Mungu akujaalie kufika kwenye mbingu za mbingu ukaketi pamoja na yesu🙏umekuwa faraja kwenye maisha yangu mno,hakika mungu ameivingirisha aibu yangu ameyageuza mateso kuwa shàngwe,hakika wema na fadhili zitanifuata mimi nauzao wangu sikuzote za maisha yetu🙏🙏🙏sifa na utukufu nikwa. Bwana yesu.
Yaani hapa Mchungaji Kimaro anatembea juu ya misumari yaani Watu wasiosoma Biblia hapa hawapati kituuu😃 Tena Wakristo wa sasa wanasoma Facebook na RUclips Biblia haina nafasi kwa Maisha yao Sad.

Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu umefanyika kuwa baraka sana
Ameen kwa neno hili na maombi haya nimekuwa kiumbe kipya kwa jina la Yesu, Mungu akutunze baba.
Mungu ni mwema xna jmn ameeen barikiwa xna mtumishi wa mungu ninaamin na mm nitatabasam tena kwa jina la yesuuuuuuu🙏🙏🙏🙏
Kiukweli unanibariki sana Baba Mchungaji Mungu Akupe maisha marefu yenye furaha siku zote za maisha yako
Amen, very powerful preaching.I receive the blessings from this message in Jesus' name🙏
Yayayayayayaaaaa, nitafurahi tena kama familia ya Adam, barikiwa sana Mchg mahubiri mazuri sana
Amen Amen Amen🙏🙏🙏🙏
Mungu akutunze Sana Sana Mchj Dr.Eliona.😊😊😊
Ameeeeeeeen🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Ooh my God you're a blessing to many your preaching is 🔥🔥..may Almighty bless you man of God.
Amina mtumishi wa mungu 🙏🙏🙏
🙌🙌🙌🙌
From Kenya 🇰🇪 mungu azidì kuoñgezeà hekima nyingi ,mafunzo mingi yamenisaidia xana
Asante Yesu nimekuona kupitia mtumishi wako huyu
Amen napokea kwa jina la Yesu
Asante sana Mungu
Thanks My Lord napokea ujumbe wa Matumaini
Blessing dady Amen
Amina Amina napokea
Siku za matanga zimekwisha furaha na amani mafanikio na heshima vimelejea na kunipatia kwa Jina la Yesu
Asante baba kwa neno la uponyaji
Ubarikiwe baba
Barikiwa Sana Mchungaji wangu.❤
Thanks my Lord kwa ujumbe wa Faraja
Mungu akubariki saana mchungaji Mimi si kkt lakini nafurahi saana huduma yako,barikiwa saana
Mungu asante kwa ujumbe huu 🙏🙏
Haleluaaaaa haleluaaaaaaaaaaa haleluaaaaa haleluaaaaaaaaaaa ninapokeya kwa Jina la Yesu
Ameeen
Amen
Mungu Wangu atanifurahisha...Taji ya miba imeondoka sasa taji ya dhahabu nimevaa.
heshima, uzima, afya zinifuate in Jesus name Zaburi 23.
Mungu nakuomba unipe tena tabasamu.
Very powerful
Hallelujah
Xp
Nena Bwana nasi tutasikia ili tuponywe
Yaani hapa Mchungaji Kimaro anatembea juu ya misumari yaani Watu wasiosoma Biblia hapa hawapati kituuu😃 Tena Wakristo wa sasa wanasoma Facebook na RUclips Biblia haina nafasi kwa Maisha yao Sad.
Unaya ni albadili😮😅 lazima ukurudie tujifunze kutenda mema
Amen 🙏
Amen
Amen🙏