Ahsante YESU Ahsante YESU Ahsante YESU nipo kwa kusudi la kimbingu nisaidie Yesu kama ulivyomjalia somo hili na namna ya kulifundisha nijalie kufika kule MUNGU umenitimizia.Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. .. hakika nikijifunza naona sijajua bado hakika Mungu amekykusudia kwajili ya wengi........Mungu anisaidie kuyashika na kuyatendea kazi siku moja ikawe ushuhuda
Baba mchungaji kimaro MUNGU Azidi kukutunza na kukuinua zaidi na zaidi, hakika kupitia ktk mahubiri yako nabariki sana ki IMANI ,umenitoa mbali sana Baba
Amen. Nimebarikiwa sana na mahubiri yako, barikiwa sana mtumishi wa Mungu moyo wangu umezidi kujawa na kiu ya kuomba, Mungu wa mbinguni ailinde Imani yangu nahii kiu isiondoke
Ufunuo mkubwa Sana baba 🤔✍️barikiwa Sana Sana na uinuliwe zaidi Asante kwamafundisho mazurii 🙏🏼🙏🏼
Ahsante YESU Ahsante YESU Ahsante YESU nipo kwa kusudi la kimbingu nisaidie Yesu kama ulivyomjalia somo hili na namna ya kulifundisha nijalie kufika kule MUNGU umenitimizia.Barikiwa sana mtumishi wa Mungu
Barikiwa xna mtumishi mahubir yko huwa nikiyasikilza napata aman xna natua mizigo
Ahsante kwa mahubiri mazuri
Mungu azidi kukuinua
God protect this servant He is a good teacher
Baba kuna mahali umenitoa na kunipeleka eneo sahihi juu yakuwa mwombaj Mungu akubariki kwa somo la ombeni nanui.mtapewa
Amina
baba mchungaji, mwakani mwezi Kama huu nitakuja kanisani na kutoa ushuhuda in Jesus name
Nimebarikiwa mungu wangu anikumbuke
Mungu anatafuta mtu, ni MIMI, na mwaka kesho majira kama haya, nitakuja kutoa ushuhuda, kwa jina la Yesu.
Nakuombea iwe ivo 🙏
Ni Mimi mtu uyo Mungu naomba niongoze
Amina
Mungu akubariki mtumishi wa Mungu naomba upako kama Huo wako Mimi Ni mkatoliki.
Amen mtumishi wa mungu, mungu azidi kukufunulia zaidi tuzidi kupokea kutoka kwako Amen
Umelelewa kitakatifu mtumishi WA Mungu, Mungu awabaliki wazazi wako
💯🖐🏾
Hallelujah naomba kibali ya kuomba bila kuchoka
Barikiwa sana mtumishi wa Mungu. .. hakika nikijifunza naona sijajua bado hakika Mungu amekykusudia kwajili ya wengi........Mungu anisaidie kuyashika na kuyatendea kazi siku moja ikawe ushuhuda
Asant san mtumish wa mungu na mungu akupe neem ya teli🙏
Ameni mtumishi wa Mungu. Nabarikiwa sana, pia naongezeka kiroho
😅😅😮😅😅😅😅
Amen🙏
Mungu ananitafuta mimi.Kwa uwezo wake nami nitakuwa.
Naamini kipo nilichokibeba,kinaenda kutimia sasa kwa jina la Yesu🙏🏽🙏🏽
Baba mchungaji kimaro MUNGU Azidi kukutunza na kukuinua zaidi na zaidi, hakika kupitia ktk mahubiri yako nabariki sana ki IMANI ,umenitoa mbali sana Baba
Ahsante mtumish wa mungu ni mimi hapa from Kenya
Hallelujah
Amen.
Mungu akumbariki zaidi na kupe more grace nimekufuatilia sana mafudisho na ushuhuda napata neema mingi na nguvu ya kuendelea from Kenya
Ufunuo mkubwa sana ubarikiwe
Amen. Nimebarikiwa sana na mahubiri yako, barikiwa sana mtumishi wa Mungu moyo wangu umezidi kujawa na kiu ya kuomba, Mungu wa mbinguni ailinde Imani yangu nahii kiu isiondoke
I'm really blessed 🙏🙏🙏
Asante sana BaBa
Ameen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏 nabarikiwa sana mtumishi wa Mungu na mafundisho yako. Nami nitaomba siku zote za maisha yangu.
Hapo chacha Wahaya wote wanaelewa..aaaa umenigusa
Mwez kama huu mwakan nitashuhudia kwa jina la yesu
Nabarikiwa sana ma mafundisho yako kuhani wa Mungu na nimejifunza mengi ambayo sikuyajua ubarikiwe sana
Mungu azidi kukubariki ktk kazi ya Mungu. Tunaomba Mungu azidi kutusimamisha imara ktk mafundisho ya kristu. Kristu tumaini letu.
Amina mchungaji,naomba mwishoni wasikatize maombi.
Ume nifungua sana pastor ,this was for me kabisa kuanzia leo mimi ni mpya IJN
Napokea kuhuishwa kwa jina la Yesu
Mungu annanitafuta Mimi kwa Jina la Yesu na itakua, Ameen 🙏
Baba mchungaji , nakufuatilia sanaa
amen nimebalikiwa sana mungu azidi kukupigania
❤❤❤❤
Husimtishie mwombaji🎉🎉🎉🎉
Ameen
Amina baba
Amen, Mungu akutunze sana sana Mtumishi wake🙌
This is so great ....❤ , Heavens Demand , Nashukuru sana Bwana kwa neno hili linanivusha muda huu
U b arikiwe 🎉🎉
Amina mtumishi, ubarikiwe na Bwana wa mbingu na nchi
Amina Mtumishi wa Mungu
Amen🇰🇪🇰🇪
Barikiwa sana mtumishi! Duncan Tole kutoka Kenya
Amina🙏🙏
Amen 🙏 Barikiwa baba mchungaji
Amina Bwana Maombi
Asante sana, umenibariki kwelikweli.....
"Ombeni nanyi mtapewa"
From Kenya
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Maubiri mazito yenye mshiko Barikiwa Mchungaji Eriona Kimara
Ameni mtumishi nimekuelewa
Amen amen amen.
MUNGU akutunze zaidi
Maombi ni silaha hakika
Ameeen
Ameeeeeeeen
Amen
Mchungji nina made ni nitaomba
Nakuelewa mchungaji
Barikiwa sana mchungaji 🎉where can I get the number for help
Nimebarikiwa na uhubiri wako Rev. Email address
Moyo wako ni mweupe baba maombi yako yapokewe na sisi wanao tupone
Mungu azidi kumuongoza, anasema wazi na anataka wote wajue siri ya mafanikio
😅
Amina Amina
Amina Bwana Maombi
Ameeen