-13,22:28 zaburi 5:1-8,37:5,23.YEHOVA SHALOM=Waamuzi 6:20-24

  • @neywencie7151
    @neywencie7151 Год назад +3

    Thank you servant of God

  • @magrethlukandamila-mx4wy
    @magrethlukandamila-mx4wy 4 месяца назад

    Bwana yesu unilinde mimi na watoto wangu na kazi yangu na chochote ukichoweka mbele yangu,Na ninakataa Mabaya yite yakiyopangwa jwangu na watoto wangy, Mena gite uliyo yakusudia jwanfu tatumie

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi naomba katika siku hii yote ukatawale

  • @neemafrancis2487
    @neemafrancis2487 Год назад +4

    Amen Amen.

  • @nicodemianarose5216
    @nicodemianarose5216 Год назад +3

    Ameeen

  • @annaymakala4508
    @annaymakala4508 6 дней назад

    Bwana Yesu nipe neema ya kutenda sawa sawa na neno lako

  • @neemashirima6121
    @neemashirima6121 Год назад

    Siku hii ya leo ikafanyike baraka katika maisha yangu naomba ulinzi kwa familia na kwa mtoto wangu Heavenlight na familia ya mdogo wangu kalista na uzao wake bwana Yesu ukumbuke uzao wake majaribu anayopotia Yesu ukayageuze kuwa baraka kwake Bwana Yesu .Namweka na Hellen kwa jina la Yesu kumbuka na afya yake.ameni.

  • @hdhdhdhdhdh3264
    @hdhdhdhdhdh3264 2 года назад +6

    Amen🙏🙏🙏

  • @salomelotah7907
    @salomelotah7907 2 года назад +4

    Amen 🙏🏼🙏🏼

  • @DorcusSaul-wv9rd
    @DorcusSaul-wv9rd Месяц назад

    Amen Amen 🙏🙏🙏,, Bwana ukaifanye siku hii ya leo iwe ya baraka kwangu pamoja na familia yangu,,, nakataa mabaya yes te katika maisha yangu Jehova,,,,,

  • @aidaandrea-bp1tq
    @aidaandrea-bp1tq Год назад +2

    Mungu Linda afya ya familia yangu! Bwana Linda biashara zangu!

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Asante BWANA YESU kwakua pamoja namimi usiku huu wote umeniepusha namengi Asante

  • @suzanalyatuu6074
    @suzanalyatuu6074 Год назад +1

    Bwxna Yesu naomba unitangulie ktk kila eneo la maisha na familia yangu Eeemen

  • @user-tq9pj6du5r
    @user-tq9pj6du5r 7 месяцев назад

    Nakukabidhi bwana yesu sikuhii yaleo ikawe yenye neema nabalaka kwenye kazi yangu nafamilia yangu Amina

  • @sipriannatarimo2246
    @sipriannatarimo2246 2 дня назад

    Siku yangu ikawe njema na nikalindwe na Mungu na akawe pamoja nami akaondoe mabaya yote

  • @adelambaye1298
    @adelambaye1298 Год назад +1

    Nakushukuru BWANA YESU kwa kuniamsha salama kamlinde mtumishi wako mubariki amen

  • @LevinaSlivanus
    @LevinaSlivanus 3 месяца назад

    Naomba ulinzi siku yaleo juu yawanangu, mahusiano yangu maisha yangu, kiumbe changu nilichokibeba, na family yangu, na mume wangu Yusuph 🙏🙏🙏🙏🙏

  • @joycembeva2252
    @joycembeva2252 11 месяцев назад +1

    Bwana yesu nilinde ,watoto wangu linda mume wangu Hempstone.Linda wazazi wangu. Linda ndoa yangu. Linda ndungu wangu wote

  • @justinamrema7255
    @justinamrema7255 9 месяцев назад

    Bwana Yesu nakukabidhi maisha yangu na ya familia yangu Kwa jina la Yesu kirsto