- Видео 45
- Просмотров 203 544
KKKT - DMP USHARIKA WA KIMARA
Танзания
Добавлен 2 авг 2014
Usharika wa KKKT Kimara ni miongoni mwa sharika za Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) zilizopo katika Jimbo la Magharibi Dayosisi ya Mashariki na Pwani (DMP) ya KKKT.
Usharika wa KKKT Kimara, ulianzishwa mnamo mwaka 1974 kutoka moja ya mitaa ya KKKT Usharika wa Ubungo.
Usharika huu kwa sasa unaongozwa na Mchungaji Kiongozi Willbroad Mastai akisaidiwa na Mchungaji Joseph Maseghe.
Vision: “Bring as many People as “Possible to Our Almight GOD
Mission: To Spread the Scripture of Our Almight GOD all the time through spiritual and diaconic services
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako.
0714650316 TigoPesa
0764250135 mpesa
Hakikisha jina linalokuja ni KKKT KIMARA.
Pia unaweza kutuma sadaka kupitia:
CRDB
01J2095589300
Kkkt Usharika Kimara
Usharika wa KKKT Kimara, ulianzishwa mnamo mwaka 1974 kutoka moja ya mitaa ya KKKT Usharika wa Ubungo.
Usharika huu kwa sasa unaongozwa na Mchungaji Kiongozi Willbroad Mastai akisaidiwa na Mchungaji Joseph Maseghe.
Vision: “Bring as many People as “Possible to Our Almight GOD
Mission: To Spread the Scripture of Our Almight GOD all the time through spiritual and diaconic services
Unaweza kutumia njia zifuatazo kutuma sadaka yako.
0714650316 TigoPesa
0764250135 mpesa
Hakikisha jina linalokuja ni KKKT KIMARA.
Pia unaweza kutuma sadaka kupitia:
CRDB
01J2095589300
Kkkt Usharika Kimara
Видео
IBADA YA JUMAPILI 01 DECEMBER 2024
Просмотров 3,8 тыс.21 день назад
UNAWEZA KUSHIRIKI NASI IBADA HII KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA MPESA: 0764 250135 JINA : KKKT KIMARA. TIGOPESA: 0714 650316 JINA : KKKT KIMARA. UBARIKIWE.
IBADA YA JUMAPILI 27 OCTOBER 2024
Просмотров 3,8 тыс.2 месяца назад
MISTARI YA BIBLIA: Zaburi 5:1-5 Mwanzo 32:24-30 Zaburi 34:7 Kumb 12:11-13 UNAWEZA KUSHIRIKI NASI IBADA HII KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA MPESA: 0764 250135 JINA : KKKT KIMARA. TIGOPESA: 0714 650316 JINA : KKKT KIMARA. UBARIKIWE.
IBADA YA JUMAPILI 20 OCTOBER 2024
Просмотров 3,6 тыс.2 месяца назад
Chapters 00:00:00 Ibada ya Sifa 00:13:03 Mahubiri/Mafundisho. 01:05:52 Maombi. MISTARI YA BIBLIA: Zaburi 108:1-6 Marko 10:23-31 Walawi 1:1 Zaburi 111:10 Kumb 12:11 Kumb 14:23 Zaburi 111:10 UNAWEZA KUSHIRIKI NASI IBADA HII KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA MPESA: 0764 250135 JINA : KKKT KIMARA. TIGOPESA: 0714 650316 JINA : KKKT KIMARA. UBARIKIWE.
IBADA YA JUMAPILI 13 OCTOBA , 2024
Просмотров 1,6 тыс.2 месяца назад
Chapters 00:00:00 Ibada ya Sifa 00:11:39 Mahubiri/Mafundisho. 01:05:14 Maombi UNAWEZA KUSHIRIKI NASI IBADA HII KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA MPESA: 0764 250135 JINA : KKKT KIMARA. TIGOPESA: 0714 650316 JINA : KKKT KIMARA. UBARIKIWE
IBADA YA JUMAPILI 06 OCTOBER 2024
Просмотров 3 тыс.2 месяца назад
Chapters 00:00:00 Ibada ya Sifa 00:08:36 Mahubiri/Mafundisho. 00:58:48 Maombi UNAWEZA KUSHIRIKI NASI IBADA HII KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA MPESA: 0764 250135 JINA : KKKT KIMARA. TIGOPESA: 0714 650316 JINA : KKKT KIMARA. UBARIKIWE
IBADA YA JUMAPILI 29 SEPTEMBER 2024
Просмотров 2,9 тыс.2 месяца назад
Chapters 00:00:00 Ibada ya Sifa 00:15:10 Mahubiri/Mafundisho. UNAWEZA KUSHIRIKI NASI IBADA HII KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA MPESA: 0764 250135 JINA : KKKT KIMARA. TIGOPESA: 0714 650316 JINA : KKKT KIMARA. UBARIKIWE
IBADA YA JUMAPILI 22 September 2024
Просмотров 6 тыс.3 месяца назад
UNAWEZA KUSHIRIKI NASI IBADA HII KWA NJIA YA SADAKA KUPITIA MPESA: 0764 250135 JINA : KKKT KIMARA. TIGOPESA: 0714 650316 JINA : KKKT KIMARA. UBARIKIWE.
