REV. DR. ELIONA KIMARO: LISIKIE NENO LA MUNGU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 30

  • @jerubetjoan20
    @jerubetjoan20 9 месяцев назад +1

    Asante Mungu kwa kuniunganisha na madhabahu huu.

  • @jaspinbrasio674
    @jaspinbrasio674 10 месяцев назад +1

    Mungu anisaidie na anilinde nisiwe na mashaka juu ya Imani yangu...Amen

  • @francescammari5337
    @francescammari5337 10 месяцев назад

    Nisaidie nisiwe na mashaka kwa kazi militiaman
    Asante Yesu na mtumishi wa Mungu Dr Kimaro kwa kunitia nguvu

  • @deboramhanga914
    @deboramhanga914 10 месяцев назад

    Yaani mchungaji hakika mungu aendelee kukutumia kuponya nafsi zetu nabarikiwa mno

  • @Jackson-br2km
    @Jackson-br2km 10 месяцев назад +1

    Hallelujah 🎉😊kweli ninaweza umeniinua katika mashaka yangu amen amen amen❤❤

  • @alex_vincent
    @alex_vincent 10 месяцев назад +1

    Hallelujah

  • @zainabujumarajabujumarajab8260
    @zainabujumarajabujumarajab8260 10 месяцев назад +2

    Mtumishi naomba kujua redio Gani unatumia na tivii steshen I Gani baba msaada mmi mgeni

  • @dainasapali9822
    @dainasapali9822 10 месяцев назад

    Mungu nisaidie kuishika Imani yangu nisije nikanyang'anywa na mwovu shetani. Nilishabatizwa, nisibatizwe tena na hizo soda zao.

  • @rahabnkya8276
    @rahabnkya8276 10 месяцев назад

    Human resistance! Ukinzani! Bwana Yesu NISAIDIE ili nisiwe mashaka ktk jambo ninaloliendea mwaka huu. AMEEN.

  • @ChristineNeema-s4h
    @ChristineNeema-s4h 10 месяцев назад

    Amina

  • @sylviachikwindo7263
    @sylviachikwindo7263 10 месяцев назад

    Àameen

  • @JaneMwacyego
    @JaneMwacyego 10 месяцев назад

    Barikiwa baba

  • @Paschalnyambo
    @Paschalnyambo 10 месяцев назад

    I agree

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 4 месяца назад

    Lisikie Neno laMungu Jeremia Frank Isowe.

  • @furahamtweve4222
    @furahamtweve4222 10 месяцев назад

    Amen

  • @jeremiaisowe4443
    @jeremiaisowe4443 4 месяца назад

    2 wafalme 7:1-2

  • @chloecallie3619
    @chloecallie3619 10 месяцев назад +2

    Na Mimi niliona Baba Mchungaji. Watu wanapita chini kwa kutambaa kama watoto. Mungu atusaidie

  • @EnockKombolela-f7x
    @EnockKombolela-f7x 10 месяцев назад

    Mchungaji ubarikiwe KWA neno lime ni bariki

  • @DeusdeditMichael
    @DeusdeditMichael 10 месяцев назад

    HAYO SI MAKANISA YA YESU KRISTO, BALI NI MAHEKALU YA SHETANI.
    HIVYO USIYAITE MAKANISA.
    MARKO 16:16
    KWA JINA LANGU WATATOA PEPO....(HATUTUMII VITU TENA)

  • @IreneLyse
    @IreneLyse 10 месяцев назад

    I can I must I will to be a preacher

  • @IreneMtoto-un5lg
    @IreneMtoto-un5lg 10 месяцев назад

    Kweli mtumishi mambo ya kushangaza mdada mzima anatolewa nguo mbele ya madhabahu eti anaoshwa dhambi hii ni aibu kubwa wanadhalilisha wakristo

  • @naeema8155
    @naeema8155 10 месяцев назад +2

    Mimi nimekomenti huko face book huyo mtumishi kaniambia unatakiwa utoe elfu 10000 ya watoto yatima utume na picha ya mwenza wako majina yako matatu na picha yako na namba yako ya simu nimeshindwa kuelewa ni mambo gani haya

    • @samsonisaack5145
      @samsonisaack5145 10 месяцев назад +1

      Kuwa macho

    • @jacksonpallangyo1369
      @jacksonpallangyo1369 10 месяцев назад +1

      Mtafute tapeli wako bhna...uyo baba wawatu hajawai kutangaza kua na uduma iyo

  • @fleviahella9818
    @fleviahella9818 3 месяца назад

    Chcvdyryh
    Ordhifj

  • @SeluyaPhilimon
    @SeluyaPhilimon 10 месяцев назад

    Dada haonimawakala wa shetani haiwezekani kabisa ukavuliwa nguo madhabauni eti unabatizwa hata kwa sili haiwezekani ndugu soma neno la Mungu

  • @MaryMremi-x3u
    @MaryMremi-x3u 10 месяцев назад

    Amen

  • @winchriss9418
    @winchriss9418 10 месяцев назад

    Amen

  • @AminaKaywanga-qb2pb
    @AminaKaywanga-qb2pb 10 месяцев назад

    Amen