Amen Amen . Asante baba Mchungaji kwa mafunuo Haya . Nimekuwa na kiu ya chakula cha Bwana sababu kanisani kwetu Lutheran hapa Edmonton tunashiriki mara mbili kwa mwaka sababu hatuna mchungaji . Hizi nchi Zina njaaa sana kiroho kama Siyo hizi Ibada za online ningekuwa marehemu tu kiroho .
Hongereni kwaya kuu kwa utumishi uliotukuka
Amina mtumishi wa Mungu