WIKI YA JUMA LA ELIMU - Jerusalem Secondary School
Просмотров 2,8 тыс.3 месяца назад
Shule ya Sekondari ya Jerusalem yaadhimisha wiki ya Juma la Elimu usharikani hapo kupitia IGIZO fupi ibadani.
IBADA YA JUMAPILI. 15 SEPTEMBA 2024
Просмотров 3 тыс.3 месяца назад
IBADA YA JUMAPILI. 15 SEPTEMBA 2024
IBADA YA JUMAPILI 08 SEPTEMBA, 2024
Просмотров 2,4 тыс.3 месяца назад
IBADA YA JUMAPILI 08 SEPTEMBA, 2024
IBADA YA JUMAPILI 01 SEPTEMBER 2024
Просмотров 3,2 тыс.3 месяца назад
IBADA YA JUMAPILI 01 SEPTEMBER 2024
Mombo to Sonu kwetu 😄😄mteremko!! Ubarikiwe Mtumishi kwa mahubiri Haya . Mungu Baba Naomba Nisaidie zile ndoto Ndani mwangu zionekane kimwili Amen .
Amen
Namba za sadaka ziko full kkkt kimara Dmp. Please check sadaka haziendi.
Najiugamanisha mungu nikumbuke
Namshukuru Mungu kwa madhabahu ya kimara, Mungu awabariki.
Najiunganisha na Madhabahu Hii ya KKKT kimara Kwa Njia ha Damu ya YESU
Aaaamen sana
je ambao hawana kazi
Hakuna mtu asiyekuwa na kazi
Kazi ni Shughuli yoyote mtu anayoifanya hiyo fanya extra mail
Pastor Mungu wa mbinguni akubariki
Mchungaji unanibariki Sana huwa nakufatlia . Mafundisho yako mpaka watu waliojaa Roho ndio watakuelewa maana ni chakula cha watu wazima.
Shalom pastor, hongera sana Kwa Somo zuri la vipawa, nakuomba kama itakupenza uandike kitabu.
❤❤❤❤❤
God bless you Abundantly
❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Amina amina sana nabarikiwa nawe mchungaji
I'm watching it from mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya, blessed 🙏🙏.
I'm watching it from mararo Rd Kilimani Nairobi Kenya, blessed 🙏🙏.
Mungu anisaidie nisamehe
Jamani kwa nini mnatoa ibaada ya December 8 hata kabla siku haijaisha kwa sisi tuliopo huku Ugaibuni? It really pains me. Nilikuwa nafuatilia ibaada You Tube ghafla imekata wakati wa maombi mazuri ambayo mchungaji alikuwa anayaongoza. Please do something about it
God Bless KKKT-KIMARA
Hiii imenikuta na najuta kuzaliwa ktk hili familia,,mungu nisaidie tu
Usijilaumu ndugu, Mungu amekuweka katika hiyo familia ili wewe ufanyike baraka na kuivusha hapo ulipo
Bwana nakusihi uitunze ndoa yetu mpaka utakapotetunganisha kwa kutuita nyumbani kwako mbinguni.
Aminaa baba ubarikiwe sana Mungu atusaidie tulioachana na watoto wetu wanalelewa na ndugu tuu nashindwa hata nifanyeje mtumishi wa Mungu
HAKIKA
Asanteni sana guys Miss you sana
Asante Bwana kwa kunilipia madai yangu yote
God Bless KKKT-KIMARA
Ameni
Amen
Amen
Nimejion TV 😅😅😅😅😂😂😂 KUMBE ATA MM MAARUFU
For me is wonder power full sakondary jesulemu school❤ poster mastai god bless you Baba more and more
Kazi yenu ni njema
God Bless KKKT-KIMARA
Amen. Ee Mungu wa mbinguni naomba umuongezee hayo, ni kama anaona nyumbni kwangu.
God is good
Najiungamanisha na madhabahu hii kwa jina la yesu
Ameen
Nimebarikiwa